Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Si kweli!
Waswahili tukisema muasisi au katika lafidhi nyingine mwasisi tunamaanisha kuwa ni; mtu mwenye kuliwekea msingi jambo(i.e mwanzilishi).

Mfano, kama wewe utajenga msingi wa nyumba halafu ikatokea sababu yoyote ile na kuiacha halafu baadaye mimi nikaja kuijenga ile nyumba kutokea pale wewe ulipouacha msingi, basi wewe utakuwa ni MWASISI wa ile nyumba na mimi ninakuwa ni MJENZI (au mjengaji) wa nyumba ile.

Tumeona maneno ya nyerere katika kuwaaga wazee wa Dar ,hotuba inatufahamisha waziwazi kuwa NYERERE SI MUASISI WA TANU.

Umefeli tena unapotuambia katika "dhana ya kisiasa"! lau kama ungekuwa ukijua maana ya neno dhana basi usingejaribu hata "kutafsiri"

*Umeitoa wapi tafsiri ya neno Muasisi uliyotuletea hapa jamvini?
asiwe muasisi kwenye kuchukua kadi apewe no.1
inakuja akilini kwako?
 
Niliwaona kwa macho yangu na si kuhadithiwa. Vumbi linamdhuru maiti au waagaji? Fikiri kidogo. Nimefunga mjadala huu wa maiti ya nyerere sito kujibu wewe wala mwingine kwa hili tuendelee na mjadala wa jinsi Nyerere alivyokaribishwa na kuwekwa kwa kina Sykes mtaa wa Stanley, ulikuwa unalijuwa hilo kabla ya kumsoma Mohamed Said? kama jibu lako ni ndiyo haya tuelezee kwa upande wako ulichokijuwa. Na kama jibu lako ni siyo, basi umefaidika na maandiko ya Mohamed Said na msome vizuri ujuwe nchi hii ilitokea wapi ili uelewe inakoelekea.

Kama umekosa la kuzungumza si unyamaze ndugu yangu?

Uongo wote huo unamnufaisha nani?
 
asiwe muasisi kwenye kuchukua kadi apewe no.1
inakuja akilini kwako?
Alishiriki katika kukijenga chama,alikiimarisha chama,alikuwepo mwanzoni mwa ujenzi wa chama.

Lakini mwasisi? "NO WAY"
 
Povu mimi au nyinyi mnaojisikia vibaya baada ya kuelewa historia ya nchi hii siyo kama mnavyotaka iwe. Kumbe hata TANU iliasisiwa na Waislaam.
RAIS wa KWANZA wa TANU alikuwa nani vile?
 
KichwaKigumu, imekuaje umeacha ile ID yako unayokeshanayo hapa kwa kujibu vioja?

Watu tuliojaliwa kusoma between the line tunajua wewe ni nani. Yaani unajitekenya alafu unacheka mwenyewe.

Acha hizo mkuu watu tumeshakushitukia. Jibu hoja za Nguruvi3 na Mag3.
 
Hana uwezo wakujibu, labda ukimwambia ashabikie tu
 
Alishiriki katika kukijenga chama,alikiimarisha chama,alikuwepo mwanzoni mwa ujenzi wa chama.

Lakini mwasisi? "NO WAY"
Ni kweli Sideeq. Mwalimu alikua MUASISI na Rais wa KWANZA wa TANU sio MWASISI.
 
KichwaKigumu, imekuaje umeacha ile ID yako unayokeshanayo hapa kwa kujibu vioja?

Watu tuliojaliwa kusoma between the line tunajua wewe ni nani. Yaani unajitekenya alafu unacheka mwenyewe.

Acha hizo mkuu watu tumeshakushitukia. Jibu hoja za Nguruvi3 na Mag3.

eti eeeh!
 
sasa mkuu hapa unanithibitishia rasmi kuwa kitabu cha mohamed said hujakisoma bali umekkuwa shabiki wake tu kupitia hapa jf huku ukiongozwa na itikadi ya kidini!

Kwa aliyekisoma hangejibu hivyo mkuu!

Kitafute usome au muombe mohamed akupe ukisome mkuu,

niseme tu wazi wazi ya kwamba nakushukuru wewe kama yericko,kwa kuleta mjadala huu,kwani nilikuwa sijakisoma hiko kitabu,ila kama unabisha muulze hata ndugu yangu moh said,nilimuomba anisaidie jins ya kukipata hicho kitabu na akanielekeza na bei yake ni ya kawaida sana tshs 13,000/=,,NIMEKINUNUA HAPO TANZANIA PUBLISHING HOUSE,PIA KIPO KITABU KINGINE CHENYE MAELEZO YA KINA NA YA KUTOSHA YA KUWEZA KUKUFUNGUA AKILI YAKO,KWA MAELEKEZO YAKE NDUGU MOH SAID KINAITWA "KWAHERI UHURU,KWAHERI UKOLONI',KILICHOANDIKWA NA HARITH GHASSANY,KINAHUSU MAPINDUZ YA ZANZIBAR,NIMENUNUA TSHS 45,000/=,TP.,NAKUSHAURI NAWEWE UFUATILIE NA USIKALIE UBUBUSA,HAITAKUSAIDIA HATA KIDOGO.

nimekisoma,na bado ninakisoma sana,.
Nikushukuru kwa hilo,japo sijaona mchango wako wa upande huo wa pili katika kumpinga ndugu moh said zaid ya kumkejeli.

Pia hili swali mbona unalikwepa?
julius kambarage nyerere ni nani yako??

julius kambarage nyerere ni nani yako?
 
Unajua maana ya muasisi/waasisi?

Katafute kamusi

Naona umefaidika na darsa la humu, sasa unajuwa kuandika muasisi na si kama ulivyokuwa ukiandika mwanzoni. Nna uhakika umefaidika vilevile kufahamu kuwa Abdulwahid Sykes alimuweka nyerere nyumbani kwake.
 
Hakika namshukuru Mungu Rais wa kwanza wa nchi hii kuwa Mwal.nyerere! Kama ingekuwa Rais wa kwanza angetokea mitaa ya
gerezani kariakoo basi ninauhakika nchi hii isingetawalika na wanachi wote tungesilimishwa dini zetu kwalazima.
 
niseme tu wazi wazi ya kwamba nakushukuru wewe kama yericko,kwa kuleta mjadala huu,kwani nilikuwa sijakisoma hiko kitabu,ila kama unabisha muulze hata ndugu yangu moh said,nilimuomba anisaidie jins ya kukipata hicho kitabu na akanielekeza na bei yake ni ya kawaida sana tshs 13,000/=,,NIMEKINUNUA HAPO TANZANIA PUBLISHING HOUSE,PIA KIPO KITABU KINGINE CHENYE MAELEZO YA KINA NA YA KUTOSHA YA KUWEZA KUKUFUNGUA AKILI YAKO,KWA MAELEKEZO YAKE NDUGU MOH SAID KINAITWA "KWAHERI UHURU,KWAHERI UKOLONI',KILICHOANDIKWA NA HARITH GHASSANY,KINAHUSU MAPINDUZ YA ZANZIBAR,NIMENUNUA TSHS 45,000/=,TP.,NAKUSHAURI NAWEWE UFUATILIE NA USIKALIE UBUBUSA,HAITAKUSAIDIA HATA KIDOGO.

nimekisoma,na bado ninakisoma sana,.
Nikushukuru kwa hilo,japo sijaona mchango wako wa upande huo wa pili katika kumpinga ndugu moh said zaid ya kumkejeli.

Pia hili swali mbona unalikwepa?
julius kambarage nyerere ni nani yako??

julius kambarage nyerere ni nani yako?

Nashukuru kwa kukili kuwa kabla ya mnakasha huu ulikuwa hujakisoma, naaam sasa umekipata na unakisoma!

Bila shaka hujaona jipya katika hoja yangu hii fupi yakumpinga Mohamed Said kwakuwa bado hujakimaliza kukisoma kitabu hicho!
 
Back
Top Bottom