Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Spike Lee,

Karibu jamvini.

Ilm ni hidaya kutoka kwa Allah na ni amana.

Aliyekuwekeza amana yake akija una wajibika kumrejeshea.
Wengi hapa hawakuwa wanaijua historia hii ya kudai uhuru.

Kinachonisikitisha ni kuwa inawasononesha na kusababisha
hasama kitu ambacho sikutarajia.

Kuna mtu anazungumza kuhusu matamabiko.
Lakini unajua Mwafrika kuacha mila yake ni tabu...

Katika TANU ile ''inner circle'' walichokuwa wamekiweka mbele
ilikuwa tawaswul kwa kuwa hapa ni Allah mwenyewe anaombwa.

Nadhani umesoma visomo nilivyovieleza kuanzia 1948 hadi TANU
ilipokujakuchukua nchi.

Kuna mtu kafanya kebehi.

Hainishangazi hata kidogo mambo haya ili kuyaelewa inabidi uishi
ndani yake hapo ndipo utakapotambua athari yake.

Vinginevyo utaona si lolote si chochote.

Kama itakavyokuwa nimeeleza waliyofanya wazee wetu katika kuipigania
nchi yao.

Kipo kisa cha Sheikh Issa Nassir wa Bagamoyo.
Huyu alikuwa ''special body guard'' wa Nyerere.

Ukiaangalia picha ya Nyerere ile amebeba bango lililoandikwa ''Uhuru 1961,''
pembeni yake yuke Rajab Diwani na yuko Sheikh Issa Nassir pamoja na
watu wengine.

Sheikh Issa Nassir alikuwa bingwa wa ''seth habar...''

Spike Lee,

Katika vitu vilivyonipa utatanishi ilikuwa vipi nitaeleza katika kitabu ni
mikasa kama hii.

Nilifarajika sana pale Gombesugu aliponiambia kuwa ananielewa vyema kabisa
na yeye kapokea mengi katika hayo kutoka kwa babu yetu Shariff Attas.

Tushie hapa.

Sheikh Mohammed Said,

Umemtaja huyo Sheikh Nassir wa pale Bagamoyo. Ana nduguye/Cousin wake akiitwa Bwana Maembe Bin Mohammed Bin Mzaham. Huyu Bwana nae pia alikua mmojawapo wa wanaharakati vinara wa kupigania Uhuru kwa pale Bagamoyo.
Nyerere
aliwahi kumtia ndani kwa takriban miaka miwili siku zile za "Uhujumu wa Uchumi". Kisa chake ati alikua na boat/mashua mbili za kuvulia samaki pale Bagamoyo!?ahaha!!
Alipotoka kizuizini huyu Bwana, haikupita muda akafariki maana alidhoofika mno na utu uzima na vitimbi vilomkuta huko jela.

Sasa ukifikiria kulikua na wale mabaniani kina J.W.Ladwa pale Upanga...walikua na visa na vitimbi viso mfano tangia "enzi ya Mwalimu" na mpaka kesho,lakini hakuna alowahi kuwakurubia wala kuwagusa asilan!?

Haina neno ndo kilimwengu.

Ahsanta.
 
Ok, so I make a mistake of 1960 instead of 1961. What I know is that Lumumba was killed just before our independence. And it is a known fact that Nyerere did not meet Kennedy before 1963. So my point still stands.

Jasusi,
Nina hakika hii umeisoma lakini naiweka kwa faida ya wanajamvi wengine ambao
huenda hawajaiona.

Ni katika ile ''memory lane yetu.''
Huyu ni Ally Sykes akizungumza na mimi miaka yawezafika 20 iliyopita:

''I took Colmore over to Nyerere's house at Magomeni Majumba Sita where he
was staying.

On that day Nyerere was a bit distressed since reports had been received from
Congo that Lumumba had been killed.

Newspaper report, which we had received, was that, Lumumba was recaptured
at Port Francqui after he had escaped from house arrest in Leopoldville.

Few days earlier Belgians had ordered a manhunt for Lumumba who it was believed
was heading towards Stanleyville where his supporters were based.

There was in the papers what then came to be a very famous photograph of Lumumba
with his hands tied to his back sitting at the back of a lorry with a Belgian paratrooper
standing guard over him.

Lumumba who at that time had lost power as Prime Minister, was being taken back to
Leopoldville.

As members of TANU and on the brink of achieving independence we followed events in
Congo with great interest.

Events which were unfolding in Congo were very distressing to most of us.

There were reports of mutiny by Congolese troops who it was reported were rounding
Belgians including women and children and beating them up.

I had special interest in these events, as at that time I believe I was the only person
who had been to Congo and had first hand experience of Belgian colonialism.

When I was there I had seen how ruthless the Belgians were against the Congolese people.

Masengo was also very sad to hear of the news that Katanga his home province under Moise
Tshombe had declared secession from the Congo Republic.

Masengo was from the Bayeke, the same tribe as Tshombe.

Nyerere had a pathological hatred of Tshombe.

We took that opportunity to have Masengo record his old songs with Tanganyika Broadcasting
Corporation (TBC).

Back in Nairobi both Colmore and Masengo wrote to me, Colmore thanking me for introducing him
to Nyerere and Masengo for successfully managing his tour and shows.
''

PS:
Nina picha ya Nyerere na Masengo imepigwa nyumbani kwa Nyerere Magomeni.
 
Gombesugu, sijui kuna vitimbwi gani nimefanya hadi Ritz akakudokeza pembeni nawe usinijulie kulikoni. Huo kama si usenganyaji kama alivyosema Wickama sijui ni nini na kama ndio basi mumetoka nje ya dini

Mimi huwa namwambia mtu kile ninachotaka kumwambia na si kile anachotaka kusikia.
Husema ukweli hata kama ukweli huo ni mchungu kama shubiri.
Hukubali mapungufu na udhaifu kwa kutambua kuwa mtimililifu ni mwenyezi peke yake.

Ni lazima watu waelewe kuwa Uislam si chama cha siasa au cha mpira.
Dini ni imani na hivyo inahitaji akhili kuielewa.
Nimeambiwa nimeishiwa hoja na al maarufu Big show nikasema basi japo nitie senti sumuni.
Natahayari kusoma matusi, kadhia eti kwasababu sijasema kile watu wanachotaka kusikia.

Ukitaka kusikia unachotaka kusikia msome Mohamed Said. Hakika hutakiwa kuwa na akili, unatakiwa kuwa na macho na mdomo wa kumaka! leso ya kujifuta jasho na maji endapo utapata mghafla katika vile vitokavyo ndani ya mwili.

Hoja yangu si kutetea BAKWATA, ni kuonyesha kwa uwazi kuwa si kweli kwa anayesema haiungwi mkono.
Mimi nimetembea nchi hii sana nakuhakikishia kuwa maustadhi, maalim au masheikh ni wafuasi wazuri wa BAKWATA.
Ina watu nyuma yake ima ukubali au ukatae lakini huo ndio ukweli.

Nimeseme pia kuwa hizi taasisi zingine zina matatizo sana. Ipo ya mali za waislam na ipo ya haki za waislam.
Zote hizo zinafanya kazi Kariakoo na zinajihusisha na kiwanja cha Ng'ombe na nyumba za wakfu.

Kiwanja kiliuzwa na maalhaji kikanunuliwa na maalhaji wote waislam, sasa akina Mohamed, Ponda na Ilunga wanawatoa watu katika ukweli wanasema ni mfumokristo.

Kama utaweka akili zako pembeni, hewalaaa!!!! hilo ndilo unataka kuliskia, vinginevyo ukweli ni kuwa hujuma zimefanywa na waislam wenyewe kwa wenyewe. Sasa leo watu wanahamasisha kuua watu wengine kwa tatizo lililo uvunguni mwa kitanda chao! Uislam hausemei kuwa unatakiwa kuidanganya jamii, hawa ni wachumia tumbo.

Angalia kiwanja cha Kibaha cha shule ya ufundi, mafisadi ni waislam hadi mradi ukaondolewa, leo watu wanatafuta sababu za kimaaluni kwa kusema eti ni mfumokristo.

Hilo ndilo mnataka kusikia, kwa anayeijua nchi hii kuanzia Shirati Mission, Magila mission, Ujombani Tanga kule TAMTA, Nakapanya, Mikindani, Kwa mtipura na mfenesini, anayeishi Takadir street na mwenye mtazamo mpana atakuambia kuwa hilo si kweli, kiwanja kimefanyiwa fitna na waislam wenyewe hakuna mfumokristo, hilo la mfumo ni kutaka kufurahisha nafsi zenu kwa kuwafanya majuha.

Kwa msingi huo ndio maana nasema wakati umefika wa kutenga mambo mawili.
1. Viongozi wa imani
2. Viongozi wa taasisi.

Viongozi wa imani wasimamie mambo ya ilm ya dini na wale wa taasisi wasimamie mambo yanayohusu maendeleo kwasababu dunia ya sasa intawaliwa na weledi wa mchanganyiko wa mambo na hivyo kuhitaji watu wenye weledi.

Kinyume chake utaendelea kusikia hoja za msingi zikijengwa na watu wasioweza kuzisimamia na hivyo kupoteza maana iliyokusudiwa. Mathalan, kama suala la kadhi ni la kiimani basi suala hilo lielezwe kwa mtazamo wa kiimani likisimamiwa na viongozi wenye weledi wakisaidiana na viongozi wa imani.

Kwa sababu ya mapungufu kadha wa kadha, hoja nzito kama hiyo imeshikwa na washabiki ambao si viongozi wa imani au viongozi wa taasisi wenye weledi. Utashangaa watu kudai mahakama ya kadhi kwasababu kuna MoU na si kwasababu ya imani. Tatizo hapa ni watu wa kujenga hoja ya kimantiki.

Na wala haina maana hakuna watu wenye uwezo huo. la hasha! wapo maelfu lakni wao wamechuakua back seat na kuachia issue kama hiyo kwa wasio na upeo wa aina yoyote iwe ilm ya dini au nyingine zaidi ya kuwa fanatics.

Niseme kuwa nitawaeleza watu ninachotaka kusema hata kama ni kichungu na sitawapendeza watu kwa kuwadumaza kifikra. EAMWS inayopigiwa kelele haijulikani kwanini haikurudi Momabasa ilikoanzia na kujenga chuo hypotthetical hadi watu watumie muda mwingi kufunga akili zao kwa kitu cha kufikirika na wasifanyie kazi uhalisia wa hali iliyopo.
How many times watu wanajadili kuhusu MMU?

Kuna maembe matamu sana kutoka Mtindiro, nikipata wasaa nitakutumia kwa pakacha.
Kule wanapopoa maembe maana warabai kazi yao ndaza!

Karibu bonde ni kwema

Muheshimiwa Nguruvi3,

Usinione kimya ndugu yangu nimezongwa na vijishughuli kiduchu hapa kibaruani.

Nashukuru mno na nasaha zako zoote na nafurahi kila mara tunapopeana maneno mema na mazuri.

Labda kesho nitaweza kukuandikia kwa undani japo kiduchu. Leo hii laptop nitumiayo imenitafir kiasi,maana msgs ndefu zote hazendi...hata ndugu yetu Jasusi nae nilijaribu kumtumia bayana kiduchu nayo pia imekwama.

Umenitia hamu saana na hayo maembe/tondoo. Wallahi huo ndo ugonjwa wangu mkubwa ninapokua Afrika.

Basi tafadhali hilo tenga langu niwekee usije ukampa Al Akhiy The Big Show au Shariff Ritz!ahaha!!

Salaam nduguyo Mag3,je yumo humu duniani!?

Shukran.
 
Kadogoo,

Unazidi kunikumbusha mbali cha kusikitisha zaidi baada ya Kambona kukimbilia London Nyerere akawakamata wadogo zake na kuwaweka kizuizini wamekaa miaka 10.

Mwaka 1982 ndiyo wakaachiwa baada ya Waziri Mkuu wa New Zealand, Robert Muldoon, kumuomba Nyerere awaachie.

Cc. gombesugu, Jasusi, Zali la Mentali, Boko haram,

Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Nilikua hapa jamvini kiduchu kupitia vichekesho vyetu vya siku zoote. Naona Mag3,ati kaweka ile commet ya kukutahadharisha na huyo Kambona mbona Mkristo!?ahaha!! Wallahi,hapa jamvini hapeshi vihoja kila kukicha!ahaha!!

Italazim tumuombe Sheikh Mohammed awaonee huruma na kuwatoa huko kizuizini Waheshimiwa Nguruvi3 na Mag3 japo kwa masharti. Maana vichekesho vimepungua hapa jamvini,ilobaki ni ile karaha ya matusi na malumbano ya kebehi.

Nina pakacha langu la tondoo/embe za Kicheba tafadhali usiliguse mpaka mwenyewe nikifika Insha Allah!ahaha!!

Mkae salama ndugu zangu Insha Allah.

Ahsanta.
 
Muheshimiwa Nguruvi3,

Usinione kimya ndugu yangu nimezongwa na vijishughuli kiduchu hapa kibaruani.

Nashukuru mno na nasaha zako zoote na nafurahi kila mara tunapopeana maneno mema na mazuri.

Labda kesho nitaweza kukuandikia kwa undani japo kiduchu. Leo hii laptop nitumiayo imenitafir kiasi,maana msgs ndefu zote hazendi...hata ndugu yetu Jasusi nae nilijaribu kumtumia bayana kiduchu nayo pia imekwama.

Umenitia hamu saana na hayo maembe/tondoo. Wallahi huo ndo ugonjwa wangu mkubwa ninapokua Afrika.

Basi tafadhali hilo tenga langu niwekee usije ukampa Al Akhiy The Big Show au Shariff Ritz!ahaha!!

Salaam nduguyo Mag3,je yumo humu duniani!?

Shukran.

Naam gombesugu
Uko sahihi kabisa,mie sitaligusa pakacha lako ila naweza kukuhifadhia na kumwomba Nguruvi3 anipatie namimi pakacha mbili za mazide kwa ajili yangu na mke wangu Mama Big show ili tuzitunze tunze kwa maandaliz ya mfungo wa Rwamadhwani,,si unajua siku zinayoyoma hizi shekhe??

Baada ya futru na Daku matunda especially kama maembe yanahusika sana al akhiy,tuombeane kheri insha allah tuuone mwez mtukufu ndugu yangu...
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said ndugu yangu sisi tunakuthamin sana,na haya maarifa tunachofanya tunayachukua na kuwafikishia wengine ambao wamekosa fursa ya kukutana nawewe hapa,tunakuwa kama mabalozi wao,na tunawafikishia wao kama yalivyo hatuongez wala hatupunguz,na sisi abadan asilan hatuwez ondoa miguu yetu hapa labda ukiondoka wewe kwanza,
Tunakuthamin sana al akhiy...
 
Last edited by a moderator:
Ok, so I make a mistake of 1960 instead of 1961. What I know is that Lumumba was killed just before our independence. And it is a known fact that Nyerere did not meet Kennedy before 1963. So my point still stands.

Nilidhani na nyie uwa hamkosea wanakosea watu wa madrassa tu. Partice Emrey Lumumba amefariki janaury 17 1961.

Jibu basi mipini ya gombesugu, kichwa cha Madrassa.
 
Last edited by a moderator:
Ok, so I make a mistake of 1960 instead of 1961. What I know is that Lumumba was killed just before our independence. And it is a known fact that Nyerere did not meet Kennedy before 1963. So my point still stands.

Nilidhani na nyie uwa hamkosea wanakosea watu wa madrassa tu. Partice Emrey Lumumba amefariki janaury 17 1961.

Jibu basi mipini ya gombesugu, kichwa cha Madrassa.
 
Last edited by a moderator:
Ok, so I make a mistake of 1960 instead of 1961. What I know is that Lumumba was killed just before our independence. And it is a known fact that Nyerere did not meet Kennedy before 1963. So my point still stands.

Nilidhani na nyie uwa hamkosea wanakosea watu wa madrassa tu. Partice Emrey Lumumba amefariki janaury 17 1961.

Jibu basi mipini ya gombesugu, kichwa cha Madrassa.
 
Last edited by a moderator:
Naam gombesugu
Uko sahihi kabisa,mie sitaligusa pakacha lako ila naweza kukuhifadhia na kumwomba Nguruvi3 anipatie namimi pakacha mbili za mazide kwa ajili yangu na mke wangu Mama Big show ili tuzitunze tunze kwa maandaliz ya mfungo wa Rwamadhwani,,si unajua siku zinayoyoma hizi shekhe??

Baada ya futru na Daku matunda especially kama maembe yanahusika sana al akhiy,tuombeane kheri insha allah tuuone mwez mtukufu ndugu yangu...

The Big Show,

Salaam mno kwako Al Akhiy,Wallahi ni furaha na fahari isonisha kila nikuonapo na bayana zako mwanana.

Umeitaja Ramadhan,basi menikumbusha Al Marhum Sheikh Qassim Bin Jumaa. Alikua na msemo wake;
"ati pana watu wanapiga vigegele yakuwa furaha zimewazidi Ramadhan inakwisha. Basi nami nawajibu, yakuwa Ramadhan haishi mtakwisha nyinyi...maana Ramadhan mmeikuta nyinyi na Wazazi wenu na mtaiacha hapahapa"!ahahaa!!
Walaahi Al Marhum Sheikh Qassim,alikuwa mtu wa bashasha na good orator. Inna Lillahi Wa Inna Illahi Rajiun.

Mimi nina practice njema,maana kitambo sasa hufunga siku ya Jumatatu na Al Khamis...Allahmdulillahi.

Najitahidi nije japo kumi la mwisho hapo na family yoote.

Shukran.
 
Ok, so I make a mistake of 1960 instead of 1961. What I know is that Lumumba was killed just before our independence. And it is a known fact that Nyerere did not meet Kennedy before 1963. So my point still stands.

Nilidhani na nyie uwa hamkosea wanakosea watu wa madrassa tu. Partice Emrey Lumumba amefariki janaury 17 1961.

Jibu basi mipini ya gombesugu, kichwa cha Madrassa.
 
Last edited by a moderator:
MOHAMED SAID,Umetaja kisa cha Wazee wa Moshi ktk kupigania uhuru mmojawapo umemtaja Marehemu Yusufu A. Olotu na changamoto alizokumbana nazo mojawapo ni Mohamed Badi aliyekuwa chama cha upinzani! naomba kama unahabari zaidi za Mohamed Badi kama ndiye yule aliyekatwa sikio moja na kutolewa jina la Badi kishikio au ni mwingine labda!Na kama mtoto wake ni Omar Amin aliyekuja kuwa Makamu mwenyekiti wa FAT miaka ya 70 na kulazimishwa kustaafu baada ya timu ya mpira ya Taifa kujisaidia haja ndogo ktk uwanja wa mpira huko Zambia?Jee, chama hicho pinzani wakati wa mkoloni kilikuwa na nguvu mikoani? Shukrani kwako MS, nakuombea afya njema na Allah akulinde na maadui zako!
 
The Big Show,

Salaam mno kwako Al Akhiy,Wallahi ni furaha na fahari isonisha kila nikuonapo na bayana zako mwanana.

Umeitaja Ramadhan,basi menikumbusha Al Marhum Sheikh Qassim Bin Jumaa. Alikua na msemo wake;
"ati pana watu wanapiga vigegele yakuwa furaha zimewazidi Ramadhan inakwisha. Basi nami nawajibu, yakuwa Ramadhan haishi mtakwisha nyinyi...maana Ramadhan mmeikuta nyinyi na Wazazi wenu na mtaiacha hapahapa"!ahahaa!!
Walaahi Al Marhum Sheikh Qassim,alikuwa mtu wa bashasha na good orator. Inna Lillahi Wa Inna Illahi Rajiun.

Mimi nina practice njema,maana kitambo sasa hufunga siku ya Jumatatu na Al Khamis...Allahmdulillahi.

Najitahidi nije japo kumi la mwisho hapo na family yoote.

Shukran.

Naam al akhiy,hata mie napataga raha kusoma mipini yako na nondo zilizokwenda shule,

Hizo funga za juma tatu na alhamis ni muhim sana,na si za kuziacha kwani zajenga afya sana na uchamungu,,

Namkumbuka pia Al marhum sheikh qassim bin jumaa kwa hilo,nadhani ni kwa wale wanaopenda kusherehesha kibakwata bakwata na kuimba 'madauu madaauu yaa rwamadhwanii madauu madauu yaaah rwamadhwani'

Ule ni ufinyu wa iman,ramadhani haiishi hadi fii yaumul qiyama...
 
Yericko Nyerere,

Nakumbushia swali langu Oscar Kambona, alikuwa na cheo gani TANU kwa faida ya wanajamvi tufahamishe.
 
Last edited by a moderator:
Kadogoo,

Unazidi kunikumbusha mbali cha kusikitisha zaidi baada ya Kambona kukimbilia London Nyerere akawakamata wadogo zake na kuwaweka kizuizini wamekaa miaka 10.

Mwaka 1982 ndiyo wakaachiwa baada ya Waziri Mkuu wa New Zealand, Robert Muldoon, kumuomba Nyerere awaachie.

Cc. gombesugu, Jasusi, Zali la Mentali, Boko haram,

Yaani kama kuna mtu alikuwa katili na Mwenye laana ya Mungu basi ni Nyerere. Embu fikiria unyama huo wa kuwaweka ndani watu wasio na hatia yoyote zaidi ya kuwa ndugu wa damu wa Kambona. Watanzania wengi sana walipotea enzi yake kutokana na ukatili wake. Haya yote yalikuwa na baraka ya Vatican. Ndio maana wengine hatutaki Vatican iwe na ubalozi hapa Tanzania kwa sababu inafadhili na kuhalalisha uharamia, uuwaji na uteswaji wa Watanzania kwa jina la bwana.

Halafu watu kama hawa huwa waoga sana kufa. Uoga wa kuogopa kufa aliuonyesha wakati wa kifo cha Mama yake pale aliposema maneno yalioashiria kwamba kuenda mbinguni ni lazima kwa kila mtu lakini kinachotisha ni ile njia ya kuelekea huko (kupitia kifo).
 
Rudia kusoma maswali yangu hapo juu kisha angalia majibu yako kama yana mantiki/logic!

Ukiulizwa A usijibu D, fuata msingi ule ule, kama swali huliwezi sema tu

Wewe ni bingwa wa kurukaruka kutoka mjadala mmoja kwenda mwingine. Kila ukiona hoja imekushinda unarukia kwenye hoja nyingine. Sasa ukiniambia nirudie masuali yako sintaweza kufanya hivyo kwa sababu ya tabia yako ya kurukaruka kila wakati.

Nilikuuliza kwa nini Marekani sio magaidi kutokana na definition yako ya ugaidi na kwamba utoe justification kwa kutumia definition yako. Hujajibu hilo suali tayari umesharukia kwenye maeneo mengine. Tabia hiyo ya kitoto kwenye majadiliano mimi huwa siifagilii.
 
Nilidhani na nyie uwa hamkosea wanakosea watu wa madrassa tu. Partice Emrey Lumumba amefariki janaury 17 1961.

Jibu basi mipini ya gombesugu, kichwa cha Madrassa.

Mbona nimeshajibu? Mnashabikia njozi? Eti kichwa cha Madrassa! Ni Patrice Emery, siyo Emry
 
Yaani kama kuna mtu alikuwa katili na Mwenye laana ya Mungu basi ni Nyerere. Embu fikiria unyama huo wa kuwaweka ndani watu wasio na hatia yoyote zaidi ya kuwa ndugu wa damu wa Kambona. Watanzania wengi sana walipotea enzi yake kutokana na ukatili wake. Haya yote yalikuwa na baraka ya Vatican. Ndio maana wengine hatutaki Vatican iwe na ubalozi hapa Tanzania kwa sababu inafadhili na kuhalalisha uharamia, uuwaji na uteswaji wa Watanzania kwa jina la bwana.

Halafu watu kama hawa huwa waoga sana kufa. Uoga wa kuogopa kufa aliuonyesha wakati wa kifo cha Mama yake pale aliposema maneno yalioashiria kwamba kuenda mbinguni ni lazima kwa kila mtu lakini kinachotisha ni ile njia ya kuelekea huko (kupitia kifo).
Sikujua wewe ni Mtume Isaya. Umejuaje Nyerere alikuwa na laana ya Mungu? Unaongea na Mungu wewe? Endelea na njozi zako naona una mashabiki lukuki.
 
MOHAMED SAID,Umetaja kisa cha Wazee wa Moshi ktk kupigania uhuru mmojawapo umemtaja Marehemu Yusufu A. Olotu na changamoto alizokumbana nazo mojawapo ni Mohamed Badi aliyekuwa chama cha upinzani! naomba kama unahabari zaidi za Mohamed Badi kama ndiye yule aliyekatwa sikio moja na kutolewa jina la Badi kishikio au ni mwingine labda!Na kama mtoto wake ni Omar Amin aliyekuja kuwa Makamu mwenyekiti wa FAT miaka ya 70 na kulazimishwa kustaafu baada ya timu ya mpira ya Taifa kujisaidia haja ndogo ktk uwanja wa mpira huko Zambia?Jee, chama hicho pinzani wakati wa mkoloni kilikuwa na nguvu mikoani? Shukrani kwako MS, nakuombea afya njema na Allah akulinde na maadui zako!

Kadogoo,
Khasa ndiye yeye Badi Kishikio.
 
Mohamed,
Kama ni kundi la akina Kabila, basi angesema hivyo. Jinsi alivyoandika kunaweza kutokea mwendawazimu mmoja akisoma hilo bandiko akaanza kutangaza kuwa Nyerere alishirikiana na Kennedy kumuua Lumumba. Tumeona shutuma nyingi sana juu ya Nyerere katika mabandiko ya akina Zali la Mentali, mengi yakiwa bila misingi au uthibitisho. Kabila alikuwa mfuasi wa Lumumba. Na Kabila adui wake alikuwa ni Mobutu, aliyemuua Lumumba na kupachikwa uongozi wa nchi na CIA. Siwezi kumpuuza Gombesugu hata kidogo ndio maana nimeona afadhali nimjibu tuendelee na mnakasha.

Wewe Jasusi ni mnafiki sana. Hoja zangu nimeziweka zikiwa na ushahidi ama wa quotations au wa kutumia logic. Kwa kuwa ulishindwa kujibu mapigo ukaingia mitini, unarudi kinyumenyume hapa na kudai kwamba hoja zangu hazina ushahidi. Mtu mzima Ooovyooh!!!!!!!
 
Back
Top Bottom