Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi3 Mimi ni kijana na kwa bahati nimeyaona pasi jicho la udini yanayoendelea nchi hii. Nakumbuka nikiwa sijafikisha umri wa kupiga kura mwaka 1995 nilikuwa nasikiliza na kufuatilia yale yaliyokuwa yanatokea kwenye uchaguzi ndani ya chama. Kwa kweli nilikuwa shabiki wa Kikwete tena kwa sababu tu alikuwa anaonekana kijana.

Sikumuona kuwa ni Muislam na hata miongoni mwetu walikuwepo wengi sana waliokuwa wanamtaka Kikwete au Salim japo hakuingia kwenye kinyang'anyiro. Na kumbuka hapo nilikuwa Musoma kwa akina Nyerere na hakuna niliyemuona akionyesha hisia za kidini. Rudi 2005 kwangu Salim ndio alikuwa chaguo na nafikiri wajumbe wengi tu wa NEC na mkutano mkuu walikuwa kwenye pande mbili kubwa za Salim na Kikwete...........humo wamo wakristo wengi tu na hawakuuona Uislam wa Kikwete/Salim.

Sasa hapo ndipo naposhangaa hivyo vyanzo vya MS ni vya aina gani. Na hapo huwa najiuliza:
Inawezekana wanaomwambia wanajua anapenda kusikiliza nini kwa hiyo wanampa ukweli uliopindishwa.

Au ni mtunzi mzuri wa ngano mwendelezo, unampa habari kidogo anaongezea nyama kwa wingi ili kufurahisha hadhira yake.

Au kuna mradi anoutumikia ambao unamtaka kujenga ovu lolote kuhusu Mwalimu/Ukristo kufurahisha wenye mradi.

Au ni njia rahisi ya kuwafanya Waislam wajione dhalili na kutofikiria kuweka mikakati ya kujikwamua ki-elimu ili yeye na wenzake wabaki "star" miongoni mwa wajinga!

Au ni chuki aliojengewa na yeye kuikuza kutokana na masimulizi na sasa anaweka "platform" ya kulipa kisasi.

Huwa siishi kujiuliza maswali napowasikia watu kama MS wakiweka jitihada ya kubomoa na kufarakanisha Taifa. Na kwa kweli ukimsoma katikati ya mstari utagundua kuna mwangwi wa wa moja ya maovu hapo juu. Na akishatia neno Uislam basiii wanyonge wake wananywea......Umpinge mtetezi wa "dini" thubutuuu.
Umenigusa sana.
Kwasisi wa old school, tumeona wazee wakivaa viatu vimetoboka, shati moja anasubiri likauke aende kazini na mama akijisetiri kwa kitenge kimoja ili watoto wapate ada za sekondari tena za kulipia.

Nimeona kijana aliyefiwa na nduguye ambaye alishauriwa abaki shuleni akihudumia miradi ili msiba ukiisha aongezewe pesa alipe ada. Think about that! kwamba kwenda kuhani msiba itatokea maajaliwa, la muhimu kwanza apate elimu kwasababu nduguye keshatangulia. Katika hali ya ubinadamu haya nimetosa makubwa! kwenye wenye akili haya ni mateso kwenye busara

Nimeona mtu akichukua nduguze bila kujali imani zao ili aende nao Lindi kwasababu nafasi za kufaulu ni kubwa ukilinganisha na mkoani kwake. Nyumba yake ikawa na akina Mwanaidi, Angela, Patrick, Shwaibu n.k. leo wote wapo safi.

Nimeona kule kwetu Mjasani Tanga mtoto akiondolewa shule eti akapate ndoa kwasababu keshavunja ungo.
Vijana wakihimizwa kuvusha magendo kwasababu elimu utaishia kuwa nesi au mwalimu.

Nenda kivinje shule haina wanafunzi, nenda Mkuranga shule ina mwalimu mkuu mmoja anayeitwa Mbwambo akiondoka anakasimu madaraka kwa kiranja mkuu.
Think about that! Mkuranga mahali ambapo Mshume kiYate alipita kwa baikeli akienda rufiji leo Mohamed hajui hilo lililotokea.

Badala ya kwenda kwenye tatizo na kuomba ushauri ni jinsi gani na kitu gani kifanyike(angeungwa mkono sana) Mohamed yupo mezani bize na laptop na tablet akitafuta hadithi za kuamsha hisia, akiwaficha watu ukweli.

Baada ya hapo anapanda ndege kwenda kuonge Ulaya kwa mfumo kristo kwa kutumia lugha ya mfumo kristo.
Nyuma ameacha frustrated society na kwa kuchomeka hisia zake jamii inaanza kurusha mawe.
Mohamed anakimbia ulaya kuonyesha utabiri wake ulivyotimu na kuandika tole la saba.

Wale wasiofahamu tatizo wanabeba magunia wanatoa pesa zao ili kusoma hisia zaidi za uchochezi, Mohamed anaenda toleo la nne. Inakuwa vicious circle! It's immoral, pathetic and libertine.
 
Nakubali, sipo timamu mimi!

Sasa muulize na mwenzako Yericko Nyerere. Hiyo kazi ya kumfundisha padre kizanaki aliyekuwa akiifanya Nyerere huko Musoma alikuja nayo mpaka Dar? Anaeshabikia kuwa hajafadhiliwa na Mshume Kiyate. Yupo timamu na yeye?
 
Last edited by a moderator:
Hili limewastua wote wanaomuunga mkono Shehe Muhamed kwani walishalishwa uongo

Limewastua kina nani hakuna anayepinga Nyerere kulipwa umeulizwa amelipwa huo mshahara muda wa miaka mingapi. Badala ya kujibu unaporomosha matusi.

Umeulizwa Nyerere alikuwa analipwa mshahara wakati yupo Dar es Salaam.
 
Tumia kauli nzuri utaeleweka tu mambo ya mzandiki yanatoka wapi.

Hakuna sehemu yeyote Mohamed Said amesema Nyerere alikuwa na dhiki.

kama alikuwa analipwa hizo pesa ndiyo unapinga hakusaidiwa chochote alivyokuja Dar es Salaam.

Ni uongo akukaa kwa Abdulwahid akupewa nyumba na John Rupia, Mama Maria Nyerere akupewa duka mchikichi.
Unakijua kiswahili wewe? Katafute kamusi ujifunze maana ya mzandiki
 
Limewastua kina nani hakuna anayepinga Nyerere kulipwa umeulizwa amelipwa huo mshahara muda wa miaka mingapi. Badala ya kujibu unaporomosha matusi.

Umeulizwa Nyerere alikuwa analipwa mshahara wakati yupo Dar es Salaam.

Huyu Yericko Nyerere hapo hana hoja, Nyerere alipwe kwa kumfundisha kizanaki padre Musoma, yeye anaambiwa alifadhiliwa na Mshume Kiyate Dar. Halafu bado anang'ang'ania, eti imewashtuwa watu. Iwashtuwe nini?
 
Last edited by a moderator:
Unakijua kiswahili wewe? Katafute kamusi ujifunze maana ya mzandiki

Wewe leo unakijuwa Kiswahili cha kuwafundisha Waswahili Kiswahili?

Hujui kuwa nikikwambia unachapwa linaweza kuwa tusi nalo ni neno tu la kawaida, ambalo nna uhakika kuwa wewe shuleni umeshachapwa sana tu au mwenzetu umesoma shule za misheni na huko hawachapani?
 
Limewastua kina nani hakuna anayepinga Nyerere kulipwa umeulizwa amelipwa huo mshahara muda wa miaka mingapi. Badala ya kujibu unaporomosha matusi.

Umeulizwa Nyerere alikuwa analipwa mshahara wakati yupo Dar es Salaam.

Akiwa katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii Mwalimu aliendelea kushirikiana na shirika la Marykoll sister sambamba na makasisiwake bila kumsahau kasisi Maranta wa hapo St.Joseph Dar, na Shehe Issa bin Amir wa Msikiti wa Mchikichini Ilala.

Kwakifupi ni hivyo, kawasimulie wanao upya.
 
Umenigusa sana.
Kwasisi wa old school, tumeona wazee wakivaa viatu vimetoboka, shati moja anasubiri likauke aende kazini na mama akijisetiri kwa kitenge kimoja ili watoto wapate ada za sekondari tena za kulipia.

Nimeona kijana aliyefiwa na nduguye ambaye alishauriwa abaki shuleni akihudumia miradi ili msiba ukiisha aongezewe pesa alipe ada. Think about that! kwamba kwenda kuhani msiba itatokea maajaliwa, la muhimu kwanza apate elimu kwasababu nduguye keshatangulia. Katika hali ya ubinadamu haya nimetosa makubwa! kwenye wenye akili haya ni mateso kwenye busara

Nimeona mtu akichukua nduguze bila kujali imani zao ili aende nao Lindi kwasababu nafasi za kufaulu ni kubwa ukilinganisha na mkoani kwake. Nyumba yake ikawa na akina Mwanaidi, Angela, Patrick, Shwaibu n.k. leo wote wapo safi.

Nimeona kule kwetu Mjasani Tanga mtoto akiondolewa shule eti akapate ndoa kwasababu keshavunja ungo.
Vijana wakihimizwa kuvusha magendo kwasababu elimu utaishia kuwa nesi au mwalimu.

Nenda kivinje shule haina wanafunzi, nenda Mkuranga shule ina mwalimu mkuu mmoja anayeitwa Mbwambo akiondoka anakasimu madaraka kwa kiranja mkuu.
Think about that! Mkuranga mahali ambapo Mshume kiYate alipita kwa baikeli akienda rufiji leo Mohamed hajui hilo lililotokea.

Badala ya kwenda kwenye tatizo na kuomba ushauri ni jinsi gani na kitu gani kifanyike(angeungwa mkono sana) Mohamed yupo mezani bize na laptop na tablet akitafuta hadithi za kuamsha hisia, akiwaficha watu ukweli.

Baada ya hapo anapanda ndege kwenda kuonge Ulaya kwa mfumo kristo kwa kutumia lugha ya mfumo kristo.
Nyuma ameacha frustrated society na kwa kuchomeka hisia zake jamii inaanza kurusha mawe.
Mohamed anakimbia ulaya kuonyesha utabiri wake ulivyotimu na kuandika tole la saba.

Wale wasiofahamu tatizo wanabeba magunia wanatoa pesa zao ili kusoma hisia zaidi za uchochezi, Mohamed anaenda toleo la nne. Inakuwa vicious circle! It's immoral, pathetic and libertine.

Nimekusoma.
 
Nguruvi3,

Unachanganya mila za watu na dini ya Kiislam, matatizo ya Wakwe're, na Wazaramo, Wadengereko, na Wamakonde, usiyachanganye na Uislam.

Kama ukichanganya matatizo ya Makete, Kigoma, Iramba, Shinyanga, hizi sehemu zipo nyumba kielemu lakini haunasibishi na Ukiristo nenda Ukerewe au Magu, Tarime, kaone ndoa za watoto.
 
Last edited by a moderator:
Akiwa katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii Mwalimu aliendelea kushirikiana na shirika la Marykoll sister sambamba na makasisiwake bila kumsahau kasisi Maranta wa hapo St.Joseph Dar, na Shehe Issa bin Amir wa Msikiti wa Mchikichini Ilala.

Kwakifupi ni hivyo, kawasimulie wanao upya.

ha haa haaa!! Historia ndiyo imeisha? Watoto wangu nimewasimulia wameona ile picha ya Nyerere anakwenda UNO wakaniuliza mbona Padri ayupo pale wapo waswahili kwa kweli nimekosa jibu. Nimewaonyesha mabandiko yako wanacheka tu.
 
Kwa vile chuo kile kilitolewa na serikali ya MfumoKristo, kitakuwa si cha Waislam aina ya Mohamed Said, zomba, Ritz,..., kina harufu ya BAKWATA ndani yake. Hakiwahusu hawa tulionao kwenye thread hii. Uislam ni zaidi ya tunavyoufahamu baadhi yetu.

nimekupata, ebu basi watuambie wao waislamu wamejenga chuo kikuu kipi kwa jasho lao ambacho hata wasio waislamu wanasoma
misikiti yenyewe mingi wanajengewa na waarabu wakati wakristo wanajenga kwa fedha zao wenyewe sasa nani kafundishwa kujitegemea kati ya waislamu na wakristo

waache kuropoka, hii nchi ingekuwa ya kiislamu waislamu wote wanaopiga kelele sasa hv wangekuwa wamekimbia nchi
 
Umenigusa sana.
Kwasisi wa old school, tumeona wazee wakivaa viatu vimetoboka, shati moja anasubiri likauke aende kazini na mama akijisetiri kwa kitenge kimoja ili watoto wapate ada za sekondari tena za kulipia.

Nimeona kijana aliyefiwa na nduguye ambaye alishauriwa abaki shuleni akihudumia miradi ili msiba ukiisha aongezewe pesa alipe ada. Think about that! kwamba kwenda kuhani msiba itatokea maajaliwa, la muhimu kwanza apate elimu kwasababu nduguye keshatangulia. Katika hali ya ubinadamu haya nimetosa makubwa! kwenye wenye akili haya ni mateso kwenye busara

Nimeona mtu akichukua nduguze bila kujali imani zao ili aende nao Lindi kwasababu nafasi za kufaulu ni kubwa ukilinganisha na mkoani kwake. Nyumba yake ikawa na akina Mwanaidi, Angela, Patrick, Shwaibu n.k. leo wote wapo safi.

Nimeona kule kwetu Mjasani Tanga mtoto akiondolewa shule eti akapate ndoa kwasababu keshavunja ungo.
Vijana wakihimizwa kuvusha magendo kwasababu elimu utaishia kuwa nesi au mwalimu.

Nenda kivinje shule haina wanafunzi, nenda Mkuranga shule ina mwalimu mkuu mmoja anayeitwa Mbwambo akiondoka anakasimu madaraka kwa kiranja mkuu.
Think about that! Mkuranga mahali ambapo Mshume kiYate alipita kwa baikeli akienda rufiji leo Mohamed hajui hilo lililotokea.

Badala ya kwenda kwenye tatizo na kuomba ushauri ni jinsi gani na kitu gani kifanyike(angeungwa mkono sana) Mohamed yupo mezani bize na laptop na tablet akitafuta hadithi za kuamsha hisia, akiwaficha watu ukweli.

Baada ya hapo anapanda ndege kwenda kuonge Ulaya kwa mfumo kristo kwa kutumia lugha ya mfumo kristo.
Nyuma ameacha frustrated society na kwa kuchomeka hisia zake jamii inaanza kurusha mawe.
Mohamed anakimbia ulaya kuonyesha utabiri wake ulivyotimu na kuandika tole la saba.

Wale wasiofahamu tatizo wanabeba magunia wanatoa pesa zao ili kusoma hisia zaidi za uchochezi, Mohamed anaenda toleo la nne. Inakuwa vicious circle! It's immoral, pathetic and libertine.

Baada ya kuondoka tu Nyerere huo umaskini ukatuondokea. Watu wanapendeza. Umeliona hilo?
 
Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika ilipigwa marufuku pamoja na EAMWS na Nyerere 1968.
Mohamed, unaweza kumthibitishia Nanren kuwa tangazo llilitolewa na Ali Maswanya lilitamka kuhusu taasisi ya Aljamiatul !

Pili, kwa vile Nyerere aliua EAMWS, utakubaliana nasi kuwa Rais Kikwete kamweka ndani Sheikh Ponda.
Watch your statement Muzee, sometime you contradict yourself and waterdown everything.

Tatu, wanajamvi, Mohamed anajua sigara ya Nyerere, gego alilotumia kutafunia miwa nadhani na kitanda just matter of time rutatisikia. Anajua jinsi alivyokwenda sokoni bila senti, alivyoshonewa suruali Kariakoo na alivyofundishwa kula chapati! Fair enough

Mohamed huyo huyo hajui role y Cecil Matola. Mo hajui Nyerere alikuja lini Dar kwa mara ya kwanza.
Mohamed, hajui ufisadi wa nyumba uliofanywa na familia ya Sykes.
Nasema ufisadi bila kudhalilisha mchango wao kwasababu ufisadi ni separate entity ambayo Mohamed amefungua Pandora box.

Mohamed amesimuliwa kuwa nyumba ilijengwa na Sykes na Abdul alimuona baba yake! that's one side of the story.
Mag3 kaja hapa na mchango wake ukionyesha jinsi gani familia ya Sykes ilivyochukua nyumba ambayo D.Cameron aliitoa katika ufisadi. The other side of the story.

Tumemuuliza Mohamed, ''mtafiti'' atueleze endapo Mag3 alikuwa ameongea kitu kisichokuwepo!
Muddy ameshindwa kukanusha bali amebaki na position yake kuhusu ujenzi siku za Jumapili.

In other words, Mohamed ima hakufanya utafiti au aliufanya na kugundua madudu asiyotaka kuyasema.
Kwa kuangalia jinsi alivyoficha ujio wa Maryknoll ni wazi kuwa Mag3 katuambia tusichokuwa tunakijua kama Mo anavyojinasibu kutuambia tusiyoyajua. Thanks Mag3

The bottom line Familia ya Sykes imefisadi Nyumba.
 
Kwa vile chuo kile kilitolewa na serikali ya MfumoKristo, kitakuwa si cha Waislam aina ya Mohamed Said, zomba, Ritz,..., kina harufu ya BAKWATA ndani yake. Hakiwahusu hawa tulionao kwenye thread hii. Uislam ni zaidi ya tunavyoufahamu baadhi yetu.

nimekupata na kukuelewa mkuu, ila nawaomba waislamu ebu basi watuambie wao waislamu wamejenga chuo kikuu kipi kwa jasho lao ambacho hata wasio waislamu wanasoma

misikiti yenyewe mingi wanajengewa na waarabu wakati wakristo wanajenga kwa fedha zao wenyewe sasa nani kafundishwa kujitegemea kati ya waislamu na wakristo

waache kuropoka, hii nchi ingekuwa ya kiislamu waislamu wote wanaopiga kelele sasa hv wangekuwa wamekimbia nchi
 
nimekupata, ebu basi watuambie wao waislamu wamejenga chuo kikuu kipi kwa jasho lao ambacho hata wasio waislamu wanasoma
misikiti yenyewe mingi wanajengewa na waarabu wakati wakristo wanajenga kwa fedha zao wenyewe sasa nani kafundishwa kujitegemea kati ya waislamu na wakristo

waache kuropoka, hii nchi ingekuwa ya kiislamu waislamu wote wanaopiga kelele sasa hv wangekuwa wamekimbia nchi

Waislaam wana MoU?
 
Nguruvi3,

Unachanganya mila za watu na dini ya Kiislam, matatizo ya Wakwe're, na Wazaramo, Wadengereko, na usiyachanganye na Uislam.

Kama ukichanganya matatizo ya Makete, Kigoma, Iramba, Shinyanga, hizi sehemu zipo nyumba kielemu lakini haunasibishi na Ukiristo nenda Ukerewe au Magu, Tarime, kaone ndoa za watoto.
Ahsante sana Ritz, mwambie Mohamed pia asichanganye mambo ya kama ninavyochanganya. Kama jamii fulani haina mwamko wa elimu si kwasababu ya mfumokristo ni kwasababu ya jamii kama ulivyosema. Nakubaliana nawe kabisa!

Ndio maana tunasema Mohamed anajichanganya sana kuchanganya dini, vyeo, elimu n.k. bila kuangalia factor nyingine.
 
Mohamed, unaweza kumthibitishia Nanren kuwa tangazo llilitolewa na Ali Maswanya lilitamka kuhusu taasisi ya Aljamiatul !

Pili, kwa vile Nyerere aliua EAMWS, utakubaliana nasi kuwa Rais Kikwete kamweka ndani Sheikh Ponda.
Watch your statement Muzee, sometime you contradict yourself and waterdown everything.

Tatu, wanajamvi, Mohamed anajua sigara ya Nyerere, gego alilotumia kutafunia miwa nadhani na kitanda just matter of time rutatisikia. Anajua jinsi alivyokwenda sokoni bila senti, alivyoshonewa suruali Kariakoo na alivyofundishwa kula chapati! Fair enough

Mohamed huyo huyo hajui role y Cecil Matola. Mo hajui Nyerere alikuja lini Dar kwa mara ya kwanza.
Mohamed, hajui ufisadi wa nyumba uliofanywa na familia ya Sykes.
Nasema ufisadi bila kudhalilisha mchango wao kwasababu ufisadi ni separate entity ambayo Mohamed amefungua Pandora box.

Mohamed amesimuliwa kuwa nyumba ilijengwa na Sykes na Abdul alimuona baba yake! that's one side of the story.
Mag3 kaja hapa na mchango wake ukionyesha jinsi gani familia ya Sykes ilivyochukua nyumba ambayo D.Cameron aliitoa katika ufisadi. The other side of the story.

Tumemuuliza Mohamed, ''mtafiti'' atueleze endapo Mag3 alikuwa ameongea kitu kisichokuwepo!
Muddy ameshindwa kukanusha bali amebaki na position yake kuhusu ujenzi siku za Jumapili.

In other words, Mohamed ima hakufanya utafiti au aliufanya na kugundua madudu asiyotaka kuyasema.
Kwa kuangalia jinsi alivyoficha ujio wa Maryknoll ni wazi kuwa Mag3 katuambia tusichokuwa tunakijua kama Mo anavyojinasibu kutuambia tusiyoyajua. Thanks Mag3

The bottom line Familia ya Sykes imefisadi Nyumba.

Pumba nyingi lakini cha maana hakuna? huwa sikielewi unachobwabwaja.

Mshume Kiyate ulimjuwa kabla ya kumsoma Mohamed Said?
 
nimekupata na kukuelewa mkuu, ila nawaomba waislamu ebu basi watuambie wao waislamu wamejenga chuo kikuu kipi kwa jasho lao ambacho hata wasio waislamu wanasoma

misikiti yenyewe mingi wanajengewa na waarabu wakati wakristo wanajenga kwa fedha zao wenyewe sasa nani kafundishwa kujitegemea kati ya waislamu na wakristo

waache kuropoka, hii nchi ingekuwa ya kiislamu waislamu wote wanaopiga kelele sasa hv wangekuwa wamekimbia nchi

Mkuu huu uzi upo post ya #285 jitulize uusome kwanza kuliko kukurupuka kupost.
 
Ahsante sana Ritz, mwambie Mohamed pia asichanganye mambo ya kama ninavyochanganya. Kama jamii fulani haina mwamko wa elimu si kwasababu ya mfumokristo ni kwasababu ya jamii kama ulivyosema. Nakubaliana nawe kabisa!

Ndio maana tunasema Mohamed anajichanganya sana kuchanganya dini, vyeo, elimu n.k. bila kuangalia factor nyingine.

Jee, umewahi kusikia kisa cha MoU?
 
Back
Top Bottom