Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

huyu naye ni mchochezi mkubwa wa chuki za kidini

watu hawa ni hatari sana kwa taifa letu ... warudishwe kwao

Kuandika historia ya kweli hakuna hatari yoyote.
Ondoa hofu yako.

Hebu soma hapa chini na nionyeshe hatari iko wapi:

Mwaka wa 1974 Rais Julius Nyerere aliwatwisha Chuo Cha Kivukoni jukumu la kuandika historia ya TANU. Chuo hiki kilianzishwa kama shule ya kuwasomesha makada wa TANU katika mambo ya itikadi, propaganda na uhamasishaji umma wakiiga mfano wa Ruskin College ya Uingereza. Chuo Cha Kivukoni kwa ajili hii kisingeweza kufanya utafiti huru wala kuandika historia sahihi ya TANU.

Mwaka 1976, katika mkutano wa kumi na sita wa TANU Nyerere alisisitiza tena kuandikwa kwa historia rasmi ya TANU. Lakini historia rasmi ziku zote zimekuwa za kupotosha kama anavyoeleza Maslov:

''Kuwafuta watu waliopita ni kasoro nyingine katika maandishi yanayohusu historia ya Chama Cha Kikomunisti cha Urusi. Katika vitabu na makala za utafiti, kama vile ni sheria, watu walio muhimu katika historia huwa wanaorodheshwa katika katika ''orodhaí na baadhi yao hawatajwi kabisa.''

Historia ya Chama Cha Kikomunisti cha Urusi haina tofauti na historia ya TANU.

Mwaka 1985, Rais Nyerere alipokuwa anamtunukia digrii ya heshima Basil Davidson, alitoa changamoto kwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kuandika historia ya kweli ya Tanzania.

Mwaka 1988, katika sherehe ya kuadhimisha miaka thelathini ya Azimio la Tabora, Nyerere aliwasifu wanachama wa mwanzo wa TANU ambao walijiunga na chama kati ya mwaka 1954 na mwaka 1958.

Nyerere alisema: ''Hicho kilikuwa kipindi kigumu sana katika historia ya Chama chetu na ni watu wachache sana walikuwa na ujasiri wa kujiunga na chama na kukifanyika kazi.''

Jambo la kustaajabisha katika kauli ya Nyerere ni kuwa wakati yeye anawasifu watu waliojiunga na TANU katika ya mwaka wa 1954 na 1958 yeye binafsi hajawaenzi wale ambao siyo tu walijiunga na TANU bali ndiyo waasisi wa TANU yenyewe.

Kwa hali hii inakuwa vigumu kuamini kama kauli yake ilikuwa inatoka kwenye dhati ya nafsi yake.
 
Kuandika historia ya kweli hakuna hatari yoyote.
Ondoa hofu yako.

Hebu soma hapa chini na nionyeshe hatari ilo wapi:

Mwaka wa 1974 Rais Julius Nyerere aliwatwisha Chuo Cha Kivukoni jukumu la kuandika historia ya TANU. Chuo hiki kilianzishwa kama shule ya kuwasomesha makada wa TANU katika mambo ya itikadi, propaganda na uhamasishaji umma wakiiga mfano wa Ruskin College ya Uingereza. Chuo Cha Kivukoni kwa ajili hii kisingeweza kufanya utafiti huru wala kuandika historia sahihi ya TANU. Mwaka 1976, katika mkutano wa kumi na sita wa TANU Nyerere alisisitiza tena kuandikwa kwa historia rasmi ya TANU. Lakini historia rasmi ziku zote zimekuwa za kupotosha kama anavyoeleza Maslov:

‘’Kuwafuta watu waliopita ni kasoro nyingine katika maandishi yanayohusu historia ya Chama Cha Kikomunisti cha Urusi. Katika vitabu na makala za utafiti, kama vile ni sheria, watu walio muhimu katika historia huwa wanaorodheshwa katika katika ëorodhaí na baadhi yao hawatajwi kabisa.’’

Historia ya Chama Cha Kikomunisti cha Urusi haina tofauti na historia ya TANU. Mwaka 1985, Rais Nyerere alipokuwa anamtunukia digrii ya heshima Basil Davidson, alitoa changamoto kwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kuandika historia ya kweli ya Tanzania. Mwaka 1988, katika sherehe ya kuadhimisha miaka thelathini ya Azimio la Tabora, Nyerere aliwasifu wanachama wa mwanzo wa TANU ambao walijiunga na chama kati ya mwaka 1954 na mwaka 1958. Nyerere alisema: ‘’Hicho kilikuwa kipindi kigumu sana katika historia ya Chama chetu na ni watu wachache sana walikuwa na ujasiri wa kujiunga na chama na kukifanyika kazi.’’ Jambo la kustaajabisha katika kauli ya Nyerere ni kuwa wakati yeye anawasifu watu waliojiunga na TANU katika ya mwaka wa 1954 na 1958 yeye binafsi hajawaenzi wale ambao siyo tu walijiunga na TANU bali ndiyo waasisi wa TANU yenyewe. Kwa hali hii inakuwa vigumu kuamini kama kauli yake ilikuwa inatoka kwenye dhati ya nafsi yake.

sijawahi kusoma upumbavu wa kifikira wa kutunga .... very sorry ... wajaze ujinga majuha wenzio

you are dangerous in any how
 
Itabidi ufungue uzi mpya tuzungumze kila kitu katika hiyo Wizara na mambo yake.
Ila kwa sasa ikutoshe tu kuwa Insha Allah hivi karibuni zitasikika taarifa za NECTA.

Usidhani ni maskhara.
Mengine hata mimi sijaweza kuamini.

Hawa jamaa wataalamu kwelikweli.
Wanajua kuwazunguka Waislam.

Sasa hivi wanashughulika na shule za kata.
Maana zimejaza Waislam.

Kuwa na subra.

Mkuu umeandaa maasi nini? Kwakweli inatia simanzi sana kama Waislamu wankutumia kama mkombozi wao hii ni hatari.

Umetumia sana machapisho ya Jan P van Bergen Development and Religion in Tanzania (1981), John Sivalon kama kielelezo cha uthibitisho wa tuhuma zako, Unajaribu kututhibitishia kuwa hawa waliandika kwaniaba ya wakristu jambo ambalo huna haki ya kulifanya.

Watanzania wanaona na kukuona kuwa wewe ni mchochezi, dhana ya udini uliyoitia katika kitabu chako na kukihalalisha kuwa ndio Historia ya Uhuru, inaleta simanzi sana na kutishia utangamano wetu.
 
Ndugu yangu una ghadhibika haraka.
Nitachangia kwa kidogo sana.
Sheikh Ilunga amezungumzia ''kisasi.''
Imesomwa aya kuhusu kisasi kama Allah alivyosema katika Qur'an.
Kutokea hapo kinachofata ni ''interpretation'' ya hiyo aya.
Katika mazingira gani kisasi kitekelezwe na kadhalika.
Hapo ndipo mimi nikasema huo siyo uwanja wangu ilm hiyo ya kutafsiri
Qur'an sinayo kwa hiyo sitoweza kutoa fatwa.
Mzee Said, sina uhakika kama una uwezo mzuri wa kutafsiri mambo.
Endapo unao basi kuna wakati unajifanya kama vile ''zumbu kuku'' hata kama unaelewa kuwa kufanya hivyo kunakuvunjia heshima.
So sad mzee.

Ukitazama video ya Ilunga utaona ameeleza kisa cha kuuawawa kwa Sheikh Rogo. Tunafahamu kuwa kulikuwa na mzozo kati ya serikali ya Kenya na watu wa Mombasa. Tunafahamu kuwa Sheikh Rogo alikuwa ana matatizo ya kunasaibishwa na Alshaab. Vyovyote itakavyokuwa iwe ukweli au uongo, kinachobaki ni kuwa kulikuwa na mzozo wa Rogo na Serikali.

Ustaadhi Ilunga anasema kuwa akiuawa sheikh basi watu waende wakaue askofu, padri n.k. tena akasema fanyeni kwa siri ikiwezekana. Hapa maana yake amehusisha kifo cha Rogo na Maaskofu au mapadri jambo ambalo si kweli.

Hata kama atakuwa amehusisha hivyo na tujifanye wapumbavu kukubali, hayo ya Kenya yanaingiaje Tanzania?
Kwa mantiki hiyo Ilunga amechomeka aya kuhalaisha kitendo hicho kisichohusiana na dini asilani.

Kwa mtazamo na mkanganyiko huo, haihitaji Ilm au ulmaa kwasababu mlolongo mzima wa mawaidha yake hauna mpangilio na hivyo aliamua from no where kuingiza chuki kwa kutumia aya.

Ikifika hapo hakuna short cut! narudia mwislam mwenye kufuata mafunzo ya dini yake, mwenye weledi hahitaji hata ustadhi kutafsiri aya kwasababu aya imechomekwa tu pasipo kuhusika.

Mwislam mwenye itikadi na ajuae daawa na ulinganifu hawezi kumtafuta hata maalim wa madrasa kupata tafsiri ya kitu kisischokuwepo ab initio. Kitu kisichokuwepo kwasababu ugomvi wa Rogo na serikali ya Kenya hauna uhusiano na mauaji ya maaskofu au mapadre wa Tanzania.

Kwahili Mohamed endelea kutangaza CD na DVD za uhalifu na zinazoidhalilisha dini , wenye akili na macho wanaona.
Hakuna sababu za kujificha nyuma ya ulamaa, ilm n.k. Ni mambo mawili unashabikia au unakataa uhalifu. period.

Wanajamvi,
Mara nyingi sana tumewaambia kuhusu MS kukimbia maswali au kushindwa kutetea hoja zake. Ukifuatilia hoja yake kuhusu Kighoma Malima,Mohamed ameonyesha tatizo lililomsibu Malima ni uteuzi wa wakurugenzi.
Kwamba hilo ndilo aliliona pale wizara ya elimu.
Sina uhakika kwasababu sina uwezo wa kuhoji ''marehemu' au kuwasemea baada ya kupunzika kwa amani R.I.P.

Huko nyuma Mohamed aliwahi kusema Malima ndiye alibadili mfumo na kuweka namba za watahiniwa.
Tulimuuliza kama anajua namba zilianza kutumika lini, HAKUWEZA na alisema ''Katafuteni wizara ya elimu'' Mtafiti huyo anatetea hoja!!

Leo ameacha kabisa kugusia swala hilo kwa vile amegundua kuwa hana majibu yake, na linaweza kuvunja nguvu ya hoja zake. AMEKIMBIA kulisema asilani. Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kuwa Mohamed anaongea na kueleza nadhari kwa hisia na si uhalisia, sasa anajifunza. Anapandikiza hisia za asizoweza kuzitetea na sasa amepata shule JF.

Ndivyo ilivyo kwa mambo mengi tu ambayo amekuwa anabadilisha position kila uchao( ushihidi upo JF)
 
Mkuu umeandaa maasi nini? Kwakweli inatia simanzi sana kama Waislamu wankutumia kama mkombozi wao hii ni hatari.

Umetumia sana machapisho ya Jan P van Bergen Development and Religion in Tanzania (1981), John Sivalon kama kielelezo cha uthibitisho wa tuhuma zako, Unajaribu kututhibitishia kuwa hawa waliandika kwaniaba ya wakristu jambo ambalo huna haki ya kulifanya.

Watanzania wanaona na kukuona kuwa wewe ni mchochezi, dhana ya udini uliyoitia katika kitabu chako na kukihalalisha kuwa ndio Historia ya Uhuru, inaleta simanzi sana na kutishia utangamano wetu.
Yericko Nyerere,

..Mohamed Said na wenzake hawakuwatendea haki waandishi kama Sivalon na Van Bergen.

..wao wananyanyua sentensi mbili tatu toka kwenye hivyo vitabu na ku-conclude kwamba Mwalimu alikuwa anapendelea Wakristo.

..Zaidi wanatumia udhaifu wa wa-Tanzania kutokusoma kupotosha ukweli wa kilichoandikwa kwenye vitabu hivyo.

..Iko siku watu watakwenda kwenye hivyo vitabu ambavyo wanadai proves their point na kuvisoma na nina hakika watakuja na conclusions tofauti kabisa.
 
Last edited by a moderator:
sijawahi kusoma upumbavu wa kifikira wa kutunga .... very sorry ... wajaze ujinga majuha wenzio. You are dangerous in any how
Wapo wanaoziamini hizi hadithi za Mohamed Said kama ndio ukweli...tazama tu listi ya wanaozichangamkia, humo humkosi Ritz et al. Hao wazee wa Mohamed Said hakuna hata mojawapo aliyeziongoza AA, TAA wala TANU, huo ndio ukweli. Yuko mojawapo aliyetaka kushindana na Mwalimu Nyerere katika kuiongoza TANU ilipoanzishwa lakini hakuweza kuambulia hata kura za waswahili wenzake wa Gerezani, huo pia ndio ukweli. Majuha kama kawaida yao wanalishwa uwongo na wao wanaitikia hewala bwana, hakuna utumwa unaozidi utumwa wa akili. Huyu Mohamed Said si lolote, si chochote bali mchochezi...anashinda kwa uchochezi, anakula kwa uchochezi na anaishi kwa uchochezi.
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

..Mohamed Said na wenzake hawakuwatendea haki waandishi kama Sivalon na Van Bergen.

..wao wananyanyua sentensi mbili tatu toka kwenye hivyo vitabu na ku-conclude kwamba Mwalimu alikuwa anapendelea Wakristo.

..Zaidi wanatumia udhaifu wa wa-Tanzania kutokusoma kupotosha ukweli wa kilichoandikwa kwenye vitabu hivyo.

..Iko siku watu watakwenda kwenye hivyo vitabu ambavyo wanadai proves their point na kuvisoma na nina hakika watakuja na conclusions tofauti kabisa.

Nashukuru mkuu nawe kwakulibaini hilo, kwakeli nabaki kustaajabu tu kama tanzania kuna watu wa aina ya Mohamed Said na wanazidi kujinasibisha kwa vina na mapambio ya uchochezi.
 
Mzee Said, sina uhakika kama una uwezo mzuri wa kutafsiri mambo.
Endapo unao basi kuna wakati unajifanya kama vile ''zumbu kuku'' hata kama unaelewa kuwa kufanya hivyo kunakuvunjia heshima.
So sad mzee.

Ukitazama video ya Ilunga utaona ameeleza kisa cha kuuawawa kwa Sheikh Rogo. Tunafahamu kuwa kulikuwa na mzozo kati ya serikali ya Kenya na watu wa Mombasa. Tunafahamu kuwa Sheikh Rogo alikuwa ana matatizo ya kunasaibishwa na Alshaab. Vyovyote itakavyokuwa iwe ukweli au uongo, kinachobaki ni kuwa kulikuwa na mzozo wa Rogo na Serikali.

Ustaadhi Ilunga anasema kuwa akiuawa sheikh basi watu waende wakaue askofu, padri n.k. tena akasema fanyeni kwa siri ikiwezekana. Hapa maana yake amehusisha kifo cha Rogo na Maaskofu au mapadri jambo ambalo si kweli.

Hata kama atakuwa amehusisha hivyo na tujifanye wapumbavu kukubali, hayo ya Kenya yanaingiaje Tanzania?
Kwa mantiki hiyo Ilunga amechomeka aya kuhalaisha kitendo hicho kisichohusiana na dini asilani.

Kwa mtazamo na mkanganyiko huo, haihitaji Ilm au ulmaa kwasababu mlolongo mzima wa mawaidha yake hauna mpangilio na hivyo aliamua from no where kuingiza chuki kwa kutumia aya.

Ikifika hapo hakuna short cut! narudia mwislam mwenye kufuata mafunzo ya dini yake, mwenye weledi hahitaji hata ustadhi kutafsiri aya kwasababu aya imechomekwa tu pasipo kuhusika.

Mwislam mwenye itikadi na ajuae daawa na ulinganifu hawezi kumtafuta hata maalim wa madrasa kupata tafsiri ya kitu kisischokuwepo ab initio. Kitu kisichokuwepo kwasababu ugomvi wa Rogo na serikali ya Kenya hauna uhusiano na mauaji ya maaskofu au mapadre wa Tanzania.

Kwahili Mohamed endelea kutangaza CD na DVD za uhalifu na zinazoidhalilisha dini , wenye akili na macho wanaona.
Hakuna sababu za kujificha nyuma ya ulamaa, ilm n.k. Ni mambo mawili unashabikia au unakataa uhalifu. period.

Wanajamvi,
Mara nyingi sana tumewaambia kuhusu MS kukimbia maswali au kushindwa kutetea hoja zake. Ukifuatilia hoja yake kuhusu Kighoma Malima,Mohamed ameonyesha tatizo lililomsibu Malima ni uteuzi wa wakurugenzi.
Kwamba hilo ndilo aliliona pale wizara ya elimu.
Sina uhakika kwasababu sina uwezo wa kuhoji ''marehemu' au kuwasemea baada ya kupunzika kwa amani R.I.P.

Huko nyuma Mohamed aliwahi kusema Malima ndiye alibadili mfumo na kuweka namba za watahiniwa.
Tulimuuliza kama anajua namba zilianza kutumika lini, HAKUWEZA na alisema ''Katafuteni wizara ya elimu'' Mtafiti huyo anatetea hoja!!

Leo ameacha kabisa kugusia swala hilo kwa vile amegundua kuwa hana majibu yake, na linaweza kuvunja nguvu ya hoja zake. AMEKIMBIA kulisema asilani. Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kuwa Mohamed anaongea na kueleza nadhari kwa hisia na si uhalisia, sasa anajifunza. Anapandikiza hisia za asizoweza kuzitetea na sasa amepata shule JF.

Ndivyo ilivyo kwa mambo mengi tu ambayo amekuwa anabadilisha position kila uchao( ushihidi upo JF)

Nafurahi sana kuona nimeungana na watu wenye akili timamu werevu na wajuvi wa historia ya nchi yetu tuliokataa kuburuzwa na Shekhe Mohamed Said mwenye upeo wa kimadrasa, anaewaburuza waislamu wasio na hatia katika nchi hii.
 
Naona umeishiwa hoja sasa umejikita kwenye viroja.

Leo siku ya tatu nakuona upo kwenye huu uzi ambayo unasema porojo na mazezeta.

Namshukuru sana Mohamed Said, kwa kutoa darsa muruwa. Kuna watu wanamkejeli huku wanajifunza kwake.

Ukiona mtu anaponda kitu halafu bado anakifuatilia kwa umakini wa hali ya juu hujue kavutiwa na nondo.
Unafikiri Mohamed Said anaweza kunifundisha nini mimi? Anawafundisha nyinyi ambao amawashikia akili zenu...
 
Yericko Nyerere,

..Mohamed Said na wenzake hawakuwatendea haki waandishi kama Sivalon na Van Bergen.

..wao wananyanyua sentensi mbili tatu toka kwenye hivyo vitabu na ku-conclude kwamba Mwalimu alikuwa anapendelea Wakristo.

..Zaidi wanatumia udhaifu wa wa-Tanzania kutokusoma kupotosha ukweli wa kilichoandikwa kwenye vitabu hivyo.

..Iko siku watu watakwenda kwenye hivyo vitabu ambavyo wanadai proves their point na kuvisoma na nina hakika watakuja na conclusions tofauti kabisa.

Kwenye hicho kitabu cha van Bergen kuna barua nzito ya Nyerere kwenye Appendix 15
 
Mzee Said, sina uhakika kama una uwezo mzuri wa kutafsiri mambo.
Endapo unao basi kuna wakati unajifanya kama vile ''zumbu kuku'' hata kama unaelewa kuwa kufanya hivyo kunakuvunjia heshima.
So sad mzee.

Ukitazama video ya Ilunga utaona ameeleza kisa cha kuuawawa kwa Sheikh Rogo. Tunafahamu kuwa kulikuwa na mzozo kati ya serikali ya Kenya na watu wa Mombasa. Tunafahamu kuwa Sheikh Rogo alikuwa ana matatizo ya kunasaibishwa na Alshaab. Vyovyote itakavyokuwa iwe ukweli au uongo, kinachobaki ni kuwa kulikuwa na mzozo wa Rogo na Serikali.

Ustaadhi Ilunga anasema kuwa akiuawa sheikh basi watu waende wakaue askofu, padri n.k. tena akasema fanyeni kwa siri ikiwezekana. Hapa maana yake amehusisha kifo cha Rogo na Maaskofu au mapadri jambo ambalo si kweli.

Hata kama atakuwa amehusisha hivyo na tujifanye wapumbavu kukubali, hayo ya Kenya yanaingiaje Tanzania?
Kwa mantiki hiyo Ilunga amechomeka aya kuhalaisha kitendo hicho kisichohusiana na dini asilani.

Kwa mtazamo na mkanganyiko huo, haihitaji Ilm au ulmaa kwasababu mlolongo mzima wa mawaidha yake hauna mpangilio na hivyo aliamua from no where kuingiza chuki kwa kutumia aya.

Ikifika hapo hakuna short cut! narudia mwislam mwenye kufuata mafunzo ya dini yake, mwenye weledi hahitaji hata ustadhi kutafsiri aya kwasababu aya imechomekwa tu pasipo kuhusika.

Mwislam mwenye itikadi na ajuae daawa na ulinganifu hawezi kumtafuta hata maalim wa madrasa kupata tafsiri ya kitu kisischokuwepo ab initio. Kitu kisichokuwepo kwasababu ugomvi wa Rogo na serikali ya Kenya hauna uhusiano na mauaji ya maaskofu au mapadre wa Tanzania.

Kwahili Mohamed endelea kutangaza CD na DVD za uhalifu na zinazoidhalilisha dini , wenye akili na macho wanaona.
Hakuna sababu za kujificha nyuma ya ulamaa, ilm n.k. Ni mambo mawili unashabikia au unakataa uhalifu. period.

Wanajamvi,
Mara nyingi sana tumewaambia kuhusu MS kukimbia maswali au kushindwa kutetea hoja zake. Ukifuatilia hoja yake kuhusu Kighoma Malima,Mohamed ameonyesha tatizo lililomsibu Malima ni uteuzi wa wakurugenzi.
Kwamba hilo ndilo aliliona pale wizara ya elimu.
Sina uhakika kwasababu sina uwezo wa kuhoji ''marehemu' au kuwasemea baada ya kupunzika kwa amani R.I.P.

Huko nyuma Mohamed aliwahi kusema Malima ndiye alibadili mfumo na kuweka namba za watahiniwa.
Tulimuuliza kama anajua namba zilianza kutumika lini, HAKUWEZA na alisema ''Katafuteni wizara ya elimu'' Mtafiti huyo anatetea hoja!!

Leo ameacha kabisa kugusia swala hilo kwa vile amegundua kuwa hana majibu yake, na linaweza kuvunja nguvu ya hoja zake. AMEKIMBIA kulisema asilani. Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kuwa Mohamed anaongea na kueleza nadhari kwa hisia na si uhalisia, sasa anajifunza
. Anapandikiza hisia za asizoweza kuzitetea na sasa amepata shule JF.

Ndivyo ilivyo kwa mambo mengi tu ambayo amekuwa anabadilisha position kila uchao( ushihidi upo JF)
Leo ametudokezea single yake mpya anayoifanyia final touches...Shule za Kata

quote_icon.png
By Mohamed Said
Itabidi ufungue uzi mpya tuzungumze kila kitu katika hiyo Wizara na mambo yake.
Ila kwa sasa ikutoshe tu kuwa Insha Allah hivi karibuni zitasikika taarifa za NECTA.

Usidhani ni maskhara.
Mengine hata mimi sijaweza kuamini.

Hawa jamaa wataalamu kwelikweli.
Wanajua kuwazunguka Waislam.

Sasa hivi wanashughulika na shule za kata.
Maana zimejaza Waislam.

Kuwa na subra.
 
Ndugu yangu Mohamed Said sijui kama unatambua mchango wa Adam Sapi?

Kwa taarifa yako mkoa wa Iringa umeweka rekodi kwa kutoa maspika wawili wa nchi hii, mwingine akiwa ni spika wa sasa, Anne Semamba Makinda ambaye ni wa kabila la Wabena kutoka mkoani humo.
Sapi alikuwa spika wa bunge la Tanganyika tangu Desemba 27, 1962, akashikilia nafasi hiyo kwa ufanisi mkubwa hadi Aprili 25, 1994.
Mwaka 1973 hadi 1975 aliuacha wadhifa huo kwa muda baada ya kuteuliwa na Rais Julius Nyerere kuwa Waziri wa Nchi wa Maendeleo ya Mji Mkuu (CDA).
Mtanzania huyo alivunja rekodi ya kushika wadhifa huo kwa muda mrefu zaidi na alifanikiwa kufanya kazi yake bila matatizo kwani alikuwa akisimamia bunge la chama kimoja ambalo lilikuwa la watu ‘dugu moja’.
Akijulikana kama Mtwa (Chifu), Sapi alikuwa Mwafrika wa kwanza nchini kupewa cheo cha heshima cha Kepteni wa jeshi la wakoloni wa Uingereza la King’s African Rifles (KAR) ambalo ‘Waswahili’ walilitamka kama ‘KEYA’ wakimaanisha ‘kei ei ara’.
Ni chifu Adam Sapi Mkwawa, aliyekuwa Mhehe wa Kalenga, muumini wa dini ya Kiislam ambaye alifariki dunia Juni 25, 1999 kutokana na shinikizo la juu la damu.

Unataka wahehe nao waje na historia yao ya Uhuru wa Tanganyika?
 
Wapo wanaoziamini hizi hadithi za Mohamed Said kama ndio ukweli...tazama tu listi ya wanaozichangamkia, humo humkosi Ritz et al. Hao wazee wa Mohamed Said hakuna hata mojawapo aliyeziongoza AA, TAA wala TANU, huo ndio ukweli. Yuko mojawapo aliyetaka kushindana na Mwalimu Nyerere katika kuiongoza TANU ilipoanzishwa lakini hakuweza kuambulia hata kura za waswahili wenzake wa Gerezani, huo pia ndio ukweli. Majuha kama kawaida yao wanalishwa uwongo na wao wanaitikia hewala bwana, hakuna utumwa unaozidi utumwa wa akili. Huyu Mohamed Said si lolote, si chochote bali mchochezi...anashinda kwa uchochezi, anakula kwa uchochezi na anaishi kwa uchochezi.

Sijui unakasirishwa na nini mpaka unatoa lugha za kejeli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom