Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Inasemekana hata zikiwa elfu moja kuelekezwa kwa mtu ambaye ni mzima na akashindwa kujibu basi huwa inaaminika.
Katika mafunzo ya uislamu kutafuta mchumba pindi binti ambaye ni mwari anapokaa kimya kwa mume aliyeletewa inachukuliwa kuwa amekubali.Ndoa nyingi zinazofungwa kwa mafunzo hayo ya kiroho huwa zinadumu na kuwa na baraka nyingi.
Hata mfumo wa mahakama uko hivyo hivyo.Mtuhumiwa anaposhindwa kujitetea kwa kila shutuma mwisho hufungwa kwani huwa imethibitika kuwa ni mkosa.
Kwa maelezo hayo jipime wewe mwenyewe,Nyerere wenu na historia ya Mohammed Said.
Kwa upande mwengine wewe binafsi imethibitika kuwa ni mtetezi wa mfumokristo hapa JF na huoni haya kujiabisha kwa hilo hata unapokuwa huna hoja.

Huyu kwake Nyerere ni zaidi ya Mtume.
 
Povu la nini mkubwa?
Mzee Mwanakijiji hajasema unapokea pesa kutoka nje kufadhili mipango ya kuleta vurugu na chuki miongoni mwa jamii, ametoa mfano tu madhara ya kusema jambo huku ukitumia maneno INASEMEKANA KUWA, INAAMINIWA...NK. Kuwa huwezi kutumia maneno hayo kama una uhakika jambo unalolisema ni kweli. lakini kama ni fix utayatumia ili kumpa mwanya anayehusika aje aseme ni kweli au si kweli kama ulivyokuja kukanusha mara moja. kuwa makini na argument zako mkuu

Neno INASEMEKANA mbona linatumika sana sikiliza hukumu za Majaji Mahakimu wote wanalitumia wala halina tatizo.

Mohamed Said, hakuna wa kumtoa povu humu JF.

Mbona INASEMEKANA Mwanakijiji ni wakala wa Kanisa na Chadema yumo JF kwa kazi maalum ndiyo maana kaficha jina lake tofauti na Mohamed Said.
 
Mkuu, hili swali Mohamed amelikwepa sana. Alichokifanya ni kuaminisha umma kuwa Nyerere alikuwa mwendawazimu siku moja akaamka na kuanza kushambulia masheikh kwa vile alitumwa na kanisa.

Ukweli ni huo hapo juu na Mohamed anaujua. Katika kitabu chake ameandika wazi ''radical muslims''.
Sheikh Amir alitaka kung'oa Nyerere kwasbabu tu ni Mkristo mara mbili. Jaribio liliposhindwa wakajificha chini ya kivuli cha EAMWS ambayo nina kuhakikishia haikuwa ya waswahili! Historia yake inaanzia Pakistan,mwaka 1945 na Mombasa.

Nyerere alipogundua hilo na baada ya kunusurika majaribio kabla ya uhuru akautumia uungwana na busara kumuondoa sheikh Amir! vinginevyo angeweza kumdhuru kwasababu uwezo alikuwa nao! hakufanya hivyo.

Mabaki ya Sheikh ndiyo yalimalizwa kabisa 1968 kwa kuua kichaka cha uhalifu EAMWS. Mohamed, tofautisha EAMWS na Uislam, UAMSHO na Uislam, CUF na Uislam.

Kitu kimoja watu wakumbuke, haya tunayoyaona leo ya akina Ilunga na Mohamed kutaka maaskofu wauawe(na wameua Geita) ni zao la Mpakistani mmoja aliyekuwa Mwalimu anaitwa Malik.
Mohamed ni mmoja wa wale watu wa Warsha waliofundishwa utafiti wa elimu ya Tanzania na huyu Mpakistani.

Mpakistan huyu hakujulikana mara ya kwanza na aliishi kama ''zezeta'' lakini alikuwa na ushawishi mkubwa sana hasa katika mambo ya vurugu za kidini. Serikali iliposhtuka tayari alishatoa wahitimu akina Mohamed, it's too little too late.

Kwahiyo unganishe dots za EAMWS, Maliki, Uamsho na Shura za Maimamu.
Fanyeni uchunguzi kidogo, masheikh wote radicals wamesomea Pakistan na kule mwenyeji wao alikuwa Malik.

Nguruvi3,

Lugha yako kali sana.
Lakini suala hili nyie mna ''version'' yenu na sisi sasa tuna ''version'' yetu.

Hayo mengine wala sina haja ya kuyasemea.
Ila kamata kitu kimoja.

Sheikh Hassan bin Amir na Sheikh Hussein Malik wana heshima kubwa sana
katika jamii ya Kiislam Tanzania.

Nilialikwa na Radio Nur Zanzibar nikafanya kipindi cha Sheikh Hassan bin Amir.
Ilikuwa hatari.

Nimepata mwaliko nikazugumze vyuo vikuu vyote vya Zanzibar kuhusu huyu
wao wanamwita ''shujaa wa Kiunguja aliesaidia kupatikana uhuru wa Tanganyika.''

Kuna tuzo ya Sheikh Hassan bin Amir katika shule za Kiislam kwa wanafunzi bora.

Hata pale Markaz Chang'ombe Waislam walipochukua ule uwanja ulouzwa na BAKWATA
walikusudia kujenga msikiti utakaoitwa, ''Masjid Sheikh Hassan bin Amir.''

Alipokufa Sheikh Malik aliswaliwa sala ya jeneza misikiti yote ya Tanzania katika Ijumaa
moja nchi nzima.

Hili si jambo dogo.

Ukweli ni kuwa nasi tunahifadhi historia yetu hivi sasa.
Tusonge mbele na mengine.
 
Neno INASEMEKANA mbona linatumika sana sikiliza hukumu za Majaji Mahakimu wote wanalitumia wala halina tatizo.

Mohamed Said, hakuna wa kumtoa povu humu JF.

Mbona INASEMEKANA Mwanakijiji ni wakala wa Kanisa na Chadema yumo JF kwa kazi maalum ndiyo maana kaficha jina lake tofauti na Mohamed Said.

Ritz,

Katika vitu ambavyo vinanipa shida ni kukosa faragha.
Hakuna nitakapokwenda Tanzania nisijulikane.

Hata nikiingia msikiti wa pembezoni nikajificha nyuma.

Ikisha sala watu weshanizunguka na kama ni Sala ya
Ijumaa Imam atatangaza kuwa nimo msikitini.

Nashukuru tena nashukuru.
 
Jibu unalo wewe Mzee Mohamedi. Wewe na wenzio wenye mawazo ya kibaguzi na kichochezi ndio mliotufikisha hapa. Kwa sababu zako tu za kichoyo unaeneza propaganda za chuki badala ya kutafuta maelewano.
Mimi pia nimesoma shule za serikali kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu, na kote nimesoma na waislamu. Sikuwahi kuona wakionewa katika jambo lolote. Katika mitihani yetu ya mwisho kuna waliofeli na waliofaulu, na katika makundi yote mawili ya kufeli na kufaulu walikuwapo wakristo na waislamu.
Huu uchochezi wako unakusaidia nini?

Setuba Noel,

Unaandika kwa hamaki na unatoa shutuma.

Huenda wewe mambo haya huyajui.
Nami nakuchukulia hivyo uyajui.

Sasa utakuwa na hali gani ikiwa utakuja baini
kuwa nisemayo ni kweli tupu?

Bado utanita mchochezi?

Sijui umefuatilia toka wapi mjadala huu.

Humu nimeweka historia ya wazee wangu walipigania
uhuru wa Tanganyika lakini historia imewatupa nje.

Hii imekuwa habari kubwa kwa wengi sana.
Angalia ''views'' zimefika ngapi 55,000 plus.

Unadhani hawa wote watapoteza muda wao kumsikiza mtu
mchochezi?
 
Hawa ndiyo wasomi wetu wa Tanzania tena unasema una PhD endelea kuwadanganya kina Mag3, Nguruvi3, Jasusi, lakini watu makini huwezi kuwadanganya.

Acha uongo nani kakuambia Oman wana utajiri wa mafuta sijui umeipata wapi hii.

Acha uongo eti Oman mwaka huu ndiyo wamejenga chuo kuu sijui umeipata wapi hii.

Oman wana vyuo vikuu zaidi ya 30 nakutajia vichache tu.

1) Uraimi University

2) Dhofar University

3) Sultan Qaboos University

4) The University of Nizwa

5) Oman Medical College

Angalia sana usipende kuokota maneno vijiweni kuleta JF.

Ritz.
Sijasema uongo, kama ukisoma vema nimesema Oman wameanza kujenga Chuo Kikuu miaka ya 80, sijasema wamejenga mwaka huu kama wewe ulivyoandika.
Kaka nimeuliza maswali kadhaa kua ni kwanini miaka yote hiyo 800 kabla ya kuja Ukristo Waislamu hawakua wamejenga chuo kikuu mpaka miaka ya 1968??
Nimeuliza huo upendeleo wa Wakristo ilihali wapo wengi maskini tu na hawajasoma ni upi??
Nimeuliza huyo Nyerere aliwapendelea Wakristo akawasahau wanawe na familia yake??
Pia nimeshauri, juhudi za watu walizofanya kupata elimu zao lazima ziheshimiwe na huu ndio ustarabu.
 
Povu la nini mkubwa?
Mzee Mwanakijiji hajasema unapokea pesa kutoka nje kufadhili mipango ya kuleta vurugu na chuki miongoni mwa jamii, ametoa mfano tu madhara ya kusema jambo huku ukitumia maneno INASEMEKANA KUWA, INAAMINIWA...NK. Kuwa huwezi kutumia maneno hayo kama una uhakika jambo unalolisema ni kweli. lakini kama ni fix utayatumia ili kumpa mwanya anayehusika aje aseme ni kweli au si kweli kama ulivyokuja kukanusha mara moja. kuwa makini na argument zako mkuu

N,

Mie sina ''vernecular'' lugha yangu niliyozaliwa nayo ni Kiswahili.
Kuhusu ''povu...''

Hebu pitia post zangu...
Kama unaona hata dalili ya ''povu'' nijuvye.

Itanitokaje povu nami kufanya barza mmekaa mnabishana ni
utamaduni nilokuwanao toka utoto...

Tofauti na hapa ni kuwa hapa wakati mwingine watu wanatoa
matusi.

Sisi kwetu sana sana tunakuzomea tukikushinda.
Iwe lolote.

Barzani hatukanwi mtu.

Yanga na Simba hata ubishi wa elimu.
 
Ndo Mohamed Said aje atueleze ni kwa vipi Nyerere hakuitambua familia ya Sykes halafu washiriki katika uongozi ndani ya nchi na nje ya nchi. Waislam kwa kulalalmika, hata mtu asiyejua kusoma na kuandika lakini ameweza kuriri juzuu bila hata kujua anakariri nini, watadai Nyerere ndiye aliyesababisha kwa sababu alikuwa ni MKATOLIKI.

N,

Kitabu changu hakihusu kutambulika au kutotambulika kwa
akina Sykes.

Angalia content za kitabu:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Table of Contents[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 1. Dedication [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 2. Acknowledgements [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 3. Table of Contents [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 4. Introduction [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1] [/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Part One[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Abdulwahid Sykes 1924-1968[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Old Town of Dar es Salaam and its Elites [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · World War One 1914-1918 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Chapter 2.The Second World War and Tanganyika's Political Foundation, 1938-1945[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Burma Infantry, 1942 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Dar es Salaam Port, 1947 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Erika Fiah [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Dockworkers' Union, 1948 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanganyika African Association, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA Political Subcommittee, 1951 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika as a Mandate Territory [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Meru Land Evictions, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Story of Julius Nyerere, 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Ally Kleist Sykes [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Part Two[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Mass Mobilisation and Independence 1954-1961[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 7. Mass Mobilisation 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Elders' Council and Nyerere's Visit to the United Nations, New York, 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Idd Faiz Mafongo [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Propagandists-The Bantu Group,1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Incorporation of Swahili Women's Societies into the Struggle, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Football As a Political Weapon [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Central Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Southern Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Western Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanga Province, 1956 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TANU in Mombasa, Kenya, 1957 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanga Strategy, 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Debate for Tripartite Voting [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Independence, 1961 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Part Three[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Conspiracy Against Islam 1961-1970[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Islam: The Ideology of Colonial Resistance [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The First Muslim Congress, 1962 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Resistance to Change [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Second Muslim Congress, 1963 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Proposal for an Islamic University, 1964 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Politics of Islam, Church, State and the African Christian [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis' [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis' [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Islamic National Conference, 1968 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Omissions Analysed [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Betrayal of Ideals [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Conspiracy Theory [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Epilogue [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Bibliography [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Setuba Noel,

Unaandika kwa hamaki na unatoa shutuma.

Huenda wewe mambo haya huyajui.
Nami nakuchukulia hivyo uyajui.

Sasa utakuwa na hali gani ikiwa utakuja baini
kuwa nisemayo ni kweli tupu?

Bado utanita mchochezi?

Sijui umefuatilia toka wapi mjadala huu.

Humu nimeweka historia ya wazee wangu walipigania
uhuru wa Tanganyika lakini historia imewatupa nje.

Hii imekuwa habari kubwa kwa wengi sana.
Angalia ''views'' zimefika ngapi 55,000 plus.

Unadhani hawa wote watapoteza muda wao kumsikiza mtu
mchochezi?

Mzee wangu naomba nikuhakikishie kitabu chako "The Life and Times of Abdulwahid Sykes" nimekisoma chote, nilipewa na rafiki yangu wa Dar 4 yrs ago, rafiki yangu huyo ni mwislamu nimesoma naye chuo kikuu. Na tulijadiliana sana yaliyomo mle, ambapo mengine hata yeye ana mashaka nayo. Lakini kiukweli alinipa nikisome tujadiliane, maana huwa tunajadiliana mengi. Na hii thread nimeifuatilia toka mwanzo na sasa naanza kuichoka.

Liko swali moja kuu ambalo kwenye kitabu chako halina jibu na hata hapa halijibiwi. Nalo ni hili: Ni kipi kinachokuthibitishia kuwa hao wazee wako wamefikwa na hayo kwa sababu ya dini yao? Kuna mambo kadhaa yanayoweza kusababisha wanaharakati kukosana wao kwa wao hata baada ya kukamilisha lengo la kupatikana uhuru (nakusudia kilichowakosanisha wazee wako na Nyerere), au watawala kukosana na watu fulani fulani. Hujatoa ushahidi katika kitabu chako kuhusu mambo hayo mengine yanayoweza kuwakosanisha watu. Tunajua pia kuwa Nyerere alikosana kabisa na kuwaweka kizuizini akina Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala na wengine, na hata Oscar Kambona alilazimika kuwa mkimbizi. Hawa huwazungumzii kwa kuwa si waislamu. Unatofautishaje tuhuma za hawa niliotaja na hao wazee wako kina Hassan bin Amir? Masuala ya uhaini na mambo kama hayo, kwa nini unakwepa kuyajadili, badala yake unasingizia tu Nyerere na dini yake?

Mimi nilimfahamu Nyerere kama mtu aliyekuwa mcha-Mungu, aliyezingatia ibada na kujitahidi sana kuifuata dini yake licha ya changamoto zilizotokana na madaraka aliyokuwa nayo. Lakini hakuwa mdini, hakuwa mbaguzi mwalimu Nyerere, tusitake kumsingizia. Matendo yake yalithibitisha hivyo, historia imeweka rekodi hiyo. Katika hotuba zake aliweka msimamo huo na alionesha kwa vitendo. Na hata alipostaafu, alizunguka nchi nzima akituomba tumpigie kura ya "NDIYO" Ndugu Ali Hassan Mwinyi, mwislamu. Hakutuambia tumchague kwa sababu ya uislamu, alituambia ni kiongozi bora, mwadilifu anayemwamini. Na hata alipomfanyia kampeni Benjamin Mkapa miaka kumi baadaye, hakutaja suala la dini katika sifa zake. Haya ya udini unatuletea wewe leo. Ndio maana unatukwaza.

Uhaini hauna dini. Watu wanapojiingiza kwenye matatizo kama hayo tusisingizie dini zao, maana huu ndiyo uchochezi wenyewe wa kufunika chanzo halisi cha matatizo na kusingizia mengine. Na pia kufaulu au kufeli shuleni si suala la dini, ni jitihada binafsi na nidhamu. Narudia kusema unanikwaza sana, na umekwaza wengi kwa mtazamo wako huu wa kibaguzi na kichochezi.
 
Ritz.
Sijasema uongo, kama ukisoma vema nimesema Oman wameanza kujenga Chuo Kikuu miaka ya 80, sijasema wamejenga mwaka huu kama wewe ulivyoandika.
Kaka nimeuliza maswali kadhaa kua ni kwanini miaka yote hiyo 800 kabla ya kuja Ukristo Waislamu hawakua wamejenga chuo kikuu mpaka miaka ya 1968??
Nimeuliza huo upendeleo wa Wakristo ilihali wapo wengi maskini tu na hawajasoma ni upi??
Nimeuliza huyo Nyerere aliwapendelea Wakristo akawasahau wanawe na familia yake??
Pia nimeshauri, juhudi za watu walizofanya kupata elimu zao lazima ziheshimiwe na huu ndio ustarabu.

Mimi na wewe tunapinga mfano wako umetolea waarabu ukiamisha ndiyo matatizo ya Waislam wa Tanzania.

Umeongea uongo mwingi kuhusu Oman lazima tuupinge watu wanasoma maandiko yako.

Kwanza Oman hawana utajiri wa mafuta kama unavyosema wana mafuta kidogo sana wala hawanufaiki nayo wana Gesi.

Al-Azhar Univesirty cha Misri imejengwa mwaka 972 dunia yote bado imelala vipi ili unalizungumziaje.
 
nimekupata na kukuelewa mkuu, ila nawaomba waislamu ebu basi watuambie wao waislamu wamejenga chuo kikuu kipi kwa jasho lao ambacho hata wasio waislamu wanasoma

misikiti yenyewe mingi wanajengewa na waarabu wakati wakristo wanajenga kwa fedha zao wenyewe sasa nani kafundishwa kujitegemea kati ya waislamu na wakristo

waache kuropoka, hii nchi ingekuwa ya kiislamu waislamu wote wanaopiga kelele sasa hv wangekuwa wamekimbia nchi

hapa kwetu tulitaka kutanua msikiti tu basi kibali mpaka alipoenda diwani tena wa CCM kuomba tulizungushwa mpaka tukataka kuandamana
 
mzee wangu naomba nikuhakikishie kitabu chako "the life and times of abdulwahid sykes" nimekisoma chote, nilipewa na rafiki yangu wa dar 4 yrs ago, rafiki yangu huyo ni mwislamu nimesoma naye chuo kikuu. Na tulijadiliana sana yaliyomo mle, ambapo mengine hata yeye ana mashaka nayo. Lakini kiukweli alinipa nikisome tujadiliane, maana huwa tunajadiliana mengi. Na hii thread nimeifuatilia toka mwanzo na sasa naanza kuichoka.

Liko swali moja kuu ambalo kwenye kitabu chako halina jibu na hata hapa halijibiwi. Nalo ni hili: Ni kipi kinachokuthibitishia kuwa hao wazee wako wamefikwa na hayo kwa sababu ya dini yao? Kuna mambo kadhaa yanayoweza kusababisha wanaharakati kukosana wao kwa wao hata baada ya kukamilisha lengo la kupatikana uhuru (nakusudia kilichowakosanisha wazee wako na nyerere), au watawala kukosana na watu fulani fulani. Hujatoa ushahidi katika kitabu chako kuhusu mambo hayo mengine yanayoweza kuwakosanisha watu. Tunajua pia kuwa nyerere alikosana kabisa na kuwaweka kizuizini akina joseph kasela bantu, christopher kasanga tumbo, james mapalala na wengine, na hata oscar kambona alilazimika kuwa mkimbizi. Hawa huwazungumzii kwa kuwa si waislamu. Unatofautishaje tuhuma za hawa niliotaja na hao wazee wako kina hassan bin amir? Masuala ya uhaini na mambo kama hayo, kwa nini unakwepa kuyajadili, badala yake unasingizia tu nyerere na dini yake?

Mimi nilimfahamu nyerere kama mtu aliyekuwa mcha-mungu, aliyezingatia ibada na kujitahidi sana kuifuata dini yake licha ya changamoto zilizotokana na madaraka aliyokuwa nayo. Lakini hakuwa mdini, hakuwa mbaguzi mwalimu nyerere, tusitake kumsingizia. Matendo yake yalithibitisha hivyo, historia imeweka rekodi hiyo. Katika hotuba zake aliweka msimamo huo na alionesha kwa vitendo. Na hata alipostaafu, alizunguka nchi nzima akituomba tumpigie kura ya "ndiyo" ndugu ali hassan mwinyi, mwislamu. Hakutuambia tumchague kwa sababu ya uislamu, alituambia ni kiongozi bora, mwadilifu anayemwamini. Na hata alipomfanyia kampeni benjamin mkapa miaka kumi baadaye, hakutaja suala la dini katika sifa zake. Haya ya udini unatuletea wewe leo. Ndio maana unatukwaza.

Uhaini hauna dini. Watu wanapojiingiza kwenye matatizo kama hayo tusisingizie dini zao, maana huu ndiyo uchochezi wenyewe wa kufunika chanzo halisi cha matatizo na kusingizia mengine. Na pia kufaulu au kufeli shuleni si suala la dini, ni jitihada binafsi na nidhamu. Narudia kusema unanikwaza sana, na umekwaza wengi kwa mtazamo wako huu wa kibaguzi na kichochezi.

hawawezi kuzielewa hoja zako kwa sababu ya uislam wao, umewafanya kuwa vipofu!!!!!
 
Neno INASEMEKANA mbona linatumika sana sikiliza hukumu za Majaji Mahakimu wote wanalitumia wala halina tatizo.

Mohamed Said, hakuna wa kumtoa povu humu JF.

Mbona INASEMEKANA Mwanakijiji ni wakala wa Kanisa na Chadema yumo JF kwa kazi maalum ndiyo maana kaficha jina lake tofauti na Mohamed Said.

Ushasikia mtu analeta mashtaka na kusema "inasemekana huyu aliiba" au "inaaminiwa kuwa huyu aliua albino". Kuna mahakama inaweza kumkutana mtuhumiwa na hatia kwa mashtaka yenye kudai "inaaminika" uhalifu umetendeka? Mahakama gani imewahi kukuta hatia kwa namna hii? mfano mmoja tu utatosha kunikata ngebe.
 
N,

Kitabu changu hakihusu kutambulika au kutotambulika kwa
akina Sykes.

Angalia content za kitabu:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Table of Contents
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 1. Dedication[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 2. Acknowledgements[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 3. Table of Contents[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] 4. Introduction[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Part One
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Abdulwahid Sykes 1924-1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Old Town of Dar es Salaam and its Elites[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · World War One 1914-1918[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 2.The Second World War and Tanganyika's Political Foundation, 1938-1945
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Burma Infantry, 1942[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Dar es Salaam Port, 1947[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Erika Fiah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Dockworkers' Union, 1948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanganyika African Association, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA Political Subcommittee, 1951[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika as a Mandate Territory[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Meru Land Evictions, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Story of Julius Nyerere, 1952[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Ally Kleist Sykes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Part Two
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 7. Mass Mobilisation 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Elders' Council and Nyerere's Visit to the United Nations, New York, 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Idd Faiz Mafongo [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Propagandists-The Bantu Group,1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Incorporation of Swahili Women's Societies into the Struggle, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Football As a Political Weapon[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Central Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Southern Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Western Province, 1955[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanga Province, 1956[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TANU in Mombasa, Kenya, 1957[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanga Strategy, 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Debate for Tripartite Voting[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Independence, 1961[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Part Three
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Conspiracy Against Islam 1961-1970
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Islam: The Ideology of Colonial Resistance[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The First Muslim Congress, 1962[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Resistance to Change[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Second Muslim Congress, 1963[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Proposal for an Islamic University, 1964[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Politics of Islam, Church, State and the African Christian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis'[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Islamic National Conference, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Omissions Analysed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Betrayal of Ideals[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Conspiracy Theory[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Epilogue [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Bibliography[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkubwa, sijasoma kitabu chako, lakini nimesoma kwenye sum up ya Yericko Nyerere kwamba Mwl. J.K. Nyerere hakuijua na aliipuuza familia ya Abduly Sykes. Sasa kama hujakanusha naamini kwamba ni kweli.

[B said:
[B said:
;5696570] katika kitabu chake bwana Mohamedi ametoa shutuma nyingi sana kwa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ikiwemo ya eti Mwalimu katika hotuba yake ya kuaga taifa alitamka wazi kuwa hamjui ABDUL SYKES, Inashangaza sana kwani Mohamed Said anajua wazi ameudanganya umma na kudhihaki wanaukombozi wetu.

pia kuweka contents, haina maana umejibu hoja kuwa Familia ya Sykes ilifanya kazi au haikufanya kazi na Nyerere hadi kifo chao ukiachilia wengine wanaokula matunda ya UHURU hadi leo
 
Setuba Noel,

Unaandika kwa hamaki na unatoa shutuma.

Huenda wewe mambo haya huyajui.
Nami nakuchukulia hivyo uyajui.

Sasa utakuwa na hali gani ikiwa utakuja baini
kuwa nisemayo ni kweli tupu?

Bado utanita mchochezi?

Sijui umefuatilia toka wapi mjadala huu.

Humu nimeweka historia ya wazee wangu walipigania
uhuru wa Tanganyika lakini historia imewatupa nje.

Hii imekuwa habari kubwa kwa wengi sana.
Angalia ''views'' zimefika ngapi 55,000 plus.

Unadhani hawa wote watapoteza muda wao kumsikiza mtu
mchochezi?

habari kubwa ndio, nani kaileta? angalia likes ziko kwa nani. wengi tunafuatilia ni kazi nzuri aliyoifanya Yeriko Nyerere ya kujaribu kuhariri kitabu chako. Inawezekana hakikuhakikiwa, na kama kilihakikiwa,waliokihakiki si watu makini hadi kukipitisha.

wengi tuliomo humu, au kama huamini tupige kura, tunaponda kitabu chako kilichojaa udini na kutelekeza umoja wa kitaifa ulioasisiwa na wazee wetu bila kujali dini zao.
 
Mzee wangu naomba nikuhakikishie kitabu chako "The Life and Times of Abdulwahid Sykes" nimekisoma chote, nilipewa na rafiki yangu wa Dar 4 yrs ago, rafiki yangu huyo ni mwislamu nimesoma naye chuo kikuu. Na tulijadiliana sana yaliyomo mle, ambapo mengine hata yeye ana mashaka nayo. Lakini kiukweli alinipa nikisome tujadiliane, maana huwa tunajadiliana mengi. Na hii thread nimeifuatilia toka mwanzo na sasa naanza kuichoka.

Liko swali moja kuu ambalo kwenye kitabu chako halina jibu na hata hapa halijibiwi. Nalo ni hili: Ni kipi kinachokuthibitishia kuwa hao wazee wako wamefikwa na hayo kwa sababu ya dini yao? Kuna mambo kadhaa yanayoweza kusababisha wanaharakati kukosana wao kwa wao hata baada ya kukamilisha lengo la kupatikana uhuru (nakusudia kilichowakosanisha wazee wako na Nyerere), au watawala kukosana na watu fulani fulani. Hujatoa ushahidi katika kitabu chako kuhusu mambo hayo mengine yanayoweza kuwakosanisha watu. Tunajua pia kuwa Nyerere alikosana kabisa na kuwaweka kizuizini akina Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala na wengine, na hata Oscar Kambona alilazimika kuwa mkimbizi. Hawa huwazungumzii kwa kuwa si waislamu. Unatofautishaje tuhuma za hawa niliotaja na hao wazee wako kina Hassan bin Amir? Masuala ya uhaini na mambo kama hayo, kwa nini unakwepa kuyajadili, badala yake unasingizia tu Nyerere na dini yake?

Mimi nilimfahamu Nyerere kama mtu aliyekuwa mcha-Mungu, aliyezingatia ibada na kujitahidi sana kuifuata dini yake licha ya changamoto zilizotokana na madaraka aliyokuwa nayo. Lakini hakuwa mdini, hakuwa mbaguzi mwalimu Nyerere, tusitake kumsingizia. Matendo yake yalithibitisha hivyo, historia imeweka rekodi hiyo. Katika hotuba zake aliweka msimamo huo na alionesha kwa vitendo. Na hata alipostaafu, alizunguka nchi nzima akituomba tumpigie kura ya "NDIYO" Ndugu Ali Hassan Mwinyi, mwislamu. Hakutuambia tumchague kwa sababu ya uislamu, alituambia ni kiongozi bora, mwadilifu anayemwamini. Na hata alipomfanyia kampeni Benjamin Mkapa miaka kumi baadaye, hakutaja suala la dini katika sifa zake. Haya ya udini unatuletea wewe leo. Ndio maana unatukwaza.

Uhaini hauna dini. Watu wanapojiingiza kwenye matatizo kama hayo tusisingizie dini zao, maana huu ndiyo uchochezi wenyewe wa kufunika chanzo halisi cha matatizo na kusingizia mengine. Na pia kufaulu au kufeli shuleni si suala la dini, ni jitihada binafsi na nidhamu. Narudia kusema unanikwaza sana, na umekwaza wengi kwa mtazamo wako huu wa kibaguzi na kichochezi.

Ndugu yangu kama umechoka bora ungekaa pembeni utazidi kujiumiza tu.

Kitabu cha Mohamed Said mbona kimewataja kwingi kina Oscar Kambona Kasela Bantu.

Vumilia kusoma vitu ambavyo uvipendi.
 
Mkuu Setuba Noel hili swali limeulizwa mara nyingi lakini Mohamed Said & Co wanakwepa kujibu wanajua dhahiri wakijibu kitabu kilichojaa fitna na chenye lengo maalum la kutugawa waTanzania kwa misingi ya dini kitupwa na kudharauliwa.

Mzee wangu naomba nikuhakikishie kitabu chako "The Life and Times of Abdulwahid Sykes" nimekisoma chote, nilipewa na rafiki yangu wa Dar 4 yrs ago, rafiki yangu huyo ni mwislamu nimesoma naye chuo kikuu. Na tulijadiliana sana yaliyomo mle, ambapo mengine hata yeye ana mashaka nayo. Lakini kiukweli alinipa nikisome tujadiliane, maana huwa tunajadiliana mengi. Na hii thread nimeifuatilia toka mwanzo na sasa naanza kuichoka.

Liko swali moja kuu ambalo kwenye kitabu chako halina jibu na hata hapa halijibiwi. Nalo ni hili: Ni kipi kinachokuthibitishia kuwa hao wazee wako wamefikwa na hayo kwa sababu ya dini yao? Kuna mambo kadhaa yanayoweza kusababisha wanaharakati kukosana wao kwa wao hata baada ya kukamilisha lengo la kupatikana uhuru (nakusudia kilichowakosanisha wazee wako na Nyerere), au watawala kukosana na watu fulani fulani. Hujatoa ushahidi katika kitabu chako kuhusu mambo hayo mengine yanayoweza kuwakosanisha watu. Tunajua pia kuwa Nyerere alikosana kabisa na kuwaweka kizuizini akina Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala na wengine, na hata Oscar Kambona alilazimika kuwa mkimbizi. Hawa huwazungumzii kwa kuwa si waislamu. Unatofautishaje tuhuma za hawa niliotaja na hao wazee wako kina Hassan bin Amir? Masuala ya uhaini na mambo kama hayo, kwa nini unakwepa kuyajadili, badala yake unasingizia tu Nyerere na dini yake?

Mimi nilimfahamu Nyerere kama mtu aliyekuwa mcha-Mungu, aliyezingatia ibada na kujitahidi sana kuifuata dini yake licha ya changamoto zilizotokana na madaraka aliyokuwa nayo. Lakini hakuwa mdini, hakuwa mbaguzi mwalimu Nyerere, tusitake kumsingizia. Matendo yake yalithibitisha hivyo, historia imeweka rekodi hiyo. Katika hotuba zake aliweka msimamo huo na alionesha kwa vitendo. Na hata alipostaafu, alizunguka nchi nzima akituomba tumpigie kura ya "NDIYO" Ndugu Ali Hassan Mwinyi, mwislamu. Hakutuambia tumchague kwa sababu ya uislamu, alituambia ni kiongozi bora, mwadilifu anayemwamini. Na hata alipomfanyia kampeni Benjamin Mkapa miaka kumi baadaye, hakutaja suala la dini katika sifa zake. Haya ya udini unatuletea wewe leo. Ndio maana unatukwaza.

Uhaini hauna dini. Watu wanapojiingiza kwenye matatizo kama hayo tusisingizie dini zao, maana huu ndiyo uchochezi wenyewe wa kufunika chanzo halisi cha matatizo na kusingizia mengine. Na pia kufaulu au kufeli shuleni si suala la dini, ni jitihada binafsi na nidhamu. Narudia kusema unanikwaza sana, na umekwaza wengi kwa mtazamo wako huu wa kibaguzi na kichochezi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom