Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

son
nakuongeza ya nne,kwa kuwa umeonesha adabu kidogo,habari ya Ritz Kuwa Banned wewe isikunyime sana usingizi..

FOURTH ESCAPE ROUTE..

Inasema,,inasema..

The fourth escape route is to blame Muslims,Muslims they hate secular educationn..!!,yes they do..!,,they prefer madrasa rather than secular education..!!
T
he imbalances persits because,Muslims,especially along the coast,dislike schooling,Muslim Dwellers around the coast such as LINDI,MTWARA,PWANI,TANGA ETC.,They dislike schooling..
Those who follow this line of thinking convict themselves of inconsistency.It is the Muslims who are demanding proportional representation in education.They can not be accused of disliking education.At any rate,that does not tell us why,a century ago,the Germans built schools along the coast and the vast majority of their eager students were MUSLIMS.
WHY SHOULD OUR INDEPENDENT GOVERMENTS FAIL WHERE THE COLONIAL ADMINSTRATION SUCCEEDED???
Ah sisi ni wapenda kahawa na kashata tuuh..

The Big Show,

Halafu EAMWS inataka kujenga Chuo Kikuu wanahujumu na kwa
kumsingizia Sheikh Hassan bin Amir kuwa ati alikuwa na mipango
ya kupindua serikali ya Nyerere.

Watu wasiopenda shule wanajenga Chuo Kikuu?

Hii JF Allah aidumishe sie tungepata wapi uwanja wa kucheza kidari
kama hapa...

Wapi tungepewa nafasi ya kueleza historia ya Waswahili wa Gerezani
walivyopambana na Gavana Twinning...

Idumu JF!
Hongera Yericko Nyerere!
 
The Big Show,

Halafu EAMWS inataka kujenga Chuo Kikuu wanahujumu na kwa
kumsingizia Sheikh Hassan bin Amir kuwa ati alikuwa na mipango
ya kupindua serikali ya Nyerere.

Watu wasiopenda shule wanajenga Chuo Kikuu?

Hii JF Allah aidumishe sie tungepata wapi uwanja wa kucheza kidari
kama hapa...

Wapi tungepewa nafasi ya kueleza historia ya Waswahili wa Gerezani
walivyopambana na Gavana Twinning...

Idumu JF!
Hongera Yericko Nyerere!


Naam,,
Kwa kweli JF izidi kudumu,na nina mpango wa kutenga vijisenti vyangu ili nizidi kuichangia changia hii Forum idumu daima na daima..
Naskia Naskia Yericko ana fikiria kurusha taulo kati kati ya uringo ili kunusuru uhai wa fikra zake..
Atulie tuli umpe darsa hapa..
Thanks JF kwa kuwa na watu adimu sampuli yako..
 
Last edited by a moderator:
Spike Lee,
Hawana moja wanalojua.

Uko wapi wewe mtu.

Nilifika Harlem 125 Street hapo ndipo Malcolm alipokuwa anatamba wakati wake.
Nikasimama na kujirudisha ilikuwaje pale katika 1960s wakati wa Black Muslim..

Nilikuwa nishaiona movie ulotengeneza ya Malcolm X na nilipofikia New York ndiyo
buku jipya la Malcolm X linatoka naklilinunua Barnes and Blane bookshop kubwa
kabisa hukosi kitabu hapo na kama una wazimu wa kununua vitabu bora usiingie
humo utajifilisi!
Hawa jamaa hawana moja ni ubishi tu unawahangaisha.

Nadhani utakuwa unamaanisha Barnes and Noble.
 
Wewe ni mwanahistoria mzuri katika kuboresha historia yetu na kwa faida ya wanajamvi tupashe habari za harakati za kisiasa za Mwl Nyerere, pale Chuo Kikuu cha Makelele.

ID yako mpya haijifichi, kiswahili huwa kinakupa tabu kuandika, akuna, aeleweki, usubutu na hii makelele hahahahaha!!!!!!!!!
 
At any rate,that does not tell us why,a century ago,the Germans built schools along the coast and the vast majority of their eager students were MUSLIMS.
WHY SHOULD OUR INDEPENDENT GOVERMENTS FAIL WHERE THE COLONIAL ADMINSTRATION SUCCEEDED???
Ah sisi ni wapenda kahawa na kashata tuuh..
@THE BIG SHOW,hizo shule along the coast unafikiri walikuwa wanasoma akina nani? labda kama mjerumani alikuwa anatumia kiboko-at all cost mjerumani na shule zake asingeweza kucheza na indoctrination ya madras
 
Naam,,
Kwa kweli JF izidi kudumu,na nina mpango wa kutenga vijisenti vyangu ili nizidi kuichangia changia hii Forum idumu daima na daima..
Naskia Naskia Yericko ana fikiria kurusha taulo kati kati ya uringo ili kunusuru uhai wa fikra zake..
Atulie tuli umpe darsa hapa..
Thanks JF kwa kuwa na watu adimu sampuli yako..

Jumamosi R Mengi kakupeni 100 million,ili muboreshe elimu,sasa mnatakiwa mzitumie hizi pesa for ELIMU,na sio anything else alaafu mnakuja kulalamika humu.
 
Mengi abarikiwe sana..
Vip nikuongeze ya tano?

kabla ujanipa ya tano,naomba hujibu hii

"THE BIG SHOW,hizo shule along the coast unafikiri walikuwa wanasoma akina nani? labda kama mjerumani alikuwa anatumia kiboko-at all cost mjerumani na shule zake asingeweza kucheza na indoctrination ya madras"
 
The Big Show,Halafu EAMWS inataka kujenga Chuo Kikuu wanahujumu na kwa
kumsingizia Sheikh Hassan bin Amir kuwa ati alikuwa na mipango ya kupindua serikali ya Nyerere.Watu wasiopenda shule wanajenga Chuo Kikuu?Hii JF Allah aidumishe sie tungepata wapi uwanja wa kucheza kidari
kama hapa...Wapi tungepewa nafasi ya kueleza historia ya Waswahili wa Gerezani
walivyopambana na Gavana Twinning...Idumu JF!Hongera Yericko Nyerere!
Mohamed,AMNUT walikuwa na majaribio mawili ya kumuondoa Nyerere katika uongozi kwa sababu ya dini yake. Hili umeliandika mwenyewe.
Hivi ilikuwaje Nyerere amsakame sheikh Amir na kumuacha mlezi Agakhan?

EAMWS ilianzishwa na Wapakistan. Tunao mfano wa Sheikh Malik aliyetuletea hii tabu ya ubaguzi tunayoendelea nayo leo. Tunaye Sheikh Rukara wa World Muslim League ambaye alikuwa mfanyakazi kutoka Burundi lakini akijihusisha sana na shughuli za kisiasa nchini hasa misikitini. Leo ni Rukara yule yule aliyekuwa na passport ya Tanzania ni senator wa Burundi.

Mifano hiyo miwili inatosha kukupa picha Sheikh Amir aliyewahi kuendesha jaribio la kumuondoa Nyerere madarakani alikuwa mtu wa namna gani. Nadhani hadi hapo neno ''kumsingizia'' limeshapoteza thamani yake.
 
Ndio maana Nyerere,hakutaka kuandika kitabu,ameenda na mengi peponi-ufisadi umeanza kabla nchi haijapata uhuru

Ha ha ha!!

Mkuu nasikia Rafiki yangu Ritz kala Ban,dah!,pole yake ila asijali mwambie Spike Lee yupo hapa kuchukua nafasi yake.

Mkuu huu mnakasha umekuwa na vitisho vingi mara...nitakupuuza... Nitakuweka kwenye list ya nini sijui....sasa labda wajadiliane wenyewe tuh kwasababu ndo "intellectual wannabe" alichoomba kutoka kwa mwalimu wafungue uzi mpya wapeane "Darsa"...

Hata hivyo Mashairi yamepungua humu ndani na yale majina ya "wazee wetu"yaliyokuwa yameanza kujaza page humu
 
Last edited by a moderator:
The first escpe route is to veil the existence of the problem,
When nyerere was stepping down as the president in 1985 he addressed the Muslim question.He acknowledged the promise made to muslims before Tanganyika's Independence;and after saluting their patience,he bravely declared that the imbalances had been removed.I am not aware of anyone else,apart from nyerere who had made that claim.The disadvantage of that position is that it fails to solve the problem,it merely veils its existence by pretending that the problem has been solved.Even if his claim was clearly in error,Nyerere could,at least,be credited for taking the bull by the horns
Hapa nina tatizo kabla sijachangia mchango wako. Hivi katika marais tuliowahi na tulio nao nani anaweza kuwa credited kwa kuongelea matatizo yanayodaiwa kuhusu waislam. Naomba msaada kidogo.

*****Big show naomba hoja ilitujadili hoja zako nzito tukiwa na ufahamu mzuri***
 
Jumamosi R Mengi kakupeni 100 million,ili muboreshe elimu,sasa mnatakiwa mzitumie hizi pesa for ELIMU,na sio anything else alaafu mnakuja kulalamika humu.

Mkuu Mengi kawapa Hela BAKWATA au Waislam?! because as long as I can remember BAKWATA ni kigango cha Kanisa.kwahiyo nadhani hicho chuo hakiwahusu na Mfumo kristo bado upo pale pale.
 
Wanajamvi, nimeweka majadiliano yangu na Mohamed hapa ili kupata taswira halisi ya kile kilichojadiliwa hadi kufikia neno Makerere. Naona spinning zimekuwa nyingi na hili linafanyika makusudi.

Hata hivyo bandiko hili linahitaji mtu mwenye kusoma na kuelewa kubaini kuwa majibu yapo ndani.
Kwa anayesoma kama hadithi bandiko hili halitamsadia kwani lipo katika kiwango tofauti.

Kuna swali muhimu sana nimeuliza na hakuna aliyejitokeza kulijibu.
Endapo hakuna jibu la swali langu basi nasimama kusema hoja yangu imejijibu na inasimama bila ushabiki.
Swali ni hili:
Hivi tunapoongelea harakati huwa tunamaanisha kitu gani? Na hapa naongeza, wakati wa mkoloni harakati zilijulikana kwa kitu gani
?
Mohamed Said;6124239]Nguruvi,Lao nami nitauliza swali.Tafadhali lieleze jamvi harakati za Nyerere Makerere ni zipi kiasi zinaweza kuandikwa katika historia kuwa zilikuwa nataathira kwa ukoloni,Nguruvi,Utahangaika sana katika historia hii.Ridhika na unavyoona imekukalia sawa.Unajua kwa nini mimi niko bukheri wa hamsa ishirini?Naamini kile ninachokijua.Nakushauri na wewe amini unachoamini.Amini kuwa TANU iliasisiwa Pugu na hutopata shida ya kuniuliza hili wala lile.Hustaajabu kwa nini mimi siulizi mtu swali lolote?Siulizi kwa kuwa najua na ukijua unauliza nini
Hapana staajabu kabisa kwasababu unajua kuwa kuna upotoshaji sasa utauliza nini nawe upo katika ''mission''. Mohamed wewe kufahamu jambo si tatizo, tatizo ni pale lile unalolifahamu unataka kulifanya la kweli hata kama halina ukweli na unataka kupotosha hata kama unajua unapotosha.

Mfano, huwezi kuandika kuwa political career ya Nyerere imeanza baada ya kukutana na Abdul Sykes!
Ni wewe wewe uliyeandika kuwa Nyerere alikutana na Dosa katika national conference mwaka 1947.

Hapa si national conference ya chama cha mpira au wapiga soga ni ya chama cha siasa ambacho leo ndio matunda ya kazi yake yanaonekana.

Tunajua kuwa Nyerere alikuwa na harakati akiwa Makerere
.
Na zaidi ukasema alipokuwa ulaya alikuwa exposed katika international politics. Hilo lilitokea kabla ya kukutana na Sykes.

Sasa unaposema career yake imeanza wakati anakutana na Sykes yaweza kuwa kweli kwa mujibu wako, lakini si kweli kwa mujibu wa historia na mujibu wa maandiko yako.

Hapa ni jitihada za kumdhalilisha Nyerere na kujenga ngazi kwa Sykes.
Nasema kila siku historia iandikwe kwa kila mtu na ushiriki wake si kwa kukumiza maneno ilimradi tu yale maana ya kile ulichokusudia.

The bottom line ni kuwa habari zako hazina mtirirko, ni rahisi sana watu kuchanganya watu.
Unafanya hivyo makusudi ili baadaye utakapochemeka agenda yako hakuna wa kuhoji maana una majibu either way.

Mohamed wewe huulizi kwasababu unajua kuwa swali lako litazaa maswali.
Unakumbuka tulianzia Annur na ilipofika World Muslim League umegota.

Unajua nini kimeendelea hadi WML wakafunga virago lakini husemi.
Unachosema ni kile cha makanisa kuruhusiwa kuwa na mahusiano ya kimataifa.
Sasa utauliza nini wakati unajua kuna unayoficha
Mohamed Said;6124239]Nguruvi,Lao nami nitauliza swali.Tafadhali lieleze jamvi harakati za Nyerere Makerere ni zipi kiasi zinaweza kuandikwa katika historia kuwa zilikuwa nataathira kwa ukoloni.
Ama kuhusu kugota sijaelewa umekusudia kitu gani.Ikiwa umekusudia kuwa sikukupa jibu unalopenda hii ni
Mohamed, si umeandika na imeandikwa kwingineko kuwa Nyerere alikuwa katibu wa Tawi Tabora.
Kwani tawi lile lilkuwa la chama cha walimu, wacheza mpira au wafugaji!
Jibu ni kuwa kilikuwa chama kile kile alichokiongoza Dr Kyaruzi na Abdul Sykes.

Na huko Makerere alipotaka kuanzisha chama cha TAWA aliambiwa tayari kupo kingine.
Hapa si kuwa alikuwa ameshaanza harakati za kuundoa ukoloni.
Unless migomo ya Dockworkers ndiyo harakati pekee ukweli utabaki kuwa Nyerere hakuanza siasa na Abdul Sykes na wala Sykes hakumfundisha siasa.Nitty gritty

Ukitaka kujua harakati zake ni pale alipokuwa na uwezo wa kusoma katiba na kuilinganisha na za washirika wake wengine hadi kubadili chama kuwa movement ya kisiasa kabisa. Hilo liliwezekana kwasababu alikuwa Makerere anasoma na ndicho kilichomtfoautisha na wazee wake na wako aliowakuta Dar.

Hata wewe umeandika kuwa wazee wako walimtaka kwasababu ya usomi wake.
Usomi huo haukupa Butiama bali Makerere na Scotland na ndio alioutumia ku-tranform siasa za wakati huo kuwa modern politics.

Kuanzia mwaka 1929 hadi 1950 alipokuatana na Sykes, na kuanzia 1952 hadi 1960
tulipopata madaraka ya ndani ni wazi muda aliotumia kuongoza alileta mabadiliko haraka zaidi kuliko muda wa nyuma.

Hili halimfanyi Nyerere awe superior au inferior kwa wengine ni mchanganyiko wa harakati.
Inategemea harakati unazitafsiri vipi lakini kwa mwenye kusoma, kutafakuri na kuelewa harakati ni ujumla wa mambo iwe umaarufu au usomi n.k.

Kuhusu WML ninaposema kugota nina maana hiyo uliyosema kwamba hujui.
Inashangaza unaweza kujua inside information za maeneo kama Laibon wakuu wa nchi walipokuwa wanaongea, habari za wizara ya elimu na funguo za Ikulu zilizoibwa wakati wa Mwinyi lakini la World Muslim League hulijui.
Si wewe Mohamed labda mwingine.

Ni hapo unapoongeza curiosity ya watu wengine kuwa uliwezaje kujua mashirika ya kanisa yaliayoandikishwa nchini wakati hujui WML inayokuhusu.

Unawezaje kujua habari za kanisa kuilazimisha serikali kufanya abcd wakati hujui harakati za Sheikh Rukara ambaye mlikuwa bega kwa bega katika kupigana na ''dhulma''.
Haiwezekani umfahamu Sheikh Malik Mpakistani ushindwe kujua habari za Sheikh Rukara.

Endapo hujui hilo la WML na Rukara,basi la Sheikh Amir na EAMWS utalifahamu vipi?
Hapa hakuna double standard ni hoja kwa hoja
 
Mohamed,AMNUT walikuwa na majaribio mawili ya kumuondoa Nyerere katika uongozi kwa sababu ya dini yake. Hili umeliandika mwenyewe.
Hivi ilikuwaje Nyerere amsakame sheikh Amir na kumuacha mlezi Agakhan?

EAMWS ilianzishwa na Wapakistan. Tunao mfano wa Sheikh Malik aliyetuletea hii tabu ya ubaguzi tunayoendelea nayo leo. Tunaye Sheikh Rukara wa World Muslim League ambaye alikuwa mfanyakazi kutoka Burundi lakini akijihusisha sana na shughuli za kisiasa nchini hasa misikitini. Leo ni Rukara yule yule aliyekuwa na passport ya Tanzania ni senator wa Burundi.


Mifano hiyo miwili inatosha kukupa picha Sheikh Amir aliyewahi kuendesha jaribio la kumuondoa Nyerere madarakani alikuwa mtu wa namna gani. Nadhani hadi hapo neno ''kumsingizia'' limeshapoteza thamani yake.


Nguruvi,
Hizo zimepitwa na muda.

Lete mpya.
 
Nguruvi,Hizo zimepitwa na muda.Lete mpya.
Ni hoja! ambayo hujaweza kuijibu kwahiyo utatumbukiza kejeli, dharau, maneno kama nimekusoma, sina ujuzi n.k.

Kama hilo la AMNUT limepitwa na wakati, hoja yangu imejibu vizuri kuwa neno ''kusingiziwa'' huna uhakika nalo.
Hata hivyo kwa vile limepitwa na wakati, sasa tujadili hili tulilo nalo.

Mohamed, Nini World Muslim League ilikuwa inanfanya nchini?
Je, hilo ni shirika la waislam
Nini ushiriki wako katika harakati na sheikh Rukara mkiwa na WML huku tukijua alikuwa ana harakati za kisiasa za nchi kwake na ndani ya nchi yetu!

Hili halijapitwa na wakati
 
Barubaru ndugu yangu,
Kitabu hakitakiwi kisomwe kikiwa na prejudice au preconceived notion. Ni kwa msingi huo utalubaliana nami kuwa UDSM wanahaki ya kutofanyia review kitabu cha Mohamed. Tena Mo akaongopa kuwa hata reference hairuhusiwi.

Kama una kijana anayetakiwa kupata maarifa basi usimruhusu asome kitabu hiki ili kutompunguzia intellectual capacity ya analysis. Kitabu kina conclusion kabla ya maelezo!

Kwa msomaji anayepinga au anayeunga mkono kwasababu ya dini ni mjinga.
Mjanja ni yule anayesoma macho yakiwa maangavu na akili ikifanya kazi.

Haya ni maandishi ya mwanadamu aliyejifungia chumbani.
Narudia hayana uhusiano na Uislam kwa namna yoyote!

Msiwatishe watu, hakuna chembe ya Uislam katika maandishi haya. Uislam ni dini ya mwenyezi mungu iliyo na taratibu na misingi yake.Mbinu hizi mumezitumia sana kupata watu huko mitaani na kuwageuza misukule na matunge! Hii ni shiriki kubwa enyi mlioamini!!

Mkikubali kuwa hapa kuna Uislam, basi mtakuwa mnadhalilisha dini ya mwenyezi mungu. Mkikubali haya ni maneno ya waislam basi mnaudhalilisha umma wa waislam wa Tanzania. Tafadhali sana msilete shiriki !

Hivi kweli uwe mkristo au Mwislam unakubali kwa dhati (na wewe Baru baru ukiwemo) kuwa Tanzania ni mwanchama wa common wealth kwasababu ya mfumokristo! Kabisa unakubali hilo

Eti tuandike kitabu kupinga hilo! Phweeee! Real. Acheni msidhalilishe waislam bwana, wewe Baru baru ni role model sasa hivi mnatia wasi wasi jamani!

Nguruvi,
Nimekuwekea hapo nyuma tu jinsi Abdu na Nyerere walivyosigana
kuhusu historia ya TANU.

Au imekupita?

Abdu anaanza na baba yake Nyerere anaukataa mwanzo huo wa
harakati.

Miaka zaidi ya 60 imepita toka Abdu aikatae historia ya uongo leo
sisi tuko hapa JF tunabishana lakini hamjapata ujasiri wa kusema
historia ya TANU ianze Butiama.

Nimekuwekeeni vitu vingi sana.
Nyie mmebakia na maswali kama tuko Mkwajuni kwa Hakimu Kiruka.
 
Ni hoja! ambayo hujaweza kuijibu kwahiyo utatumbukiza kejeli, dharau, maneno kama nimekusoma, sina ujuzi n.k.

Kama hilo la AMNUT limepitwa na wakati, hoja yangu imejibu vizuri kuwa neno ''kusingiziwa'' huna uhakika nalo.
Hata hivyo kwa vile limepitwa na wakati, sasa tujadili hili tulilo nalo.

Mohamed, Nini World Muslim League ilikuwa inanfanya nchini?
Je, hilo ni shirika la waislam
Nini ushiriki wako katika harakati na sheikh Rukara mkiwa na WML huku tukijua alikuwa ana harakati za kisiasa za nchi kwake na ndani ya nchi yetu!

Hili halijapitwa na wakati

Nguruvi,
Unaikumbuka ile list yangu?
 
gombesugu, niliwahi kuandika hivi;
Kama nilivyosema mwanzo kuhusu post yako ya kwanza kabisa, mimi Mag3 niliipokea kwa moyo usio na doa and my greatest expectation was for you to be for real!
I really had great expectation...how wrong I was! Kumbe wewe ama ni mongoni wa wale wale aliowalenga Mohamed Said...the easily manipulated and duped au ni part and parcel katika lile "gang of goboes" , hebu soma hii simulizi/hadithi kwa umakini halafu, uitafakari halafu ujiulize maswali kadhaa;
Mohamed Said said:
In 1945 Abdulwahid na askari wenzake wa Burma walikaa kitako kutafakari mambo yaliyowasibu katika vita na kuufikiria mustakbal wa Tanganyika. Iliamuliwa kuwa askari wa Burma kutokaTanganyika waliokuwa batalioni ya sita wawe ndio chanzo cha chama cha siasa kupigania uhuru wa Tanganyika kwakuuhamasisha umma. Wote waliafiki wazohilo.

Jina lililochaguliwa kukitambulisha chama hicho lilikuwa TanganyikaAfrican National Union (TANU). Ally Sykes anamkumbuka Abdulwahid aliandika jina la chama hicho kilichokusudiwa ndani ya shajara yake. Hawa askari wa Burma walikuwa wakifahamu vyema kuwa tayari huko nyumbani kulikuwapo na AfricanAssociation, chama ambacho kilikuwa kikipigania haki za Waafrika.

Abdulwahidalitarajiwa afahamu hili zaidi ya wenzake kwa sababu baba yake ndiye aliyekianzisha chama hicho akiwa katibuwake wa kwanza. Lakini suala la jinsi wangelivyokiunganisha chama hicho kipyacha TANU na kile cha African Associationili kudai uhuru, halikujadiliwa."
Mohamed Said anaendelea kwa kueleza jinsi baada ya kurudi walikuta Tanganyika African Association (TAA) imezorota na mwaka 1950 wakafanya mapinduzi yaliyofanikiwa kwa nguvu ya ngumi badala ya nguvu ya hoja. Katika uchaguzi uliofuatia mapinduzi hayo Dr. Vedasto Kyaruzi alichaguliwa kuwa Raisi na Abdulwahid Sykes Katibu.

Wakoloni kwa hila za kufifisha nguvu za TAA wakawapa uhamisho wa nguvu waliokuwa viongozi wasomi na vinara wa TAA, Vedasto Kyaruzi na Hamza Mwapachu kwa kilichotafsiriwa kama kifungo cha kisiasa.
Mohamed Said said:
Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President...

President? mpaka wakati huo jina TANU halitajwi popote na pia haielezwi jinsi Abdulwahid alivyoukwaa Uraisi wa TAA na je Ukatibu alimkabidhi nani. Ukweli ni kuwa alikaimu tu hizo nafasi mbili hadi uchaguzi ulipokuja kufanyika baadaye...
gombesugu chaguzi zinazoelezwa na zilizofanyika wakati huo ni hizi;

  • Mwaka 1953 Mwalimu Nyerere alipochaguliwa kuwa Raisi wa TAA katibu wake akiwa Abdulwahid Sykes...hata hivyo haieleweki kwa nini uchaguzi huu ilibidi ufanyike kama TAA tayari ilikuwa na Raisi.
  • Mwaka 1954, Mwalimu Nyerere kwa mara nyingine alichaguliwa kuwa Raisi wa kwanza muasisi wa chama kipya cha siasa TANU makamu akiwa John Rupia na Katibu Abdulwahid Sykes.
Mohamed Said said:
Hizi ndizo fikra za Kiwanuka, ambaye aliaminiwa na CCM kusimamia utafiti na uandishi wa historia mahsusi ya TANU. Kilichomkera ni kusema kuwa Waislam ndiyo waliokuwa mstari wa mbele katika kudai uhuru wa Tanganyika.
Kwa makusudi Mohamed Said hawezi hata kuitaja dini ya huyo Kiwanuka, kutaja dini kutafifisha madai yake kwani Muislaam yeyote analazimika kutetea hoja zake hata kama hazina ukweli. Mimi ni Mkristo ingawa si Mkatoliki lakini najua kuwa miongoni mwetu tunaompinga na kukatalia kabisa madai yake wapo Waislaam tena safi kabisa. Katika kuwabagua Watanzania kwa misingi ya dini, hawezi kuamini kabisa uwezekano huo wa kuwepo Waislaam who see him for what he is na katu hawamuungi mkono.
Mohamed Said said:
  • Haiwezekanikabisa mtafiti akafanyautafiti kuhusu TANU na asimtaje Abduwahid.
  • Haiwezekani kabisa akatajwa Abdulwahid na ikaachwa kutajwa Al Jamiatul Islamiyya.
  • Haiwezekani kabisaikatajwa Al Jamiatul Islamiyya na ikaachwa kutajwa TANU na kinyume chake nihivyo hivyo.
Hitimiso - Ingawa Waislam ndiyo walioleta uhuru wa Tanganyika, manufaa ya uhuru ni madogo sana kwao.
Huyu ndiye Mohamed Said ambaye kila kitu hukiangalia kwa mtazamo wa dini...je, hayo mawazo hayo ya kichochezi aliyatoa wapi? Soma hapa;
Mohamed Said said:
2. Dr. Hussein Malik came to Tanzania from Pakistan in 1970s as an expatriate teacher of mathematics employed by the government. Apart from teaching mathematics he also volunteered to teach Islamic studies to all secondary schools of Dar es Salaam and surrounding areas. Dr. Malik taught Islamic knowledge in a way that no other scholar had done before him in Tanzania. There was a distinct system of teaching Islamics pursued by all sheikhs in East Africa.

It was through the teaching of Prof. Malik that Muslims particularly the new generation came to understand itself and be aware of the anti-Muslim force against Islam. These young Muslims, a product of post independence conflict between Islam and Christianity in the struggle for power were a different crop. They kept away from alcohol and all vices common to the urbanised educated young aspiring middle class with white collar jobs.
Pro. Malik, mpakistani aliyepanda mbegu ya chuki mioyoni mwa vijana wa Kiislaam mojawapo akiwa Mohamed Said!...kwa mbali nakumbuka nchi ya Jamhuri ya Kiislaam ya Pakistan ilivyozaliwa mwaka 1947 baada ya nchi ya India kumeguka vipande viwili. Pamoja na kuwa nchi ya Kiislaam, mwaka 1971 Pakistan yenyewe ilibidi nayo imeguka na kuzaliwa nchi ya Kiislaam ya Bangladesh. Dhambi ya kubaguana haina mwisho...
 
Back
Top Bottom