Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,

Mashaallah.

Hakika Allah amekujalia akili.
Quick thinking...

Allah akuzidishie.

Mimi ninachokiona kwa huyu ndugu yangu ni kibri na jeuri.
.
.
Ndiyo nikasema naona ameghadhibika atulie kidogo.

PS:

Rafiki yangu alinichukua hadi Brooklyn Heights New York mahali ambako
walikuwa wanatengeneza zile series za Cosby Show.

Rafiki yangu mwingine alikwenda kunionyesha ukumbi alokuwa akipiga Bob Marley
Finsbury Park, London wakati Marley hajawa maarufu na huyu rafiki yangu wakijuana
vyema.

Manu Dibango kaja kufanya Show Harare mimi niko pale.
Mji umepata wazimu na Mokosa Man!

Mkuu Moh. hivi Cosby bado mzima? mtoto wake wa kiume aliye pigwa risasi alipona? Je Manu bado anadunda au la?
 
Hili lilikuwa ni zoezi lililoendeshwa na New African kwa wasomaji kutoka kila pembe ya Afrika na dunia...kuna majina tunayataja humu ya watu ambayo hayakuweza hata kujitokeza kwenye orodha ya watu milioni moja! Hilo ndilo linanipa taabu...kwa nini hakuna hata jina moja la wazee Mohamed Said wa Gerezani lililojitokeza?

Humo kuna mpaka mashoga ndiyo maana nakuambia kuna wapuuzi wengi.
 
Last edited by a moderator:
Ritz, mapovu ya nini? anayeandika vitu hapa bila ushahidi ni huyo mzee wako Mohamed Saidi. Akidaiwa ushahidi amekuwa ama ananukuu ngano zake au akijibu majibu ya kihuni.. andikeni na nyie historia ya wazee wenu..si shindani hapa.. mimi ni scholar nimetembea nchi nyingi.. zomba wape dozi... Ritz wajibu hao..

Wala hakuna mapovu nimemjibu kiungwana sana kutokana na alivyoniandikia

Mohamed Said mbona ajalazimisha mtu kukiamini kitabu chake kipuuze tu.
 
Sina ninachojua mimi nimsikilizaji tu ;-))
Wewe umeprovide nini hapa?
Afadhali huyo MS anaumiza kichwa au tuseme working hard kuelezea anachokijua.
Wewe umeandika nini kikawaingia watu akilini?
Umekosea bwana mdogo, huyo MS wako haelezi chochote anachojua, anachokifanya ni kuwaburura nyie msiotumia akili zenu muamini kuwa Nyerere aliwachukia wazee wa kiislam! matokeo yake na ninyi kama mazuzu mnaanza kumkashifu na kutoa laan kwa Nyerere! Tumieni akili zenu vijana.
 
Na wewe wakitajwa Abdulwahid Sykes na Mshume Kiyate ni tusi kwako kama mwenzeko.

Hata kidogo; kwanini liwe tusi wakati nami hawa nawapenda na kuwaheshimu kuwa ni wazee wangu? au unafikiri ni wazee wa Waislamu tu kama Mohammed Said anavyotaka?
 
Ah, sasa nimekuelewa - mkuu nilisha sema humu kwamba Ndugu Mohamed Said is not some monster; sijui kwa nini baadhi ya wana JF wanamuogopa kupindukia - yeye kaandika kitabu chake baada ya kufanya utafiti kwa madhumuni ya kurekebisha pale palipo pinda, sasa kama baadhi ya wasomaji wanaona kuna vitu ambavyo havijafafanuliwa vizuri, cha kufanya ni kumuomba atoe maelezo ya ziada au wenye kujua mengine ya ziada wamshauri arekebishe vipengere ambavyo vimekaa ndio sivyo alafu msikilizeni anatesema nini, lakini tujikita katika malumbano ambayo hayana tija yoyote au kumsema vibaya, actually ninacho ona mimi ni as if kuna ushindani wa aina fulani vile - kama dunia inakubali kihistoria kwamba Wamerikani ndio walikuwa wa kwanza kutua mwezeni, sasa tatizo liko wapi!! Hata mimi zamani nilikuwa na mawazo kama hayo hayo kwamba ukombozi wa Taifa letu dhidi ya Waingereza alianzia mwaka 1954 na akina Paul Bomani, Rashid Kawawa, Titi Mohamed, Kambona na Nyerere nk - hiyo ndiyo historia tulikuwa tunaisikia tukiwa shule ya msingi!! Nilikuja kushtuliwa kutoka usingizini baada ya kukutana na mzungu mmoja (Mwingereza) nikiwa nje masomoni, ikabidi nifanya kazi ya ziada kuelewa ni kitu gani hasa kilikuwa kinajiri wakati wa ukoloni wa Waingereza ndani ya Tanganyika, hicho ndio kilinifanya kidogo nitofautiane na nyinyi katika misimamo yenu.

Hili la bwana Jericko kusema kwamba ndugu Mohamed Saidi ana uwezo wa kunilisha ngano za masika (hapa sijui unamanisha nini!! Najua kiswahili changu kiko a bit rusty lakini hapo nimetoka kapa)! Mkuu Jericko naweza kuelewa your concern katika hilo, lakini nataka kukuhakikishia kwamba ndugu Moh hana uwezo wa kulisha watu mambo ambayo hawayataki kuyasikia - lakini ukiona wasomaji zaidi ya 8K wamepitia uzi huu so far ujue kuna jambo, kumbuka wengi wao wanasoma tu bila ya ku-comment chochote!

Mkuu labda nikufahimishe kwamba najua mambo mengi kuhusu Taifa letu, kwa kulezwa na baba yangu mzazi ambaye aliwahi kuwa Mwalimu pale Tabora mmoja wa wanafunzi wake alikuwa ni Baba wa Taifa, Mh.Kambarage alipokwenda masomoni Makerere mzee wangu alihamishiwa Sekondary ya Bwiru Mwanza - hapo alikutana na mwalimu mwenzake ambaye alikuwa sijuhi ndugu au mjomba wa Kambarage sikumbuki vizuri (lakini nafikili Andrew anaweza kuwa na kumbukumbu kama aliwahi kuzungumza na baba yake kuhusu huyo mwalimu jamaa yao) sasa Kambarage alipokuwa anakuja likizo kutoka Uganda alikuwa na kawaida ya kupitia Bwiru kwa jamaa/ndugu yake huyo kumtembelea na kukutana na mzee wangu kwa mara nyingine, baadae mzee wangu alibadirisha kazi na kuajiliwa katika mambo ya Public Relations na Serikali ya Kingereza na akawa na access kubwa ya Public Addressing Systems na vifaa vingine, kwa hiyo Kambarage alipokuwa anatembelea mikoani akifika kwetu mzee wangu alikuwa anampatia Nyerere system hizo kutangazia wananchi kinyume cha matakwa ya mwajiri wake i.e Wakoloni hivyo hakujali kupoteza ajira yake pindi Waingereza wangepata tetesi kwamba anamsaidia Kambarage, hivyo mzee wangu alikuwa anamfahamu vizuri Kambarage.

Mkuu kuna mambo mengi ninayo yafahamu lakini siyasemi, nilipata bahati ya kwenda nje na kukutana na na Mzee mmoja Mwingereza ambaye aliwahi kuwa PC wakati wa ukoloni, yeye ndiye aliye nishtua kuhusu harakati za wenzetu Waislaam kuhusu kupinga ukoloni - alisema walikuwa wanawapa wakoloni wakati mgumu kwa kuwa walikuwa well organised na ilikuwa si rahisi kuvunja mikakati yao kwa kuwa walikuwa na mbinu nyingi sana - walijaribu kuwatumia baadhi ya Waislaam
katika mambo ya upelelezi kuhusu nyenendo zao bila mafanikio ya kulidhisha mmoja wao nadhani alikuwa ni mtu Kutoka Kagera - Kweyamba kama sikosei, ndugu Moh anaweza kutusadia katika hilo. Sasa mzungu wa watu alikuwa na maslahi gani katika kunieleza ukweli huo; kwa nini hatutaki kukubali kwamba mambo mengi aliyo andika ndugu Moh yana ukweli ndani yake - ndugu zangu kwani tukikubali tutapoteza nini? Turekebisha pale penye mapungufu au palipo sahaulika bila ya kujali kama mleta marekebisho ni mwislaam, mkristo au mpagani.

Buk,

Ahsante sana ndugu yangu.

Yule kachero alikuwa anaitwa Amir Kweyamba.
Huyu bwana mie nimekujamjua kupitia akina Sykes.

Aliwataabisha sana wakati wa harakati za uhuru.

Kuna tokeo moja Kweyamba alikwenda kumfanyia upekuzi Ally Sykes
nyumbani kwake Kipata.

Ally Sykes alikuwa na mashine ya kudurufisha akichapa makaratasi ya
kuhamasisha wananchi wajiunge na TAA.

Hii ilikuwa 1953/54 kabla ya kuunda TANU.

Yale makaratasi (nimeyaona) yalikuwa yanatoa mwito kwa wananchi
kujiunga na TAA ili wasubiri ''jambo kubwa'' litakalokuja karibuni.

Kisa hiki kimekuwa kichekesho kila kikihadithiwa kwa kuwa baada ya
mkewe Bwana Ally kuchungulia nje na kumuona Kweyamba kasimama
mlangoni alitoa taarifa kwa mumewe.

Bwana Ally aanasema ilibidi ameze karatasi moja kutoka kwenye mashine
na wino wake...

Katika vitu vilivyomkera Ally Sykes ni pale baada ya uhuru Nyerere akampa
kazi ile ile Amiri Kweyamba katika Tanganyika huru.

Ninayo mengi lakini mengine sijaweza kuyasema...
Wakati wake bado...
 
Hata kidogo; kwanini liwe tusi wakati nami hawa nawapenda na kuwaheshimu kuwa ni wazee wangu? au unafikiri ni wazee wa Waislamu tu kama Mohammed Said anavyotaka?

Unamuangalia Mohamed Said tu wakati wenzako hawataki hata hawa wazee watajwe kwao wakitajwa ni tusi.
 
Mkuu Jericko naweza kuelewa your concern katika hilo, lakini nataka kukuhakikishia kwamba ndugu Moh hana uwezo wa kulisha watu mambo ambayo hawayataki kuyasikia - lakini ukiona wasomaji zaidi ya 8K wamepitia uzi huu so far ujue kuna jambo, kumbuka wengi wao wanasoma tu bila ya ku-comment chochote!
Ngoja nikusaidie kidogo Bukyanagandi, wasomaji hao wote wanapitia humu si kwa sababu ya kupata darasa kutoka kwa Mohamed Said, hapana, kilichowasukuma ni title ya thread inayosema hivi; Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar. Wanaoingia humu wanataka kupata upande wa pili wa ngano anazomwaga kwenye mihadhara, misikitini, kupitia CDs...kumbuka amekuwa akihubiri chuki zake kwa miaka 15 bila kuhojiwa na wako watu wamekuwa wakizimeza tu hadi kufikia wengine kuzisadiki. Sasa humu watu kama hao, kwa mara ya kwanza, wanaanza kupata fursa ya kupata somo waanze kujiuliza na kutakafari hizo porojo na hadithi alizolishwa toka utotoni.

For your info Bukyanagandi, this is the man behind all religious turmoil we are experiencing right now in the country . Good thing some of us lived through it all, and all we are trying to do here is put the record straight, nothing more, nothing less.
 
Humo kuna mpaka mashoga ndiyo maana nakuambia kuna wapuuzi wengi.

Ritz,

Kuna mradi Dictionary of African Biographies (DAB).

Huu ni mradi wa Harvard na Oxford University Press
New York.

Niliombwa kuandika kuhusu maisha ya baadhi wa wazalendo
walofanya makubwa Tanzania.

Nililetewa majina ya watu wa ajabu sana...
 
Bill Cosby yupo hai.

Ritz,

Sikuwa na habari za mwanae.
Ngoja nikuchekeshe.

Nikipenda Cosby Show lakini kipindi kiko
saa 12 jioni niko darasani.

Basi nilinunua video recorder yangu yale makubwa VHS
nikawa nategesha ikifika saa 12 inajiwasha inarekodi.

Nikirudi nyumbani napika saa ya kula ndiyo naifungua
natazama.

Wakati umekwenda wapi.
 
Na hutamsikia anaenda kuwatetea wenzake mahakamani, au kumsikia anasimama kuandamana kupinga kufungwa kwao...
Ndio tabia kuu ya mchochezi...kuwaacha wajinga aliowachochea wapigwe virungu na mabomu na kuswekwa korokoroni, yeye yuko kivulini anafaidi matunda ya mbegu alizopanda...si vitabu vinanunuliwa? CDs zinauzwa? Nina hakika anajuta kuleta ngano zake JF, hapa watu wanapima na kutafakari.
 
Wewe ni ATHEIST unaangaika tena na Allah.

Ritz,

Binadamu ana asili ya kusahau haraka naona niwakumbushe yaliyotokea Mwembachai
huenda wakakumbuka na kutafakari:

[SIZE=+0]After Eid prayers on 29 January 1998 Muslims at the Mwembechai mosque held an Eid Baraza. The Baraza discussed the recent government ruling on Eid prayers. Later, Muslims went on with the usual Eid festivities of visiting friends and enjoying sumptuous meals. On that day there was inter-religious dialogue neither at Mwembechai nor Mtambani. However, a week later, on 8 February, 1998 Padre Camillius Lwambano of the Mburahati parish in Dar es Salaam said that on Eid day he passed by Mtambani mosque in Kinondoni and Mwembechai mosque in Magomeni and heard how "The Lord Jesus Christ was being ridiculed by Muslim preachers in their public lectures." His emotionally-charged claims were broadcast over Radio Tumaini, which is owned and run by the Roman Catholic Church. Padre Lwambano denounced the government for giving empty promises on the issue of Muslim preachers. He gave the government two alternatives: to ban blasphemous public talks and take severe measures against Muslim preachers; or to make a public admission of its failure to put an end to blasphemy in the country. That was Sunday, 8 February, 1998.[/SIZE]
[SIZE=+0]On the following day the government issued a two-pronged statement. In the first part, all Christians in the country were asked to accept the government's sincere apology for the deep religious anguish they went through on Eid day. In the second part the government promised to take stern measures against all Muslim preachers who organised the blasphemous talks on that day. The statement was issued by the Dar es Salaam Regional Commissioner, Lt. Yusuf Makamba. That was Monday, 9 February, 1998. On the following day the Dar es Salaam Regional Police Commander, Mr. Alfred Gewe issued another statement which was actually a footnote to the government statement of the previous day. Mr. Gewe emphasised that the government measures would be very harsh and far-reaching. That was Tuesday, 10 February, 1998. After nightfall on the same day the arrest of Muslim leaders began. The Imams of Mtambani, Kibo and Mwenge mosques were taken out of their houses and arrested in the small hours of the morning. On 11 February, 1998 a large contingent of armed policemen surrounded Ubungo Islamic High school at midnight, and unnecessarily harassed the students and teachers. They said they were looking for Sheikh Shaaban Magezi, a Muslim preacher of comparative religion. They were told that Sheikh Magezi was neither an employee of the school nor a student. And of course they did not find Magezi in the school premises. To keep themselves busy, they decided to storm into the neighbouring house of an old man, Sheikh Abdulrahman Kileo. They harassed him and his wife, Mama Zainabu. They searched his house for about two hours, they found nothing of interest and left.[/SIZE]
[SIZE=+0]Around 3.00 p.m. in the afternoon of Thursday 12 February, 1998 a group of about twelve uniformed and armed policemen raided Mwembechai mosque and abducted Sheikh Shaaban Magezi who was chatting with friends outside the mosque. There was no public lecture on that day, and except for the people who were offering prayers inside the mosque, there was no public gathering at the area. Within an hour after Sheikh Magezi's abduction, a large band of policemen, including the para-military police force surrounded the mosque. As the whole mosque was cordoned off by heavily armed policemen, Muslims who were praying inside the mosque, fearing that they might be attacked, decided to remain in the mosque. As one of them said later, "We could not risk coming out of the mosque, because the police could maim us and then claim we had attacked or provoked them. We believed by staying inside the mosque no one could accuse us of having provoked or attacked them." Their guess was wrong. Around 8.00 p.m. more armed policemen were brought to the area. The situation became tense and many passers-by were arrested.[/SIZE]
[SIZE=+0]Around 1.00 a.m. the government ordered the Tanzania Electrical Supply Company (TANESCO) to cut power supply in the mosque. When the whole area was plunged into pitch darkness the policemen threw irritant and tear gas bombs into the mosque. People who were in the mosque were confused. At that point the policemen broke into the mosque and beat up the Muslims and dragged them into the police vans. In that operation many Muslims, especially old men and women sustained heavy injuries. By daybreak the government had discovered that the majority of those arrested and injured were very old Muslim women. Why did the government order its police force to storm into the mosque and beat up innocent worshippers? What was their crime? An explanation had to be found. In the morning the Minister for Home Affairs, Mr. Ali Ameir as well as the Dar es Salaam Regional Police Commander, Mr. Alfred Gewe issued a statement that the government ordered a power black out and a police raid into the Mwembechai mosque because it was suspected that some "ruffians and criminals" had taken refuge inside it.[/SIZE]
[SIZE=+0]On Friday, 13 February, 1998 the entire Mwembechai area was infested with plain clothes policemen. The large presence of policemen intensified the fear of Mwembechai residents and especially of Muslims who were going for Friday prayers at Mwembechai mosque with the previous night's crackdown still very fresh in their minds. Nevertheless, Muslims turned out in great numbers. They cleaned the mosque which was besplattered with blood puddles and other stains. The Friday prayers were conducted without incident. After the prayers the Imam informed the Muslims of what had happened the previous night. Among other things he told them that many old Muslim men and women were arrested and were still being held by the police. They deliberated on the matter and decided that their immediate attention should be on bailing out those who were taken into police custody. It was decided that all those who had their Identity Cards with them should together go to the police station to apply on bail the release of their fellow Muslims who were apprehended the day before. This discussion was public and the police were fully aware of what was decided. When Muslims came out of the mosque and started going to the police station as agreed upon, they were without any warning attacked by the police and many more were arrested, thrown into police vans and driven away. Confusion ensued. A large contingent of policemen from the Field Force Unit was brought in. They immediately and indiscriminately started beating up people around the Mwembechai area and throwing teargas bombs in the streets. And as this was going on more and more people were being arrested. The brutality of the police provoked the anger of the people, including non-Muslims. They started throwing stones to the police. The police responded by opening fire on the people. And as we have already pointed out above, the commanders specifically ordered the policemen to shoot and kill.[/SIZE]
 
umetoa mfano mzuri sana; mchango wa babako ni muhimu katika historia ya Uhuru wa nchi yetu. Kumbe Nyerere alikuwa anapta msaada wa watu wengine nje ya Dar-es-Salaam. Swali kwako: Je familia yako inamchukuliaje Nyerere baada ya uhuru? Je aliidhulumu familia yako kwa kutowapa upendeleo maalum? Je Nyerere aliamuru jina la babako lisitajwe kwenye historia yetu ya Uhuru? Unafikiri Nyerere ana chuki dhidi ya familia yako kwa vile hakuwakumbuka baada ya Uhuru?
Sijui kwa kushangilia jibu la Bukyanagandi unataka kusema nini kwa wanaJF na Sijui Bukyanagandi atakujibu vipi.Lakini mbona unalazimisha jibu la kuungwa mkono.Akikujibu ndio utajionaje mbele ya JF.Ili asikukatishe tamaa anaweza akakujibu Nyerere hakuwa amewadhulumu wazee wake.
Vyovyote atakavyojibu Bukya bado jibu lake litakuwa halijadhihirisha unachotaka kidhihirike kwa Mohammed.Kumbuka kwamba Mohammed kawataja wapigania uhuru wa mikoa mingi mbali na Dar es salaam.Labda tuseme wazee wa Bukyanagandi unadhani ni wakristo hivyo unataka kuonesha kuwa waislamu hawakuwa peke yao.Hilo nalo pia limetajwa mara nyingi na Mohammed kwenye historia kwa kadri ilivyokuwa.
Nataka nikukumbushe kuwa Mohammed na sisi wajukuu wa wapigania uhuru hatuna haja ya kupewa upendeleo maalumu.Tunachotaka ni kutokunyimwa haki zetu tu zikiwa ni pamoja na kutajwa kwamba katika kupigania uhuru sisi tulikuwa mbele sana halafu tukapuuzwa
Jee kwa kupewa haki hiyo pia Mzee Mwanakijiji unakereka?.

Hebu angalia Mohammed alivyoandika kuhusu msaada alioupata Nyerere kutoka wazee wa Tanga.Kaandika kuhusu wazee wa Tabora,Kagera,Lindi na kwengineko kote Tanzania.Hivi Mzee Mwanakijiji huoni au.....
[FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1]Maili tatu kutoka Tanga kipo kijiji cha Mnyanjani ambako kulikuwako na tawi la TANU lillilokuwa na nguvu sana likiongozwa na Mmaka Omar kama mwenyekiti na Akida Boramimi bin Dai akiwa katibu. Hawa wote ni marehemu na mchango wao hadi leo haujathaminiwa. Mwalimu Nyerere na Kissenge walichukuliwa hadi Mnyanjani ili ifanyike tawaswil. Waliohudhuria kisomo hicho walikuwa Abdallah Rashid Sembe, Sheikh Dhikr bin Said, Mzee Zonga, Hemed Anzwan, Salehe Kibwana aliyekuwa mshairi maarufu, Akida Boramimimi bin Dai na Mmaka Omari. Aliyechaguliwa kusoma Qur'an Tukufu alikuwa mjomba wa Mwalimu Kihere, Sheikh Ali Kombora.[/SIZE][/FONT][FONT=Arial,Helvetica][SIZE=-1][/SIZE][/FONT]
 
Mohamed Said yaani Nyerere akwaruzane na vichwa hivi alaafu unategemea akumbuke sijui somebody Sykes alikuwa na cheo gani? let alone mention him

east_africa_leaders_1964.jpg

Hapa alikuwa bado hajajua kuvaa! nadhani ni hatua kidogo baada ya kuzuiwa kuvaa kaptura na Waungwana wa Dar!

Angalia Hapa:

attachment.php


BibiTitinaMwalimu.jpg



attachment.php
 
Back
Top Bottom