THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Ami,na ukimuona mtu wa kuongea kwa sampuli kama hiyo ya Nguruvi3 basi ujue ni mtu asie na uhakika na jambo lake,
Mara utaskia huenda,mara utaskia inawezekana,mara utaskia tujaalie n,k.,ni watu wasio na uhakika wala uelewa wa uhakika na jambo wanalolisema,ni watu wa kuwaangalia kwa umakini wa hali ya juu,hasa hasa huyo na yule mwenzake Babu Mfia dini..
Sampuli hii ya watu sisi tunawaita Vihiyo au Makanjanja..

Last edited by a moderator: