Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkandara sijasema uongo.
Wazungu walichukua utumwa sana nchi za Magharibi mwa Afrika kwani ilikuwa rahisi kusafirisha kwenda Amerika na Ulaya, kumbuka kipindi hicho Suez Canal ilikuwa haijajengwa ili kuwezesha meli za Ulaya kuja Pwani yetu kirahisi. Hapakuwa na haja ya kuchukua watumwa Afrika Mashariki ilihali palikuwa na wengi tena wenye nguvu na miili mikubwa Afrika ya Magharibi. Kumbuka biashara ya Utumwa ya Atlantiki (Atlantic Slave Trade).

Waarabu hawakua madalali tu, madalali walikuwa baadhi ya machifu kama Mkwawa,Mirambo n.k hawa waliwauza watumwa kwa waarabu, waarabu wakawapeleka Zanzibara kisha wakapelekwa nchi za Kiarabu. Watumwa waliopelekwa nchi za Amerika na Ulaya wapo hadi leo hii vizazi vyao lakini waliopelekwa nchi za Kiarabu ni wachache sana na kuna sababu mbalimbali zimetolewa katika hili. 1) walihasiwa (castration) ili wasije wakazaa na mabinti wa hao mabwana (masters) zao. 2) Hawakuruhusiwa kuoa mabinti wa masters zao. Lakini walipelekwa wengi tu huko. Tip Tip ni muarabu pia.

Kanisa la Angalikan la hapo Mkunazini lilijengwa siku za baadae wakati Uingereza ikiwa imepitisha sheria ya kuzuiz Biashara hiyo ya utumwa, hivyo walijenga kanisa maksudi ili kuwasaidia kupambana na biashara ya Utumwa.

Mkandara soma historia vema, ukitaja wakoloni pasi na kuwataja waarabu utakuwa bado hujawataja vema hao wakoloni.
Huu ni uongo mkubwa sana maana hakuna nchi hata moja ya kiarabu ilochukua watumwa kutoka mashariki yetu. sasa hawa walikwenda kulima nini jangwani ama huko Oman kuna zao gani ama kazi gani walizofanya kukuza uchumi wa waarabu maana wao wenyewe walikuwa wakisifika kwa umachinga (merchant).. Au unachukulia swala la Utumwa pasipo kuelewa kwa nini biashara ile ilifana?..

Waarabu ndio walikuwa na access ya kwenda bara hadi Kongo (wakitutawala) na hata huko Magharibi ni waarabu ndio walikuwa wakiwauza watumwa kwa wazungu kutokana na kwamba wana access ya kuingia ndani barani kama wachuuzi..Kazi yao ni kukusanya watumwa kuja kuwauza sokoni pwani ktk makanisa ya Mombasa na Zanzibar. Pale kulikuwa na wazungu wanaonunua watumwa na ndio maana Sultan alikuwa protected na wazungu halafu jiulize hivi ilikuwaje kanisa lijengwe Zanzibar na Mombasa (fort Jesus) na ndio liwe soko la kuuzia watumwa kama biashara ni yao wao? hawakuhitaji kupeleka watumwa kupitia kanisani ikiwa wao ndio wahitaji na wao ndio wanatawala.
 
Naona kuna kila dalili Mzee Mohamed Said na wapambe wake kula chocho kwa nondo mpya toka kwa Mkandara.
Na wakiona wanazidi kuumbuliwa basi wataanza kumtoa nje ya mada kwa kumletea viroja badala ya hoja.

Haya endeleeni kupewa za uso....sisi tunawasoma.
 
Kwanza uliandika hivi:

Para ya pili kwenye post hiyo hiyo ukayaona makosa yako ukaandika hivi:

Mimi kwa kukuonesha tu kuwa Wajaluo wameshaandika sana tu historia yao, nikakuwekea hii:

Ingawa ulikubali kuwa umekosea lakini ikabidi tu ubishane na ukaunganisha Waluo na Mohamed Said:

Unajuwa unashangaza sana! hueleweki.

Usitake tuazishe darsa la Mau Mau na Waluo hapa. Sijui kama unaelewa kuwa Mluo leo hii ndio Rais wa USA?
Mkuu wangu niliposema nimekosea nilikuwa na maana ya kufananisha Wajaluo naMohammed said kwa sababu case hizi hazifanani na sio kwamba kuna makosa ktk maandishi yangu..

Pili, kinachofanyika Kenya ndio nachokipinga miye na hivyo natoa mifan hii kwa kukutahadhalisha tu wewe na wengine ya kwamba mnakokwenda ni sawa na hao kina Ogot na Ochieng ambao ndio wachochea kuni wakubwa za Ukabila ulokuwepo Kenya japo kweli Wajaluo leo wanaonewa lakini wamesahau jinsi walivyopendelewa wao wakati wa mkoloni. Je, ni kina nani wanaoathirika na kufa kwa uhasama huu wala sio wao bali wale walolishwa ujinga huo..

Mtanisamehe naondoka kidogo, maisha hayapo JF inabidi niweke ugali mezani... tutaonana tukijaliwa... By the way Tall yupo huko mmeonana?
 
Ndio historia ya TAA maana kabla ya mapinduzi ya Abdul Wahid kumpindua baba yake na kuongoza, chama cha TAA kilikuwa kijiwe tu cha wazee wa Kariakoo tena niseme gerezani.. Hivyo enzi hizo wakristu wengi walikuwa wakiishi kuanzia Ilala kota Msimbazi na kuelekea Magomeni na hawakuwa sehemu ya kijiwe hicho.

Hivyo waliposhika kina Abdul uongozi ndio wakaanza kuchukua wanachama kutoka sehemu mbali mbali nchini pasipo kujali dini wala makabila na kukifanya chama hicho cha kisiasa. Walimhitaji Nyerere sana tu kutokana na elimu, kipaji na uwezo wake ktk kuwaunganisha Watanzania wote, jambo ambalo baadhi ya wanachama kina Takadir hawakupenda kuona TAA inachukua hata watu kutoka bara. Sasa tujiulize kama hawa watu kina Takadir hawakutaka watu kutoka bara, hicho chama cha TAA kingekuwa kinapigania Uhuru wa kina nani?
Halafu imagine kama akina Takadir ndio wangechukua uongozi, sisi "wakuja" tungeendelea kuwa wakuja tu. Nilisoma na Ditopile. Yeye alikuwa hafichi ubaguzi wake. Nilidhani ni utoto tu unamsumbua, lakini hata alivyoingia kwenye siasa aliendelea na mtazamo wake ule ule wa kutuona sisi wengine ni wakuja tu. Akisema waziwazi, wakuja hawezi kuwa meya wa Dar-es-Salaam. Nyerere katuepusha mengi.
 
Haya mama kanipa nusu saaa zaidi kuendelea na mke wangu huyo wa pili, hivyo basi Zomba, Ritz na Mohammed Said tuendelee kabla sijaondoka!
 
Yote uloandika ni ya kweli kabisa lakini sii Mwinyi alowaleta kina Mohammed said na Zomba isipokuwa Mwinyi ndiye alotuletea CCM tunayoikataa leo ya kina Lowassa, Rostam na wahuni wengine wengi wasiojali kabisa UHURU na UTU wetu bali KUTAWALA...Mwinyi ndiye alorudisha KUTAWALIWA na kina Mohammed Said wanayasikia machungu yake lakini hawataki kuona ukweli uliopo isipokuwa kurudi nyuma na kumtafuta mchawi..

Wewe hushangai Miafrika inalia na hali ngumu ya maisha na jinsi serikali ilivyowasahau lakini hawa hawa ndio wanaipigia kura CCM na kuvaa nmagwanda ya kijani na njano?..Mohammed Said, Zomba na hata Ritz ni member wa CCM wakereketwa, chama cha Nyerere ambacho kwa madai yao wenyewe ndicho kinawapa hali ngumu waislaam nchini toka Uhuru!!!..Hii kweli inaingia akilini?

Sisi wengine hatukuondoka CCM kwa sababu tunakichukia chama kwa sababu ya Kikwete muislaam, bali tunajua chama kimepoteza mwelekeo hatutafuti mchawi wakati unayetula yuu nguoni mwetu..
Duuh! Mkandara unawakimbiza kama Hussein Bolt....hakika Mkandara umekuja kufunga simulizi za wazee wa gerezani.
 
Mkuu wangu niliposema nimekosea nilikuwa na maana ya kufananisha Wajaluo naMohammed said kwa sababu case hizi hazifanani na sio kwamba kuna makosa ktk maandishi yangu..

Pili, kinachofanyika Kenya ndio nachokipinga miye na hivyo natoa mifan hii kwa kukutahadhalisha tu wewe na wengine ya kwamba mnakokwenda ni sawa na hao kina Ogot na Ochieng ambao ndio wachochea kuni wakubwa za Ukabila ulokuwepo Kenya japo kweli Wajaluo leo wanaonewa lakini wamesahau jinsi walivyopendelewa wao wakati wa mkoloni. Je, ni kina nani wanaoathirika na kufa kwa uhasama huu wala sio wao bali wale walolishwa ujinga huo..

Mtanisamehe naondoka kidogo, maisha hayapo JF inabidi niweke ugali mezani... tutaonana tukijaliwa... By the way Tall yupo huko mmeonana?

Rudia post zako, uliposema umekosea hata Mohamed Said hukumtaja, Mohamed Said ulimtaja baada ya mimi kukuonesha kuwa Wajaluo washaandika sana historia. Ukiwa si mkweli inatakiwa uwe na kumbukumbu.
 
Last edited by a moderator:
Rudia post zako, uliposema umekosea hata Mohamed Said hukumtaja, Mohamed Said ulimtaja baada ya mimi kukuonesha kuwa Wajaluo washaandika sana historia. Ukiwa si mkweli inatakiwa uwe na kumbukumbu.
Sikumtaja kwa jina lakini kwa mwenye kufuatilia hoja zangu ataelewa nilikuwa namzungumzia Mohammed Said kwa kusema hivi (...Ebu fikiria Kenya leo wajaluo waliokuwa wamemezwa na Wakikuyu wakianza nao kuandika kitabu juu ya harakati za Wajaluo kupigania Uhuru watafika kweli....) wewe unadhani nilikuwa natolea mfano nani?

Leo hii ukinambia kuna Udini na Ukabila nitakwambia kweli UPO na kauanzisha Mwinyi, na Kikwete ameshindwa kuukomesha na he is responsible for all what it's happening! nobody else... kama vile zanzibar wanavyoanza kutokea kina Jussa vizazi vya Sultan.
 
Haya mama kanipa nusu saaa zaidi kuendelea na mke wangu huyo wa pili, hivyo basi Zomba, Ritz na Mohammed Said tuendelee kabla sijaondoka!
Mkuu, umewashika pabaya....sasa wameitana somewhere mitaa ya gerezani kwa kikao cha siri ili waje kukupa viroja vya uso.
 
Mkuu, umewashika pabaya....sasa wameitana somewhere mitaa ya gerezani kwa kikao cha siri ili waje kukupa viroja vya uso.
Siku zote ukweli hujitenga na uongo.. Hizi habari za kina Mohammed said ni kasumba za wafuasi wa kina Hassan Amir na wengine huko Zanzibar wametokea na kazumba za Sultan.. wamelishwa ujinga sasa wanataka kila mtu aamini kama wanavyoamini wao...

Jana nilikuwa natazama documentary moja kuhusu Dini na hakika kama sipendi kuamini kitu basi documentary ile ingenimaliza kabisa... Inazungumzia The greatest lie ever told ni kuhusu maisha ya Yesu na Moses na mitume kuwa ni utunzi wa watu kughiribu akili zetuna wametoa mifano hai kabisa..Lakini kwa sababu, I believe in God story yoyote ile inayowahusu mitume haiwezi kunighiribu akili, iwe kweli ama sii kweli maadam imani yangu ni kuniweka mimi ktk hadhi ya Ubinadamu tofauti kabisa na mnyama iwe sokwe ama ngamia na najihisi Utu wangu basi nitaendelea kuamini lengo la mitume hao badala ya kashifa hizi..
 
Wapi mzee Mohamed Saidi? Wapi wapambe wako? Mkandara kasema ana nusu saa tu ya kuwa hapa. Au mnamsubiri alog off ndipo muje na tungozenu toka mitaa ya Gerezani? Alafu kibaya zaidi akishalog off mtasema amekimbia nondo zenu.

Haya mpeni hoja zenu ili awajibu kwa hoja murua...sisi tunawasoma.
 
Mkandara,

Siku zote huwezi kukubali Nyerere azungumzwe vibaya bahati mbaya unakubali mfumo kristo umeletwa na Mwinyi lakini sisi Waislam tunaona mfumo kristo umeletwa na Nyerere ushahidi upo wazi.
 
Last edited by a moderator:
Bila Mohamed Said kuandika kitabu nani angewajua hawa wazee wetu waliotupwa nje na historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Siku zote ukweli hujitenga na uongo.. Hizi habari za kina Mohammed said ni kasumba za wafuasi wa kina Hassan Amir na wengine huko Zanzibar wametokea na kazumba za Sultan.. wamelishwa ujinga sasa wanataka kila mtu aamini kama wanavyoamini wao...

Jana nilikuwa natazama documentary moja kuhusu Dini na hakika kama sipendi kuamini kitu basi documentary ile ingenimaliza kabisa... Inazungumzia The greatest lie ever told ni kuhusu maisha ya Yesu na Moses na mitume kuwa ni utunzi wa watu kughiribu akili zetuna wametoa mifano hai kabisa..Lakini kwa sababu, I believe in God story yoyote ile inayowahusu mitume haiwezi kunighiribu akili, iwe kweli ama sii kweli maadam imani yangu ni kuniweka mimi ktk hadhi ya Ubinadamu tofauti kabisa na mnyama iwe sokwe ama ngamia na najihisi Utu wangu basi nitaendelea kuamini lengo la mitume hao badala ya kashifa hizi..
mkuu naomba radhi kwa kuuliza swali hili! hivi mbali na dini yako tukufu ya utanganyika? wee unashikilia dini gani za kuja?
(nahisi kama nimeshakusoma sehemu kwenye posts zako inaonyesha wewe ni muislam, ila maandishi yako yana mafunuo ya mbali kuliko dini za kuja.)
 
Sikumtaja kwa jina lakini kwa mwenye kufuatilia hoja zangu ataelewa nilikuwa namzungumzia Mohammed Said kwa kusema hivi (...Ebu fikiria Kenya leo wajaluo waliokuwa wamemezwa na Wakikuyu wakianza nao kuandika kitabu juu ya harakati za Wajaluo kupigania Uhuru watafika kweli....) wewe unadhani nilikuwa natolea mfano nani?

Leo hii ukinambia kuna Udini na Ukabila nitakwambia kweli UPO na kauanzisha Mwinyi, na Kikwete ameshindwa kuukomesha na he is responsible for all what it's happening! nobody else... kama vile zanzibar wanavyoanza kutokea kina Jussa vizazi vya Sultan.

Sijui unakumbuka? ngoja nikukumbushe:
quote_icon.png
By Mkandara
...Ebu fikiria Kenya leo wajaluo waliokuwa wamemezwa na Wakikuyu wakianza nao kuandika kitabu juu ya harakati za Wajaluo kupigania Uhuru watafika kweli....

Naona huoni neno "watafika kweli".

Nikakujibu kuwa wameshaandika, nikakupa kimoja tu, kuna vingi sana.

Baadae ukaunganisha kina Ogoth na Mohamed Said.

Unaonesha ni mfupi wa kukumbuka. Hio la kufika, nikakukumbusha kwa kukuuliza sijui kama unaelwa kuwa Rais United States of America leo hii ni Mjaluo, hilo nilikuonesha kuwa kama kuandika historia yao wameandika sana tu, kwa hiyo si hoja. Na kama kufika wameshafika usipotegemea kufika wewe, wanaongoza leo hii USA. Kwa hayo, kama ulifikiri mwenyewe u,eleta hoja za maana tumezi crush vibaya sana, kwa ushahidi kamili. Na la kusomeshwa na Nyerere nilikuuliza alikuja na hela kutoka Mwisenge? hilo naona ukalikubali kwani hujalirudia tena.
 
wee kweli akili yako haina akili.
Mohamed Said ni nani hadi aaminike?

Tumia lugha ya kiungwana tujadiliane naweza kukujibu kishenzi lakini naweza kuwavunjia heshima wazee wako.
 
Huu ni uongo mkubwa sana maana hakuna nchi hata moja ya kiarabu ilochukua watumwa kutoka mashariki yetu. sasa hawa walikwenda kulima nini jangwani ama huko Oman kuna zao gani ama kazi gani walizofanya kukuza uchumi wa waarabu maana wao wenyewe walikuwa wakisifika kwa umachinga (merchant).. Au unachukulia swala la Utumwa pasipo kuelewa kwa nini biashara ile ilifana?..

Waarabu ndio walikuwa na access ya kwenda bara hadi Kongo (wakitutawala) na hata huko Magharibi ni waarabu ndio walikuwa wakiwauza watumwa kwa wazungu kutokana na kwamba wana access ya kuingia ndani barani kama wachuuzi..Kazi yao ni kukusanya watumwa kuja kuwauza sokoni pwani ktk makanisa ya Mombasa na Zanzibar. Pale kulikuwa na wazungu wanaonunua watumwa na ndio maana Sultan alikuwa protected na wazungu halafu jiulize hivi ilikuwaje kanisa lijengwe Zanzibar na Mombasa (fort Jesus) na ndio liwe soko la kuuzia watumwa kama biashara ni yao wao? hawakuhitaji kupeleka watumwa kupitia kanisani ikiwa wao ndio wahitaji na wao ndio wanatawala.

Mkandara ipo hivi.
Fort Jesus ilijengwa na Wareno, walifika Pwani ya Kenya (Mombasa) wakitaka kuifanya Kenya kuwa koloni lao, kumbuka hata hapa kwetu walijaribu pia. Wareno walishindwa nguvu ya Waarabu na badae Waingereza pia. Sultan alikuwa protected kwa kua alikubali kuwa chini ya Waingereza Mombasa na Zanzibar.
Waarabu walikuwa wakichukua Watumwa bara kuja kulima mashamba Zanzibar,wengine wakiuzwa kubeba mizigo ya Wazungu (explorer) na wengine kupelekwa bara Arabu kulima (huko Arabuni kuna maeneo ya kilimo na ufugaji pia) kazi za nyumbani pia.
Baadaye huko Ulaya na Amerika wakapitisha sheria ya kuzuia biashara ya utumwa, mwaka 1822 Sultan wa Zanzibar alisaini mktaba wa kuzuia biashara ya utumwa mbele ya ujumbe toka Marekani na Uingereza. Lakini pamoja na mkataba huo wa kuzuia biashara hiyo haramu bado iliendelee tu hapo Zanzibar.
Mwaka 1873 Sultan Barghash alilazimishwa na Waingereza kusaini tena agizo lingine la kupinga biashara hiyo vinginevyo nguvu za kijeshi zingetumika dhidi yake (Kumbuka Waingerza ndio walikuwa watawala wa Zanz na Kenya, yeye (sultan) alikuwa hana nguvu juu yake.)
Katika kuhakikisha hilo linatendeka ndipo wakaanza kujenga kanisa mahali lilipokuwa soko la watumwa, kanisa lilinza kujengwa mwaka 1873 na kukamilika 1883. Sasa ukisema walizwa kanisani unakuwa hujasoma vizuri historia ya Zanzibar. Kanisa lilijengwa kama ishara ya kumalizika kwa biashara hiyo ambayo Ulaya na Amerika tayari walikuwa wameshaikataa.

Hebu jiulize, kumchukua mtumwa toka Bahari ya Hindi uzunguke naye hadi Atlantic ndio aende Marekani na Ulaya wakati kuna watumwa Afrika Magharibi ambapo ni kuvuka bahari tu upo Marekani au Ulaya??. Rahisi ni kutoka nchi za kiarabu kuja Tanzania kwani bahari ni moja tu ya Hindi, ndio mana tulipata Wakoloni wa Kiarabu mapema mno kabla ya Wazungu kwani ni rahisi zaidi. Chukua ramani ya Dunia weka mezani na angalia hizi bahari ninazozitaja hapa , Hindi,Atlantik na Medtereniani. Kumbuka miaka hiyo hapakuwa na ndege ya kukurusha toka zanzibar hadi London kwa masaa machache.
 
So,kwa takwimu hizo ndizo zatosha kwako kuzifanyia justification na conclusion ili kuuaminisha ummah?

yapo mengi sana yaliyofichwa..

Sasa yaliyofichwa ni yapi ndo ufichue sasa tutatue tatizo. Yule binti wa kikwete aliyepata ziro ni kwamba kaferishwa au uwezo wake mdogo?
 
Back
Top Bottom