Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Bwana Nyerere ni mwanafunzi mzito.
Anahitaji extra tuition.

Hahaaahaa

Ndugu yangu hapo umekosea, unaingia kwenye mkumbo wa siasa za maji taka!

Tuendeee kujadili na kubishana kwa hoja, tuache kejeli zinatuvurugia mjadala wetu.
 
Sifanyi kejeli.
Kwa umri wako unatakiwa ujifunze lakini nakuona hilo hulipi uzito.

Angalia hata kuandika huandiki vyema.
Hupitii unachoandika kukiweka sawa.

Hizi ni dalili ya mwanafunzi asiye makini.
 
Mkuu umetoa historia kwa ufupi na kwamtu yeyote msomi anapata picha bila hata kuambiwa kuwa Chifu huyu alihudumu vipi katika harakati za ukombozi, ndiomaana katika shukrani zangu nimesema wazi kuwa nashukuru kuona unamfahamu na umetoa historia yake kwa UFUPI.

Mpaka hapo natambua unafahamu zaidi wasifu wa chifu huyu, ama kwakuongeza maneno mawili ni kuwa alikuwa mfadhiri wa siasa za Mzee Nyerere (kiuchiumi).

Kuhusu swali la kwanini hayumo kwenye historia ya uhuru, nimelielekeza kwako likijenga nadharia ya kitabu chako kuwa wazee wako waliachwa kwa hila/ghiriba za Mwalimu.

Umekosea sana.
Marealle hakupata kuifadhili TANU.

Chief Marealle na Nyerere hawakuwa na mkabala mwema baina yao.

Soma kijana soma.
Utaerevuka.

Punguza kujua.
 
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.

Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)

Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.

Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
 
Mkuu umetoa historia kwa ufupi na kwamtu yeyote msomi anapata picha bila hata kuambiwa kuwa Chifu huyu alihudumu vipi katika harakati za ukombozi, ndiomaana katika shukrani zangu nimesema wazi kuwa nashukuru kuona unamfahamu na umetoa historia yake kwa UFUPI.

Mpaka hapo natambua unafahamu zaidi wasifu wa chifu huyu, ama kwakuongeza maneno mawili ni kuwa alikuwa mfadhiri wa siasa za Mzee Nyerere (kiuchiumi).

Kuhusu swali la kwanini hayumo kwenye historia ya uhuru, nimelielekeza kwako likijenga nadharia ya kitabu chako kuwa wazee wako waliachwa kwa hila/ghiriba za Mwalimu.

Kaka yericko nyerere

Unatwanga maji katika kinu, wala kaka usione ajabu kwamba sikio la kufa hasikii dawa.

Kuna maswali mengi sana kaulizwa huyu kizee ya msingi anayakwepa na kuzuunguka anakupotezea muda wa uzalishaji kaka.

Kuhusu Ustadhi Ilunga
kaulizwa na wadau kwamba anakubaliana na ilunga na kama hakubaliani nini msimamo wake

Jibu lake huyu kibabu anasema yeye hana ilimu ya kulipa kisasi labda swali hilo waulizwe maulamaa kaluka babu kujibu swali kwasababu kulaani mafundisho ya Ilunga sawa na kulaani harakati zake yeye mwenyewe za kichochezi.

Kaulizwa kauli yake juu ya matendo ya akina Ponda na uamusho anasema yeye hayajui hayo ni bora wakaulizwe wao, lakini kauli ya baba wa taifa anaijadili huo ndio umbeya wa babu yenu huyu kizee MS.

Kuhusu Mou
kaulizwa na wadau baada ya kikwete kueleza ni haki ya kila taasisi na ruksa kwa waislamu kuunda na kuipeleka ikulu je anaweza kuibadili kauli yake na kuwaomba radhi watanzania kwa kusema uwongo na kuwachochea watanzania wakati sio kweli kuwa ya wakristu tu pee.

Jibu lake amekaa kimya kwa aibu maana hana cha kueleza watanzania.

Kaulizwa je baada ya kukaribishwa ikulu wapeleke MOU yao wamefikia wapi na wapo hatua gani

Jibu lake, Amekaa kimya kwa aibu maana mpaka sasa analalamika tu wala elimu yake haijamsaidia kuwapeleka wenzie ikulu wapate MOU ya waislam, kifupi ni mlalamishi mithili ya kichaa, kapewa fursa kuitumia kashindwa anabakia kutwa nzima usiku kucha akipiga kelele mapepe hapa jukwaani.

kaulizwa hapo juu na mdau kwanini somalia haijasonga mbele wakati ni serikali ya waislamu wote, kaka babu yetu hana majibu kwa aibu amemjibu mdau yasomalia hayamhusu, yeye yanamhusu ya Nyerere tu, sijui ni mwanahistoria gani anayejifunza ya mtu mmoja tu kama vile waligombania mwanamke katika pitapita zao, hapa tena kaka hana majibu anazunguuka tu.

Ameulizwa na mdau mwingine

kapuya na kawambwa wote ni waislam na wamekuwa mawaziri wa elimu mbona wao hawaja vumbua ya kigoma malima au na wao ni mfumo kristo au malima ni mojawapo ya wachochezi kama yeye kwanini iwe ni yeye tu hawa wengine wasione hizo hujuma kama kawaida kibabu kabunda kimya hana majibu.

Ameulizwa na mdau mwigine pia

Salimu Ahmed Salim na kawawa walishakuwa mawaziri wakuu wa nyerere na wao walishiriki kuwahujumu waislamu au kwanini katika malalamiko yake kwa nyerere hawa hawahusiki au ndiyo chuki kwa Kambarage kama kawaida hana majibu kaamua kukaa kimya.

Kaulizwa aliwahi kumhoji Kambarage nakama hakufanya kunahaki gani ya ukamilifu wa maandishi yake, kibabu anazuga tu hana majibu ya maana.

Kaulizwa tena yeye ameandika historia ya babu zake waislam na kuiita ya watanzania je hao wasio waislam na sio babu zake sio watanzania na historia haiwahusu, kama kawaida babu kaishia kupiga chenga.

Kaulizwa kama mwalimu hakuwapenda waislam kwanini alitaifisha mashule ya taasisi za dini na asilimia kubwa ni za wakristo ili na waislam wapate elimu, hapa napo kibabu said kaishia kujiumauma tu na kukimbia.

Kaulizwa na wadau, yeye mohamed kafanya nini kuwasaidia wailsmu kujikwamua, hana alilofanya kakaa kimya wala hajajibu labda kwa kupiga ulali hapa jukwaani.

kaulizwa Nyerere ameacha madaraka miaaka 25 iliyopita je Nin mchango wa viongozi wa kiislamu kikwete na mwinyi kuwasaidia waislamu ili kuonesha ubora wao dhidi ya nyerere kuzingatia miaka ya mwinyi na kikwete kwa ujumla ni kama 17 nini kinawatofautisha na kambarage kuwatumikia waislam kama kawaida swali hili ni mwiba mkali kwa mohamedi kalikimbia

kaulizwa zanziba inaviongozi waislam wote mbona hajapiga hatua yoyote, Mohamedi kaishia kupiga soga na kuingia mitini

Kaulizwa na wadau nini chanzo cha migogoro na matatizo ya nchi kama kongo drc, malia syria na nyingi zingine je ni mfumo kristo, mzee said mohamed hana jibu kajifanya hili swali hajaliona.

kaulizwa kama waislamu ndiyo waliopigania uhuru je majube na maliwali walotumiwa na wakoloni kuishabulia sehem ya bara ya tanganyika nao anawatazamaje kwenye historia yake walipinga uhuru au waliuhujum harakati za kupigania uhuru kama waislam, Said mzee hana majibu kabisa kala misele

Kaka nyerere huyu mzee umempa changamoto za kutosha pamoja na wadau wengine kama Ngruvi3, Joka kuu, sweke, nawengineo.

Anajifanya kuchangia na kukosoa hawajamaa wakiondoka jukwaan nayeye anajitutumua kwa kuchagua maswali dhaifu, amebaki kuvizia yeye na wajukuu, watoto na ndugu zake kuvizia upepo wa maada wakiona pametulia ndo wanakuhemea brother. hata hivyo umewachachafya sana tena wengine hawana hoja ni pumba tu kumpigia makofi mjomba mohamedi kwa kaudin wala hawana jipya.

Ushauli kwako.

Hii hoja kaka yeriko achana nayo umewapa elimu ya kutosha tu, wala kaka hawatakusahau watakubeza sana lakini tumesoma nakujuwa walivowachochezi tena wauwaji kabisa.

Sasa kaka kapunzike usichangie tena ili upate mda wa kutafuta mkate, hawa wao hawana kazi hapa wapo kijiweni tena na mabirika ya kahawa pembeni utaendela kubishana na watu wasio na hoja wala pointi miezi yote maana wao wanalipwa na magaidi kwa kushinda jukwaani wanachochea na jion kupokea vijisenti.

Ukiachana nao hawawezi kuendeleza makombo na pumba zao, nao wataishia wakiwa wamejeruhiwa vibaya.

Kaka achana na vichaa umeshawapa shule yakutosha kama ulivoona maswali yote hayo hapo juu hayana majibu manakengeuka kama kenge na vinyonga.

Umetuaisaidia sana kaka kutuonesha magaidi ndani ya Tanzania.

Yeriko ili na wewe usiwe kichaa kuanzia sasa achana na huu uzi maana unalumbana na vichaa. Kazi yako imekamilika wenye akili kaka wameshaujuwa ukweli. Mimi naenda kwenye jokes maana uniwezesha kuwatambuwa magaidi inatosha.
 
Ukitaka kuelewa akili zao hawa: angalia nchi zingine zenye waislamu, kelele na mikakati yao ya kutaka kutawala ni hiyo hiyo. Wanataka eti nchi zoote ziwe za kiislamu - na Baraza la mitihani wanalitaka ili waislamu wapewe upendeleo kwenye mitihani. Hiki ni kichaa au ni uhuni?? au ni ujinga tu
 
Haahaaahaa daah umeuwa mkuu, nimecheka kwa furaha ya ajabu!

Uliyozungumza niyakweli kabbisa! Mzee wangu sasa hivi ananipigia ngano tu, maswali yamsingi anayakwepa na kusukumia wasiohusika.
 
Ukitaka kuelewa akili zao hawa: angalia nchi zingine zenye waislamu, kelele na mikakati yao ya kutaka kutawala ni hiyo hiyo. Wanataka eti nchi zoote ziwe za kiislamu - na Baraza la mitihani wanalitaka ili waislamu wapewe upendeleo kwenye mitihani. Hiki ni kichaa au ni uhuni?? au ni ujinga tu

Hakuna kitakachowakomboa zaidi ya elimu hii tuwapayo bure!

Wale waliobahatika angalau kusoma ndio hawa akina Mohamed Said, Ilunga, Farid, na Ponda, wao wanahubiri maasi tu kila uchao
 
Ukitaka kuelewa akili zao hawa: angalia nchi zingine zenye waislamu, kelele na mikakati yao ya kutaka kutawala ni hiyo hiyo. Wanataka eti nchi zoote ziwe za kiislamu - na Baraza la mitihani wanalitaka ili waislamu wapewe upendeleo kwenye mitihani. Hiki ni kichaa au ni uhuni?? au ni ujinga tu

Hakuna kitakachowakomboa zaidi ya elimu hii tuwapayo bure!

Wale waliobahatika angalau kusoma ndio hawa akina Mohamed Said, Ilunga, Farid, na Ponda, wao wanahubiri maasi tu kila uchao badala yakuwatoa wenzao walio gizani kielimu.
 
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.

Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)

Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.

Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.

Huko unakokwenda siko kabisa.
Mimi najua mengi sana.

Chief Marealle kama angemfadhili Nyerere sharti pawepo na sababu.
Vipi amfadhili Nyerere hivi hivi kwani alikuwa na dhiki ipi?

Bwana Yericko nakusihi hebu jitulize, fikiri ndipo uandike.
Unadhani hivyo unamjenga baba yako au unambomoa?

Wafadhili wa harakati wanafahamika wala sina haja ya kuweka majina yao humu ndani ya ukumbi.
Hawa wafadhili waliifanya kazi ile ili Nyerere aifanye kazi ya TANU vyema na kwa utulivu.

Chief Marealle hayumo katika orodha hiyo ya wafadhili.

Safari unayozungumzia wewe nadhani ya 1955 ambayo TANU wakati ule ilikuwa masikini haina fedha.
Marealle hakuchangia kwa sababu hapakuwa na maelewano mazuri kati yake na TANU.

Umeona nimekuwekea nyaraka za Chief Marealle na Ally Sykes lakini sikusema kilichokuwa ndani ya nyaraka hizo.
Halikadhalika mimi sitopenda kabisa kusema uhusiano waliokuwanao baadhi ya machifu na Nyerere wakati ule Chief
Marealle akiwa mmoja wao.

Machifu kama Kidaha Makwaia, Abdel Shangali, Msabila Lugusha... wana historia inayofaa kufanyiwa utafiti na kuandikwa.
Lakini kwa nafasi yako hebu tafuta ukweli kisha utupe taarifa.

Kwa hali ya siasa ilivyokuwa February 1955 hakuna chief ambae angeweza kuthubutu kujinasibisha na TANU achilia mbali kuchangia safari ya Nyerere UNO.

Hebu tuje katika gari alilonunua Chief Marealle kumpa Nyerere.
Historia ya TANU inaonyesha kuwa gari la kwanza alililopewa Nyerere kwa ajili ya harakati za kudai uhuru alitoa Dossa Aziz mwaka 1955.

Sasa sijui hilo gari la Chief Marealle alilinunua lini na liko wapi.
Gari la Dossa lipo Makumbusho ya Taifa.

Nenda ukaliangalie pale.

Turudi kwenye mchango wa safari ya Nyerere.

Waliochangia safari ya Nyerere wanafahamika.
Hebu soma hapa chini:

Baraza la Wazee liliyachukua mafanikio ya safari ya Nyerere kuwa jukumu lao binafsi. Sehemu ya kwanza ya maandalizi ilitakiwa ifanyike kwa siri sana. Uongozi wa TANU ulikabidhi Idd Faiz kazi ya kuandaa, kukusanya na kusimamia mfuko wa safari ya rais wa TANU kwenda Umoja wa Mataifa, New York.

Safari ilikuwa ifanyike mwezi wa Februari,1955.

Mwaka wa 1953 Idd Faiz alikuwa na umri wa miaka arobaini na tatu, mwenye ari na nguvu tele. Alipokuwa katika kamati kuu ya ya TANU mwaka wa 1959 aliteuliwa kuwa mweka hazina wa taifa wa TANU pamoja na kuwa mjumbe wa kamati kuu.

Idd Faiz alikuwa mmoja wa viongozi wa chama walioanzisha TANU Press iliyokuwa katika njia panda ya Mtaa wa Mchikichi na Livingstone mjini Dar es Salaam.

TANU Press ndiyo ilikuwa ikichapisha na kusambaza jarida la TANU, Sauti ya TANU lililohaririwa na rais wa chama, Julius Nyerere, na baadaye kuchapisha Mwafrika chini ya uhariri wa Rashid Heri Baghdelleh na Robert Makange.

Kampuni hiyo ya kupiga chapa ilimilikiwa na Mwananchi Development Corporation TANU ilimteua Abdul Faraj kuiongoza kampuni hiyo.

TANU ilihitaji takriban shilingi elfu kumi na mbili kumwezesha Nyerere kusafiri kwenda Umoja wa Mataifa, New York.

Kamati ya Abdu Kandoro, Japhet Kirilo na Abbas Sykes ilikuwa imekusanya kiasi cha fedha kutoka majimboni ambacho kilitumika katika ile safari ya Ally na Phombeah kwenda kwenye Pan African Congress mjini Lusaka.

Kilichosalia hakikutosha kumpeleka Rais wa TANU, Nyerere Amerika.

Ilibidi fedha za ziada zitafutwe kutoka kwa wananchi ili kumwezesha Nyerere kufanya safari hiyo. John Rupia alichangia zaidi ya theluthi moja ya fedha zilizotakikana.

Wanachama wengine walichangia kwa uwezo wao wote lakini TANU katika siku zile ikiwa bado changa ilikuwa maskini, kiasi hicho kilikuwa bado kiko nje ya uwezo wake.

Ikitambua ule upungufu wa fedha za safari ya Nyerere, Idd Faiz aliombwa na uongozi wa Al Jamiatul Islamiyya kutoa fedha katika mfuko wa Al Jamiatul Islamiyya na kuzitia katika hazina ya TANU kukiwezesha chama kumpeleka Nyerere New York.

Hata pamoja na fedha zile kutoka Al Jamiatul Islamiyya hizo hazikuweza kukidhi haja.

Al Jamiatul Islamiyya haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz asafiri kwenda Tanga na kupata fedha zaidi kutoka huko.

Mwalimu Kihere alikuwa tayari amekusanya fedha hizo na alikuwa anasubiri tu zije zichukuliwe na kupelekwa makao makuu.

TANU ilipata habari kwamba yeyote ambaye angeenda Tanga kuchukua fedha hizo kwa ajili ya safari ya Nyerere angekamatwa. Kabla ya kuondoka, Oscar Kambona, Katibu Mkuu wa TANU, na John Rupia, Makamo wa Rais wa TANU, walikwenda kuonana na Idd Faiz nyumbani kwake Ilala kumuaga, kumtakia safari njema na kumpa maelezo kwa ufupi.

Safari ya kwenda Tanga haikuwa na tatizo lolote, lakini katika wakati wa kurudi basi ambalo Idd Faiz alikuwamo lilisimamishwa njiani Turiani na makachero.

Idd Faiz alikamatwa, akavuliwa nguo na kupekuliwa, lakini hakukutwa na fedha. Hili lilimshangaza na kumchanganya yule afisa aliyemkamata kwa sababu walikuwa na taarifa kwamba Idd Faiz alikuwa amechukua fedha kutoka kwa Mwalimu Kihere kule Tanga.

Idd Faiz aliwekwa chini ya ulinzi na kupelekwa Dar es Salaam kwa usaili zaidi wakati wote akiwa analindwa na askari wenye silaha.

Baadaye Idd Faiz aliachiliwa huru. Zile fedha za TANU zilifika makao makuu ya TANU Dar es Salaam, salama salimini. Zilizokuwa zimepewa kubeba msichana mdogo aliyekuwa abiria ndani ya basi lile alimokuwa Idd Faiz.

Mnamo tarehe 17 Februari, 1955 Nyerere aliondoka kwenda New York kuhutubia Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa.

(Kutoka ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...)
 
Mkuu Yericko Nyerere , muda ni mali. Ninaamini hoja zako hazijajibiwa na hazitajibiwa kabisa. Haya yameshatokea kwenye nyuzi zilizopita. Ushahidi upo. Angalia, mzee wa watu yupo kazini, wewe je?
 
Tusubiri mfumo kristo utuletee ndoa za jinsia moja
maana Tanzania imekua kama parokia flanii hiv
 
Mkuu Yericko Nyerere , muda ni mali. Ninaamini hoja zako hazijajibiwa na hazitajibiwa kabisa. Haya yameshatokea kwenye nyuzi zilizopita. Ushahidi upo. Angalia, mzee wa watu yupo kazini, wewe je?

Ukumbi ungenufaika pakubwa sana kama ungechangia katika hayo niloweka kwenye post.
Naamini sote tungenufaika.
 
hakuna kukimbia hapa,hata ukitukana huachiwi mpaka useme huyu mume ni mkubwa teh teh teh,mgala pofu lazima likutoke mume umemtaka mwenyewe.Wenzio wanamjua huyu wamekaa kimya hawataki kuchangia
Hakuna kitakachowakomboa zaidi ya elimu hii tuwapayo bure!

Wale waliobahatika angalau kusoma ndio hawa akina Mohamed Said, Ilunga, Farid, na Ponda, wao wanahubiri maasi tu kila uchao badala yakuwatoa wenzao walio gizani kielimu.
 
Huko unakokwenda siko kabisa.
Mimi najua mengi sana.

Chief Marealle kama angemfadhili Nyerere sharti pawepo na sababu.
Vipi amfadhili Nyerere hivi hivi kwani alikuwa na dhiki ipi?

Bwana Yericko nakusihi hebu jitulize, fikiri ndipo uandike.
Unadhani hivyo unamjenga baba yako au unambomoa?

Wafadhili wa harakati wanafahamika wala sina haja ya kuweka majina yao humu ndani ya ukumbi.
Hawa wafadhili waliifanya kazi ile ili Nyerere aifanye kazi ya TANU vyema na kwa utulivu.

Chief Marealle hayumo katika orodha hiyo ya wafadhili.

Safari unayozungumzia wewe nadhani ya 1955 ambayo TANU wakati ule ilikuwa masikini haina fedha.
Marealle hakuchangia kwa sababu hapakuwa na maelewano mazuri kati yake na TANU.

Umeona nimekuwekea nyaraka za Chief Marealle na Ally Sykes lakini sikusema kilichokuwa ndani ya nyaraka hizo.
Halikadhalika mimi sitopenda kabisa kusema uhusiano waliokuwanao baadhi ya machifu na Nyerere wakati ule Chief
Marealle akiwa mmoja wao.

Machifu kama Kidaha Makwaia, Abdel Shangali, Msabila Lugusha... wana historia inayofaa kufanyiwa utafiti na kuandikwa.
Lakini kwa nafasi yako hebu tafuta ukweli kisha utupe taarifa.

Kwa hali ya siasa ilivyokuwa February 1955 hakuna chief ambae angeweza kuthubutu kujinasibisha na TANU achilia mbali kuchangia safari ya Nyerere UNO.

Hebu tuje katika gari alilonunua Chief Marealle kumpa Nyerere.
Historia ya TANU inaonyesha kuwa gari la kwanza alililopewa Nyerere kwa ajili ya harakati za kudai uhuru alitoa Dossa Aziz mwaka 1955.

Sasa sijui hilo gari la Chief Marealle alilinunua lini na liko wapi.
Gari la Dossa lipo Makumbusho ya Taifa.

Nenda ukaliangalie pale.

Turudi kwenye mchango wa safari ya Nyerere.

Waliochangia safari ya Nyerere wanafahamika.
Hebu soma hapa chini:

Baraza la Wazee liliyachukua mafanikio ya safari ya Nyerere kuwa jukumu lao binafsi. Sehemu ya kwanza ya maandalizi ilitakiwa ifanyike kwa siri sana. Uongozi wa TANU ulikabidhi Idd Faiz kazi ya kuandaa, kukusanya na kusimamia mfuko wa safari ya rais wa TANU kwenda Umoja wa Mataifa, New York.

Safari ilikuwa ifanyike mwezi wa Februari,1955.

Mwaka wa 1953 Idd Faiz alikuwa na umri wa miaka arobaini na tatu, mwenye ari na nguvu tele. Alipokuwa katika kamati kuu ya ya TANU mwaka wa 1959 aliteuliwa kuwa mweka hazina wa taifa wa TANU pamoja na kuwa mjumbe wa kamati kuu.

Idd Faiz alikuwa mmoja wa viongozi wa chama walioanzisha TANU Press iliyokuwa katika njia panda ya Mtaa wa Mchikichi na Livingstone mjini Dar es Salaam.

TANU Press ndiyo ilikuwa ikichapisha na kusambaza jarida la TANU, Sauti ya TANU lililohaririwa na rais wa chama, Julius Nyerere, na baadaye kuchapisha Mwafrika chini ya uhariri wa Rashid Heri Baghdelleh na Robert Makange.

Kampuni hiyo ya kupiga chapa ilimilikiwa na Mwananchi Development Corporation TANU ilimteua Abdul Faraj kuiongoza kampuni hiyo.

TANU ilihitaji takriban shilingi elfu kumi na mbili kumwezesha Nyerere kusafiri kwenda Umoja wa Mataifa, New York.

Kamati ya Abdu Kandoro, Japhet Kirilo na Abbas Sykes ilikuwa imekusanya kiasi cha fedha kutoka majimboni ambacho kilitumika katika ile safari ya Ally na Phombeah kwenda kwenye Pan African Congress mjini Lusaka.

Kilichosalia hakikutosha kumpeleka Rais wa TANU, Nyerere Amerika.

Ilibidi fedha za ziada zitafutwe kutoka kwa wananchi ili kumwezesha Nyerere kufanya safari hiyo. John Rupia alichangia zaidi ya theluthi moja ya fedha zilizotakikana.

Wanachama wengine walichangia kwa uwezo wao wote lakini TANU katika siku zile ikiwa bado changa ilikuwa maskini, kiasi hicho kilikuwa bado kiko nje ya uwezo wake.

Ikitambua ule upungufu wa fedha za safari ya Nyerere, Idd Faiz aliombwa na uongozi wa Al Jamiatul Islamiyya kutoa fedha katika mfuko wa Al Jamiatul Islamiyya na kuzitia katika hazina ya TANU kukiwezesha chama kumpeleka Nyerere New York.

Hata pamoja na fedha zile kutoka Al Jamiatul Islamiyya hizo hazikuweza kukidhi haja.

Al Jamiatul Islamiyya haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz asafiri kwenda Tanga na kupata fedha zaidi kutoka huko.

Mwalimu Kihere alikuwa tayari amekusanya fedha hizo na alikuwa anasubiri tu zije zichukuliwe na kupelekwa makao makuu.

TANU ilipata habari kwamba yeyote ambaye angeenda Tanga kuchukua fedha hizo kwa ajili ya safari ya Nyerere angekamatwa. Kabla ya kuondoka, Oscar Kambona, Katibu Mkuu wa TANU, na John Rupia, Makamo wa Rais wa TANU, walikwenda kuonana na Idd Faiz nyumbani kwake Ilala kumuaga, kumtakia safari njema na kumpa maelezo kwa ufupi.

Safari ya kwenda Tanga haikuwa na tatizo lolote, lakini katika wakati wa kurudi basi ambalo Idd Faiz alikuwamo lilisimamishwa njiani Turiani na makachero.

Idd Faiz alikamatwa, akavuliwa nguo na kupekuliwa, lakini hakukutwa na fedha. Hili lilimshangaza na kumchanganya yule afisa aliyemkamata kwa sababu walikuwa na taarifa kwamba Idd Faiz alikuwa amechukua fedha kutoka kwa Mwalimu Kihere kule Tanga.

Idd Faiz aliwekwa chini ya ulinzi na kupelekwa Dar es Salaam kwa usaili zaidi wakati wote akiwa analindwa na askari wenye silaha.

Baadaye Idd Faiz aliachiliwa huru. Zile fedha za TANU zilifika makao makuu ya TANU Dar es Salaam, salama salimini. Zilizokuwa zimepewa kubeba msichana mdogo aliyekuwa abiria ndani ya basi lile alimokuwa Idd Faiz.

Mnamo tarehe 17 Februari, 1955 Nyerere aliondoka kwenda New York kuhutubia Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa.

(Kutoka ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...)

Mkuu huoni huutendei haki mjadala huu hasa unapouliizwa au kupewa hoja halafu unaijibu kwa kuweka vielelezo vya ngano ulizotunga wewe?

Na zaidi unaweka porojo nyiiiiiingi ambazo hazihusiani na swali kabisa.

Kwamaranyingine nakueleza kuwa ndugu yangu unakasumba ya ubora mimi.

Kwakukufungua zaidi Shekhe Mohamed Said nikuwa, baada ya kupata uhuru mwaka 1961 mwalimu aliwakutanisha machifu wote nchini nakuwataka wasaini makubaliano ya kuachia utawala/miliki na wawe na mamlaka ya kimila tu sio utawala kamili.

Kisha akawakutanisha machifu wa mikoa ya kaskazini wakiongozwa na Chifu Marealle na kuwashawishi wawekeze utajiri wao katika kufungua benki ya makabwela NBC, machifu hao wakiongozwa na Chifu Marealle walifanya hivyo.

Na zaidi machifu waliunda umoja wao uliokuwa chini ya uenyekiti wa Chifu wa Wanyamwezi, huku Adamu Sapi akishika uwaziri.

Ukiaminicho wewe basi ni shuruti na wengine waamini?.

Narudia tena kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhhiri wa Mwalimu Nyerere asiyejikweza.

Hizo ngano zako za vijiwe vya kahawa hazina mafaa.

Sio kila kitu kitaandikwa katika historia, na si kila kitu utakijua ndugu yangu.
 
Mkuu huoni huutendei haki mjadala huu hasa unapopewa hoja hala unaijibu kwa kuweka vielelezo vya ngano ulizotunga wewe?

Kwamaranyingi nakueleza kuwa ndugu yangu unakasumba ya ubora mimi.

Ukiaminicho wewe basi ni shuruti na wengine waamini.

Narudia tena kuwa Chifu Maleale alikuwa mfadhhiri wa Mwalimu Nyerere asiyejikweza.

Hizo ngano zao za vijiwe vya kahawa hazina mafaa.

Sasa mbona unarudi tena kwenye kejeli na sisi tulikuwa tunakwenda vyema na mjadala?

Nakuwekea maandishi ya utafiti si "ngano" maana hao watu walikuwapo na walifanya hayo
na baba yako Mwalimu Nyerere.

Ikiwa wewe unaona matusi ni bora basi na tuagane kwa salama.
 
Utafiti ulioufanya wewe nakuupa jina la historia ya Uhuru upande wa pili ambayo mimi ndio ninayo ipinga?

Huo hauwezi kuwa kihami sahihi katika mjadala huu ndugu.

Lete ushahidi nje ya huo, huoni mimi nakupa kile ninachokijua na nilichothibitisha bila kunukuu kokote?

Mwezi ujao nakwenda Butiama, nitakuletea na picha za Mzee Nyerere na Chifu Marealle, na kisha za machifu wote wakiwa na Mwalimu.

Na zaidi picha za gari hilo,
 
Nitafurahi kuziona hizo picha na kama hilo gari liko Butiama itaeleweka vipi halikufahamika pale New Street.

Lakini nitakuomba urudi na picha ya Nyerere na Mzee Mshume Kiyate.
Huyu alikuwa rafiki kipenzi cha baba yako.

Hakuna picha yoyote alopiga Nyerere kati ya 1954 - 1961 ambayo Mshume Kiyate hakuwa na Nyerere.
Kuna hisani kubwa baina yao.

Mzee Mshume alikuwa bingwa wa kucheza bao na ipo picha kapiga anacheza bao Ikulu na bi mkubwa wako
Mama Maria.

Itapendeza kama utaipata na hiyo picha.

Ukipenda naweza nikakuwekea hapa khabari za Mzee Mshume na Mwalimu Nyerere.
Urafiki na mapenzi yao kila nikahadithia katika mihadhara huwatoa watu wengi machozi.

Mzee Mshume hatajwi wala hajapewa medali.
Lakini alikuwa bega kwa bega na baba yako katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nyerere alikuwa hapungui nyumbani kwa Mzee Mshume Mtaa wa Tandamti karibu na Soko la Karakoo.

Uongozi wa Jiji wamebadilisha jina la Mtaa huu na kuuita Mshume Kiyate lakini wenye madaraka wamekataa
hadi leo kubadili kibao.

Mshume Kiyate ndiye aliyemvisha Nyerere kilemba baada ya kurudi madarakani kufuatia maasi ya jeshi
tarehe 20 Januari 1964.

Ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara Jangwani.

Ingawa leo khabari hizi kwenu ni ngano lakini watu hawa ndiyo walopigania uhuru na Mwalimu Nyerere.

Mimi nimewarudisha katika historia na khabari zao leo zinafahamika na ni mashuhuri kote.
 
Nitafurahi kuziona hizo picha na kama hilo gari liko Butiama itaeleweka vipi halikufahamika pale New Street.

Lakini nitakuomba urudi na picha ya Nyerere na Kiyate Mshumi.
Huyu alikuwa rafiki kipenzi cha Nyerere.

Hakuna picha yoyote alopiga Nyerere kati ya 1954 - 1961 ambayo Kiyate Mshumi hakuwa na Nyerere.
Kuna hisani kubwa baina yao.

Mzee Mshume alikuwa bingwa wa kucheza bao na ipo picha kapiga anacheza bao na bi mkubwa wako
Mama Maria.

Itapendeza kama utaipata na hiyo picha.

Ukipenda naweza nikakuwekea hapa khabari za Mzee Mshume na Mwalimu Nyerere.
Urafiki na mapenzi yao kila nikahadithia katika mihadhara huwatoa watu wengi machozi.

Mzee Mshume hatajwi wala hajapewa medali.
Lakini alikuwa bega kwa bega na baba yako katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mshume Kiyate ndiye aliyemvisha Nyerere kilemba baada ya kurudi madarakani kufuatia maasi ya jeshi
tarehe 20 Januari 1964.

Ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara Jangwani.

Ingawa leo khabari hizi kwenu ni ngano lakini watu hawa ndiyo walopigania uhuru na Mwalimu Nyerere.

Mimi nimewarudisha katika historia na khabari zao leo zinafahamika na ni mashuhuri kote.

Nitajitahidi kutafuta kwenye hifadhi za kumbukumbu,

Mshume Kiyate inafahamika wazi kuwa alikuwa rafiki wa karibu na mzee, nitajitahidi kupata picha zao pia.
 
dah sina hata la kusema maana nikiongea lazima nitapewa ban nina mengi sana ya kuzungumza nahisi yatawakera wengine ingawa ni ukweli mtupu, waswahili walisema ukweli huuma sasa sisi huwa hatuwezi kuukubali ukweli tutaishia kugombana tu hapa, ngoja nipite tu kama sijaona vile
 
Back
Top Bottom