Mkuu umetoa historia kwa ufupi na kwamtu yeyote msomi anapata picha bila hata kuambiwa kuwa Chifu huyu alihudumu vipi katika harakati za ukombozi, ndiomaana katika shukrani zangu nimesema wazi kuwa nashukuru kuona unamfahamu na umetoa historia yake kwa UFUPI.
Mpaka hapo natambua unafahamu zaidi wasifu wa chifu huyu, ama kwakuongeza maneno mawili ni kuwa alikuwa mfadhiri wa siasa za Mzee Nyerere (kiuchiumi).
Kuhusu swali la kwanini hayumo kwenye historia ya uhuru, nimelielekeza kwako likijenga nadharia ya kitabu chako kuwa wazee wako waliachwa kwa hila/ghiriba za Mwalimu.
Kaka yericko nyerere
Unatwanga maji katika kinu, wala kaka usione ajabu kwamba sikio la kufa hasikii dawa.
Kuna maswali mengi sana kaulizwa huyu kizee ya msingi anayakwepa na kuzuunguka anakupotezea muda wa uzalishaji kaka.
Kuhusu Ustadhi Ilunga
kaulizwa na wadau kwamba anakubaliana na ilunga na kama hakubaliani nini msimamo wake
Jibu lake huyu kibabu anasema yeye hana ilimu ya kulipa kisasi labda swali hilo waulizwe maulamaa kaluka babu kujibu swali kwasababu kulaani mafundisho ya Ilunga sawa na kulaani harakati zake yeye mwenyewe za kichochezi.
Kaulizwa kauli yake juu ya matendo ya akina Ponda na uamusho anasema yeye hayajui hayo ni bora wakaulizwe wao, lakini kauli ya baba wa taifa anaijadili huo ndio umbeya wa babu yenu huyu kizee MS.
Kuhusu Mou
kaulizwa na wadau baada ya kikwete kueleza ni haki ya kila taasisi na ruksa kwa waislamu kuunda na kuipeleka ikulu je anaweza kuibadili kauli yake na kuwaomba radhi watanzania kwa kusema uwongo na kuwachochea watanzania wakati sio kweli kuwa ya wakristu tu pee.
Jibu lake amekaa kimya kwa aibu maana hana cha kueleza watanzania.
Kaulizwa je baada ya kukaribishwa ikulu wapeleke MOU yao wamefikia wapi na wapo hatua gani
Jibu lake, Amekaa kimya kwa aibu maana mpaka sasa analalamika tu wala elimu yake haijamsaidia kuwapeleka wenzie ikulu wapate MOU ya waislam, kifupi ni mlalamishi mithili ya kichaa, kapewa fursa kuitumia kashindwa anabakia kutwa nzima usiku kucha akipiga kelele mapepe hapa jukwaani.
kaulizwa hapo juu na mdau kwanini somalia haijasonga mbele wakati ni serikali ya waislamu wote, kaka babu yetu hana majibu kwa aibu amemjibu mdau yasomalia hayamhusu, yeye yanamhusu ya Nyerere tu, sijui ni mwanahistoria gani anayejifunza ya mtu mmoja tu kama vile waligombania mwanamke katika pitapita zao, hapa tena kaka hana majibu anazunguuka tu.
Ameulizwa na mdau mwingine
kapuya na kawambwa wote ni waislam na wamekuwa mawaziri wa elimu mbona wao hawaja vumbua ya kigoma malima au na wao ni mfumo kristo au malima ni mojawapo ya wachochezi kama yeye kwanini iwe ni yeye tu hawa wengine wasione hizo hujuma kama kawaida kibabu kabunda kimya hana majibu.
Ameulizwa na mdau mwigine pia
Salimu Ahmed Salim na kawawa walishakuwa mawaziri wakuu wa nyerere na wao walishiriki kuwahujumu waislamu au kwanini katika malalamiko yake kwa nyerere hawa hawahusiki au ndiyo chuki kwa Kambarage kama kawaida hana majibu kaamua kukaa kimya.
Kaulizwa aliwahi kumhoji Kambarage nakama hakufanya kunahaki gani ya ukamilifu wa maandishi yake, kibabu anazuga tu hana majibu ya maana.
Kaulizwa tena yeye ameandika historia ya babu zake waislam na kuiita ya watanzania je hao wasio waislam na sio babu zake sio watanzania na historia haiwahusu, kama kawaida babu kaishia kupiga chenga.
Kaulizwa kama mwalimu hakuwapenda waislam kwanini alitaifisha mashule ya taasisi za dini na asilimia kubwa ni za wakristo ili na waislam wapate elimu, hapa napo kibabu said kaishia kujiumauma tu na kukimbia.
Kaulizwa na wadau, yeye mohamed kafanya nini kuwasaidia wailsmu kujikwamua, hana alilofanya kakaa kimya wala hajajibu labda kwa kupiga ulali hapa jukwaani.
kaulizwa Nyerere ameacha madaraka miaaka 25 iliyopita je Nin mchango wa viongozi wa kiislamu kikwete na mwinyi kuwasaidia waislamu ili kuonesha ubora wao dhidi ya nyerere kuzingatia miaka ya mwinyi na kikwete kwa ujumla ni kama 17 nini kinawatofautisha na kambarage kuwatumikia waislam kama kawaida swali hili ni mwiba mkali kwa mohamedi kalikimbia
kaulizwa zanziba inaviongozi waislam wote mbona hajapiga hatua yoyote, Mohamedi kaishia kupiga soga na kuingia mitini
Kaulizwa na wadau nini chanzo cha migogoro na matatizo ya nchi kama kongo drc, malia syria na nyingi zingine je ni mfumo kristo, mzee said mohamed hana jibu kajifanya hili swali hajaliona.
kaulizwa kama waislamu ndiyo waliopigania uhuru je majube na maliwali walotumiwa na wakoloni kuishabulia sehem ya bara ya tanganyika nao anawatazamaje kwenye historia yake walipinga uhuru au waliuhujum harakati za kupigania uhuru kama waislam, Said mzee hana majibu kabisa kala misele
Kaka nyerere huyu mzee umempa changamoto za kutosha pamoja na wadau wengine kama Ngruvi3, Joka kuu, sweke, nawengineo.
Anajifanya kuchangia na kukosoa hawajamaa wakiondoka jukwaan nayeye anajitutumua kwa kuchagua maswali dhaifu, amebaki kuvizia yeye na wajukuu, watoto na ndugu zake kuvizia upepo wa maada wakiona pametulia ndo wanakuhemea brother. hata hivyo umewachachafya sana tena wengine hawana hoja ni pumba tu kumpigia makofi mjomba mohamedi kwa kaudin wala hawana jipya.
Ushauli kwako.
Hii hoja kaka yeriko achana nayo umewapa elimu ya kutosha tu, wala kaka hawatakusahau watakubeza sana lakini tumesoma nakujuwa walivowachochezi tena wauwaji kabisa.
Sasa kaka kapunzike usichangie tena ili upate mda wa kutafuta mkate, hawa wao hawana kazi hapa wapo kijiweni tena na mabirika ya kahawa pembeni utaendela kubishana na watu wasio na hoja wala pointi miezi yote maana wao wanalipwa na magaidi kwa kushinda jukwaani wanachochea na jion kupokea vijisenti.
Ukiachana nao hawawezi kuendeleza makombo na pumba zao, nao wataishia wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
Kaka achana na vichaa umeshawapa shule yakutosha kama ulivoona maswali yote hayo hapo juu hayana majibu manakengeuka kama kenge na vinyonga.
Umetuaisaidia sana kaka kutuonesha magaidi ndani ya Tanzania.
Yeriko ili
na wewe usiwe kichaa kuanzia sasa achana na huu uzi maana unalumbana na vichaa. Kazi yako imekamilika wenye akili kaka wameshaujuwa ukweli. Mimi naenda kwenye jokes maana uniwezesha kuwatambuwa magaidi inatosha.