Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Mohamed Said, wewe ni mtu mzima unapaswa kuwafundisha vijana werevu.

Madai ya Nyerere kumkana Abdul Wahid umayaleta wewe.
Tumekuomba ulete uthibitisho hukuleta kwasababu ima huna au unajua kuwa ni utunzi tu.

Jokakuu ameleta maandishi ya hotuba ambayo mimi niliisikia, na wewe umeshindwa, naruDia umeshindwa kukanusha kuwa yale hayakusemwa na Nyerere.

Sasa unataka ushahidi wa video clip ambao wewe uliyeleta mashtaka unapaswa kuleta.
Jukumu la kuthibirisha madai kwa mtuhumiwa lipo kwa mwendesha mashataka na hapa ni wewe.

HuweZi kuleta ushahidi wa maandishi au video bado unataka ''wawakilishi'' wa mtuhumiwa waleta ushahidi kwa mwendesha mashtaka. Mzee Said this is too low, absurd and anachronism.

Umeeleza kuhusu hotuba maarufu ya Waikela. Kama ilivyokuwa kwa hii unayotaka video, ya Waikela huna hata nukta kuthibitisha alichokisema zaidi ya maongezi katika chai unayoyaita utafiti.

Tumekuomba uthibitishe kama familia ya Sykes haikufuja na kunyang'anya nyumba iliyotolewa na D.Cameron.
Umeshindwa kukanusha ufisadi huo na badala yake unataka video ulioithibitisha kwa maandishi kuwa ndivyo Nyeere ilivyosema.

Tumekuuliza lini Jamiatul Islamiyya fil Tanganyika ilipigwa marufuku, huna ushahidi wa jinsi gani ilitoweka. Hayo huyaoni unadai video ya kile ulichokizusha kuhusu Nyerere.

Tumekuuliza wapi ushahidi wa namba za mitihani kutumika baada ya Kighoma Malima.
Huna na ni uongo na uzushi wa kimataifa. Hilo hulioni unachokiona ni video ya madai uliyotoa wewe mwenyewe

Mlolongo ni mrefu na hapa ninachotaka kukuambia ni kuwa usifundishe vijana kuwa wajanja wajinga.
Ni ngano yako ambayo kijana mmoja amesema Malima alichakachua. Tumemtaka athibitishe hana anachoweza kuandika hata mstari mmoja kwasababu tu ameshiba ngano isiyo na ushahidi na iliyoundwa kwa majina na mitaa ya kweli huku ikijazwa na hamira.

Katika vijana wako achilia mbali wewe mwenye dhamira ya upotoshaji hakuna anayeweza kusimama na kujenga hoja. Sasa unawafundisha badala ya kufikiri na kutafakari, watumie mbinu zako chafu na za kilaghai kudai video.
Kwa umri wako na heshima miongoni mwa jamii inayokusikiliza hili halihitaji wewe kusetiriwa bali kuambiwa ukweli.

Ukweli ni kuwa Mohamed Sadi Abdallah Mwekapopo Muyukwa Semitungo, muogope mwenyezi mungu maana hakuna jihadi ya fitna, farki, uzushi, uongo na uzandiki.
Zaidi ya hapo usiendelee kutuharibia vijana kwa kuwajaza ushujaa usiokuwepo kama si uzezeta.

Hii ni nchi ya Watanganyika, na wala usiuaminishe ulimwengu kuwa Ni wamanyema, Wazulu na Wanubi waliiokomboa hivyo wanapswa kupewa vyeo kwa kutumia jina la dini ya kiislam. Hilo sasa lipo wazi na ni wavivu wa fikra wasioliona.
Hakuna waziri, Daktari au Engineer wa kimanyema atakayeteuliwa bila sifa.
Asante sana mkuu kwamaneno mazito na yenye hekima
 
Kama barua hizo zipo, onyesha angalau nakala moja tu. Unazificha za nini wakati kitabu chako ndicho chanzo cha yote haya? Sikuachii kabisa Mzee Mohamed hata kama utanipuuza!

Mwalimu alikupuuza wewe hivo sitoshangaa nawe ukipata mtu wa kupuuza. Madhara na madhila ya kitabu chako hiki na unayoendelea kuyahubiri kwa Waislam wenzako ndicho chanzo cha chokochoko zote hizi nchini.

Naapa tena, sikuachii hata kidogo.

WC,
Wenye nyaraka zao huwajui?
 
WC,

Ndugu yangu ikiwa sasa hapa ndipo tulipofika panatosha sana.
Hizo barua zipo na citation nimeweka katika rejea kwenye kitabu.

Lakini ikiwa akili yako inakutuma kuwa Ally Sykes na Kenneth
Kaunda hawakuwasiliana na mimi kisa hicho nimekitunga...

Ushauri wangu kwako ni huu.
Acha mjadala na mimi kuhusu historia ya uhuru.

Usipoteze muda wako kujadili kitu ambacho hakina ithbati.
Ukiendelea kunifatafata baada ya ushauri huu nitakupuuza.

Namaliza kwa kukupa hili moja tu.

Sykes Papers zinajumuisha nyaraka za TAA kwa ujumla wake,
TANU na barua za Nyerere kuanzia 1953.
Wewe sio wakuachwa wala kupuuzwa, sumu uliyoimwaga kwa vijana na unayoendelea kumwaga hapa inaliathiri taifa hivi leo,

Wewe tutakula sahani moja mpaka Yesu arudi,

Labda utoweke hapa jamvini maalimu.
 

Naelewa sana. Inaniwia vigumu kufahamu "mtoto" wa Nyerere, Yericko Nyerere kushindwa kupata hotuba ya Mzee wake.

Na hii ndio inawezekana kabisa ikawa ndio sababu yake/yenu ya kushangazwa ni vipi Mohamed Said ajuwe habari za wazee wake, mpaka inawafanya muwe mna-haha.

Mnasikitisha sana.

Zomba,

Mimi niulize hadi majina ya wake wanne
wa babu yangu nitakutajia na majina yao
ya utani.

Nimeweka hapa vizazi vyangu saba.
Nimeshikwa uongo.

Zomba hebu wape darsa jinsi sisi chuoni
tulivyokuwa tunafunzwa "hifdh" art of
retention.

Unasoma ukurasa mzima kwa kichwa.
 
Mohamed Said,
Hapajawahi kuwepo kwa TANU mbili, huu ni uchochezi wako tu. Cha muhimu kuelewa ni kuwa walioitwa wasomi mwaka 1945 walikuwa wengi wao ni waislamu na wakristo wenye elimu ndogo, hasa ya kujua kusoma na kuandika tu.

Miaka ya 1950s, wasomi wakawa ni wale wenye elimu ya chuo au chuo kikuu, ambapo hapo ilianza kutawaliwa na wakristo ambao ndio waliokuwa wengi wenye hivyo viwango. Waislamu walioelimika kiwango cha chuo wakati huo, marafiki wao wa karibu wengi wakawa ni wakristo kwani
wengi ndio waliokuwa wasomi. Kwa hiyo kwa TAA/TANU kuongozwa na wakristo miaka ya 1950s, kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya mabadiliko ya kielimu.

Uchochezi wako wa kidini unaonekana wazi kuwa ni kwa manufaa yako binafsi, na hongera sana kwa kufanikiwa katika hilo. Lakini sidhani kama unamnufaisha mTanzania yeyote. Nia yako mbaya ipo siku moja itakurudia na tutaisubiri sana, Inshallah.

Sijui tatizo leni ni lkugha ya Kiswahili kutokuwa kugha mama au ni nini. Ulivyoandika inaonesha wazi hukumuelewa Mohamed Said.

Au ni "ubaguzi wa ujinga"?

Hebu tuoneshe huo ubaguzi uko wapi? tuwekee maandishi ya Mohamed Said. Ukishindwa kuweka basi wewe ni mnafik.
 
Last edited by a moderator:
Zomba,

Mimi niulize hadi majina ya wake wanne
wa babu yangu nitakutajiana majina yao
ya utani.

Nimeweka hapa vizazi vyangu saba.
Nimeshikwa uongo.

Zomba hebu wape darsa jinsi sisi chuoni
tulivyokuwa tunafunzwa "hifdh" art of
retention.

Unasoma ukurasa mzima kwa kichwa.

Hilo halina mantiki ya mnakasha huu.
 
Yericko,
Mantiki kanisomesha Maalim Haruna chuoni.


Nilikuwa napenda sana kuuliza kama umejifunza mantiki; lakini kama umejifunza na bado unaandika unavyoandika itabidi tumtafute Mwalimu wako tumuulize alikufundisha mantiki gani...
 
Nilikuwa napenda sana kuuliza kama umejifunza mantiki; lakini kama umejifunza na bado unaandika unavyoandika itabidi tumtafute Mwalimu wako tumuulize alikufundisha mantiki gani...

MM,

Mwalimu mwenyewe alikuwa hajui kitu.
Si unaniona mwanafunzi wake hapa jamvini sina moja nilijualo.
 
Kama barua hizo zipo, onyesha angalau nakala moja tu. Unazificha za nini wakati kitabu chako ndicho chanzo cha yote haya? Sikuachii kabisa Mzee Mohamed hata kama utanipuuza!

Mwalimu alikupuuza wewe hivo sitoshangaa nawe ukipata mtu wa kupuuza. Madhara na madhila ya kitabu chako hiki na unayoendelea kuyahubiri kwa Waislam wenzako ndicho chanzo cha chokochoko zote hizi nchini.

Naapa tena, sikuachii hata kidogo.


Nguruvi,

Hii post yangu hapa chini hukuiona?:

Kwenye hotuba ya kuaga Nyerere alimuadhimisha vizuri sana
Abdulwahid Sykes.

Nyerere akaeleza vipi uchaguzi wao ulivyokwenda na yeye juu
ya ugeni wake Dar es Salaam alimshinda mwenyeji wake na
kuchukua uongozi.

Wala nyumba ya TAA haukujengwa kwa kujitolea kila Jumapili
kama Abdu Sykes alivyoeleza na kuwa yeye akiwa mtoto alikuwa
akifuatana na baba yake kwenye ujenzi wa nyumba ile.

Abdu Sykes ni mwongo nyumba kajenga Gavana na itakuwa vyema
kama semina paper aloandika binti yake Daisy Aisha Sykes mwaka
1968 "The Life of Kleist Sykes" akisimamiwa na John Illife ikaondolewa
Maktaba ya Chuo Kikuu kwa kuwa ni kazi ya kugushi.

Hotuba ya Waikela kwa Nyerere "Moto wa Waislam" haikusomwa
katika mkutano wa EAMWS wala Waikela hakuwekwa kizuizini nk. nk.

Yote niliyoandika ni mambo ya kutunga tu hakuna ukweli wowote.

Kitabu changu lau kama kimepata reviews mbili Cambridge Journal
of African History hao waandishi John Illife na Jonathan Glassman ni
wapuuzi kama mimi.

Hawana maana yoyote.

Hiyo kunialika kwenye vyuo vyao US kuhadhir ni magumashi tupu
wamepoteza fedha zao zilizokuwa zinawawasha.

Historia ya uhuru ilishaandikwa na wasomi mabingwa wa TANU 1981
wakiongozwa na Dk. Mayanja Kiwanuka.

Naamini ubishi sasa umekwisha.
 
Sina kikinza juu yalo, ngano ni sehemu ya maishako mkuu.

Yericko,

Sisi Waswahili tukishalewa kahawa basi hapa ni ngano tu zinamwagika.
Angalia kipaji changu cha kutunga ngano hapa chini:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]In response to Kiwanuka's criticism the author published a short biography of Abdulwahid to commemorate twenty years of his death.[1]

This was followed by a memorial by the family in the Party and Government papers.

[2] This was not to pass without incident.

The editor of the Daily News, the government paper, Reginald Mhango rang up Kleist Sykes (Abdulwahid's son) late in the night informing him that he would not publish Abdulwahid's memorial the following day until he got permission from Party headquarters in Dodoma (Mhango na Kleist had gone to school together at Aga Khan Boy's).

The reason given was that his life history touched important events and personalities in the history of the nation.

But somehow the memorial was published in both the Party and government dailies the following morning.

Two years earlier in 1986, after a silence of almost twenty-five years, Ally Sykes gave an interview to a British journalist, Paula Park. Park wrote a full page article on the family's political history.
[3]

When the article was published Ally Sykes received telephone calls from both friends and business associates asking him if he was quoted correctly.

Shortly after, Park was quietly asked by immigration officials to leave the country.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Since then the author has been questioned about the authenticity of the work and the stated achievements of Abdulwahid.

Doubts emerged, in spite of the fact that the article carried adequate reference material from old local newspapers, published books, journals and colonial papers.

Abdulwahid's biography understandably was not challenged by anyone, not even the Party historian. This reaction by the Party, of denying part of its own history, while at the same time indicating that it has not documented its past, makes the subject even more intriguing.

The fact that the Party has researched into its own history with inconclusive results means more research by independent scholars needs to be done.

The subject is still open for further research.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Is this omission a result of neglect or is it a premeditated and calculated decision by the present leadership of the Party which took control of politics in the last years of the struggle beginning at 1958 after the Tabora Conference?

Why is Abdulwahid's contribution and that of other patriot's suppressed?

What do the perpetrators of this campaign want to achieve and in whose interest?

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]When one enters the headquarters of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) in Dodoma one cannot fail to notice the famous enlarged photograph of the TANU founding members.

This photograph shows Abdulwahid in dark glasses, standing to the left of Dossa Aziz; both of them in suit and tie. Abdulwahid stands staring at the camera. Former president Julius Kambarage Nyerere in shorts and stockings is sitting on the bench to the left of John Rupia.

Standing just behind Nyerere Saadani Abdu Kandoro. This photograph is the only living memory the Party has of the late Abdulwahid. His name only appears on the general list of the TANU pioneers when there is need to mention the seventeen founder members.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]There is no way one can do research on TANU and fail to mention Abdulwahid. There is no way one can mention Abdulwahid and not mention Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.

There is no way one can mention Al Jamiatul Islamiyya and leave out TANU and vice-versa; and for that matter there is no way one can credit Abdulwahid with any political achievement without first crediting his father Kleist.

There is no way any biographer can research on Nyerere's life and ignore the support of the people who were close to him and their influence on him.

Those in power think that to mention them as pioneers of the independence movement is to evoke deep sentiments from the people and the general Muslim community in Tanzania.

Much as Muslims fought for uhuru, the gains or even spillovers have been very little to them. It is better for the powers that be that those sentiments remain buried.

And the only way to ensure this is to try to erase that important part of Tanganyika's history.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] SeeM. Said, ‘Founder of a Political Movement: Abdulwahid K. Sykes 1924-1968', Africa Events, London September,1988, pp. 38-41.
[2]See Daily News,23 rd October, 1988. Also Uhuru, 23 rd October, 1988.
[3]" ‘AnUnsung Hero?' Africa Events, London,November 1986 p.48.

 
Darwin, zomba, Boko haram, Shijaf, Isalia, DULLAH MSAVIVOR, Achahasira, Tanzania Kwanza, Ritz, Ami...Pamoja na kusubiri majibu kwa maswali yangu mawili, naomba nikujibu swali lako kama ifuatavyo...ilibidi CCM iasisiwe kwa sababu vyama viwili TANU na ASP viliungana na kuwa chama kimoja, hivyo ikabidi jina jipya litafutwe na hapo CCM ikazaliwa. Hata Tanganyika ilipoungana na Zanzibar ilibidi jina jipya la Tanzania liasisiwe, hilo mbona ni jambo la kawaida tu? Sasa na nyie fanyeni uungwana mtafute majibu kama nilivyofanya...nina hakika mwalimu wenu na mtoa darsa, Mohamed Said, hatashindwa kuwapeni ili mtuwekee hapa.


Upeo finyu sana huo,,

UMEULIZWA KWANINI IKABIDI IASISIWE CCM WAKATI TANU INGALIPO UNAKUJA KUTOA JIBU ETI NI KWA SABABU ASP(afro shiraz party) NA TANU ZILIUNGANA??

Hapo unajiona umejibu sana eeh??

Ukanjanja huo,ukiweza kujijibu swali hilo basi utaelewa mantiki ya muuulizaji..
 
Kama nulivyofanikiwa kukuweka katika uzi huu ndivyo nitakavyo kuweka katika andishi la kitabu ikiwa nitataka iwe hivyo.

Sioni sababu ya kushindwa, ikiwa tangu tarehe 12/1/2013 nimefanikiwa kukupa makazi yakudumu katika uzi huu kwa masaa 24/7, nitashindwaje kwa andishi la kitabu?

Faida unayoipata hapa ni robo tu ya kitakachu kuwamo kwenye andishi la kitabu hicho.

Labda uandike kitabu cha "unafik". Unazijuwa alama za mnafik?

Hivi unafikiri huu uzi watu wanaoingia kuusoma wanakuja kukusoma wewe?

kwi kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Upeo finyu sana huo,,

UMEULIZWA KWANINI IKABIDI IASISIWE CCM WAKATI TANU INGALIPO UNAKUJA KUTOA JIBU ETI NI KWA SABABU ASP(afro shiraz party) NA TANU ZILIUNGANA??

Hapo unajiona umejibu sana eeh??

Ukanjanja huo,ukiweza kujijibu swali hilo basi utaelewa mantiki ya muuulizaji..

Ndugu zangu,

Naja barzani na Mandi ya mbuzi na lita`tano za juice matunda mchanganyika ya Bakhersa
karibuni tule hebu pumzikeni kidogo na kusoma viroja chembelecho Zomba.
 
Nguruvi,

Hii post yangu hapa chini hukuiona?:

Kwenye hotuba ya kuaga Nyerere alimuadhimisha vizuri sana
Abdulwahid Sykes.

Nyerere akaeleza vipi uchaguzi wao ulivyokwenda na yeye juu
ya ugeni wake Dar es Salaam alimshinda mwenyeji wake na
kuchukua uongozi.

Wala nyumba ya TAA haukujengwa kwa kujitolea kila Jumapili
kama Abdu Sykes alivyoeleza na kuwa yeye akiwa mtoto alikuwa
akifuatana na baba yake kwenye ujenzi wa nyumba ile.

Abdu Sykes ni mwongo nyumba kajenga Gavana na itakuwa vyema
kama semina paper aloandika binti yake Daisy Aisha Sykes mwaka
1968 "The Life of Kleist Sykes" akisimamiwa na John Illife ikaondolewa
Maktaba ya Chuo Kikuu kwa kuwa ni kazi ya kugushi.

Hotuba ya Waikela kwa Nyerere "Moto wa Waislam" haikusomwa
katika mkutano wa EAMWS wala Waikela hakuwekwa kizuizini nk. nk.

Yote niliyoandika ni mambo ya kutunga tu hakuna ukweli wowote.

Kitabu changu lau kama kimepata reviews mbili Cambridge Journal
of African History hao waandishi John Illife na Jonathan Glassman ni
wapuuzi kama mimi.

Hawana maana yoyote.

Hiyo kunialika kwenye vyuo vyao US kuhadhir ni magumashi tupu
wamepoteza fedha zao zilizokuwa zinawawasha.

Historia ya uhuru ilishaandikwa na wasomi mabingwa wa TANU 1981
wakiongozwa na Dk. Mayanja Kiwanuka.

Naamini ubishi sasa umekwisha.
Tafsiri ya majibu haya nikuwa uwanja wa hoja umeshindwa
 
Labda uandike kitabu cha "unafik". Unazijuwa alama za mnafik?

Hivi unafikiri huu uzi watu wanaoingia kuusoma wanakuja kukusoma wewe?

kwi kwi kwi kwi teh teh teh!

zomba
twashangaa,eti sisi tukeshe hapa,tukeshe kwa ajili yake yeye??

yeye mdandia nasaba za watu ana nini??
Mohamed Said,ndie haswa anaetufanya tukeshe hapa 24/7,na ikibid hata 365 sisi tutakesha hapa,na si yeye,,
Yericko tunampa heko kwa kumwita mkwasi wa historia ndugu yetu kipenz Mohamed Said,

Yeye ajivunie kuwa verified user tuh,hana lolote,mtupu kichwani kama boxi..
 
Last edited by a moderator:

Mohamed Said, wewe ni mtu mzima unapaswa kuwafundisha vijana werevu.
................................................................
Ukweli ni kuwa Mohamed Sadi Abdallah Mwekapopo Muyukwa Semitungo, muogope mwenyezi mungu maana hakuna jihadi ya fitna, farki, uzushi, uongo na uzandiki.
Zaidi ya hapo usiendelee kutuharibia vijana kwa kuwajaza ushujaa usiokuwepo kama si uzezeta.

Hii ni nchi ya Watanganyika, na wala usiuaminishe ulimwengu kuwa Ni wamanyema, Wazulu na Wanubi waliiokomboa hivyo wanapswa kupewa vyeo kwa kutumia jina la dini ya kiislam. Hilo sasa lipo wazi na ni wavivu wa fikra wasioliona.
Hakuna waziri, Daktari au Engineer wa kimanyema atakayeteuliwa bila sifa.
halafu eti anakulinganisha na zomba , kwamba wewe kwa zomba si kitu wala si chochote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom