Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mods wasipokuwa makini watawapiga ban watu wengi sana kuhusu huyu Yericko.

Yeye mwenyewe anasema Nyerere ni baba yake anaenda mbali zaidi na kusema akienda likizo Butiama ataleta ushahidi wa picha za Mariale.

Watu wakimuuliza wewe ni mtoto wa ngapi wa Julius Kambarage hataki kusema mama yako ni Mama Maria hataki kusema.

Mtoto mkubwa wa Julius Kambarage, Andew Nyerere kasema wazi hamjui Yericko basi na yeye apigwe ban.
Ritz, Nyerere ni jina la ukoo kwa hiyo sio lazima Yericko awe mtoto wa Julias Kambarage Nyerere, na sio kweli kwamba Andrew Nyerere anawafahamu akina Nyerere wote! Kwa hiyo sioni sababu ya watu kuendelea kung'ang'ania hoja hiyo! Yericko Nyerere ni 'verified user name' hapa JF, tuliheshimu hilo.
 
Nakushukuru mkuu kwakuwafunda hawa ndugu zetu
 
Ninakushauri urudi nyuma na usome kwakutulia sheria za jf hasa kuwa verified user, ukijua hilo hutapoteza mda wako hapa kwa kuhoji mimi ni nani ilihali macho yako ya nyama yanaona.
Nina doubt kama macho yake yana nyama. Ukishaanza kuweka avatar za wafu matokeo yake unaona kama mfu. Tumsamehe tu ndugu yatu DULLAH MSAVIVOR
 
Unajua kuna mengi yanastahajabisha kuhusu hii BAKWATA kwani mimi miaka mwinzoni mwa 80's nikiwa kiongozi wa Serikali kulikuwa unapewa utaratibu maalum wa KUSWALI na viongozi wa Bakwata wakt wa sikukuu kubwa kubwa za Kiislam kama Eid. Ingawa mara nyingi zilikuwa zinanikuta niko Likizo Znz lakin pindi kazini ulilazimishwa.

suala la kujiuliza kunani na nchi haina dini?

Kwanini viongozi wa Bakwata mchukulie Mufti kwanini hawezi kuswali misikiti yote isipokuwa ile tu ya Bakwata?
Kwani na wewe ni Mtanzania?
 
Ritz, Nyerere ni jina la ukoo kwa hiyo sio lazima Yericko awe mtoto wa Julias Kambarage Nyerere, na sio kweli kwamba Andrew Nyerere anawafahamu akina Nyerere wote! Kwa hiyo sioni sababu ya watu kuendelea kung'ang'ania hoja hiyo! Yericko Nyerere ni 'verified user name' hapa JF, tuliheshimu hilo.

Gwalihenzi,

Wewe upo humu toka mwanzo wa huu uzi huyu jamaa yako anajinasibisha na famila ya Kambarage Nyerere...unajifanya ulikuwa uoni.

Yeye mwenyewe anasema kuna ushahidi mwingine atauleta akienda nyumbani Butiama na ataongea na Mama Maria.
 
Last edited by a moderator:

kwani mtu yeyote akitaka hawezi kwenda butiama na kuongea na mama maria?
 
Ndugu zanguni,

Mbona tunautia mnakasha katika reli?
Tusibishane kwa mambo haya madogo.

What in a name?

Sawa ndugu yangu,,
Ila tulikua tunafikiria kama vile ulivojipambanua wewe,basi na huyu angetuweka wazi pia.
Nakushukuru sana kwa Darsa hili..
 
Wewe inaonesha hata historia yako na mababu zako huijui kabisa,

umesahau hizo hospitals wale agents of colonialisms i.e MISSIONARRIES,walijenga kwa ajenda ipi??

hizo shule pia unajua kipindi babu zako wamefanya watumwa zilijengwa kwa mantiki ipi?

au unajitoa ufaham,au huijui historia?hospitals zilijengwa kwa lengo kubwa la kujitibia wao wenyewe,machifu na wanafamilia wa machifu,kuwatibu watumwa wao pindi pale wanapopatwa na maradhi ili wazid kuwazalishia zaid kwa nguvu kazi zao,,

hizo shule babu zako wala hawakuwa walengwa,walilengwa watawala wao wam kizungu ambao ni kama clerks na supervisors wa colonial govements,middle class people like asians,na baadhi ya weusi ambao wangetumika katika kuwasimamia wao interests zao,
so usijitie kimbele mbele na kujihashua na kujiona wa maana eti walikujengea wewe shule na hospitals,wewe nani na wanufaike na nini kutoka kwako??

pia kama hujui,uislam kama dinni tokea mwanzo inakemea biashara ya utumwa tena kwa wazi wazi,wewe endelea kuzubaa zubaa na PISHI LAKO LA UJINGA..[/QUOTE

Kisu kimekuingiaeee! Na bado!....sasa kama hayo yote mnayajua kwanini mnalialia kwa kuimba kuna mfumo kristo?
By they way umeleta majibu mepesi kwenye maswali magumu. Naomba unisome tena
 
kwani mtu yeyote akitaka hawezi kwenda butiama na kuongea na mama maria?

Siyo kuongea tu kwenda kuleta ushahidi wa baba alivyopewa gari la kwanza na Mariale na picha zingine.
 
Nyinyi wafia dini wa Gerezani, naomba mujibu post namba 4555. Hiyo post ni ya muhimu sana kwenu.
 
Hakuna mtu anayekuingilia kwenye jina lako tatizo unapojinasibisha na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama baba yako mzazi. Watu ndiyo wanahoji ni kweli ni hayo tu.

Ritz,

Yericko mie ni rafiki yangu na siwezi kukaa pembeni akishambuliwa.
Huenda Julius Nyerere ni baba yake wa ubatizo.

Hapana haja ya kumzonga sana kwa hilo.
Mradi yeye mwenyewe kasema huyo ni baba yake basi inatosha.
 
MoU ya makanisa na Ujerumani chini ya ushahidi wa serikali ya Tz unaifahamu? Na ndio njia iliyopitia ambamo nanyi mnapita?

Matunda ya MoU baina ya kanisa na serekali ni kuboresha elimu, afya na mas-ala mengine ya kijamii.

Waislam wa Tanzania tunaomba kujiunga OIC ili na sisi tuboreshe elimu, ayfa na asasi zengine za kijamii.

Hapo kaka yangu ndo tulipokwama. Je unaweza kutusaidia?
 
WILCARD,,
usitutoe nje ya mstari,tulimalize hili tuendelee na mjadala,
hoja hapa sio hili jina huko mara linatumiwa kama "NYERRE au NYERERE',,na tunajua sote hapa tupo katika kuitafakari kwa kina historia hii,
hoja hapa ni kwamba nyerere huyu ni nyerere yupi??
na iweje aamue kujiverify na jina ambalo halina usiano nae?
na kama hana uhusiano na jina hili kama alivyosema mwanafamilia ANDREW NYERERE,je haoni sasa ni wakti wa kusema yeye ni nani?

na MODS hawaoni sasa ni vema kuliondoa jina hili katika kuwa verified kwa kuwa linaleta mkanganyiko??
Nisalimie The Big Show naona mnafanana kwelikweli...mwambie baada ya kupigwa Ban yeye, sasa tumepata pacha wake
anaeitwa DULLAH MSAVIVOR
 
Ritz

YN angekua ananasabu na familia ya Mwalimu, tungeona evidence lukuki. Hiyo picha ya gari, si lazima aende yeye mwenyewe physically kwenda kuichukua. Kama angekua ni mtu wa Nyumbani, angeagizisha hizo picha na angekua keshaziweka hapa jamvini. Kashindwa vipi kuwaagiza ndugu zake waliopo Butiama?

Me naamini YN ni Nyerere lakini sio from the blood fountain of "The Nyerere"
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Yericko mie ni rafiki yangu na siwezi kukaa pembeni akishambuliwa.
Huenda Julius Nyerere ni baba yake wa ubatizo.

Hapana haja ya kumzonga sana kwa hilo.
Mradi yeye mwenyewe kasema huyo ni baba yake basi inatosha.

Nimekuelewa Mohamed Said nilikuwa naanza kuzitafuta post zake alizokuwa anajinasibisha na Kambarage kama unakumbuka kuna post moja nilimuuliza baba yako kabla ajafariki alikuwambia rafiki yake alikuwa nani akanijibu alimwambia alikuwa Mshume Kyate. Basi nimeachana nalo ili suala.
 
Ritz,

Yericko mie ni rafiki yangu na siwezi kukaa pembeni akishambuliwa.
Huenda Julius Nyerere ni baba yake wa ubatizo.

Hapana haja ya kumzonga sana kwa hilo.
Mradi yeye mwenyewe kasema huyo ni baba yake basi inatosha.

Sawa,
Yawezekana ni babake wa UBATIZO kweli,
Nimepata picha sasa..
 
Ritz

YN angekua ananasabu na familia ya Mwalimu, tungeona evidence lukuki. Hiyo picha ya gari, si lazima aende yeye mwenyewe physically kwenda kuichukua. Kama angekua ni mtu wa Nyumbani, angeagizisha hizo picha na angekua keshaziweka hapa jamvini. Kashindwa vipi kuwaagiza ndugu zake waliopo Butiama?

Me naamini YN ni Nyerere lakini sio from the blood fountain of "The Nyerere"

kichwakigumu,

Basi inatosha Mohamed Said kasema hakuna haja ya kuminyana na jina.

Yeye ni mtoto wa Nyerere mwingine sio Mwalimu Kambarage.

Tuendelee na munakasha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom