Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mag3,

Nina kawaida moja.
Mtu akinitaja simwachi.

Siko mbali na mjadala nasoma siku zote.
Vitisho unanitisha mie katika uandishi?

Hunijui?

Nilidhani unakuja na kitabu kumbe maneno
matupu?

Nakisubiri kitabu chenu kwa hamu na huo ndiyo
ulikuwa ushauri wangu kwenu siku zote.

Zingatia ushauri wa Baru.
Mohamed Said, mbona unatokwa mapovu bila sababu ya maana? Hoja zilizowekwa hapa na wana JF hukuzijibu zaidi ya kutuletea maneno ya kihuni na kejeli! sasa unalilia kitabu! eboo! Jibu hoja hizo kwanza kwa uadilifu na ueledi, wacha kujibu kwa ujanja ujanja wa kisungura... mara oh! andikeni kitabu... oh nimeandika historia ya mababu zangu... oh, Nyerere alikuwa adui wa uislam, oh, Matola hakuanzisha AA, .. Ondoka huko chakani tuachie Tanzania yetu, ama vipi mfuate Barubaru uarabuni mkale tende na halua mkituachia amani yetu watanzania.
 
Kwanza onesha hiyo hoja ambayo haikujibiwa.Nadhani tatizo si kujibiwa ni kwamba kwa manufaa ya mfumokristo hampendi majibu.Mnachopenda ni umafia tu.
Kama kuna kukimbia na kufuata watu wengine nje.Basi hilo mnapaswa muanze nyinyi ambao mlipofika Tanganyika na Afrika mlikuta uislamu umetamalaki kwa makarne.
Ikiwa hamkubali historia yetu basi hakuna kukimbizana.Tumezaliwa hapa na tutakufa hapa pamoja nanyi.
 
.........
 
Ahaaaaaaaa na wewe umerudi na ngonjera zako kweli nimeamini mzee MS akikaa pembeni kidogo uzi unayumba,Gwalihenzi siku zote nakwambia kaa pembeni waachie wajuzi wa mambo husikii sasa wewe na mzee MS nani analeta ujanja ujanja siunde chit chat au jukwaa la mapenzi bwana mdogo.
 
Watanzania zaidi ya lakimoja ndio waamuzi w vita hii ya wema na ubaya, bila kupepesa macho WEMA umeshinda, hilo shahidi mkuu ni Mohaned Said,

Hila yake kwa taifa tumeizima, na watanzania zaidi ya lakimoja tu wametuunga mkono na wanatushukuru.

Kweli Skuli ni muhimu sana.

Je waTanzania laki moja ni sawa na silimia ngapi ya Watanzania wote ambao wanakaribia Milioni KHamsini?

Jaribu kukokotoa na kuona upo umbali kiasi gani kutokana na ukweli.

nakushauri rudi tena skuli.
 
Utapingaje utaifiti usio utafiti?
Barubaru kuna utafiti mtu asioweza kuutetea!

Je wajua kuwa Utafiti huo umefanyiwa review na vyuo zaidi ya 5 Duniyani na vyuo vyenye kuhishimika. Je kama ingekuwa umeandikwa utumbo vyuo hivyo au wasomi hao waliobobea kwenye African history wangejishughulisha nao.

Mbona kitabu cha Uhuru wa Tanganyika kilichotungwa na Chuo cha Kivukoni hakijawahi kufanyiwa review popote pale hata UDSM.

Hakika mnyonge mnyonge lakin haki yake mpeni.

nanga limewaka hili andikeni kitabu kupingana na haya na sio bla bla

Kwanini nisubiri kuandika kitabu ilihali naweza kumzima Mohamed kupitia jf tu?

Watanzania wameujua ukweli na hila ya Mohamed Said, sasa watamuonya kwa namna yao.

Narudi pale pale Skuli ni muhimu sana na kujua utafiti ni nini lazima upite skuli na kujua haya.

Kwa wataalamu tunakwambia kwa kinywa kipana sana UTAFITI WOWOTE DUNIYANI TENA KAMA HUU UNAOFANYIWA REVIEWS NA VYUO VIKUU MBALIMBALI VYENYE KUSOMESHA HISTORIA YA AFRIKA BASI UNAPINGWA KWA UTAFITI KWA MAANA NA WEWE UANDIKE KITABU KUPINGANA NAE NA SIO MISTARI MICHACHE KATIKA JF.

Jiulize ni wangapi watasoma uzi huu wote bandiko kwa bandiko lakin kitabu kinauzwa na kitasomwa mpaka na vizazi vijavyo. sasa punguza uvivu andika kitabu tuone kama kitaweza review hata moja katika University yoyote hapa Duniyani

Barubaru,

Kitabu cha Mohamed Said kipo Hadwarani kinaitaji kupingwa na kitabu siyo porojo za JF.
 
Nini kinawasukuma mje kupambana nasi hapa jf ilihali mnaamini kuwa mmeaminiwa na wazungu tena wakristu zaidi ya miaka 15 sasa?
 
Yericko,

Katika historia ya masheikh wa Dar es Salaam katika siasa
hapajakuwa na jina la Shehe Issa bin Amir.

Edgar Maranta nikimfahamu na wewe ulikosea jina lake ukamwita
Maranda ni mimi niliyekusahihisha.

Haya mambo nayajua kukushinda ndiyo maana unaona sijibu post
zako.
Wewe wasema kuwa hapakuwapo shehe Issa bin Amir, lakini jibu lako ama ufahamu wako usiwe kikomo kwa wengine ndugu,

Mimi nakupa yale usiyoyajua juu ya harakati za uhuru na uhuru kamili,

Ulijua ama kufamu kuwa kanisa lilibadili maandishi yake kuwa ya makabila husika huku wakiweka maneno mapya ya kuhimiza uhuru?

Je ulijua ama kufahamu kuwa kasisi Zelger aliyekuwa mkuu wa kanisa Tanganyika alifukuzwa utumishi wake kwakuhimiza ukombozi?

Tulia ndugu na fungua akili yako ianze kupokea mapya juu ya historia ya Uhuru wetu, chuki zako za kidini zitakuua kabla hujafaidi mema ya nchi hii.
 
Ahaaaaaaaa na wewe umerudi na ngonjera zako kweli nimeamini mzee MS akikaa pembeni kidogo uzi unayumba,Gwalihenzi siku zote nakwambia kaa pembeni waachie wajuzi wa mambo husikii sasa wewe na mzee MS nani analeta ujanja ujanja siunde chit chat au jukwaa la mapenzi bwana mdogo.
Kazi yako shekh ubwabwa ni kuchombeza umbeya wa mzee wako chauchochezi! hapa mmekwama. Rudini kwenye mihadhara yenu mkapeane mikakati mipya. Tanzania itadumu kuwa moja, nyie mtaishia kugombea miskiti na viwanja vya BAKWATA bila mafanikio.
 
Kwanza onesha hiyo hoja ambayo haikujibiwa.Nadhani tatizo si kujibiwa ni kwamba kwa manufaa ya mfumokristo hampendi majibu.Mnachopenda ni umafia tu.
Kama kuna kukimbia na kufuata watu wengine nje.Basi hilo mnapaswa muanze nyinyi ambao mlipofika Tanganyika na Afrika mlikuta uislamu umetamalaki kwa makarne.
Ikiwa hamkubali historia yetu basi hakuna kukimbizana.Tumezaliwa hapa na tutakufa hapa pamoja nanyi.
Ujumbe huu mpelekee mjomba wako Barubaru.
 
Je wajua kuwa Utafiti huo umefanyiwa review na vyuo zaidi ya 5 Duniyani na vyuo vyenye kuhishimika. Je kama ingekuwa umeandikwa utumbo vyuo hivyo au wasomi hao waliobobea kwenye African history wangejishughulisha nao.

Mbona kitabu cha Uhuru wa Tanganyika kilichotungwa na Chuo cha Kivukoni hakijawahi kufanyiwa review popote pale hata UDSM.

Hakika mnyonge mnyonge lakin haki yake mpeni.

nanga limewaka hili andikeni kitabu kupingana na haya na sio bla bla

Baru,

Hawa hawano kitu.

Mimi nimesimama kwenye kilingo Northwestern University, Chicago
mbele ya mabingwa wa historia ya Afrika.

Nimesimama nikamueleza marehemu Abdulwahid Sykes na yale alofanyia
Tanganyika katika kudai uhuru.

Ukumbi uliwaka moto.
Muslim symbols katika harakati zikiwakata maini Wamarekani.

Nami nilifanya makusudi.

Nilipofika 1948 katika mgomo wa makuli Abdu kiongozi wao akiwa kijana wa
miaka 24 wanafanya kisomo Bonde la Msimbazi kabla ya mgomo nikawasomea
uradi hasbunallah waniimal wakil nikawamalizian na lailahillllah.

Nawaambia Waamerika hii ndiyo silaha wazee wetu waliyomshindia Mwingereza
ambae na nyinyi milipigananae kupata uhuru wenu 1776.

Nikawaambia ndiyo maana iliposadifu kuunda TANU katika kamati ya ndani ya TAA
unamkuta Mufti wa Tanganyika na Zanzibar Sheikh Hassan bin Amir mwaka 1950.

What about Nyerere?
Swali likaja...

Jibu langu: About what?

Ukumbi mzima ukaangua kicheko.
Hawa ni wajuzi ukiwafumbia fumbo wanategua hapo hapo.

Nikawapa na pp nilotoa Chuo Kikuu Zanzibar kuhusu Sheikh Hassan bin Amir.

"...and Mohamed you knew all these people who made history?"

Baru mie nimesimama mbele yao nacheka tu na kumshukuru Allah.

Ati anasimama mtu hapa free for all anataka kunitisha mimi na kitabu
cha kufikirika...
 
Mwanakijiji na J. Nyerere mnaona vitu hivi?
 
Kweli Skuli ni muhimu sana.
Je waTanzania laki moja ni sawa na silimia ngapi ya Watanzania wote ambao wanakaribia Milioni KHamsini?
Barubaru, hilo swali ungemwelekezea mpiga porojo wako, hao wazee wake wa Gerezani walikuwa ni sawa na asilimia ngapi ya Watanganyika wote? Tatizo ni kuwa kuna watu hata kukisoma hicho kinachoitwa kitabu cha Kivukoni hawajakisoma, lakini humu ndani wamekaa mkao wa kula wakibugia ngano wanayolishwa na watu wenye chuki na wachochezi wasiolitakia taifa mema...inashangaza, inasikitisha na inaudhi!
 
Last edited by a moderator:
Baru,

Hawa hawano kitu.

Mimi nimesimama kwenye kilingo Northwestern University, Chicago
mbele ya mabingwa wa historia ya Afrika.

Nimesimama nikamueleza marehemu Abdulwahid Sykes na yale alofanyia
Tanganyika katika kudai uhuru.

Ukumbi uliwaka moto.
Muslim symbols katika harakati zikiwakata maini Wamarekani.

Nami nilifanya makusudi.

Nilipofika 1948 katika mgomo wa makuli Abdu kiongozi wao akiwa kijana wa
miaka 24 wanafanya kisomo Bonde la Msimbazi kabla ya mgomo nikawasomea
uradi hasbunallah waniimal wakil nikawamalizian na lailahillllah.

Nawaambia Waamerika hii ndiyo silaha wazee wetu waliyomshindia Mwingereza
ambae na nyinyi milipigananae kupata uhuru wenu 1776.

Nikawaambia ndiyo maana iliposadifu kuunda TANU katika kamati ya ndani ya TAA
unamkuta Mufti wa Tanganyika na Zanzibar Sheikh Hassan bin Amir mwaka 1950.

What about Nyerere?
Swali likaja...

Jibu langu: About what?

Ukumbi mzima ukaangua kicheko.
Hawa ni wajuzi ukiwafumbia fumbo wanategua hapo hapo.

Nikawapa na pp nilotoa Chuo Kikuu Zanzibar kuhusu Sheikh Hassan bin Amir.

"...and Mohamed you knew all these people who made history?"

Baru mie nimesimama mbele yao nacheka tu na kumshukuru Allah.

Ati anasimama mtu hapa free for all anataka kunitisha mimi na kitabu
cha kufikirika...
Hizo ni sehemu ya ngano unazowapumbaza vijana wetu na kupandikiza chuki na uasi,

Kipi cha mafaa kwa tungo hizo? Manti ya kweli hazisimami sambamba na historia ya uhuru bali zinazaa tabaka puuzi ndani ya historia halisi ya uhuru.

Rejea ushauri wangu kwenye mchango wangu hapo juu, unamafaa kwako na kwa vizazi vyako bila kuwasahau maamuma uliowabeba katika mjadala wetu.

Mimi nimejifunza mengi kutokana na mjadala huu, mengi kutoka kwa wenzangu na mie wenye mlengo wa kati lakini hata mengine kutoka kwenu wenye mlengo kushoto na wenye msimamo mkali.

Simama kama mtanganyika/mtanzania, usisimame kama mpita njia, kumbuka na elewa fika kuwa,

"Mchuma janga hula na wakwao"
 
Hiki ulichoandika ni Kizanaki au?!...jipange upya.
 
Kazi yako shekh ubwabwa ni kuchombeza umbeya wa mzee wako chauchochezi! hapa mmekwama. Rudini kwenye mihadhara yenu mkapeane mikakati mipya. Tanzania itadumu kuwa moja, nyie mtaishia kugombea miskiti na viwanja vya BAKWATA bila mafanikio.

ha ha haa mkuu G umeliona gaidi la kikurya hii dunia inamambo mimi nilijua waislamu tuu ndio magaidi kwasababu hawajasoma kumbe hata wasomi nimagaidi mhh makubwa.
 
Back
Top Bottom