Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed Said kumbe gazeti la kwanza la

"Meanwhile,
Kwetu, the
first African-owned newspaper was established in Dar es Salaam by Erica Fiah
in 1937, providing an important sounding board for African Association
members and fellow intelligentsia.
89 The territory's main foreign-owned
newspapers were also published in and distributed from the capital."



Son...

Msome Erica Fiah mzalendo wa zama zake kama nilivyomweleza katika ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...''
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Erika Fiah

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Deputy Labour Commissioner M.J. Molohan was a heavily built man who used to ride a bicycle to his office, uncommon in those days for a British colonial officer.

Molohan began to scout for possible candidates for the post of General Secretary of the Dockworkers' Union which was to be formed the following year.

Assisting him in this assignment was Islam Barakat, an Afro-Arab ex-serviceman and the first African Labour Inspector.

Barakat suggested two names to Molohan as possible candidates.
One was that of young Abdulwahid 24 years old and the other one was of Erika Fiah, who was 53.

Coming to Tanganyika with the British forces from Uganda during World War I, Fiah was the first African to establish and own a newspaper in colonial Tanganyika.

He made Tanganyika his home and settled at Mission Quarter from where he lived and edited his paper, Kwetu.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Like all politicians of his time, Fiah was a Pan-Africanist first and a nationalist second.

Fiah was also one of the earliest Marxists in Tanganyika and his paper Kwetu came to be popular because of its strong anti-colonial sting.

Fiah was an African politician well ahead of his time.

In 1930s he had tried to organise the working class and the peasantry as a united force against colonial rule but failed as people at that time were not yet conscious enough for mass mobilization.
[1]

Fiah was a better mobiliser, organiser and more mature.

During the period between the two world wars, Fiah had used his pen to articulate problems facing Africans and gave out his opinions which were not always received kindly by the government.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]But Fiah was not only an enemy of the government.
He was also an enemy of Kleist and other prominent Africans, most of whom were in the civil service.

Way back in 1933 there had been a clash of personality and power struggle between Kleist and Fiah for the leadership of the African Association.

Through his paper Fiah attacked Kleist, accusing him of unpatriotic behaviour because of his South African origin. [2]

To avert a crisis, Kleist resigned as the Association's secretary and Fiah was elected in his place.
[3]

In a cruel and cynical obituary on the death of Martin Kayamba,
[4] Fiah lamented that Africans did not benefit from Kayamba's education or from his post as a clerk to Assistant Chief Secretary.[5]

Fiah also clashed with Europeans.

In 1940 he wrote an editorial directed at Europeans who were criticising him for speaking out his mind and for publishing articles on the rights of Africans.
[6]

Fiah was quite a character.

Despite the fact that the dockworkers procession to Abdulwahid's house had made him the local champion of the port labour movement, he certainly was no match for Fiah.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] A biography of Erika Fiah is in Kwetu No.11, 4 th August, 1940.
[2] Kwetu, June, 1944. Also Buruku, op. cit. p. 103.
[3] Buruku, op. cit. p.103. Also Kwetu, June, 1944.
[4] See Iliffe, ‘The Spokesman: Martin Kayamba' in Iliffe (Ed), Modern Tanzanians, op. cit. pp. 66-94.
[5] Kwetu, 29 June, 1940.
[6] Kwetu, 17 October, 1940.
 
hakuna. .

Tatizo lako humu JF kishabiki.

Hapa nakushushia listi utaniambia kama ni Waislam au Wakirstu.

Adolf Hitler, Pol Pot, Jean Kambanda, Tito, Jonas Savimbi, Ante Pavalic, Benito Mussolini, Mobutu Sese Seko, Charles Taylor.

Kwa uchache nimekutajia viongozi Wakirsto walifanya mauwaji ya kutisha au nikushushie kila moja watu aliowauwa.

Unaonekana bado kijana nakushauri jifunze zaidi kuliko kuwa unapinga.
 
Kuna tatizo gani kutaja cheo alichokuwanacho.
Wallahi sikumbuki. Lakini ukiingia kwenye ule uzi anajitaja kabisa na jukumu alilokuwa nalo kule
Wana JF,

Nashukuru mwana JF aliyeweka hadharani MOU husika. Ningependa tu kuongezea machache na hasa historia ya jinsi na kwanini MOU hiyo ilizaliwa:-

1i) Wote mtakumbuka kuwa huko nyuma Serikali ilitaifisha Shule na nyingi za madhehebu ya Dini. Utaifishaji huo uliendana pia na Ardhi, hasa ikizingatiwa kuwa wakati shule zinajengwa zilijengwa kwenye maeneo ya madhehebu ya dini na papo hapo kukukiwa na kanisa, nyumba za mapadre na kadhalika. Hii ilikuwa hivyo kwa shule nyingi za Middle School (Model Schools, Upper Primary kama mnavyojua majina yalibadilika sana kati ya 1962 hadi 1965 hivi na ndipo pia mtihani au darasa la nane lilipofutwa rasmi).

2) Kwenye miaka ya 1980 madhehebu yakataka warudishiwe ardhi yao, hasa ardhi ambayo ina majengo mengine yasiyohusiana na shule hizo. Mchakato wa mjadala ulishika kasi, mwaka 1986 Baraza la Maaskofu Katoliki TEC, lilipopitisha azimio rasmi,na kumtaka Katibu Mkuu, awasiliane na Serikali, kuanzisha mchakato wa kufanya survey na kutenga ardhi ya shule rasmi kutoka kwenye ardhi inayotumika kwa huduma nyinginezo za madhehebu ya dini. Wakati huo mimi Dr. Slaa, ndiye nilikuwa Katibu Mkuu wa TEC baada ya kupokea rasmi kazi hiyo December, 1985. Wakati huo madhehebu yaliisha kudai yarudishiwe Shule zao kwa kuwa zimegeuka kuwa aibu kwa kukosa ukarabati, na ziko kwenye hali mbaya sana. Serikali ilikuwa imekataa ombi hilo kwa lengo la kuwa Shule hizo zinawahudumia watanzania wote bila ubaguzi, jambo ambalo ndilo lilikuwa lengo kuu la utaifishaji, na sababu ya utaifishaji ilikuwa bado inaendelelea.

3) Wakati mawasiliano yalipoanza na Serikali wakati huo kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Elimu, Serikali iliomba TEC na madhehebu ya Dini kwa ujumla, kama yanaweza kusaidia ukarabati wa shule hizo kwa kuwa ziko kwenye hali mbaya na hali ya uchumi wa nchi haikuwa nzuri na hivyo mapato ya Serikali.

4) Wakati mchakato huo kwa upande wa Elimu umeanza kulikuwa pia na mgogoro kati ya Serikali na TEC baada ya Serikali kuichukua Hospitali ya Bugando almost kwa utaratibu huo huo wa kuitaifisha. Hospitali hiyo ilikuwa kwenye awamu ya Pili ya ujenzi kwa msaada mkubwa wa Shirika la Misereor( Shirika la Maendeleo la Baraza la Maaskofu Katoliki la Ujerumani) toka Ujerumani.

5) Katibu Mkuu wa TEC alipowasiliana na Wahisani walikataa kata kata kujihusisha tena na ujenzi au ukarabati wa Shule au Hospitali ( Hospitali, vituo vya Afya na zahanati) kwa kuhofia kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ikitaifisha huduma hizo bila majadiliano ya aina yeyte, na hawawezi kuwekeza fedha za walipa kodi wao ( ujerumani Madhehebu ya dini yanapata fedha rasmi kutoka kodi ya wananchi) kwa ratio waliyokubaliana kuendana na idadi ya madhehebu ya dini. Lakini walikuwa tayari kuendelea na huduma mbalimbali za kusaidia madawa na elimu kwa shule zilizoko bado chini ya madhehebu kwa kuwa hawawezi kuwaadhibu wananchi na watoto.

6) Kwa kuwa shughuli zote za Bugando zilikuwa zinaelekea kusimama na kulikuwa na mgomo kila siku, kwa madaktari na manesi na watumishi, Serikali ikaomba tujadiliane upya juu ya mambo makubwa mawili a) Utoaji huduma katika sekta za huduma za Jamii, b) Kuwa na chombo cha mawasiliano na majadiliano kati ya Ikulu na madhehebu ya dini, na kwa kuwa madhehebu ni mengi wakaomba chombo hicho kiundwe na viongozi wakuu wa madhehebu yaliyokuwa yanajulikana kwa mujibu wa Sheria, hivyo Bakwata ( Waislamu- sitaki kuingia kwenye mjadala wa kama Bakwata ni chombo kinachowasilisha waislamu au la), Tanzania Episcopal Conference TEC na CCT ( kwa madhehebu zaidi ya 60 yaliyoko chini ya Christian Council of Tanzania) . Baada ya Mashauriano tuliunda chombo hicho kikiwakilishwa na Mwenyekiti na Katibu wa vyomb o nilivyovitaja hapo juu. Uratibu ulikuwa unabadilika kila mwaka katika ya madhehebu hayo, vivyo hivyo kwa Sekretariat. Kutokana na utaratibu huo tuliweza kupatia ufumbuzi matatizo yaliyokuwa yakijitokeza mara kwa mara na ikawa rahisi kwa Serikali kuwasiliana na chombo hicho badala ya kila dhehebu peke yake, na kwa upande wetu pia chombo hicho kikatupa nguvu ya kujadiliana na serikali (power of negotiation).

7) Kutokana na hali mbaya ya Shule Serikali, ikaomba madhehebu ya dini kusaidia ukarabati wa shule zilizoonekana zitafungwa kutokana na hali mbaya , nasi kwa upande wetu kwa nia njema ya kuisaidia Serikali lakini pia kuwahudumia watanzania tuliwasiliana na Wahisani ambao walikazia msimamo wao kuwa hawako tayari kuingia kwenye shughuli za ujenzi wala ukarabati kwa kukosa msimamo wa wazi na au wa kisheria wa Serikali ya Tanzania kuhusiana na utaifishaji wa huduma hizo. Serikali ilipojulishwa, ilichukua hatua ya kuanzisha mchakato mzima wa kupata suluhu ya jambo hilo. Ndipo akapewa jukumu hilo, Mhe. Anne Makinda wakati huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, na mkutano wa kwanza ulifanyika Kurasini Conference Centre (TEC) Mikutano ya baadaye ilikuwa ina alternate kati ya TEC na CCT. Hii ni kwa sababu huduma zilizokuwa zinajadiliwa ni za TEC na CCT ( ambao walikuwa wameathirika na utaifishaji huo). Hatimaye, Serikali ilikubali kuwa haitataifisha tena, na kwa kuthibitisha hivyo, ikawa tayari kuwekeana MOU na madhehebu ya Dini.

Ndipo tukaanzisha mchakato wa majadiliano na Wahisani, na wahisani, nao katika umoja wao kati ya dhehebu la kikatoliki Ujerumani na Kilutheri pia la Ujerumani tukaanzisha mchakato wa namna bora ya kutoa huduama za jamii. Daima Serikali ilishirikishwa kama Observer katika michakato hiyo, na kwa upande wa Ujerumani Serikali yao nayo ilishirikishwa katika timu za majadiliano. Hatimaye, makubaliano yalifikiwa, na ndipo ikazaliwa chombo kipya Christian Social Services Commission (CSSC), chenye Secretariat yake ( Katibu Mtendaji wa kwanza akawa Dr. F.Kigadye aliyekuwa Mkurugenzi wa Bugando). Huduma za kilichokuwa Christian Medical Board (ya TEC na CCT ikavunjwa na kuwekwa chini ya CSSC) na idara za Elimu zilizokuwa chini ya TEC na CCT huduma zake zikaunganishwa na kuwekwa chini ya CSSC. Ndiyo MOU iliyosainiwa na Askofu Stanford Shauri wa Diocese ya Ruvuma, Mwenyekiti/Katibu Mkuu wa CCT wakati huo, na Askofu Josephat Lebulu, wakati huo Askofu wa Jimbo Katoliki la Same, na Mwenyekiti wa TEC. Kwa upande wa Serikali kama sikosei aliweka saini Mhe. Edward Lowassa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (au Waziri sikumbuki).

8) TEC na CCT nazo zikawekeana na Wahisani Mkataba MOU yao ya ndani ili kupata misaada ya ujenzi, ukarabati na uendelezaji wa huduma zote za jamii . Huduma hizo zinaendelea hata sasa japo sasa kwa kiwango kidogo baada ya mkataba wa awali kwisha.

Narudia tena, namshukuru sana aliyeweka kwenye JF MOU hiyo. Ninarudia kuwaomba wenzangu, tumetumia muda mrefu sana kujadiliana kwa hisia ya aina mbalimbali. Watanzania hatukuzoea huko nyuma kuulizana dini zetu, wala kabila wala ukanda. Haya mambo tukiyaendekeza Taifa letu litakuwa hatarini. Tukumbuke kubomoa ni kazi nyepesi sana, sekunde lakini kujenga tena inachukua muda mrefu na ni kaz ngumu, na wakati mwingine hata ukifanikiwa huwezi kujenga kama ilivyokuwa. Nashauri ili JF ibaki na heshima yake ya Home of Great Thinkers tupende kufanya Research zaidi kabla ya kulaumiana au kuhisiana, kama mtu hana taarifa za kina awaombe wenye taarifa. Kama mnavyoona mimi nilikuwa nafahamu historia yote, nafahamu MOU, lakini sikuwa nayo. Mtu huwezi kujua kila kitu na au kuwa na kila kitu, we need to complement each other. Tunaweza tukidhamiria, na JF itabaki na hadhi na heshima yake daima.
. .
 
Tatizo lako humu JF kishabiki.

Hawa nakushushia listi utaniambia kama ni Waislam au Wakistu.

Adolf Hitler, Pol Pot, Jean Kambanda, Tito, Jonas Savimbi, Ante Pavalic, Benito Mussolini, Mobutu Sese Seko, Charles Taylor.

Kwa uchache nimekutajia viongozi Wakirsto walifanya mauwaji ya kutisha au nikushushie kila moja watu aliowauwa.

Unaonekana bado kijana nakushauri jifunze zaidi kuliko kuwa unapinga.
hivyo vilikuwa vita vya kidini?
 
Mohamed, tumesema sana kuwa madhaila ya elimu ambayo ni precussor ya employment wanayo waislam wenyewe.Period!

Narudia kila siku kukuambia kuwa kama huna shule hutakuwa na wanafunzi, kama huna wanafunzi hutakuwa na wataalam. Kilwa wamejengewa shule na wamekimbia shule imefungwa.

Mzee Said badala ya kwenda Kilwa kuwaeleza hatari inayowakabili katika dunia ya leo ya ushindani, yeye anawadanganya kuwa ukiitwa Mohame, Muhsin, Hafidh, Salim, Mwanameka, Tatu Said automatically una qualify kuwa Lawyer, Doctor, Mwalim au Mhasibu.

Kwa wale msiotuelewa wengine, hapa ndipo tatizo lilipo. Wenyewe wanaita escapism.
Mohamed anajitahidi kuwafurahisha watu hawaaambii ukweli, in the end anawapoteza kabisa.
Mohamed hebu tembelea madrasa zinaoendeshwa na waislam uone hali ilivyo halafu urudi kutuambia madhila.

Walimu wa madrasa wanafanya kazi za kujitolea. Hakuna mfumo maalum wa kuwatambua au kutambua kile wanachokifanya. Hakuna syllabus ni kila mmoja na lake.

Hivi kuna shida gani madrasa zikawa shule za awali, kwamba kuna muda wa dini na muda wa masomo ya kawaida.
Kawaulize wazee wa Gerezani wangapi wanajua uwepo wa madrasa achilia mbali shule n.k.
Wangapi wanajua ustadhi wa madrasa analipwa nini, maana huyu ni mwanadamu ndani ya Dar, hana shamba

Kuhusu vijana kukamatwa, tumewahi kukuambia kuwa wazo la kufunga shule ili kwenda kusikiliza kesi ya Ponda ni chafu.
Huwezi kumtambua mtu kwa vazi na wala huwezi kuuhakikishia ulimwengu kuwa vijana hao walikuwa wamesimama tu.

Unachokifanya hapa ni kutuletea maelezo ya upande mmoja kama yale ya kijana wangu anayekuja na kusema nimepigwa na rafiki yangu na baada ya uchunguzi nagundua kuwa yeye ndiye mchokozi tena mkubwa.
Sisi wazazi wenye busara ndivyo tufanyavyo na si kusikiliza na kukukurupuka tu kwa hamasa

Unapotufanya watu wazima hatuwezi kufikiri unasikitisha. Na mbaya zaidi unasema wewe ni kiongozi wa waislam.
Siku ya ijumaa shule zilifungwa mapema ili vijana wazagae mitaani na kuleta vurugu kama unavyokusudia wewe na kundi lako. Mumegeuza siku ya ibada ya ijumaa kuwa siku ya vurugu.

Haipo katika maandishi yoyote ya dini iwe Kurani, sunna au hadithi. Hili ni jambo mumelizua wewe na kundi lako la vurugu ili kuuchafua uislam. Mnazusha mambo halafu mnasingizia dini.
Ndicho tunachoueleza ulimwengu kuwa Mohamed anachochoea vijana kwenda mitaani wapambane na askari

Hata siku moja Mohamed hayupo katika maandamano, he is in the studio orchestrating chaos.
Na katika kuhakikisha kuwa anatimiza wajibu wake sasa anakuja na madai kuwa vijana wapo magereza huku alijua fika kuwa shule zilifungwa ili waandamane.

Jamani huu kama si unafiki ni kitu gani na je mwenyezi mungu anasamehe kitu hiki.

Nguruvi,
Umeeleza upande wako nami nimeeleza upande wangu.
 
Mohamed Said Naona kawasahau wazawa wazaramu-na jinsi walivyokuwa forefront wa ukombozi.

"While the Wazaramo Union was gathering supporters and confronting the colonial government in the 1940s, the African Association in Dar es Salaam remained an ineffective petitioning organization, ceding political initiative to provincial branches such as Dodoma and Mwanza. Shortly after it transformed itself into the Tanganyika African Association (TAA) in 1948, the Dar es Salaam headquarters had ‘apparently collapsed entirely'.

165 The organization revived in the wake of proposed constitutional reforms in 1950, when the TAA demanded a stop to further alienation of land to immigrants, as well as to abolish ‘the imposition of Arab Liwalis' and replace them with African
kadhis"

.

Son...

Sasa unganisha na hii kutoka katika kitabu changu upate picha kamili:

TAA HQ New Street Dar es Salaam 1950

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Frustrated with the association's political stagnation, Abdulwahid and Mwapachu, one afternoon without prior warning to anyone, crossed the road from the Tanga Club and stormed into the office of the TAA at New Street and staged a coup against the elected leadership by manhandling Clement Mtamila who was at that time at the premises.

During the war Abdulwahid had been his regiment's boxing champion for both Kenya and Tanganyika. Abdulwahid had therefore no problem in disposing of Mtamila[1]

Following this violent show of revolutionary force, the old leadership succumbed to the young men's demands for elections at the headquarters.

In March, 1950, young Haya doctor of medicine, Vedasto Kyaruzi, and Abdulwahid were elected president and secretary respectively.
[2]

When the young men took over the TAA, it had only eighty-seven shillings in its account with Barclays Bank.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]This was the beginning of the end of the influence of the old generation and the beginning of nationalism in Tanganyika.

From that day Abdulwahid's name, that of his young brother Ally, and that of Mwapachu began to be associated with the TAA headquarters and the emerging nationalist politics. Abdulwahid was moving away from the political shadow of his late father to become a leader in his own right.

Abdulwahid's position as the secretary of Al Jamiatul Islamiyya and the newly acquired post of TAA secretary put him in good political standing.

He consolidated his own position and the family tradition of public service.

Gradually he began to build a new and independent political base with the alliance of the Makerere intellectuals.

Some of the older politicians of the previous generation and acquaintances of his father like Schneider and Mashado Plantan and Clement Mtamila supported him and Kyaruzi in reviving the TAA headquarters.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Information from Dossa who was witness tothe fracas.
[2] Information from Dossa Aziz interviewed in1987. Also see Iliffe, 'A Modern History...'pp. 507-508. Mtamila survived the turmoil and was
the elder politician who welcomed John Hatch of the Labour Party of Great Britain when he visitedTanganyika in 1955 as guest of TANU.
 
Kwa hiyo haya mauaji wapo sawa kutoa roho za watu.Vipi mauaji ya Joseph Koni Uganda?

.....

Mtoto wa jirani yetu amekuwa mgumu wa kuelewa anachofundishwa darasani ikabidi wampeleke kwa mganga wa kienyeji bado tatizo likabaki pale pale, haelewi anachofundishwa.

Wakampeleka kwenye maombi tatizo likawa palepale, ajabu mtoto ana kipaji kikali kweli cha kucheza mpira, asaiv yupo saudia anatumikia kipaji chake, shule imeshindikana. unaweza kujaribu kipaji chako.
 
Nyambala nisamehe kama nimekuudhi.
Mimi nishaeleza mara kadhaa kuwa sijinukuu.

Hayo niwekayo ni mfano wa kurasa kutoka kitabu changu nakiweka watu wapate kusoma.

Kubwa huwa kwa mfano kwako sikudhamirii wewe.Nawakusudia hawa wengine ambao historia hii hata
siku moja hawajaisikia.

Huna lolote kwa yale nilobandika jinsi mambo yalivyokuwa TAA HQ 1950 na hali ya Mandate Territory?

Mimi si mtu wa kuchomwa kirahisi. Waislam tunavumilia mengi nchi hii.

Na ni kweli hiyo Hansard sikupatapo kuiona lakini kutokuiona hakukunizuia mimi kuandika historia ya wazee wangu.

Nakushukuru sana kwa kunionyesha nyaraka hii.


.......

Kitabu uandike wewe, mjadala uhusu kitabu hichohicho, mtuhumiwa ni wewe, kisha utetezi uutoe kwenye kitabu hichohicho halafu useme hujinukuu?

Inaingia akilini kweli mzee wangu wewe?
 
Spike Lee mimi naona wewe endelea kuchota histohisia ya MS-naona umechotwa mzima mzima-unachanganya kuchinjana kidini kwa mashia/sunni na mauaji yasiyohusu dini

Joseph Rao Kony.

Lord's Resistance Army.

Mauaji anayofanya siyo ya dini?
 
Last edited by a moderator:
Mohamed, tumesema sana kuwa madhaila ya elimu ambayo ni precussor ya employment wanayo waislam wenyewe.Period!

Narudia kila siku kukuambia kuwa kama huna shule hutakuwa na wanafunzi, kama huna wanafunzi hutakuwa na wataalam. Kilwa wamejengewa shule na wamekimbia shule imefungwa.

Mzee Said badala ya kwenda Kilwa kuwaeleza hatari inayowakabili katika dunia ya leo ya ushindani, yeye anawadanganya kuwa ukiitwa Mohame, Muhsin, Hafidh, Salim, Mwanameka, Tatu Said automatically una qualify kuwa Lawyer, Doctor, Mwalim au Mhasibu.

Kwa wale msiotuelewa wengine, hapa ndipo tatizo lilipo. Wenyewe wanaita escapism.
Mohamed anajitahidi kuwafurahisha watu hawaaambii ukweli, in the end anawapoteza kabisa.
Mohamed hebu tembelea madrasa zinaoendeshwa na waislam uone hali ilivyo halafu urudi kutuambia madhila.

Walimu wa madrasa wanafanya kazi za kujitolea. Hakuna mfumo maalum wa kuwatambua au kutambua kile wanachokifanya. Hakuna syllabus ni kila mmoja na lake.

Hivi kuna shida gani madrasa zikawa shule za awali, kwamba kuna muda wa dini na muda wa masomo ya kawaida.
Kawaulize wazee wa Gerezani wangapi wanajua uwepo wa madrasa achilia mbali shule n.k.
Wangapi wanajua ustadhi wa madrasa analipwa nini, maana huyu ni mwanadamu ndani ya Dar, hana shamba

Kuhusu vijana kukamatwa, tumewahi kukuambia kuwa wazo la kufunga shule ili kwenda kusikiliza kesi ya Ponda ni chafu.
Huwezi kumtambua mtu kwa vazi na wala huwezi kuuhakikishia ulimwengu kuwa vijana hao walikuwa wamesimama tu.

Unachokifanya hapa ni kutuletea maelezo ya upande mmoja kama yale ya kijana wangu anayekuja na kusema nimepigwa na rafiki yangu na baada ya uchunguzi nagundua kuwa yeye ndiye mchokozi tena mkubwa.
Sisi wazazi wenye busara ndivyo tufanyavyo na si kusikiliza na kukukurupuka tu kwa hamasa

Unapotufanya watu wazima hatuwezi kufikiri unasikitisha. Na mbaya zaidi unasema wewe ni kiongozi wa waislam.
Siku ya ijumaa shule zilifungwa mapema ili vijana wazagae mitaani na kuleta vurugu kama unavyokusudia wewe na kundi lako. Mumegeuza siku ya ibada ya ijumaa kuwa siku ya vurugu.

Haipo katika maandishi yoyote ya dini iwe Kurani, sunna au hadithi. Hili ni jambo mumelizua wewe na kundi lako la vurugu ili kuuchafua uislam. Mnazusha mambo halafu mnasingizia dini.
Ndicho tunachoueleza ulimwengu kuwa Mohamed anachochoea vijana kwenda mitaani wapambane na askari

Hata siku moja Mohamed hayupo katika maandamano, he is in the studio orchestrating chaos.
Na katika kuhakikisha kuwa anatimiza wajibu wake sasa anakuja na madai kuwa vijana wapo magereza huku alijua fika kuwa shule zilifungwa ili waandamane.

Jamani huu kama si unafiki ni kitu gani na je mwenyezi mungu anasamehe kitu hiki.

Inashangaza sana kuona mzee Mohamed Said anapindisha ukweli wawalioshitakiwa na jamuhuri kwa kuandamana na wengine kupora mali za watu,

Hivi Ponda kumbe anaonewa kwamjibu wa Shehe Mohamed?
 

kwanini hujiulizi kwanini siku kuu ya IDD inasherekewa kiholela,mwaka jana nilifaidi IDD mara mbili nasafiri nakuta idd wakati nilipotoka ilikuwa jana yake
.

Kwa nini hujiulizi Wasabato hawaitambui Pasaka na X-Mass halafu Katoliki wanazitambua, halafu wote wanajajiita Wakirsto.
 
  • Thanks
Reactions: Ami
madhara ya mafundisho ya chuki ndo kama haya....
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Ufundi Ifunda, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, jana walifanya vurugu kubwa shuleni hapo na kutaka kumuua Mkuu wa shule hiyo, Bw. Shaaban Nsute.

Katika vurugu hizo ambazo zilianza juzi jioni hadi saa tano usiku, wanafunzi hao ambao walivalia kininja na kuficha sura zao wakiwa na visu mkononi, walivunja vioo vya madirisha shuleni hapo.

Wanafunzi hao wanadaiwa kumfuata Bw. Nsute nyumbani kwake lakini alikimbia na kwenda kujificha kwenye shamba la mahindi ambapo wanafunzi hao walimpiga mlinzi wa shule Bw. Yasini Luhala kwa mawe akiwa katika ofisi yake.

Akizungumza na Majira jana, Bw. Nsute alisema chanzo cha vurugu hizo ambazo zilidhibitiwa na Jeshi la Polisi ni baada ya mwanafunzi mmoja shuleni hapo kuvaa kofia zinazotumiwa na Waislamu (baraghashia).

Alisema mlinzi wa shule hiyo, Bw. Luhala alimnyang'anya kofia hiyo ili asiingie nayo darasani kwa sababu si sare ya shule lakini mwanafunzi huyo alichukua uamuzi wa kwenda kuwaita wenzake na kufanya vurugu.

Aliongeza kuwa, kutokana na vurugu hizo zaidi ya wanafunzi 30 wamefukuzwa shule na kuwataja baadhi yao kuwa ni Sadi Mwamed, Jamal Hashim na Athuman Ibrahim wanosoma kidato cha tano. Wengine ni Abdulazizi Hussein na Ally Abdallah wanaosoma kidato cha nne.

"Mwanafunzi aliyenyang'anywa kofia alidai Waislamu katika shule hii wanatengwa, kunyanyaswa na kuzuiwa wasifanye mambo yanayoendana na dini yao.

"Hawa wanafunzi walikuja nyumbani kwangu usiku na kugonga mlango, nilitoka mlango wa nyuma nikakimbia kwenye shamba
la mahindi, mke wangu alifungua mlango na kuwaambia sipo na alipowahoji wakamwambia walikuwa wakinihitaji ili niende nao Msikitini kuna kazi muhimu," alisema.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt Letisia Warioba, alisema tukio hilo limemsikitisha sana.

Alilipongeza Jeshi la Polisi kwa kufika mapema eneo la tukio, kutuliza vurugu na kuimarisha ulinzi shuleni hapo hadi asubuhi na kuwataka wanafunzi waliobaki, waendelee na masko kwa kuzingatia taratibu za shule.

Source: Gazeti la Majira la J3 tar 4/3/2013
hapa nimelazimika kucheki na jina la mkuu wa shule Bw. Shaaban Nsute.
angekuwa na jina la kikristo ndo tungesikia mengine toka kwa mzee wetu MS.
 
Kama unaamini historia ni lazima iwe kwenye kitabu kimoja tu basi wanasema imekula kwako. Wewe umesoma kitabu kimoja na ukajiridhisha kuwa kilipaswa kuandika kila kitu (kikubwa na kidogo) kilichotokea katika historia. Huu ni uelewa finyu wa uandishi wa kihistoria. KUweza kuelewa historia ya TANU ni muhimu kusoma katika sehemu mbalimbali na ni katika kufanya ihvyo ndivyo tunavyoweza kuelewa histtoria yote.

Leo hii mtu akitaka kuandika historia ya Uhuru wa Tanganyika atafanya makosa kama hatosoma kitabu chako. Kwa sababu na wewe umechangia kwa sehhemu yako kuielewa historia hiyo. Ni makosa kudhani kuwa wewe umeandika historia yote na kweli tupu. Abdu Sykes, na ndugu zake wametajwa kwenye maandishi mengine ya historia ya TANU au ya matukio muhimu ya TANU.

ILikuwa makosa kwako kudhani kuwa kwa vile hicho unachoita "Historia ya Kivukoni" hakikutaja baadhi ya majina basi TANU haikuwahi kuwapa heshima na kuwataja kwa hadhi zao kina Sykes. Umeongozwa mno na hisia kiasi kwamba umeacha kuandika historia.
Hayo madogo kweli mengine unaweza ukakosa muda wa kuyaandika,lakini makubwa ukiyawacha basi hiyo unayoaandika si historia ni utani tu,
Kuacha kutajwa Abdulwahid Sykes kwenye historia ya Tanzania ni jambo kubwa wala si dogo.
Wee Mzee mdomo mkubwa tu lakini huwezi kuandika hiyo historia uipendayo ikaorodhesha hata machache madogo na makubwa.Na kama utaandika hakuna atakayeshughulika nayo.Huna pa kuanzia wala pa kumalizia.
 
Hayo madogo kweli mengine unaweza ukakosa muda wa kuyaandika,lakini makubwa ukiyawacha basi hiyo unayoaandika si historia ni utani tu,
Kuacha kutajwa Abdulwahid Sykes kwenye historia ya Tanzania ni jambo kubwa wala si dogo.
Wee Mzee mdomo mkubwa tu lakini huwezi kuandika hiyo historia uipendayo ikaorodhesha hata machache madogo na makubwa.Na kama utaandika hakuna atakayeshughulika nayo.Huna pa kuanzia wala pa kumalizia.

Ami,

Mwanakijiji ni mzito wa kukubali ukweli.
Labda nimfahamishe hivi kwa njia nyepesi kama ataelewa.

Kwa watu wa Dar es Salaam AA siku zote ilihusishwa na Kleist Sykes.

Baada ya kifo cha Kleist chama kikahusishwa na wanae.
TAA ndiyo iliyozaa TANU.

Hiyo mikutano ya TANU ya siri ilikuwa ikifanyika nyumbani kwa Abdu.

Siyo mikutano tu hata mafaili ya TAA/TANU yakifichwa kwake na ndiyo
maana unaona leo mafaili hayo wanayo katika hifadhi ya ukoo wao.

Na haikuwa yeye Nyerere wote akina Dunstan Omar walipofika Dar es
Salaam walikwenda kwa Abdu Sykes kujuana na kuweka mipango ya
TAA.

Hata Nyerere alipofika Dar es Salaam mwaka 1952 aliomba kwanza ili
afahamike apelekwe nyumbani kwa Abdu.

Hata ule uchaguzi wa mwaka wa 1953 ulikuwa kati ya Abdu Sykes na
Nyerere.

Huwezi kuandika historia ya TAA au ya TANU au ya Nyerere usimtaje
Abdu.

Historia itakuwa haijakamilika.
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Back
Top Bottom