Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Patamu hapo, mambo yamekuzi mpaka unashindwa kumtofutisha Nguruvi3 na Mzee Mwanakijiji! kigongo hicho kakutwisha Mzee Mwanakijiji na sio Nguruvi3, chezea Mwanakijiji weye!Nguruvi,
Nimekusikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Patamu hapo, mambo yamekuzi mpaka unashindwa kumtofutisha Nguruvi3 na Mzee Mwanakijiji! kigongo hicho kakutwisha Mzee Mwanakijiji na sio Nguruvi3, chezea Mwanakijiji weye!Nguruvi,
Nimekusikia.
ukiisoma comment hii kwa makini huwez jitosheleza kama imeandikwa na mtu mzima au mtu mwenye hekima zake,ni maneno yaliyochuja na yasiyo na mashiko, na ndio kwa maana vijana wa mjini tunasema si vema kwa mzee kama huyu kushusha suruali na kuvalia chini ya kiuono'kata k',,,huko ni kujidhalilisha, na mara kwa mara tumemuusia kutojarib kujiweka katika level sawa na Moh Said,si size yake,anadhani ni masihara.. Sasa kwa kuwa kagoma kuipandisha juu ya kiuono suruali yake sisi tutaipandisha kwa nguvu ili kulinda heshima yake..Hapa ndipo unapojidanganya; watu hawaji kusoma porojo. Wengi wanakuja kujifunza ukweli wa historia na wanajifunza jinsi ya kukosoa historia hiyo. Baadhi yao walikuwa wanaamini umeandika historia na walikusoma au kukusikia huko pembeni ambako hakuna mtu aliyekupa changamoto. Ulidhani uwanja ni wewe na goli! Hakuna mabeki, hakuna golikipa. Kila siku ulikuwa unashika mpira unaweka kwenye matuta 12 na unafunga magoli; jinsi utakavyo. Sasa wamewekwa makipa unaanza kuja juu; ooh mbona anazuia hadi penati; sasa zimeingizwa timu unasema washangiliaji wananishangilia mimi...! Timu yako inafungwa unaendelea kudai mbona ulikuwa unafunga peke yako penati bila kipa.. Uwanjani hachezi mmoja... hawakusomi peke yako na kwa hakika masimulizi yako yana uzuri mahali pamoja tu - ukizungumzia mambo ya misafara yako, ulikutana na nani wapi, na ulikula nini... hapo tu ndio naona raha...
Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15.Patamu hapo, mambo yamekuzi mpaka unashindwa kumtofutisha Nguruvi3 na Mzee Mwanakijiji! kigongo hicho kakutwisha Mzee Mwanakijiji na sio Nguruvi3, chezea Mwanakijiji weye!
"Sikatai asilani kuwa kila mmoja wetu ana haki ya kujadili na kujifunza toka kwa mwenzie bila ya kujali social status,class,tribe and /or political affiliation,customs,cultures,skin colour or any other differences"
hakuna andiko lisilo kosa criticisms,mbaya zaid unashangaza kuyachukulia maandiko ya Moh Said kama sehem ya kufanyia mpambano na majibizano,huna nguvu wala weledi wa kupangua historia ile iliyoandikwa na Moh Said, ukitaka kupata ufaham juu ya hilo si kwamba waislam wote hawana akili au hawajui uhalisia,au hawaupendi undugu baina ya watz,hebu jiulize kwenye mjadala huu ni kina nani waliojipambanua kuwa si waislam ambao wanaunga mkono hoja za Moh Said? Wengi wenu kama si wote ni christians ambao kwa kila namna mmeona hoja zake na anavozianalyse kuwaelezea wazee wake ambao walikuwa waislam basi ni wai yy anapigana jihadi na nyinyi kuamua kupigana crusade, nguruvi3.let me give you a piece of an advice,wewe ndie wa kupumzika,kwa kuwa huna utalolisema kuyabadilisha yaliyodhihirika,hujui ni kwa namna gani upande flan umeathirika kwa usiri wa utawala wa julius na ustawi wa jamii ya kiislam,hujui,sisi wenyewe tunajua,tumeamua kutulia bila kuleta rabsha tokea miaka miaka kwa kuwa tumeamua kuweka utanzania mbele,wewe hulijui hilo. Sisi tunakuona mpuuzi tuh kama wapuuzi wengine,lazima ujue this issue is very serious,na sisi tumepambazukiwa sana na ukweli,wewe huna lolote la kutushughulisha,kaa ukipumbazika kuwa eti ya kwamba umeweza kuchallange maandiko hayo,ila ukweli hata moyoni mwako unajua.. Hatujauona uchochezi kwa kusemwa kwa ukweli,na hata mapungufu unayoyasema sio justification ya kuondoa uhalisia uliosemwa.. vICTORY WON...Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15. Baada ya muda akavaa 11 akitoa krosi kwa vijana. Hali imebadilika akacheza namba 6, akaenda vacation ya siku 7 lakini akarudi siku 3 kwani mashambulizi hayakuwa mazuri. Kacheza namba 5 mambo si sawia, sasa amekuwa golikipa kama halikuingia basi atatoa kona ''nimekusikia''. Gwalihenzi kiwewe kitu mbaya unaweza kumwita bamkwe shemeji! Kapoteza network, hajui missiles zinatoka eneo gani. Ndani ya Wembley washabiki hawakuingia kuangalia mazoezi ya ManU wameingia kuangalia mpambano na Baca. Baada ya kununua vitabu miaka 15 sasa wanajua waliuziwa Uwazi na risasi mchanganyiko. wanaitana wapo 130K.
sikiliza wewe chakubimbi wa hoja,sio jukumu la Moh kukutaftia wewe au kuipa serikali hii solution ok? Wenyewe mnajua mlikua mna mission na vission gani,unataka upewe suluhisho la nin na ili likusaidie kwa kipi? Unaichukua hiyo mipicha yako unaibandika hapa nani imsaidie,kufeli kwa utawala wa TANU,kufeli kwa utawala wa CCM sisi hakutushulishi as long as vipaombele vya jamii hii ya kitanzania havikuwekwa katika mizani,na ni mpuuuz tuh ambae atakuwa hajasoma na kuelewa uhalisia wa kilichozungumzwa kwenye mjadala huu kuanzia mwanzo wa page hadi sasa,mmpewa reference kibao za kupitia na kujitosheleza,hatujaiona yakini ya dhati miongoni mwenu katika kuangalia kwa jicho la usawa kwa kile kilichondakwa na Moh zaid zaid ya hisia zenu za jesus won and muhammady lost,sisi hatupo hapa kwa hilo,hatupo hapa katika kufanya mihadhara ya mabishano ya qur an na injil, wewe na jamii yako kama mnaona ukweli huu hauna nafasi kwenu potezea,haujashikiwa bakora kuuamini wala kuukubali.. Na sisi hatuna cha kupoteza,jamii ishaelewa uhalisia ulivyo na watu wameshajua wapo walikosea na washachukua hatua thabiti za kuyaendea maisha haya ya dunia na maisha baada ya hapa,i.e akhera insha allah.. Hii kitu ipo serious zaid ya ufikiriavyo.. Na hamna la kufanya kuweza kuyabatilisha yalizozungumzwa.. Uwezo huo hamna nao..Gombesugu, that would have been the approach to a constructive discussion. In fact ukiangalia in totality kwa mambo yanayoendelea Tanzania leo hii kuhusu elimu na huduma za afya is a total sham and there is nothing to smile about. Mambo ni holela holela tu shule ni duni si za serikali au zile za madhehebu ya kiislamu au kikristo. Sasa ss kama watanzania, watu wazima na educated tulitakiwa tusimame kwa sauti moja bila kujali dini ya mtu kupambana ili kuuondoa uholela huu. Kinachosikitisha kuhusu hoja za Mzee Saidi ni kuwa yeye "ameshakonkludi" kwamba kuna baadhi ya wanajamii selectively kwa sababu ya dini yao hawajafanikiwa kwa sababu ya dhulma. Ok fair enough, lete ushahidi hapo ndiyo kwenye ngoma. And make no mistake watanzania walio wengi hawapendi dhulma, there is nothing proud eti nipewe kazi kwa sababu ya dini yangu, au nipate 30% igeuzwe 80% kwa sababu nna dini moja na msahishaji, nipewe cheo kwa sababu ya dini yangu. Sasa ukisoma vizuri simulizi za Mzee Saidi ni kama vile huo ndiyo utaratibu na ukiwa mkristo umeula. Leo kukiwa na kazi ofisini kwa Pinda wewe na mtoto wa Mwinyi mkawa qualified kwa hiyo nafasi unajua matokeo yake yatakuwaje, I can confidently tell u kwamba dini haitaplay hapo. na mifano ya namna hii ni mingi Hebu angalia hizi picha hapa chini unaweza kuniambia hao watoto ni dini gani?????? Je kuna any compatibility ya hali hii na masimulizi ya Mohamed?
Uwepo wa wengi wetu hapa si kumpinga mzee Saidi as a person bali ni kujadili narrative anayoidrive ambayo imeonekana na si mara moja kuwa inconsistent, illogical na incompatible na hali halisi. Simulizi za Mzee Saidi zinakuwa as if wakati hayo mambo yanatokea wengine tulikuwa Burundi au Gabon hivyo tunatakiwa tusikilize tu. Huwezi kukaa kimya kama unaambiwa namba za mtihani zilianzisha na Malima alipokuwa waziri wa elimu, wakti unajua ulifanya mtihani kabla na kwa namba ya mtihani. Ghafla post za magoli zinahamishwa kwamba "hili sisi tunaitaka serikali ijibu siyo nyie" ebo sasa limeingiaje humu? Mtu anapodai Marehemu Prof. Haroub Othman alikuwa anajiandaa kuandika bayografia ya Nyerere ili kujibu kitabu chake wakati ukweli ni kuwa ilikuwa kiandikwe na watatu Otham, Mohdin na Ruhinda na hii ni baada ya watatu hao kumuomba mwalimu waandike bayografia yake. Sasa eti unatakiwa ukae kimya tu kwa sababu imesemwa na Mzee Saidi. Kwamba eti Tanganyika in 1950 ilikuwa mandate territory unatakiwa umeze tu. Ukisoma vitabu vyake vyote na kungalia videos zake hakuna mahali Mzee Saidi anatoa suluhisho ya hicho anachokiita dhulma. Na ndiyo maana anaqualify kuitwa mchochezi. I would have been very proud kushinda humu tujadili nini kifanyike ili wadogo zetu wapate elimu bora, wawe na access na huduma bora za afya na kupata ajira zinazoeleweka. Hatutapiga hatua hata siku moja kama tunasubiri sijui Vatican au OIC kutuletea haya. Unfortunately kuna mafundisho yanaendelea Tanzania kwamba usipofanikiwa, well wewe si kosa lako kuna mfumo unakubagua. It is such a wrong and sick premise to start with hasa kwa vijana wetu ambao ndiyo kwanza wanaingia kwenye ulingo wa kupambana na maisha.![]()
Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15.
Baada ya muda akavaa 11 akitoa krosi kwa vijana. Hali imebadilika akacheza namba 6, akaenda vacation ya siku 7 lakini akarudi siku 3 kwani mashambulizi hayakuwa mazuri.
Kacheza namba 5 mambo si sawia, sasa amekuwa golikipa kama halikuingia basi atatoa kona ''nimekusikia''.
Gwalihenzi kiwewe kitu mbaya unaweza kumwita bamkwe shemeji! Kapoteza network, hajui missiles zinatoka eneo gani.
Ndani ya Wembley washabiki hawakuingia kuangalia mazoezi ya ManU wameingia kuangalia mpambano na Baca.
Baada ya kununua vitabu miaka 15 sasa wanajua waliuziwa Uwazi na risasi mchanganyiko. wanaitana wapo 130K.
sikiliza wewe chakubimbi wa hoja,sio jukumu la Moh kukutaftia wewe au kuipa serikali hii solution ok? Wenyewe mnajua mlikua mna mission na vission gani,unataka upewe suluhisho la nin na ili likusaidie kwa kipi? Unaichukua hiyo mipicha yako unaibandika hapa nani imsaidie,kufeli kwa utawala wa TANU,kufeli kwa utawala wa CCM sisi hakutushulishi as long as vipaombele vya jamii hii ya kitanzania havikuwekwa katika mizani,na ni mpuuuz tuh ambae atakuwa hajasoma na kuelewa uhalisia wa kilichozungumzwa kwenye mjadala huu kuanzia mwanzo wa page hadi sasa,mmpewa reference kibao za kupitia na kujitosheleza,hatujaiona yakini ya dhati miongoni mwenu katika kuangalia kwa jicho la usawa kwa kile kilichondakwa na Moh zaid zaid ya hisia zenu za jesus won and muhammady lost,sisi hatupo hapa kwa hilo,hatupo hapa katika kufanya mihadhara ya mabishano ya qur an na injil, wewe na jamii yako kama mnaona ukweli huu hauna nafasi kwenu potezea,haujashikiwa bakora kuuamini wala kuukubali.. Na sisi hatuna cha kupoteza,jamii ishaelewa uhalisia ulivyo na watu wameshajua wapo walikosea na washachukua hatua thabiti za kuyaendea maisha haya ya dunia na maisha baada ya hapa,i.e akhera insha allah.. Hii kitu ipo serious zaid ya ufikiriavyo.. Na hamna la kufanya kuweza kuyabatilisha yalizozungumzwa.. Uwezo huo hamna nao..
hakuna andiko lisilo kosa criticisms,mbaya zaid unashangaza kuyachukulia maandiko ya Moh Said kama sehem ya kufanyia mpambano na majibizano,huna nguvu wala weledi wa kupangua historia ile iliyoandikwa na Moh Said, ukitaka kupata ufaham juu ya hilo si kwamba waislam wote hawana akili au hawajui uhalisia,au hawaupendi undugu baina ya watz,hebu jiulize kwenye mjadala huu ni kina nani waliojipambanua kuwa si waislam ambao wanaunga mkono hoja za Moh Said? Wengi wenu kama si wote ni christians ambao kwa kila namna mmeona hoja zake na anavozianalyse kuwaelezea wazee wake ambao walikuwa waislam basi ni wai yy anapigana jihadi na nyinyi kuamua kupigana crusade, nguruvi3.let me give you a piece of an advice,wewe ndie wa kupumzika,kwa kuwa huna utalolisema kuyabadilisha yaliyodhihirika,hujui ni kwa namna gani upande flan umeathirika kwa usiri wa utawala wa julius na ustawi wa jamii ya kiislam,hujui,sisi wenyewe tunajua,tumeamua kutulia bila kuleta rabsha tokea miaka miaka kwa kuwa tumeamua kuweka utanzania mbele,wewe hulijui hilo. Sisi tunakuona mpuuzi tuh kama wapuuzi wengine,lazima ujue this issue is very serious,na sisi tumepambazukiwa sana na ukweli,wewe huna lolote la kutushughulisha,kaa ukipumbazika kuwa eti ya kwamba umeweza kuchallange maandiko hayo,ila ukweli hata moyoni mwako unajua.. Hatujauona uchochezi kwa kusemwa kwa ukweli,na hata mapungufu unayoyasema sio justification ya kuondoa uhalisia uliosemwa.. vICTORY WON...
Sentensi hii tayari inawaondoa akina Cecil Matola ambaye alikuwa ni Rais wa chama na founder na kuhamishia credit zote kwa familia ya Sykes. Hapa kuna upotoshaji na inahitaji uelewa kuelewa mazingaombwe yanayotaka kufanywa na Mohamed na wala si historiaMohamed Said ;On the other other side was the Sykes family which was associated with Dar es Salaam politics for almost a quarter of a century; founding and leading both the African Association and Al Jamiatul Islamiyya.No thank you Mohamed. Familia ya Sykes ni one of the founding member of African Association
Dalili za kuwa uchaguzi ulikuwa na ushindani. Ieleweke kuwa Phombeah alikuwa TAA inner circle na ndiyo maana alipewa dhamana hii PhombeahNyerere was new to the town .The whole week before voting Phombeah was making rounds campaigning for Nyerere.
Mohamed anamuondoa Phombeah katika inner circle kwa kusemawho was in charge of the Arnatouglo Hall was the returning officer
Kwahiyo basi hadi sasa tuelewe kuwa uchaguzi ulikuwa kukamilisha ratiba kwasababu kiongozi alichaguliwa tayari na iner circle kama inavyothibitishwa hapa na Abdul alipokwenda kwa Tewa.But there was no need of doing that; the TAA inner circle of Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz and Rupia had already decided to make Nyerere president of the Association and the election was a mere formality
Kumbukeni kuwa Phombeah ndiye alikuwa returning officer wa uchaguzi. Hivyo tunatgemea matokeo yote yawe ya kuhindana au kupangwa mtu wa kutueleza nini kilitokea ni yeye. Kinyume chake tukasoma hayaTewa, tomorrow we are going to give this man, Nyerere, power to run this country.
Kulikuwa na returning officer na kura zilikuwa za kunyoosha mikono kwanini kuwe na conflicting information? Hapa kuna kitu kinapikwa kama kilivyoonyeshwa katika neno ''lost''. Hakuna sababu yoyote ya maana ya kutofahamu nini kilitokea hadi Mohamed asiweze kujua ukweli bali kubaki na tetesi.Abdulwahid ‘lost' Nyerere won by a very small margin Some reports have it that Abdulwahid won the election, others say Nyerere won by a single vote; yet others say that TAA members had to vote thrice to get the winner since the votes were tying. Dossa Aziz reports that Abdulwahid did not lose that election, and went on to say that
kwanini basi tunaona kauli hizi tena huku tukijua ilikuwa formalityWe all wanted it to be that way. We wanted Nyerere to assume TAA leadership
Kwahiyo anahitimisha kwa kusema wengi walimpinga Nyerere ili kuhalalisha kile alichokisema kuwa Nyerere alikuwa stranger, new in town, had no political history against colonial rule, he was Christian and his career started right away after the election. Mohamed hakutaka kupata uhakiki wa matokeo kutoka kwa Denis Phombeah aliyekuwa returning officer na TAA inner circle.In order to understand the dilemma facing Abdulwahid, Nyerere and the TAA leadership, particularly the inner circle, one has to keep in mind that Muslims were a majority in Dar es Salaam and were in control of local politics.. They (Christian) were perceived as being too close to the colonial state to take a leading role in the struggle for independence, and many people used the election to show their objection to Nyerere.
There was no way Nyerere could defeat Abdulwahid in Dar es Salaam of 1950s. Abdulwahid was not defeated in that election. Very few Muslims had confidence in mission-educated Christians
Mohamed, sina hakika kama ni mimi unayemuongelea au kwa kughafilikiwa umeandika jina langu kama ilivyotokea.Nguruvi,
Ajabu jinsi mambo yanavyoendana.Katika michezo ya William Shakespeare huwa kunakuwa na kitu kama mapumziko
ndani ya mchezo na Shakespeare huw anatia mtu akafanya vixhekesho kuwapumzisha
watu.Mimi katika watu hawa wa vichekesho nimpendae ni Lancelot Gabbo kwa ajili ya maneno
yake ya kuchekesha. Ukiwa na muda pitia ''The Merchant of Venice.''Hakika mambo hufanana sana.Hili jambo ninalozungumza mimi hapa ni jambo zito sana.
Ndiyo maana unaona Waislam tumeieleza serikali kuwa kuna mfumokristo
unaendesha nchi na hii itakujakuwa sababu ya farka na vurugu katika nchi.Hadi leo serikali iko kimya.Iko kimya kwa kuwa inajua uzito wa shutuma hii.Kuukubali ukweli au kuukataa.Serikali bado iko kimya.Hali inazidi kuzorota kila kuchwao.
Wewe unafanya hili jambo, jambo la maskhara.
Sentensi hii tayari inawaondoa akina Cecil Matola ambaye alikuwa ni Rais wa chama na founder na kuhamishia credit zote kwa familia ya Sykes. Hapa kuna upotoshaji na inahitaji uelewa kuelewa mazingaombwe yanayotaka kufanywa na Mohamed na wala si historiaDalili za kuwa uchaguzi ulikuwa na ushindani. Ieleweke kuwa Phombeah alikuwa TAA inner circle na ndiyo maana alipewa dhamana hii Phombeah Mohamed anamuondoa Phombeah katika inner circle kwa kusema Kwahiyo basi hadi sasa tuelewe kuwa uchaguzi ulikuwa kukamilisha ratiba kwasababu kiongozi alichaguliwa tayari na iner circle kama inavyothibitishwa hapa na Abdul alipokwenda kwa Tewa. Kumbukeni kuwa Phombeah ndiye alikuwa returning officer wa uchaguzi. Hivyo tunatgemea matokeo yote yawe ya kuhindana au kupangwa mtu wa kutueleza nini kilitokea ni yeye. Kinyume chake tukasoma haya Kulikuwa na returning officer na kura zilikuwa za kunyoosha mikono kwanini kuwe na conflicting information? Hapa kuna kitu kinapikwa kama kilivyoonyeshwa katika neno ''lost''. Hakuna sababu yoyote ya maana ya kutofahamu nini kilitokea hadi Mohamed asiweze kujua ukweli bali kubaki na tetesi.
Hata hivyo kama matokeo yalikuwa ya kupangwa kwanini basi tunaona kauli hizi tena huku tukijua ilikuwa formality Kwahiyo anahitimisha kwa kusema wengi walimpinga Nyerere ili kuhalalisha kile alichokisema kuwa Nyerere alikuwa stranger, new in town, had no political history against colonial rule, he was Christian and his career started right away after the election. Mohamed hakutaka kupata uhakiki wa matokeo kutoka kwa Denis Phombeah aliyekuwa returning officer na TAA inner circle.
Alichagua watu anaojua yeye na kuhitimisha alichokitaka hata kama returning officer alikuwepo.
Kama uchaguzi ulikuwa ni formality iweje sasa wengi waonyeshe objection kwa Nyerere kwasababu hapo juu amesema Denis Phombeah hakuwa na sababu za kupiga kampeni kwa vile Nyerere alishachaguliwa.Mohamed anataka kuonyesha kuw Nyerere hakushinda na alikuwa hana uwezo huo kwa mtazamo wake na wala i historia
Kinachonisumbua ni namna habari inavyoji-contradict ilivyokosa consistence na ilivyojaa biasness. Kwa kuisoma haraka haraka ni tamu sana hata kufikiria kuiandikia script ya filamu. Ukiisoma kwa fikra ni confusion tupu.
Kama ataelezea wazee wake na shughuli zao hilo halinishughulishi. Kinachonisikitisha ni kutumia jina la Nyerere kwanza kumdhalilisha, halafu kuondoa ukweli uliopo na kuficha ukweli mwingine katika jina la historia ya Tanganyika.
Sina tatizo kama ataelezea utamu wa togwa, jinsi alivyoishi na wazee wake na aliyoyaona wakiyafanya kama wananchi wa Kipata au Narungombe. Kwabahati mbaya akiweka Tanganyika tutakaa kitako kuhoji maana Tanganyika ni yetu sote.
Mwisho big show punguza jwazba, wale wanaoangalia historia kwa mtazamo mwingine ni Watanganyika tu wa dini zote na makabila yote. Kama unadhani tunataka tuishi kama ndugu na kama tulivyozoea basi tukemee kwa pamoja jitihada za kutugawa hasa kwa chembe hii ya udini.
Nakusihi uongee kama mwislam na si kuongelea waislam maana wapo wengi wenye maono tofauti.
Haikulazimu kukubaliana na Mohamed ili uwe Mwislam. Uislam ni imani ni dini na wala haina hati maliki kwa kundi au kikundi.
Mohamed, sina hakika kama ni mimi unayemuongelea au kwa kughafilikiwa umeandika jina langu kama ilivyotokea.
Hivi mimi kuirejea historia yako imekuwa ni masihara. kwamba tuache ipite tu na tumeze nzima nzima kwa miaka mingine ijayo!
Kama ningekuwa na masihara basi nisingekuomba ueleze mfumokristo ni nini.
Nisingeweza kukuomba ulete majina ya wanafunzi waliokatwa highschool wakiwa na division one.
Nisingeweza kukuambia unadhani solution ya kuondokana na mfumokristo ni nini na wala nisingekuonyesha kwanini takwimu zako ndizo zimelenga kuleta vurugu.
Mashara yangu yasingekuuliza kuhusu sensa ya mwaka 1967, 1957 ili ukweli ujulikane.
Wala nisingekuambia kwanini watoto wa Kilwa wakimbie shule darsa zima na mambo mengi nisiyoweza kuyaorodhesha.
Hili la kwamba serikali imekaa kimya nadhani unaoionea serikali.
Huu mfumokrsito kuanzia Nyerere alipokosana wazee wako na kuwaweka rumande wengine kuwafukuza, kuanzia alipotaifisha shule na kuzuia ujenzi wa chuo na kuanzia alipofanya teuzi za watu wa mfumo wake, hata mara moja halikuwa suala la serikali bali Julius K. Nyerere mkatoliki.
Sasa leo limegeukaje kuwa la serikali? Kwanini lisiwe la Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa au Jakaya Kikwete?
Lini jambo hili limeondoka mikononi mwa mtu binafsi na kuwa serikali?
Nigeshauri uulize au ueleze kwanini Jakaya Kikwete kakaaa kimya bila kutolea maelezo.
Lakini pia usiishie hapo, Mohamed kama unajua hili ni jambo la hatari sana (na hapa lilipo mumefanikiwa sana kulifanya hivyo) basi hupaswi kuweka maelezo na tuhuma, una wajibu kama mtanzania kuweka na suluhu.
Tumekuwa katika nyuzi nyingi sana na wewe, kama kuna mahali umetoa suluhu ya suala hili weka hapa.
Hakuna! hakuna! Mnachokifanya na wenzako ni kutapanya sumu ya chuki na watu wanameza bila tafakuri leo ni kioja na kituko kama si kichekesho na mahoka Mohamed Said anasema hili ni jambo la hatari.
Hivi kuna hatari zaidi ya kuhamasisha wananchi wafeyeke vichwa vya wenzao kwa siri. Hiyo ndiyo suluhu kweli.
Mohamed!
Ndiyo maana unaona Waislam tumeieleza serikali kuwa kuna mfumokristo
unaendesha nchi na hii itakujakuwa sababu ya farka na vurugu katika nchi.
Hadi leo serikali iko kimya.
Iko kimya kwa kuwa inajua uzito wa shutuma hii.
Kuukubali ukweli au kuukataa.
Serikali bado iko kimya.
Hali inazidi kuzorota kila kuchwao.
Wewe unafanya hili jambo, jambo la maskhara.
Nguruvi,
Unapenda sana kuhusisha jina langu na damu.
Nini kusudio lako?
Kwa jamaa ambao asili yao si Dar es Salaam haya mambo yanatokea kwa miaka
zaidi ya 50 majina haya hawajayasikia wanasikia tu kuwa TANU imeundwa na Nyerere
1954 kuja na historia hii yangu kwa hakika ni mtihani mzito kwao.
Historia hii inakuwa haikuwakalia vizuri.
Lakini tusivutane katika haya.
Mie huwaambia watu.
Tuache iwepo historia ya TANU ile ya Nyerere kama inavyojulikana na sisi tuwe
na historia yetu kama tuijuavyo.
Zote zisomwe na asiwepo wa kumbughudhi mwenzake.
ukiisoma comment hii kwa makini huwez jitosheleza kama imeandikwa na mtu mzima au mtu mwenye hekima zake,ni maneno yaliyochuja na yasiyo na mashiko, na ndio kwa maana vijana wa mjini tunasema si vema kwa mzee kama huyu kushusha suruali na kuvalia chini ya kiuono'kata k',,,huko ni kujidhalilisha, na mara kwa mara tumemuusia kutojarib kujiweka katika level sawa na Moh Said,si size yake,anadhani ni masihara.. Sasa kwa kuwa kagoma kuipandisha juu ya kiuono suruali yake sisi tutaipandisha kwa nguvu ili kulinda heshima yake..
Jina linajihusisha lenyewe. Wewe ndiye muasisi wa neno mfumokristo na ninyi mumempa Sheikh kazi ya kuzunguka nchi nzima aelezee kuhusu mfumokristo.Nguruvi,Unapenda sana kuhusisha jina langu na damu.Nini kusudio lako?
Kid, you do not posses intellectual ability to engage me in a discussion such as this; your emotional immaturity and inability to reasoning like an adult inanifanya nikuache tu useme unalosema ili angalau na wewe uonekane ume sema. Wakati mwingine watu wazima wanapokaa kuzungumza kuna vitoto vinapenda kuingilia mazungumzo ya watu wazima inabidi mtu akakemee kamoja au kukaacha tu ili kasiumizwe hisia zake kwani kanafikiri kanatoa mchango kwenye mazungumzo. Its simple,status aliyoifikia moh said haikupata kwenye mnada au sadakalawe, we huna uwezo wa kutunisha misuli na Moh said, nyie ndio mmekalia kumwambia Moh Said asipende kuoga na watoto wadogo anajidhalilisha, sisi tunakuambia sasa wewe mwanakijiji USIPENDE KUVALIA SURUALI CHINI YA KIUNO unajivunjia heshima, ni wakati sasa upandishe suruali yako juu.. Moh Said humuwezii..