Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
kama mwalimu Nyerere kashindwa kuweka maslahi ya taifa kaweka mbele ya kanisa. sioni sababu ya mohammed said kuweka maslahi ya tzButiama haiko North Kivu, Nampula, Sofala au Transkei!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mwalimu Nyerere kashindwa kuweka maslahi ya taifa kaweka mbele ya kanisa. sioni sababu ya mohammed said kuweka maslahi ya tzButiama haiko North Kivu, Nampula, Sofala au Transkei!
Hapa anatakiwa Sheikh aingie Bungeni kama alivyo Mchungaji Msigwa. Tena sheikh awe mtu wa mbali kabisa na mfumokristo na BAKWATA.SWALI KWA KAKA MOHAMMED SAID. Hivi unaamini kama haya yanayofanyika kwa waislam kupitia NECTA, yangalifanyika kwa wakiristo baraza la mitihani hadi leo mabadiliko makubwa yasingefanyika? Kwanini wabunge waislam bungeni wanakuwa woga kuzungumzia jamii ya kiislam tofauti na wakiristo kama vile Peter msigwa?
Nami ningependa kuwatahadharisha na kuwaomba sana WATANZANIA wenzangu kwamba unapoandika suala lolote ambalo ni la KITAIFA weka DINI na KABILA pembeni kabisa. Vinginevyo tutaulizana maswali ambayo yatakuwa magumu kuyajibu kwa mfano: Iweje watu kutoka Mozambique, South Africa au Mashariki ya Congo wawe na uchungu wa kuusaka uhuru wa TANGANYIKA kuliko WaTanganyika wenyewe? Hiyo nayo ni historia pia.
Kanisa hilohilo akalinyang'anya shule zake tena bila fidia!kama mwalimu Nyerere kashindwa kuweka maslahi ya taifa kaweka mbele ya kanisa. sioni sababu ya mohammed said kuweka maslahi ya tz
Wajerumani ni waDINI sana wale. Kleist alisoma na kuajiriwa vipi kule? Au wanae ndio waliouvaa Uislam ili wawapate mabinti wazuri wa Kimanyema?Mbona jibu jepesi sana.
Hawa waliokuja kufanya mabadiliko katika jamii walikuwa kizazi cha
kwanza kuzaliwa Tanganyika.
Hawakupata kuijua nchi nyingine ila hii.
Mmojawapo ni babu yangu Salum Abdallah Mwekapopo Muyukwa
Samitungo.
Kitu kilichowafanya wao kuwa juu ni ile elimu waliyopata kutoka kwenye
shule za Wajerumani.
Kingine kuwa Wajerumani wakiwaenzi sana askari wake kwa hiyo ''social
standing'' ya wazee wetu ilikuwa juu kuliko mtu wa kawaida.
Mfano Kleist akizungumza Kijerumani na Kiingereza kaijua kupiga taipu na
kutuma ''morse signal'' akijua kuweka vitabu vya hesabu na matumizi ya
silaha mbalimbali.
Yote haya kafundishwa katika shule na jeshini.
Babu yangu Tabora Isevya alikuwa Mwafrika wa kwanza nyumba yake
kuwa na umeme, simu na bomba la maji.
Vitu kama hivi ndivyo vilivyowatambulisha katika jamii.
Hakika hii ni historia pia.
kwani hawajui hao? Ndio maana maaskofu wanapiga kelele wanaompinga wanaompinga nyerere
ndio maana pakiwa na waislam ukisema nyerere utasikia mungu amlaani (laanatullah
Acha kudandia dandia. Haya maswali tunayomuuliza MS ni yeye ndiye anayeweza kujibu kwa ufasaha na busara ya kiutu-uzima. Nyie mashabiki wake mnadandia dandia na mwishowe hata point za MS na zenyewe zinaonekana za hovyo. kaa kimya, ipo siku na wewe tutakutafutia maswali ambayo ni saizi yako.
Mohamed,Kisa cha kuvunjika EAMWS ni kirefu sana kwa hapa sitokitendea haki
Lakini kwenye kitabu changu nimekieleza chote pamoja na wahusika
wakuu nimewataja kwa majina yao.
Kuwa kwa nini huko kwengine nako chama kikafa sababu sijui.
Ila sababu ya hapa kupigwa marufuku ni kuwa EAMWS ilikuwa
inataka kujenga chuo kikuu.
Hii ikatia hofu Kanisa Katoliki na Nyerere ikabidi afanye kila juhudi
EAMWS ipigwe marufuku.
Source ya hiyo info. ya sensa ni Islam and Politics cha August Nimitz
unaweza kupata thesis yake Maktaba ya Chuo Kikuu.
Nitajaribu Insha Allah kuangalia kitabu nikupe na ukurasa ninacho katika
''archives'' yangu.
Nacheka peke yangu.
Kwanini mnaamini kuwa ninazo taarifa hizo wakati nikikuwekeeni
habari za wazee wangu mnaita porojo?
Nyerere alikuwa Mkatoliki alieijenga tz kwa misingi ya kikatolikiAcha kudandia dandia. Haya maswali tunayomuuliza MS ni yeye ndiye anayeweza kujibu kwa ufasaha na busara ya kiutu-uzima. Nyie mashabiki wake mnadandia dandia na mwishowe hata point za MS na zenyewe zinaonekana za hovyo. kaa kimya, ipo siku na wewe tutakutafutia maswali ambayo ni saizi yako.
Katika maelezo yangu huko nyuma nilisema wazi kuwa, kujua habari ni hatua moja, na kuamini habari hizo ni hatua nyingine.
Sisi tumekuomba utujuze, kazi ya kuamini tuachie wenyewe!