Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE unachonganisha ilmurad hii thread ipoteze muelekeo,hii yote unaogopa nondo mpya yote haya katika kuumpa breathing space Mohamed Said
Serious Issues.
Simfahamu mkuu.
Kwa nini usitoe kwanza jibu la swali ulilouliza baada ya mimi kushindwa kufahamu kile ulichouliza.Na hawa John Rupia, Suleiman Takadir, Elias Kissenge, Dossa Aziz, Idd Tulio, Julius Mwasanyagi, Clement Mtamila, Haidar Mwinyimvua, Idd Tosiri, Rajabu Diwani, unajua habari zao.
Hapa ni kazi ya Urais na UWAZIRIMKUU zilikuwa zimepata watu sio watu wamepata kazi.
Mkuu una nia ya kuchanganisha Yericko na Andrew,unataka kufanya mmoja aonekane mwongo,unataka kuharibu threadWewe bora ungekaa kimya.
Kwa nini usitoe kwanza jibu la swali ulilouliza baada ya mimi kushindwa kufahamu kile ulichouliza.
Mkuu una nia ya kuchanganisha Yericko na Andrew,unataka kufanya mmoja aonekane mwongo,unataka kuharibu thread
.
Naona unajichanganya mwenyewe.
Nimebainisha kuwa wakristo siku zoa za ibada ya ijumaa mosi na ijumaa pili. Na waislam siku yao ya mapumziko ni ijumaa.
sasa Serikali yenu kama inavyodai haina dini ilitakiwa isime wazi kuwa siku yake ya mapumziko ni ijumaa nne au ijumaa tano ili isiwaonee huruma watu wa dini moja. Kuweka ijumaa pili siku ambayo uya mapumziko kwa wakristo ni kuwapandelea na wasilam wanavumilia hilo.
sasa wao kuwapa tu hiyo haki ya kuchinja kama wanavyofanya ndugu na jirani zenu wa kenya na Uganda na sehemu nyingi duniani mnaona nong'wa.
Kweli kazi ipo siye yetu macho na kuomba heri itawale kwani vita vya kidini havina mshindi. kama mmekubaliana kuvumiliana na huu ndio wakti wake
Pole sana
Hakuna wakati NCHI ilikuwa pamoja na moja kama wakati huu. Na hii ni baada ya kuwatia msukosuko kidogo baadhi ya wazee wa Mohamed.arusha declaration
![]()
Ndugu yangu, pengine wewe humfahamu huyu Prof Maliki.Nyinyi watu wa mfumo hamna jema wala kheri katika jamii.Ikiwa ni matangazo ya redio mtangaze nyinyi peke yenu wakitangaza waislamu ni uchochezi.Ikiwa ni kuandika magazeti na kutukana uislamu muandike nyinyi.Waislamu wakiandika kujitetea mnalalamika kuwa ni uchochezi.Iwapo ya kwenu hayasikilizwi na kusomwa si muache au mrekebishe mambo!.
Ikija suala la utafiti basi utafiti mnaoukubali ni ule ulioandikwa na watu wenu tu hata ikiwa hauna mvuto na umepitishwa kwa rushwa za kiNECTA.Wakiandika waislamu mnasema ni uchochezi.
Hapo juu uprofesa wa Malik na ufaulu wa akina Mohamed unautilia shaka kwa sababu tu haungi mkono ajenda zenu.Utafiti na uprofesa gani huo wa kwenu?.
Unaposema Profesa Malik alikuwa na ushawishi mkubwa katika mambo ya vurugu za kidini,tueleze wahitimu wake akina Mohamed kama ulivyothibitisha wamefanya vurugu gani.Na jee utafiti kwenu ni vurugu.Ikiwa hiyo ndiyo imani yenu kwa tafiti za kielimu basi nawapa pole sana.
Nyerere alifunga macho kwa baadhi ya wazee wa Mohamed Said wakaendelea kupeta-miaka ya karibuni competition imekuwa intence na monopoly waliyopewa na Nyerere haipo tena wanaanza kupiga keleleHakuna wakati NCHI ilikuwa pamoja na moja kama wakati huu. Na hii ni baada ya kuwatia msukosuko kidogo baadhi ya wazee wa Mohamed.
Mkuu una nia ya kuchanganisha Yericko na Andrew,unataka kufanya mmoja aonekane mwongo,unataka kuharibu thread
Yericko alisema Mwalimu Nyerere ni baba yake mzazi,mimi nimesema tu,that is news to me,sina taarifa. Mama yake mzazi ni nani?