Son of Alaska,
..IGP Hamza Aziz alikumbwa na kashfa ya kukanyaga raia kwa gari. Raia huyo alifariki dunia.
..kesi yake ilikwenda mahakamani, lakini ikamalizwa ktk namna ambayo imeacha maswali mengi kuliko majibu.
..baada ya hapo Mwalimu Nyerere akampa uhamisho kwenda kufanya kazi ubalozi wa Tz marekani.
..sasa kuna kipindi Mohamed Said alikuwa anapiga kelele kwelikweli kwamba Dossa Aziz, ndugu yake Hamza Aziz, alinyimwa nishani kwasababu ya Nyerere kutothamini mchango na hisani ya Waislamu kwake. Dossa alipewa nishani nadhani a week later. Sasa mimi nikajiuliza hivi Nyerere alipomhamishia Hamza Aziz ubalozini baada ya kashfa kubwa namna ile, haikuwa kulipa hisani?
..vilevile, Mohamed Said, anasema Nyerere hakuthamini mchango wa familia ya akina Sykes. Wakati huohuo tunaelewa kwamba kuna Abas Sykes, nduguye Abdulwahid Sykes, alikuwa balozi wetu kwa muda mrefu. Sasa kama Abas Sykes aliteuliwa kuwa balozi, what prevented Abdulwahid kuteuliwa ktk nafasi yeyote ile? Mimi kwa mtizamo wangu nadhani Abdulwahid aliamua mwenyewe kutojihusisha na mambo ya siasa na serikali. Lakini mwenzetu Mohamed Said yeye anaona hapo kuna udini.
..Pia nimemuuuliza Mohamed Said, kama Hamza Aziz na Abas Sykes walipewa nishani na Mwalimu Nyerere. Mimi nilitegemea Mohamed atakuwa na majibu on his finger tips lakini inaelekea labda hakufanya utafiti huo, au kuna kitu anaficha.
..Maoni yangu ni kwamba,
Mohamed Said ana conclusions zake tayari kuhusu Mwalimu na historia ya Tanganyika, sasa yeye hukusanya data ambazo zita-prove conclusions zake tu. Jambo lolote lile ambalo linaweza kumpeleka nje ya conclusions zake hajishughulishi kulitafiti.CC:
gombesugu,
Wimana,
Nguruvi3,
THE BIG SHOW,
Ritz,
Kadogoo
JokaKuu,tunapokuwa tunafanya analysis ya maandishi yake ni kujaribu kuuonyesha umma kile kilichofichika kama ulivyodadavua hapa. Hili la conclusion nadhani ndilo tatizo lake kubwa.
Mfano, yeye na WARSHA walikaa wakafikia conclusion kuwa wanafunzi wa kiislam wanaonewa.
Pakuanzia ni kutafuta takwimu za waliomaliza Darsa la saba. Zikatafutwa za miaka kadha zikapikwa pikwa matokeo yake ni yale ya kuwa na muslims vs christian na kisha kukimbia chumbani na kubadilisha muslims vs non muslim.
Pamoja na kupika bado ukweli unawakana akina Mohamed.
Ukisoma post yangu ya mwisho kabla ya hii utaona Mohamed alivyojaribu sana kumdhalilisha Nyerere, si kwasababu Nyerere ni mbaya bali ni kutaka kumkweza Abdul Sykes.
Ameandika kuhusu uchaguzi wa TAA kwakweli amejikanyaga ni aibu tupu.
Anatuletea habari za Dosa na watu wawili watatu kuhusu nini kilitokea ndani ya Anatouglo.
Returning officer Phombeah hakuwasiliana naye kwasababu angesema kile Mohamed asichotaka kusikia.
Soma makala za akina MWapachu, utaona jinsi walivyokuwa karibu sana na Mwalim.
Hawa akina Sykes wanaosemwa wametupwa si kweli.
Hamza Azizi alipewa kwa sababu ya heshima ya mzee Dosa.
Hamza alipata ajali hilo Mo halisemi anachokisema ni sheikh Amir kufukuzwa bila sababu!!
Hakika uzi huu umefumua kitabu cha Mohamed vibaya sana, kwa mwenye kusoma kwa akili itamchukua miaka kufikiria kurudi dukani kununua toleo lingine. It's obvious habari hizi ni za kupika zimetafutiwa data za kupika halafu zinaletwa.
Majaribio matatu ya kutupa namba hapa yameshindwa. Failure, kwasababu hesabu hazina ujanja ni ima upo sawa au umekosea. Jaribio la Takwimu limefeli, Jaribio la sensa 1967 limefeli, Jaribio la sensa 1957 limefeli.
The bottom line hizi ni habari za kupika za WARSHA ya akina Mohamed, Dau na Njozi. No more no less, uchonganishi, fitna,farki na husuda wakitumia mwamvuli wa dini. Pathetic and immoral
Kundi hili ndilo linaanda umwagikaji wa damu nchini. Ni kundi hatari sana kwasababu lina wasomi wanaotumia elimu yao vibaya kuihujumu jamii wala si kuisadia. Kundi hili ni advance Boko au Alshaabab to be honest.
Hizi vurugu zote mnazoziona ni kundi la Mohamed, ndio maana huwezi kutenga umwagikaji damu na akina MO.