Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mantiki ya hotuba hiyo imejengwa kwa wahafidhina wa TAA na Nyerere, haisimami nje yao!

Sasa ukiweka kuwa aliuliza wa mtaani basi inakulazimu uilete mantiki nyingine na si hii ya hotuba ya mwalimu!

Kumtaja Abdul Sykes kuwa ni

"jamaa anaitwa Abdul"

Haimaanishi kuwa alikuwa mgeni wa TAA, bali amemtohoa na mkumuenzi kihotuba!

Nashanga ikiwa uhoji kuwa kwanini hamhoji kuona katika hotuba hiyo hakumtaja rais wa chama Dr Kyaruzi?

Wewe mantiki ya kusema aliondoka mda mrefu kwenda kusoma na hivyo hakuwa anawajua viongozi wa TAA wa wakati anarudi kutoka masomoni umeitoa wapi? Mantiki ya kusema mawasiliano yalikuwa magumu wakati ule umeitoa wapi wakati kwenye hotuba yake haipo? Huoni na wewe umeweka mantiki tofauti kabisa ya hotuba yake kwa kumlisha maneno ambayo hayapo kwenye hotuba yake?
 
Sasa wewe kama huzioni hizo ni hoja zi quote halafu uzijibu kwa hoja kuonyesha kwamba sio hoja. Kutumia sweeping generalisation bila kugusia hoja baada ya hoja na kuidadavua ili kuonyesha kwamba hii sio hoja ni upumbavu. Sasa kwa sababu wewe ni mpumbavu na uda dalili zote za kuwa mtoto sio ridhiki kwa kulialia tu, unaruhusiwa kuaendelea kuongea utumbo wako kila ukisikia unawashwa.
Why should I waste my time quoting your stupidity? You have no point worthy discussion here, your head is full of ignorance and unworthy arrogance.
 
You are doomed embicile hooligan.

Sasa nakupa uwanja umalizie matusi yote uliyokuwa nayo kichwani kwani hayo ndiyo yanayokufanya kichwa chako kuwa kizito sana kuelewa mambo. Yamwage hapa upate nafuu ya akili kwani mtaji wa mpumbavu anapokuwa kazidiwa nguvu ya hoja ni matusi yake mwenyewe ili yamsaidie kupunguza inferiority complex anayoihisi wakati wa kujadiliana na watu wenye kumshinda hoja.
 
Zali la Mentali, why do you keep on repeating the word "hoja"? You have never never put forward any "hoja" here since you joined JF! instead you have been narrating unsubstantiated rumours! Stop forthwith boring us with your nasty and stupid stories.
 
Huwezi kunizuia kutumia neno hoja kwa sababu ninazitema kisawasawa. Utaishia kupiga kichwa ukuta mpaka kipasuke kama hutaki kujibu hoja zangu halafu unategemea you will get away with it that simple.

Angalia Wackama alivyofanya. Alini quote na akaweka madukuku yake. Nikaweza kumjibu moja baada ya jingine. Wewe ulivyo mpumbavu huna desturi ya kujadiliana kwa hoja. Unaendeshwa na emotions zako kama vile uko kwenye tendo la ushoga.
 
Oh! i did not know that you are an expart in gay marriages! by the way, who takes you on ride poor boy? That is why you never talks sense!
 
Inasikitisha sana kuona watu wanaojiita wasomi na wenye wangavu mukubwa kuendeleza amani ya nchiyetu wanapogeuka kuwa wachochezi wakubwa bila aibu! Inasikitisha sana mnatupeleka wapi ni mwanadamu gani aliyekamilika? Shame upon you!!!
 
Zali la Mentali, why do you keep on repeating the word "hoja"? You have never never put forward any "hoja" here since you joined JF! instead you have been narrating unsubstantiated rumours! Stop forthwith boring us with your nasty and stupid stories.
Wacha kutudanganya na nafsi yako.Wenzako akina Mag3 na Wickama tangu kuingia zali na gombe wameanza kuelewa na wengine wameamua wakae kimya.Wewe umeamua kubaki kutukana tukana ovyo.
Kama una hoja saidia kujibu hizi.
Ndio maana nasema nyinyi vichwa vyenu vizito mno kuelewa. Kila kitu nimekianika wazi lakini bado hunielewi!!! Sasa nakupa majibu ya masuali yako moja baada ya jingine.

Kuhusu udini wa Nyerere, nimeweka ushahidi huu hapa kwenye post yangu uliyo i quote:

Mwaka 1970 Nyerere aliwaalika Ikulu aliyekuwa Katibu Mkuu wa Tanzania Episcopal Conference Fr. Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa Tanzania Mgr. Giovano Cerrano na Nyerere aliwaambia wageni wake alikuwa anafanya kila liwezekanalo katika mamlaka yake kuuimarisha Ukatoliki Tanzania. Aliwaomba pia waende kuwafahamisha ma bishops kwamba ameanzisha idara ya elimu ya siasa kwenye TANU na kwamba amemteua Mkristo Reverend kuwa mkuu wa idara hiyo sio kwa sababu ya uwezo wake katika siasa bali kwa sababu ya imani yake thabiti kwenye Ukristo. Jukumu lake ni kuongoza na kudhibiti muelekeo wa kisiasa wa chama. Aliwafahamisha vilevile kwamba katika Kamati Kuu ya Chama (NEC) wajumbe wawili ni Reverends. Alisema anaamini hiyo ndio njia nzuri ya kuhakikisha kwamba chama kinapata “watu” wazuri!!!!!! (van Bergen, 1981:333-336).
Jibu na hii
Si ajabu kutokana na agano lake hilo hapo juu kwamba Sivalon (1992:49) anaripoti kwamba katika mwaka huo huo aliotoa ahadi Wakatoliki walikuwa asilimia 70 ya asilimia 75 ya Wakristo wote waliochaguliwa kuwa wabunge. Kati ya wabunge 108 waliochaguliwa 5 walikuwa wanaamini kwenye dini zetu za asili, 23 walikuwa wanaamini kwenye Uislam, 24 walikuwa wanaamini katika madhehebu mengine ya Kikristo yasiyokuwa Katoliki na 56 walikuwa wanaamini katika Ukatoliki. Hivyo utaona Wakatoliki walikuwa zaidi ya nusu ya wabunge wote!!!!!!!!

Sasa wewe huelewi nini hapa kwamba Nyerere alikuwa mdini wa hatari sana hapa Tanzania kwa ushahidi huo niliouweka hapo juu? Watu maninja huwa hawaingii mkataba wa wazi. Wanafanya mambo yao kwa siri. Niliweka ushahidi hapa wa wikileaks wa jinsi Vatican inavyoshirikiana na Madicteta kama kina Nyerere kwa makubaliono ya siri ili kueneza Ukatoliki kwa kutumia mabavu na kuua watu wasio na hatia ili kulazimisha Ukatoliki kwa nguvu.

Okello kaua watu wangapi, idadi niliyotoa ni makisio baada ya kuangalia namba zililzowekwa na watu mbalimbali. Okello alikuwa anatumiwa tu na Nyerere hivyo hawezi kujua kila kitu. Kuhusu Okello kulenga kuua kina nani ni kwamba mapinduzi ya Zanzibar yalipangwa mahsusi kwa ajili ya kuua Uislam. Ushahidi huu ni mmojawapo wa jukumu alilopewa na Nyerere na Kanisa kuua Uislamu:

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele:
"KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC".
Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.

Kutokana na ushahidi huo, tueleze Nyerere angewezaje kubadili Tanzania kuwa katika dini ya Katoliki?
Yeye hakuwa mhubiri wa dini. Alitumia mabavu kueneza huo Ukatoliki na kati ya mabavu hayo ni mipango yake ya kuivamia Zanzibar. Sasa unapovamia Zanzibar na kuuwa watu kwa ajili ya kuendeleza Ukatoliki, ni dhahiri umelenga kuwaua Waislamu na sio Waarabu. Waliokufa kwenye mapinduzi yale sio Waarabu peke yao. Ni Wazanzibari wote. Isitoshe Waarabu ni Waislamu hivyo wameuliwa si kwa sababu ya Uarabu wao bali kwa sababu ya Uislamu wao kutokana na mkakati huu wa Katoliki wa kueneza dini yao iliyofilisika kihoja kwa kutumia mabavu.
Isitoshe, mipango hii ya kuvamia Zanzibar ilipangwa na Waingereza na Wamarekani wakati huo George Bush akiwa mkuu wa kitengo cha mashushu cha Marekani na Wamarekani walieleza wazi jinsi wanavyomtegemea Nyerere kwa kazi hiyo chafu kwani walimuona kutokana na kichwa yake kuwa mbaya basi ananafasi nzuri ya kufanya kazi hiyo kwa ufanisi uliotarajiwa. Na haya mataifa ya Magharibi hayakuishia hapo. Yaliweka mpaka Plan B ili kama Wazanzibar watataka kurudisha nchi yao mikononi mwo baada ya mapinduzi basi wabanwe na Nyerere ili wasiweze kufanya hivyo. Nyerere alitumia rungu hilo alilokabidhiwa na mataifa ya Magharibi kuwaua, kuwakimbiza nje ya nchi, kuwatia kizuizini, n.k
Wazanzibari ambao walijitokeza kutaka kudai haki yao ya kuwa taifa huru nje ya Mfumo Katoliki. Mpaka leo hii mambo yaliyo kinyume na haki za binadamu yanaruhusiwa Zanzibar tu katika Africa na yanabaraka za Mataifa ya Kimagharibi ili kuhakikisha Plan B inafanya kazi ya kutosha kuendelea kuwakandamiza Wazanzibar ili wasipate nafasi ya kuwa huru na hivyo kupata muda wa wao kuanza kuujenga Uislamu wao upya. Mauaji, ukandamizwaji na wizi wa kura wa kutumia polisi kuua watu na kuny’ang’anya masanduku ya kura kwa nguvu ili kupoteza ushahidi wa mshindi halali wa Urais Zanzibar ni baadhi ya mambo ambayo huwezi kukuta sehemu nyingine yoyote Africa yanafanyika na viongozi wa Africa na kuungwa mkono na mataifa ya Magharibi.

Kuhusu mauti yake ya kufa polepole kwa ajili ya Ukosefu wa Kinga Mwilini na kupumulia kwenye mashine kama laana kwake nimesema hayo ni maoni yangu binafsi ambayo nimeyafikia baada ya kutafakari unyama uliokithiri alioufanya Nyerere kwa Watanzania kwa ujumla si tu Waislamu. Mauaji ya watu wengi tu mashuhuri yaliyotokea hapa Tanzania pamoja na kuwatimua watu nje ya Tanzania lazima yatakuwa na mkono wake (list ya watu waliouwawa na wengine kuamua kutimkia nje ya nchi kwa kuogopa kuuawa ni ndefu mno).

Sasa kama kuna neno linaitwa laana, basi Nyerere hawezi kuepuka kuwa mmoja wa watu waliolaaniwa kwa vitendo vyake vya kuuwa na kuwatesa binadamu wenzake kwa kutumuia mamlaka aliyopewa na Kanisa Katoliki na mataifa ya nchi za Magharibi.

Kuhusu Okello kudai kwamba kama angeweza angeunganisha Zanzibar na Kenya badala ya Tanganyika ni ushahidi wa wazi kwamba Okello alikuwa anatumiwa kama Condom na hakuwa mtu mweye akili timamu. Hakuwa na mamlaka yeyote kwenye lile suala la Mapinduzi, angewezaje kufanya maamuzi ya kuchagua nchi anayotaka kuungana nayo? Isitoshe, anatoa ushahidi mwingine hapa kwamba mpango huu wa kuivamia Zanzibar ulikuwa umeshaunganishwa na mpango mwingine wa kuimeza Zanzibar kwa kuinyan’ganya utaifa wao kwa kuiunganisha na nchi nyingine. Nyerere ndie aliyekuwa bosi wake kwa kushirikiana na Kanisa Katoliki pamoja na mabwana zake wa mataifa ya Magharibi ndio maana alikuwa anatamani bosi wake angekuwa Kenyatta baada ya Nyerere kumtosa mara baada ya mapinduzi yale. Isitoshe, huyu Okello hakuwahi kuwa na sifa yoyote ya kuwa mtu mwenye hadhi kwenye jamii kabla ya mapinduzi yale. Alikuwa na historia ya matatizo ya kuwa mtoto yatima anayehaha huku na huku kutafuta maisha wakati hana elimu yoyote ile ya maana. Hata ukienda kwenye Youtube na kutafuta habari zake, utamuona usoni tu kwamba alikuwa mtu aliyechanganyikiwa wakati ule wa mapinduzi ya Zanzibar. Ndio maana wakamtumia kwa sababu walijua kwamba CHIZI kama yeye ataweza kufanya kazi ile inayohitaji ukatili vyema kama ilivyo desturi ya Kanisa Katoliki kutumia watu waliochanganyikiwa ili waweze kufanya ukatili utakaowawezesha wao kupanua dini yao kwa kutumia mabavu kwani ni dini iliyofilisika kihoja.

Kuhusu Kamanda mkuu Zenj kuwasiliana na Kenya kutoa taarifa ya maendeleo ya mapinduzi yale ya haramu ni ushahidi mwingine kwamba mkakati huu ulikuwa na mkono wa Kanisa Katoliki na mataifa ya Magharibi kwani yalipangwa katika ngazi ya Africa Mashariki na sio Tanganyika peke yake. Hivyo ilibidi ripoti ziende hata nje ya Tanganyika (Kenya) katika uratibu wa zoezi lile. Ndio maana Okello anaanika wazi kwamba majeshi yaliyotumika katika mapinduzi yale yalitoka vilevile Kenya, Uganda, Mozambique na kwingineko barani Africa. Huu ni uthibitisho kwamba Mapinduzi yale yalipangwa na Kanisa Katoliki kutumia viongozi wa Kikatoliki ndani ya Africa kuufadhili na kuutekeleza mpango ule haramu. Nyerere yeye alikuwa na jukumu la moja kwa moja la kusimamia na kutekeleza uvamizi wenyewe. Waingereza kushindwa kutoa msaada wowote kwa nchi ambayo wao walikuwa ndio protector ni ushahidi mwingine kwamba Waingereza walihusika vyema kwenye kusaidia mapinduzi yale kwa hali na mali hivyo ikawa rahisi kwa Nyerere kuweza kufanya jukumu lake bila matatizo.

Hata kama vichwa vyenu ni vigumu kuelewa, nitaendelea kuwasugua mpaka vichwa vyenu vikae sawa.
Kichwa chako Gwalihenzi ni kama cha samaki.Kama sio kweli kanusha kipande kipande
 
Wacha kutudanganya na nafsi yako.Wenzako akina Mag3 na Wickama tangu kuingia zali na gombe wameanza kuelewa na wengine wameamua wakae kimya.Wewe umeamua kubaki kutukana tukana ovyo.
Kama una hoja saidia kujibu hizi.

Jibu na hii

Kichwa chako Gwalihenzi ni kama cha samaki.Kama sio kweli kanusha kipande kipande

Ami,

Wale wote waliokuwa wanapinga kuwa Tanzania hakuna mfumo kristo wote wapo kimya baada ya Mchimba Chumvi Zali la Mentali, kushusha mipini.

Kuna wengine wametangaza kabisa kuwa hawataki kumuona Zali la Mentali, kachafua jamvi lote.

Wanajamvi jitokezeni kujibu hoja za Mchimba Chumvi.

Cc.. gombesugu,
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haa hapa kwa MCHIMBA CHUMVI kawa mpole kakutana na kiboko yake zali anasema ukimwaga ugali yeye anamwaga mboga zali endelea kupiga misumari yenye vikofia juu ile ya kupaulia nyumba!
 
Unatisha watu! period.
Kwamba mtu asipokubali uongo,fitna na uzushi atakuwa amekufur! Mzee Said sijui unasimamia Uislam kwa kuzua uongo ili iweje.

Narudia tena kukwambia nawe uwe msikivu!
Kifo ni ahadi ya mja na mola wake.
Si wewe unayeamua nani afe kwa njia gani. Kifo kinakuja kadri mtu alivyopangiwa.

Unawatisha akina Gombesugu hata kufikia mahali pa kusema ''ni makosa madogo''
Wasomi wanaogopa kuongoza taasisi za waislam kwasababu ya vitisho vyenu. Na wewe na akina Ilunga na Ponda ni tatizo kabla ya kuongelea tatizo.Sasa hivi mupo bize mkiongoza itikafu ili kudhuru wanadamu wenzenu.

Kifo hapangi Mohamed Said, msitishwe! huyu anawatisha kwa mbinu za zamani.
Huyu ni mwanadamu tu asiwatishe jamani. Angekuwa mwadilifu kiasi hicho asingepokea tiketi ya ndege akabeba mfuko wenye nyaraka za uongo na kulala nao five star Ibadan! Tumeonyesha mara ngapi fitna ya mzee Said!

Siwezi kufanya utafiti wenye majibu kuwa kifo ni kazi ya mwenyezi mungu.
Siwezi kumhukumu mwanadamu mwenzangu kama ufanyavyo wewe! hili la wewe kujifanya nabii unalitoa wapi Mohamed!

Kila mtu atakwenda mbele ya haki na kuhesabiwa amali zake yeye na si kutokana na Mohamed Said asemavyo.

Usirudie tena kutisha watu!
Nguruvi3,

Usiogope kabisa kwani siku zote huwezi kuuficha ukweli.

Na Siku zote ukweli unauma sana na Unatisha sana.

dawa ni kutenda haki tu na matendo mazuri ndiyo yatakayo kujengea taswira na maisha mazuri duniyani na Akhera.

Hongera sana Mohamed said kubainisha hayo.
 
Nduka,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Nafurahi kukusikia na kutambuana hapa jamvini.

Wallahi kama upo hapo D'salaam,nipa salaam sana pia kwa Eddy Islam mwambie nduguyo "Shariff Nganganga" wa Vienna anakusalim atacheka saana!ahaha!!

Ma'salaam.

Islam gani huyu wa Upanda. Au yule mwenye duka opposite Msikiti Ngazija.

Anayeishi Ali Khan street

Ami,

Wale wote waliokuwa wanapinga kuwa Tanzania hakuna mfumo kristo wote wapo kimya baada ya Mchimba Chumvi Zali la Mentali, kushusha mipini.

Kuna wengine wametangaza kabisa kuwa hawataki kumuona Zali la Mentali, kachafua jamvi lote.

Wanajamvi jitokezeni kujibu hoja za Mchimba Chumvi.

Cc.. gombesugu,

Hoja zipi alizozimwaga? Mwambie ajibu maswali yangu yaliyotoka na anachokiita hojan nimemuuliza akaishia kurukaruka tu!
 
Last edited by a moderator:
Wacha kutudanganya na nafsi yako.Wenzako akina Mag3 na Wickama tangu kuingia zali na gombe wameanza kuelewa na wengine wameamua wakae kimya.Wewe umeamua kubaki kutukana tukana ovyo.
Kama una hoja saidia kujibu hizi.

Jibu na hii

Kichwa chako Gwalihenzi ni kama cha samaki.Kama sio kweli kanusha kipande kipande
Ami, you are as dead as your doomed philosophy!
 
Oh! i did not know that you are an expart in gay marriages! by the way, who takes you on ride poor boy? That is why you never talks sense!

Wewe umeshaonyesha dalili zote za kuwa mtoto si ridhiki kwa kulialia humu jamvini kuomba watu walewale unaowatukana wakusaidie kunidhibiti mimi. Sasa ndio maana naoengea kwa lugha ambayo utaielewa vizuri kwani ndio matendo yako.
 
Hoja zipi alizozimwaga? Mwambie ajibu maswali yangu yaliyotoka na anachokiita hojan nimemuuliza akaishia kurukaruka tu!

Kwa hiyo hizo hoja alizoziweka moja baada ya nyingine huzioni? Kama huzioni KAA KIMYA.

Kuhusu mjadala wetu, uliamua kuingia mitini baada ya kushindwa kujibu swali langu la mwisho linalohusu mantiki ya hotuba ya Nyerere. Sasa mimi nikiona mtu kaingia mitini bila kuzungumza chochote simfatilii. Najua kanielewa.

Sasa huna haki ya kusema kwamba ninarukaruka tu wakati wewe umeamua kuingia mitini. Kuendeleza malumbano yangu kupitia kwa watu wengine hakutakusaidia. Nitakushukia kama mwewe popote pale utakapoamua kuendeleza malumbano na mimi kwenye mnakasha huu.
 
Ami, you are as dead as your doomed philosophy!

Kama kawaida mtaalamu wa matusi anaendelea na kazi yake ya kumwaga matusi badala ya kujibu hoja za watu!!!!!!

Huyu jamaa ni wazi kabisa akipitisha siku bila kutukana atalazwa hospitalini.
 
Back
Top Bottom