Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wickama,
Hujui mchango wa Sheikh Hassan bin Amir si kwa Nyerere wala
kwa TANU.

Ugomvi wa Waislam kujenga Chuo Kikuu sasa ni mashuhuri ni
kisa ambacho Waislam wanakijua vyema.

Dr. Ziddy nimefahamiananae Kampala kwenye mkutano na tukikaa
hoteli moja.

Alinizungumza kuhusu kitabu anachoandika cha Sheikh Hassan bin
Amir.

Nilimfahamisha kuwa mie tayari nina mswada wake na umekamilika.

Nikamweleza midhali wewe unaandika basi mimi nitakupa niyajuayo
kuhusu Sheikh Hassan bin Amir.

Kitu kilichonisikitisha kwake na nilimuhurumia aliponifahamisha kuwa
hatoweza kuandika kuhusu ugomvi wa Sheikh Hassan na Nyerere mara
tu baada ya uhuru kwa kuwa yeye ni mtumishi wa serikali ya Zanzibar.

Ikiwa ataandika kisa kile kwa ukamilifu wake huenda akaingia matatani.

Ala kuli hali kitabu cha Dr. Ziddy kimetoka na kama alivosema mwenyewe
habari kamili za Sheikh Hassan bin Amir hakuziandika.

Haya ndiyo matatizo yanayowakabili wasomi wetu.

Shukran kwa maneno mazuri na pia heshima yako Mzee MS; Lililopo hapa utakubaliana na mimi kuwa hii paper ya Dr Iddy Ziddy ambayo najua lazima unayo (wewe ni Scholar), kwa makusudi hakutaka kuandika ni mikutano gani ya chama gani, ya lengo lipi Sheikh alikuwa anahudhuria na hata kuambiwa hebu Sheikh toa Faatiha. Hapa kaacha a very important CLUE. Nahisi kwa makusudi. Kwa sababu hizi harakati ndiyo zilizomrudisha Zenj. Daktari kaeleza kuwa kuna ushahidi Sheikh huyu alikuwa mtu wa siasa bila kuzitaja ni zipi. Kataja tu kuwa ndizo hata zilimgombanisha na wanafunzi wake. Na kwamba kugawanyika kule NDIO chanzo mama cha kuua ndoto ya University ya waislamu. HUO ni UTAFITI sio majungu. Madai ya MIKOA iliojitoa EAMWS yanatilia mkazo hili jambo. "Waasi" wanataka kiongozi/viongozi wa EAMWS lazima wawe SUPPORTERS wa TANU (a very important CLUE). Ikimaanisha Kulikuwa na wapinzani wa TANU ndani ya EAMWS. Hapa jamani, tumwogope Mungu, kul-haq mzee MS, ni siasa baba. Matumizi mabaya ya hela ndio kabisaaaaaaaa. Allah (swt) hagombewi hapa MS. Watu wanachota masurufu baba. Wewe kalagabaho huko Tanga na Bukoba na Iringa. Wenzio twala. Mjini Hapa. Sababu zipo wazi ukiisoma vizuri hii paper.

Sasa inashangaza. kwa vile kama unataka kujenga University, mdau wako wa kwanza lazima awe serikali yako mhusika, japo kwa kuridhia. Yabidi iwe swahiba. Sio adui. Mzee MS; kama nataka kuposa kwako lazima niwe rafiki yako baba, au basi nikupe stahiki ya heshima yako. Vinginevyo binti yako hunipi. Ni Mtume (saw) pekee ambaye alienda kumjulia hali (akidhani pengine ni mgonjwa) yule jirani aliyekuwa ana-deposit vinyesi kwenye ua wake alipostuka mbona leo fulani hakushusha "mzigo". Sisi wengine ni blood and tisuues tuu kupata jambo linajengewa mazingira stahiki. Katika visa vinavyoelezwa na Dr Issa Ziddy, hupati ushahidi kuwa baada ya ahadi hizo za Egypt kutoa hela kuwa palijengwa mazingira rafiki na utawala. Badala yake taasisi nyeti kama EAMWS inakuwa ngome ya wapinzani wa TANU. Mimi sidiriki hata kidogo KUM-judge huyu Sheikh, ila kinachojitokeza kwenye hii Paper ya Ziddy ni kwamba the Sheikh was USED politically by bad elements ili ku-ganner the support they wanted. Hii hata leo inafanyika na kila chama cha siasa.

Kama Daktari Ziddy kaacha kuandika hicho kisa kama unavyosema, ukweli bado upo kuwa ukiisoma Paper yake kwa makini UTAJUA conflicts za wakati huo. Of course namsifu sana kuwa pamoja na kukusiliza na kahawa zako akala pengine na kashata (nimesoma anakushukuru) yeye hakuchukua silaha begani na kusaka Wakatoliki. Amewaangaza sana Waislamu na serikali. Hiyo nyanja kaona umeikatia hati milki ndio maana labda kakuachia (.....hahahahahahah.....). Ila kama unayasimulia haya ni vizuri ukawa fair na kuwaeleza waislamu wajue pia mchango wa kina AMNUT katika kuiua hii EAMWS. Usilifiche. Pata courage ya kulisema hata kama ndani ya wahusika wapo waliokuozesha binti yao. Kuna Kesho. Alamsiki.
 
Ritz,Huyo jamaa mbona kashindwa masuala ya mada na kujibu shutuma za Marehemu Baba yake analeta mchezo wa kitoto hapa!?Hii shughuli ni nzito,si unaona Nguruvi3 A.K.A Vunja Mifupa ameingia mitini kinyemela. Mag3 nae,kaja na yaleyale mambo yake ya misuto kwa Sheikh Mohammed Said. Yule mpiga Kula Daku wa kiTanga,ndio kama tunavyojua kuwa kuna vitu vinamsumbua kuelewa.Yule mtu Zali la Mentali A.K.A Mchimba Chumvi na mwenzie Sumu Ya Nyoka ni hatari. Yaani wamechafua jamvi vibaya mno,kiasi kwamba jamaa woote wametimka. Kilchobaki sasa hapa ni kuleta maswali ya kitoto na ile janja ya paka,na kutaka kumuumiza kichwa Sheikh Mohammed.Nimefurahi Jasusi katumia ustaarabu kuanzisha mambo ya Music watu tuburudike. Lakini huko huko nako kwenye hiyo Music,Sheikh Mohammed kenda wamaliza kama alivyowamaliza awali kwenye Movies. Huyu mtu Wallahi ni hatari saana.Insha Allah tuburudike na kupendana.

Mimi mara ya kwanza gombesugu alipokuwa anakaribishwa humu jamvini nikajua huenda tukapata hoja mbili tatu za maana kumbe tumepata mshereheshaji na kamisaa wa mchezo anayehesabu chenga na rafu ngapi zimechezwa!! halafu na kutangaza kabisa mshindi wa mchezo afanaalek!

Mnyonge mnyongeni ila sifa yake apewe, Gombesugu ni mahiri kwa majina ya vyakula, kwenye eneo hilo mpaka nimestajabu. Ila leo
sijaona ametupia "msosi" gani!!

"Kweli nimeona bayana yako"
 
Kunilinganisha na hao inaweza kuwa turufu tata, lakini mantiki ya mnakasha inasimama wima kama ilivyonenwa!

Vipi mzee wangu unataka kujua zaidi juu elimu nikupaya sawasawa na vita dhidi ya ugaidi ama nikupe kile kisa nilichokuuliza juu ya Chifu Sapi na Mzee Nyerere?

Yericko,
Hakika wewe ni hodari sana.

Nipe kisa cha Sapi na Nyerere.
 
gombesugu,

Yericko Nyerere siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere anatumia tu hilo jina mwanzo wa mnakasha huu alikuwa anajinasibisha na Nyerere kama baba yake mzazi bahati nzuri alikuja mtoto wa kwanza wa Julius Kambarage Nyerere, Andrew Nyerere akamkana kuwa siyo ndugu yao hamjui.

Aliulizwa swali moja tu mama yako ni nani mpaka leo kimya hajajibu.

Zali la Mentali, kachafua hali ya hewa humu jamvini.

Ritz,

Salaam. Nakufahamu na nakusikiza kwa yakin. Mimi najua mengi mno wala sitie shaka. Andrew Nyerere,ni rafiki mkubwa wa Mzazi wangu,nafikiri niliwahi kusema hapo awali.

Huyo jamaa ni psychological fragile,angalia tu ile mada yake halafu ameweka Sheikh Issa Bin Ameir badala ya Sheikh Hassan Bin Ameir...kama kwenye legal technicalities basi Barrister mahiri anakwambia Case dismiss!

Hapa kilichobaki kwa ufupi ni kurembeana fedhuli na kibri kingi tu,labda zaidi wanatumia udhalimu wao wa kumuuliza makhanatha Sheikh Mohammed ili wamuumize kichwa.

Takriban yoote alozungumzia Zali la Mentali a.k.a Mchimba Chumvi,ndo yale yale alokua anadarsisha Sheikh Mohammed takriban miezi minne. Tafauti yeye Zali la Mentali kawaendesha kindava na kimchakamchaka wa nguvu,ndo maana unaona kijasho chembamba kinawabubujika.

Yule kunguni wa hoja a.k.a Abu Jahal,mimi pia nilimtoa maanani kitambo pale alipoleta ule uTarime/Ukabila wake,na ati kujaribu kumtetea Nyerere tena kwa kutumia Khadith na Qur'aan tukufu. Yule Kunguni Wallahi ni Khabith Al maar.

Nyerere aliwahi kufanza mema kiduchu,lakini dhahma wa min'karadas,dhuluma na madhila aloleta ni mengi mno pita kiasi na yanawasulubu watu wengi mno hapo Tanzania mpaka kesho.

Inastaajabisha na ni viroja pasi mfano,hao mashangingi wa shughuli kutukataza kumjadili huyo Nyerere kama vile sisi hakuwa Rais wetu!? Hawa watu maluuni saana.

Tena kama wana maarifa wampe shukran saana Sheikh Mohammed,maana najua anayo mengi lakini kahifadhi moyoni tu. Na haiingii akilini hata chembe ati watu tusimjadili Nyerere,mtu aloleta nakma na zilzala ziso mipaka hapo Tanzania na kwingineko.

Embu waambie wachungulie japo kiduchu,Biography ya JFK by Pro. Micheal O'Brien. Halafu waone huyu jamaa alivyomnyambua JFK,kuanzia Mababu na Mabibi zake woote tokea Ireland,mpaka kutaja makuwadi wake tangia Sec. School mpaka Hollywood. Kaoredhesha mpaka rangi za vichupi/bikinis walizokua wanavaa vimada wake!

Labda tafauti inakuja pale yakuwa; tamaduni za wenzetu na sisi pana khitilafa kubwa mno. Lakini tukifika hapa,itakua tunajibana soote hasa pale tunapotoa mifano mara kwa mara,na jamaa kuanza kulinganisha hapo Tanzania na nchi nyingine za ughaibuni na hasa watu na mataifa ya Magharibi. Na bila ya kufanza hivi,tutawezaje kuzungumzia History!?

Kwa kifupi,Sheikh Mohammed hakumtusi Nyerere ati kwa kusema alikua akisaidiwa kitoweo na nduguye Bwana Mshume Kiyate,hasha!

Halafu wanakuja hawa viwavi wa hoja,ati mara tunachanganya mada,mara tushawahi kujibu tuhuma za Nyerere,mara kafungueni thread nyingine. Hawaoni huyu kinyonga mwenzao anapoleta makhanatha ya hadthi za ugaidi na kutuumiza vichwa kwa kiswahili chake cha kujifunzia Secondary School. Mimi binafsi niliwahi kunena na kutahadharisha mambo kadhaa hapo awali,lakini nikaonekana mtoto wa Madrasa,halafu kajiunga only couple of weeks ago,atatwambia nini sisi mashangingi wa shughuli hii!!

Habari za Nyerere ni nyingi mno wala hazishi kwa hapa Jf hata siku moja.

Kama Jasusi ataamua kusema ukweli hapa jamvini,basi alete kisa cha Nyakyoma,Mohammed Enterprises. Hii kesi naijua kiundani na kiunagaubaga. Mzee wangu alishughulika nayo. Na kama patamwagwa vitu hapa,nami nitamwaga vitu halafu nitakupeni watu mkawaulize.

Nyerere alimshangaza saana Zacharia Maftah(former Director of Anti Corruption Squad),alipoamua ghafla kuhamisha file ya Nyakyoma ipelekwe kwa Abdallah Nungu(alikua Mwenyekiti wa Tume Ya Kudumu ya Uchunguzi Wa Viongozi). Alifanya kusudi kumuokoa nduguye Nyakyoma kwani alijua yakuwa Maftah ilikua anamfunga miaka mingi saana. Wakati Maftah anaifata ile file kwa Abdallah Nungu,ati anaambiwa file imeitwa State House na iko mikononi kwa Mwalimu. File inatoka kwa Nyerere tayari imenyofolewa makaratasi ushahidi takriban woote haumo. Huyo ndiye Nyerere. Matokeo yake akamzidshia utajiri uso kifani Mohammed Enterprises na kufa kwa Gapex maskini mpaka kesho!

Kwa wale wajuvi msokubali hoja za watu wa Madrasa,tafadhali kawaulizeni Joyce Shundi(Kamanda wa Takukuru Dar),Zacharia Maftah, Mzee Butiku au Timothy Apiyo na wengineo wengi walio sehemu nyeti za Serikali. Hawa woote nawajua na nawaheshimu vizuri mno ni Wakristo watiifu tu.

Nyerere alikua analazimisha kwa kibri na kuchukua meli ya kiraia ya Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar,ili akamsaidie rafiki yake Samora dhidi ya Renamo pale Mozambique. Ile meli ilikua inabebeshwa silaha nyingi na za hatari,Wanajeshi na ndani yake kulikua na wafanyakazi wa kiraia wa kawaida kabisaa. Hawa wafanyakazi woote mpaka Captain walikua tu wanapewa taarifa masaa machache kabla ya safari na bila ya kufahamishwa destination mpaka wafike Dar port ndio wanashtukizwa. Hapa kama kuna wataalamu wa Maritime Insurances,pia mtashangaa hiyo meli ilikua inachukua cover ipi na hao wafanyakazi wa kiraia ndani yake walikua wako-covered kivipi!? Hiyo meli imenusurika mara kadhaa na mizinga ya Renamo.

Nyerere,alimstaajabisha mpaka Mzena(Usalama wa Taifa enzi ya Mwalimu),pale alipoamrisha IGP wake Hamza Aziz awekwe chini ya surveillance bila ya ushahidi au sheria yoyote. Ndio maana ile siku Hamza Aziz alipopata accident,alipokwenda kumuona Nyerere huku anajitafunatafuna,ndipo Nyerere alipomwambia Hamza kabla hujasema lolote fungua hiyo bahasha hapo. Ndani ya ile bahasha palikua na photographic evidence,inamounyesha sura halisi ya Hamza Aziz,gari yake na mpaka plate numbers. Picha ile ilipigwa na Mzungu mmoja ati alikua akifanya kazi pale BP - Kurasini!?

Kwa masuala haya muulizeni Mzena mwenyewe kama yuhai. Mkitaka zaidi nitakupeni majina ya watu makhusus tena Wakristo wenzenu mkaulize.

Kuna jamaa mmoja hapa,nae alikuja na hoja yake mbuzi kutaka kuonyesha ati "vitimbi" vya Sheikh Yahya Hussein. Kuna mengi saana pita kiasi...lakini chukua hii tu kiduchu.

Sheikh Yahya Hussein,alishughulika saana kumsaidia Nyerere kuzima lile jaribio la mapinduzi la 1982. Sheikh Yahya Hussein alitumia saana influence na connections zake kwa Sheikh Abdallah Saleh Al Farsy, Kenyatta,Moi,Njonjo,Usalama wa Taifa wa Kenya na wengineo wengi mno pale Kenya ili kuleta habari huku na kule na pia kuwakamata na kuwarejesha nchini baadhi ya watuhumiwa. Na kuna vitu vingi mno in between vilikua vinafanyika. Ukitaka zaidi nitakufungulia kwa undani,halafu nitakuonyesha udhaifu,Ukabila na roho mbaya ya Nyerere uko wapi.

Halafu,anakuja yule Mrema, mtu mgeni kabisa wa politics za Mzizima na Kariakoo kumkamata Sheikh Yahya Hussein bila ya jambo lolote la maana. Mpaka Lawrence Gama(former DG Usalama wa Taifa na nyadhifa nyingine nyingi tu hapo Tz,pia Jasusi ataeleza alimuoa nani ndani ya family ya Nyerere),alisikitika saana upumbavu wa Mrema kuingilia vitu alivyokua havijui. Kumbe Mrema alikua hajui maskini yakuwa anamfanyia Kitwana Kondo kazi yake,ambae wakati huo ndio alikua Rais wa nchi kuliko huyo Mwinyi mwenyewe. Kitwana Kondo alinyang'wanya mke na Sheikh Yahya Hussein during 60's.

Hizi habari kwa undani muulizeni Dominick Gama au Sinde Warioba. Maana nasikia Mzee Gama Lawrence amefariki. Na kwa wale wa Chadema,kamuulizeni Mabere Marando na atakufahamisheni yeye wakati huo alikua nani!? Au Shahidi X...Mzee Maige!

Kwa hiyo msione watu tumekaa kimya,ati mkafikiri tumevamia tu hili jamvi au hatujui mambo au huyo Nyerere wenu hatumjui au mambo nyeti takriban yoote, ati kwa sababu tu ni watoto wa Mdarasa. Tunafanya staha tu kiduchu. Kwa sababu wengi hawa ni Wazee wetu kama anavyosema Sheikh Mohammed Said. Hiyo nchi sisi wengine ni haki yetu na tuna uchungu nayo kupita hivyo mnavyohisi.

Ahsanta.

Cc: The Big Show
 
"Kweli nimeona bayana yako"

Plato,

Mimi huwezi asilan kuona mantiki za hoja yangu yoyote kwa sababu umeamua kujivalisha miwani ya mbao. Halafu tangia lini watu wa Madrasa wakaweza kukushindeni nyinyi. Hata Kithungu hatujui. Jingine ni kuwa lugha nitumiayo mimi wewe itakulazim ukatafute Kamusi ya Kiswahili Sanifu(niliyokusaidieni kutunga hapo Tz) ili tuelewane.

Kwa ufupi mimi nipo hapa jamvini kumsikiza Sheikh Mohammed. Wewe unapoteza nguvu zako kutaka kunijibu mimi badala ya kukemea matusi...vipi yakhe!?

Tafadhali usinitukane na wala usinitumie bayana nyingine yoyote.

Nakushukuru.
 
Shukran kwa maneno mazuri na pia heshima yako Mzee MS; Lililopo hapa utakubaliana na mimi kuwa hii paper ya Dr Iddy Ziddy ambayo najua lazima unayo (wewe ni Scholar), kwa makusudi hakutaka kuandika ni mikutano gani ya chama gani, ya lengo lipi Sheikh alikuwa anahudhuria na hata kuambiwa hebu Sheikh toa Faatiha. Hapa kaacha a very important CLUE. Nahisi kwa makusudi. Kwa sababu hizi harakati ndiyo zilizomrudisha Zenj. Daktari kaeleza kuwa kuna ushahidi Sheikh huyu alikuwa mtu wa siasa bila kuzitaja ni zipi. Kataja tu kuwa ndizo hata zilimgombanisha na wanafunzi wake. Na kwamba kugawanyika kule NDIO chanzo mama cha kuua ndoto ya University ya waislamu. HUO ni UTAFITI sio majungu. Madai ya MIKOA iliojitoa EAMWS yanatilia mkazo hili jambo. "Waasi" wanataka kiongozi/viongozi wa EAMWS lazima wawe SUPPORTERS wa TANU (a very important CLUE). Ikimaanisha Kulikuwa na wapinzani wa TANU ndani ya EAMWS. Hapa jamani, tumwogope Mungu, kul-haq mzee MS, ni siasa baba. Matumizi mabaya ya hela ndio kabisaaaaaaaa. Allah (swt) hagombewi hapa MS. Watu wanachota masurufu baba. Wewe kalagabaho huko Tanga na Bukoba na Iringa. Wenzio twala. Mjini Hapa. Sababu zipo wazi ukiisoma vizuri hii paper.

Sasa inashangaza. kwa vile kama unataka kujenga University, mdau wako wa kwanza lazima awe serikali yako mhusika, japo kwa kuridhia. Yabidi iwe swahiba. Sio adui. Mzee MS; kama nataka kuposa kwako lazima niwe rafiki yako baba, au basi nikupe stahiki ya heshima yako. Vinginevyo binti yako hunipi. Ni Mtume (saw) pekee ambaye alienda kumjulia hali (akidhani pengine ni mgonjwa) yule jirani aliyekuwa ana-deposit vinyesi kwenye ua wake alipostuka mbona leo fulani hakushusha "mzigo". Sisi wengine ni blood and tisuues tuu kupata jambo linajengewa mazingira stahiki. Katika visa vinavyoelezwa na Dr Issa Ziddy, hupati ushahidi kuwa baada ya ahadi hizo za Egypt kutoa hela kuwa palijengwa mazingira rafiki na utawala. Badala yake taasisi nyeti kama EAMWS inakuwa ngome ya wapinzani wa TANU. Mimi sidiriki hata kidogo KUM-judge huyu Sheikh, ila kinachojitokeza kwenye hii Paper ya Ziddy ni kwamba the Sheikh was USED politically by bad elements ili ku-ganner the support they wanted. Hii hata leo inafanyika na kila chama cha siasa.

Kama Daktari Ziddy kaacha kuandika hicho kisa kama unavyosema, ukweli bado upo kuwa ukiisoma Paper yake kwa makini UTAJUA conflicts za wakati huo. Of course namsifu sana kuwa pamoja na kukusiliza na kahawa zako akala pengine na kashata (nimesoma anakushukuru) yeye hakuchukua silaha begani na kusaka Wakatoliki. Amewaangaza sana Waislamu na serikali. Hiyo nyanja kaona umeikatia hati milki ndio maana labda kakuachia (.....hahahahahahah.....). Ila kama unayasimulia haya ni vizuri ukawa fair na kuwaeleza waislamu wajue pia mchango wa kina AMNUT katika kuiua hii EAMWS. Usilifiche. Pata courage ya kulisema hata kama ndani ya wahusika wapo waliokuozesha binti yao. Kuna Kesho. Alamsiki.

Wickama,
Wewe umeeleza yako na mimi nimeeleza yangu.

Historia ya Sheikh Hassan bin Amir na Nyerere nimeieleza vizuri
katika kitabu changu na kwingi hapa nchini katika miaiko huombwa
kukizungumza hiki kisa.

Mie namjua vyema Dr. Ziddy na hivi sasa mimi na yeye tunafanya
utafiti mmoja.

Namfahamu vizuri sana...

Ila nitakupa kitu uelewe historia za Zanzibar.
Mapinduzi ya Zanzibar yalifanywa na ASP na Umma Party.

Makomredi hadi leo hata mmoja hajanyanyua kalamu kuandika
vipi walipindua serikali.

Historia iliyiandikwa ''walisahau'' kueleza habari za jeshi la Wamakonde
kotoka Kipumbwi lililokuwa likiratibiwa na Mohamed Omar Mkwawa na
Victor Mkello.

Hizi ndizo historia zetu.
Zimejaa matundu.

Taratibu utakujajua.
 
Alamsiki bi Nuur.
Wewe umeeleza yako na mimi nimeeleza yangu.

Historia ya Sheikh Hassan bin Amir na Nyerere nimeieleza vizuri
katika kitabu changu na kwingi hapa nchini katika mialiko huombwa
kukizungumza hiki kisa.

Mie namjua vyema Dr. Ziddy na hivi sasa mimi na yeye tunafanya
utafiti mmoja.

Namfahamu vizuri sana...

Ila nitakupa kitu uelewe historia za Zanzibar.
Mapinduzi ya Zanzibar yalifanywa na ASP na Umma Party.

Hivi ndivyo tunavyoaminishwa.

Makomredi hadi leo hata mmoja hajanyanyua kalamu kuandika
vipi walipindua serikali.

Iko siku niko London mimi, Babu na Ahmed Rajab na nilimhoji sana
Babu kuhusu mapinduzi na nikamuomba aandike.

Aliniahidi kuwa ataandika.

Kaondoka duniani hakuacha historia ya Umma Party na mapinduzi ya
Zanzibar.

Historia iliyiandikwa ''walisahau'' kueleza habari za jeshi la Wamakonde
kotoka Kipumbwi lililokuwa likiratibiwa na Mohamed Omar Mkwawa na
Victor Mkello.

Hizi ndizo historia zetu.
Zimejaa matundu.

Taratibu utakujajua.
 
Plato,

Mimi huwezi asilan kuona mantiki za hoja yangu yoyote kwa sababu umeamua kujivalisha miwani ya mbao. Halafu tangia lini watu wa Madrasa wakaweza kukushindeni nyinyi. Hata Kithungu hatujui. Jingine ni kuwa lugha nitumiayo mimi wewe itakulazim ukatafute Kamusi ya Kiswahili Sanifu(niliyokusaidieni kutunga hapo Tz) ili tuelewane.

Kwa ufupi mimi nipo hapa jamvini kumsikiza Sheikh Mohammed. Wewe unapoteza nguvu zako kutaka kunijibu mimi badala ya kukemea matusi...vipi yakhe!?

Tafadhali usinitukane na wala usinitumie bayana nyingine yoyote.

Nakushukuru.

Wala usihofu, siwezi kukutukana siyo desturi yangu. Kiswahili nakifahamu ndiyo maana umenilewa nami nimekuelewa. Ikiwa hatukijui huenda usingeingia JF - Nani atakuelewa ikiwa kila mtu hajui Kiswahili 'chako'.

Kuna jingine unasema "ukatafute Kamusi ya Kiswahili Sanifu(niliyokusaidieni kutunga hapo Tz) ili tuelewane", hivi kumbe
ulitusaidia Kamusi na si kwamba ulishiriki, kumbe wewe si mwenzetu siyo? Lakini mara ya mwisho kukusikia ukiwa GM ulijinasibu kuwa wewe Mtanzania au ndiyo ile habari ya wahenga "Mswahili akipata.............."

Tuendelee na mnakasha........
 
Wanajamvi,
Nacheka peke yangu.

Wala si jambo la kujisifu na wakati mwingine hujuta na nafsi yangu kwa ''exposure''
ile.

Nimemjua Peter Colmore katika miaka ya katikati ya 1960 kwa kuwa nyumba yetu
ilikuwa karibu na ofisi yake hapa Dar es Salaam.

Nikenda katika ofisi ile ambako Ally Sykes akiitumia.
Muziki ulikuwa katika nyumba yetu.

Santuri za akina Masengo, Bosco, Nat King Cole, etc. etc. nikizicheza katika radiogram
nyumbani kwetu.

Jana kulikuwa na ducumentary ''The World of Nat King Cole'' nimetulia sana naangalia
usiku mkubwa.

Mama watoto ananiuliza ''Bwana mbona kipindi kiemkuchukua hivyo?
Sikujibu nilimpa ishara tu aje na yeye aangalie.

Alipomwona Nat akajua.
Nilikuwa nimerudi utoto na kama vile namuona na marehemu baba yangu.

Nikiimba nyimbo za Nat King Cole na Septet Habanero tena naimba Kispanish...
Natingisha kichwa...

Leo nimewakinga wanangu na maisha haya.
Lakini ule ulikuwa wakati wa wazee wetu...

Waingereza wamewaachia nchi na utamaduni wao wakauchukua.

Ati ananiuliza umri wangu wakati wa Masengo!

Nilikuwa mtoto sana lakini nikimfahamu vyema si yeye tu mpaka binamu yake
Mwenda Jean Bosco.

Salum Abdallah wa Cuban Marimba Cha Cha Band alikuwa rafiki ya baba yangu
akifika hadi kwetu.

Jaha Ubwa, Abdul Aziz Twala wanamapinduzi wa Zanzibar wakija kwa baba yangu.

Namshukuru Allah nilizaliwa na watu hawa katika wakati ule na ndiyo maana haya
yote nikajayajua kirahisi sana.

Wanajamvi,
Amueni.
Katika ''exposure'' hii 1950 - 1960.

Huyu jamaa yangu ndiyo anaweza kutoa shingo na kusema ati ''atakula sahani moja''
na mimi?

Sahani ipi hapo Magila, Mkuzi...
Kwanza nani atampa maji ya kunawa?

Mimi nilikuwa hapa Dar es Salaam.

Sheikh Mohammed,

Hivi yule Bwana Islam Barkat ulomzungumzia ni yule wa Upanga opposite na SIDO Head Office,nyumba yake nafikiri ilikua ya tatu kutoka kwa Saad Juma Mzee(Wastara Bus)!?

Italazim ni-update ile list ya Wazee wetu kiduchu,na safari hii nitatoa upendeleo mahsusi kwa kina Bibi na Mama zetu. Nitaanzia na Mama Adede pale Mchikichi(mkwewe Mzee Barkat),Bi Shum Bint Bakar Bin Ameir,Bi Salma wa pale Rufiji Street nafikiri, sintamsahau Mmanyema mwenzio Bint Sungura na ngoma yake ya Kilua na wengineo wengi mno walomkaribisha mjini ndugu yao Julius Nyerere.

Pia nilimkumbuka Bwana Abdilbari Bin Diwani wa Gombe na Bwana Makutika wa pale Mfaume Upanga.

Kwa mara ya kwanza Nyerere anapelekwa kutambulishwa kwa ndugu zake wa Egyptian Music Club;music ilipokolea akainuka Bwana Barkat kwenda tunza. Na huku Maalim Bin Salim Al Awadh na mwenzie Miraj "Mzuri" Al Jahazmy wanapiga "UDI" kwa ustadi wenye hiba. Ghafla Nyerere akamnong'oneza Sheikh Khamis Bin Akida Said Al Shirazy,yakuwa nae anapenda sana Jazz na anaomba akacheze. Ndipo pale Sheikh Khamis Akida,akamjibu hapana hii si Jazz bali ni Taarab, huwa hatuchezi bali husikilizwa kwa utuvu na kutikisa vichwa tu!ahaha!!

Wallahi mambo na mapenzi ya Wazee wetu yalikua ni mengi mno.

Ahsanta.
 
Wala usihofu, siwezi kukutukana siyo desturi yangu. Kiswahili nakifahamu ndiyo maana umenilewa nami nimekuelewa. Ikiwa hatukijui huenda usingeingia JF - Nani atakuelewa ikiwa kila mtu hajui Kiswahili 'chako'.

Kuna jingine unasema "ukatafute Kamusi ya Kiswahili Sanifu(niliyokusaidieni kutunga hapo Tz) ili tuelewane", hivi kumbe
ulitusaidia Kamusi na si kwamba ulishiriki, kumbe wewe si mwenzetu siyo? Lakini mara ya mwisho kukusikia ukiwa GM ulijinasibu kuwa wewe Mtanzania au ndiyo ile habari ya wahenga "Mswahili akipata.............."

Tuendelee na mnakasha........

Plato,

Imenilazim kuvunja miadi yangu na kukujibu japo kiduchu. Nimependa ustaarabu wako,lakini pia menitia simanzi.

Mimi bado ni mwenzenu na ndo maana nipo hapa kila kukicha,mpaka Wifey atishia kunitaliki... Lakini nishamjibu potelea mbali,nitalala jamvini/JF na ndugu zangu!ahaha!!
 
Sheikh Mohammed,

Hivi yule Bwana Islam Barkat ulomzungumzia ni yule wa Upanga opposite na SIDO Head Office,nyumba yake nafikiri ilikua ya tatu kutoka kwa Saad Juma Mzee(Wastara Bus)!?

Italazim ni-update ile list ya Wazee wetu kiduchu,na safari hii nitatoa upendeleo mahsusi kwa kina Bibi na Mama zetu. Nitaanzia na Mama Adede pale Mchikichi(mkwewe Mzee Barkat),Bi Shum Bint Bakar Bin Ameir,Bi Salma wa pale Rufiji Street nafikiri, sintamsahau Mmanyema mwenzio Bint Sungura na ngoma yake ya Kilua na wengineo wengi mno walomkaribisha mjini ndugu yao Julius Nyerere.

Pia nilimkumbuka Bwana Abdilbari Bin Diwani wa Gombe na Bwana Makutika wa pale Mfaume Upanga.

Kwa mara ya kwanza Nyerere anapelekwa kutambulishwa kwa ndugu zake wa Egyptian Music Club;music ilipokolea akainuka Bwana Barkat kwenda tunza. Na huku Maalim Bin Salim Al Awadh na mwenzie Miraj "Mzuri" Al Jahazmy wanapiga "UDI" kwa ustadi wenye hiba. Ghafla Nyerere akamnong'oneza Sheikh Khamis Bin Akida Said Al Shirazy,yakuwa nae anapenda sana Jazz na anaomba akacheze. Ndipo pale Sheikh Khamis Akida,akamjibu hapana hii si Jazz bali ni Taarab, huwa hatuchezi bali husikilizwa kwa utuvu na kutikisa vichwa tu!ahaha!!

Wallahi mambo na mapenzi ya Wazee wetu yalikua ni mengi mno.

Ahsanta.

Gombesugu,
Ndugu yangu umenipeleka mbali sana.
Egyptian ndiyo walipiga katika harusi yangu.

Khasa ndiye Islam Barakat the first African Labour Inspector.
Hapo hapo kulikuwa na nyumba ya Mzee Zaggar.

Kaka wewe mkali.
 
Ritz,

Salaam. Nakufahamu na nakusikiza kwa yakin. Mimi najua mengi mno wala sitie shaka. Andrew Nyerere,ni rafiki mkubwa wa Mzazi wangu,nafikiri niliwahi kusema hapo awali.

Huyo jamaa ni psychological fragile,angalia tu ile mada yake halafu ameweka Sheikh Issa Bin Ameir badala ya Sheikh Hassan Bin Ameir...kama kwenye legal technicalities basi Barrister mahiri anakwambia Case dismiss!

Hapa kilichobaki kwa ufupi ni kurembeana fedhuli na kibri kingi tu,labda zaidi wanatumia udhalimu wao wa kumuuliza makhanatha Sheikh Mohammed ili wamuumize kichwa.

Takriban yoote alozungumzia Zali la Mentali a.k.a Mchimba Chumvi,ndo yale yale alokua anadarsisha Sheikh Mohammed takriban miezi minne. Tafauti yeye Zali la Mentali kawaendesha kindava na kimchakamchaka wa nguvu,ndo maana unaona kijasho chembamba kinawabubujika.

Yule kunguni wa hoja a.k.a Abu Jahal,mimi pia nilimtoa maanani kitambo pale alipoleta ule uTarime/Ukabila wake,na ati kujaribu kumtetea Nyerere tena kwa kutumia Khadith na Qur'aan tukufu. Yule Kunguni Wallahi ni Khabith Al maar.

Nyerere aliwahi kufanza mema kiduchu,lakini dhahma wa min'karadas,dhuluma na madhila aloleta ni mengi mno pita kiasi na yanawasulubu watu wengi mno hapo Tanzania mpaka kesho.

Inastaajabisha na ni viroja pasi mfano,hao mashangingi wa shughuli kutukataza kumjadili huyo Nyerere kama vile sisi hakuwa Rais wetu!? Hawa watu maluuni saana.

Tena kama wana maarifa wampe shukran saana Sheikh Mohammed,maana najua anayo mengi lakini kahifadhi moyoni tu. Na haiingii akilini hata chembe ati watu tusimjadili Nyerere,mtu aloleta nakma na zilzala ziso mipaka hapo Tanzania na kwingineko.

Embu waambie wachungulie japo kiduchu,Biography ya JFK by Pro. Micheal O'Brien. Halafu waone huyu jamaa alivyomnyambua JFK,kuanzia Mababu na Mabibi zake woote tokea Ireland,mpaka kutaja makuwadi wake tangia Sec. School mpaka Hollywood. Kaoredhesha mpaka rangi za vichupi/bikinis walizokua wanavaa vimada wake!

Labda tafauti inakuja pale yakuwa; tamaduni za wenzetu na sisi pana khitilafa kubwa mno. Lakini tukifika hapa,itakua tunajibana soote hasa pale tunapotoa mifano mara kwa mara,na jamaa kuanza kulinganisha hapo Tanzania na nchi nyingine za ughaibuni na hasa watu na mataifa ya Magharibi. Na bila ya kufanza hivi,tutawezaje kuzungumzia History!?

Kwa kifupi,Sheikh Mohammed hakumtusi Nyerere ati kwa kusema alikua akisaidiwa kitoweo na nduguye Bwana Mshume Kiyate,hasha!

Halafu wanakuja hawa viwavi wa hoja,ati mara tunachanganya mada,mara tushawahi kujibu tuhuma za Nyerere,mara kafungueni thread nyingine. Hawaoni huyu kinyonga mwenzao anapoleta makhanatha ya hadthi za ugaidi na kutuumiza vichwa kwa kiswahili chake cha kujifunzia Secondary School. Mimi binafsi niliwahi kunena na kutahadharisha mambo kadhaa hapo awali,lakini nikaonekana mtoto wa Madrasa,halafu kajiunga only couple of weeks ago,atatwambia nini sisi mashangingi wa shughuli hii!!

Habari za Nyerere ni nyingi mno wala hazishi kwa hapa Jf hata siku moja.

Kama Jasusi ataamua kusema ukweli hapa jamvini,basi alete kisa cha Nyakyoma,Mohammed Enterprises. Hii kesi naijua kiundani na kiunagaubaga. Mzee wangu alishughulika nayo. Na kama patamwagwa vitu hapa,nami nitamwaga vitu halafu nitakupeni watu mkawaulize.

Nyerere alimshangaza saana Zacharia Maftah(former Director of Anti Corruption Squad),alipoamua ghafla kuhamisha file ya Nyakyoma ipelekwe kwa Abdallah Nungu(alikua Mwenyekiti wa Tume Ya Kudumu ya Uchunguzi Wa Viongozi). Alifanya kusudi kumuokoa nduguye Nyakyoma kwani alijua yakuwa Maftah ilikua anamfunga miaka mingi saana. Wakati Maftah anaifata ile file kwa Abdallah Nungu,ati anaambiwa file imeitwa State House na iko mikononi kwa Mwalimu. File inatoka kwa Nyerere tayari imenyofolewa makaratasi ushahidi takriban woote haumo. Huyo ndiye Nyerere. Matokeo yake akamzidshia utajiri uso kifani Mohammed Enterprises na kufa kwa Gapex maskini mpaka kesho!

Kwa wale wajuvi msokubali hoja za watu wa Madrasa,tafadhali kawaulizeni Joyce Shundi(Kamanda wa Takukuru Dar),Zacharia Maftah, Mzee Butiku au Timothy Apiyo na wengineo wengi walio sehemu nyeti za Serikali. Hawa woote nawajua na nawaheshimu vizuri mno ni Wakristo watiifu tu.

Nyerere alikua analazimisha kwa kibri na kuchukua meli ya kiraia ya Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar,ili akamsaidie rafiki yake Samora dhidi ya Renamo pale Mozambique. Ile meli ilikua inabebeshwa silaha nyingi na za hatari,Wanajeshi na ndani yake kulikua na wafanyakazi wa kiraia wa kawaida kabisaa. Hawa wafanyakazi woote mpaka Captain walikua tu wanapewa taarifa masaa machache kabla ya safari na bila ya kufahamishwa destination mpaka wafike Dar port ndio wanashtukizwa. Hapa kama kuna wataalamu wa Maritime Insurances,pia mtashangaa hiyo meli ilikua inachukua cover ipi na hao wafanyakazi wa kiraia ndani yake walikua wako-covered kivipi!? Hiyo meli imenusurika mara kadhaa na mizinga ya Renamo.

Nyerere,alimstaajabisha mpaka Mzena(Usalama wa Taifa enzi ya Mwalimu),pale alipoamrisha IGP wake Hamza Aziz awekwe chini ya surveillance bila ya ushahidi au sheria yoyote. Ndio maana ile siku Hamza Aziz alipopata accident,alipokwenda kumuona Nyerere huku anajitafunatafuna,ndipo Nyerere alipomwambia Hamza kabla hujasema lolote fungua hiyo bahasha hapo. Ndani ya ile bahasha palikua na photographic evidence,inamounyesha sura halisi ya Hamza Aziz,gari yake na mpaka plate numbers. Picha ile ilipigwa na Mzungu mmoja ati alikua akifanya kazi pale BP - Kurasini!?

Kwa masuala haya muulizeni Mzena mwenyewe kama yuhai. Mkitaka zaidi nitakupeni majina ya watu makhusus tena Wakristo wenzenu mkaulize.

Kuna jamaa mmoja hapa,nae alikuja na hoja yake mbuzi kutaka kuonyesha ati "vitimbi" vya Sheikh Yahya Hussein. Kuna mengi saana pita kiasi...lakini chukua hii tu kiduchu.

Sheikh Yahya Hussein,alishughulika saana kumsaidia Nyerere kuzima lile jaribio la mapinduzi la 1982. Sheikh Yahya Hussein alitumia saana influence na connections zake kwa Sheikh Abdallah Saleh Al Farsy, Kenyatta,Moi,Njonjo,Usalama wa Taifa wa Kenya na wengineo wengi mno pale Kenya ili kuleta habari huku na kule na pia kuwakamata na kuwarejesha nchini baadhi ya watuhumiwa. Na kuna vitu vingi mno in between vilikua vinafanyika. Ukitaka zaidi nitakufungulia kwa undani,halafu nitakuonyesha udhaifu,Ukabila na roho mbaya ya Nyerere uko wapi.

Halafu,anakuja yule Mrema, mtu mgeni kabisa wa politics za Mzizima na Kariakoo kumkamata Sheikh Yahya Hussein bila ya jambo lolote la maana. Mpaka Lawrence Gama(former DG Usalama wa Taifa na nyadhifa nyingine nyingi tu hapo Tz,pia Jasusi ataeleza alimuoa nani ndani ya family ya Nyerere),alisikitika saana upumbavu wa Mrema kuingilia vitu alivyokua havijui. Kumbe Mrema alikua hajui maskini yakuwa anamfanyia Kitwana Kondo kazi yake,ambae wakati huo ndio alikua Rais wa nchi kuliko huyo Mwinyi mwenyewe. Kitwana Kondo alinyang'wanya mke na Sheikh Yahya Hussein during 60's.

Hizi habari kwa undani muulizeni Dominick Gama au Sinde Warioba. Maana nasikia Mzee Gama Lawrence amefariki. Na kwa wale wa Chadema,kamuulizeni Mabere Marando na atakufahamisheni yeye wakati huo alikua nani!? Au Shahidi X...Mzee Maige!

Kwa hiyo msione watu tumekaa kimya,ati mkafikiri tumevamia tu hili jamvi au hatujui mambo au huyo Nyerere wenu hatumjui au mambo nyeti takriban yoote, ati kwa sababu tu ni watoto wa Mdarasa. Tunafanya staha tu kiduchu. Kwa sababu wengi hawa ni Wazee wetu kama anavyosema Sheikh Mohammed Said. Hiyo nchi sisi wengine ni haki yetu na tuna uchungu nayo kupita hivyo mnavyohisi.

Ahsanta.

Cc: The Big Show

Gombesugu,
Kaka yangu basi inatosha.

Mzena ni marehemu.

Wakati niko shule nilikuwa karibu sana na wanae.
Tukisoma shule moja.
 
Wewe toka ulivyosema Waislam wanatakiwa kumshukuru Mkapa nikakuweka kundi moja na Abuu Jahari, wamshukuru kwa lipi? Hakuna kitu kibaya kama unafiki na kujipendekeza.
Ritz, ni lini umegundua kwamba unafiki na kujipendekeza ni kitu kibaya? mbona wewe bila hata aibu unayafanya haya! unajinafikisha na kujipendekeza CCM kwa sababu tu inaongozwa na muislam Jakaya Kikwete! ila CCM iliyoongozwa na Mkapa uliichukia sana!
 
Tunakusoma Moh Said,Tupe Burdan ikhuan..
Wamekosea sana,wamefanya kosa la jinai kutuchagulia upande huu,dakika ya 90 tisini dimbani hapa timu pinzani iko hoi sana,beki zimeshindwa kabisa kukaba..
twende kazi..

The Big Show,
Hii naiweka kwa heshima yako pitio niloandika la kitabu alichoandika Ali ''Alberto'' Saleh na wenzake kuhusu Bi. Kidude.
Ilichapwa na ''The East African'' 2009.

Bi Kidude –Tales of a Living Legend

Bi Kidude needs no introduction to the people of the East African Coast from Lamu in Kenya to Lindi in Tanzania and beyond where taarab is not only popular music but part of the Swahili culture.

There was atime when taarab was taken as an exclusive music enjoyed and understood only bythe Waswahili – people from the coast but gradually taarab has not only transcended cultural boundaries but has crossed the boundaries of its origins to find fansas far away as Burundi, Rwanda, South Africa and other countries in Europe.

None other can be credited for this but Fatma bint Baraka popularly known by her nickname Bi. Kidude.

Ally Saleh, Fiona Mc Gain and Kawathar Buwahyid have teamed up to write her biography – Bi.Kidude – Tales of a Living Legend.

But I am sure it is not for Bi. Kidude's excellence the authors decided to write her biography.

If it were purely for excellence in taarab there are many icons in Zanzibar who could have footed the bill and therefore the authors could have picked from.

There is the legendary –Bakari Abeid whose love song Mazoea yana tabu has become an all time taarab hit number now more than 40 years since it was composed yet when the song is played or re-done by other artists it still sounds fresh.

There is Mohamed Maulid affectionately known as Machaprala by his fans. Machaprala's compositions are in a class of their own.
One composition is totally different from the previous one in melody, lyrics and arrangement.

Machaprala has introduced into taarab a style of singing and chorus never before tried by any other singer.
And of course there is Mohamed Ilyas whose style of singing reminds his fans of the late Mohamed Abdulwahab the famous Egyptian singer and actor of 1950s.

But what is there to write?

The only reason which I think they chose Bi.Kidude is the fact that Bi. Kidude is what in all intent and purpose one can sum up as a ‘rebel.'

One has only to listen to any of the many interviews which Bi.Kidude has given to local TV stations and radios to appreciate her character.
You only need to listen once to her punch lines and let alone her anecdotes.

Bi. Kidude is not that character that would shy away from a cheeky, hostile and protruding interviewer.
Bi. Kidude would pay such kind of interviewer in kind, upfront and smiling.

Bi. Kidude is our own Madonna.

The authors have been ableto capture this side of Bi. Kidude well and comes out brilliantly in the book in her narrations about her own troubled life as a young girl growing up in the male dominated Sultanate Zanzibar of 1920s.

In Zanzibar which is a predominant Muslim country and its society male dominated and therefore chauvinistic where an old person is expected to observe certain puritanical norms living last days in piety seclusion, the eighty years old Bi. Kidude has defied the norm and has turned upside down the tradition to the chagrin of puritans in Zanzibar society.

Bi.Kidude as a real star of the stage despite her age wears make ups, enjoys her drink once a while and still mounts the stage not only in full packed concerts in Zanzibar but also abroad, be it inLondon, Johannesburg or Hamburg singing her heart out with a full orchestra backing her.

Bi. Kidude has ignored her critics and the sneers remaining unperturbed.
A quick glance of her photos while on stage with the lights picking her Bi. Kidude resembles the jazz singer Ella Fitzgerald in her last years.

It is a pity that publishers have decided to publish the work in glossy and not as proper mainstream publication.
This may put off readers.

Glossy books are put on a coffee table to be read as light literature, easy books to be read for pleasure.
But though the book is inglossy and therefore categorized as not serious book yet this book is an encyclopedia of the life and culture of the people of Zanzibar.

The cover of the book has a photograph of a smiling Bi. Kidude as if is telling her critics to paint her as she is without missing a wrinkle on her face.

The cover of the book tells it all, the smile or the laugh by Bi. Kidude is as if again she is telling the world "when you smile the world smiles with you."

Bi. Kidude – Tales of a Living Legend
is about her life history growing up in sultanate Zanzibar of 1920s.

Through Bi Kidude's life the reader meets makers of Zanzibar's modern history – Sultan Sayyid Khalifa bin Harub Al-Busaid, Sheikh Yahya Ramia of Bagamoyo (the Khalifa of Tarika Quadiriyya) father of the patriot and nationalist politician, Sheikh Mohamed Ramia, Abeid Amani Karume, Wolfang Dourado who was once Zanzibar Attorney General, Tharia Topan the rich Asian businessman and Julius Nyerere.

Bi. Kidude tells her own story with passion, innocence and humility without complications, unconsciously taking the reader into inner chambers of the Zanzibar society which to many still remains distant mystery.

Politicians pushing their own agendas portray the Zanzibar society under the sultan as a society which was dominated by hatred between the so called Arabs and Africans because of residues of slavery.

Bi. Kidude oblivious to all this narrates about her birth and life in Zanzibar without any prejudice.

Reading through thebook the reader gets an impression that the Zanzibar society was one of calm and love between people of different backgrounds …"my sister and I lived with the Arab lady who also raised my mother, Awena binti Nassor Lemki.''

Bi. Kidude portrays the intermingling of the influence of foreign culture and local traditions.
In reliving her life Bi.Kidude takes the reader through the culture of the people of Zanzibar.

Through the book one is able to learn what the Swahili used to do when a child is born and as the child is growing what forces are exerted on the child as agent of socialization.

The reader is taken into the education system of madrasa and its methodology of teaching where Bi. Kidude went through as a young girl.

Bi. Kidude reveals that though she never had formal education as is known today and therefore cannot read the Roman script that system of teaching which she went through emphasized on memorization of long chapters from the Qur'an sharpened her power of retention.

When she began her carrier as a singer she did not have to read lyrics she only had to listen to the lyrics only once and the words would stick into her mind.

The influence of Islam and its contradictions with these local customs is evident in the book. The reader gets a glimpse of what Mwaka Kogwa is all about, a custom imported into Zanzibar by Persians.

Bi. Kidude unwillingly unveils just partly what Unyago the exclusive womanhood initiation society is all about.

The book moves with ease from one epoch to the other. Bi. Kidude introduces readers into the age of Zanzibar enlightenment in western dances, music, and films.

However the book has not been specific in marking the years in the different phases of Zanzibar's history.

It leaves the reader to use his own imagination whether that age of introduction of western music into Zanzibar was before or after World War One or Two or when cinema as a form of entertainment particularly Indian movies became popular during which year.

But what I fail to grasp in the book is the fact that did the writers had a message they wanted to convey?

This could be taken as a yard stick to measure the purpose of the book.
Surely the writers were not writing in abstract.

It is difficult to believe that the writers were oblivious with the forces at play in Zanzibar at the beginning of 20[SUP]th[/SUP]century.

Is there in the book something begging to come out?

In the whole book not in a single page as the writers traced Bi. Kidude career has there appeared in her narration that Arabs and Africans hated each other and as an African she was discriminated.

Bi. Kidude black as she is states in the book that she has family connection with Al Kharusi once one of the prominent Arab families in Zanzibar and proudly informs her readers that one of the princesses - Seyyid Soud was her uncle.

More than forty years after the revolution Bi.Kidude talks about her Arab relatives with melancholy and fondness.

This scenario does not augur with what we are made to believe that the relationship between Arabs and African was far from cordial.
We are made to believe that life under the Sultan was similar to that in Deep South America during slavery.

This is an unforgivable omission and the authors cannot hide behind the notion that they wrote that which was narrated to them nor can they hide behind the facade that the book was not about politics.

There has never come a book from Zanzibar which was apolitical.
Imaginary conflicts between Arabs and Africans are the spice which politicians and foreign writers as well locals season their cooking.

If this was the truth there is no way a person like Bi. Kidude who is known for her sharp tongue, wit and being outspoken would have forgotten to narrate.

How I wish the authors could take that cue and probe further but then the focus was on the life of Bi. Kidude - the Queen of Taarab.

More often than not it often happens that when writing an autobiography in which the author relies heavily on narration rather than on own research very important information is allowed to pass unquestioned and this robs the book of vital insights.

It is a pity that while Bi. Kidude is extrovert throughout her life and career the book about her came into the market silently.
 
Ritz,
Hata sijui hawa ndugu zetu wamepagawa na zohari gani.

Zohari kubwa na fazaa imewakumba.Mpaka imebidi wabadili sura na mavazi yao.
Yerico ameachana na ile sura ya mtoto wa Nyerere.Mag3 amebadili mavazi mara mbili na sasa amevua koti lake la ccm na kubaki tumbo wazi.
Mjadala umekwisha!.Hauna jipya wala hakuna uchochezi.
 
gombesugu,

Yericko Nyerere siyo mtoto wa Julius Kambarage Nyerere anatumia tu hilo jina mwanzo wa mnakasha huu alikuwa anajinasibisha na Nyerere kama baba yake mzazi bahati nzuri alikuja mtoto wa kwanza wa Julius Kambarage Nyerere, Andrew Nyerere akamkana kuwa siyo ndugu yao hamjui.

Aliulizwa swali moja tu mama yako ni nani mpaka leo kimya hajajibu.

Zali la Mentali, kachafua hali ya hewa humu jamvini.
Ritz, mbona swala la Yericko Nyerere la kuwa mtoto wa Nyerere au sio mtoto wake linakushughurisha sana? Kwani wewe mwenyewe binafsi una uhakika gani kuwa huyo baba yako unayetumia jina lake kama baba yako ni kweli ni "biological father" wako kweli? mbona unajidharirisha mwenyewe kujadili nasaba za watu wengine? kwanini usijadili hoja za Yericko badala ya kujadili hoja zake? Nani alikwambia Andrew Nyerere anaweza kuwatambua watoto wote wa marehemu babayake?
 
WWanajamvi,
Amueni. Katika ''exposure'' hii 1950 - 1960.Huyu jamaa yangu ndiyo anaweza kutoa shingo na kusema ati ''atakula sahani moja''na mimi?Sahani ipi hapo Magila, Mkuzi..Kwanza nani atampa maji ya kunawa?Mimi nilikuwa hapa Dar es Salaam.
Mwaka 1950 ulikuwa hujazaliwa, sijui ulicheza santuri ukiwa wapi maana nina uhakika hata tumboni ulikuwa hupo. Mimi nakula sahani moja na wewe si kadogoo. Kadogoo atakupigia makofi ukisema Balozi amehutubia bunge au warioba aliokotwa machungani. Nimekuweka mahali ambapo umekiri kuwa umedanganya jamvi hapa hadi Lagos.
Unaishi 5 stars na kusafiri kwa first class kumbe uneapeleka uongo! Ndio maana nimesema Liar! big liar na hukuthubutu kusema kitu.

Siyo mara moja au mbili ni kila ulichoandika ninaona uzushi ambao haulingani na maudhui, hekima, taratibu na busara kama zinavyofundishwa katika uislam. Leo wewe si yule wa kuja na kutamba kuhusu Cambridge n.k.
Leo si wewe wa kutupa data za kindergarten, na leo wewe si yule unayeweka vipande hovyo isipokuwa vya bi kidude.

Mohamed, as long as you're here nitakula sahani moja na wewe. Unajua hilo lakini ufanyeje?

Umenikumbusha mkuzi kwa sheikh Abdallah.
Pale Magila kuna sehemu inaitwa mikwamba ndipo familia ya kihampa inatoka.Miongoni mwa wasomi wa mwanzo.
Hapa Mikwamba kuna historia nzuri bahti mbaya watu wamekimbia na kijiji sasa chafa.
Wengi sana wameelimika wakti wa mission Magila ilipokuwepo.

Vipi wapajua kicheba?
Gombesugu alipomtaja sheikh Hemed Bin Jumaa alinikumbusha nyakati hizo akina sheikh Mwinyiatani wakiuunguruma pale muheza mjini. Jamani udongo unakula vitu!

Dunia hii ukiizunguka na kuishi utaona mengi. Gombesugu kanikumbusha pia kule Tarime alikosema ni kwetu.
Kule nawakumbuka akina Kembo Migire wa Shirati Hospital. Hapo zama hizo ndipo watoto waliokuwa na Burkitt's Lymphoma wakitibiwa ukiacha ocean road nchi nzima.(Mohamed hayo ni maradhi usije sema nimekutukana)

Wajulie hali hapo nyumbani
 
Ritz, mbona swala la Yericko Nyerere la kuwa mtoto wa Nyerere au sio mtoto wake linakushughurisha sana? Kwani wewe mwenyewe binafsi una uhakika gani kuwa huyo baba yako unayetumia jina lake kama baba yako ni kweli ni "biological father" wako kweli? mbona unajidharirisha mwenyewe kujadili nasaba za watu wengine? kwanini usijadili hoja za Yericko badala ya kujadili hoja zake? Nani alikwambia Andrew Nyerere anaweza kuwatambua watoto wote wa marehemu babayake?

Wewe ndiyo unasema ni mdau wa NECTA kweli watoto watapona na DIV 0.

"Linakushughurisha"

"Unajidharirisha"

Shule za kati ndiyo matunda yake haya.
 
Back
Top Bottom