Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kaleta amani gani wakati Nyerere kaja Dar es Salaam miaka ya 1950 kakuta wazee wanaishi kwa upendo msome Nyerere hapo juu kwenye maandishi ya blue kama kakuta Mzizima kuna vita.
Hata Kenyatta aliwakuta Wakenya wakiishi kwa upendo lakini aliwaachia misingi ya ukabila. Na Kikwete ametukuta tukiishi kwa amani dini zote ataondoka ametuachia uhasama wa kidini. That is the difference.
 
Mnakasha umenoga.Ugomvi ni kuwa Balozi wa Marekani hakuzungumza na Bunge bali
na wabunge wachache.Sina ugomvi na hilo.
Ninachoshangaa ni kwa nini hili limewahamakisha kiasi kile.Wanaona aibu kuwa Balozi wa Marekani kufika pale Dodoma au kitu gani?Sasa tatizo ni kuwa yale mengine niliyowaambia Waamerika waohawana haja ya kuyasikia wala kuyazungumza ila hili la halikuwa Bunge bali wabunge wachache kama vile ingebadili msimamo wao.
Sweke34,
Nakuwekea hapo chini kutoka paper niliyotoa Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006 kuhusu ugaidi:

Tanzania passed the Prevention of Terrorism Act of 2002, which in all intentand purpose replicated the United States Patriot Act of 2001. Due to underrepresentation of Muslims in parliament the Act sailed through without any difficulties notwithstanding Muslim opposition outside the parliament.

Whatconcerned Muslims more was the fact that the law was not only draconian butalso targeted Muslims.
Muslims realised that with the Act in force any conflict between them and the government could be tried under that legislation and this would have very dire consequences.

The Prevention of Terrorism Act was a piece of legislation, which was imposed on Tanzania with the intention to open up the country for covert operations against enemies of theUnited States. Although the act does not say so in so many words but it is clear the legislation is meant to protect United States and provide it with political and legal powers to expand its military hegemony in countries, which it did not enjoy, such freedom before.
On 17[SUP]th [/SUP]May 2003 with the anti terror legislation in place the police in collaboration with the FBI (who were already in the country waiting for the president to assent the bill) arrested Muslims suspected to be ‘terrorists.'

But those arrested had nothing to do with terrorism; they were Muslims leaders who the government arrested for being ‘opponents' of the government and ruling partythe Chama Cha Mapinduzi (CCM). Among those arrested were leaders of various Muslim charitable organisations -foreign oriented and local, who have distinguished themselves in providing social services to Muslims like building mosques, schools, orphanages etc.

These were targeted for being ‘terrorist sympathisers' or for being directly involved in ‘terrorist activities' or for ‘providing logistic support toterrorists;' and bank account of one prominent Muslim school – Al Furqan was frozen for suspicion of being a conduit of funds from abroad to support terrorism.
In response tothese arrests Muslims staged a mass demonstration against the government andthe United States opposing the mass arrests of the Muslim leadership,harassment by the local police, the FBI and against the Anti – Terrorist Legislation. The demonstration was the first of its kind, as never before had Muslims shown such solidarity against a foreign power.

Ignoring the feeling of Muslims the then United States Ambassador to Tanzania Robert Royall addressedthe Tanzanian Parliament expressing his government's satisfaction in Tanzania'ssupport in its war against terrorists and pledged USD 100m in aid to East African governments to help combat terrorism. Investigations revealed that none of the arrested Muslims had any kind of military training whatsoever or had in anyway engaged in terrorist activities and they were quietly released without being charged.

Investigations also failed to prove that the account of AlFurqan had at any one time used to transfer funds from abroad for illegal use. All this notwithstanding there was no apology from the government, the FBI or the police.
Nguruvi3:Aya ya kwanza Mohamed anaonyesha kuwa uchache (under representation of muslims in the Parliament) unasababu.
Kwa mtu wa Ibadan Nigeria au average Tanzanian hili atalijua kama sehemu ya uonevu.
Mohamed anajaribu kuonyesha kuwa wabunge wanateuliwa na si kupigiwa kura.
Hii ni sehemu ya madai yake kuwa mfumo umetawala kila mahali.
Lakini basi Mohamed anapaswa ajiulize, je bajeti inayopitishwa bila kupingwa kwa majority ya CCM au mswada wa kuanzisha machakato wa katiba uliopita bila kupingwa nao pia ulihusu wingi wa watu wa imani fulani.

Mtu anaweza kudhani Mohamed ana upungufu wa maono, la hasha anajua anachokifanya na kundi alilolenga.
Kwa wale wanaouliza wapi uchochezi wa Mohamed, mambo ni kama haya.

Ni huyu huyu Mohamed alisema walipita wakinong'onezana waichague CCM.
Ni CCM hiyo ndiyo ina majority kuanzia zama hizo anaandika paper.
Sasa inakuwaje tena analalamika under-representation ya jambo lile alilounga mkono?

Aya ya pili anaongelea kuhusu waislam kwa ujumla. Mohamed hajui kuwa katika waislam wapo BAKWATA, Ismailia, Bohora, Shia na Sunni na kwamba hicho anachokiongelea ni kikundi chake na wala si waislam.
Jitihada zake ni kuonyesha ulimwengu uzito wa jambo hili kama tutakavyoona.

Aya ya tatu, inapaswa kumshangaa Mohamed. Yeye anasema Marekani ilishinikiza sheria ya ugaidi ili iweze kuweka nguvu za majeshi yake, nguvu ambayo hawakuwa nayo siku za nyuma.
Na kwamba siku sheria ilipopitishwa FBI kwa kushirikiana na Polisi walikuwa tayari kuwakamata waislam.

Mohamed anasahau kuwa Tanzania ilikuwa na tukio la Ugaidi wa ubalozi kabla ya hapo(twin mbombing).
FBI walikuja na kumkamata Mohamed Ghailan pale kwao.
Sikwamba FBI walianza kuwepo wakati huo, walikuwepo siku zote.

Mohamed hajiulizi mabalozi wa Marekani wanateuliwaje, mashirika yao ya misaaada yanafanya kazi vipi.
Kama angelijua hilo basi asingeandika alichoandika kwasababu FBI hawahitaji ruhusa kuingia popote! wanaingia wakitaka.
Mohamed, hii forum si ya kutupa tupa unachodhani!

Aya ya nne anasema wale waliokamatwa hawakuhusika na mambo ya kigaidi isipokuwa wapinzani wa CCM.
Wapinzani wa chama kile kile alichokipigia upatu kwa kunong'nezana nadhani kuanzia zama hizo.
Kama si hivyo lini uswahiba wa ''waislam akina Mohamed'' na CCM ulianza?

Kaendele kusema, miongoni mwa waliokamatwa ni wale wa mashirika ya misaada kama ya kusaidia kujenga shule, afya na yatima. Kwa mtu anyewakilisha paper alitakiwa aeleze nani na washirika gani.

Aeleze kwasababu akitokea mtu akasema World Muslim League ni mojawapo Mohamed atapingaje wakati yeye haijui?
Kwa kiwango cha paper hii ni tatizo kubwa sana la mzee wetu, kuandika vitu kwa ujumla bila kuwa na specific pengine kukwepa ukweli. Akataja shule ya Al Faruq ili kujaza jazba bila kutaja mashirika.

Aya inayofuata amedai balozi za Marekani zilitoa pesa kwa nchi za EA, na kudai kuwa balozi wa Marekani ilihutubia bunge! Kwa hili yawezekana anajua undani wa kile kilichoongelewa.
Tunachomuuliza Mohamed ni kuwa lini balozi huyo alihutubia bunge?

Tunauliza ili kuondoa dhana ya kuwa suala hilo la waislam wa Mohamed lilikuwa kubwa kiasi hicho.
Ni mazoe ya Mohamed kutaja watu au mahali katika kuongeza nguvu za hoja zake hata kama hakuna ukweli.

Mohamed alishawahi kusema kuwa katika baraza la Idd mwaka 1988 aliyehudhuria alikuwa makamu wa rais mzee Kawawa.
Hilo alilisema makusudi kuonyesha nguvu ya hoja yake. Ni kutokana na mwiba huo uliotuchoma ndio maana tunamuuliza Mohamed, balozi alihutubia lini Bunge! Swali hili ni muhimu kwasababu limebeba paper nzima.

Mohamed, lini balozi alihutubia Bunge?
......Mbona tumeyaongelea yote? Hili la balozi ni muhimu kama ulivyolifanya muhimu katika mada.
Mwiba unatoka ulipoingilia maalim!
 
Jasusi.

Je unaweza tafsiri maneno paragraph hii ili unipe taswira halisi mwandishi alikusudia kutupa ujumbe gani?

Addressing Members of Parliament in Dodoma on the subject of «Blood Money and Financing Terrorism», the US ambassador to Tanzania, Robert Royall said: «We are proud to be your partners in this effort and I am deeply grateful that you have given me this opportunity to advance some of my thoughts on the topic of financial crimes, and especially in the matter of money-laundering».

"Akizungumza na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano juu ya mada ya 'Fedha za Damu na Kufadhili Ughaidi', Balozi wa Marekani Tanzania Robert Royall alisema..."

Hii ni tofauti na kusema

"Akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano juu ya mada ya 'Fedha za Damu na Kufadhili Ughaidi', Balozi wa Marekani Tanzania Robert Royall alisema..."

"Kuzungumza na Wabunge" kunaweza kufanyika katika setting mbalimbali. Inaweza kuwa katika semina (kama hili) au katika nyumba ya mtu huko Dodoma n.k Lakini pia haitoi uzito wa "Bunge' kwa sababu kuzungumza na wabunge tu kunaweza kuwahusisha wabunge wawili, kumi, ishirini au hata Bunge zima.

Lakini "kulihutubia Bunge" ni zaidi ya kuzungumza na Wabunge. Ni kuzungumza na taasisi ya Bunge ambayo ni mojawapo ya Mihimili ya Serikali yetu. Ni sawasawa na kusema Balozi huyo aende Ikulu na kumpa Kikwete somo kuhusu hilo somo hapo juu na mtu aandike "Balozi wa Marekani Amweleza Rais juu ya..."

Uzito ambao M. Said amejaribu kuuweka kwa kudai kuwa Balozi wa Marekani amezungumza na Bunge - kitu ambacho hakikufanyika - ni mojawapo ya majaribio yake ya kupindisha na kupika historia ili kutimiza malengo yake ya kidini, yaani uchonganishi.

Kama lugha hapa bado inakupiga chenga naweza kukusaidia tena zaidi mkuu wangu.
 
Sasa ukiwa na mashaka wewe ni nani? Unataka kulazimisha vitu. Barubaru usiyamwagie maji ----- wazee wanaoga.

ahli yangu Ritz punguza jazba nakumbuka kipindi kile nipo skuli tulikuwa watulivu walimu wakiwa wanatupa darsa.

Usihamaki sana al akhiy tuendelee kuwa watulivu kwa maana hii ni kama skuli.

Ni darsa tosha kama darsa ya uchumi sema katika taaluma ya uchumi siasa haitakiwi kuingia

tuendelee na mnakasha, ukweli siku zote huwa unauma.
 
Last edited by a moderator:
London city hiyo-kama mnavyoibadili historia na huo mtaa ubadilisheni jina

923411_10151590876601047_684086969_n.jpg
[/QUOT

Sasa sisi picha itatusaidia nini??
Haya tumeona,lete zingine,,,

Nyie si "manabii" wa kubadili historia-huo mtaa ugeuzeni jina uwe na jina la mzee wenu Mshume Kiatu
 
Nyie si "manabii" wa kubadili historia-huo mtaa ugeuzeni jina uwe na jina la mzee wenu Mshume Kiatu

Mliokaibadili na kuificha historia ni nyinyi...! Mohamed Said,anairudisha ajabu eti anaonekana mchochezi..
Sasa huko ulikokimbilia kwenda kuliweka jina la mtakatifu julius mwanakijiji wa ludewa,au mbozi n.k atafika lini na kujionea hayo??
Andikeni vitabu vyenye historia ya kweli ili vizazi vyenu waje kuufaham ukweli,who gives a damn about nyerere in UK-LONDON?
The son of a SLAVE?Mzungu gani atamtukuza yeye,endelea kujifariji...
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said umesema intelligence report za akina Sykes etc ziko wazi hivi sasa Rhodes House,nategemea kuwa Oxford this weekend and i will peruse through the reports-trust me no stone will remain unturned-hatuwezi kukuachia scott free na hii wholesale brainwashing of unstable heads
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri kiswahili tu hapo kina mapungufu lakin kuzungumza na wabunge katika semina ina nguvu sana kuliko kulihutubia Bunge. Kwani katika semina unapewa nafasi ya kuuliza masuala na hata kujadiliana kitu ambacho katika kuhutubia upati nafasi hiyo ya kuulizana maswali na mtoa mada.
All in all alisema na wawakilishi wa wananchi katika kufanya lobbing ili muswada wake wa Ugaidi upite kilainiiii.Poleni sana.
Barubaru inaweza kuwa wewe umeona kiswahili kina mapungufu pengine kwa weledi wako au kiingereza hakikueleweka kwa weledi wako.
Hakuna anayekataa uwepo wa balozi maeneo ya bunge kwasababu si yeye wa kwanza.

Kwa jinsi Mohamed alivyoiweka, wale watu wa Ibadan walishangaa kuona balozi amepewa hadhi kiasi hicho.
Labda unikumbushe, Dr Salimin Amour komandoo alihutubia lini bunge la JMT!

Wilcard amesema kuwa hana kumbu kumbu za balozi yoyote kuhutubia bunge na sikumbuki balozi yoyote.
Mohamed ameiweka hiyo akifahamu kuwa watu wa Ibadan Nigeria hawawezi kuwa na muda wa kutafuta taarifa za nchini kwetu ndogo kama hizo wakati huo akilenga kundi analolitaka la ''kumeza'.

Yeye amekubali kuwa taarifa hiyo aliipata mahali kadhaa na bila kuifanyia tahmini akaibeba kama ilivyo.
Kilichomsukuma ni utamu wa taarifa hiyo uliopelekea yeye kuibeba nzima nzima kwasababu ilikuwa ni sensational news.

Nikukumbushe kuwa huko nyuma Mohamed aliwahi kutueleza kuwa maulidi ya Tabora 1988 yalihudhuriwa na makamu wa Rais bw. Kawawa. Hapa napo alitaka kuonyesha umuhimu wa tukio hilo kwa kutumia jina la makamu wa rais.

Ndivyo alivyoitumia hotuba ya Rehani Waikela(moto wa waislam) ukiwaka katika kuleta hisia kwa kizazi hiki kuwa moto unaweza kuwashwa. Akazidi kumnanga Nyerere kwa kisa cha Warioba asiyejulina na bila credential kuwa waziri mkuu.

Hebu pitia alichoandika Mohamed na kule alikonukuu habari hiyo ya Ibadan.
Utaona wazi kuwa amepindisha ukweli kwasababu Mohamed anakijua kiingereza sidhani kama angelifanya kosa kubwa kiuandishi kama hilo. It was a calculated move to instigate the public.

Huyu ni mtafiti ambaye paper na vitabu vyake amevifanyia utafiti kama anavyodai na vimehaririwa kwahiyo vipo sahihi na si muhimu JF free for all kuvifanyia critic kama anavyodai.

Sasa hapa ndipo tunauliza, je, kabla ya kwenda Ibadan alifanya kautafiti kujua bunge letu linakaa wakati gani na lina taratibu gani katika uendeshaji wake! Hata forgery zina taratibu zake, huwezi andika cheque terehe 37 April 2013!!

Hili linakwenda mahali ambapo mtu atajiuliza, hivi yale yaliyoko kwenye shajara za familia ya Sykes yamechukuliwa kwa uadilifu na ukamilifu wake?

Kama haiwezekani kupata kumbu kumbu za mwaka 1988 au 2003 kwa usahihi, usahihi wa kile tusichokiona kinachosemwa ni ukweli mtupu unatoka wapi.

Hata pale alipoelezwa kuwa huenda ilikuwa semina, Mohamed kwa ima kutojua au kwa jeuri ya kuwa na vitabu katika vyuo mbali mbali alikuja kwa jeuri, bunge lilikaa tarehe kadha wa kadha!

Siyo suala la ubishi au kuchukua phrase moja na kuifanya mada, ni suala la validity and integrity za information zake ambazo hakuna shaka kuwa zinamuondolea msomaji yoyote mashaka juu ya maandiko ya Mohamed.
 
Mohamed Said umesema intelligence report za akina Sykes etc ziko wazi hivi sasa Rhodes House,nategemea kuwa Oxford this weekend and i will peruse through the reports-trust me no stone will remain unturned-hatuwezi kukuachia scott free na hii wholesale brainwashing of unstable heads

Son of Alaska,
Hilo ni jambo jema sana.

Mimi sina cha kuficha katika maandishi yangu.
Usiishie katika hizo Intelligence Report kuna mengi hapo ya wazalendo wa Tanganyika.

Itakuwa raha kama utaturushia wanaukumbi ili tustarehe pamoja.

Jaribu pia kumtafuta John Iliffe hapo taarifa nillizonazo ni kuwa kwa sasa ni mtu mzima
sana na anaishi peke yake maisha ya kitawa.

Mpe salamu zangu na muombe akuonyeshe ile review aliyoandika kuhusu kitabu changu.
Iliffe anazo baadhi ya nyaraka za Abdulwahid Sykes alizochukua kutoka kwa Daisy.

Itakuwa vyema kama nazo utamuomba akuonyeshe.
 
Hata Kenyatta aliwakuta Wakenya wakiishi kwa upendo lakini aliwaachia misingi ya ukabila. Na Kikwete ametukuta tukiishi kwa amani dini zote ataondoka ametuachia uhasama wa kidini. That is the difference.

Tafsiri yako ya uhasama ni pale Waislamu wanapotumia haki yao ya kidemocrasia kuelezea hisia zao ndani ya jamii. Mlitaka na yeye awashughulikie kwa kuwaua, kuwaweka kifungo cha uraiani, kuwafukuza nchini, kuwanyang'anya mali zao (socialism), kuwakusanya na kuwarundika mahala ambapo hakuna msikiti wa wao kufanya ibada (Vijiji vya Ujamaa) ndio mgemuona si mdini.

Sasa mnahaha kuhakikisha kwamba Mkatoliki anarudi tena madarakani kwa kuwekeza nguvu kwenye CHADEMA ili Slaa achukue nchi na hivyo muweze kupata nafasi nyingine ya kupendelewa na kuendeleza ukandamizaji wenu dhidi ya Waislamu na madhehebu ya dini zingine zisizokuwa Wakatoliki. Mnafahamu kwamba kwa sababu Nyerere hayupo, basi CCM inaweza kumchagua Mkristo ambaye si Mkatoliki kwani wapo wengi tu ndani ya CCM ambao wana uwezo wa kuwa marais.

Mnataka kutuletea Dicteta mwingine (Slaa) kupitia mgongo wa Kanisa ili aje kutumaliza kwani Mkatoliki yeyote yule ana uwezekano mkubwa sana wa kuwa dicteta kutokana na maelekezo kutoka Vatican kama habari hii inavyojieleza WikiLeaks cables confirm collusion between Vatican and dictators - World Socialist Web Site
 
Jasusi,

Jibu swali Nyerere wakati anatoka Musoma kuja Dar es Salaam alikuta kuna vita au huko alikutoka ndiyo watu walikuwa wakatana mapanga.
 
Last edited by a moderator:
"Akizungumza na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano juu ya mada ya 'Fedha za Damu na Kufadhili Ughaidi', Balozi wa Marekani Tanzania Robert Royall alisema..."

Hii ni tofauti na kusema

"Akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano juu ya mada ya 'Fedha za Damu na Kufadhili Ughaidi', Balozi wa Marekani Tanzania Robert Royall alisema..."

"Kuzungumza na Wabunge" kunaweza kufanyika katika setting mbalimbali. Inaweza kuwa katika semina (kama hili) au katika nyumba ya mtu huko Dodoma n.k Lakini pia haitoi uzito wa "Bunge' kwa sababu kuzungumza na wabunge tu kunaweza kuwahusisha wabunge wawili, kumi, ishirini au hata Bunge zima.

Lakini "kulihutubia Bunge" ni zaidi ya kuzungumza na Wabunge. Ni kuzungumza na taasisi ya Bunge ambayo ni mojawapo ya Mihimili ya Serikali yetu. Ni sawasawa na kusema Balozi huyo aende Ikulu na kumpa Kikwete somo kuhusu hilo somo hapo juu na mtu aandike "Balozi wa Marekani Amweleza Rais juu ya..."

Uzito ambao M. Said amejaribu kuuweka kwa kudai kuwa Balozi wa Marekani amezungumza na Bunge - kitu ambacho hakikufanyika - ni mojawapo ya majaribio yake ya kupindisha na kupika historia ili kutimiza malengo yake ya kidini, yaani uchonganishi.

Kama lugha hapa bado inakupiga chenga naweza kukusaidia tena zaidi mkuu wangu.
Watu hawaelewi kuwa kuhutubia BUNGE ni tukio la kihistoria. Haliwezi kufanywa na mtu mdogo kama Balozi. Hapa kwetu Tanzania anayeweza kulifanya ni Rais pekee. Makamu wake au Rais wa Zanzibar hata kuingia Bungeni ni lazima azimio la Bunge lipitishwe kwanza. Hata wakiingia humo wanakaa kwa adabu muda wote! Kule Marekani kwenyewe namwona Rais wao anafanya hivo mara moja kila mwaka.

Mzee wetu Mohamed analazimisha liwe hivo makusudi kama alivyolazimisha wazee wake kuwa ni DINI iliwatuma kupigania uhuru wa nchi hii, Mwalimu akawasahau kwa DINI yao,..., huyo ndie mzee Mohamed Said ambaye asipoingia akilini mwako akakusemea, basi atatafsiri ulichokisema kwa namna atavyoona inamfaa kwa agenda iliyo mbele yake.
 
Wild Card,
Basi mnakasha utagota hapo kwenye balozi na bunge au baadhi
ya wabunge.

Huna lolote la kusema kuhusu majibu yangu ya hotuba ya balozi?

Huna la kusema kuwa ingekuwa ni bunge zima sheria ya ugaidi
isingepita?

Au ndiyo kile kisa cha kujenga mlima kutoka kichuguu?
 
Tafsiri yako ya uhasama ni pale Waislamu wanapotumia haki yao ya kidemocrasia kuelezea hisia zao ndani ya jamii. Mlitaka na yeye awashughulikie kwa kuwaua, kuwaweka kifungo cha uraiani, kuwafukuza nchini, kuwanyang'anya mali zao (socialism), kuwakusanya na kuwarundika mahala ambapo hakuna msikiti wa wao kufanya ibada (Vijiji vya Ujamaa) ndio mgemuona si mdini.

Sasa mnahaha kuhakikisha kwamba Mkatoliki anarudi tena madarakani kwa kuwekeza nguvu kwenye CHADEMA ili Slaa achukue nchi na hivyo muweze kupata nafasi nyingine ya kupendelewa na kuendeleza ukandamizaji wenu dhidi ya Waislamu na madhehebu ya dini zingine zisizokuwa Wakatoliki. Mnafahamu kwamba kwa sababu Nyerere hayupo, basi CCM inaweza kumchagua Mkristo ambaye si Mkatoliki kwani wapo wengi tu ndani ya CCM ambao wana uwezo wa kuwa marais.

Mnataka kutuletea Dicteta mwingine (Slaa) kupitia mgongo wa Kanisa ili aje kutumaliza kwani Mkatoliki yeyote yule ana uwezekano mkubwa sana wa kuwa dicteta kutokana na maelekezo kutoka Vatican kama habari hii inavyojieleza WikiLeaks cables confirm collusion between Vatican and dictators - World Socialist Web Site

Wanajamvi,
Kumekucha!
 
Zali la Mentali ukitaka kuwa muongo mzuri jitahidi kutunza kumbukumbu. Naona kanuni hii wewe imekupita kisogoni. Kudhihilisha haya jaribu kurudia kusoma upumbavu wako hapo juu na huu uliopo hapa chini;
Wewe unaifahamu dini yangu mimi? Nachangia kama Mtu mwenye usongo na nchi yake. Michango yangu humu haina uhusiano wowote ule na na isihusishwe na dini ya Kiislam au dini yoyote ile nyingine iwe ya Kikristo, kipagani, kienyeji, n.k. Hivyo si Mzee Mohamed au mtu wa dini nyingine yeyote yule atakayeweza kunisema kwa sababu michango yangu haihusu dini ya ya mtu yeyote yule.

Wewe ukikutana na chizi ambaye umri wake ni mkubwa kuliko babu yako utamwita nani? Anabakia kuwa chizi tu.
 
Nimetoa hoja za kuthibitisha kwamba ama Nyerere ni MNAFIKI au ni CHIZI. Sasa wewe chagua moja kati ya sifa anayostahili ama MNAFIKI au CHIZI. Kama una hoja ya kumnusuru kutoka kwenye sifa mojawapo kati ya hizo alizojijengea mwenyewe kutokana na hotuba yake kama ilivyowewekwa na muanzisha thread hii, basi mnusuru kwa hoja.
Your joined date, 4 April 2013, inaonyesha kuwa umetafuta ID mpya kwa ajili ya mnakasha huu tu, kwa makusudi ya kumwaga CHUKI yako dhidi ya Nyerere!
 
Ujinga ni sawa na ugonjwa wa akili, Boko Haram umetekwa na udini unashindwa kujua siasa na dini. Utawala na Imani najua malengo na nguvu zinazowekezwa kwenye udini wenu. LAKINI UJUE ATOBOAYE MASHUA bila kujua na yeye ni msafiri huyo Babu yako anakuzamisha nawewe pia. Kazana lkn ujue wewe unaumwa akili

Jojojo sikukatali kwamba mimi ni mjinga kwasababu kwanza mimi elimu yangu ni ya madrasa, kwa taarifa yako katika uislamu huwezi kutenganisha dini na siasa kwasababu uislamu ni dini iliyo kamilika na ni mfumo kamili kwa maisha ya binadamu,masuala ya hukumu yapo masuala ya kibiashara yapo mambo ya mirathi yapo nakusikitikia sana yaani laiti ungelijua nini maana ya uislamu usinge andika hizi pumba lakini kuna jamaa mwenzako kakupa like bila kutumia akili nakuomba usome kwanza uislamu kabla ya shutuma sawa mkubwa.
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Back
Top Bottom