Mohamed Said In 1952 Julius Kambarage Nyerere came to Dar es Salaam to teach at St. Francis' College, Pugu. Nyerere had been with Mwapachu at Tabora in 1945, and at Makerere College and later in Britain pursuing further studies. It is possible that Nyerere, who closely followed TAA activities, heard about Abdulwahid through Mwapachu while he was still in Britain
. Halafu soma hii hapa.
Apart from Dossa Aziz who had met Nyerere briefly at TAA's general conference in April, 1946, Kasella Bantu himself and Denis Phombeah, nobody at the TAA headquarters had ever heard of Nyerere
Nyerere alikuwa katibu wa tawi la Tabora. Ukishasema HQ ina maana ilikuwa inajua nani anaongoza chama na eneo gani. Unless HQ ilikuwa ndio nchi nzima sentensi hii ina mashaka makubwa. Hata hivyo Nyerere alipokutana na Dosa hakuna shaka waliongelea kuhusu chama na hasa HQ. Kwa mantiki hiyo Dosa atakuwa amemweleza nani anafanya nini HQ na hapo jina la Abdul lazima litokeo. Sijui kama kuna ukweli kuwa Nyerere aliksikia habari za Sykes akiwa Uingereza kupitia Mwapachu.
In Abdulwahid, Mwalimu Nyerere found a person of high intellect, selflessness and a likeable character. In Julius Nyerere, Abdulwahid found a highly educated person with admirable debating skills. Nyerere was exposed to the world and sharpened by the politics of the Fabian Society during his student days in Britain. Very constructive debates evolved in the Sunday discussions when Abdulwahid's intellect and political experience were pitted against Nyerere's legendary debating skills. Nyerere did not have any political experience worth mentioning at that time to compare with Abdulwahid. When the African Association in Tabora took part in the 1947 General Strike Nyerere did not involve himself with this working-class movement, although he was the Association's secretary
Hapa anaonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa dhalili mbele ya Abdul. Lakini anajichanganya kwasababu experience ya siasa alikuwa nayo kuanzia Tabora alipokuwa katibu wa Tawi, Makerere alipotaka kuanzisha TAWA na Uingereza alipokuwa exposed katika world politics. Kulinganisha watu hawa wawili ni kutafuta udhalili wa mmoja wapo. Tuwaheshimu kama historia ilivyo na si kutumbukiza chuki, fitna na husada katika historia iliyojikamilisha bila chumvi, hamira au magadisoda
After the introduction Abdulwahid, Nyerere, Ally, Dossa Aziz, Mhando, Rupia, Dunstan Omari and others used to meet every Sunday for a baraza (palaver) either at Dossa's home at Congo Street or at Abdulwahid's house at Stanley Street. These were two venues where the nationalists met to discuss the future of Tanganyika
Hapa tunaona uwepo wa Nyerere ndio uliozaa neno Nationalist na si Uislam. Hili ni jambo jema
. Political debates among the young nationalists now shifted from topics of internal discontent to leftist international issues concerning government and self-determination for the African people
Ahaa kumbe hawa watu walikaa kama nationalist kwa ajili ya kumkomboa mwafrika. Jambo jema kwasababu inaonyesha hawakukaa kama waislam bali nationalist. )
In an emotional farewell speech which Nyerere delivered on 5 th November, 1985, to Dar es Salaam Elders, an exclusive group of Muslim townsmen who had supported him since the founding of TANU, Nyerere told his audience that it was Kasella Bantu who had introduced him to Abdul Sykes.
Hapa Mohamed ameshabadili historia kwa utashi wake. Amesema Nyerere aliongea na kundi pekee la waislam. Ukweli ni kuwa aliongea na wazee wa Dar es Salaam kama alivyokuwa anaongea nao wakati akaitaka kulihutubia taifa. Hakuna mahali popote panapoonyesha Nyerere alifanya hivyo kwa ajili ya waislam. Mohamed ameondoa neon Nationalist kama tulivyoona hapo juu na kuja na kitu ambacho hakikuwepo katika historia au ukweli.
Hata leo JK anapoongea na wazee wa Dar es Salaam haongei nao kama waislam, ndivyo ilivyokuwa kwa Mkapa na Mwinyi. Ni chumvi na hamira ili ngano iumuke na wala si ukweli au historia.
As a Christian, Nyerere knew that he could never hope to build a political base in the Dar es Salaam environment of the 1950s where politics assumed strong Muslim characteristics. At first Nyerere was reluctant to accept the offer
The TAA leadership was clever enough to realise the value of Nyerere's education and its potential to the future
Nadhani hata Tabora ilikuwa ni hivyo na Nyerere aliweza kutia mguu na kuwa katibu wa tawi. Aliokwenda kuonana na Abdul Nyerere ahakufanya hivyo bila makusudio. Hata hivyo inaonekana wazi kuwa elimu yake ilikuwa msaada kwa TAA na hivyo bila kujali imani yake uwezo wa kuwa na political base ulikuwepo, lilikuwa suala la muda tu.
The contest between the incumbent president, Abdulwahid, and an unknown schoolteacher, Julius Nyerere, took place at the Arnatouglo Hall on 17 April, 1953. Outside the circle of the TAA leadership which had proposed him to stand, Nyerere was a complete stranger to the electorate he was facing to ask for their votes. Nyerere's political career began from that day
. Si kweli, Nyerere alianza siasa kabla ya kuonana na Abdul Sykes. Mwaka 1947 alipokutana na Dosa hakukutana naye kama mwakilishi wa wanafunzi au wakulima. Alikuwa katibu wa tawi na hata Makerere alishakuwa na political ambition.Mtu aliyewahi kuhudhuria mkutano mkuu wa TAA haiwezekani awe ameanza siasa baada ya kukutana na Abdul.
The election was by a show of hands. Phombeah who was in charge of the Arnatouglo Hall was the returning officer. Phombeah asked both Abdulwahid and Nyerere to go out of the hall for voting to begin. The whole week before voting Phombeah was making rounds campaigning for Nyerere. But there was no need of doing that; the TAA inner circle of Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz and Rupia had already decided to make Nyerere president of the Association and the election was a mere formality.
After Abdulwahid and Nyerere had gone out, voting began.
Abdulwahid ‘lost' the election-the first loss in his whole political career-and Nyerere won by a very small margin Hapa Mohamed anaonyesha kuwa Nyerere alishachagulia na TAA inner circle na uchaguzi ulikuwa kuhitimisha tu yaliyofikiwa nje ya mkutano
Anajichanganya hapa
Some reports have it that Abdulwahid won the election, others say Nyerere won by a single vote; yet others say that TAA members had to vote thrice to get the winner since the votes were tying. Dossa Aziz reports that Abdulwahid did not lose that election, and went on to say that
.Kama matokeo yalishapangwa kwanini kuwe na utata huu. Kura zinaonyesha zilipigwa kwa mikono sasa ni kweli kuwa hakukuwa na ukweli kwa watu wengine ambao ulijulikana baada ya uchaguzi hadi watu wawili au watatu tu watuambie kilichotokea. Na matokeo ya kupangwa kwanini kura zirudiwe mara tatu.Then Mo anaweka historia yake mwenyewe kutoka chumbani
There was no way Nyerere could defeat Abdulwahid in Dar es Salaam of 1950s. Abdulwahid was not defeated in that election. Very few Muslims had confidence in mission-educated Christians