Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

gombesugu hizi porojo sasa unaturusha stimu-unaonaje ukifungua thread mbadala-sisi tukaendelea kupata ilm ya Mohamed Said kuwekwa kati.

"Nimefurahika na ile safari yako. Napajua uzuri pale Blantyre Lanarkshire. Nastaajabu kuwa Serikali hapo Tanzania ati mpaka leo bado inamuenzi "mvumbuzi" "Dr" Livingstone na kumwachia aendelee kujinasibu na moja ya mitaa yetu maarufu hapo Mzizima!?
Kuna "tambara" chafu mno limemfumka (new evidences has emerged/ been extracted) pale Royal Geographical Society kuhusu unyama ,udhalim,umaluuni,uzandiki na vitimbi vingi mno alofanza huyo swahib yako "Dr" Livingstone!ahaha!!"

Son of Alaska,

Jitahidi saana kujiepusha na mimi. Na kuanzia sasa nami pia tatumia ule "ustaarabu na hekima za Mwalimu",sitakujibu asilani hata ukijaribu kufurukuta kunena jambo la maana. Nahisi una hamu ya umashuhuri hapa jamvini/JF kwa kujihusisha na tashtit.

Hizo "stimu" mbona unazo kitambo ama wenzio hawajakwambia!?Kwa fikra zako hafifu na chechefu,unafikiri kila mtu hapa jamvini anaongea vitu vya maana!?(na nina hakika wewe ni miongoni mwao!).

Mimi hapa namsoma kwa utuo Sheikh Mohammed Said labda na "wataalam wengine" naye bila ya shaka anajua hilo. Yeye pekee ndiye mwenye amri ya kunifunga mdomo.

I know that you don't deserve my attention neither response just a favour! I wrote to you before,I was wrong though cause I thought you got the message!?
Listen baby girl,you need to know your place and don't get too big headed. I really wonder why you cult woshiper follow something that you don't believe or want to understand!? Is it for something to get upset about,or your initial intention to learn something!?
Well,knowledge and understanding is like food,only babies need to be fed.

Milego dnia.

Ps; I wish you take that "baby girl thing" as a compliment!

CC: Rapherl
 
Ahsante,
gombesugu

Kuhusu Ustadh Latif , UDSM wana utaratibu wao wa kuhoji mambo ila kwa kusema hivyo unacho imply ni kwamba at least majority ya wahudhuriaji ni wakristo na wamemzomea kwaajili ya uislam wake(certainly sio kwa kumpinga Nyerere akiwa 'kigodani' as that would be appalling na umeishasema ana mapenzi na historia ya Nyerere) kama kweli ni kwa sababu ya uislam basi mbona wasimzomee issa gulamhussein shivji.

kama ilivyo katika mambo mengi tanzania kwa sasa na kwa kila mmoja wetu hapa, sote kadiri muda unavyoenda unafika wakati inakua vigumu kujadili jambo lolote bila kujitambulisha wazi uko upande upi kati ya makundi haya mawili ya dini yaani mkristo au mwislam hata katika mnakasha tumeingia ktk kasumba ya 'pande mbili' kama wa kumlaumu ni Moh au Yericko au sie wachangiaji sina hakika. Nasema hivi kwasababu looking at the narrative in your comments - deep as you try to barry it, your seething antagonism towards the 'status quo' (which many of those from Moh's side have doubed as 'mfumo kristo') is obvious and indeed you have taken a side too in the process mkubwa kama ilivyo kwa kila mmoja wetu. Na sina haja wala siwezi kumlaumu yeyote kwa hilo kwani kama nilivyosema ni matunda ya utamaduni tulionao watanzania wa kudhani mijadala ya kidini ni dhambi (sidhani kama ina tija ukiacha kuendesha mjadala wazi juu ya jambo kwasababu tu ya nature ya subject matter kwa hivyo tutaishia kuwa kama china).
Na pia ni kwa sababu hii kuu nadhani mnakasha huu hutoweza kupata nafasi yoyote katika kigoda cha mwalimu kwasababu hauwezi hata kupita mchakato wa awali kutokana na mahudhui ya kitabu chenyewe kuwa yenye mrengo wa kidini [si kwamba mambo yanayomhusu Nyerere hubagua waislam au rangi : issa shivji ndiye yuko 'kigodani' yeye hajabaguliwa, salim ahmed salim mweyekiti taasisi ya mwl n.k] na sababu nyingine ni kama hiyo na ambayo tumekua tukiilalamikia hapa kwa muda mrefu ni taaluma: uhakiki na uhariri ya maandiko ya Moh mara nyingi umeulizwa maswali ya kimsingi kama historical methods alizotumia (mie alinijibu nimechelewa katika mnakasha nikaridhika siwezi kuwasemea wengine ) pia wengi wamedispute mambo mengine mengi ameyakubali mengine na mengi mengine ameyakalia kimya.

Hatahivyo huna haja ya kuwa mtaalamu wa historia kuelewa nature ya uchochezi wa maandiko yake, hususan suala la kujaribu kuwaweka mbele ya juhudi za ukombozi wa tz wazee wake na uislamu kwa ujumla na kwa kufanya hivyo kuudharau yeye mwenyewe 'mchango' wa wakristo hasa kwa kumshambulia mwl nyerere. Mie ningekua katika upande huo wa pili wa fence ningejiuliza retrospectively huyu mzee, hii historia yake ina nature ya kibaguzi na ni twainfold [ inawabagua wakristo na inawabeba sana wazee waislam 'wa dar'] utajua akimaliza na wakristo atakuja kwa wazee wenu akiwatetea wake 'wa dar' na inanikumbusha fasiri ya Julius Kaisari, mara tu Mark Anthony alipomaliza kuwadanganya Brutus na wenzake kuwa atawatetea kwa wananchi akatoka akaenda kwa wananchi na kuwachochea kwao kina Brutus na nchi ikabaki kwake na Octavian -- na Nyerere akijua fika kisa cha 'mark anthony' hakutaka kuirudia historia and was quick to secularize the country for good. Na haya ya Moh ni maneno ya mkosaji amelishwa na wazee kila mmoja na nung'uniko lake.

Kizuri kinachotokana na mnakasha huu ni uelewa kuhusu juhudi zilizopo kubadili historia ya nchi yetu na hata zaidi kuwafahamu wale walioisaliti (hao wazee) na kushindwa kwao. Ila pengine kwao wachache waliokikubali hicho kitabu (ambacho Moh anasistiza ni historia ya wazee wake na sie tuandike zetu) wataisherehekea kama ndio hasa historia isiyojulikana/iliyosahaulika ya tanzania. Whatever side you take the irony is that with all the buzz and excitement : its very unlikely there will be any new converts, resolutions or concessions from among the participants. but I assure you Moh has a lot to answer for in addition to the concessions he has made.

Kuna msemo unasema "patriotism is the last refuge of the scoundrels". In fact its very easy to play 'the patriot' na kwa lugha yetu ningeusema "uzalendo ndilo kimbilo la mwisho la madhalimu wasio na sababu kwa nia yao mbaya". Hitler convinced everyone that 'jews' and 'jehova witnesses' e.t.c were the problem that they were not 'patriots enough'. Kitabu cha Moh hakijaribu kuonesha juhudi za mkristo, machifu, wala makabila mengine makubwa yaliyo na wakristo wengi kwa sifa zilezile wanazomwagiwa wazee wake --huenda ni kwasababu ya mapana ya sifa zinazomwagwa upande mmoja kutotoa nafasi kwa kitabu hichohicho kusifia upande wa pili; au kwasababu ya ufinyu wa mahudhui ya kitabu chenyewe kishindwa kujumuisha juhudi za wengine au pengine ni kwasababu ya lile tunalolihofia, well hapo bado Moh hajaweza kututegulia kitendawili cha kitabu chake.

Geeky,

Nashukuru kwa jitihada zako kwa kunipa maelekezo marefu na ya kina japo yana mkanganyiko mwingi. Lakini haina neno.

Naona hukunipa jibu ya lile suala nilokuuliza. Kwa kukusaidia, ulitakiwa unambie aidha hicho "kisa" hukijui au hakijawahi kutokea au kilitokea lakini huna maelezo zaidi.

Nafurahi kwa kunifahamisha kuwa hapo UDSM pana taratibu zake kwenye masuala mbalimbali,nakubali kwa hilo. Mimi na Mzee wangu tuliishi pale kwa takriban miaka kadhaa. Tuliishi vyema tena kwa staha na ustaarabu kama ndugu na watu wa matabaka na dini tafauti. Tulikua na urafiki na "udugu" wa karibu mno na watu kama Prof. Mtoto Mwema,Prof. Kigongo Fimbo Mnyonge, Prof.Mbunda,Bwana Nicholas Kuhanga, Prof. TSY Sengo,Prof. Mbwiliza, Bwana Mkanta,Dr. Chemi Che Mponda,Prof. Safari,Prof. Mama Anna Tibaijuka na wengineo wengi.
Kwa hiyo yale ulonena,tafadhali ondoa shaka juu yangu. Kuhusu shutuma dhidi ya Sheikh Mohammed Said,nafikiri yumo humu na akipata wasaa labda takupa lako jibu.

Ahsanta ndugu yangu na nakutakia week end njema🙂

CC: Ritz,Ami,JokaKuu,Jasusi,Sheikh Mohammed Said,Mag3Nguruvu3,The Big Show,Mfumo,Wimbi la Mbele,Kadogoo,Boko Haram,Nyambala,
 
Son of Alaska,

Jitahidi saana kujiepusha na mimi. Na kuanzia sasa nami pia tatumia ule "ustaarabu na hekima za Mwalimu",sitakujibu asilani hata ukijaribu kufurukuta kunena jambo la maana. Nahisi una hamu ya umashuhuri hapa jamvini/JF kwa kujihusisha na tashtit.

Hizo "stimu" mbona unazo kitambo ama wenzio hawajakwambia!?Kwa fikra zako hafifu na chechefu,unafikiri kila mtu hapa jamvini anaongea vitu vya maana!?(na nina hakika wewe ni miongoni mwao!).

Mimi hapa namsoma kwa utuo Sheikh Mohammed Said labda na "wataalam wengine" naye bila ya shaka anajua hilo. Yeye pekee ndiye mwenye amri ya kunifunga mdomo.

I know that you don't deserve my attention neither response just a favour!
Listen baby girl,you need to know your place and don't get too big headed. I really wonder why you cult woshiper follow something that you don't believe or want to understand!? Is it for something to get upset about,or your initial intention to learn something!?
Well,knowledge and understanding is like food,only babies need to be fed.

Milego dnia.

Ps; I wish you take that "baby girl thing" as a compliment!

CC: Rapherl

Ha ha ha ha!!!mbona nilishakusoma muda mrefu wewe ni MBUMBUMBU hauko hivyo unavyotaka watu wakuone uko.

Na maneno machache ya Ngogo yamekufanya ujivue nguo hadharani tunakuona sasa ni mtu wa aina gani

Eti "una hamu ya umashuhuri" kwa kipi ulichonacho wewe mlamba viatu mpaka watu watafute umashuhuri kupitia kwako,bora angeongea mtu kama Nguruvi3 and the like lakini sio wewe MZIGO unakuja na Mashairi hapa na majina ya wazee wako wa mtaani alafu unataka watu wakutilie maanani.Unachekesha

Unataka kujipa cheo ambacho hauna?!

Dunia haiishi vituko!!
 
Jana wakati mjadala wa kigoda cha mwl unaendelea something struck me as obvious - ukizingatia the theme was class struggle as zitto put it [Nyerere once said (in his famous may day speech at Mbeya) that : and I quote "wakubwa walienda zanzibar na walioporudi tukaona wanaendesha mambo ndivyo sivyo, wenye akili tukajua Azimio la Arusha limekwisha zikwa.... lakini niwaulize? Azimio la Arusha linasema 'chii hii ni ya wakulima na wafanyakazi'. Au mnabisha? (Kicheko!!) nimesikia mmepata mjomba , tungependa kumjua huyo mjomba wote (meaning uncle sam) ].

As it stands to this day the abolition of the declaration along side the code of ethics and the birth of what has been known as the zanzibar declaration still stand today as one of the major pitfals of the administration in question (the second admnistration) orchestrated by a fast liberalisation thanks to the mwinyi-lipumba duo. It would have been better had Nyerere listened to Mtei or kambona earlier and the transition would not have been as catastrophic.
 
Mkuu Gombesugu,

Samahani nilibanwa na boksi kidogo. Anyways tuendelee.

Kama ulivyonena MS ana haki kuandika na kusema chochote anachojisikia, na si jukumu langu au lako kumpoka haki hiyo. Lakini masimulizi ya mzee Saidi kama ilivyo to any story has three sides unfortunately there's very little coming from other side kwani wengi ni marehemu. But there are pro-second side kama walivyo pro-Mohamed Said. Some of us are into that third side called reality coming outta facts. I still believe you can see all the three sides. Umezungumza mengi kuhusu mataifa ya magharibi na hila zao, mgogoro wa Sudan and the so called mabaradhuli wa kizungu. (Though I believe baradhuli ni baradhuli tu, it doesn't matter ni mzungu, mweusi, mchina etc.).

....

Natanguliza samahani wakuu kwa kukuchosheni na bandiko reefu.

Nyambala,

Nashukuru sana kwa ujumbe nami nakusoma kwa makini na kujaribu kukufahamu.
Pole na shughuli,nami pia kipata fursa tajitahidi kuchangia tena japo kwa uchechefu.

Ahsanta.
 
Son of Alaska, Jitahidi saana kujiepusha na mimi. Na kuanzia sasa nami pia tatumia ule "ustaarabu na hekima za Mwalimu",sitakujibu asilani hata ukijaribu kufurukuta kunena jambo la maana. Nahisi una hamu ya umashuhuri hapa jamvini/JF kwa kujihusisha na tashtit. Hizo "stimu" mbona unazo kitambo ama wenzio hawajakwambia!?Kwa fikra zako hafifu na chechefu,unafikiri kila mtu hapa jamvini anaongea vitu vya maana!?(na nina hakika wewe ni miongoni mwao!). Mimi hapa namsoma kwa utuo Sheikh Mohammed Said labda na "wataalam wengine" naye bila ya shaka anajua hilo. Yeye pekee ndiye mwenye amri ya kunifunga mdomo. I know that you don't deserve my attention neither response just a favour! I wrote to you before,I was wrong though cause I thought you got the message!? Listen baby girl,you need to know your place and don't get too big headed. I really wonder why you cult woshiper follow something that you don't believe or want to understand!? Is it for something to get upset about,or your initial intention to learn something!? Well,knowledge and understanding is like food,only babies need to be fed. Milego dnia. Ps; I wish you take that "baby girl thing" as a compliment! CC: Rapherl
mioyon mwao kuna maradhi, tulitaraji hizi facts za Moh Said ziwapunguzie maradhi hayo lakin mbaya zaid zimezid kuwaongezea maradhi yao,ni vigumu sana kwao kuamini wala kukubali,kwani wameshakula yamini.. Kikubwa ni kuwapuuza,yes,just dispise them.. Kikubwa cha kukijali ni kwaba tuna Mtoa darsa viganjani mwetu basi ni kutuliza akili na kunyonya maarifa,hao vihiyo na makanjanja wasikupotezee muda wako.. Ni watu mufilisi hao..
 
Hivyo basi sisi kama vijana let's digest and discuss nini kifanyikekuboresha huduma za jamii. Let's talk about personal responsibilities. Let's be there kama watanzania na matatizo tuyaone kama ya watanzania. Hii simulizi ya Saidi trust me inawaandaa wanaomuamini na hasa vijana wetu ku-fail kabla hata safari haijaanza.

Natanguliza samahani wakuu kwa kukuchosheni na bandiko reefu.

Miekusoma kaka, jana zitto alinikosha sana na uchambuzi wake akisema kilichoko hapa Tanzania kwa muda mrefu ni class struggle na imejaribiwa kutafsiriwa kwa upotofu kila mara over the years.

The closest we ever came to ending it was the Arusha declaration and the code of ethics and the current 'vita ya ufisadi'. Fisadi akiwa mwislam ukamwita 'huyu bakwata' hapo ndio tunazidi kijiroga na kusukumiana shimoni wenyewe kwa wenyewe.
 
Geeky,

Nashukuru kwa jitihada zako kwa kunipa maelekezo marefu na ya kina japo yana mkanganyiko mwingi. Lakini haina neno.

Naona hukunipa jibu ya lile suala nilokuuliza. Kwa kukusaidia, ulitakiwa unambie aidha hicho "kisa" hukijui au hakijawahi kutokea au kilitokea lakini huna maelezo zaidi.

Nafurahi kwa kunifahamisha kuwa hapo UDSM pana taratibu zake kwenye masuala mbalimbali,nakubali kwa hilo. Mimi na Mzee wangu tuliishi pale kwa takriban miaka kadhaa. Tuliishi vyema tena kwa staha na ustaarabu kama ndugu na watu wa matabaka na dini tafauti. Tulikua na urafiki na "udugu" wa karibu mno na watu kama Prof. Mtoto Mwema,Prof. Kigongo Fimbo Mnyonge, Prof.Mbunda,Bwana Nicholas Kuhanga, Prof. TSY Sengo, Bwana Mkanta,Dr. Chemi Che Mponda,Prof. Safari,Prof. Mama Anna Tibaijuka na wengineo wengi.
Kwa hiyo yale ulonena,tafadhali ondoa shaka juu yangu. Kuhusu shutuma dhidi ya Sheikh Mohammed Said,nafikiri yumo humu na akipata wasaa labda takupa lako jibu.

Ahsanta ndugu yangu na nakutakia week end njema🙂

CC: Ritz,Ami,JokaKuu,Jasusi,Sheikh Mohammed Said,Mag3Nguruvu3,The Big Show,Mfumo,Wimbi la Mbele,Kadogoo,Boko Haram,Nyambala,

Ahsante,
Hicho kisa sikijui kwa kweli, ila naweza kuelewa sababu zao kwa ulivyosema hujirudia anapotambulishwa ustadh na aliongea kiswahili labda haukua utaratibu wakati huo recently watu wanachangia kiswahili that is the whole point hata kikajulikana kama kigoda ndio maana nikasema wana utaratibu wa kuhoji mambo. Nikupe mfano. Wachangiaji wa ccm bila kuangalia dini zao hupigiwa makofi mfulizo hadi wanashuka podium bila kuchangia na inaekeweka kuwa mchango wao wa miaka mingi umetosha.
 
mioyon mwao kuna maradhi, tulitaraji hizi facts za Moh Said ziwapunguzie maradhi hayo lakin mbaya zaid zimezid kuwaongezea maradhi yao,ni vigumu sana kwao kuamini wala kukubali,kwani wameshakula yamini.. Kikubwa ni kuwapuuza,yes,just dispise them.. Kikubwa cha kukijali ni kwaba tuna Mtoa darsa viganjani mwetu basi ni kutuliza akili na kunyonya maarifa,hao vihiyo na makanjanja wasikupotezee muda wako.. Ni watu mufilisi hao..

The Big Show,

Shukran jaz'ila Al Akhiy. Nimekufahamu!

Ahsanta.
 
Ahsante,
Hicho kisa sikijui kwa kweli, ila naweza kuelewa sababu zao kwa ulivyosema hujirudia anapotambulishwa ustadh na aliongea kiswahili labda haukua utaratibu wakati huo recently watu wanachangia kiswahili that is the whole point hata kikajulikana kama kigoda ndio maana nikasema wana utaratibu wa kuhoji mambo. Nikupe mfano. Wachangiaji wa ccm bila kuangalia dini zao hupigiwa makofi mfulizo hadi wanashuka podium bila kuchangia na inaekeweka kuwa mchango wao wa miaka mingi umetosha.

Geeky,

Nakushukuru kwa ustaarabu wako ndugu yangu. Huu ndio uungwana na ustaarabu wa waTanzania wengi ninaowafahamu!
Basi la muhimu tuache mnakasha uendelee nasi watizamaji,wachangiaji,washereheshaji na wasomaji tushirikiane.

Ahsanta.
 
Ha ha ha ha!!!mbona nilishakusoma muda mrefu wewe ni MBUMBUMBU hauko hivyo unavyotaka watu wakuone uko.

Na maneno machache ya Ngogo yamekufanya ujivue nguo hadharani tunakuona sasa ni mtu wa aina gani

Eti "una hamu ya umashuhuri" kwa kipi ulichonacho wewe mlamba viatu mpaka watu watafute umashuhuri kupitia kwako,bora angeongea mtu kama Nguruvi3 and the like lakini sio wewe MZIGO unakuja na Mashairi hapa na majina ya wazee wako wa mtaani alafu unataka watu wakutilie maanani.Unachekesha

Unataka kujipa cheo ambacho hauna?!

Dunia haiishi vituko!!

gombesugu,

Nakuomba uwe na subra kutokana kauli za hawa ndugu zetu za kejeli, dhihaka, matusi, na jazba, umeitwa "MBUMBUMBU" "Mlamba viatu" tumewazoea wala usipate shida tunaitwa akili za madra wanywa gahawa si unajua wanywa gahawa na wenye akili za madrasa tunavyofanana kama chines.

Tuwaombee dua ALLAH hawajalie lugha ya kiungwana kwenye minakasha ya kuelimishana kama hii.
 
Last edited by a moderator:
Ni jinsi gani mfumo Kristu unatengeneza wasomi mahiri Waislamu, wafanyakazi na watumishi mbalimbali ambao ni Waislamu na hata kutengeneza Rais, Mawaziri, Majaji n.k ambao ni Waislamu? Ni kwa namna gani mfumo wa kibaguzi unatengeneza nafasi bora na za juu kabisa za wale wanaobaguliwa?

Unless, mfumo huo umeshindwa kazi yake ni hauna nguvu unayodhaniwa kuwepo. Fikiria: Kama kweli kungekuwepo Mfumo Kristu na ungekuwa na nguvu unayodaiwa kuwa nayo, Kikwete aliweza vipi kuwa Rais mara mbili mfululizo?

Aliweza kuwa Rais kwasababu mara ya kwanza alikuwa chaguo la Mungu kwa mujibu wa Maaskofu lakini mara ya pili aliiba kura kwa mujibu wa Chadema!
 
Mkuu Ritz ni kweli Mzee wetu Mohamed Said kajitahidi kutengeneza histohisia yake kaisimamia kwa zaidi ya miaka kumi na tano leo histohisia yake imebomolewa na Mag3 Mzee Mwanakijiji Nguruvi3 Nyambala Son of Alaska Yericko Nyerere Jasusi JokaKuu Pasco ............... na wengineo wengi.

Mkuu Ritz Mzee wetu Mohamed Said kashindwa kwa kiwango cha kutisha kujibu hoja na wanajamvi niliowataja hapo juu.Sina haja ya kurudia hoja alizoshindwa kuzijibu kwakuwa najua wewe ni mmoja wa wanajamvi wanaotumia muda mrefu katika bandiko hili na umekuwa ukijaribu bila mafanikio kumtetea Mzee wetu Moh.Bila shaka umetambua Mzee wetu ana kipaji kikubwa katika fani ya uandishi lakini wakati huo huo hana ujuzi wa kutetea kile anachokiamini/anachokitaka pengine sababu kubwa ni kutofuata misingi ya utafiti kabla hajaandika kitabu chake au pengine alishakuwa na hitimisho na hivyo kulazimika kukwepa baadhi ya matukio muhimu ya historia ya Tanzania,hili la mwisho ndio hasa naliona wazi.Ikiwa Mzee Moh atapenda kuitendea haki nchi yake kabla hajamrejea muumba wake basi achukue maoni yote bila kinyongo hayaingize kwenye kitabu chake toleo lijalo,simlazimishi kufanya hivyo ni hiyari yake akishindwa hakuna wa kulaumiwa bali yeye mwenyewe.

Mohamed Said hakuwahi kukumbana na maswali mazito kama haya ya JF,alizoea kutoa mihadhara sehemu mbali mbali ndani ya nchi na nje bila kuulizwa maswali.alizoea kutoa mihadhara kwa watu wasioijua Tanganyika vizuri,alizoea kupigiwa makofi bila kuulizwa chochote na ikiwa aliulizwa basi maswali yenyewe yalikuwa rahisi rahisi au akitumia mbinu dhaifu kama anavyofanya hapa jamvini.

Mkuu Ngongo,

Hata mitume wa MUNGU walikuwa wanapingwa sembuse Mohamed Said binadamu wa kawaida, Mohamed Said hakuna sehemu yeyote ambayo amesema kila mtu lazima haikubali historia ya Wazee wake ni haki yako kupingana naye.

Na kuna watu wengine wanakubaliana naye kwa sehemu kubwa.

Hii ndiyo sifa kubwa ya binadamu mkuu Ngongo,

Mimi binafsi nakubaliana na Mohamed Said sababu akili zetu za madrasa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz madrasa = madarasa.

Mkuu Ngongo,

Hata mitume wa MUNGU walikuwa wanapingwa sembuse Mohamed Said binadamu wa kawaida, Mohamed Said hakuna sehemu yeyote ambayo amesema kila mtu lazima haikubali historia ya Wazee wake ni haki yako kupingana naye.

Na kuna watu wengine wanakubaliana naye kwa sehemu kubwa.

Hii ndiyo sifa kubwa ya binadamu mkuu Ngongo,

Mimi binafsi nakubaliana na Mohamed Said sababu akili zetu za madrasa.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha!!!mbona nilishakusoma muda mrefu wewe ni MBUMBUMBU hauko hivyo unavyotaka watu wakuone uko.

Na maneno machache ya Ngogo yamekufanya ujivue nguo hadharani tunakuona sasa ni mtu wa aina gani

Eti "una hamu ya umashuhuri" kwa kipi ulichonacho wewe mlamba viatu mpaka watu watafute umashuhuri kupitia kwako,bora angeongea mtu kama Nguruvi3 and the like lakini sio wewe MZIGO unakuja na Mashairi hapa na majina ya wazee wako wa mtaani alafu unataka watu wakutilie maanani.Unachekesha

Unataka kujipa cheo ambacho hauna?!

Dunia haiishi vituko!!
Rapherl.
Hivi wewe unapoona watu huku ni mzigo mbona wewe sijaona cha maana uchoandika hapa zaidi ya ku copy na ku paste kama wewe unaona ni vibaya watu wakiandika historia ya wazee wao wa mtaani kama unavyo waita, Kwani Nyerere anatofauti gani na hao wazee jitahidi kuwa mstaarabu unapomuona mtu ni mpumbavu humu jf jua hata wewe kuna watu wanakuona ni mpumbavu zaidi kwahiyo wacha lugha za dharau :nono::nono::nono:
 
Mkuu Ritz madrasa = madarasa.
Ngongojibu hili hapa
Madrasa (Arabic: مدرسة‎, madrasa pl. مدارس, madāris) is the Arabic word (of Semitic origin; viz Hebrew midrash) for any type of educational institution, whether secular or religious (of any religion). It is variously transliterated as madrasah, madarasaa, medresa, madrassa, madraza, madarsa, medrese etc. In English the word normally specifically means any type of religious school or college for the study of the Islamic religion, though this may not be the only subject studied. Today, 20,000 Madrassas educate over 1.5 million students per year.[SUP][1][/SUP]
 
Haaa! hapa ndipo nasema matatizo ya waislam mara nyingi baadhi yao huyakuza bila sababu za msingi.

Tumesikia kuhusu taasisi za kiislam kufanyiwa hujuma. Tumeuliza je, WML !
Watu wamekimbia hawataki kabisa kuliongelea hilo kwasababu wanajua kulikuwa na uchafu nyuma yake.
Wanakimbia ukweli ili kutafuta mahali pa kunyooshea vidole.
Tumesikia wakitajwa akina Commonwelath, world church council n.k.
Hili la Wolrd Muslim linafunikwa funikwa kwasbabu linahusu uhalifu na uharmia ndani ya wanaonung'unika

Ni kwa mtazamo huo huo Gombesugu naye anapatwa na mshangao wa barabara kuitwa Kibaki.
Mwaka jana tukiwa na mnakasha na Mohamed, alisema barabara ya Mshume Kiyate imerudishwa baada ya waislam kulalamika.Akamtuhumu sana Nyerere kwa kufuta majina kama ya Kiyate na akina Bibi Titi Mohamed.

Leo Gombesugu naye anatafuta mahali pa kujishikiza kwasababu Nyerere keshafariki.

Hii barabara imejadiliwa na baraza la madiwani wa Kinondoni, Jiji na mkoa.
Aliyekuwepo katika kutoa hadhi hiyo ni pamoja na Rais Kikwete, Meya wa Jiji, Meya wa Mnaisapaa ya Kinondoni n.k.

Hatukuwahi kusikia mzee yoyote wa Dar es Salaam akisimama kupinga. Hatukuwahi kusikia taasisi yoyote ikisimama kohoji.Kwa maneno mengine wakazi wote wa Dar es Salaama akiwemo Mohamed Said walikubaliana na hili.

Ninachokifikiria hapa sijui nani atabeba lawama maana nikiangalia kwa haraka haraka hakuna mkono wa mfumo na Nyerere hayupo tena.Mtego zaidi ni kutambua kuwa mkazi wa pwani ndugu JK anayeijua historia ya Pwani ndiye aliyekabidhi.

Hili ni tatizo la wakazi wa Dar es Slaama kama basi ni tatizo!
Sasa hebu njooni na hadithi za kuunga unga ili tujue nani amefanya nini na kwanini.

Acheni mambo haya jamani, jamii ina matatizo mengi sana ya kushughulikia. Majungu na fitna havitasaidia kabisa.
Tatizo likiwa ndani ya nyumba yako unachukua hatua na si kusimama na kuangalia jirani kapika nini ili iwe sababu!

NB
***Mohamed, WML bado lina utata, tusipoliongelea basi itabidi tufute habari za EAMWS katika maandiko yetu** ha ha ha

Waheshimiwa Nguruvi3 na Mag3,

I must admit that sometimes when I read your comments I get bit depressed. But still both of you have my utmost respect for your contributions in here.

Ile "habari ya Mwai Kibaki" kupewa jina la mtaa/barabara hapo Mzizima,mimi niliitaja sababu iliniumiza moyo kwa uzalendo na wala si udini,u-wana mjini au u-Dar Es Salaam. Nastaajabu yale maelezo marefu na dhana yalihusu nini!? Lakini haina neno, tuendelee na mnakasha.

Huyo Mwai Kibaki, wala sifa zozote za kuwa kiongozi mwadilifu au alofata uadilifu. Na hii ni kabla ya kuingia madarakani na mpaka kesho. Nafikiri mtakumbuka vitimbi vyao vingi enzi zao za u-playboy na akina D. Moi,Baraka H. Obama Snr na wengineo wengi pale Nairobi!? Mwai Kibaki hana credibility ya maana pahala pengi saana duniani,na hata huko kwao Kenya. Scandals zake na "udhalim" ni nyingi mno na unatisha saana.Hata self discipline yake na dignity yake binafsi ni utata mtupu!? Tuyaache hayo maana si yetu!

Ndo maana nilipostaajabu na kujiuliza hivi hao "viongozi wetu" na Serikali walitumia criteria na kufata taratibu, vipengele vipi mpaka walipoamua kumtunuku hiyo "zawadi"!? Lakini naona wenzangu hapo hamkuona uzalendo wangu bali udini tu!?ahaha!! Viongozi wengi wageni kama vile Patrice Lumumba,Augustino Neto,Ngouabi na wengineo nawakubali saana,lakini huyo Mwai Kibaki nafikiri ni Taifa/Nchi yetu kuzidi kujivunjia heshima tu.

Mag3:
Ile idea yako ya kuleta mada juu ya mada,nafikiri ni nzuri mno. Lakini nachelea isijeleta tafrani na songombingo, na kuzidisha "mtafaruku wa Juma Mbaruku". Nahisi la muhimu tuumalize huu ulopo hapa kwanza kabla hatuja tambukia pengine. Lakini hii shauri tu,nafikiri mtoa mada/shutuma Yericko Nyerere nae pia ashauriwe ili atujuze yakini yake!?

Ahsanta kwa kunisikiliza huo uchechefu wangu.

CC: Ritz, Ami, JokaKuu, Jasusi, Kadogoo, Boko haram, Sheikh Mohamed Said, THE BIG SHOW, Nyambala, mfumo, wimbi la mbele
 
gombesugu,

Nakuomba uwe na subra kutokana kauli za hawa ndugu zetu za kejeli, dhihaka, matusi, na jazba, umeitwa "MBUMBUMBU" "Mlamba viatu" tumewazoea wala usipate shida tunaitwa akili za madra wanywa gahawa si unajua wanywa gahawa na wenye akili za madrasa tunavyofanana kama chines.

Tuwaombee dua ALLAH hawajalie lugha ya kiungwana kwenye minakasha ya kuelimishana kama hii.

Ritz,

Salaam. Wallahi kwa hilo wala sitie shaka,si unajua humu kuna wengine wana take things for granted sababu hawajui wanazungumza na kina nani!? Ahsanta saana Al Akhiy.

Wewe mtu nakusoma na habari yako ni ndefu mno!ahahaha!! Nikija hapo Dar safari,lazim unipeleke pahala nikapate shurba au bokoboko la nguvu!!ahaha!!

Nipo hapa napata shokishoki na "pilipili doria" huku namsoma Sheikh Mohammed Said kwa utuo!ahaha!!!

Ahsanta.
 
Ritz, Salaam. Wallahi kwa hilo wala sitie shaka,si unajua humu kuna wengine wana take things for granted sababu hawajui wanazungumza na kina nani!? Ahsanta saana Al Akhiy. Wewe mtu nakusoma na habari yako ni ndefu mno!ahahaha!! Nikija hapo Dar safari,lazim unipeleke pahala nikapate shurba au bokoboko la nguvu!!ahaha!! Nipo hapa napata shokishoki na "pilipili doria" huku namsoma Sheikh Mohammed Said kwa utuo!ahaha!!! Ahsanta.
Nibakishie Mazide.. Mambo adim sana hayo..
 
Back
Top Bottom