Nitagusia mambo matatu tu katika hili bandiko lako. Kwanza kuhusu vita ya Matabeleland hakuna siri kuwa Tanzania iliunga mkono ZANU-PF. Ni Zanu-PF ambayo ilibeba mzigo mkubwa wa ukombozi wa Zimbabwe. Joshua Nkomo alikuwa akiepewa silaha na Warusi lakini jeshi lake lilikuwa halipigani . Jiulize ni kwa nini? Na baada ya mauaji ya Chimoia, nina hakika unaifahamu hii stori, kwenye mkutano uliofanyika Msumbiji chini ya uenyekiti wa Samora, Nyerere alimkasirikia sana Kaunda na Urusi ikafika point ya kumwambia Kaunda awaambie Russians to go to hell. Aliuliza hizo silaha Nkomo anazopewa ni za kazi gani kama hawezi kuwasaidia wenzake ambao wanauawa kila kukicha na jeshi la Ian Smith. It seems Nkomo alikuwa anasubiri resolution ya Zimbabwe imalizike ndipo atumie silaha zake. Kwa lengo lipi? Yaani wewe umeshaona wapi nchi inapata uhuru ikiwa na majeshi mawili? Haiwezekani. Ni kweli vita ya Matabeleland ilikuwa brutal, lakini war is brutal. Kwa baadhi yetu hatukushangazwa na vita ya Matebeleland. If you blame Nyerere and Mugabe, an equal blame should be put to Joshua Nkomo.
Pili, umezungumzia Nyerere/Kennedy na Jewish lobby. It is highly unlikely for Julius Nyerere to talk to a foreign leader about an internal affair. Hapa nitakuomba unipe uthibitisho. Kilichojadiliwa katika mkutano wake na Kennedy mwaka 1963 lilikuwa suala la kuipa silaha Afrika kusini. Kennedy was the first American president to stop arms to South Africa. And this was in 1963. This leads me to my third point. In 1960, while campaigning for the presidency, John Kennedy made a phone call to Martin Luther King, Sr., the father of Martin Luther king jr. who had been jailed due to his civil rights campaign. That phone changed the history of American politics. The majority of black Americans up to this point were Republicans and voted Republican because of the history of Abraham Lincoln. But news spread throught black churches about this young catholic candidate who called papa King. We all know what happened in the election results and this was the beginning of black American's shift to the Democratic party. On civil rights, it was the work started by Kennedy, and his support to Martin Luther King, jr. that led to the landmark 1965 civil rights legislation which was championed by his successor, Lyndon Johnson.
Jasusi,
Nilistaajabu,pale ulipokawia kunijibu maana nilihisi ya kuwa kwa hili usingenacha asilan. Lakin haina neno ndo kuelekezana kulivyo. Haina haja ya kufanza pupa na vishindo.
I suspect the main difference between us is that;you are making suggestion while I'm presenting a fact before you.
I'm pretty dismayed that, in your "analysis" you managed to reduce the very complex subject of Civil Rights Movement and Blacks struggle in Amerika during 60's into a very simple term.
Do you sincerely think that quick phone call you mentioned in your "analysis" did manage to solve everything like a click of an eye!? NO! I mean a big NO!
I never understood why many people(in your case Catholic) have been so fascinated by the criminal,Anti-Amerika,racist and unpatriotic Kennedy family!? Probably it's the same reason they love Bill Clinton;they favour style over substance.
Katika hiyo point yako ya mwanzo,inaashiria yakuwa unakubali kuwa Nyerere na Mugabe walifanza udhalim na unyama uso kifani dhidi ya raia wasio na hatia hapo Matabeleland,wengi wao wakiwa ni watoto,wanawake na vikongwe kama nilivyodai.
Lakini justification yako ni kwamba "War is brutal"!.
Na pia unadai,kama mimi namlaumu Nyerere na Mugabe kwa unyama ule,basi unanitaka lazim pia nimlaumu Joshua Nkomo!? Sasa huoni yakuwa hapa unani-blackmail kihoja ndugu yangu!?
Kwa kifupi,hoja yangu bado inasimama palepale,na umeipa nguvu zaidi kwa kuthibitisha japo huku ukiniwekea masharti yakuwa lazim nimlaumu na J. Nkomo.
People always seems to forget that it was Bobby Kennedy then the Attorney General,who had Martin Luther King Jr wiretaped,attempted to set him with hookers and had him jailed. The Kennedy's used the full power of the government to try destroy him and only sided with him when they realised and saw how powerful the Civil Rights Movement was and used him for political gain.
I think it was his daughter or niece who had said that Kennedy basically traded releasing MLK from jail for his endorsement.
Do you remember Jackie Kennedy a racist!? When she made comments about MLK that were more offensive and vitriotic!?
JFK,among many other things also failed to invite Sammy Davis Jr to his inaugural ball,despite the fact that Sammy Davis Jr worked extremely hard in the electoral campaign of 1960 to get him elected!?
Hapa inashabihiana na ile ya Nyerere kushindwa asilan kuhakikisha mwenyeji wake na mwanaharakati mwenzie Abdilwahid Sykes anahudhuria zile sherehe za makabidhiano ya nchi na wakoloni siku ya Uhuru. Matokeo yake maskini Abdilwahid Sykes ikamlazim akasikilize sherehe zile kwenye radio chumbani kwa Mamiye pale Kipata!!
Are you aware that Bobby Kennedy authorised J. Edgar Hoover, then FBI Director to spy on Martin Luther King Jr. private life!?
I'm sure you remember how Ted Kennedy supported pro-abortion laws that killed estimated 50 million Amerikan babies,many of them blacks.
When Ted Kennedy murdered Mary Jo Kopechne,he was not the first to commit murder. There are credible allegations that his two elder brothers murdered more people,including Marilyn Monroe.
Their Father,Joe Kennedy,was a major Amerikan organised crime boss,in the same league as Al Capone,Meyer Lansky,Luck Luciano and John Gotti. He made much of his money as a bootlegger during the prohibition era. Joe Kennedy was also a pro-Hitler and pro-Nazi anti-semite,when he served as a US Ambassador to Britain.
It should not suprise you Jasusi,that during the JFK term in office,Kennedy brothers did business with an old business partner of their daddy,the Mafia boss,Sam Giancana. The same Mafia business partner of Joe Kennedy,enabled him to steal the election in Chicago from Richard Nixon in 1960.
In your "analysis" you also you ignored the fact JFK himself,voted against the 1957 Civil Rights Law pushed by Republican President D. Eisenhower.
JFK also opposed the 1963 March on Washington by Dr. Martin Luther King Jr. A march that was organised by a black Republican A. Philip Randolph. I bet you didn't know that either!?
Kwa kifupi ,kwa mtu yeyote anaejua kiundani mambo ya Nyerere na JFK,hatopata tabu ya kujua ya kwamba hao wawili walikua ni Wakatoliki hatari saana,ambao waliweza kufanza lolote,chochote na pahala popote bila ya kufuata sharia asilan.
Halafu unashangaa ati Nyerere hawezi kuzungumza Internal Affairs za nchi nyingine na huyo criminal JFK!? Huyo Nyerere unataka ahusike na mangapi ya Internal Affairs za watu!? Embu chungulia tena japo kiduchu habari za hizi nchi halafu umuone huyo Nyerere na kuhusika kwake; Somalia,Ethiopia,Zimbabwe,Comoro,Seychelles,Uganda,Mozambique,Algeria,Nigeria /Biafra na kwingineko kwingi mno.
Pia usisahau zogo na vitimbi vya Nyerere na wale "Wanae Matapeli" kina Museveni,Yusuf Kirunde Lule,Godfrey Binaisa,Milton Obote na gangs zao. Halafu ndugu yangu Jasusi,unataka kuniwekea Premiere League isokua na maana yoyote. Hiyo yakuwa Nyerere kuwa anaingila/anazungumzia Internal Affairs ya nchi za watu ni mojawapo ya sifa zake kubwa.
Huo mkutano wa JFK na Nyerere;palizungumzwa vitimbi vingi mojawapo ni masuala/mipango yalohusu yale maafa na mauaji ya Zanzibar,pia jinsi ya kuwadhibiti Patrice Lumumba na Eduardo Mondlane bila ya mkono wa Amerika kujitokeza au kujionyesha dhahiri!!
Yasemekena yakuwa wewe ni mwandishi wa habari mahiri,basi nakuomba ndugu yangu, pia kipata wasaa pitia sources zako upya na pia haya hapa chini:
- The Sins of The Father: Joseph P. Kennedy and the Dynasty He founded. Grand Central Publishing 1996 by Ronald Kessler.
- JFK Biography by Prof. Michael O'Brien.
- The Kennedy Men: The Three Generations of Sex,Scandals and Secrets. 1996 by Nellie Bly.
- Barack Obama: The making of the Man by D. Maraniss.
- Kwaheri Ukoloni! Kwaheri Uhuru! Dr. Ghassany.
- www.cbs.com/stories/2011/09/12/earlyshow/main20104707.shtml.
Shukran.
Cc; Ritz,Ami,Nyambala,JokaKuu,Uthman
