Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hapa ndipo unapojidanganya; watu hawaji kusoma porojo. Wengi wanakuja kujifunza ukweli wa historia na wanajifunza jinsi ya kukosoa historia hiyo. Baadhi yao walikuwa wanaamini umeandika historia na walikusoma au kukusikia huko pembeni ambako hakuna mtu aliyekupa changamoto. Ulidhani uwanja ni wewe na goli! Hakuna mabeki, hakuna golikipa. Kila siku ulikuwa unashika mpira unaweka kwenye matuta 12 na unafunga magoli; jinsi utakavyo. Sasa wamewekwa makipa unaanza kuja juu; ooh mbona anazuia hadi penati; sasa zimeingizwa timu unasema washangiliaji wananishangilia mimi...! Timu yako inafungwa unaendelea kudai mbona ulikuwa unafunga peke yako penati bila kipa.. Uwanjani hachezi mmoja... hawakusomi peke yako na kwa hakika masimulizi yako yana uzuri mahali pamoja tu - ukizungumzia mambo ya misafara yako, ulikutana na nani wapi, na ulikula nini... hapo tu ndio naona raha...
ukiisoma comment hii kwa makini huwez jitosheleza kama imeandikwa na mtu mzima au mtu mwenye hekima zake,ni maneno yaliyochuja na yasiyo na mashiko, na ndio kwa maana vijana wa mjini tunasema si vema kwa mzee kama huyu kushusha suruali na kuvalia chini ya kiuono'kata k',,,huko ni kujidhalilisha, na mara kwa mara tumemuusia kutojarib kujiweka katika level sawa na Moh Said,si size yake,anadhani ni masihara.. Sasa kwa kuwa kagoma kuipandisha juu ya kiuono suruali yake sisi tutaipandisha kwa nguvu ili kulinda heshima yake..
 
Wale paka wapenda vya bwerere wanaoshinda shinda kwenye Ma-Bar kwa kuangalia wateja wanaoukula nyama choma kwa macho ya kutia huruma ili waonewe huruma na kurushiwa makombo ya mifupa ili wajaze matumbo yao wanalandana moja kwa moja na upande wa pili wa hawa jamaa wanaompinga Moh Said,wanachokifanya ni kusubiri point wanazohisi hizi tunaweza kumvamia Moh Said na kuzitia naksh naksh ili kuwathibitishia watazamaji kuwa Moh Said ni mzushi,lakin hadi hapa wamefeli,wameshindwa kabisa kuonesha uchocheza wa Moh Said ,na wanachofanya ni kudandia dandia hofa mbali mbali mfu ili kupata kwa kutokea, waache waendelee kuokota mifupa,sisi tunakula nyama mifupa twawaachia wao wazid kunenepeana wapenda vya bwerere hao..
 
Patamu hapo, mambo yamekuzi mpaka unashindwa kumtofutisha Nguruvi3 na Mzee Mwanakijiji! kigongo hicho kakutwisha Mzee Mwanakijiji na sio Nguruvi3, chezea Mwanakijiji weye!
Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15.

Baada ya muda akavaa 11 akitoa krosi kwa vijana. Hali imebadilika akacheza namba 6, akaenda vacation ya siku 7 lakini akarudi siku 3 kwani mashambulizi hayakuwa mazuri.

Kacheza namba 5 mambo si sawia, sasa amekuwa golikipa kama halikuingia basi atatoa kona ''nimekusikia''.
Gwalihenzi kiwewe kitu mbaya unaweza kumwita bamkwe shemeji! Kapoteza network, hajui missiles zinatoka eneo gani.

Ndani ya Wembley washabiki hawakuingia kuangalia mazoezi ya ManU wameingia kuangalia mpambano na Baca.
Baada ya kununua vitabu miaka 15 sasa wanajua waliuziwa Uwazi na risasi mchanganyiko. wanaitana wapo 130K.
 
Hakika Mohamed said amepwaya si kidogo, ameummbuka na sasa anaumuka. Every time mzee huyu akiishiwa hoja utasikia ooh mara andikeni vitabu, ohh watu wanaiuata mm, ooh mm sipo hapa kwa ubishi etc. Huyu mzee anasema eti watu wanamfuata yeye hapa. LAkini ukianalyze vizuri hapa utagugundua huu mjadala una phase kama tatu Mzee Said na wakongwe wa JF it is always full, Vijana wa mzee Said peke yao hawawezi hata kudrive page moja kwa siku likewise anapokuwa mzee saidi na vijana wake.

Said umebanwa na ni vema ukasikiza ushauri wa nguruvi3. PIga glasi ya maji au ikiwezekana kasafari kamoja upumue.
 
"Sikatai asilani kuwa kila mmoja wetu ana haki ya kujadili na kujifunza toka kwa mwenzie bila ya kujali social status,class,tribe and /or political affiliation,customs,cultures,skin colour or any other differences"

Gombesugu, that would have been the approach to a constructive discussion. In fact ukiangalia in totality kwa mambo yanayoendelea Tanzania leo hii kuhusu elimu na huduma za afya is a total sham and there is nothing to smile about. Mambo ni holela holela tu shule ni duni si za serikali au zile za madhehebu ya kiislamu au kikristo.

Sasa ss kama watanzania, watu wazima na educated tulitakiwa tusimame kwa sauti moja bila kujali dini ya mtu kupambana ili kuuondoa uholela huu. Kinachosikitisha kuhusu hoja za Mzee Saidi ni kuwa yeye "ameshakonkludi" kwamba kuna baadhi ya wanajamii selectively kwa sababu ya dini yao hawajafanikiwa kwa sababu ya dhulma. Ok fair enough, lete ushahidi hapo ndiyo kwenye ngoma. And make no mistake watanzania walio wengi hawapendi dhulma, there is nothing proud eti nipewe kazi kwa sababu ya dini yangu, au nipate 30% igeuzwe 80% kwa sababu nna dini moja na msahishaji, nipewe cheo kwa sababu ya dini yangu. Sasa ukisoma vizuri simulizi za Mzee Saidi ni kama vile huo ndiyo utaratibu na ukiwa mkristo umeula.

Leo kukiwa na kazi ofisini kwa Pinda wewe na mtoto wa Mwinyi mkawa qualified kwa hiyo nafasi unajua matokeo yake yatakuwaje, I can confidently tell u kwamba dini haitaplay hapo. na mifano ya namna hii ni mingi

Hebu angalia hizi picha hapa chini unaweza kuniambia hao watoto ni dini gani?????? Je kuna any compatibility ya hali hii na masimulizi ya Mohamed?

2i1zi8l.jpg

24ni2z6.jpg

Uwepo wa wengi wetu hapa si kumpinga mzee Saidi as a person bali ni kujadili narrative anayoidrive ambayo imeonekana na si mara moja kuwa inconsistent, illogical na incompatible na hali halisi. Simulizi za Mzee Saidi zinakuwa as if wakati hayo mambo yanatokea wengine tulikuwa Burundi au Gabon hivyo tunatakiwa tusikilize tu.

Huwezi kukaa kimya kama unaambiwa namba za mtihani zilianzisha na Malima alipokuwa waziri wa elimu, wakti unajua ulifanya mtihani kabla na kwa namba ya mtihani. Ghafla post za magoli zinahamishwa kwamba "hili sisi tunaitaka serikali ijibu siyo nyie" ebo sasa limeingiaje humu? Mtu anapodai Marehemu Prof. Haroub Othman alikuwa anajiandaa kuandika bayografia ya Nyerere ili kujibu kitabu chake wakati ukweli ni kuwa ilikuwa kiandikwe na watatu Otham, Mohdin na Ruhinda na hii ni baada ya watatu hao kumuomba mwalimu waandike bayografia yake. Sasa eti unatakiwa ukae kimya tu kwa sababu imesemwa na Mzee Saidi. Kwamba eti Tanganyika in 1950 ilikuwa mandate territory unatakiwa umeze tu.

Ukisoma vitabu vyake vyote na kungalia videos zake hakuna mahali Mzee Saidi anatoa suluhisho ya hicho anachokiita dhulma. Na ndiyo maana anaqualify kuitwa mchochezi.

I would have been very proud kushinda humu tujadili nini kifanyike ili wadogo zetu wapate elimu bora, wawe na access na huduma bora za afya na kupata ajira zinazoeleweka. Hatutapiga hatua hata siku moja kama tunasubiri sijui Vatican au OIC kutuletea haya. Unfortunately kuna mafundisho yanaendelea Tanzania kwamba usipofanikiwa, well wewe si kosa lako kuna mfumo unakubagua. It is such a wrong and sick premise to start with hasa kwa vijana wetu ambao ndiyo kwanza wanaingia kwenye ulingo wa kupambana na maisha.

Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15. Baada ya muda akavaa 11 akitoa krosi kwa vijana. Hali imebadilika akacheza namba 6, akaenda vacation ya siku 7 lakini akarudi siku 3 kwani mashambulizi hayakuwa mazuri. Kacheza namba 5 mambo si sawia, sasa amekuwa golikipa kama halikuingia basi atatoa kona ''nimekusikia''. Gwalihenzi kiwewe kitu mbaya unaweza kumwita bamkwe shemeji! Kapoteza network, hajui missiles zinatoka eneo gani. Ndani ya Wembley washabiki hawakuingia kuangalia mazoezi ya ManU wameingia kuangalia mpambano na Baca. Baada ya kununua vitabu miaka 15 sasa wanajua waliuziwa Uwazi na risasi mchanganyiko. wanaitana wapo 130K.
hakuna andiko lisilo kosa criticisms,mbaya zaid unashangaza kuyachukulia maandiko ya Moh Said kama sehem ya kufanyia mpambano na majibizano,huna nguvu wala weledi wa kupangua historia ile iliyoandikwa na Moh Said, ukitaka kupata ufaham juu ya hilo si kwamba waislam wote hawana akili au hawajui uhalisia,au hawaupendi undugu baina ya watz,hebu jiulize kwenye mjadala huu ni kina nani waliojipambanua kuwa si waislam ambao wanaunga mkono hoja za Moh Said? Wengi wenu kama si wote ni christians ambao kwa kila namna mmeona hoja zake na anavozianalyse kuwaelezea wazee wake ambao walikuwa waislam basi ni wai yy anapigana jihadi na nyinyi kuamua kupigana crusade, nguruvi3.let me give you a piece of an advice,wewe ndie wa kupumzika,kwa kuwa huna utalolisema kuyabadilisha yaliyodhihirika,hujui ni kwa namna gani upande flan umeathirika kwa usiri wa utawala wa julius na ustawi wa jamii ya kiislam,hujui,sisi wenyewe tunajua,tumeamua kutulia bila kuleta rabsha tokea miaka miaka kwa kuwa tumeamua kuweka utanzania mbele,wewe hulijui hilo. Sisi tunakuona mpuuzi tuh kama wapuuzi wengine,lazima ujue this issue is very serious,na sisi tumepambazukiwa sana na ukweli,wewe huna lolote la kutushughulisha,kaa ukipumbazika kuwa eti ya kwamba umeweza kuchallange maandiko hayo,ila ukweli hata moyoni mwako unajua.. Hatujauona uchochezi kwa kusemwa kwa ukweli,na hata mapungufu unayoyasema sio justification ya kuondoa uhalisia uliosemwa.. vICTORY WON...
 
Gombesugu, that would have been the approach to a constructive discussion. In fact ukiangalia in totality kwa mambo yanayoendelea Tanzania leo hii kuhusu elimu na huduma za afya is a total sham and there is nothing to smile about. Mambo ni holela holela tu shule ni duni si za serikali au zile za madhehebu ya kiislamu au kikristo. Sasa ss kama watanzania, watu wazima na educated tulitakiwa tusimame kwa sauti moja bila kujali dini ya mtu kupambana ili kuuondoa uholela huu. Kinachosikitisha kuhusu hoja za Mzee Saidi ni kuwa yeye "ameshakonkludi" kwamba kuna baadhi ya wanajamii selectively kwa sababu ya dini yao hawajafanikiwa kwa sababu ya dhulma. Ok fair enough, lete ushahidi hapo ndiyo kwenye ngoma. And make no mistake watanzania walio wengi hawapendi dhulma, there is nothing proud eti nipewe kazi kwa sababu ya dini yangu, au nipate 30% igeuzwe 80% kwa sababu nna dini moja na msahishaji, nipewe cheo kwa sababu ya dini yangu. Sasa ukisoma vizuri simulizi za Mzee Saidi ni kama vile huo ndiyo utaratibu na ukiwa mkristo umeula. Leo kukiwa na kazi ofisini kwa Pinda wewe na mtoto wa Mwinyi mkawa qualified kwa hiyo nafasi unajua matokeo yake yatakuwaje, I can confidently tell u kwamba dini haitaplay hapo. na mifano ya namna hii ni mingi Hebu angalia hizi picha hapa chini unaweza kuniambia hao watoto ni dini gani?????? Je kuna any compatibility ya hali hii na masimulizi ya Mohamed?
2i1zi8l.jpg
24ni2z6.jpg
Uwepo wa wengi wetu hapa si kumpinga mzee Saidi as a person bali ni kujadili narrative anayoidrive ambayo imeonekana na si mara moja kuwa inconsistent, illogical na incompatible na hali halisi. Simulizi za Mzee Saidi zinakuwa as if wakati hayo mambo yanatokea wengine tulikuwa Burundi au Gabon hivyo tunatakiwa tusikilize tu. Huwezi kukaa kimya kama unaambiwa namba za mtihani zilianzisha na Malima alipokuwa waziri wa elimu, wakti unajua ulifanya mtihani kabla na kwa namba ya mtihani. Ghafla post za magoli zinahamishwa kwamba "hili sisi tunaitaka serikali ijibu siyo nyie" ebo sasa limeingiaje humu? Mtu anapodai Marehemu Prof. Haroub Othman alikuwa anajiandaa kuandika bayografia ya Nyerere ili kujibu kitabu chake wakati ukweli ni kuwa ilikuwa kiandikwe na watatu Otham, Mohdin na Ruhinda na hii ni baada ya watatu hao kumuomba mwalimu waandike bayografia yake. Sasa eti unatakiwa ukae kimya tu kwa sababu imesemwa na Mzee Saidi. Kwamba eti Tanganyika in 1950 ilikuwa mandate territory unatakiwa umeze tu. Ukisoma vitabu vyake vyote na kungalia videos zake hakuna mahali Mzee Saidi anatoa suluhisho ya hicho anachokiita dhulma. Na ndiyo maana anaqualify kuitwa mchochezi. I would have been very proud kushinda humu tujadili nini kifanyike ili wadogo zetu wapate elimu bora, wawe na access na huduma bora za afya na kupata ajira zinazoeleweka. Hatutapiga hatua hata siku moja kama tunasubiri sijui Vatican au OIC kutuletea haya. Unfortunately kuna mafundisho yanaendelea Tanzania kwamba usipofanikiwa, well wewe si kosa lako kuna mfumo unakubagua. It is such a wrong and sick premise to start with hasa kwa vijana wetu ambao ndiyo kwanza wanaingia kwenye ulingo wa kupambana na maisha.
sikiliza wewe chakubimbi wa hoja,sio jukumu la Moh kukutaftia wewe au kuipa serikali hii solution ok? Wenyewe mnajua mlikua mna mission na vission gani,unataka upewe suluhisho la nin na ili likusaidie kwa kipi? Unaichukua hiyo mipicha yako unaibandika hapa nani imsaidie,kufeli kwa utawala wa TANU,kufeli kwa utawala wa CCM sisi hakutushulishi as long as vipaombele vya jamii hii ya kitanzania havikuwekwa katika mizani,na ni mpuuuz tuh ambae atakuwa hajasoma na kuelewa uhalisia wa kilichozungumzwa kwenye mjadala huu kuanzia mwanzo wa page hadi sasa,mmpewa reference kibao za kupitia na kujitosheleza,hatujaiona yakini ya dhati miongoni mwenu katika kuangalia kwa jicho la usawa kwa kile kilichondakwa na Moh zaid zaid ya hisia zenu za jesus won and muhammady lost,sisi hatupo hapa kwa hilo,hatupo hapa katika kufanya mihadhara ya mabishano ya qur an na injil, wewe na jamii yako kama mnaona ukweli huu hauna nafasi kwenu potezea,haujashikiwa bakora kuuamini wala kuukubali.. Na sisi hatuna cha kupoteza,jamii ishaelewa uhalisia ulivyo na watu wameshajua wapo walikosea na washachukua hatua thabiti za kuyaendea maisha haya ya dunia na maisha baada ya hapa,i.e akhera insha allah.. Hii kitu ipo serious zaid ya ufikiriavyo.. Na hamna la kufanya kuweza kuyabatilisha yalizozungumzwa.. Uwezo huo hamna nao..
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15.

Baada ya muda akavaa 11 akitoa krosi kwa vijana. Hali imebadilika akacheza namba 6, akaenda vacation ya siku 7 lakini akarudi siku 3 kwani mashambulizi hayakuwa mazuri.

Kacheza namba 5 mambo si sawia, sasa amekuwa golikipa kama halikuingia basi atatoa kona ''nimekusikia''.
Gwalihenzi kiwewe kitu mbaya unaweza kumwita bamkwe shemeji! Kapoteza network, hajui missiles zinatoka eneo gani.

Ndani ya Wembley washabiki hawakuingia kuangalia mazoezi ya ManU wameingia kuangalia mpambano na Baca.
Baada ya kununua vitabu miaka 15 sasa wanajua waliuziwa Uwazi na risasi mchanganyiko. wanaitana wapo 130K.

Nguruvi,
Ajabu jinsi mambo yanavyoendana.

Katika michezo ya William Shakespeare huwa kunakuwa na kitu kama mapumziko
ndani ya mchezo na Shakespeare huw anatia mtu akafanya vixhekesho kuwapumzisha
watu.

Mimi katika watu hawa wa vichekesho nimpendae ni Lancelot Gabbo kwa ajili ya maneno
yake ya kuchekesha.

Ukiwa na muda pitia ''The Merchant of Venice.''

Hakika mambo hufanana sana.

Hili jambo ninalozungumza mimi hapa ni jambo zito sana.

Ndiyo maana unaona Waislam tumeieleza serikali kuwa kuna mfumokristo
unaendesha nchi na hii itakujakuwa sababu ya farka na vurugu katika nchi.

Hadi leo serikali iko kimya.
Iko kimya kwa kuwa inajua uzito wa shutuma hii.

Kuukubali ukweli au kuukataa.
Serikali bado iko kimya.

Hali inazidi kuzorota kila kuchwao.
Wewe unafanya hili jambo, jambo la maskhara.
 
sikiliza wewe chakubimbi wa hoja,sio jukumu la Moh kukutaftia wewe au kuipa serikali hii solution ok? Wenyewe mnajua mlikua mna mission na vission gani,unataka upewe suluhisho la nin na ili likusaidie kwa kipi? Unaichukua hiyo mipicha yako unaibandika hapa nani imsaidie,kufeli kwa utawala wa TANU,kufeli kwa utawala wa CCM sisi hakutushulishi as long as vipaombele vya jamii hii ya kitanzania havikuwekwa katika mizani,na ni mpuuuz tuh ambae atakuwa hajasoma na kuelewa uhalisia wa kilichozungumzwa kwenye mjadala huu kuanzia mwanzo wa page hadi sasa,mmpewa reference kibao za kupitia na kujitosheleza,hatujaiona yakini ya dhati miongoni mwenu katika kuangalia kwa jicho la usawa kwa kile kilichondakwa na Moh zaid zaid ya hisia zenu za jesus won and muhammady lost,sisi hatupo hapa kwa hilo,hatupo hapa katika kufanya mihadhara ya mabishano ya qur an na injil, wewe na jamii yako kama mnaona ukweli huu hauna nafasi kwenu potezea,haujashikiwa bakora kuuamini wala kuukubali.. Na sisi hatuna cha kupoteza,jamii ishaelewa uhalisia ulivyo na watu wameshajua wapo walikosea na washachukua hatua thabiti za kuyaendea maisha haya ya dunia na maisha baada ya hapa,i.e akhera insha allah.. Hii kitu ipo serious zaid ya ufikiriavyo.. Na hamna la kufanya kuweza kuyabatilisha yalizozungumzwa.. Uwezo huo hamna nao..

Mapovu ya nnini bwana mdogo tehe tehe tehe??? Kweli kuna kazi hapa hawa ndiyo co-drivers wa mzee Saidi???
 
hakuna andiko lisilo kosa criticisms,mbaya zaid unashangaza kuyachukulia maandiko ya Moh Said kama sehem ya kufanyia mpambano na majibizano,huna nguvu wala weledi wa kupangua historia ile iliyoandikwa na Moh Said, ukitaka kupata ufaham juu ya hilo si kwamba waislam wote hawana akili au hawajui uhalisia,au hawaupendi undugu baina ya watz,hebu jiulize kwenye mjadala huu ni kina nani waliojipambanua kuwa si waislam ambao wanaunga mkono hoja za Moh Said? Wengi wenu kama si wote ni christians ambao kwa kila namna mmeona hoja zake na anavozianalyse kuwaelezea wazee wake ambao walikuwa waislam basi ni wai yy anapigana jihadi na nyinyi kuamua kupigana crusade, nguruvi3.let me give you a piece of an advice,wewe ndie wa kupumzika,kwa kuwa huna utalolisema kuyabadilisha yaliyodhihirika,hujui ni kwa namna gani upande flan umeathirika kwa usiri wa utawala wa julius na ustawi wa jamii ya kiislam,hujui,sisi wenyewe tunajua,tumeamua kutulia bila kuleta rabsha tokea miaka miaka kwa kuwa tumeamua kuweka utanzania mbele,wewe hulijui hilo. Sisi tunakuona mpuuzi tuh kama wapuuzi wengine,lazima ujue this issue is very serious,na sisi tumepambazukiwa sana na ukweli,wewe huna lolote la kutushughulisha,kaa ukipumbazika kuwa eti ya kwamba umeweza kuchallange maandiko hayo,ila ukweli hata moyoni mwako unajua.. Hatujauona uchochezi kwa kusemwa kwa ukweli,na hata mapungufu unayoyasema sio justification ya kuondoa uhalisia uliosemwa.. vICTORY WON...
Mohamed Said ;On the other other side was the Sykes family which was associated with Dar es Salaam politics for almost a quarter of a century; founding and leading both the African Association and Al Jamiatul Islamiyya.No thank you Mohamed. Familia ya Sykes ni one of the founding member of African Association
Sentensi hii tayari inawaondoa akina Cecil Matola ambaye alikuwa ni Rais wa chama na founder na kuhamishia credit zote kwa familia ya Sykes. Hapa kuna upotoshaji na inahitaji uelewa kuelewa mazingaombwe yanayotaka kufanywa na Mohamed na wala si historia
Nyerere was new to the town .The whole week before voting Phombeah was making rounds campaigning for Nyerere.
Dalili za kuwa uchaguzi ulikuwa na ushindani. Ieleweke kuwa Phombeah alikuwa TAA inner circle na ndiyo maana alipewa dhamana hii Phombeah
who was in charge of the Arnatouglo Hall was the returning officer
Mohamed anamuondoa Phombeah katika inner circle kwa kusema
But there was no need of doing that; the TAA inner circle of Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz and Rupia had already decided to make Nyerere president of the Association and the election was a mere formality
Kwahiyo basi hadi sasa tuelewe kuwa uchaguzi ulikuwa kukamilisha ratiba kwasababu kiongozi alichaguliwa tayari na iner circle kama inavyothibitishwa hapa na Abdul alipokwenda kwa Tewa.
Tewa, tomorrow we are going to give this man, Nyerere, power to run this country.
Kumbukeni kuwa Phombeah ndiye alikuwa returning officer wa uchaguzi. Hivyo tunatgemea matokeo yote yawe ya kuhindana au kupangwa mtu wa kutueleza nini kilitokea ni yeye. Kinyume chake tukasoma haya
Abdulwahid ‘lost' Nyerere won by a very small margin Some reports have it that Abdulwahid won the election, others say Nyerere won by a single vote; yet others say that TAA members had to vote thrice to get the winner since the votes were tying. Dossa Aziz reports that Abdulwahid did not lose that election, and went on to say that
Kulikuwa na returning officer na kura zilikuwa za kunyoosha mikono kwanini kuwe na conflicting information? Hapa kuna kitu kinapikwa kama kilivyoonyeshwa katika neno ''lost''. Hakuna sababu yoyote ya maana ya kutofahamu nini kilitokea hadi Mohamed asiweze kujua ukweli bali kubaki na tetesi.

Hata hivyo kama matokeo yalikuwa ya kupangwa
We all wanted it to be that way. We wanted Nyerere to assume TAA leadership
kwanini basi tunaona kauli hizi tena huku tukijua ilikuwa formality
In order to understand the dilemma facing Abdulwahid, Nyerere and the TAA leadership, particularly the inner circle, one has to keep in mind that Muslims were a majority in Dar es Salaam and were in control of local politics.. They (Christian) were perceived as being too close to the colonial state to take a leading role in the struggle for independence, and many people used the election to show their objection to Nyerere.
Kwahiyo anahitimisha kwa kusema wengi walimpinga Nyerere ili kuhalalisha kile alichokisema kuwa Nyerere alikuwa stranger, new in town, had no political history against colonial rule, he was Christian and his career started right away after the election. Mohamed hakutaka kupata uhakiki wa matokeo kutoka kwa Denis Phombeah aliyekuwa returning officer na TAA inner circle.
Alichagua watu anaojua yeye na kuhitimisha alichokitaka hata kama returning officer alikuwepo.

Kama uchaguzi ulikuwa ni formality iweje sasa wengi waonyeshe objection kwa Nyerere kwasababu hapo juu amesema Denis Phombeah hakuwa na sababu za kupiga kampeni kwa vile Nyerere alishachaguliwa.Mohamed anataka kuonyesha kuw Nyerere hakushinda na alikuwa hana uwezo huo kwa mtazamo wake na wala i historia
There was no way Nyerere could defeat Abdulwahid in Dar es Salaam of 1950s. Abdulwahid was not defeated in that election. Very few Muslims had confidence in mission-educated Christians

Kinachonisumbua ni namna habari inavyoji-contradict ilivyokosa consistence na ilivyojaa biasness. Kwa kuisoma haraka haraka ni tamu sana hata kufikiria kuiandikia script ya filamu. Ukiisoma kwa fikra ni confusion tupu.

Kama ataelezea wazee wake na shughuli zao hilo halinishughulishi. Kinachonisikitisha ni kutumia jina la Nyerere kwanza kumdhalilisha, halafu kuondoa ukweli uliopo na kuficha ukweli mwingine katika jina la historia ya Tanganyika.

Sina tatizo kama ataelezea utamu wa togwa, jinsi alivyoishi na wazee wake na aliyoyaona wakiyafanya kama wananchi wa Kipata au Narungombe. Kwabahati mbaya akiweka Tanganyika tutakaa kitako kuhoji maana Tanganyika ni yetu sote.

Mwisho big show punguza jwazba, wale wanaoangalia historia kwa mtazamo mwingine ni Watanganyika tu wa dini zote na makabila yote. Kama unadhani tunataka tuishi kama ndugu na kama tulivyozoea basi tukemee kwa pamoja jitihada za kutugawa hasa kwa chembe hii ya udini.

Nakusihi uongee kama mwislam na si kuongelea waislam maana wapo wengi wenye maono tofauti.
Haikulazimu kukubaliana na Mohamed ili uwe Mwislam. Uislam ni imani ni dini na wala haina hati maliki kwa kundi au kikundi.
 
Nguruvi,
Ajabu jinsi mambo yanavyoendana.Katika michezo ya William Shakespeare huwa kunakuwa na kitu kama mapumziko
ndani ya mchezo na Shakespeare huw anatia mtu akafanya vixhekesho kuwapumzisha
watu.Mimi katika watu hawa wa vichekesho nimpendae ni Lancelot Gabbo kwa ajili ya maneno
yake ya kuchekesha. Ukiwa na muda pitia ''The Merchant of Venice.''Hakika mambo hufanana sana.Hili jambo ninalozungumza mimi hapa ni jambo zito sana.

Ndiyo maana unaona Waislam tumeieleza serikali kuwa kuna mfumokristo
unaendesha nchi na hii itakujakuwa sababu ya farka na vurugu katika nchi.Hadi leo serikali iko kimya.Iko kimya kwa kuwa inajua uzito wa shutuma hii.Kuukubali ukweli au kuukataa.Serikali bado iko kimya.Hali inazidi kuzorota kila kuchwao.
Wewe unafanya hili jambo, jambo la maskhara.
Mohamed, sina hakika kama ni mimi unayemuongelea au kwa kughafilikiwa umeandika jina langu kama ilivyotokea.

Hivi mimi kuirejea historia yako imekuwa ni masihara. kwamba tuache ipite tu na tumeze nzima nzima kwa miaka mingine ijayo!

Kama ningekuwa na masihara basi nisingekuomba ueleze mfumokristo ni nini.
Nisingeweza kukuomba ulete majina ya wanafunzi waliokatwa highschool wakiwa na division one.

Nisingeweza kukuambia unadhani solution ya kuondokana na mfumokristo ni nini na wala nisingekuonyesha kwanini takwimu zako ndizo zimelenga kuleta vurugu.

Mashara yangu yasingekuuliza kuhusu sensa ya mwaka 1967, 1957 ili ukweli ujulikane.
Wala nisingekuambia kwanini watoto wa Kilwa wakimbie shule darsa zima na mambo mengi nisiyoweza kuyaorodhesha.

Hili la kwamba serikali imekaa kimya nadhani unaoionea serikali.
Huu mfumokrsito kuanzia Nyerere alipokosana wazee wako na kuwaweka rumande wengine kuwafukuza, kuanzia alipotaifisha shule na kuzuia ujenzi wa chuo na kuanzia alipofanya teuzi za watu wa mfumo wake, hata mara moja halikuwa suala la serikali bali Julius K. Nyerere mkatoliki.

Sasa leo limegeukaje kuwa la serikali? Kwanini lisiwe la Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa au Jakaya Kikwete?
Lini jambo hili limeondoka mikononi mwa mtu binafsi na kuwa serikali?
Nigeshauri uulize au ueleze kwanini Jakaya Kikwete kakaaa kimya bila kutolea maelezo.

Lakini pia usiishie hapo, Mohamed kama unajua hili ni jambo la hatari sana (na hapa lilipo mumefanikiwa sana kulifanya hivyo) basi hupaswi kuweka maelezo na tuhuma, una wajibu kama mtanzania kuweka na suluhu.

Tumekuwa katika nyuzi nyingi sana na wewe, kama kuna mahali umetoa suluhu ya suala hili weka hapa.
Hakuna! hakuna! Mnachokifanya na wenzako ni kutapanya sumu ya chuki na watu wanameza bila tafakuri leo ni kioja na kituko kama si kichekesho na mahoka Mohamed Said anasema hili ni jambo la hatari.

Hivi kuna hatari zaidi ya kuhamasisha wananchi wafeyeke vichwa vya wenzao kwa siri. Hiyo ndiyo suluhu kweli.
Mohamed!
 
Sentensi hii tayari inawaondoa akina Cecil Matola ambaye alikuwa ni Rais wa chama na founder na kuhamishia credit zote kwa familia ya Sykes. Hapa kuna upotoshaji na inahitaji uelewa kuelewa mazingaombwe yanayotaka kufanywa na Mohamed na wala si historiaDalili za kuwa uchaguzi ulikuwa na ushindani. Ieleweke kuwa Phombeah alikuwa TAA inner circle na ndiyo maana alipewa dhamana hii Phombeah Mohamed anamuondoa Phombeah katika inner circle kwa kusema Kwahiyo basi hadi sasa tuelewe kuwa uchaguzi ulikuwa kukamilisha ratiba kwasababu kiongozi alichaguliwa tayari na iner circle kama inavyothibitishwa hapa na Abdul alipokwenda kwa Tewa. Kumbukeni kuwa Phombeah ndiye alikuwa returning officer wa uchaguzi. Hivyo tunatgemea matokeo yote yawe ya kuhindana au kupangwa mtu wa kutueleza nini kilitokea ni yeye. Kinyume chake tukasoma haya Kulikuwa na returning officer na kura zilikuwa za kunyoosha mikono kwanini kuwe na conflicting information? Hapa kuna kitu kinapikwa kama kilivyoonyeshwa katika neno ''lost''. Hakuna sababu yoyote ya maana ya kutofahamu nini kilitokea hadi Mohamed asiweze kujua ukweli bali kubaki na tetesi.

Hata hivyo kama matokeo yalikuwa ya kupangwa kwanini basi tunaona kauli hizi tena huku tukijua ilikuwa formality Kwahiyo anahitimisha kwa kusema wengi walimpinga Nyerere ili kuhalalisha kile alichokisema kuwa Nyerere alikuwa stranger, new in town, had no political history against colonial rule, he was Christian and his career started right away after the election. Mohamed hakutaka kupata uhakiki wa matokeo kutoka kwa Denis Phombeah aliyekuwa returning officer na TAA inner circle.
Alichagua watu anaojua yeye na kuhitimisha alichokitaka hata kama returning officer alikuwepo.

Kama uchaguzi ulikuwa ni formality iweje sasa wengi waonyeshe objection kwa Nyerere kwasababu hapo juu amesema Denis Phombeah hakuwa na sababu za kupiga kampeni kwa vile Nyerere alishachaguliwa.Mohamed anataka kuonyesha kuw Nyerere hakushinda na alikuwa hana uwezo huo kwa mtazamo wake na wala i historia

Kinachonisumbua ni namna habari inavyoji-contradict ilivyokosa consistence na ilivyojaa biasness. Kwa kuisoma haraka haraka ni tamu sana hata kufikiria kuiandikia script ya filamu. Ukiisoma kwa fikra ni confusion tupu.

Kama ataelezea wazee wake na shughuli zao hilo halinishughulishi. Kinachonisikitisha ni kutumia jina la Nyerere kwanza kumdhalilisha, halafu kuondoa ukweli uliopo na kuficha ukweli mwingine katika jina la historia ya Tanganyika.

Sina tatizo kama ataelezea utamu wa togwa, jinsi alivyoishi na wazee wake na aliyoyaona wakiyafanya kama wananchi wa Kipata au Narungombe. Kwabahati mbaya akiweka Tanganyika tutakaa kitako kuhoji maana Tanganyika ni yetu sote.

Mwisho big show punguza jwazba, wale wanaoangalia historia kwa mtazamo mwingine ni Watanganyika tu wa dini zote na makabila yote. Kama unadhani tunataka tuishi kama ndugu na kama tulivyozoea basi tukemee kwa pamoja jitihada za kutugawa hasa kwa chembe hii ya udini.

Nakusihi uongee kama mwislam na si kuongelea waislam maana wapo wengi wenye maono tofauti.
Haikulazimu kukubaliana na Mohamed ili uwe Mwislam. Uislam ni imani ni dini na wala haina hati maliki kwa kundi au kikundi.

Nguruvi,
Nimekusoma na naelewa kwa nini fikra zako zinakuwa kama hivyo zilivyo.

Mimi sijamdhalilisha Nyerere.

Na ningelifanya hivyo hiki kitabu changu na mie mwenyewe kama mwandishi
nisingefika mbali.

Tatizo kubwa sana katika historia ya uhuru wa Tanganyika ni kuwa kwa muda mrefu
watu walisoma historia rasmi.

Sasa nilipokuja na kitabu hiki na kueleza mchango wa Abdu Sykes katika kuunda TANU
na uhusiano wake na Nyerere hii imewataabisha wengi sana.

Ukishamleta Abdu Sykes katika historia ya TANU inakubidi uje na kundi zima alilokuwanalo
pale Kariakoo Market ndiyo hawa akina Mshume Kiyate na Shariff Attas na hawa wamemuona
Nyerere ''day one'' akija pale ofisini kwa Abdu.

Hawa wanajua mengi katika historia hii.
Bahati nzuri kwangu hawa mimi ni wazee wangu nikiwajua vyema.

Shariff Attas anasema yeye alikuwa kila mchana akila chakula na Nyerere
nyumbani kwa Mama Daisy mkewe Abdu Sykes kile kipindi kaacha kazi ya
ualimu kaja mjini anakaa na Abdu Mtaa wa Stanley.

Ukimsikia Shariff Attas anahadithia harakati za wakati ule hutaki amalize.
Ndiyo haya nayaeleza hapa.

Ukimtia Abdu, Abdu haji peke yake anakuja na Sheikh Hassan bin Amir nk. nk.
na anakuja na historia kuanzia 1929 tena anakuja na nyaraka za harakati vipi
baba yake aliasisi African Association.

Anatajwa Cecil Matola lakini ukweli nguvu ya AA ilitokana na Kleist yeye ndiye
alikuwa mfadhili wa kila jambo na Abdu kafanya kama alivyofanya baba yake
kutoa fedha kusaidia harakati hadi TANU imeundwa.

Kwa jamaa ambao asili yao si Dar es Salaam haya mambo yanatokea kwa miaka
zaidi ya 50 majina haya hawajayasikia wanasikia tu kuwa TANU imeundwa na Nyerere
1954 kuja na historia hii yangu kwa hakika ni mtihani mzito kwao.

Historia hii inakuwa haikuwakalia vizuri.
Lakini tusivutane katika haya.

Mie huwaambia watu.

Tuache iwepo historia ya TANU ile ya Nyerere kama inavyojulikana na sisi tuwe
na historia yetu kama tuijuavyo.

Zote zisomwe na asiwepo wa kumbughudhi mwenzake.
 
Mohamed, sina hakika kama ni mimi unayemuongelea au kwa kughafilikiwa umeandika jina langu kama ilivyotokea.

Hivi mimi kuirejea historia yako imekuwa ni masihara. kwamba tuache ipite tu na tumeze nzima nzima kwa miaka mingine ijayo!

Kama ningekuwa na masihara basi nisingekuomba ueleze mfumokristo ni nini.
Nisingeweza kukuomba ulete majina ya wanafunzi waliokatwa highschool wakiwa na division one.

Nisingeweza kukuambia unadhani solution ya kuondokana na mfumokristo ni nini na wala nisingekuonyesha kwanini takwimu zako ndizo zimelenga kuleta vurugu.

Mashara yangu yasingekuuliza kuhusu sensa ya mwaka 1967, 1957 ili ukweli ujulikane.
Wala nisingekuambia kwanini watoto wa Kilwa wakimbie shule darsa zima na mambo mengi nisiyoweza kuyaorodhesha.

Hili la kwamba serikali imekaa kimya nadhani unaoionea serikali.
Huu mfumokrsito kuanzia Nyerere alipokosana wazee wako na kuwaweka rumande wengine kuwafukuza, kuanzia alipotaifisha shule na kuzuia ujenzi wa chuo na kuanzia alipofanya teuzi za watu wa mfumo wake, hata mara moja halikuwa suala la serikali bali Julius K. Nyerere mkatoliki.

Sasa leo limegeukaje kuwa la serikali? Kwanini lisiwe la Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa au Jakaya Kikwete?
Lini jambo hili limeondoka mikononi mwa mtu binafsi na kuwa serikali?
Nigeshauri uulize au ueleze kwanini Jakaya Kikwete kakaaa kimya bila kutolea maelezo.

Lakini pia usiishie hapo, Mohamed kama unajua hili ni jambo la hatari sana (na hapa lilipo mumefanikiwa sana kulifanya hivyo) basi hupaswi kuweka maelezo na tuhuma, una wajibu kama mtanzania kuweka na suluhu.

Tumekuwa katika nyuzi nyingi sana na wewe, kama kuna mahali umetoa suluhu ya suala hili weka hapa.
Hakuna! hakuna! Mnachokifanya na wenzako ni kutapanya sumu ya chuki na watu wanameza bila tafakuri leo ni kioja na kituko kama si kichekesho na mahoka Mohamed Said anasema hili ni jambo la hatari.

Hivi kuna hatari zaidi ya kuhamasisha wananchi wafeyeke vichwa vya wenzao kwa siri. Hiyo ndiyo suluhu kweli.
Mohamed!

Nguruvi,
Unapenda sana kuhusisha jina langu na damu.

Nini kusudio lako?
 
Ndiyo maana unaona Waislam tumeieleza serikali kuwa kuna mfumokristo
unaendesha nchi na hii itakujakuwa sababu ya farka na vurugu katika nchi.

Hadi leo serikali iko kimya.
Iko kimya kwa kuwa inajua uzito wa shutuma hii.

Kuukubali ukweli au kuukataa.
Serikali bado iko kimya.

Hali inazidi kuzorota kila kuchwao.
Wewe unafanya hili jambo, jambo la maskhara.

Shtuma ya kuwa kuna mfumo Kristu ni shutma inatolewa na watu wasiotaka kufikiri; hakuna mfumo Kristu Tanzania. Haiwezekani - kwa kutumia mantiq tu - mfumo wa kibaguzi wenye kupendelea Ukristu na Wakristu - utengeneze viongozi, wasomi na watu mahiri ambao ni Waislamu. Haijawahi kutokea mahali popote duniani ambapo mfumo wa kibaguzi ukatoa nafasi (hadi za juu kabisa) kwa wale wanaobaguliwa. Nilitoa changamoto kwa yeyote anioneshe mahali popote duniani ambapo mfumo wa kibaguzi wakati unaendelea kubagua ukaweza kuuweka juu yake wale wanaobaguliwa kushika nafasi za juu za uongozi. Hadi leo hakuna aliyejaribu.

Hata mimi kama serikali ningekaa kimya. Utajibu vipi kwa kitu kisichopo? Ndio maana wenzenu tunagombana na mfumo wa kifisadi (corrupt system). Ni mfumo huu ambao umetengenezwa na CCM na serikali yake ndio umekuwa na matokeo ya kila namna kwa Watanzania na kwa vile ni mfumo usio na macho, dini wala heshima umeathiri Wakristu kwaWaislamu, Waluguru kwa Wandembe, Wasafwa kwa Wamang'ati, Wazaramo kwa Wanyamwezi na kila mtu mwingine katikati.

Pambeni na ufisadi mtaona matokeo yake... Mfumo Kristu ni sungura wa mazingaombwe tu!
 
Nguruvi,
Unapenda sana kuhusisha jina langu na damu.

Nini kusudio lako?

NItamsaidia; mafundisho na maandisho yako yamechochea chuki baina ya Wakristu na Waislamu na kwa kiasi kikubwa kumwagika kwa damu baina ya watu wa pande hizi mbili kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya ulaghai wa historia ulioufanya kwa miaka 15 na wenzako wengine walioufanya zaidi ya hapo. Lengo lako ni kufanya yale ya Muslim Brotherhood (ambayo una uhusiano nayo wa karibu - kama siyo mwanachama) yaani kulazimisha utawala wa sharia za Kiislamu dhidi ya Watanzania na kuondokana na mfumo wetu wa kisekula. Nothing less than that will make you content.

In my humble, unsolicited and somehow offensive opinion...
 
Kwa jamaa ambao asili yao si Dar es Salaam haya mambo yanatokea kwa miaka
zaidi ya 50 majina haya hawajayasikia wanasikia tu kuwa TANU imeundwa na Nyerere
1954 kuja na historia hii yangu kwa hakika ni mtihani mzito kwao.

Hii ni kejeli ya historia; kwani kuzaliwa Dar au kuwa na asili ya Dar ndio kunamfanya mtu awe sumaku ya historia? Kwamba akipita tu njiani, au kwenye mitaa ya Dar basi historia inamganda kama vyuma vigandavyo sumaku? Historia haijalishi mtu kazaliwa wapi. Lakini pia inashangaza kusema kitu kama hicho; kila mtu anajua anakotoka. Watu wa Dar watawajua watu wa Dar; itakuwa kichekesho tuwalaumu watu wa Dar kwa kutoyajua majina ya watu wa Mwanza, au watu wa Arusha na Kilimanjaro kwa kutokuwajua watu wa Ruvuma na Masasi. Watu wa Dar walijuana na kwa watu wengine kutokuwajua hilo si jambo la kushangaza ndio sehemu ya ubinadamu wetu.

Leo uwalaumu wa Tanzania kwa kutokuwajua watu wa Cairo? kwa vile tu Cairo inafahamika sana ulimwenguni na historia yake?

Historia hii inakuwa haikuwakalia vizuri.
Lakini tusivutane katika haya.

Mie huwaambia watu.

Tuache iwepo historia ya TANU ile ya Nyerere kama inavyojulikana na sisi tuwe
na historia yetu kama tuijuavyo.

Zote zisomwe na asiwepo wa kumbughudhi mwenzake.

You can not make up stories to create history! History is based on factual understanding of historical data and facts. Hata pale watu wanapoamua kuandika historia juu ya matukio yale yale mara nyingi kinachotofautiana ni fasiri ya yale matukio na siyo facts. Kwa mfano watu wakiandika historia ya Vita ya Uganda kuna mambo ambayo watu watakubaliana kuwa ni ya kweli (facts); lakini watatofautiana katika maana yake. Kuvunjwa kwa Daraja la Mto Kagera na majeshi ya Idi Amin was a historical fact; kwanini lilivunjwa Watanzania na Waganda wanaweza kutofautiana sana au kidogo.

Tatizo ni kuwa wewe na sisi hatutofautiani tu katika maoni juu ya historia; la hasha; tunatofautiana pia katika facts. In your narratives you have attempted - rather miserably - to create your own facts and call them historical facts! And the worst thing is that you do not allow other people (scholars or not) to challenge your assertions based on those 'facts'. Unataka watu wakubaliane tu kwa vile wewe umesema au kwa vile wewe ulisimuliwa!

Sasa unataka tukubaliane pia kuwa kuna historia mbili.. ya Waislamu wanaokubaliana na wewe (kwa hakika si ya Waislamu wote wa Tanzania japo unatumia hili kujipa uhodhi wa fikra za Waislamu) na ile ya Watanzania wengine au wasomi wengine.

Mzee Said you have the right to your opinions but you do not have the right to your own facts! This, for some of us is the crux of the matter.
 
ukiisoma comment hii kwa makini huwez jitosheleza kama imeandikwa na mtu mzima au mtu mwenye hekima zake,ni maneno yaliyochuja na yasiyo na mashiko, na ndio kwa maana vijana wa mjini tunasema si vema kwa mzee kama huyu kushusha suruali na kuvalia chini ya kiuono'kata k',,,huko ni kujidhalilisha, na mara kwa mara tumemuusia kutojarib kujiweka katika level sawa na Moh Said,si size yake,anadhani ni masihara.. Sasa kwa kuwa kagoma kuipandisha juu ya kiuono suruali yake sisi tutaipandisha kwa nguvu ili kulinda heshima yake..

Kid, you do not posses intellectual ability to engage me in a discussion such as this; your emotional immaturity and inability to reasoning like an adult inanifanya nikuache tu useme unalosema ili angalau na wewe uonekane umesema. Wakati mwingine watu wazima wanapokaa kuzungumza kuna vitoto vinapenda kuingilia mazungumzo ya watu wazima inabidi mtu akakemee kamoja au kukaacha tu ili kasiumizwe hisia zake kwani kanafikiri kanatoa mchango kwenye mazungumzo.

Carry on.
 
Nguruvi,Unapenda sana kuhusisha jina langu na damu.Nini kusudio lako?
Jina linajihusisha lenyewe. Wewe ndiye muasisi wa neno mfumokristo na ninyi mumempa Sheikh kazi ya kuzunguka nchi nzima aelezee kuhusu mfumokristo.

Sheikh anasema ''mtu akipata fursa tafuta kichwa kimoja kifyeke kwa siri'' na akatolea mfano wa Mwamindi.
Tukiwauliza ndicho hicho mlichomtuma mnasema tusubiri maulamaa waje na hukumu ya Qisas.
Miezi inapita watu wanafyekwa na hatuoni maaulamaa.

Hadi hapo mimi nimehusisha vipi wewe na damu.
Nadhani automatic unajihusisha, sisi wengine tunaandika kinachotokea! au si kweli Bin Samitungo!
 
Kid, you do not posses intellectual ability to engage me in a discussion such as this; your emotional immaturity and inability to reasoning like an adult inanifanya nikuache tu useme unalosema ili angalau na wewe uonekane ume sema. Wakati mwingine watu wazima wanapokaa kuzungumza kuna vitoto vinapenda kuingilia mazungumzo ya watu wazima inabidi mtu akakemee kamoja au kukaacha tu ili kasiumizwe hisia zake kwani kanafikiri kanatoa mchango kwenye mazungumzo. Its simple,status aliyoifikia moh said haikupata kwenye mnada au sadakalawe, we huna uwezo wa kutunisha misuli na Moh said, nyie ndio mmekalia kumwambia Moh Said asipende kuoga na watoto wadogo anajidhalilisha, sisi tunakuambia sasa wewe mwanakijiji USIPENDE KUVALIA SURUALI CHINI YA KIUNO unajivunjia heshima, ni wakati sasa upandishe suruali yako juu.. Moh Said humuwezii..
 
Back
Top Bottom