Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwa kukusaidia ni kuwa ukweli ni lazima usemwe japo utakuumiza.

Vile vile mtu anatakiwa kujua historia ya jambo kabla kulichukulia hatua kwani kwa kujua huko ataweza kujua mabaya na mazuri ya jambo hilo ma kisha utafuta njia bora ya kurekebisha sio kufumbia macho eti kw sababu alikusomesha.

Ikumbukwe kuwa JKN alikuwa ni mwanadamu kama wanadamu wengine na mara nyingi tu aliwahi kukosea ni vizuri kubainisha makosa yake na kutafuta njia muafaka ya kuyatatua lakin si kufucha ukweli wa mayendo yake.

nakupa pole
attachment.php

soma na huu waraka wa nduguzo.
 
attachment.php

soma na huu waraka wa nduguzo.

Wewe una akili fupi kama maisha ya funza.

Mnakaa kwenye vijiwe vyenu mnatengeneza upuuzi mnaleta JF.

Umetumwa na Dr Slaa haya nenda pale mtaa wa ufipa kachukue posho yako.
 
Na cha tatu mwaka wa 8 sasa, kinajidai kiko bize angani huku tunachinjani buchani kama kitoweo. Tunauana makanisani,....

Hicho ndio kidume kilichowataja wazi wazi mbele ya hadhara uwanja wa taifa wazee waliosahauliwa na Nyerere na Mwinyi na Mkapa.

Katika historia ya sherehe za Uhuru pale uwanja wa Taifa huwa haitolewi hotuba kwa mara ya kwanza kidume kikaweka rekodi kwa kutoa hotuba ya kuwataja waliosahauliwa.

Ukitaka kujuwa mafanikio ya Kikwete nakupa ofa, funguwa nyuzi, ntakuja hukohuko kukupa darsa.
 
Wewe una akili fupi kama maisha ya funza.

Mnakaa kwenye vijiwe vyenu mnatengeneza upuuzi mnaleta JF.

Umetumwa na Dr Slaa haya nenda pale mtaa wa ufipa kachukue posho yako.
huo waraka ni matunda ya mafundisho ya huyo mungu wenu wa duniani Mohamed Said, wala usihamaki.
 
Hicho ndio kidume kilichowataja wazi wazi mbele ya hadhara uwanja wa taifa wazee waliosahauliwa na Nyerere na Mwinyi na Mkapa.

Katika historia ya sherehe za Uhuru pale uwanja wa Taifa huwa haitolewi hotuba kwa mara ya kwanza kidume kikaweka rekodi kwa kutoa hotuba ya kuwataja waliosahauliwa.

Ukitaka kujuwa mafanikio ya Kikwete nakupa ofa, funguwa nyuzi, ntakuja hukohuko kukupa darsa.
Mafanikio ya Kikwete? Usipate shida. Nilipata bahati ya kumfahamu muda mrefu huyu bwana. Nayafahamu yote. Nitafutie nafasi ya kumwona ili nimuandikie biography yake. Ataipenda na utaipenda.
 
huo waraka ni matunda ya mafundisho ya huyo mungu wenu wa duniani Mohamed Said, wala usihamaki.

Wala hakuna mtu ambae anahamaki wewe ndiyo unaangaika sasa unachofanya ni kuchafua huu uzi.

Mlikuwa mnasema Mohamed Said saizi mnasema mnamuita Mungu.

Hata mimi naweza kuleta waraka kama huo nikaandika chochote.
 
Mafanikio ya Kikwete? Usipate shida. Nilipata bahati ya kumfahamu muda mrefu huyu bwana. Nayafahamu yote. Nitafutie nafasi ya kumwona ili nimuandikie biography yake. Ataipenda na utaipenda.

Amma kweli macho unayo lakini hayaoni, masikio unayao lakini hayasikii. Leo Ikulu hupajuwi?
 
Amma kweli macho unayo lakini hayaoni, masikio unayao lakini hayasikii. Leo Ikulu hupajuwi?
Nilidhani wewe ni mtu wake wa karibu zaidi. Ukinipeleka, ataongeza IMANI yake kwangu. Sitaki kutumia nyaraka na simulizi kama mzee wetu Mohamed Said alivyofanya kwa swahiba wake Abdulwahid Kleist.
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani wewe ni mtu wake wa karibu zaidi. Ukinipeleka, ataongeza IMANI yake kwangu. Sitaki kutumia nyaraka na simulizi kama mzee wetu Mohamed Said alivyofanya kwa swahiba wake Abdulwahid Kleist.

Huyo ni Rais wa Watanzania wote, wala nguruwe na wasiokula nguruwe.
 
Ni rahisi sana kubomowa, si rahisi kujenga. Ikiwa nyumba inayomchukuwa mtu miaka 2 kuijenga unaweza kuibomowa kwa siku moja tu, sasa piga hesabu nchi iliyobomolewa kwa miaka 44 mfululizo, itachukuwa muda gani kuijenga? Nakwambia miaka 44 kwa kuwa Nyerere 24, chaguo lake la kwanza 10, chaguo lake la pili 10.

Nchi hii ndio kwanza Kikwete kaanza kuijenga ipasavyo, kumbuka kuwa yeye tu hakuwa chaguo la Nyerere na yeye ndiye tunashuhudia akileta mabadiliko ya kweli ya utawala mpaka ya uchumi.

Hata wapigania Uhuru waliosahauliwa na Nyerere na vikaragosi vyake kwa miaka 44 tumeona wakikumbukwa rasmi kwa mara ya kwanza kwenye awamu hii ya uongozi.
Mkuu wangu wewe unaishi nchi gani?... siku hizi nyumba najengwa kwa muda mfupi sana na ikisha sii huyo huyo kigaragosi cha pili ndiye mnayemsifia kwa kabomoa mfumo wa Nyerere wa siasa za Ujamaa na kujitegemea?... mbona mliweza kubomoa Ujamaa siku moja huko Zanzibar na mkarudisha mashule na Hospital kwa Wajarumani mnashindwa vipi leo kuanza hata ujenzi mpya ili waislaam nao wafaidike?... Leo vipi mnashindwa hata kubomoa msingi wa Utawala wa Nyerere ikiwa kazi ya kubomoa ni rahisi?..

Halafu usiovyokuwa na aibu unataka kuwaambia watu ya kwamba JK ndiye pekee anayejenga wakati unajua wazi hata kubomoa kashindwa japo miye nasema alojenga alorudisha mfumo wa kikoloni ni Mwinyi. Mbali na haya huyo Mohammed said mwenyewe anafahamu njinsi Mwinyi kikaragosi mwenzenu alivyotusumbua BALUKTA hadi yeye mwenyewe kwa amri yake akauawa Sheikh Kassim bin Jumaa!

Na nitasema tena na tena ya kwamba hata siku moja usitake kumfanya mtu MUISLAAM sana kwa sababu kazaliwa ndani ya ukoo wenye kujiita Waislaam. Uislaam sio sawa na kabila bali Uislaam ni IMANI na IBADA hivyo kama ibada (matendo) yake ni kinyume cha tulivyoamrishwa - hakuna Uislaam bali jina tu..huwezi kuwa na imani (kukiri kwa moyo) na usifanye ibada ni kumdhihaki Mwenyezi Mungu..

Nne na mwisho, hakuna mtu aliyeogopwa kama mnafiki, na nitasema hivi viongozi wote wa CCM ni wanafiki wakubwa maana ni wao walotuahidi mengi sana iwe ktk elimu, Afya, Umeme, maji, kilimo lakini hakuna hata moja ambalo wamelifanya. Kwa mfano, ni Kikwete aliyesema kwa ulimi wake mwenyewe kuwa tatizo la Umeme nchini litakwisha mwaka 2008, kumbe badala yake akatuletea Richmond kutubomoa zaidi... Na waswahili husema dalili za mnafiki ni zipi?..

Yote mnayoyaandika humu ni unafiki mkubwa sana maana ni nyie mlokuwa CCM na nyie ndio mnaolalamikia mfumo kristu ambao mliuasisi wenyewe. Kama mngekuwa wakweli wa nafsi zenu basi nanyi mngeondoka CCM kama walivyoondoka Hassan bin Amir na Takadir chama cha TANU mkaanzisha chama chenu cha waislaam na kujenga sera za kiimani na sio za sera za Kibepari na ukoloni mamboleo. Huu ni unafiki mkubwa mnaufanya kuitumia dini kwa manufaa yenu kisiasa, ili mradi watu waichukie Chadema kwa kuwa Dr.Slaa ni mkristu..
 
Naona mnakasha umeisha sasa ni CCM na Chadema.

Mkandara (Chadema) zomba (CCM).

Game imeanza...
 
Yote mnayoyaandika humu ni unafiki mkubwa sana maana ni nyie mlokuwa CCM na nyie ndio mnaolalamikia mfumo kristu ambao mliuasisi wenyewe. Kama mngekuwa wakweli wa nafsi zenu basi nanyi mngeondoka CCM kama walivyoondoka Hassan bin Amir na Takadir chama cha TANU mkaanzisha chama chenu cha waislaam na kujenga sera za kiimani na sio za sera za Kibepari na ukoloni mamboleo. Huu ni unafiki mkubwa mnaufanya kuitumia dini kwa manufaa yenu kisiasa, ili mradi watu waichukie Chadema kwa kuwa Dr.Slaa ni mkristu..

Kwa kuwa wewe ni Muislamu mzuri utakuwa tayari kujiunga na chama cha Kiislamu? uko tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya dini yako pindi kamatakamata na misukosuko ikianza kwa sababu ya kuanzisha chama chenye mrengo wa dini kinyume cha katiba?
 
Alaa si kisha kufa sasa wewe vipi bado unaendelea kuwa mwanachama wa chama chake ambacho kinatukuza mfumo kristu kwa vitendo maanake sielewi hata mnachokilalamikia wakati nyie wenyewe ndio mnaongoza nchi, huyo Nyerere hayupo tena.

Hivi unajua maana ya Mfumo? unajua mfumo wa damu unavyofanya kazi?
 
Kwa kuwa wewe ni Muislamu mzuri utakuwa tayari kujiunga na chama cha Kiislamu? uko tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya dini yako pindi kamatakamata na misukosuko ikianza kwa sababu ya kuanzisha chama chenye mrengo wa dini kinyume cha katiba?
Uislaam sio SIASA ni maisha yako unavyoishi wewe na kila mmoja wetu. MTU kwa MTU hivyo nachoweza kufanya i kuitangaza imani hii ya kumuabudu Mwenyezi Mungu MMOJA na kufanya ibada zake.. Siku ya siku kila mmoja wetu atabeba msalaba wake maana ujumbe nimekwisha utoa, hairuhusiwi ktk Uislaam kumlazimisha mtu achague Uislaam isipokuwa una haki ya kujitetea unapolazimishwa kuacha Uislaam.
 
Hivi unajua maana ya Mfumo? unajua mfumo wa damu unavyofanya kazi?
Ahaaa! haaaa! ama kweli mwenzangu umeingia choo cha kiume..haya nambie wewe maana ya mfumo wa damu maana miye siendi mwezini!
 
Ahaaa! haaaa! ama kweli mwenzangu umeingia choo cha kiume..haya nambie wewe maana ya mfumo wa damu maana miye siendi mwezini!

Maadili niliyofunzwa hayaniruhusu kukujibu mpaka ufute ulichoandika hapo juu kuhusu hali inayowapata mama zako!
na utuombe radhi! si heshima wala adabu kuropoka ropoka mambo yanayohusu ndani ya miili ya kina Mama Zako!
nadhani umenielewa!
 
Wazee wako kina nani? Maana kina Nyerere hawakutambui.

Yeyote aliyeshiriki harakati za kudai uhuru wa nchi hii na ambae leo halalamiki kwakusema anadhulmiwa kwasababu ya dini yake huyo ndie mzee wangu.
 
Back
Top Bottom