Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jumamosi tarehe 12 Oktoba, mwaka 1968 Mama Maria Nyerere alizimia aliposikia habari za msiba wa Abdulwahid Sykes kwa kukumbuka fadhira zake alizowafanyia walipokuwa wanakaa kwake yeye na mume wake Nyerere.

Halafu kuna jamaa humu anasema alikuwa anafuatilia sana siasa mpaka za Marekani mwaka 1961 lakini hawa wazee tumewasikia leo.

Sasa sijuhi huyo jamaa na Mama Maria tumuamini nani.

Ritz,

Nyerere alikuwa na dada yake anaitwa Sophia.
Bi. Sophia na mumewe walikuwa wakimpenda sana Bwana Abdu.

Abdu akiwafanyia party hadi watoto wao.
Huyu mama ni marehemu sasa.

Yericko atamjua maana ni shangazi lake.

Unajua the ''Tanu spirit ...'' wazee wanasema mpaka uwe umieshi
zama zile ndiyo utaijua.

Mtu anatoa chumba cha mbele nyumbani kwake kuwa ofisi ya TANU.
Hadai kodi.

Chamwenyewe anapanda baiskeli kutoka Dar es Salaam hadi Rufiji
njia nzima anawakatisha watu kadi za TANU.

Akifika Dar es Salaam anamtafuta Idd Faiz kumkabidhi hela za kadi
na yeye wala hachukui hata masurufu kwa ajili ya kujikimu.

Hawa ndugu zetu wanakejeli haya kwa kuwa hawayajui.

Hapana haja ya kuwalaumu sie tuwafahamishe tu wajue kuwa watu hawa walikuwepo
katika historia ya Tanganyika.

Rashidi Ali Meli alikuwa mhasibu wa Dar es Salaam Municipal Council.
Kachukua fedha za ofisi kampa Idd Faiz kutunisha mfuko wa safari ya Nyerere UNO.

Rashid Ali Meli alihudhuria ule mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo.
Baada ya kutoa zile fedha asubuhi wakaguzi wamemvamia kufanya ukaguzi...

Pazuri hapa....

Inaelekea makachero walinusa wakapeleka taarifa kwa Waingereza kuwa TANU
wamechota katika hazina ya serikali na Rashid Ali Meli ndiyo mbaya wao.

Huyu kachero katika TANU Wazungu watu kama hawa wanawaita ''mole.''

Huyu ''mole'' mzee wangu mmoja kanitajia alikuwa ndani kabisa katika uongozi
wa juu wa TANU.

Mbona nilitaka kuzimia?

Rashid Ali Meli akikaa Ilala.
Wazee walikesha wakimlilia Allah amnusuru Rashid Ali Meli...
Visomo kuanzia Isha hadi Salat Fajr.

Siku nilipompelekea kitabu cha Abdu Sykes (English Version) Mama Daisy (Mke
wa Abdu Sykes)alinambia, ''Nilikuwa nikimwambia baba yako Bwana Abdu taratibu
na mambo haya. Maana alikuwa na kabati lake la fedha. Yeye akiletewa taarifa kuwa
TANU ofisi kuna tatizo hili haulizi zaidi anaingia ndani anatoka na fedha anakabidhi
basi ilikwenda vile hadi ile biashara yake ya Petrol Station pale Ilala Boma ikafilisika.
Nazerali ndiyo akamkopesha fedha na dhamana akaweka ile nyumba yake ya Stanley.
Uhuru umepatikana baba yako anaambiwa si yeye aliyeasisi TANU...''

Kwa muda mama yangu akajiinamia...

''Ahsante mwanangu Mohamed leo watu watamsoma baba yako na watamjua Abdu
kafanya nini. Nilikutana na Maria baada ya miaka mingi sana pale Diamond Jubilee siku
Nyerere anaaga tulikukaanae wanawake wa Dar es Salaam. Maria akasimama akasema,
''Mimi nafika Dar es Salaam kanipokea Mama Daisy na mumewe marehemu Abdu Sykes...''

Mama Daisy anasema, ''Tulikuwa tukienda sokoni namwambia Maria jitande kanga kichwani
maana yeye hawezi kuvaa baibui namwambia huku kwetu wanawake hawatembei kichwa
wazi anacheka ananambia Mwamvua unataka kunifanya niwe Mswahili?''

Haya ndiyo yalikuwa maisha pale Stanley Street kwa Bwana Abdu au Kirk Street kwa Bi.
Mluguru pale kwenye ile nyumba ilipoingia hofu kuwa Nyerere kalishwa ''sumu.''

Yericko kakikumbuka kisa hiki.

Mie sikusema yote kwa maana kwa kweli Abdu na TANU nzima walipata pigo na mtihani
mkubwa kupambana na propaganda za Waingereza.

Hivi Abdu anaweza kumtilia rafiki yake kipenzi sumu...
Au nani, au nani, au Bi Mluguru nk. nk. nk.

Hawa watu wametoka mbali sana.

Sishangai kama anatoka mtu akasema yeye wazee wangu hakupata kuwasikia hata siku
moja wala mambo haya hayajui.

Na ni kweli hajapatapo kuwasikia.
Atawasikiaje?

Na sisi yeye peke yake wengi humu hawayajui haya ndiyo maana wanasema ''hadithi''
na ''ngano'' za Mohamed Said.

Laiti Nyerere angeliwaadhimisha wazee wangu dunia nzima ingewajua na kuwathamini.

Panatosha.
 
Asante sana Ritz, si unajua mimi sie mtoto wa Kipata na Narung'ombe! lakini vipi ujumbe na somo umelielewa?

Gwalihenzi,

Nasoma fikra zako wakati mwingine sijui kwa nini unapenda kuhamaki.
 
Last edited by a moderator:

Mohamed Said bado unabambika hadith za hear say humu-sasa mtaje huyo "mole" dunia imjue- i can bet my life hapa hakuna jibu-hizi "witch hunts" zilimsumbua sana Nyerere,na zilikuwa zina originate huko gerezani-yote sababu ya kunyanyanganyana matonge mdomoni
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said huyo dada wa Nyerere uliemtaja kwa jina la Sophia ambae umesema ni shangazi wa Yericko Nyerere alikua na jina moja tu au hilo Sophia ni la ubatizo?
'
Kama ni la ubatizo jina lake la nyumbani alikua anaitwa nani?
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Nyerere alikuwa na dada yake anaitwa Sophia.
Bi. Sophia na mumewe walikuwa wakimpenda sana Bwana Abdu.

Abdu akiwafanyia party hadi watoto wao.
Huyu mama ni marehemu sasa.

Yericko atamjua maana ni shangazi lake.

Unajua the ''Tanu spirit ...'' wazee wanasema mpaka uwe umieshi
zama zile ndiyo utaijua.

Mtu anatoa chumba cha mbele nyumbani kwake kuwa ofisi ya TANU.
Hadai kodi.

Chamwenyewe anapanda baiskeli kutoka Dar es Salaam hadi Rufiji
njia nzima anawakatisha watu kadi za TANU.

Akifika Dar es Salaam anamtafuta Idd Faiz kumkabidhi hela za kadi
na yeye wala hachukui hata masurufu kwa ajili ya kujikimu.

Hawa ndugu zetu wanakejeli haya kwa kuwa hawayajui.

Hapana haja ya kuwalaumu sie tuwafahamishe tu wajue kuwa watu hawa walikuwepo
katika historia ya Tanganyika.

Rashidi Ali Meli alikuwa mhasibu wa Dar es Salaam Municipal Council.
kachukua fedha za ofisi kampa Idd Faiz kutunisha mfuko wa safari ya Nyerere UNO.

Rashid Ali Meli alihudhuria ule mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo.
Baada ya kutoa zile fedha asubuhi wakaguzi wamemvamia kufanya ukaguzi...

Pazuri hapa....

Inaelekea makachero walinusa wakapeleka taarifa kwa Waingereza kuwa TANU
wamechota katika hazina ya serikali na Rashid Ali Meli ndiyo mbaya wao.

Huyu kachero katika TANU Wazungu watu kama hawa wanawaita ''mole.''

Huyu ''mole'' mzee wangu mmoja kanitajia alikuwa ndani kabisa katika uongozi
wa juu wa TANU.

Mbona nilitaka kuzimia?

Rashid Ali Meli akikaa Ilala.
Wazee walikesha wakimlilia Allah amnusuru Rashid Ali Meli...

Siku nilipompelekea kitabu cha Abdu Sykes (English Version) Mama Daisy (Mke
wa Abdu Sykes)alinambia, ''Nilikuwa nikimwambia baba yako Bwana Abdu taratibu
na mambo haya. Maana alikuwa na kabati lake la fedha. Yeye akiletewa taarifa kuwa
TANU ofisi kuna tatizo hili haulizi zaidi anaingia ndani anatoka na fedha anakabidhi
basi ilikwenda vile hadi ile biashara yake ya Petrol Station pale Ilala Boma ikafilisika.
Nazerali ndiyo akamkopesha fedha na dhamana akaweka ile nyumba yake ya Stanley.
Uhuru umepatikana baba yako anaambiwa si yeye aliyeasisi TANU...''

Kwa muda mama yangu akajiinamia...

''Ahsante mwanangu Mohamed leo watu watamsoma baba yako na watamjua Abdu
kafanya nini. Nilikutana na Maria baada ya miaka mingi sana pale Diamond Jubilee siku
Nyerere anaaga tulikukaanae wanawake wa Dar es Salaam. Maria akasimama akasema,
''Mimi nafika Dar es Salaam kanipokea Mama Daisy na mumewe marehemu Abdu Sykes...''

Sishangai kama anatoka mtu akasema yeyy wazee wangu hakupata kuwasikia.
Atawasikiaje?

Na sisi yeye peke yake wengi humu hawayajui haya ndiyo maana wanasema ''hadithi''
na ''ngano'' za Mohamed Said.

Laiti Nyerere angeliwaadhimisha wazee wangu dunia nzima ingewajua na kuwathamini.

Panatosha.

Mohamed Said,

Imepita wiki kama mbili nilikwenda kwenye msiba wa mtoto wa kike wa Idd Tosiri pale Kisutu nyumba yao mpaka leo ipo pale mtaa wa Congo karibia na jengo la S.H AMON.

Leo anazuka mtu anaakuambia hawa wazee walikuwa hawapo ni uzushi.

Tuzidi kuwaombea dua hawa wazee wetu wa Uswahilini.
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Ericka Fiah alikuwa Mwafrika wa kwanza kuwa na gazeti.

Alikuwa mpinzani mkubwa wa Kleist katika uongozi wa African
Association.

Akiwashughulisha sana Mzee bin Sudi na Kleist kiasi 1933 Kleist
alijiuzulu ukatibu kumpisha Fiah.

Asili yake ni Mganda aliingia Tanganyika na majeshi ya Waingereza
katika Vita Kuu ya Kwanza.

Mwaka 1948 Fiah na Abdu Sykes majina yao yalikuwa juu katika orodha ya Waingereza
kumtafuta Secretary General wa Dockworkers Union.

Waingereza wakamteua Abdu Sykes...

Insha Allah nitabandika habari za Fiah wanajamvi wazione siasa za Dar es Salaam
za 1930 - 1940s.

Mzee wangu Mohamed, Mungu akupe nguvu, ili tuweze kujua hii historia, hata japo kwa uchache.
Kuna watu nawashangaa sana humu jamvini, labda wana 'soft brain'. Hivi jamani, kama sehemu kubwa ya uhuru wa Tanganyika imepiganiwa Dar es Salaam, ni kwa nini wazee wa DSM, hawazungumziwi kwenye hiyo historia?
Lazima tukubali kwamba kuna mapungufu kwenye, historia yetu, hii haitatufanya tubadilike, ila tutaweka kumbukumbu sawa...
 
Wapumbavu mko wengi! yaani kwa upumbavu wako unadhani kila ambaye hakubaliani na mzee wako Mohamedi basi ni mkristo! Mwenyewe Mohamed Saidi anafahamu fika kwamba mie sio mkristo - kwa taarifa yako mie ni "adent ATHEIST". Ulivyo lijinga unajisikia sifa kujiita Boko haram bila kujua hata maana yake.

Mbona povu linakutoka hivyo mimi najua dawa siku zote ni chungu mimi sijakuuliza dini yako mimi nimekwambia uje uchunguze kilicho mmaliza askofu Laizer kwani wahasibu wote ni wakiristo pia si wako waislamu ficha upumbavu wako!kuhusu boko haramu bora mimi sielewi maana yake kuliko wewe kwenye avator yako unadhalilisha mama zetu,kawaulize wasomo wa kiiala kuna mtu anaitwa ABUU JAHAL(BABA WA WAJINGA) katafute historia yake halafu ujiangalie na wewe
 
wewe sweke 34 itabidi tukutafute upelekwe mirembe kwasababu you are so ignorant mzee Mohamed said amesha sema aliandika kitabu kinachoitwa AFRICA EVENTS na Nyerere alikuwepo kwani kulikuwa na ulazima gani mzee akamuhoji Nyerere? wakati hicho kitabu kikitoka Nyerere alikuwepo
AFRICA EVENTS hakikuwa kitabu, lilikuwa gazeti. Wewe unashabikia hata vitu usivyo vijua!
 
Mzee wangu Mohamed, Mungu akupe nguvu, ili tuweze kujua hii historia, hata japo kwa uchache.
Kuna watu nawashangaa sana humu jamvini, labda wana 'soft brain'. Hivi jamani, kama sehemu kubwa ya uhuru wa Tanganyika imepiganiwa Dar es Salaam, ni kwa nini wazee wa DSM, hawazungumziwi kwenye hiyo historia?
Lazima tukubali kwamba kuna mapungufu kwenye, historia yetu, hii haitatufanya tubadilike, ila tutaweka kumbukumbu sawa...

MD25,

Amin Amin Amin.

Msome Fiah kama nilivyomweleza katka ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...''

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Erika Fiah
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Deputy Labour Commissioner M.J. Molohan was a heavily built man who used to ride a bicycle to his office, uncommon in those days for a British colonial officer. Molohan began to scout for possible candidates for the post of General Secretary of the Dockworkers' Union which was to be formed the following year. Assisting him in this assignment was Islam Barakat, an Afro-Arab ex-serviceman and the first African Labour Inspector. Barakat suggested two names to Molohan as possible candidates. One was that of young Abdulwahid and the other one was of Erika Fiah, who was fifity-three years old. Coming to Tanganyika with the British forces from Uganda during World War I, Fiah was the first African to establish and own a newspaper in colonial Tanganyika. He made Tanganyika his home and settled at Mission Quarter from where he lived and edited his paper, Kwetu.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Like all politicians of his time, Fiah was a Pan-Africanist first and a nationalist second. Fiah was also one of the earliest Marxists in Tanganyika and his paper Kwetu came to be popular because of its strong anti-colonial sting. Fiah was an African politician well ahead of his time. In the 1930s he had tried to organise the working class and the peasantry as a united force against colonial rule but failed as people at that time were not yet conscious enough for mass mobilization. [1] Fiah was a better mobiliser, organiser and was more mature. During the period between the two world wars, Fiah had used his pen to articulate problems facing Africans and gave out his opinions which were not always received kindly by the government.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] But Fiah was not only an enemy of the government. He was also an enemy of Kleist and other prominent Africans, most of who were in the civil service. Way back in 1933 there had been a clash of personality and power struggle between Kleist and Fiah for the leadership of the African Association. Through his paper Fiah had attacked Kleist, accusing him of unpatriotic behaviour because of his South African origin. [2] To avert a crisis, Kleist resigned as the Association's secretary and Fiah was elected in his place.[3] In a cruel and cynical obituary on the death of Martin Kayamba,[4] Fiah lamented that Africans did not benefit from Kayamba's education nor from his post as a clerk to Assistant Chief Secretary. [5] Fiah also clashed with Europeans. In 1940 he wrote an editorial directed at Europeans who were criticising him for speaking out his mind and for publishing articles on the rights of Africans. [6] Fiah was quite a character. Despite the fact that the dockworkers procession to Abdulwahid's house had made him the local champion of the port labour movement, he, certainly was no match for Fiah. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Molohan removed Fiah from the contest because of his excessive radicalism and for being non-Tanganyikan. The colonial authority preferred an indigenous Tanganyikan for the post. Barakat strongly backed Abdulwahid's nomination because he was a fellow ex-serviceman and came from a prominent family, and also because he was already part of the port labour movement. There were also indications that the dockworkers would prefer to have Abdulwahid as their leaders to old man Fiah. In February, 1948 Abdulwahid was elected General Secretary of the Dar es Salaam Dockworkers' Union.[7] Erika Fiah stood on the sidelines as young and inexperienced Abdulwahid took over and transformed the movement into a trade union in the western tradition. It is in this way that Abdulwahid became elected secretary of the dockworkers of Dar es Salaam. And it was from that period in 1948 three years after his return from the war, that Abdulwahid's political carrier actually began. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Kleist must have been elated by his son's nomination, not so much for having acquired the leadership of the movement but by beating his enemy Fiah. Abdulwahid's election to the post was more or less a fait accompli because he had been leading the movement since the days of the clandestine committee which plotted the 1947 General Strike.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] This is how the ‘illiterate' dockworkers who knew nothing about unions, as observed by Friedland, were able to organise themselves and to infiltrate their own leadership into the colonial administrative machinery. Abdulwahid, member of the African Association, and now secretary of the Dockworkers' Union, was by virtue of his new post, the spokesman for the post-war Tanganyika emerging working class. The emergence of an independent leadership from the dockworkers was an indication to the colonial government that a wind of change was blowing. Africans were beginning to institute democratic representation in their own organisations. By electing Abdulwahid, the dockworkers had begun the process of choosing indigenous leadership to represent African interests-and this was only the beginning. Abdulwahid moved into the new office of the secretary of Dockworkers' Union as a member of the African Association representing African labour interests. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] A biography of Erika Fiah is in Kwetu No.11, 4 th August, 1940.
[2] Kwetu, June, 1944. Also Buruku, op. cit. p. 103.
[3] Buruku, op. cit. p.103. Also Kwetu, June, 1944.
[4]See Iliffe, ‘The Spokesman: Martin Kayamba' in Iliffe (Ed), Modern Tanzanians, op. cit. pp. 66-94.

[5] Kwetu, 29 June, 1940.
[6] Kwetu, 17 October, 1940.
[7] Iliffe, ‘A History of Dockworkers...' p.119. Tanganyika Labour Report, 1947.
 
Mohamed Said huyo dada wa Nyerere uliemtaja kwa jina la Sophia ambae umesema ni shangazi wa Yericko Nyerere alikua na jina moja tu au hilo Sophia ni la ubatizo?
'
Kama ni la ubatizo jina lake la nyumbani alikua anaitwa nani?

E,

Unajua mie huwa sijibu maswali kwa sababu nyingi sana.

Una shaka kuwa simfahamu huyu marehemu?

Namjua vizuri sana pamoja na jina la mumewa na laiti
ningelitaja jina la mume wake hata wewe ungemtambua.

Haya mambo ni ya zamani na yanahusu ihsani walotendeana
watu.

Wazee waliponihadithia haya walinieleza kwa mapenzi kudhihiridha
ule udugu wao.

Inataka ujuzi mkubwa sana unapozihadithia ili isionekane kuwa
sasa unasimanga.

Ndiyo maana hujikinga kama hivyo kwa kuficha majina ambayo si
lazima yatajwe.

Nadhani umeelewa na utaheshimu msimamo wangu.
 
Mbona povu linakutoka hivyo mimi najua dawa siku zote ni chungu mimi sijakuuliza dini yako mimi nimekwambia uje uchunguze kilicho mmaliza askofu Laizer kwani wahasibu wote ni wakiristo pia si wako waislamu ficha upumbavu wako!kuhusu boko haramu bora mimi sielewi maana yake kuliko wewe kwenye avator yako unadhalilisha mama zetu,kawaulize wasomo wa kiiala kuna mtu anaitwa ABUU JAHAL(BABA WA WAJINGA) katafute historia yake halafu ujiangalie na wewe
Haya ndio matatizo ya kutumia akili za kuazima kwa Mohamedi Saidi! hata hukumbuki mwanzo uliandika nini. Nyie watoto mzee Mohamedi kawaumiza sana kiakili, kiroho mpaka fikra. Haya soma upumbavu wako huu na ulinganishe na unachokikataa hapo juu mpumbavu wewe!
Wewe kweli ndio ignorant yaani waislamu kudai haki yao juu ya OIC ndio umewaona omba omba mbona nyie muna misaada mingi kutoka makanisa ya ujerumani bado mumetiliana kati ya kanisa na serikali [MOU] kwahiyo unaniaminisha niamini kwamba wakiristo nao ni ombaomba mpumbavu ni wewe njoo huku Arusha ulipe deni mnalodaiwa na benki, au nikuulize swali unajua kilicho msibu Askofu Laizer chunguza kwanza hiyo issue kabla kuvamia uislamu "UBONDIA UNAUTAKA LAKINI UNAOGOPA MANUNDU"
 
Mwanakijiji, mimi nimemwambia Mohamed Said kuwa wakati tunapata uhuru Desemba 9, 1961 ndio nilikuwa namalizia Form One (darasa la kumi na mbili). Pamoja na kufuatilia sana siasa za wakati huo (hata mdahalo wa Kennedy na Nixon tuliufuatilia kama vijana wa sasa walivyofuatilia mpambano kati ya Obama na Romney) na kuwa mashabiki wa siasa si za Afrika tu bali hata Asia na Ulaya, lakini hakuna hata siku moja kwenye miaka hiyo kabla ya uhuru, niliyasikia majina ya wazee wa Gerezani anaowataja Mohamed Said. Je wakati huo ni nani huyo alizima habari zao zisienee Tanganyika?

Miongoni mwa wanasiasa tuliowasikia ni kama Zuberi Mtemvu, Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, Kasanga Tumbo, Paul Bomani na wengine wengi tu...lakini si Abdulwahid Sykes wa Gerezani, Sheikh Amir wa Unguja wala wazee wengine wa Gerezani anaowakomalia na kuwalilia. Nimekuja kuyasikia hayo majina miaka mingi tu baada ya uhuru, je ni nani huyo kabla ya uhuru alizuia habari zao na harakati zao zisiwafikie Watanganyika nje ya Dar es Salaam? Nyerere? Wakoloni? TANU? Huyu Mohamed Said ni mchochezi tu na muongo mkubwa sijapata kuona...ukweli utabaki pale pale kwamba wakati wa kupigania uhuru Watanganyika kwa umoja wao walishirikiana bila kujali kabila zao, dini zao wala sehemu wanakotoka.

Hao wazee wa Mohamed Said yawezekana walijulikana sana kwenye mitaa ya Dar es Salaam lakini Dar es Salaam ilikuwa na watu laki moja tu (110,000) wakati Tanganyika ilikuwa na watu milioni nane (8,000,000)

Mag3,

Huo mdahalo wa Nixon na Kennedy mwaka 1961 unasema ulikuwa unaufuatilia labda tujuze ulikuwa unaangalia kwenye TV gani.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni wa kumpuuza tuh,wapo watu wenye heshima zao na busara zao humu ndani wameinamisha vichwa kupata Darsa hili ndugu MOHAMED SAID..
Huyu ni kama chura tuh,na asiwazuie wengine kunywa maji ya Ilmu ndugu yangu,
Tumpuuze tuh kwa Maslahi ya wengi,
Nashangaa MODS hawalioni hili..
NASHANGAA SANA..
Tatizo lako hutumii akili zako, upo hapa kulamba mabuti ya mzee Mohamedi Saidi, ungekua unajitegeemea kwa akili zako usingehangaika kujilizaliza kwa MODS, ebu jikumbushe upumbavu uliouandika hapa, mtoto unayejinasibu kupata mafunzo na maadili ya kiislam;
Kwa nia njema kabisa nashukuru na nakubali kwa kuitwa mpumbavu + matusi yote uyajuayo..1
Lakini,nikuulize,wewe uliemsomi umeandika nini sasa hiki?
Yan na wewe sasa wajiona msomi?then wasomi wajiweke kundi lipi?
Hili jukwaa ni kubwa sana,hukuona mahala ambapo kichwa chako cha panzi kinastahili kujituliza zaid ya mjadala huu?
Yan unajionesha waz waz ni kwa jins gani ulivyo na PISHI JINGI LA UJINGA,,
WAEREVU HUKUANGALIA NA KUKUPUUZA..
Huna unachokijua zaidi ya kujinafikisha kwa mzee Mohamed Saidi. Mijitu kama ninyi ni hatari sana, kwani hamjitambui kwamba ni mijinga na minafiki na kwasababu humjui kuwa hamjui kutwa mnashinda hapa mkipiga mayowe ya kipumbavu kushangilia upotoshaji wa mzee wenu. Aibu.
 
E,

Unajua mie huwa sijibu maswali kwa sababu nyingi sana.

Una shaka kuwa simfahamu huyu marehemu?

Namjua vizuri sana pamoja na jina la mumewa na laiti
ningelitaja jina la mume wake hata wewe ungemtambua.

Haya mambo ni ya zamani na yanahusu ihsani walotendeana
watu.

Wazee waliponihadithia haya walinieleza kwa mapenzi kudhihiridha
ule udugu wao.

Inataka ujuzi mkubwa sana unapozihadithia ili isionekane kuwa
sasa unasimanga.

Ndiyo maana hujikinga kama hivyo kwa kuficha majina ambayo si
lazima yatajwe.

Nadhani umeelewa na utaheshimu msimamo wangu.

Asante mzee Mohamed kwa ufafanuzi hapo juu. Kusema ukweli binafsi haya mambo nilikuwa siyajui mpaka nilipoyasoma kutoka kwenye kalamu yako.
Binafsi nashukuru sana kupata hii elimu. Pia nakushukuru sana wewe mwenyewe kwa kuendelea kuitoa bila kuchoka na kuwa mvumilivu pia, ingawa kuna watu walikuwa wanataka ku twist hii mada na pia wapo waliokuwa wanatoa maneno ya dhihaka pamoja na matusi au maneno yasiyokuwa na tija.
 
Haya ndio matatizo ya kutumia akili za kuazima kwa Mohamedi Saidi! hata hukumbuki mwanzo uliandika nini. Nyie watoto mzee Mohamedi kawaumiza sana kiakili, kiroho mpaka fikra. Haya soma upumbavu wako huu na ulinganishe na unachokikataa hapo juu mpumbavu wewe!

Naomba nikuulize swali moja je wewe ni muislamu na kama si muislamu hebu katafute wanachuoni wa kiislamu kuna mtu alikuwa anaitwa ABUU JAHAL(BABA WA WAJINGA) historia yake haitofautiani na mawazo yako mgando
 
Mzee Mohamed Said, CIA, KGB na TISS huwa na kitu kinaitwa NADHARIA, na huipa asilimia kadhaa katika utendaji wake, lakini ni ukweli kuwa nadharia hiyo sio ndio UHALISIA wa mambo!

Katika uandishi wa kitabu chako umeweka nadhari ya mzee Nyerere kuuchukia na kuudhulmu uislamu na zaidi umeipa uhalisia wa kinadharia tu jambo linalopingana na matumizi ya NADHARIA duniani!

Unalielezaje jukwaa hapa?
 
Back
Top Bottom