Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hapo kwenye blue sio kweli.

Hapo kwenye red kwa maneno yako hayo lazima upate ufadhili Marekani.

Usahihi upoje?

Kwanini unaamini kuwa hapo kwenye rangi nyekundu ndipo palipo shinikiza ufadhiri huo?

Je ungependa kuuona utangulizi wa kitabu hicho ambao ndio muongozo wacho?
 
Usahihi upoje?

Kwanini unaamini kuwa hapo kwenye rangi nyekundu ndipo palipo shinikiza ufadhiri huo?

Je ungependa kuuona utangulizi wa kitabu hicho ambao ndio muongozo wacho?

Yericko,
Sasa Ubalozi wa Marekani ndiyo wauzaji, wachapaji au ndiyo nani katika hiki kitabu chako?
Wamefungua duka la kuuza vitabu au nini khasa?
 
Spike,
Yericko hana ujanja wa kuzungumza na Wamarekani.

Kama anataka tuzungumze hayo ya ugaidi na afungue uzi mpya Insha Allah nitakuja
kutoa darsa.

Nakuwekea kitu hapa chini kutoka ''paper'' niliyotoa Chuo Kikuu Cha Ibadan 2006.
Paper hii iliniponza nikatiwa mbaroni uwanja wa ndege 2007 nilipokuwa narudi safari.

Huu ndiyo ulikuwa utangulizi wangu:
‘TERRORISM’ IN EAST AFRICA - THETANZANIAN EXPERIENCE

Islam, Terrorism and African Development
Introduction
The current threat of attacks in countries whose governments have closealliances with Washington is the latest stage in a long struggle against theempires of the west, their rapacious crusades and domination. The motivation ofthose who plant bombs in railway carriages derives directly from this truth.What is different today is that the weak have learned how to attack the strong,and the western crusaders' most recent colonial terrorism exposes"us" to retaliation.

John Pilger – ‘The Unmentionable Source of Terrorism’

In order to understandthe Tanzanian political environment and to appreciate and comprehend the impactof ‘terrorism’ as defined by the United States, first we need to point out that this phenomenon was and still is a problem which involves the government of the United States and to a limited extent its allies.

The shock of 9/11 forced the United States to not only to include its allies in its war against terrorism but also other governments not forming part of the United States geo-political sphere like Tanzania.

It is in this way that Tanzania and other African countries were included in the war against terrorism.

Secondly, we have to look into the perception of associating Islam as anideology which nourishes terrorism, the notion which seems to be gaining ground.

Thirdly, we have to qualify the notion of ‘terror.’

What kind of violence qualifies to be considered as an act of ‘terrorism’ and thereforedeserving condemnation?

At the moment it seems it is only when civilians aretargeted for attack that the act assumes the connotations of ‘terror.’

This is in contrast where modern weaponry is used by nation states in annihilation of apeople. Examples of the latter are abound.

The sight of a suicide bomber intelevision screens is just as familiar as the sight of the Apache helicopters supported by heavy fortified tanks bombing, killing and maiming innocent civilians, be it in Afghanistan, Gaza or Iraq.

Now where do we draw the line between these two scenarios?

Spike,
Wakati nazungumza hayo hayo Wamarekani wenyewe ninao hapo ''cameras rolling...''
Wakaleta taarifa Dar es Salaam wapate habari zaidi za huyu ''terrorists sympathiser.''

Wakanivizia hadi wakanidaka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tena natoka Iran kwa
mwaliko wa Serikali ya Iran.

Mohamed,

Kwanini umekuwa ni binadamu mwenye ubora mimi sana?

Ninakuambia kuwa mimi nimeandika kitabu kiitwacho "Vita dhidi ya Ugaid"

Na nimekifikisha mezani pa ubalozi wa USA, wakaomba kujiridhisha Na wamevutiwa nacho,

Mohamed nakujuza tu kuwa ni kweli tabu kilichomeza mda mwingi na pesa nyingi ili kukiandika.

Japokuwa ni mzee lakini umeathiriwa na kasumba ya ubora mimi na umimi zaidi ndugu yangu,

Kwakuwa mada haihusu suala hili naomba tuliache litulie lakini nitakulisha maarifa na tunu iliyo kwenye kitabu hicho kwa ufupi ufupi ikibidi, kwa lengo la kuboresha mnakasha wetu.

Tuendele.....
 
Yericko,
Sasa Ubalozi wa Marekani ndiyo wauzaji, wachapaji au ndiyo nani katika hiki kitabu chako?
Wamefungua duka la kuuza vitabu au nini khasa?

Nimeeleza kwa kiswahili fasaha kabisa kuwa Ubalozi wa USA hapa nchini ni wafadhiri wa mradi huo,

Mengi zaidi ni ya ndani.....
 
Nimeeleza kwa kiswahili fasaha kabisa kuwa Ubalozi wa USA hapa nchini ni wafadhiri wa mradi huo,

Mengi zaidi ni ya ndani.....

Yericko,
Kiswahili fasaha ni ''wafadhiri.''

Siku hizi Balozi za Marekani wamekuwa wafadhili wa vitabu?

Hebu wajue kidogo Waamerika kabla hatujaendelea mbele.

Hii hapo chini nawaeleza Waamerika na wenyewe wamo ndani
ya chumba cha mkutano wananisikiliza kwa makini ingawa
wamenuna:
The Bombing of the US Embassies in East Africa

‘Chickens Coming Home to Roost'
Discriminate killingof innocent people or ‘terrorism' as the analogy is known today has never beena problem to Africa save the terror unleashed on its people by the colonisingpowers, notorious among them were the Portuguese in Mozambique and GuineaBissau, the French in Algeria during the war of liberation, Boers in SouthAfrica, and the British in Kenya during the Mau Mau.

Power is addictive toterror.

Acts of terror were not a monopoly of the colonial governments only.Indigenous African governments have their own share. In East Africa there havebeen summary executions in Zanzibar under Abeid Amani Karume.

While under JomoKenyatta and Daniel Arap Moi Kenya has experienced torture and executions,Uganda experienced mass executions during the reign of Idi Amin Dada. In otherwords Africans have experienced terror even before the word ‘terror' becamefashionable.

There is no need to mention the 1994 Rwandan genocide. All this isenough proof that Africa has tasted terror from the colonising authorities aswell as terror from its own indigenous governments.
The United States ismore concerned with international terrorism while Africa is obsessed withdomestic terrorism. The question which the United States should reflect upon isthat why is it that the United States is considered a legitimate target for attackby terrorists?

In the answer probablylies the key to solving the problem. It is a pity that terrorism as a field ofinquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism. The inquiry hasbeen monopolised by scholars from societies which at most have suffered one ortwo bomb attacks.

This erodes the realities of the subject as would beperceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing butsufferings. Selective sampling will always as a rule provide wrong premise.Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who wentthrough the extermination camps during the Holocaust.
[1]

We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived andexperienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented withthe same intensity as the world had documented the holocaust.

[1] See‘The Last Days of Auschwitz 50 Years Later:Untold Stories From the Death Camp,' Newsweek,January 16, 1995.
 
Mohamed,

Kwanini umekuwa ni binadamu mwenye ubora mimi sana?

Ninakuambia kuwa mimi nimeandika kitabu kiitwacho "Vita dhidi ya Ugaid"

Na nimekifikisha mezani pa ubalozi wa USA, wakaomba kujiridhisha Na wamevutiwa nacho,

Mohamed nakujuza tu kuwa ni kweli tabu kilichomeza mda mwingi na pesa nyingi ili kukiandika.

Japokuwa ni mzee lakini umeathiriwa na kasumba ya ubora mimi na umimi zaidi ndugu yangu,

Kwakuwa mada haihusu suala hili naomba tuliache litulie lakini nitakulisha maarifa na tunu iliyo kwenye kitabu hicho kwa ufupi ufupi ikibidi, kwa lengo la kuboresha mnakasha wetu.

Tuendele.....

Yericko,
Hiyo ndiyo lugha utakayoelewa.

Waulize watu wote waliopitia dhulma
Hivi iweje lugha zenu zinafanana?

Hivi siku hizi Balozi zimekuwa wachapa vitabu?

Unaandika kitabu badala ya kuwapa Oxford University Press
na mfano wa hao unakipeleka kwenye ubalozi?

Je hii hapa chini watapenda niwape mswada wangu?:

The Bombing of the US Embassies in East Africa

‘Chickens Coming Home to Roost'
Discriminate killingof innocent people or ‘terrorism' as the analogy is known today has never beena problem to Africa save the terror unleashed on its people by the colonisingpowers, notorious among them were the Portuguese in Mozambique and Guinea Bissau, the French in Algeria during the war of liberation, Boers in SouthAfrica, and the British in Kenya during the Mau Mau.

Power is addictive to terror.

Acts of terror were not a monopoly of the colonial governments only.

Indigenous African governments have their own share. In East Africa there havebeen summary executions in Zanzibar under Abeid Amani Karume.

While under JomoKenyatta and Daniel Arap Moi Kenya has experienced torture and executions,Uganda experienced mass executions during the reign of Idi Amin Dada.

In other words Africans have experienced terror even before the word ‘terror' became fashionable.

There is no need to mention the 1994 Rwandan genocide.

All this isenough proof that Africa has tasted terror from the colonising authorities aswell as terror from its own indigenous governments.

United States ismore concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism.

The question which the United States should reflect upon isthat why is it that the United States is considered a legitimate target for attackby terrorists?

In the answer probablylies the key to solving the problem.

It is a pity that terrorism as a field ofinquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism.

The inquiry has been monopolised by scholars from societies which at most have suffered one ortwo bomb attacks.

This erodes the realities of the subject as would beperceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing but sufferings.

Selective sampling will always as a rule provide wrong premise.

Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who went through the extermination camps during the Holocaust.
[1]

We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived and experienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented with the same intensity as the world had documented the holocaust.

[1] See‘The Last Days of Auschwitz 50 Years Later:Untold Stories From the Death Camp,' Newsweek,January 16, 1995.
 
Hahaaahaa hili limekustua sana mpaka ukajizua ukashindwa mkuu,

Nilijua tu nikikupa hiyo lazima uhamaki.

Poleeeee mkuu kwakukukwaza.

Yericko,
Pole naipokea maana umenivunja mbavu.

Hii haihamakishi hii ni senema ya bure
Mnazi Mmoja tunakwenda kumuona chale
mnene (chale mbwambwabwa) na chale
mwembamba.

Stan Laurey na Oliver Hardy.
 
Kadogoo,

..sasa kama Waislamu wote ni kitu kimoja, kwanini unazungumza kama mtu anayeona fahari pale shule za Bakwata zinapofanya vibaya??

Mohamed Said,

..kwani wewe lengo lako ni kumnasa Nyerere na udini?

..zaidi, kwanini Waislamu wa Bakwata na Baraza Kuu hamkai pamoja na kumaliza tofauti zenu?

..

Jokakuu;
Mimi sifurahii kufeli kwa Wanafunzi wa Bakwata au wa Necta wote ni Wanafunzi wa Tanzania! uhasidi wa aina hiyo usininasibishe nao kabisa kwasababu Hasidi ni mtu mbaya kabisa! najua kuwa kufeli kwa wanafunzi ndio mwanzo wa kurudisha maendeleo ya nchi nyuma sababu tutakuwa na vijana wengi wasio na elimu nzuri na kusababisha umaskini ktk nchi yetu!

Tulimtimua mkoloni ili watoto wetu wote wapate elimu lakini tuliowakabidhi madaraka ya nchi walitugeuka na kufanya ubaguzi! sasa matokeo yake nchi ni maskini na imekuwa ombaomba kwasababu zaidi ya nusu ya raia wa nchi hii wamekosa elimu ambayo ingesaidia kujenga nchi yetu!
Tumejenga taifa la matabaka ya wenye haki ya kupata elimu na wasiostahili! kinyume chake tunaona nchi imeendelea kwa kuwa na idadi ya kutisha ya machinga, walalahoi, Mama ntilie, wapiga debe, wauza migahawa, barafu nk, nk,!

Jokakuu;
Waislamu wa nchi hii hakuna kitu kinawaudhi na kuwanyima usingizi kama kutengana ama iwe na Waislamu wenzao ama iwe ni Wa TZ wenzao! mfano mdogo kabisa ni Zanzibar, ambayo raia wake karibu wote ni Waislamu, pale walipokuwa ktk mgogoro mkubwa tangu mwaka 1995, Common Wealth walijaribu kuwapatanisha bila mafanikio! Serikali ya Mkapa nayo ikajaribu kupatanisha kiaina yake bila mafanikio! lakini mara walipoamua kupatana wenyewe, leo wanaishi kwa amani!

Bakwata haina support ya Waislamu bali inabebwa na mfumo Kristo kupitia Serikali ndio maana Mufti kapewa Mlinzi na anauwezo wa kumtia ndani Muislamu yoyote anapotaka! Sasa unaposhauri Baraza kuu wakae na Bakwata kumaliza tofauti zao sijui watamalizaje wakati kuna tofauti kubwa sana kati yao!
Mwaka 2012 Waislamu wote mpaka na Bakwata walikubaliana kuishinikiza Serikali juu ya Mahakama za Kadhi! baada ya muda mfupi wenzao Bakwata wakaitwa na Waziri Mkuu na kufanya nae kikao na kutangaza kuanzishwa kwa Mahakama za Kadhi zisizotambulika kiKatiba!

Sasa kama Bakwata ndio hiyo, muafaka utapatikana vipi? ndio maana Waislamu wameisusia na kuiacha Bakwata ishirikiane na Serikali na washirika wao!
 
Kwa hiyo? wafanyweje Sheikh?

Wickama;
Ni kweli kabisa anayosema Mohamed Said; Waislamu hawashughulishwi tena na Bakwata! kabla ya mwaka 1991, Waislamu wengi hawakuijua Bakwata lakini baada ya Vijana kwa Wazee wa kiislamu kuvamia makao makuu ya Bakwata, Chuo Cha Alharamain, na Ofisi za Mkoa wa Dar es salaam mwaka 1991, waliokuwa wakiilinda bakwata walijitokeza waziwazi kuzuia jaribio hilo la mapinduzi ya Waislamu dhidi ya Baraza lao! mimi nilikuwepo hapo Kinondoni na kushuhudia Maafisa usalama wakirandaranda na kutazama Vijana ngangari waliokuwa tayari kwa lolote!

inaendelea.......
 
Mzee MS, ahsante, nimeisoma. Kwa vile majibu hayawezikuja na sasa hivi, ushauri ni kuwa mwanao kama una hakika anafanya vizuri na unahofu sana yatamkuta hayohayo basi nae atumie Stephen Owen, kama dharura wakati mna-sort ukweli wa chumvi iko wapi.

Wickama;
Kubadilisha jina kuna madhara yake! mfano wakati wa ukoloni baadhi ya Waislamu walibadilisha majina ili wapate elimu lakini ndio wakabadili na dini kabisaaaa! mfano; Mzee Peter Kisumo alikuwa akiitwa Abdallah Kisumo na kujiita Peter ili asome na ndipo akawa Peter kikwelikweli! sasa nani anaetaka mtoto wake abadili dini ili apate elimu?
 
Jokakuu;
Mimi sifurahii kufeli kwa Wanafunzi wa Bakwata au wa Necta wote ni Wanafunzi wa Tanzania! uhasidi wa aina hiyo usininasibishe nao kabisa kwasababu Hasidi ni mtu mbaya kabisa! najua kuwa kufeli kwa wanafunzi ndio mwanzo wa kurudisha maendeleo ya nchi nyuma sababu tutakuwa na vijana wengi wasio na elimu nzuri na kusababisha umaskini ktk nchi yetu!

Tulimtimua mkoloni ili watoto wetu wote wapate elimu lakini tuliowakabidhi madaraka ya nchi walitugeuka na kufanya ubaguzi! sasa matokeo yake nchi ni maskini na imekuwa ombaomba kwasababu zaidi ya nusu ya raia wa nchi hii wamekosa elimu ambayo ingesaidia kujenga nchi yetu!
Tumejenga taifa la matabaka ya wenye haki ya kupata elimu na wasiostahili! kinyume chake tunaona nchi imeendelea kwa kuwa na idadi ya kutisha ya machinga, walalahoi, Mama ntilie, wapiga debe, wauza migahawa, barafu nk, nk,!

Jokakuu;
Waislamu wa nchi hii hakuna kitu kinawaudhi na kuwanyima usingizi kama kutengana ama iwe na Waislamu wenzao ama iwe ni Wa TZ wenzao! mfano mdogo kabisa ni Zanzibar, ambayo raia wake karibu wote ni Waislamu, pale walipokuwa ktk mgogoro mkubwa tangu mwaka 1995, Common Wealth walijaribu kuwapatanisha bila mafanikio! Serikali ya Mkapa nayo ikajaribu kupatanisha kiaina yake bila mafanikio! lakini mara walipoamua kupatana wenyewe, leo wanaishi kwa amani!

Bakwata haina support ya Waislamu bali inabebwa na mfumo Kristo kupitia Serikali ndio maana Mufti kapewa Mlinzi na anauwezo wa kumtia ndani Muislamu yoyote anapotaka! Sasa unaposhauri Baraza kuu wakae na Bakwata kumaliza tofauti zao sijui watamalizaje wakati kuna tofauti kubwa sana kati yao!
Mwaka 2012 Waislamu wote mpaka na Bakwata walikubaliana kuishinikiza Serikali juu ya Mahakama za Kadhi! baada ya muda mfupi wenzao Bakwata wakaitwa na Waziri Mkuu na kufanya nae kikao na kutangaza kuanzishwa kwa Mahakama za Kadhi zisizotambulika kiKatiba!

Sasa kama Bakwata ndio hiyo, muafaka utapatikana vipi? ndio maana Waislamu wameisusia na kuiacha Bakwata ishirikiane na Serikali na washirika wao!

Sasa kama "waislam" hamuitaki BAKWATA ambayo mnadai si ya "waislam" ila ni chombo cha serikali ya mfumo kristo, inakuwaje tena mnaiomba majibu serikali hiyo hiyo ya mfumo kristo? Ni sawa sawa tu ukiwa pale Cairo, ukatae kusaidiwa na ubalozi wa Tanzania huko Egypt lakini bado unaomba msaada wa serikali ya TZ iliyoko Dodoma/DSM.

Honestly, Kadogoo
unafikiri kweli wewe kama "muislam" (Baraza kuu la waislam) utaelewana zaidi na serikali kuliko na waislam wenzako wa BAKWATA?

Ipo haja ya kujiangalia upya.
 
Last edited by a moderator:

Nanren;
Nasikia kuna Mbunge mmoja alisema yeye haongei na Mbwa bali huongea na mwenye mbwa!
 
THE BIG SHOW, uwezo wako wa kuelewa na kutafakari mambo ni mdogo mno! wala huwezi kujilinganisha na Mag3, mwenzio ni mlima Kilimanjaro wewe ni kakichuguu tu. Usijali mie nipo huku Nachingwea katika shughuri ya kuwahimiza hawa ndugu zako waache mambo ya unyago na warudi shule kwani kuna shule nne za sekondari zinakaribia kujifunga kwa kukosa wanafunzi! hivyo nipo huku na mkokoteni wangu nikigawa vitabu vya Physics na Basic Mathematics, cha ajabu walimu niliowakuta huku ni ile product ya University ya Morogoro inayoongozwa na mchochezi mwenzenu Hamza Njozi, badala ya kutoa taaluma wao wapo na uchochezi tuuu! ati wanafundisha Islamic Knowledge, wanashangaa kwanini tunapeleka vitabu vya sayansi vingi na kusahau vitabu vya Islamic Knowledge! Nakushukuru hata hivyo kwa kunikumba jamaa yangu!

Hongera kwa kuacha matusi..
Kumbe wakati mwingne ustaarabu unaujua..
Ongeza ukubwa huo mkokoteni wako uje uchukue jamaa zako kina Nguruvi3,Mag3 na babu mfia dini,mwandishi wa ngano za mapenzi..
Hali zao ni tete sana..
 
Nanren;
Nasikia kuna Mbunge mmoja alisema yeye haongei na Mbwa bali huongea na mwenye mbwa!

Not a wise answer.

Kuwafananisha waislam wa bakwata na mbwa, na serikali ya mfumo kristo kuwa kama mfuga mbwa!
Kwa mentality kama hiyo, mtamsubiri sana huyo "mwenye mbwa" kuja kuongea naye...
 
Sasa kama "waislam" hamuitaki BAKWATA ambayo mnadai si ya "waislam" ila ni chombo cha serikali ya mfumo kristo, inakuwaje tena mnaiomba majibu serikali hiyo hiyo ya mfumo kristo? Ni sawa sawa tu ukiwa pale Cairo, ukatae kusaidiwa na ubalozi wa Tanzania huko Egypt lakini bado unaomba msaada wa serikali ya TZ iliyoko Dodoma/DSM.

Honestly, Kadogoo
unafikiri kweli wewe kama "muislam" (Baraza kuu la waislam) utaelewana zaidi na serikali kuliko na waislam wenzako wa BAKWATA?

Ipo haja ya kujiangalia upya.

Nanren,
Unasema hayo bila shaka kwa kuwa hujui hali ya Waislam na jinsi
wanavyowaona BAKWATA.

Mfano ambao labda unaweza kuuelewa ni huu.
Ni mfano wa Kanisa Katoliki na Wanamaombi.
 
JMushi1,
Naona umeingia sasa hivi katika mjadala huu.

Mimi sitishwi na Wamarekani tunafahamiana.
Nilishaeleza kisa changu na watu hawa hapa.
Nakumbuka ulishawahi kufanya hivyo mkuu.Sasa tusubiri tuone hizo mbinu za kupinga ugaidi kutoka kwenye kitabu hicho.
Ulisema walikuondoa kwenye listi?Ama waliconfuse na Mwamedi mwengine?
 
Back
Top Bottom