Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Huu upuuzi ulioandika ndiyo umepewa mualiko Marekani...Ha haa haa haa.
gombesugu, Zali la Mentali, THE BIG SHOW, Kadogoo,

Unajua huyu jamaa nilisha mu assess kabla hata hajatoa kipande kimoja cha kitabu chake. Nilianza kumuita dogo mapema sana kutokana na uwezo wake wa kitoto wa kujenga hoja na kuzisimamia. Alipoanza kuweka matambo yake kwamba amealikwa mpaka Marekani kwa ajili ya kitabu chake cha ugaidi, nilijua bado anaendeleza utoto wake hapa jamvini. Ingawaje hakutaka kuchangia hoja kuhusu kitabu chake mpaka "Balozi" wa Marekani atakapokifungua, mimi nilitumia saikolojia zake za kitoto akajikuta anaanza kuanika utumbo wake wa hicho anachokiita kitabu cha Ugaidi. Sikutaka apoteze mda wake mwingi nikataka atoe definition ya Ugaidi iliyotumika kuandikia kitabu chake. Alipoitoa, nikamuuliza kwa definition yake kwa nini Marekani sio magaidi? Mitini mpaka leo hajajibu. Nilitarajia hilo kwa sababu nilishamfahamu kwamba huyu jamaa ana akili za kitoto sana.

Sasa mnaona wenyewe kwamba copy and paste zake kutoka kwenye kitabu chake zinavyomdhalilisha hapa ukumbini!!!!!!
 
Ni vema kuwa mwangalifu katika semi zako kwakuwa hii ni jf, hakuna kinachofutika hata kwamiaka 30 mbele labda jf ife!

Katika mjadala wa mimi na wewe ambao kwanza nilikusihi uwe na adabu,

Hakuna swali la mojakwamoja ulilouliza kuwa

"marekani ni gaidi?"

Swali la msingi lilikuwa kinyume yaani lilikuwa vile unavyotaka jibu liwe nami nikakujibu vile swali lilivyo!

Hebu simama katika hoja, jenga hoja kulingana na ulichokielewa kutoka kwenye maandiko yangu!

Ugaidi ni suala mtambuka, hivyo lisitazamwe kidini tu linaguza anga nyingi sana ndugu zanguni!

Hebu tazama na hili, nalo limo kwenye ugaidi!

Tumia jicho la tatu bwana mdogo!

YALIYO USIBU MUUNGANO WA KISOVIETI

Hakika kilicho na mwanzo hakikosi kuwa na mwisho na hakuna marefu yasiyo na ncha. Kuundwa kwa muungano wakisovieti (Sovetsky Soyuz) kama wenyewe wauitavyo, si wote waliupokea kwa mtazamo mmoja.

Uchumi chini ya upinde wa muungano huu, uliimarika mara dufu, Nguvu ya kiuchumi, kijeshi, Kiteknolojia, kijamii na kimtazamo kwa mapana na marefu uliosimamiwa na dola ya muungano kwa ukamilifu viliimarika. Muungano huo ulijumuisha nchi za Urusi, Chechnya, Bosnia, Kazakstan, Azerbaijan, Ukraine, Georgia nk. Muungano huo ulivunjwa mwaka 1991 na wasovieti wenyewe, lakini wa kutengenezwa na baadhi ya nchi zikiongozwa na Marekani .

Kuupiga nyundo mfumo wao wa ujamaa na kuupokea ubepari, Kuingia kwa demokrasia ndani ya ardhi ya muungano, Matumizi makubwa ya pesa pamoja na nguvu katika vita pale Afghanistan, na Deni kubwa la Urusi lisilomithirika lililokuja baada ya vita kuu ya pili ya dunia ambapo dhahiri walitakiwa kuilipa Marekani lilitoa upenyo kwa Marekani kuingiza majasusi na wakafanikiwa kuuvunja muungano huo.

Hayo ni mihimili mikuu ya kutetereka mpaka kifo kamili cha muungano huo yakiwa na mkono wa Marekani. Twanena, Marekani! nani asiyejua kuwa Mikhail Gorbachev alikuwa mshirika mkubwa wa Marekani? Kapewa mafunzo na Marekani kwa lengo la kuubomoa muungano huo. Lengo lao likiwa mkubwa abaki mmoja katika sayari hii. Kwani enzi hizo usukani wa Organization of Petroleum Exporting Countries (OPEC) ulishikiliwa na muungano huo japo wenye sauti hiyo kimsingi walitakiwa kuwa nchi za kiarabu.

Tulikuwa tunasikia vita ya maneno tu tofauti na sasa tunaona vita ya kweli.
Tamko lolote la Marekani linachukuliwa kwa uzito sana tofauti na tamko la Tanzania au Brazil, Lakini lungu lao wanalojivunia ni moja tu nalo ni misaada, nani asiyejua kuwa asilimia fulani ya bajeti yetu tunategemea misaada? Kama hujui kamuulize Mugabe alivyotafunwa na lungu hilo kwa kukosa misaaada.

Hata kama USA ni mdau mkubwa wa Umoja wa Mataifa, si kuiendesha dunia watakavyo, ifike kipindi tuwaambie sasa basi. Mugabe aliweza alikuwa jasiri wa roho, japo alimalizwa na propaganda za magharibi na unazi wa nchi za Afrika zinazojikweza zisikose utegemezi kwa kumkosoa sera zake. Kuna uthubutu wa kusema huyu ndiyekiongozi bora wa Afrika.

Kungekuwa na tuzo ya kiongozi bora basi ilistahili kutua kwa Mugabe bila wivu, Japo hata tuzo hiyo tungepangiwa wa kumpa ilimradi tu, awe amewafurahisha akina mjomba pale ng’ambo.

Mswaada wowote katika Umoja wa Mataifa, Marekani isipouafiki hauna nguvu kabisa, hakuna nchi yenye uwezo wakuiwekea vikwazo nchi au mtu asiye wa taifa lake kutosafiri kwenda popote dundiani au kutopata msaada kutoka nchi yoyote ile ispokuwa kwa kauli ya Jumuiya zenye kauli ya pamoja, ndio maana ya wizara ya Mambo ya ndani ya nchini. Utakumbuka kule nyuma ilisomeka palipo na tamko la Marekani wizara za mambo ya ndani ya nchi hazina kazi. Utegemezi unaiponza dunia na kuamini kuwa Marekani ni mtawala kifikra, kiuchumi na kidiplomasia!. Sasa Umoja wa Mataifa wa nini kama tunaweza kuongozwa na Marekani? Nivigumu kuchanganua Marekani ina nafasi gani katika masuala kama haya? Kwani umoja wa Mataifa ndio wenye jukumu hilo, Lakini ina onekana umekuwa ni chombo cha usalama cha Marekani.

Tafsiri halisi ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi inatoweka na siasa za nje za Marekani zinachukuwa nafasi yake na hakunakinachoiponza dunia zaidi ya misaada ya hawa mabwana mumiani.
 
Nikweli huo ndio upuuzi ulionifikisha katika ground zero!

Ndio huo ulinikutanisha uso kwa uso na Bob Beqeen

Huo ndio ulionifikisha mezani pamataifa!

Wasomi hukaa kwenye mantiki sio kwenye herufi!

Uzuri nikuwa umeelewa mantiki

Sijui wewe unawaongelea wasomi gani? msomi hata siku moja hawezi kuandika vitu bila kujua uhalisia wake, unadhani umewapotosha watu wangapi mpaka sasa hivi kwenye maandishi yako niliyobold.

Bora nisome kitabu cha Bulicheka na mke wake Elizabeti au Juma na Roza au hadithi za Shigongo.

Lini tena utaalikwa kuonana na Obama.
 
Young Boy anasikitisha sana,,,
Basi tumwache ajifurahishe...

Big Show,
Sijui msahihishaji anaanyaje anapokutana na kimbunga hiki cha Yericko!

Mohamed Said

Wewe juu ya anga za ugaidi kwakweli hujui kitu,

Kuwa muungwana jitulize na uombe kufundishwa, usijifanye kila kitu wakijua wewe, ona sasa unaumbuka bila sababu za msingi!

Hebu kata kiu hapa chini!

VITA DHIDI YA UGAIDI
Marekani iko katika Bara la America ya kaskazini, iko katika longtudo 120% Mashariki, na Latitudo 40% Kaskazini. Ilipata uhuru mwaka 1789 kutoka kwa Waingereza, Rais wake wa kwanza alitwa George Washington Upande wa kaskazini imepakana na Canada, Mashariki inapakana na Bahari ya Atlantic, Kusini inapakana na Mexico na Magharibi inapakana na bahari ya Pasifiki. Marekani ni moja kati ya nchi zilizo mstari wambele katika kupinga utengenezaji wa silaha za maangamizi. Ni moja kati ya mataifa tajiri duniani na ni moja kati ya mataifa makubwa duniani. Kiungo kikubwa cha serikari kimeegemea katika ubepari,na nimoja kati ya nchi zilizo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu kinadharia.

Kwa mtazamo wa karibu utaona kuwa Marekani imekuwa ikipata ubavu wa kiuchumi, kisiasa na kijeshi kwa kupitia mwavuli wa umoja wa Mataifa ambao makao makuu yake ni Marekani, Pia unaweza kupata maswali mengi yasiyo na majibu “mfano au kwa kuwa mkubwa duniani ni mmoja baada ya muungano wa kisovieti kuvunjika? Au Tamaa ya malighafi katika nchi husika?, au kutaka kujaribu silaha zao? (Quotation marks kafungua hakufunga).

Kuwait itaikumbuka Marekani kwa msaada ilioutoa mwaka 1991 – 1992 wakati nchi hiyo ilipovamiwa na Iraq. Katika suala la kutetea haki za binadamu, Marekanai imekuwa kikwazo kwa mataifa ya mashariki ya kati (ya kiarabu) ambayayo yanatajwa kuwa yanaukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Historia inaonyesha kuwa Marekani imepigana vita kati ya Cuba, Cosovo, Vietnam, Pama, na Iraq. Na inaonyesha kuwa baadhi ya vita hivyo Marekani imekuwa ikiingilia kati tena bila idhini ya Umoja wa Mataifa. Suala linabaki palepale kuwa Marekani kama taifa tajiri na kubwa duniani, haina budi kuingilia kati panapotokea mgogoro katika nchi, uwe wa kisiasa au kiuchumi.

Tulishuhudia wale waliokuwa wanapinga vita vya Afganistan na Iraq wakiomba Marekani itume askari wake kutuliza vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Liberia chini ya utawala wa Charles Teyller, na hao hao tena wakishinikiza USA isimamie mpango wa amani (Road map) Mashariki ya kati. Kama kweli walikuwa wanapinga vita basi tungeshuhudia kambi za kijeshi katika baadhi ya nchi zilizopinga vita zikiondolewa pamoja na balozi za USA zikifungwa, lakini katika hali ya kushangaza watu walipinga vita kinadharia. Ifahamike kuwa mkubwa ni jalala, haohao waliopinga vita wangekuja kuishutumu USA kuwa kama taifa kubwa duniani kwa nini ilishindwa kuingilia kati migogoro ya nchi ndogo na maskini duniani?

Mwaka 1994 dunia ilishuhudia mauaji ya halaiki ya kimbali ya Rwanda, na Marekani ilikuwepo katika sayari hii, lakini katika hali ya kustaajabisha Marekani haikutia mguu katika ardhi ya akina Byerihimana kuzuia mauaji hayo. Wachambuzi wa siasa za ndani na nje za Marekani wanasema Marekani huendesha siasa zake za nje kwa faida zaidi, tofauti na wanavyojinadi kwa umma wa dunia.

Mwandishi mwenye mlengo wa kushoto na siasa za Marekani bwana Thomas Schelling katika kitabu chake cha (Siasa za nje za Marekani) anamnukuu Naibu Waziri wa Ulinzi Paul Wolfowitz ambaye mwaka 2007 alikumbwa na kashfa ya kumzawadia mpenzi wake vyeo na mshahara uliovunja rekodi yamishahara katika Benki ya Dunia akiwa Rais wa Benki hiyo, katika vikao vya faragha vya kumun’goa Saddam, “Nivema tukazingatia kila tulifanyalo liwe na faida kwa kizazi kijacho, historia isije kutusuta tukiwa kama Amerika.”

Inawezekana walichanganua nakuona hakuna faida kwa kizazi chao cha baadaye ndio maana walishindwa kwenda kuzuia mauaji Rwanda, wakati mwaka 1991-92 walikuwa Kuwait nchi inayomwaga mafuta kwa wingi duniani wakiipiga tafu kukabiliana na mkono wa chuma (Saddam Hussein) nchi hizo ni wazalishaji nguli wa mafuta ndio maana Marekani iliyaona matatizo hayo yaliyo kwenye mwanga vizuri kuliko Rwanda kwenye giza lililo zingirwa na umasikini wenye asili ya kiafrika. Baadhi ya viongozi waliopata kuwa madikteta ni kama Benito Mussolin (Italy) 1922-1943, Francico Franco (Hispania) 1939-1975, Chanceller Otto Von Bismak (Ugerumani) 1862 – 1890, akapindulia na mbabe kijana Williami wa pili, akaja Chanceller Adolf Hiltler. Huyu ndiye dikteta anayetajwa kuwa na sifa mbaya zaidi duniani aliyetaka kuutawala ulimwengu na kusababisha vita kuu ya pili ya dunia.

Hata hivyo alikuja kubanwa mbavu na majeshi ya Urusi na kuamua kujiua pamoja na mke wake Bi Eva Brown mwaka 1945 mjini Bellin.Jen B.Bokasa wa Jamuhuri ya Afrika ya kati, Mobutu Seseseko wa Zaire ya zamani, Anua al –Saadat wa Misri, Yasser Arrafat wa Palestina, Rais wa zamani wa Peru Alberto Fujimori, Saadam Hussein na Idd Amini wa Uganda aliyeonywa na Mwalimu Julias Nyerere kuto uleta utemi Tanzania kwakupewa uhamisho wa kwenda kuishi Umangani na kutuacha wenye hekima tuendele kupeta.

Kutoka katika hatua ya kupinga udikteta, Marekani imeingia katika suala la ugaidi. Kwa upande wa magaidi wamekuwepo wengi sana, na kinara wao mkuu awali alikuwa Irich Ramizez Sanchez ‘Carlos’ raia wa Venezuela aliyeutingisha ulimwengu kiasi cha waandishi kutoa vitabu vingi kuelezea kashikashi zake na kuonekana kana kwamba zilikuwa ni hadithi za kufikirika hadi alipokamatwa nchini Sudani 1994, Jonas Savimbi aliyeongoza mapigano ya muda mrefu nchini Angola baada ya uhuru hadi alipouawa mwaka 2002 na majeshi ya serikali kufuatia mapigano makali, Joseph Konny kiongozi wa waasi kaskazini mwa Uganda anayetaka kuitawala Uganda kwa amri kumi za mungu.

Akaja gaidi mwingine ambaye ni hatari zaidi kuliko waliomtangulia, Osama Bin Laden, ambeye siyo tu wababe walishindwa kumtia mbaroni bali kwa mara nyingine aliuthibitishia ulimwengu kwamba nguvu bila kutumia akili siyo ujanja akiwa mafichoni katikati ya nchi ya Afghanishan. Osama bin Laden gaidi mkuu, ndiye aliye ipeleka Marekani katika vita nchini Afghanistan pamoja na vita vya Iraq ambavyo Marekani ilisema ni vita vya ukombozi na wengi wakadai ni vita vya uvamizi. Hiyo yote inatokana na mashambulio ya kigaidi ya Sept,11/2001 Washington na New York nchini Marekani

Katika vita vya Ugaidi nchini Afghanstan, Marekani ilifanikiwa kuung’oa utawala wa Taleban bila kumpata mlengwa (Osama ben Laden) na kilichoifanya Iraq kuvamiwa na Marekani ni madai ya USA kuwa Iraq inamiliki silaha za maangamizi ambapo timu ya wakaguzi wa silaha za maangamizi ikiongozwa na Hans Blax mkaguzi mkuu wa silaha za nyukilia na Ell Barlldei mkaguzi mkuu wa silaha za kibaolojia walipelekwa nchini Iraq na kabla ripoti ya mwisho haijatolewa Marekani ikaanzisha vita vya kumng’oa madarakani kiongozi wa nchi ya Iraq Saddam Hussein. Kiongozi huyu ambaye aliitawala nchi ya Iraq kwa mkono wa chuma tangu mwaka 1979 mpaka Machi 2003 anazungumuziwa kama ni dikteta, gaidi na haini mkubwa ambaye Marekani ilidiriki kusema Hitller wapili.

Saddam Hussein alizaliwa mwaka 1937. Katika historia ya maisha ya awali ya Saddam, kulingana na taarifa ya kitengo kimoja cha masuala ya akili cha Marekani inasema, kutungwa kwa mimba pamoja na kuzaliwa kwake kulitokea baada ya kufariki kwa kaka yake aliyeitwa Sanakher Hussein aliyekuwa na umri wa miaka 12 kutokana na maradhi ya saratani. Baba yake alifariki wakati mama yake akiwa na ujauzito na mama huyo alichanganyikiwa akawa anapewa ushauri nasaha hasa baada ya kutaka kuitoa mimba ya Saddam. Baada ya kujifungua alikataa kabisa hata kumtazama mtoto wake. Akakua na kulelewa na mjomba wake mjini Tikrit

Na Yericko Nyerere

Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"

Wanajamvi,
Sijaweza kumaliza kusahihisha yote ya Yericko maana kwa kweli ni kibarua tosha.

Hiki ''kitabu'' ndicho kilichomfanya Yericko aalikwe na serikali ya Marekani kuzuru Amerika!

Uamuzi mnayo nyie wanajamvi.
 
Yericko,
Katika usomi huwezi kulazimisha jambo.

Kinachosomwa ni hoja.

Kuhusu Abdu Sykes na TANU nimefanya utafiti na kitabu nimeandika.
Kwa kuandika kitabu kile mengi yaliyokuwa hayajulikani sasa yako hadhir.

Huko si kulazimisha.

Kitabu kinasomwa kwingi na ndiyo leo tuko hapa mwezi wa nne bado naeleza
niyajuayo na mengi ni kutoka kitabu kile.

Kunipinga katika yale niliyosema hakuna ubaya kwa upande wangu nimejibu
kadri nilivyoweza.

Nitakueleza kuhusu vitabu na hiyo ''mahkhusi.''
Toka utoto wangu nilikuwa ''book worm.''

Nadhani kama uko makini umeona jinsi ninavyoweza kujadili chochote kile
na staili yangu ya kuandika.

Kwa hakika nimesoma vitabu vingi sana.
Na baada ya hii internet ndiyo imekuwa balaa kubwa.

Ninasoma Yericko, ninasoma.
Huu ni uwanja wangu maisha yangu yanazunguka katika vitabu.
Yaliyokuwa hayajulikani ni yapi?

Maana tunajua mengi uliyoyaficha au kupotosha kuliko yale ya ukweli.
Tunakushukuru kwasababu nani alijua kuwa wakati Nyerere akiwa mwanasiasa huru Abdul Sykes alikuwa anatumia jina la familia?

Mag3 kauliza mwaka 1945,46,47 Abdul alikuwa nafanya nini na Nyerere alikuwa wapi.
Sina maana ya kumdhalilisha yoyote lakini ndio ukweli.

Hatujua kuwa Ali Ramadhani alikuwa makamu mwenyekiti wa AA na Rais alikuwa C.Matola. Watu walijua mwanzilishi wa AA ni K.Sykes. Na mambo lukuki ambayo ni aibu tu hata kutaja neno utafiti.

Wewe huna utafiti wala hukufanya utafiti usichafue jina na maana halisi ya utafiti na watafiti.
Wewe ni mpotoshaji kwa kutumia neno tafiti.

Kusoma vitabu ni jambo moja, kuvielewa ni jambo jingine. Inategemea umesoma vitabu vya aina gani.

Ungesoma vitabu usingeweza kuandika paper mstari wa kwanza ukisema ''sensa ya mwaka 1967 waislam walikuwa ..... mstari wa tatu..... katika sensa ya 1970 waislam walikuwa....'' Kama huwezi kujua taratibu za sensa unasoma vitabu gani na unavielewa kweli? Kwamba Sensa inafanyika kila miaka 3! real.(Naomba mtu aombe ushahidi nifungue pandora box)

Tuongelee ya Bungoni, kipata, Agrey n.k zaidi ya hapo Mo wewe ni mweupe sana.
 
Sijui wewe unawaongelea wasomi gani msomi hata siku hawezi kuandika vitu bila kujua uhalisia wake, unadhani umewapotosha watu wangapi mpaka sasa.

Bora nisome kitabu cha Bulicheka na mke wake Elizabeti au Juma na Roza.

Lini tena utaalikwa kuonana na Obama.

Ndugu inaonekana hili suala limewaumiza sana,

Lengo sio kuwaumiza bali nikutoa darasa juu ya athari za uchochezi wa Mohamed Said ambazo huzaa ugaidi huu tunaouongelea hapa!

Hebu funguka kidogo kwa ngano hizi nilizoziandika tangu miaka 14 iliyopita!

TUNAINGIA VITANI.
Powell na watu wengine miongoni mwa washiriki wake walikuwa wametumia masaa mengi na waandishi wa jarida la Times wakijaribu bila mafanikio kuwajulisha kwamba habari waliyoandika haikuwa ya kweli. Lakini Powell na Armitage walifahamu nguvu iliyokuwepo Washington ambako kuibuka na kuanguka kwa umaafuru wa mtu ni jambo jepesi.

Tatizo lilikuwa kwamba msimamo huo wa habari hiyo ungeonekana kuwa ndiyo ukweli hata kama haikuwa hivyo. Tatizo kubwa zaidi lilikuwa kwamba habari hiyo kwa sehemu fulani ilikuwa ni kweli. Powell alikuwa haanzishi sera mpya ya nchi za nje alikuwa akipangiwa majukumu ya kufanya na alikuwa akikabili migogoro midogo mmoja bada ya mwingine. Lakini kama alivyowahi kusema mara moja katika faragha, “ili kuweza kuendelea bila matatizo katika ngazi za juu lazima uwe mjanja katika mchezo wako.”

Alipokuwa mwenyekiti wa jopo la Wakuu katika jeshi aliwahi kuandika baadhi ya misemo aliyokuwa anaipenda zaidi na kuipenyeza chini ya kioo kilichokuwa juu ya deski lake katika makao makuu ya Wizara ya Ulinzi. Moja ya misemo hiyo ilikuwa “kamwe usiwaruhusu wakwambie kwamba unatapa tapa”.Rais Bush alikuwa akiwahutubia wanafunzi katika shule ya Emma E. Booker Elementary School huko Sarasota Florida wakati Rove alipomjulisha kwamba ndege moja ilikuwa imeubamiza Mnara wa Kaskazini wa kituo cha biashara cha kimataifa mwanzoni ilionekana kuwa tukio hilo lilikuwa ajali au labda kosa la rubani ambaye huenda alikuwa na mshitulo wa moyo, Bush alifikiri.

Alikuwa amekaa kwenye stulu darasani akiwa amevaa suti yenye rangi nyeusi shati la bluu na tai nyekundu, Ubao mdogo wa ukutani uliokuwa nyuma yake ulikuwa na maandishi yasemayo “ Kusoma kunaifanya nchi istawi”. Andrew H. Card Jr mnadhimu wa Bush na msaidizi wa zamani wa Reagan na Bush mkubwa aliingia na kumnong’oneza rais huyo moja kwa moja sikioni mwake “ndege ya pili imeubamiza mnara wa pili, Marekani inashambuliwa”.

Picha ya hali iliyotokea wakati huo imebakia katika historia, mikono ya rais huyo ilikuwa imekunjwa juu ya miguu yake wakati anageuka kusikiliza maneno ya Card. Uso wake ukawa na sura tulivu kwa mbali japokuwa kulikuwa na mshituko pamoja na kuchanganyikiwa. Bush anakumbuka vizuri kabisa alivyokuwa, ‘nafikiri watu hawa wametangaza vita dhidi yetu, na nimeamua wakati huu kwamba tunaingia vitani.” Alisema Bush. Bush aliamua kwamba alihitaji kuwaeleza wananchi wake mambo kadhaa.

Saa 3.30 asubuhi alitokea mbele ya kamera za televisheni katika kituo cha habari cha shule hiyo ya Booker ili kutoa taarifa yenyewe. “kwa nini niliyarudia maneno hayo hayo
labda huo ulikuwa ni mwangwi wa matukio ya nyuma” rais huyu alisema baadaye. “Sifahamu ni kwa nini nitakueleza ukweli kwamba hatukukaa kuyapanga maneno haya. Nilisimama na kujikuta nikiyasema. “Mlichokiona ndiyo hasa mimi mwenyewe nimeonyesha hulka yangu.” Msururu wa magari ya rais huyo kwa kasi ulielekea kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Sarasota Bradenton. Alichepuka haraka akipanda ngazi na kuingia katika chumba cha ofisi yake ya faragha ya ndege yake ya serikali ya Air Force
One. “hakikisheni mke wangu na mabinti zangu wanalindwa” hiyo ndiyo ilikuwa amri yake ya kwanza kwa maofisa wa vyombo vya upelelezi. “Bwana Rais alisema mmoja wa maofisa hao kwa unyonge, “tunataka ukae haraka iwezekanavyo.” Bush alikaa kitini na kujifunga mikanda na ndege ikaanza kuondoka taratibu na muda si mrefu ikapaa angani kwa kasi.

Mke wa Rais huyo Laura Bush akiwa amevaa suti nyekundu na mikufu miwili ya mapambo ya lulu shingoni mwake alikuwa katika chumba cha Caucus katika jengo la Ofisi ya Seneti la Russe mjini Washingtoni akiwa tayari kutoa hoja kuhusu watoto kuanza elimu mapema mbele ya kamati ya Seneta Robert M. Kennedy mara wakapata habari kuhusu ajali hiyo na bibi Bush, Seneta Kennedy na watu wengine wakaondoka kupitia mlango wa pembeni. Baada ya maelekezo ya tukio hilo Bibi Bush alifanya juu chini kujituliza. Uso wake ulipauka mara moja machozi yakimlenga na midomo yake ikitetemeka kwa woga.

Kisha makao makuu ya jeshi la Marekani yakashambuliwa, na wapelelezi na polisi wa kamzingira. Walimweleza nia ya kumpeleka katika eneo lenye usalama. Kundi hilo mara moja likaondoka haraka. Saa 3.50 Bibi Bush alikuwa akisubiri watu wa kumsindikiza katika msongamano wa magari kutoka jengo la bunge la Seneti (Capito), ilichukua dadika 45 kumfikisha kwenye makao makuu yake na alipelekwa katika chumba cha mikutano cha Wood.

Saa 4.51 ndipo vyombo vya usalama vilipoamua Kend kumficha katika Ofisi ya New Havana mtu mmoja aliyejuliakana kwa jina la Turquoise ambalo lilikuwa jina la siri la Barbar Bush Bint wa rais huyo aliyekuwa na umri wa miaka 19 akisoma huko . Twinkle jina jingine la siri la binti mwingine pacha wa Rais Bush. Akiwa anasoma Chuo kikuu cha Texas huko Austtin alipelekwa kufichwa katika Hotel ya Driskill dakika sita baadaye.

Ilikuwa saa 3.39 asubuhi ambapo ndege ya America Air lines Safari namba 77 aina ya Boeing 757 ilipobamizwa katika jengo la makao makuu ya jeshi la Marekani. Dakika tano baadaye aliweza kuwasiliana kwa simu na makamu wake wa rais Dick Cheney ambaye alikuwa amekimbizwa kutoka katika ofisi yake ya upande wa magharibi na maofisa wa usalama na kupelekwa katika kituo cha shughuli za Dharura cha Rais (Presidential Operations Center - POC) ambacho ni handaki maalum la dharura lililo chini ya viwanja vya Ikulu.

Na Yericko Nyerere

Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"
 
Big Show,
Sijui msahihishaji anaanyaje anapokutana na kimbunga hiki cha Yericko!

Mohamed Said

Wewe juu ya anga za ugaidi kwakweli hujui kitu,

Kuwa muungwana jitulize na uombe kufundishwa, usijifanye kila kitu wakijua wewe, ona sasa unaumbuka bila sababu za msingi!

Hebu kata kiu hapa chini!

VITA DHIDI YA UGAIDI
Marekani iko katika Bara la America ya kaskazini, iko katika longtudo 120% Mashariki, na Latitudo 40% Kaskazini. Ilipata uhuru mwaka 1789 kutoka kwa Waingereza, Rais wake wa kwanza alitwa George Washington Upande wa kaskazini imepakana na Canada, Mashariki inapakana na Bahari ya Atlantic, Kusini inapakana na Mexico na Magharibi inapakana na bahari ya Pasifiki. Marekani ni moja kati ya nchi zilizo mstari wambele katika kupinga utengenezaji wa silaha za maangamizi. Ni moja kati ya mataifa tajiri duniani na ni moja kati ya mataifa makubwa duniani. Kiungo kikubwa cha serikari kimeegemea katika ubepari,na nimoja kati ya nchi zilizo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu kinadharia.
Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"

Wanajamvi,
Sijaweza kumaliza kusahihisha yote ya Yericko maana kwa kweli ni kibarua tosha.

Hiki ''kitabu'' ndicho kilichomfanya Yericko aalikwe na serikali ya Marekani kuzuru Amerika!

Uamuzi mnayo nyie wanajamvi.

Ha ha ha ha ha...!!
Wallahi nimecheka sana ndugu yangu,katika list yangu mimi walikuwa wawili na kwa kupitia bandiko lake hili Yerickoni nimemwongeza na nimefikisha watu watatu sasa...
Sasa huyu Bwana mdogo sijui alikuwa kalewaa,,ama kaandika huku akiwa usingizi??
Yan hata skills za uandishi na punctuations hana,kisha anajiita mwandishi kweli??
Waamerika gani wampe mwaliko huyu kwa mauza mauza haya aliyoyaandika??
Hata shule ya vidudu hawez kupewa nafasi ya kuhubiri utumbo huo na akaeleweka,

Pole sana yericko,mwandishi nguli...

:laugh: :laugh: :laugh:
 
Yaliyokuwa hayajulikani ni yapi?

Maana tunajua mengi uliyoyaficha au kupotosha kuliko yale ya ukweli.
Tunakushukuru kwasababu nani alijua kuwa wakati Nyerere akiwa mwanasiasa huru Abdul Sykes alikuwa anatumia jina la familia?

Mag3 kauliza mwaka 1945,46,47 Abdul alikuwa nafanya nini na Nyerere alikuwa wapi.
Sina maana ya kumdhalilisha yoyote lakini ndio ukweli.

Hatujua kuwa Ali Ramadhani alikuwa makamu mwenyekiti wa AA na Rais alikuwa C.Matola. Watu walijua mwanzilishi wa AA ni K.Sykes. Na mambo lukuki ambayo ni aibu tu hata kutaja neno utafiti.

Wewe huna utafiti wala hukufanya utafiti usichafue jina na maana halisi ya utafiti na watafiti.
Wewe ni mpotoshaji kwa kutumia neno tafiti.

Kusoma vitabu ni jambo moja, kuvielewa ni jambo jingine. Inategemea umesoma vitabu vya aina gani.

Ungesoma vitabu usingeweza kuandika paper mstari wa kwanza ukisema ''sensa ya mwaka 1967 waislam walikuwa ..... mstari wa tatu..... katika sensa ya 1970 waislam walikuwa....'' Kama huwezi kujua taratibu za sensa unasoma vitabu gani na unavielewa kweli? Kwamba Sensa inafanyika kila miaka 3! real.(Naomba mtu aombe ushahidi nifungue pandora box)

Tuongelee ya Bungoni, kipata, Agrey n.k zaidi ya hapo Mo wewe ni mweupe sana.

Asante sana mkuu kwa kuwa muwazi kiasi hicho,

Huo ndio ukweli japo wengi hawaupendi!

Nimeonelea vema niwape darsa la ugaidi na nikimaliza hapa nahamia darsa la mapinduzi matukufu ya Zanzibar!
 
Ndugu inaonekana hili suala limewaumiza sana,

Lengo sio kuwaumiza bali nikutoa darasa juu ya athari za uchochezi wa Mohamed Said ambazo huzaa ugaidi huu tunaouongelea hapa!

Hebu funguka kidogo kwa ngano hizi nilizoziandika tangu miaka 14 iliyopita!

TUNAINGIA VITANI.
Powell na watu wengine miongoni mwa washiriki wake walikuwa wametumia masaa mengi na waandishi wa jarida la Times wakijaribu bila mafanikio kuwajulisha kwamba habari waliyoandika haikuwa ya kweli. Lakini Powell na Armitage walifahamu nguvu iliyokuwepo Washington ambako kuibuka na kuanguka kwa umaafuru wa mtu ni jambo jepesi.

Tatizo lilikuwa kwamba msimamo huo wa habari hiyo ungeonekana kuwa ndiyo ukweli hata kama haikuwa hivyo. Tatizo kubwa zaidi lilikuwa kwamba habari hiyo kwa sehemu fulani ilikuwa ni kweli. Powell alikuwa haanzishi sera mpya ya nchi za nje alikuwa akipangiwa majukumu ya kufanya na alikuwa akikabili migogoro midogo mmoja bada ya mwingine. Lakini kama alivyowahi kusema mara moja katika faragha, "ili kuweza kuendelea bila matatizo katika ngazi za juu lazima uwe mjanja katika mchezo wako."

Alipokuwa mwenyekiti wa jopo la Wakuu katika jeshi aliwahi kuandika baadhi ya misemo aliyokuwa anaipenda zaidi na kuipenyeza chini ya kioo kilichokuwa juu ya deski lake katika makao makuu ya Wizara ya Ulinzi. Moja ya misemo hiyo ilikuwa "kamwe usiwaruhusu wakwambie kwamba unatapa tapa".Rais Bush alikuwa akiwahutubia wanafunzi katika shule ya Emma E. Booker Elementary School huko Sarasota Florida wakati Rove alipomjulisha kwamba ndege moja ilikuwa imeubamiza Mnara wa Kaskazini wa kituo cha biashara cha kimataifa mwanzoni ilionekana kuwa tukio hilo lilikuwa ajali au labda kosa la rubani ambaye huenda alikuwa na mshitulo wa moyo, Bush alifikiri.

Alikuwa amekaa kwenye stulu darasani akiwa amevaa suti yenye rangi nyeusi shati la bluu na tai nyekundu, Ubao mdogo wa ukutani uliokuwa nyuma yake ulikuwa na maandishi yasemayo " Kusoma kunaifanya nchi istawi". Andrew H. Card Jr mnadhimu wa Bush na msaidizi wa zamani wa Reagan na Bush mkubwa aliingia na kumnong'oneza rais huyo moja kwa moja sikioni mwake "ndege ya pili imeubamiza mnara wa pili, Marekani inashambuliwa".

Picha ya hali iliyotokea wakati huo imebakia katika historia, mikono ya rais huyo ilikuwa imekunjwa juu ya miguu yake wakati anageuka kusikiliza maneno ya Card. Uso wake ukawa na sura tulivu kwa mbali japokuwa kulikuwa na mshituko pamoja na kuchanganyikiwa. Bush anakumbuka vizuri kabisa alivyokuwa, ‘nafikiri watu hawa wametangaza vita dhidi yetu, na nimeamua wakati huu kwamba tunaingia vitani." Alisema Bush. Bush aliamua kwamba alihitaji kuwaeleza wananchi wake mambo kadhaa.

Saa 3.30 asubuhi alitokea mbele ya kamera za televisheni katika kituo cha habari cha shule hiyo ya Booker ili kutoa taarifa yenyewe. "kwa nini niliyarudia maneno hayo hayo
labda huo ulikuwa ni mwangwi wa matukio ya nyuma" rais huyu alisema baadaye. "Sifahamu ni kwa nini nitakueleza ukweli kwamba hatukukaa kuyapanga maneno haya. Nilisimama na kujikuta nikiyasema. "Mlichokiona ndiyo hasa mimi mwenyewe nimeonyesha hulka yangu." Msururu wa magari ya rais huyo kwa kasi ulielekea kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Sarasota Bradenton. Alichepuka haraka akipanda ngazi na kuingia katika chumba cha ofisi yake ya faragha ya ndege yake ya serikali ya Air Force
One. "hakikisheni mke wangu na mabinti zangu wanalindwa" hiyo ndiyo ilikuwa amri yake ya kwanza kwa maofisa wa vyombo vya upelelezi. "Bwana Rais alisema mmoja wa maofisa hao kwa unyonge, "tunataka ukae haraka iwezekanavyo." Bush alikaa kitini na kujifunga mikanda na ndege ikaanza kuondoka taratibu na muda si mrefu ikapaa angani kwa kasi.

Mke wa Rais huyo Laura Bush akiwa amevaa suti nyekundu na mikufu miwili ya mapambo ya lulu shingoni mwake alikuwa katika chumba cha Caucus katika jengo la Ofisi ya Seneti la Russe mjini Washingtoni akiwa tayari kutoa hoja kuhusu watoto kuanza elimu mapema mbele ya kamati ya Seneta Robert M. Kennedy mara wakapata habari kuhusu ajali hiyo na bibi Bush, Seneta Kennedy na watu wengine wakaondoka kupitia mlango wa pembeni. Baada ya maelekezo ya tukio hilo Bibi Bush alifanya juu chini kujituliza. Uso wake ulipauka mara moja machozi yakimlenga na midomo yake ikitetemeka kwa woga.

Kisha makao makuu ya jeshi la Marekani yakashambuliwa, na wapelelezi na polisi wa kamzingira. Walimweleza nia ya kumpeleka katika eneo lenye usalama. Kundi hilo mara moja likaondoka haraka. Saa 3.50 Bibi Bush alikuwa akisubiri watu wa kumsindikiza katika msongamano wa magari kutoka jengo la bunge la Seneti (Capito), ilichukua dadika 45 kumfikisha kwenye makao makuu yake na alipelekwa katika chumba cha mikutano cha Wood.

Saa 4.51 ndipo vyombo vya usalama vilipoamua Kend kumficha katika Ofisi ya New Havana mtu mmoja aliyejuliakana kwa jina la Turquoise ambalo lilikuwa jina la siri la Barbar Bush Bint wa rais huyo aliyekuwa na umri wa miaka 19 akisoma huko . Twinkle jina jingine la siri la binti mwingine pacha wa Rais Bush. Akiwa anasoma Chuo kikuu cha Texas huko Austtin alipelekwa kufichwa katika Hotel ya Driskill dakika sita baadaye.

Ilikuwa saa 3.39 asubuhi ambapo ndege ya America Air lines Safari namba 77 aina ya Boeing 757 ilipobamizwa katika jengo la makao makuu ya jeshi la Marekani. Dakika tano baadaye aliweza kuwasiliana kwa simu na makamu wake wa rais Dick Cheney ambaye alikuwa amekimbizwa kutoka katika ofisi yake ya upande wa magharibi na maofisa wa usalama na kupelekwa katika kituo cha shughuli za Dharura cha Rais (Presidential Operations Center - POC) ambacho ni handaki maalum la dharura lililo chini ya viwanja vya Ikulu.

Na Yericko Nyerere

Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"

Invisible huwa ana msemo pale kwenye signature yake unaosema kwamba,FICHA UPUMBAVU WAKO NA UONESHE WEREVU WAKO.. Yericko nadhan unapuuzia ushauri ule,,

Unajua kwamba unajidhalilisha sana??
Bora ungeandika ngano za mapenzi kama Mzee Mwanakijiji wako,,hebu acha kubadilishia nguo zako kwenye nyumba duni na dhaifu kama ya buibui,wapita njia na jiran zako wanaiona aibu yako wazi wazi,jiheshimu bwana mdogo..
 
Last edited by a moderator:
Baubaru, ninachosema hapa ni kuwa baadhi ya Waislam ndio wameufikisa Uislam katika picha inayoonekana.
Tumekupa mfano na Mag3 kaliongelea vizuri sana suala la Sheikh Malik huko nyuma.

Huyu hakuja na pesa alikuja na cheti lakini matatizo aliyoyaacha nyuma ni makubwa sana.
Sasa kama ukimpa mtu wa aina hii pesa basi ujue chochote kinaweza kutokea.

Ndio maana mimi nilidhani watu wangewalaani akina Ilunga kwa kuweka taswira chafu juu ya Uislam.
Hivi nani atakubali msaada wa fedha kupitia Ilunga uingie nchini bila kujua unakwenda au unatoka wapi.
Huwa nasema lazima watu wawe na mtazamo mpana wakati wanatoa kauli zao.

Hata kama leo nitasikia Mohamed amepata msaada wa kujenga kituo cha afya bado nitajiuliza sana, huyu mtu aliyefundishwa na Maliki na anayemuunga mkono Ilunga anadhamira ya kutenda alichokusudia au amejificha nyuma ya jambo jingine! Yote hayo ni kwasababu ya kauli na presentation ya baadhi ya waislam.

Kuhusu msamaha wa kodi, naomba tusiliongelee hilo. Huo ni mradi mkubwa sana wa wafanyabiashara wa kiislam wa Dar es Salaam na mamlaka kama BAKWATA. Ni mradi wa kuingiza magari na vitu vingine kwa jina la waislam lakini si kweli kuwa vinawafikia waislam

Na ndivyo ilivyo kwa dini zingine, magari na kila aina ya vitu vinapata misamaha kumbe ni miradi ya watu.
Kuna tuhuma za kuthibitika kuhusu hili.

Mimi binafsi siamini kwa msamaha wa kodi wa yoyote awe mwislam, mpagani au mkristo kwasababu kuna abuse kubwa sana kwa hilo. Ninachotaka kukuasa ni kuwa usiongelee kuwa waislam wanadhulumiwa, waislam wanajidhulumu kwasababu wanaotumia loophole hiyo ni waislam tena Ma-alhaji na masheikh wenye biashara siyo Kapuku wa mtaani.

Baru baru hivi unahitaji Microscope ya resolution gani kuona tatizo la waislam wa Tanzania?
Wauziane viwanja lawama watupe kwa Nyerere na wakristo.
Waingize bidhaa kwa msamaha wa kodi kwa biashara zao lawama itupiwe serikali.
Shule zao zifanye vibaya lawama watupiwe NECTA n.k.
Ninahitaji kuwasha taa ya kandili mchana, watu hawaoni.

Kitu kimoja tu sikubalini nacho ni kaucha pesa ziingie hovyo! sasa ni kwa wote hilo sijui ila kwa waislam niseme wazi wamejenga mazingira ya kutoaminika si hapa nchi tu bali duniani kwasababu ya baadhi yao.
Nitasema ninachotaka kukuambia siyo unachotaka kusikia. Hawa akina Mohamed, Ilunga sijui kama wanajenga mazingira mazuri kwa taswira ya dini.

Nikukumbushe kula Amani Muheza, pale ni karibu na nyumbani Kiwanda baada ya kupita KM7 na Bombani.
Ile ni green belt.
Ngoja nijazie ngogwe katika pakacha la Gombesugu.

Nguruvi3,

Naona umeongea mengi sana na hata mwenye nafikiri umebainisha namna baadhwi ya dini wanavyotumia vibaya misamaha hiyo. siku zote The end justify the means, na kuwika kwa jogoo kunahitaji busara sana. hakika nimekupata kamwe nyeusi haiwezi kuwa nyeupe labda ichakachuliwe.

Sasa suala langu ambalo nilikuuliza Waislam wa Tz bara wamewekewa Bakwata ikague na kuithinisha misaada yao kama ulivyo eleza. Suala langu nilikuuliza JE WAKRISTU ni nani anayethibiti misaada yao kutoka nje?

Vile vile naona umemshikilia Sheikh Ilunga na Al Akhi Mohamed said. Je unamjua mama rwekatare alikotokea na kituo chake cha watoto yatima kule Segerea . na jinsi alivyowatenda yatima wale na leo yupo wapi?

Je unamfahamu rafiki yangu KAKOBE wakti akiwa na studio yake ya nyimbo za Bolingo ikiitwa Yombo Music centre. (Wakti huo Dar nzima kulikuwa na studio nne tu. ya kwanza ilikuwa manzese ikiitwa CHIZENGA studio ya hamis Chizenga, Ya pili ilikuwa ipo buguruni junction ikiitwa Alabama ya Mrisho Monde, Ya Tatu ilikuwa Yombo ya Kakobe na mwisho ilikuwa ipo pale mta wa pemba ikiitwa El-rikad ya muhsin Khamis).
je hao nao unawatazamaje? au waislam tu ndio mushkirah?
 
Yaliyokuwa hayajulikani ni yapi?

Maana tunajua mengi uliyoyaficha au kupotosha kuliko yale ya ukweli.
Tunakushukuru kwasababu nani alijua kuwa wakati Nyerere akiwa mwanasiasa huru Abdul Sykes alikuwa anatumia jina la familia?

Mag3 kauliza mwaka 1945,46,47 Abdul alikuwa nafanya nini na Nyerere alikuwa wapi.
Sina maana ya kumdhalilisha yoyote lakini ndio ukweli.

Hatujua kuwa Ali Ramadhani alikuwa makamu mwenyekiti wa AA na Rais alikuwa C.Matola. Watu walijua mwanzilishi wa AA ni K.Sykes. Na mambo lukuki ambayo ni aibu tu hata kutaja neno utafiti.

Wewe huna utafiti wala hukufanya utafiti usichafue jina na maana halisi ya utafiti na watafiti.
Wewe ni mpotoshaji kwa kutumia neno tafiti.

Kusoma vitabu ni jambo moja, kuvielewa ni jambo jingine. Inategemea umesoma vitabu vya aina gani.

Ungesoma vitabu usingeweza kuandika paper mstari wa kwanza ukisema ''sensa ya mwaka 1967 waislam walikuwa ..... mstari wa tatu..... katika sensa ya 1970 waislam walikuwa....'' Kama huwezi kujua taratibu za sensa unasoma vitabu gani na unavielewa kweli? Kwamba Sensa inafanyika kila miaka 3! real.(Naomba mtu aombe ushahidi nifungue pandora box)

Tuongelee ya Bungoni, kipata, Agrey n.k zaidi ya hapo Mo wewe ni mweupe sana.

Moh ni mweupe,lakin kaandika na tunamsoma,wewe una nini??
Au ni huu u-JF SENIOR EXPERT MEMBER??

Then uje utambe??gwinji utambie kitu gani??
Andika nawewe tusome,tupime huo unaosema na kuuelewa wewe kuwa ni utafiti??

Maembe yetu vipi??Polen sana,kitabu cha ugaid cha yericko naskia unacho,niambie umenunua duka gani namim nikanunue??

Je literature survey zake zikoje??haya maajabu saana kwa kweli...
 
Invisible huwa ana msemo pale kwenye signature yake unaosema kwamba,FICHA UPUMBAVU WAKO NA UONESHE WEREVU WAKO.. Yericko nadhan unapuuzia ushauri ule,,

Unajua kwamba unajidhalilisha sana??
Bora ungeandika ngano za mapenzi kama Mzee Mwanakijiji wako,,hebu acha kubadilishia nguo zako kwenye nyumba duni na dhaifu kama ya buibui,wapita njia na jiran zako wanaiona aibu yako wazi wazi,jiheshimu bwana mdogo..

Unaweza kuuonyesha upumbavu wa mimi ni upi hapo ndugu yangu?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuuonyesha upumbavu wa mimi ni upi hapo ndugu yangu?

Wewe juu ya anga za ugaidi kwakweli hujui kitu,

Kuwa muungwana jitulize na uombe kufundishwa, usijifanye kila kitu wakijua wewe, ona sasa unaumbuka bila sababu za msingi!

Hebu kata kiu hapa chini!

VITA DHIDI YA UGAIDI
Marekani iko katika Bara la America ya kaskazini, iko katika longtudo 120% Mashariki, na Latitudo 40% Kaskazini. Ilipata uhuru mwaka 1789 kutoka kwa Waingereza, Rais wake wa kwanza alitwa George Washington Upande wa kaskazini imepakana na Canada, Mashariki inapakana na Bahari ya Atlantic, Kusini inapakana na Mexico na Magharibi inapakana na bahari ya Pasifiki. Marekani ni moja kati ya nchi zilizo mstari wambele katika kupinga utengenezaji wa silaha za maangamizi. Ni moja kati ya mataifa tajiri duniani na ni moja kati ya mataifa makubwa duniani. Kiungo kikubwa cha serikari kimeegemea katika ubepari,na nimoja kati ya nchi zilizo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu kinadharia.

Kwa mtazamo wa karibu utaona kuwa Marekani imekuwa ikipata ubavu wa kiuchumi, kisiasa na kijeshi kwa kupitia mwavuli wa umoja wa Mataifa ambao makao makuu yake ni Marekani, Pia unaweza kupata maswali mengi yasiyo na majibu “mfano au kwa kuwa mkubwa duniani ni mmoja baada ya muungano wa kisovieti kuvunjika? Au Tamaa ya malighafi katika nchi husika?, au kutaka kujaribu silaha zao? (Quotation marks kafungua hakufunga).

Kuwait itaikumbuka Marekani kwa msaada ilioutoa mwaka 1991 – 1992 wakati nchi hiyo ilipovamiwa na Iraq. Katika suala la kutetea haki za binadamu, Marekanai imekuwa kikwazo kwa mataifa ya mashariki ya kati (ya kiarabu) ambayayo yanatajwa kuwa yanaukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Historia inaonyesha kuwa Marekani imepigana vita kati ya Cuba, Cosovo, Vietnam, Pama, na Iraq. Na inaonyesha kuwa baadhi ya vita hivyo Marekani imekuwa ikiingilia kati tena bila idhini ya Umoja wa Mataifa. Suala linabaki palepale kuwa Marekani kama taifa tajiri na kubwa duniani, haina budi kuingilia kati panapotokea mgogoro katika nchi, uwe wa kisiasa au kiuchumi.

Tulishuhudia wale waliokuwa wanapinga vita vya Afganistan na Iraq wakiomba Marekani itume askari wake kutuliza vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Liberia chini ya utawala wa Charles Teyller, na hao hao tena wakishinikiza USA isimamie mpango wa amani (Road map) Mashariki ya kati. Kama kweli walikuwa wanapinga vita basi tungeshuhudia kambi za kijeshi katika baadhi ya nchi zilizopinga vita zikiondolewa pamoja na balozi za USA zikifungwa, lakini katika hali ya kushangaza watu walipinga vita kinadharia. Ifahamike kuwa mkubwa ni jalala, haohao waliopinga vita wangekuja kuishutumu USA kuwa kama taifa kubwa duniani kwa nini ilishindwa kuingilia kati migogoro ya nchi ndogo na maskini duniani?

Mwaka 1994 dunia ilishuhudia mauaji ya halaiki ya kimbali ya Rwanda, na Marekani ilikuwepo katika sayari hii, lakini katika hali ya kustaajabisha Marekani haikutia mguu katika ardhi ya akina Byerihimana kuzuia mauaji hayo. Wachambuzi wa siasa za ndani na nje za Marekani wanasema Marekani huendesha siasa zake za nje kwa faida zaidi, tofauti na wanavyojinadi kwa umma wa dunia.

Mwandishi mwenye mlengo wa kushoto na siasa za Marekani bwana Thomas Schelling katika kitabu chake cha (Siasa za nje za Marekani) anamnukuu Naibu Waziri wa Ulinzi Paul Wolfowitz ambaye mwaka 2007 alikumbwa na kashfa ya kumzawadia mpenzi wake vyeo na mshahara uliovunja rekodi yamishahara katika Benki ya Dunia akiwa Rais wa Benki hiyo, katika vikao vya faragha vya kumun’goa Saddam, “Nivema tukazingatia kila tulifanyalo liwe na faida kwa kizazi kijacho, historia isije kutusuta tukiwa kama Amerika.”

Inawezekana walichanganua nakuona hakuna faida kwa kizazi chao cha baadaye ndio maana walishindwa kwenda kuzuia mauaji Rwanda, wakati mwaka 1991-92 walikuwa Kuwait nchi inayomwaga mafuta kwa wingi duniani wakiipiga tafu kukabiliana na mkono wa chuma (Saddam Hussein) nchi hizo ni wazalishaji nguli wa mafuta ndio maana Marekani iliyaona matatizo hayo yaliyo kwenye mwanga vizuri kuliko Rwanda kwenye giza lililo zingirwa na umasikini wenye asili ya kiafrika. Baadhi ya viongozi waliopata kuwa madikteta ni kama Benito Mussolin (Italy) 1922-1943, Francico Franco (Hispania) 1939-1975, Chanceller Otto Von Bismak (Ugerumani) 1862 – 1890, akapindulia na mbabe kijana Williami wa pili, akaja Chanceller Adolf Hiltler. Huyu ndiye dikteta anayetajwa kuwa na sifa mbaya zaidi duniani aliyetaka kuutawala ulimwengu na kusababisha vita kuu ya pili ya dunia.

Hata hivyo alikuja kubanwa mbavu na majeshi ya Urusi na kuamua kujiua pamoja na mke wake Bi Eva Brown mwaka 1945 mjini Bellin.Jen B.Bokasa wa Jamuhuri ya Afrika ya kati, Mobutu Seseseko wa Zaire ya zamani, Anua al –Saadat wa Misri, Yasser Arrafat wa Palestina, Rais wa zamani wa Peru Alberto Fujimori, Saadam Hussein na Idd Amini wa Uganda aliyeonywa na Mwalimu Julias Nyerere kuto uleta utemi Tanzania kwakupewa uhamisho wa kwenda kuishi Umangani na kutuacha wenye hekima tuendele kupeta.

Kutoka katika hatua ya kupinga udikteta, Marekani imeingia katika suala la ugaidi. Kwa upande wa magaidi wamekuwepo wengi sana, na kinara wao mkuu awali alikuwa Irich Ramizez Sanchez ‘Carlos’ raia wa Venezuela aliyeutingisha ulimwengu kiasi cha waandishi kutoa vitabu vingi kuelezea kashikashi zake na kuonekana kana kwamba zilikuwa ni hadithi za kufikirika hadi alipokamatwa nchini Sudani 1994, Jonas Savimbi aliyeongoza mapigano ya muda mrefu nchini Angola baada ya uhuru hadi alipouawa mwaka 2002 na majeshi ya serikali kufuatia mapigano makali, Joseph Konny kiongozi wa waasi kaskazini mwa Uganda anayetaka kuitawala Uganda kwa amri kumi za mungu.

Akaja gaidi mwingine ambaye ni hatari zaidi kuliko waliomtangulia, Osama Bin Laden, ambeye siyo tu wababe walishindwa kumtia mbaroni bali kwa mara nyingine aliuthibitishia ulimwengu kwamba nguvu bila kutumia akili siyo ujanja akiwa mafichoni katikati ya nchi ya Afghanishan. Osama bin Laden gaidi mkuu, ndiye aliye ipeleka Marekani katika vita nchini Afghanistan pamoja na vita vya Iraq ambavyo Marekani ilisema ni vita vya ukombozi na wengi wakadai ni vita vya uvamizi. Hiyo yote inatokana na mashambulio ya kigaidi ya Sept,11/2001 Washington na New York nchini Marekani

Katika vita vya Ugaidi nchini Afghanstan, Marekani ilifanikiwa kuung’oa utawala wa Taleban bila kumpata mlengwa (Osama ben Laden) na kilichoifanya Iraq kuvamiwa na Marekani ni madai ya USA kuwa Iraq inamiliki silaha za maangamizi ambapo timu ya wakaguzi wa silaha za maangamizi ikiongozwa na Hans Blax mkaguzi mkuu wa silaha za nyukilia na Ell Barlldei mkaguzi mkuu wa silaha za kibaolojia walipelekwa nchini Iraq na kabla ripoti ya mwisho haijatolewa Marekani ikaanzisha vita vya kumng’oa madarakani kiongozi wa nchi ya Iraq Saddam Hussein. Kiongozi huyu ambaye aliitawala nchi ya Iraq kwa mkono wa chuma tangu mwaka 1979 mpaka Machi 2003 anazungumuziwa kama ni dikteta, gaidi na haini mkubwa ambaye Marekani ilidiriki kusema Hitller wapili.

Saddam Hussein alizaliwa mwaka 1937. Katika historia ya maisha ya awali ya Saddam, kulingana na taarifa ya kitengo kimoja cha masuala ya akili cha Marekani inasema, kutungwa kwa mimba pamoja na kuzaliwa kwake kulitokea baada ya kufariki kwa kaka yake aliyeitwa Sanakher Hussein aliyekuwa na umri wa miaka 12 kutokana na maradhi ya saratani. Baba yake alifariki wakati mama yake akiwa na ujauzito na mama huyo alichanganyikiwa akawa anapewa ushauri nasaha hasa baada ya kutaka kuitoa mimba ya Saddam. Baada ya kujifungua alikataa kabisa hata kumtazama mtoto wake. Akakua na kulelewa na mjomba wake mjini Tikrit

Na Yericko Nyerere

Huo hapo ndio UPUMBAVU WAKO...!

Na Mkuu Invisible anashauri uufiche huu upumbavu wako,sawa?
Hatutaki tena kuuona tena kwenye jukwaa letu hili lenye heshima kubwa,hapa tunapata maarifa,tumekuja ututhibitishie uchochezi wa Moh Said upo wapi na sio kutuwekea utumbo utumbo wako hapa,sawa??
THE BIG SHOW
 
Attachments

  • SHOW MIA.jpg
    SHOW MIA.jpg
    9.4 KB · Views: 307
Last edited by a moderator:
Moh ni mweupe,lakin kaandika na tunamsoma,wewe una nini??
Au ni huu u-JF SENIOR EXPERT MEMBER??

Then uje utambe??gwinji utambie kitu gani??
Andika nawewe tusome,tupime huo unaosema na kuuelewa wewe kuwa ni utafiti??

Maembe yetu vipi??Polen sana,kitabu cha ugaid cha yericko naskia unacho,niambie umenunua duka gani namim nikanunue??

Je literature survey zake zikoje??haya maajabu saana kwa kweli...

Usharika wako katika uzi huu unastahili sifa!

Bila wewe uzi huu ungezubaa, lakini sio kuwa kwahoja zako murua bali kwa ushereheshaji wako murua!

Tusonge mbele!
 
Yericko,
Umealikwa kwa sifa zipi?

Mialiko hiyo huwa ya serikali na ''resorce persons.''
Na umeingia kati US kwa visa ipi?

Unajua hizo anga mimi nimepita na ninajua vipi mchujo ulivyo
wa kualika wataalamu kuja US.

Hebu funguka zaidi maana napata hisia kama vile husemi kweli.

Ahsantum Al Akhiy Mohamed said.

Hapo nilipo Blue ni suala la msingi sana kuuliza ili kuweza kujiridhisha.

Tunaomba mjibu hapo yericho.
 
Usharika wako katika uzi huu unastahili sifa!

Bila wewe uzi huu ungezubaa, lakini sio kuwa kwahoja zako murua bali kwa ushereheshaji wako murua!

Tusonge mbele!

Kwa kweli mimi nilikuwa ni miongoni mwa wale wanaokuheshim sana,
Lakini kwa kupitia hilo bandiko lako la ugaidi nimetokea kukudharau sana,naomba unisamehe lakini nimekudharau na kukushusha sana,you cant be serious..!,yericko you must be joking comrade,,kweli wewe ndie uliebandika mauza uza yale au kuna mtu kaingilia privacy yako??
You must be out of your mind,seriously yericko you have lost your mind,ni nin kile??
Oooh My God...!
 
Back
Top Bottom