Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Osama aliitwa gaidi sababu alikiri kuhusika na mashambulio ya kigaidi huna la kumtetea hapa asiitwe gaidi lwakatare kakiri lini na wapi ndo mana tunarud katika katiba ya JMT ibara 13. Utakubali umepotoka hapa?
"Osama aliitwa Gaidi kwa sababu alikiri kuhusika na mashambulio ya kigaidi" Sasa wewe ni mtaalamu wa mambo ya ugaidi kama Yericko. Tueleze, Osama alianza ugaidi lini na lini alianza kukiri mashambulio yake ya kigaidi? Na ugaidi maana yake nini?
 
Hivi wewe taahira wewe na wajinga wenzako si munamuita mzee MS nimchochezi sasa sheria ya nchi yako inazungumziaje kuhusu mtu mchochezi au sheria kwa mzee Mohamed inapinda au na wewe na wajinga wenzako mnashabikia kumuita mzee MS mchochezi bila ya kujua maana ya uchochezi hili jinga lenzako huku Arusha linalo leta uchochezi mpaka msibani hulioni.
Pole sana mpumbavu wa kutupwa! kwa kuwa huna uwezo wa kuchambua mambo inabidi usamehewe bure! leo ndio umeonesha wazi wewe na Mohamed Said ni akina nani! bahati nzuri sana vita mulioianzisha dhidi ya raia wasio na hatia kwa malengo yenu maovu itawatafuna ninyi wenyewe bila huruma. Zee lako linaweza kupanda ndege kukimbilia Ibadani na mikoba yake ya uwongo, lakini wewe uliyehasiwa akili(mentally castrated) utabaki unalialia hapa kama watoto wa nguruwe(piglets). Unatumika bila kujijua, umejazwa chuki dhidi ya watu wasio na hatia, unatetea usichokijua! sio kosa lako, alaaniwe Mohamed Said.
 
By mossad007
Osama aliitwa gaidi sababu alikiri kuhusika na mashambulio ya kigaidi huna la kumtetea hapa asiitwe gaidi lwakatare kakiri lini na wapi ndo mana tunarud katika katiba ya JMT ibara 13. Utakubali umepotoka hapa?
"Osama aliitwa Gaidi kwa sababu alikiri kuhusika na mashambulio ya kigaidi" Sasa wewe ni mtaalamu wa mambo ya ugaidi kama Yericko. Tueleze, Osama alianza ugaidi lini na lini alianza kukiri mashambulio yake ya kigaidi? Na ugaidi maana yake nini?
Halafu nikishakujibu hayo maswali yako (irrelevant to the topic) ndo yatathibitisha kua huyo mzee wenu sio mchochezi?
 
Tulishasema basi nyamaza kulia na ufute machozi,yule balozi aliekahutubia alikuwa ni Nguruvi3,au hujaridhika bado?? Umeishiwa sana...
Kwakweli ninalia, na sababu za kulia ni kuona jinsi gani watu wanayangalia matatizo ya jamii katika jicho la makengeza.

Kwamba hawatafuti suluhu wanatafuta mahali pakupoozea ima machungu yao binafsi au kufanya biashara zenye hatari kwa taifa hili.

Ukisoma maandishi mengi ya Mohamed ambayo yamedhihirika kujaa upotoshaji, watu wanayafumbia macho kwasababu tu pengine kuyapinga ni kupinga maandiko matakatifu. Sina sababu ya kurudia yale yote aliyopotosha lakini kila uchao kuna jambo jipya linajitokeza.

Hakuna aliyejua kuwa Sheikh maarufu alipewa nafasi na Nyerere akakataa, kinachosikika ni yeye kufanyiwa fitna.
Hakuna anayeeleza chanzo na kifo cha EAMWS kule kilipoanzia bali kifo hicho mwaka unaotajwa bila sababu za mashiko.

Hapa ndipo Mohamed ameshika akili za watu wengi na nakiri wengi kwasababu yeye ni Orator mzuri sana kiasi kwamba hatoi nafasi ya mtu kufikiria zaidi ya kumeza.

Nineshauri wale wanaodhani kuwa mtu hakamiliki bali akubaliane na Mohamed wafikirie mara mbili mbili.
Huko nyuma tumeonyesha jinsi gani ushabiki ulivyomgubika kiasi cha kutaka kuufanya ulimwengu wote ni mazuzu.

Hilo suala la Ibadan nalirudia kwasababu kuna watu hawakubali kuwa hakukuwa na kitu kama hicho.
Paper iliwasilishwa lakini maudhui yana matatizo sana. Na wala si hilo tu, tunaweza kurudi nyuma na kuangalia mambo mengi sana ambayo Mohamed ameyaandika kwa nia ya ushabiki wala si elimu.

Wickama alipojaribu kuliangalia suala kwa mtazamo wake yeye akaitwa Abu Jahil kwamba ni mhaini mkubwa.
Kila anayejaribu kuyaangalia mambo kwa mtazamo tofauti na Mohamed huyo anaondolewa katika uislam kwanza.

Watu wasichoelewa ni kuwa uislam unasiitiza katika haki na ukweli.
Kama mtu anadanganya ili kufarkanisha jamii, je huyo anautimiza uislam kama ilivyoandikwa?

Ni kwasababu za kutokuwa na independent mind ndiyo maana kuna matatizo katika jamii ya waislam.
Narudia katika jamii ya waislam na si Uislam.

Leo utasikia BAKWATA ni adui, ukweli ni kuwa ndani ya makundi mbali mbali kuna uhasama ambao unasubiri tu BAKWATA iondoke ili iuhasama huo ushamiri haswa.

Hebu niulize, hivi kamati ya mali za waislam inatetea mali zipi zaidi ya zile zilizohalifiwa na waislam?
Kuna kiwanja kimeuzwa na waislam, kikanunuliwa na waislam leo tunaambiwa ni kutokana na mfumokristo.

Kuna habari kuwa BAKWATA haina support ya waislam, sasa kama haina na inajulikana ni kibaraka wa serikali kwanini basi serikali ishikilie watu 3 au 7 na kwa masilahi gani. Kama BAKWATA haina support basi isingekuwepo lakini uwepo wake una maana ya kuungwa mkono. Iwe sahihi au la ukweli utabaki kuwa wanaungwa mkono na waislam kama waislam wasiounga mkono. Uislam na waislam kuna wakati havitegemeani. Baurbaru ameeleza usilam ni nini na uumini ni nini.

Kuna matatizo BAKWATA, lakini basi lazima watu wawe wakweli kuwa si BAKWATA tu hata ndani ya Baraza kuu kuna matatizo. Haiwezekani baraza hilo liwe na taasisi lukuki na taasisi hizo chini ya baraza ziendelee kupingana.

Njia rahisi ya kuficha ukweli ni kusingizia mfumo na wala si kutafuta chanzo halisi cha matatizo.

Ningedhani kuwa ni wakati sasa wa waislam wa Tanzania kufanya haya ili kuweza kupata suluhu ya kweli
1. Kwanza, baadhi yao kuachana na chuki kwasababu si sehemu ya uislam
2. Kukubali kuwa suluhu ya matatizo yao itatokana na wao wenyewe.

3. Kukubali kushirikiana kama inavyoamrisha dini na hapa naomba kusahihishwa, washikamane katika kamba ya mwenyezi mungu.

4. Wakubali mabadiliko na wakaribishe wasomi katika kuongoza taasisi zao.
a) wasomi wa dini wachukue majukumu ya dini na wao ndio waongeze sehemu hiyo muhimu ya imani
b)wasomi wa elimu zingine wapewe nafasi za kuongoza taasisi ili kupata viongozi wenye weledi kwa nyakati tulizo nazo
Huu si wakati wa kuwa na viongozi wahamasishaji wa vurugu, bali wenye vision na mission.

5. Waislam wakatae kurubuniwa na makundi yanayochochea hisia, chuki na vurugu kwani Usilam hausemi kuhusu uzushi, uongo, unafiki na farki. Badala yake Uislam unapinga hayo.

6. Huu ni wakati wa kufikiri kulingana na nyakati. Haina maana kufikiri kuhusu chuo kikuu cha kufikirika wakati chuo kikuu kilichopo kina matatizo. Kwanini watu wasielekeze nguvu zao kule kuliko hai bali watumie muda wao kufikiria kitu cha kuaminishwa ambacho hakina maelezo yanayojitosheleza.

7. Waislam waitimize dini yao kwa upendo, kwani uislam ni amani na upendo. Wasione haya kukemea maovu hata kama yanafanywa na waislam wenzao. Mathalan, watu wanaona haya kusema kuwa alichokisema Ilunga si sahihi wanabaki kutafuta sababu za maalumaa. Kwa mwislam ukweli ni haki anayopaswa kutendewa na kuitenda.

8. Waislam wajiulize kwanini baadhi yao hasa wa madhehbu mengine kama Shia, Ismaili wanafanya vizuri na kwanini wale wengine wawe mafundi na manguli wa vurugu bila kuwa na mchango mwingine wa maana katika jamii zao.(Nitarukiwa hapa, nasimama na kauli yangu)

Ni wakati wa kutenda yale yalihimizwa na kuacha yaliyokatazwa kama ilivyoandikwa

Gombesugu karibu sana Kicheba kwa mzee Mhina . Inshallah nimekuandalia nguru(siyo Nguruvi).
Panapo majaaliwa nitakuwa barabara ya 10 kabla ya kurudi Magila. Ninahamu sana na Ngogwe, kibandameno na Mahiza.

Bonde kwema atakaye na aje.
 
Tulishasema basi nyamaza kulia na ufute machozi,yule balozi aliekahutubia alikuwa ni Nguruvi3,au hujaridhika bado??
Umeishiwa sana...

The Big Show na Wanajamvi,
Naona ghadhabu na matusi ndiyo yanotawala mnakasha.

Nadhani huu ni wakati mzuri nikapumzika In Sha Allah hadi
hapo tutakapotulia.

Sheikh Haruna akisema kuwa majadiliano yatakuwa na maana
na baraka pale tu mtakapokuwa mnaelimishana hata kama wazi
mengi hamkubaliani.

Mnakasha ukitawaliwa na hasira na matusi hauna tena maana ni
bora ukaachwa.

Hayo ndiyo mafunzo ya mwalimu wangu wa madras.
 
Nimepita tena kuchungulia nilipotea baada ya kukasirika na kauli ya mzee MS eti anamuheshimu Ilunga kwa kuwa ana ilmu na waislamu walimtuma kwenda kuzunguza juu ya mfumo kristo na mauaji ya viongozi wa kikristo..

'tafuta padre tafuta kardinali, mchunngaji au hata mlei uuuuuuuuuuaaaaa aaaaa...!uue dhahiri ama kwa kificho'' shehe Ilunga
 
Kwakweli ninalia, na sababu za kulia ni kuona jinsi gani watu wanayangalia matatizo ya jamii katika jicho la makengeza.

Kwamba hawatafuti suluhu wanatafuta mahali pakupoozea ima machungu yao binafsi au kufanya biashara zenye hatari kwa taifa hili.

Ukisoma maandishi mengi ya Mohamed ambayo yamedhihirika kujaa upotoshaji, watu wanayafumbia macho kwasababu tu pengine kuyapinga ni kupinga maandiko matakatifu. Sina sababu ya kurudia yale yote aliyopotosha lakini kila uchao kuna jambo jipya linajitokeza.

Hakuna aliyejua kuwa Sheikh maarufu alipewa nafasi na Nyerere akakataa, kinachosikika ni yeye kufanyiwa fitna.
Hakuna anayeeleza chanzo na kifo cha EAMWS kule kilipoanzia bali kifo hicho mwaka unaotajwa bila sababu za mashiko.

Hapa ndipo Mohamed ameshika akili za watu wengi na nakiri wengi kwasababu yeye ni Orator mzuri sana kiasi kwamba hatoi nafasi ya mtu kufikiria zaidi ya kumeza.

Nineshauri wale wanaodhani kuwa mtu hakamiliki bali akubaliane na Mohamed wafikirie mara mbili mbili.
Huko nyuma tumeonyesha jinsi gani ushabiki ulivyomgubika kiasi cha kutaka kuufanya ulimwengu wote ni mazuzu.

Hilo suala la Ibadan nalirudia kwasababu kuna watu hawakubali kuwa hakukuwa na kitu kama hicho.
Paper iliwasilishwa lakini maudhui yana matatizo sana. Na wala si hilo tu, tunaweza kurudi nyuma na kuangalia mambo mengi sana ambayo Mohamed ameyaandika kwa nia ya ushabiki wala si elimu.

Wickama alipojaribu kuliangalia suala kwa mtazamo wake yeye akaitwa Abu Jahil kwamba ni mhaini mkubwa.
Kila anayejaribu kuyaangalia mambo kwa mtazamo tofauti na Mohamed huyo anaondolewa katika uislam kwanza.

Watu wasichoelewa ni kuwa uislam unasiitiza katika haki na ukweli.
Kama mtu anadanganya ili kufarkanisha jamii, je huyo anautimiza uislam kama ilivyoandikwa?

Ni kwasababu za kutokuwa na independent mind ndiyo maana kuna matatizo katika jamii ya waislam.
Narudia katika jamii ya waislam na si Uislam.

Leo utasikia BAKWATA ni adui, ukweli ni kuwa ndani ya makundi mbali mbali kuna uhasama ambao unasubiri tu BAKWATA iondoke ili iuhasama huo ushamiri haswa.

Hebu niulize, hivi kamati ya mali za waislam inatetea mali zipi zaidi ya zile zilizohalifiwa na waislam?
Kuna kiwanja kimeuzwa na waislam, kikanunuliwa na waislam leo tunaambiwa ni kutokana na mfumokristo.

Kuna habari kuwa BAKWATA haina support ya waislam, sasa kama haina na inajulikana ni kibaraka wa serikali kwanini basi serikali ishikilie watu 3 au 7 na kwa masilahi gani. Kama BAKWATA haina support basi isingekuwepo lakini uwepo wake una maana ya kuungwa mkono. Iwe sahihi au la ukweli utabaki kuwa wanaungwa mkono na waislam kama waislam wasiounga mkono. Uislam na waislam kuna wakati havitegemeani. Baurbaru ameeleza usilam ni nini na uumini ni nini.

Kuna matatizo BAKWATA, lakini basi lazima watu wawe wakweli kuwa si BAKWATA tu hata ndani ya Baraza kuu kuna matatizo. Haiwezekani baraza hilo liwe na taasisi lukuki na taasisi hizo chini ya baraza ziendelee kupingana.

Njia rahisi ya kuficha ukweli ni kusingizia mfumo na wala si kutafuta chanzo halisi cha matatizo.

Ningedhani kuwa ni wakati sasa wa waislam wa Tanzania kufanya haya ili kuweza kupata suluhu ya kweli
1. Kwanza, baadhi yao kuachana na chuki kwasababu si sehemu ya uislam
2. Kukubali kuwa suluhu ya matatizo yao itatokana na wao wenyewe.

3. Kukubali kushirikiana kama inavyoamrisha dini na hapa naomba kusahihishwa, washikamane katika kamba ya mwenyezi mungu.

4. Wakubali mabadiliko na wakaribishe wasomi katika kuongoza taasisi zao.
a) wasomi wa dini wachukue majukumu ya dini na wao ndio waongeze sehemu hiyo muhimu ya imani
b)wasomi wa elimu zingine wapewe nafasi za kuongoza taasisi ili kupata viongozi wenye weledi kwa nyakati tulizo nazo
Huu si wakati wa kuwa na viongozi wahamasishaji wa vurugu, bali wenye vision na mission.

5. Waislam wakatae kurubuniwa na makundi yanayochochea hisia, chuki na vurugu kwani Usilam hausemi kuhusu uzushi, uongo, unafiki na farki. Badala yake Uislam unapinga hayo.

6. Huu ni wakati wa kufikiri kulingana na nyakati. Haina maana kufikiri kuhusu chuo kikuu cha kufikirika wakati chuo kikuu kilichopo kina matatizo. Kwanini watu wasielekeze nguvu zao kule kuliko hai bali watumie muda wao kufikiria kitu cha kuaminishwa ambacho hakina maelezo yanayojitosheleza.

7. Waislam waitimize dini yao kwa upendo, kwani uislam ni amani na upendo. Wasione haya kukemea maovu hata kama yanafanywa na waislam wenzao. Mathalan, watu wanaona haya kusema kuwa alichokisema Ilunga si sahihi wanabaki kutafuta sababu za maalumaa. Kwa mwislam ukweli ni haki anayopaswa kutendewa na kuitenda.

8. Waislam wajiulize kwanini baadhi yao hasa wa madhehbu mengine kama Shia, Ismaili wanafanya vizuri na kwanini wale wengine wawe mafundi na manguli wa vurugu bila kuwa na mchango mwingine wa maana katika jamii zao.(Nitarukiwa hapa, nasimama na kauli yangu)

Ni wakati wa kutenda yale yalihimizwa na kuacha yaliyokatazwa kama ilivyoandikwa

Gombesugu karibu sana Kicheba kwa mzee Mhina . Inshallah nimekuandalia nguru(siyo Nguruvi).
Panapo majaaliwa nitakuwa barabara ya 10 kabla ya kurudi Magila. Ninahamu sana na Ngogwe, kibandameno na Mahiza.

Bonde kwema atakaye na aje.

Ni Muislam Mpuuzi na Mjinga ndiyo anaweza kukubali ushauri wako wakinafiki.
 
Nguruvi3,nyerere alikiunda chombo cha bakwata kwa interests zake na serikali,na wewe hilo unalijua,,

Umeongea maneno mengi ya msingi,lakin nachoweza kukuambia ni kwamba BAKWATA haina nafasi ya kuusimamia uislam na waislam...

BAKWATA,inalishwa,inavishwa,inalazwa,inatibiwa,inaogeshwa n,k,n,k na hiyo hiyo serikali,unategemea inaweza kujitegemea na kusema fyoko fyoko pale serikali itaposema jambo??

Ndio kwa maana tunakuambia ya kwamba sisi hatuwez kuifuata na kuitii bakwata,zipo jumuiya zetu tunazoziheshim na kuzithamin na si bakwata,,,
 
Isalia,

Katika vitu ambavyo vilinipa tabu katika kuandika kitabu cha Abdu Sykes ilikuwa lipi niliseme
lipi niliache.

Katika moja ambalo nililiacha kulisema ni hili la kafara walofanya wanaharakati wa TANU pale
Soko la Kariakoo kumhami Abdu Sykes dhidi ya Afisa wa Kiingereza aliyekuwa akimuamdama
kwa sababu ya uongozi wake katika TANU.

Shariff Attas anasema kuwa iko siku huyo afisa Mzungu alimvamia Abdu ofisini kwake na akakuta
Abdu ana kadi za TANU.

Abdu Sykes alikuwa akiuza kadi zile za TANU pale sokoni nyingene akiwapa jamaa kuzisambaza na
kuwaita wananchi kujiunga na chama.

Shariff Attas anasema siku ile kulikuwa na raha ya pekee kati ya Muingereza na Abdu.

Abdu alikuwa na ulimi mzuri wa kuzungumza Kiingereza na lile zogo kati ya Abdu na Mzungu lilifanyika
mbele ya watu wakiwasikiliza wakiparurana.

Yule Mzungu alihisi kafedheheka kwa hiyo alitunga uongo kuwa ofisi ile inatumiwa dhidi ya serikali na ikawa
Abdu sasa anatakiwa ajibu shtaka lile akishindwa afukuzwe kazi.

Soko liliwaka moto wanaharakati pale sokoni hawa akina Shariff Attas, Mshume Kiyate, Shariff Mbaya Mtu na
wengine wakawa sasa wanakwenda mbio kutafuta vipi wamsaidie Abdu dhidi ya njama za Waingereza.

Ndipo ikaamuliwa lifnywe kafara zito la kumzika kondoo mzima pwani huku kavishwa sanda na macho katobolewa.

Yalioyompata Mzungu yule naogopa hata kusema...
Abdu alibaki kazini.

Sasa Nyerere alipoanza kuandamwa na serikali ndipo ikaamuliwa ifanyike kafara kama ile ya Abdu Twining akomeshwe.

Isalia,

Historia ya uhuru ina mengi sana.

Sasa hawa wenyewe ukizungumza nao katika mambo haya kule kuamini kwao kwa ''silaha'' hizi na hisia zao zilikuwa juu
kiasi wewe msikizaji unaogopa kulichimba zaidi.

Ndiyo maana lile kafara na Nyerere ambalo mwenyewe alilieleza katika hotuba yake ya muago na hili kafara la Abdu Sykes sikutaja katika kitabu changu.

Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Pole nyingi kwa yanayokusibu,wala sikate tamaa na kujihisi upweke. Sisi soote tupo pamoja nawe. Na Insha Allah Mola takuongezea sabra,afya njema na kukuzidishia neema katika ufanyayo khasa hili la kuwafumbua macho nduguzo.

Mimi nimeogopa pasi mfano hiyo khabari ya huyo Kondoo alotobolewa macho....Audhu Billahi Min'dhalika. Wallahi,najihisi mwili wantetema kila nikakumbuka kisa hiki. Ama kwa hakika khabari hii ni pevu mno,lakini kwa wenye kujua na kutambua yakini.

Ahsanta.

Cc; Ami,Ritz,JokaKuu,Nyambala,Nguruvi3,The Big Show,Zali la Mentali,Mfumo,Sideeq,Spike Lee,Boko Haram,Kadogoo,Uthman,Barubaru.
 
Kwakweli ninalia, na sababu za kulia ni kuona jinsi gani watu wanayangalia matatizo ya jamii katika jicho la makengeza.

Kwamba hawatafuti suluhu wanatafuta mahali pakupoozea ima machungu yao binafsi au kufanya biashara zenye hatari kwa taifa hili.

Ukisoma maandishi mengi ya Mohamed ambayo yamedhihirika kujaa upotoshaji, watu wanayafumbia macho kwasababu tu pengine kuyapinga ni kupinga maandiko matakatifu. Sina sababu ya kurudia yale yote aliyopotosha lakini kila uchao kuna jambo jipya linajitokeza.

Hakuna aliyejua kuwa Sheikh maarufu alipewa nafasi na Nyerere akakataa, kinachosikika ni yeye kufanyiwa fitna.
Hakuna anayeeleza chanzo na kifo cha EAMWS kule kilipoanzia bali kifo hicho mwaka unaotajwa bila sababu za mashiko.

Hapa ndipo Mohamed ameshika akili za watu wengi na nakiri wengi kwasababu yeye ni Orator mzuri sana kiasi kwamba hatoi nafasi ya mtu kufikiria zaidi ya kumeza.

Nineshauri wale wanaodhani kuwa mtu hakamiliki bali akubaliane na Mohamed wafikirie mara mbili mbili.
Huko nyuma tumeonyesha jinsi gani ushabiki ulivyomgubika kiasi cha kutaka kuufanya ulimwengu wote ni mazuzu.

Hilo suala la Ibadan nalirudia kwasababu kuna watu hawakubali kuwa hakukuwa na kitu kama hicho.
Paper iliwasilishwa lakini maudhui yana matatizo sana. Na wala si hilo tu, tunaweza kurudi nyuma na kuangalia mambo mengi sana ambayo Mohamed ameyaandika kwa nia ya ushabiki wala si elimu.

Wickama alipojaribu kuliangalia suala kwa mtazamo wake yeye akaitwa Abu Jahil kwamba ni mhaini mkubwa.
Kila anayejaribu kuyaangalia mambo kwa mtazamo tofauti na Mohamed huyo anaondolewa katika uislam kwanza.

Watu wasichoelewa ni kuwa uislam unasiitiza katika haki na ukweli.
Kama mtu anadanganya ili kufarkanisha jamii, je huyo anautimiza uislam kama ilivyoandikwa?

Ni kwasababu za kutokuwa na independent mind ndiyo maana kuna matatizo katika jamii ya waislam.
Narudia katika jamii ya waislam na si Uislam.

Leo utasikia BAKWATA ni adui, ukweli ni kuwa ndani ya makundi mbali mbali kuna uhasama ambao unasubiri tu BAKWATA iondoke ili iuhasama huo ushamiri haswa.

Hebu niulize, hivi kamati ya mali za waislam inatetea mali zipi zaidi ya zile zilizohalifiwa na waislam?
Kuna kiwanja kimeuzwa na waislam, kikanunuliwa na waislam leo tunaambiwa ni kutokana na mfumokristo.

Kuna habari kuwa BAKWATA haina support ya waislam, sasa kama haina na inajulikana ni kibaraka wa serikali kwanini basi serikali ishikilie watu 3 au 7 na kwa masilahi gani. Kama BAKWATA haina support basi isingekuwepo lakini uwepo wake una maana ya kuungwa mkono. Iwe sahihi au la ukweli utabaki kuwa wanaungwa mkono na waislam kama waislam wasiounga mkono. Uislam na waislam kuna wakati havitegemeani. Baurbaru ameeleza usilam ni nini na uumini ni nini.

Kuna matatizo BAKWATA, lakini basi lazima watu wawe wakweli kuwa si BAKWATA tu hata ndani ya Baraza kuu kuna matatizo. Haiwezekani baraza hilo liwe na taasisi lukuki na taasisi hizo chini ya baraza ziendelee kupingana.

Njia rahisi ya kuficha ukweli ni kusingizia mfumo na wala si kutafuta chanzo halisi cha matatizo.

Ningedhani kuwa ni wakati sasa wa waislam wa Tanzania kufanya haya ili kuweza kupata suluhu ya kweli
1. Kwanza, baadhi yao kuachana na chuki kwasababu si sehemu ya uislam
2. Kukubali kuwa suluhu ya matatizo yao itatokana na wao wenyewe.

3. Kukubali kushirikiana kama inavyoamrisha dini na hapa naomba kusahihishwa, washikamane katika kamba ya mwenyezi mungu.

4. Wakubali mabadiliko na wakaribishe wasomi katika kuongoza taasisi zao.
a) wasomi wa dini wachukue majukumu ya dini na wao ndio waongeze sehemu hiyo muhimu ya imani
b)wasomi wa elimu zingine wapewe nafasi za kuongoza taasisi ili kupata viongozi wenye weledi kwa nyakati tulizo nazo
Huu si wakati wa kuwa na viongozi wahamasishaji wa vurugu, bali wenye vision na mission.

5. Waislam wakatae kurubuniwa na makundi yanayochochea hisia, chuki na vurugu kwani Usilam hausemi kuhusu uzushi, uongo, unafiki na farki. Badala yake Uislam unapinga hayo.

6. Huu ni wakati wa kufikiri kulingana na nyakati. Haina maana kufikiri kuhusu chuo kikuu cha kufikirika wakati chuo kikuu kilichopo kina matatizo. Kwanini watu wasielekeze nguvu zao kule kuliko hai bali watumie muda wao kufikiria kitu cha kuaminishwa ambacho hakina maelezo yanayojitosheleza.

7. Waislam waitimize dini yao kwa upendo, kwani uislam ni amani na upendo. Wasione haya kukemea maovu hata kama yanafanywa na waislam wenzao. Mathalan, watu wanaona haya kusema kuwa alichokisema Ilunga si sahihi wanabaki kutafuta sababu za maalumaa. Kwa mwislam ukweli ni haki anayopaswa kutendewa na kuitenda.

8. Waislam wajiulize kwanini baadhi yao hasa wa madhehbu mengine kama Shia, Ismaili wanafanya vizuri na kwanini wale wengine wawe mafundi na manguli wa vurugu bila kuwa na mchango mwingine wa maana katika jamii zao.(Nitarukiwa hapa, nasimama na kauli yangu)

Ni wakati wa kutenda yale yalihimizwa na kuacha yaliyokatazwa kama ilivyoandikwa

Gombesugu karibu sana Kicheba kwa mzee Mhina . Inshallah nimekuandalia nguru(siyo Nguruvi).
Panapo majaaliwa nitakuwa barabara ya 10 kabla ya kurudi Magila. Ninahamu sana na Ngogwe, kibandameno na Mahiza.

Bonde kwema atakaye na aje.

Muheshimiwa Nguruvi3,

Nakushukuru kwa khutba yako na uweledi wako uso mipaka juu ya hao jamaa zako wa BAKUWATA. Haina neno nimekufahamu ndugu yangu na nimependa uungwana wako.

Lakini pia namshukuru Al Maaruf Shariff Al Akhiy Ritz,kwa kunijuza mengi juu ya vitimbi vyako hapa jamvini na JF kiujumla(ambavyo nalikua sivijui asilan).

Nashukuru kwa mualiko wa safari ya Kicheba na Magila. Lakini imenipa tabu kiduchu kutafautisha hivyo vitoweo ulontajia...nguru,nguruvi na nguruwe. Nahisi bora nije na mikate yangu ya chila na nitajaribu kutoelea kwa hizo ngogwe.

Shukran.

Cc;Ritz
 
gombesugu,

Mkate wa Chila kwa jodari wa nazi na uji wa "shurba" ngano na nyama...ha haa haaa!

Jamaa anawapa darsa Waislam na jinsi ya kuufuata Uislam Qur'an na Sunna ingiwa yeye haiukubali kama dini ya haki na mfumo wa maisha wa mwanadamu. Dini yake ni Ukirsto ndiyo dini yake ya haki anayoifuata.

Kwa mtazamo wake anakuambia viongozi wa Kiislam siyo wasomi, Waislam wanatakiwa kuwa na viongozi wasomi.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3,nyerere alikiunda chombo cha bakwata kwa interests zake na serikali,na wewe hilo unalijua,,

Umeongea maneno mengi ya msingi,lakin nachoweza kukuambia ni kwamba BAKWATA haina nafasi ya kuusimamia uislam na waislam...

BAKWATA,inalishwa,inavishwa,inalazwa,inatibiwa,inaogeshwa n,k,n,k na hiyo hiyo serikali,unategemea inaweza kujitegemea na kusema fyoko fyoko pale serikali itaposema jambo??

Ndio kwa maana tunakuambia ya kwamba sisi hatuwez kuifuata na kuitii bakwata,zipo jumuiya zetu tunazoziheshim na kuzithamin na si bakwata,,,
Mnaikataa BAKWATA kama watu wanavyoikataa CCM. BAKWATA ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo ili mradi itaendelea kuongozwa na wasio wafiaDINI
 
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Pole nyingi kwa yanayokusibu,wala sikate tamaa na kujihisi upweke. Sisi soote tupo pamoja nawe. Na Insha Allah Mola takuongezea sabra,afya njema na kukuzidishia neema katika ufanyayo khasa hili la kuwafumbua macho nduguzo.

Mimi nimeogopa pasi mfano hiyo khabari ya huyo Kondoo alotobolewa macho....Audhu Billahi Min'dhalika. Wallahi,najihisi mwili wantetema kila nikakumbuka kisa hiki. Ama kwa hakika khabari hii ni pevu mno,lakini kwa wenye kujua na kutambua yakini.

Ahsanta.

Cc; Ami,Ritz,JokaKuu,Nyambala,Nguruvi3,The Big Show,Zali la Mentali,Mfumo,Sideeq,Spike Lee,Boko Haram,Kadogoo,Uthman,Barubaru.
Kafara hizi nazo ni sehemu ya Uislam? Haya nayo ni ya kuamini kwa kiwango hiki? Mzee Mohamed kaileta hii ili angalau Abdu aonekane alikuwa mbadala wa Mwalimu! Abdu Standard 10, Mwalimu msomi wa Makerere na Edinburgh wapi na wapi!
 
Ivi ata iyo st. 10 alifika? @ wildcard
 
Ivi ata iyo st. 10 alifika? @ wildcard
Mzee Mohamed anasema alifika. Akawa na akili nyingi za kwenda Makerere. Wakoloni wakamkatalia kwa alikuwa bado mdogo lakini wakamkubalia kujiunga na jeshi lao wakati huo! Kupenda kupita kiasi saaingine kubaya sana. Abdu, mtoto wa mujini akaingia kumpigania Mungereza kama babaye alivyofanya kwa Mjerumani.

Alivyotoka vitani akaja na TANU iko kichwani tayari na UZALENDO wa hali ya juu wa kuikomboa Tanganyika.
 
Ivi ata iyo st. 10 alifika? @ wildcard

Wild Card,
Hili swali ulouliza ni zuri sana na linaingia katika mlango wa "tawaswul" katika
Uislam na maulamaa wameghitilafiana katika hilo.

Lakini kwa wakati ule wa kudai uhuru visomo hivi vilifanyika sana.

Mimi nimekutananavyo katika maandalizi ya mgomo wa makuli 1947 na huyu
huyu Abdu Sykes alihusika.

Kisomo kilifanyika Msimbazi Shamba kwa Mohamed Abeid nia ilikuwa kumshtakia
Allah madhila ya Waingereza.

Kisomo kingine ni hicho cha Abdu na Afisa wa Kikoloni kadhia ya Kariakoo Market.

Baada ya kisomo hiki kikafuatia cha Nyerere Lindi alichofanyiwa na Sheikh Mohamed
Yusuf Badi.

Kisha kikafuata kisomo cha Jumbe Tambaza ambacho mwenyewe Nyerere kakihadithia.

Baada tena ya hiki kikaja kisomo cha Mnyanjani Tanga cha akina Sheikh Rashid Sembe
kabla ya uchaguzi wa kura tatu mwaka 1958.

Mimi sikuleta kisa kile cha kisomo kuwa ati kuonyesha Abdu awe mbadala wa Nyerere.

Ukiwa umesoma kitabu changu utaona kuwa Abdu mwenyewe hakuitaka nafasi ile iwe
yake na ndiyo maana 1950 alijitahidi sana kumshawishi Chief David Kidaha Makwaia
ajiunge na TAA wamchague awe rais na kisha waunde TANU.

Hiki ndicho Abdu alichokifanya alipokujajuana na Nyerere mwaka 1952 akamshawishi
agombee nafasi ya urais wa TAA na kisha waunde TANU.

Hiki ndicho kilichofanyika.
Mwaka 1953 Nyerere akagombea nafasi ile akashinda na 1954 TANU ikaundwa.

Huu ndiyo ulikuwa msimamo wa Abdu Sykes.
 
By mossad007
Osama aliitwa gaidi sababu alikiri kuhusika na mashambulio ya kigaidi huna la kumtetea hapa asiitwe gaidi lwakatare kakiri lini na wapi ndo mana tunarud katika katiba ya JMT ibara 13. Utakubali umepotoka hapa?

"Osama aliitwa Gaidi kwa sababu alikiri kuhusika na mashambulio ya kigaidi" Sasa wewe ni mtaalamu wa mambo ya ugaidi kama Yericko. Tueleze, Osama alianza ugaidi lini na lini alianza kukiri mashambulio yake ya kigaidi? Na ugaidi maana yake nini?

Halafu nikishakujibu hayo maswali yako (irrelevant to the topic) ndo yatathibitisha kua huyo mzee wenu sio mchochezi?

Suala la Osama umelileta mwenyewe. Hukujua kwamba ni irrelevant to the topic wakati unalileta? Hamuwezi kuendelea kujadiliana kwa ujanja ujanja kwa kujadili vitu ambavyo mkiulizwa mvitolee maelezo majibu hamna mnaamua ama kukaa kimya au kutafuta njia ya kuingia mitini kama wewe unavyofanya hapa!!!!!!!!!
 
Kafara hizi nazo ni sehemu ya Uislam? Haya nayo ni ya kuamini kwa kiwango hiki? Mzee Mohamed kaileta hii ili angalau Abdu aonekane alikuwa mbadala wa Mwalimu! Abdu Standard 10, Mwalimu msomi wa Makerere na Edinburgh wapi na wapi!

WildCard,

Ushangai Freeman Mbowe darasa la 7 anawangoza nyie wasomi wa vyuo vikuu.

Akili ndogo inaongoza akili kubwa.

Wapi na wapi msomi wa Chuo Kikuu anaongozwa na darasa la 7 tena DJ.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Pole nyingi kwa yanayokusibu,wala sikate tamaa na kujihisi upweke. Sisi soote tupo pamoja nawe. Na Insha Allah Mola takuongezea sabra,afya njema na kukuzidishia neema katika ufanyayo khasa hili la kuwafumbua macho nduguzo.

Mimi nimeogopa pasi mfano hiyo khabari ya huyo Kondoo alotobolewa macho....Audhu Billahi Min'dhalika. Wallahi,najihisi mwili wantetema kila nikakumbuka kisa hiki. Ama kwa hakika khabari hii ni pevu mno,lakini kwa wenye kujua na kutambua yakini.

Ahsanta.

Cc; Ami,Ritz,JokaKuu,Nyambala,Nguruvi3,The Big Show,Zali la Mentali,Mfumo,Sideeq,Spike Lee,Boko Haram,Kadogoo,Uthman,Barubaru.

Gombesugu,
Mimi na wewe Allah katupa hidaya kubwa ya kusoma Kizungu
pamoja na dini yetu kwa kiwango tulichojaaliwa kisha kubwa
akatufungulia dunia kuitembea.

Alhamdulilah.

Ukiyasikia aliyofanyiwa Nyerere Lindi na Sheikh Mohamed Yusuf Badi
katika hicho kisomo...

Mwili mzima unakufa ganzi...

Siwezi kuyaeleza hapa ndiyo maana huko nyuma katika post yangu moja
nikasema kuna mambo yalinitatiza mno sikuweza kuyaandika.

Hawa masheikh wetu ile ithbati yao na yakini kwa Allah ni mwisho wa upeo
na maelezo.

Sheikh Badi kafanya kisomo kile katika nusu ya pili ya usiku na murid wake.

Kwa ufupi wa maneno literally anamwambia Allah adhihirishe ukweli wake
mbele yao ili wasiomwamini yeye washuhudie na waamini.

Hapo Nyerere yupo na katia udhu ni msafi...Qur'an inasomwa mpaka wasomaji
wanalia...

Nini Allah alionyesha?

Siwezi kuendelea...
Sheikh Waislam wameupigania uhuru huu na historia yao ndiyo hiyo.
 
Wild Card,
Hili swali ulouliza ni zuri sana na linaingia katika mlango wa "tawaswul" katika
Uislam na maulamaa wameghitilafiana katika hilo.

Lakini kwa wakati ule wa kudai uhuru visomo hivi vilifanyika sana.

Mimi nimekutananavyo katika maandalizi ya mgomo wa makuli 1947 na huyu
huyu Abdu Sykes alihusika.

Kisomo kilifanyika Msimbazi Shamba kwa Mohamed Abeid nia ilikuwa kumshtakia
Allah madhila ya Waingereza.

Kisomo kingine ni hicho cha Abdu na Afisa wa Kikoloni kadhia ya Kariakoo Market.

Baada ya kisomo hiki kikafuatia cha Nyerere Lindi alichofanyiwa na Sheikh Mohamed
Yusuf Badi.

Kisha kikafuata kisomo cha Jumbe Tambaza ambacho mwenyewe Nyerere kakihadithia.

Baada tena ya hiki kikaja kisomo cha Mnyanjani Tanga cha akina Sheikh Rashid Sembe
kabla ya uchaguzi wa kura tatu mwaka 1958.

Mimi sikuleta kisa kile cha kisomo kuwa ati kuonyesha Abdu awe mbadala wa Nyerere.

Ukiwa umesoma kitabu changu utaona kuwa Abdu mwenyewe hakuitaka nafasi ile iwe
yake na ndiyo maana 1950 alijitahidi sana kumshawishi Chief David Kidaha Makwaia
ajiunge na TAA wamchague awe rais na kisha waunde TANU.

Hiki ndicho Abdu alichokifanya alipokujajuana na Nyerere mwaka 1952 akamshawishi
agombee nafasi ya urais wa TAA na kisha waunde TANU,

Hiki ndicho kilichofanyika.
Mwaka 1953 Nyerere akagombea nafasi ile akashinda na 1954 TANU ikaundwa.

Huu ndiyo ulikuwa msimamo wa Abdu Sykes.
Mzee Mohamed,

Kitu ambacho hakiingii akilini mwangu ni pale unaposema mtu mjanja, mwenye weledi mkubwa kama Abdu aache nafasi ya URAIS wa TAA na baadae TANU kwa watu wengine ambao wewe unawakataa kuwa sio WAASISI na hawakujua TAA wala TANU ilikoanzia!

Pili, ilikuwaje tena Abdu huyohuyo agombee Urais wa TANU na Mwalimu? Nashukuru umekubali kwa mara ya kwanza kuwa TANU iliundwa mwaka 1954! Natumaini pia unakubali kuwa TANU tangu kuundwa kwake hadi inafutika haikuongozwa na mtu mwingine yeyote zaidi ya Mwalimu.
 
Back
Top Bottom