Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mwanakijiji. Nakumbuka suali langu la kwanza wakati naingia kwenye mnakasha huu lilielekezwa kwako. Mbona hukunijibu?

Zali wa Mentali,
Judith Listowel kamtaja Sheikh Suleiman Takadir lakini
kama ilivyo kawaida ya waandishi Wazungu yeye kwa
bahati mbaya kaparazia juu juu.

Hakumueleza Sheikh Takadir kama ilivyostahili kwa maana
ya kueleza historia yake nzimna baina yake na Nyerere
walipoanza kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mimi ndiye niliyekuja kumueleza Sheikh Takadir kwa urefu
na kueleza chanzo cha ugomvi wake na Nyerere mwaka
1958.
 
Mzee Mwanakijiji, nilijua kimya chako kina mshindo lakini naona umeamua kufanya la maana kabisa...iko siku Mohamed Said alijaribu kupotosha ukweli katika maandishi ya John Iliffe ambayo tayari yako in black and white, ndipo nilipom"right off" kabisaa na toka siku hiyo kwangu ni mtu wa umbea na uchochezi tu, period. Hamna cha utafiti wala historia...tatizo lililomo humu ni kuwa kuna watu hawahangaiki kutafuta hivyo vitabu na kuvisoma!

Mtu unaambiwa kitabu cha Kivukoni hakijamtaja Abdulwahid Sykes na wewe kama vuvuzela vile unakurupuka na kuufanya wimbo! Kumbe kama ungefanya jitihada kidogo tu ukitafute kitabu ujisomee mwenyewe, hungekubali kudanganyika kirahisi hivyo...lakini wako watu humu, mmh! Yaani hata katika kunukuu yaliyoandikwa tayari mtu anaamua kuchakachua kwa malengo ya ajabu kabisa lakini the gullible gobble it all too hyperdeliciously without question!

Wanaukumbi,
Hebu na nyie pitieni hayo hapo chini niliyoandika katika kitabu changu nikijaribu
kueleza tatizo la kitabu cha Kivukoni kuhusu historia ya TANU:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] When Abdulwahid died the Ministry of Information issued a press release announcing that the President had attended the funeral of Abdulwahid Sykes.[1]

Surprisingly the press release gave few details of his government service, completely eclipsing his checkered political career.

It was an Englishman, Brendon Grimshaw, the editor of Tanganyika Standard, who published a fitting obituary to Abdulwahid describing him as: ‘one of the architects of the independence movement and one of the men who helped launch President Nyerere on his political carrier...'
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
The obituary also paid glowing tribute to the family on its contribution to the political development of Tanganyika by mentioning that ‘much of the desire among Africans for a powerful political party in Tanzania came from the drive of the Sykes family'. [2]

It is said that this recognition of Abdulwahid as one of the founding fathers of the nation became a focus of attack from certain members of the TANU leadership.

They were overheard grumbling in the corridors of the TANU headquarters in Dar es Salaam that Ally and Abbas Sykes were trying to glorify their elder brother.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] This position was to assert itself years later when the Party was researching its history. A research assistant by the name of Hassan Upeka, who happened to be one of earliest recruits of TANU, having joined the party directly from school in 1956, presented to the research panel, notes of an interview he had with Abdulwahid many years back. The research assistant was bluntly told that the intended book had nothing to do with Abdulwahid.


[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In 1974 President Julius Nyerere granted the responsibility of recording the history of TANU to Kivukoni Ideological College.

Kivukoni College was established in the tradition of Ruskin College of Britain.

Kivukoni was and still is a training centre for propaganda and mass indoctrination for party cadres.

Kivukoni, therefore, was unsuitable for any serious research work.

In 1976, at the 16 th TANU conference, Nyerere again insisted on having an official history of the Party.

Official histories always have failed in objectivity as observed by Maslov:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Depersonification of the past is yet another drawback of the literature dealing with the history of the CPSU. In textbooks and research papers, historic personalities are as a rule, just inserted in the general ‘list' and some are not mentioned at all. [1] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1]For understanding problems of official histories see article by Dr Nikolai Maslov, ‘Questions of History of the Communist Party of Soviet Union.' in Daily News, 24 th October, 1987. For purpose of comparison see Historia ya Chama...op. cit.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1]See Press Release A/2746/68 IT/1.322 of 13 th October, 1968. East Africana, University
of Dar es Salaam.


[2]Sunday News, 20 th October, 1968.
 
mkuu kuna wajuzi wa dhihaka humu wameenda mbali na kudai ni bora Yeriko afuate nyendo zako tu za utunzi wa "ngano" za mapenzi. Sijui ni kipi kawaza aliyenena hivi. Ila ninaomba kujua toka kwako unahisi Ndg. Yeriko yupo sahihi katika hili mpaka uandishi wake??

Denoo49,

Huyu ndugu yangu aandike review ya kitabu changu aonyeshe
''kuokoteza'' kwangu.

Insha Allah nitamjibu uso kwa macho.
 
mmmh kwani na wewe unapata wapi nguvu ya kuamini hivyo vitabu unavyoendelea kuvisoma? Na ukumbuke pia ni rahisi kuukana ukweli ili kuhalalisha uongo....! binafs nina uthibitisho wa anayoyasema Mohamed Said

Dilikeni,
Nimewaomba sana waeleze huo ukweli...
Bado nasubiri In Sha Allah.
 
Mwenzenu nipo namalizia vitabu vyote muhimu katika somo hili:

Baada ya kummaliza John Iliffe katika A Modern History of Tanganyika na Modern Tanzanians na pia Tanganyika Under German Rule namsoma Judith Listowell sasa hivi. Pamoja na hao nasoma Tanganyika Under International Mandate, Tanzania Education Since Uhuru, TANU Yajenga Nchi: Political Development in Rural Tanzania na vingine vingi. Naweza kusema kwa uhakika wa asilimia 100 Bw. Mohammed Said ameokoteza okoteza taarifa mbalimbali akazipamba kwa lugha na masimulizi ya wazee wake na kuziita historia na akaziuza na bahati mbaya sana zimeaminiwa na wengi.

Hongera sana mkuu, jambo jema sana!

Nilipomsoma John Iliffe katika A Modern History of Tanganyika sikuwa na hofu na mtu ninaejadiliana nae huyu Mohamed Said, niliona wazi kuwa sio mwandishi bali muokoteza maneno na muongo wakutupwa!

Sasa kaungana na vijana wake kwakubadili mada na kunigeukia mimi,

Haahaa hawana tofauti na wanawake wa saluni tu!
 

Denoo49,

Huyu ndugu yangu aandike review ya kitabu changu aonyeshe
''kuokoteza'' kwangu.

Insha Allah nitamjibu uso kwa macho.

Kwani anafahamu hata review ya kitabu maana yake nini?

Mimi nashindwa kumuelewa huyu jamaaa kapata wapi guts za kujidhalilisha kiasi hiki kwa kuanzisha mada ambayo hana hata kitu kimoja anachokijua. Pengine alidhani washkaji zake kama kina Mimi Mwanakijiji, Joka Kuu, Nguruvi3, Jasusi watamsaidia kumbeba. Sasa ni wazi kwamba hao aliowategemea watambeba wameshaona kwamba huyu hapa alipo abebebeki kwani hata ukileta vichaa wamsaidie kumbeba watapona vichaa vyao kwa kugundua kwamba kumbe wao ni nafuu zaidi ya huyu kichaa waliyotumwa wamsaidie!!!!!!!!
 
Barubaru,
Huyu mtoto huenda ana matatizo na nasema hili kwa huzuni kubwa sana.

Kaanza na kujinasibisha kuwa kazaliwa na....naogopa hata kutaja jina.

Sasa anasema kaalikwa Pentagon kama bingwa wa ugaidi na anataja majina
ya watu wa huko.

Anasema Balozi wa Marekani ndiye anasimamia kitabu chake.
Anaweka kitabu hapa jamvini nacho si kitabu si chochote.
Hapo mtu huna budi ila kwenda kwenye kichwa chake.
Huyu mtoto ni mzima?
Hebu na tuangalie kila kichwa kwa upana wake, tujiulize hivi kuna uzima?
Mohamed Said😛amoja na Uislam ikazuka lugha ya Kiswahili, lugha ianyozungumzwa Afrika ya Mashariki na ya Kati na utamaduni wa Kiswahili ambao unanasibishwa na Uislam.Nembo ya Muislam katika Afrika ya Mashariki na Kati ni kuikubali lugha ya Kiswahili kama lugha yake ya asili
Naomba mwenye weledi anieleze kama dini ya Uislam zaidi ya imani ina nembo na kama kiswahili ndio nembo ya ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Je, Afrika kusini nembo yao ni nini.
Hivi mtu anayeongea kiswahili ina maana ya kuwa kaukubali Uislam?

Lugha ya kiswahili si lugha ya asili ya mwafrika.Wanderengeeko na Wazaramo wana lugha zao za asili.
Si kweli kuwa ili ukamilike kama Mwislam lazima uongee kiswahili
Mohamed Said:Kutokana na sensa ya mwaka 1957, kwa kila Waislam watatu walikuwepo Wakristo wawili
Sensa hiyo ya 1957 ilifanywa na taasisi gani! Pili, kila waislam 3 wakristo walikuwa 2! katika nchi yenye hindu, atheist, Pagans huwezi kuondoa kundi moja ukabaki na data sahihi. Mohamed kageuza sensa hiyo(kama ilikuwepo na hajawahi kueleza) kuwa ilikuwa sensa ya wakristo vs Waislam, kuna tatizo hapa, wajanja wanakitazama kichwa chako kwa shauku, tuendelee
Mohamed Said:Kwa wakati ule hii ilionyesha kuwa Tanganyika ilikuwa na Waislam wengi katika nchi zote Kusini ya Ikweta. Lakini katika sensa ya kwanza mwaka 1967 baada ya uhuru jumla ya Wakristo Tanzania Bara ilikuwa asilimia thelathini na mbili na Waislam asilimia thelathini na Wapagani asilimia thelathini na saba. Sensa hii inaonyesha kuwa Wapagani ndiyo walio wengi Tanzania. Sensa hii ya mwaka 1967 haikueleza kwa nini katika kipindi cha miaka kumi kwa ghafla Waislam wamepungua nchini au kwa nini ghafla Wapagani wameongozeka katika nchi ya waumini
Sheikh, hapa ni suala la hesabu na stat. Ni ngumu sana kukuelewesha lakini ngoja tujaribu kuingia kichwani mwako. Namba ya waislam au wakristo inaweza kuwa imebaki pale pale, pengine sensa ilifika mahali ambako ile ya awali haikufika. Baada ya uhuru uhamasishaji ulikuwa mkubwa. Kwa hesabu ni kuwa umeongeza idadi na hiyo inaathiri percentage hata kama namba zimebaki kama zilivyo. Kuna mengine lakini hilo tu ni kwa kuanzia kuingia kichwani, sasa tuingie kichwani kujua kama ni mzima?
Mohamed Said:Upo ushahidi kuwa mwaka 1970, ilipobainika kuwa Waislam ni wengi Tanzania serikali iliiamrisha Idara ya Takwimu kuchoma moto matokeo yote ya sensa ya mwaka 1970
In other words,kulikuwa na sensa ya mwaka 1957, 1967 na 1970! Hapo ndipo ninaposema tusitishe haraka sana zoezi la kuingia vichwani mwa watu.

Mwenyezi mungu tukinge na dhulma na tunusuru na zoezi la kuingia vichwani mwa watu.
 
Judith Listowell anaeleza vizuri tu kuhusu Sheikh Takadir -ambao kina Ritz wanaamini Mohammed Said ni wa kwanza kumtaja!!

Mzee Mwanakijiji,

Wapi mie nimekuambia Mohamed Said ndiyo wa kwanza kumtaja Sheikh Suleiman Takadir.

Nimecheka sana na maneno yako mpaka mtoto wangu kashangaa, wewe ulivyokuwa nyuma kufahamu historia ya Tanganyika unadhani wote kama wewe kwa taarifa yako vitabu vya histori ya Tanganyika nimevikuta nyumbani mzee wangu alikuanavyo ngoja nikutajie.

1. Macpherson Fergus, Kenneth Kaunda of Zambia.

2. Pratt Cranford, The Critical in Tanzania.

3. Hatch John, Two African Statesmen.

4. John Iliffe, A Modern history of Tanganyika.

5. Listowel Judith, The Making of Tanganyika.

Niambie wapi Listowel kamtaja Sheikh Takadir ndie mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Wazee wa TANU ambalo lilikuwa na wajumbe 170. Kama siyo Mohamed Said.

Wewe leo ndiyo umenunua vitabu AMAZON kuwasoma kina Listowel Judith, John Iliffe, haa haaa ha.

Vitabu vipo vingi bahati nzuri mzee wangu alikuwa anaeleza baadhi ya makosa ya vitabu vya Tanganyika.

Wewe unanichukulia poa unajidanganya ujiulizi kwa nini Ritz ameganda kwenye huu uzi muda mwingi kuna vitu najua vingi nimeadithiwa na Wazee wetu siyo kutoka kwa wazungu ambao nao wameadithiwa na wazee wetu, ambao wewe leo hii ndiyo unaanza kuwasoma na kutaka kuifahamisha mimi.

Endelea kusoma vitabu vyako.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi,

Naomba mtu yeyote aliyekisoma kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni authibitishie UMMA kama kitabu hicho kimewataja Abdul Sykes, nk!

Madai ya Mohamed ni kuwa hakijamtaja Abdul Sykes!

Na mimi nasema katika kitabu cha TANU kutoka Kivukoni, Abdul Sykes katajwa tena katajwa kiweledi kabisa
 
Ili uwe na qualification ya kujadiliana na mimi naomba kujua kama uliwahi kusoma kitabu cha Mohamed Said au kitabu chochote kinachozungumzia historia ya Uhuru wa Tanganyika!

Na pili naomba kujua kama uliwahi kusoma kitabu chochote kinachozungumzia ugaidi!

Hama hakuna basi huna vigezo vya kuamatana nami, na kuanzia sasa wewe Boko Haram na The Big Show sitawajibu chochote mpakaba muwe na vigezo hivyo hapo juu!

So long as utaendelea kuwa kwenye mnakasha huu, nitaendelea kuwasiliana na wewe kadri utakavyokuwa unaweka hoja zako hapa, ujibu au usijibu. Wewe ndiye uliyeanzisha mnakasha huu na wewe ndiye mwenye jukumu la kutetea hoja zako za kijinga. Ukiona hakuna haja ya kuendelea na huu mnakasha, basi waambie washkaji zako wa JF waufunge kwani watakuelewa kwa sababu ni wewe uliyeuanzisha. NUKTA.
 
Mohamed Said anataka tuamini kuwa leo hii ukitaka kuandika historia ya CCM basi katika masimulizi hayo, Nape Nnauye atasimuliwa kwakirefu kumzidi Jakaya Kikwete

Ama Amos Makala (mtaalamu wa mikakati ya kijasusi wa ccm) atasimuliwa zaidi ya Kingunge Ngombale Mwilu?


Hii ni fedheha kumlinganisha Julius Nyerere na Abdul Sykes
 
Wanajamvi,

Naomba mtu yeyote aliyekisoma kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni authibitishie UMMA kama kitabu hicho kimewataja Abdul Sykes, nk!

Madai ya Mohamed ni kuwa hakijamtaja Abdul Sykes!

Na mimi nasema katika kitabu cha TANU kutoka Kivukoni, Abdul Sykes katajwa tena katajwa kiweledi kabisa

Kwa faida ya wanajamvi tuwekee basi ivyo vipande unavyosema katajwa kwingi wanajamvi wasome.
 
Kwa faida ya wanajamvi tuwekee basi ivyo vipande unavyosema katajwa kwingi wanajamvi wasome.

Bahati mbaya ndugu yangu ninatumia simu ya kiganjani,

Ningaliileta hapa hiyo nakala laini,

Nipatapo mda wakuketi katika kidadavuzi nitaitupia hapa ndugu!

Lakini fahamu kuwa kivukoni hakijamwacha mtu kama Mohamed Said anavyouaminisha umma
 
Bahati mbaya ndugu yangu ninatumia simu ya kiganjani,

Ningaliileta hapa hiyo nakala laini,

Nipatapo mda wakuketi katika kidadavuzi nitaitupia hapa ndugu!

Lakini fahamu kuwa kivukoni hakijamwacha mtu kama Mohamed Said anavyouaminisha umma

Wewe hujui hata hiyo historia ya Kivukoni unapata wapi guts za kuzungumza na wanaume wa madrasa hapa? Hivi umeleta mnakasha huu kutegemea kudesa kwenye simu? Acha utoto wewe tafuta shughuli nyingine. Watoto na mke wako wanakufuatilia kwenye huu mnakasha. Kuliko kuendelea kujidhalilisha, kubali kwamba wewe ni mbulula na uufunge huu mnakasha. Tutafungua mnakasha mwingine ili Mzee wetu Mohamed Said aendelee kutupa darsa na ilm ya historia ya Tanganyika.
 
Kwa bahati mbaya zaidi wanajamvi wengi tunaojadiliana hapa hasa hawa wafuasi wa Mohamed Said hawajapata kusoma machapisho mengi yahusuyo uhuru,

Kitabu cha Mohamed Said hawajakisoma kabisa,

Vivyo hivyo kitabu cha kivukoni hawajakisoma,

Zaidi wanashereheshwa na mapambo ya lugha za Mohamed hapa jamvuni tu kwakuwatajia mitaa ya kariakoo na majina ya Mashehe!

Laiti wangetulia na kufanya upembuzi yakinifu basi hakika wangefaidi sana mang'amuzi haya tuwapayo!
 
It was an Englishman, Brendon Grimshaw, the editor of Tanganyika Standard, who published a fitting obituary to Abdulwahid describing him as: ‘one of the architects of the independence movement and one of the men who helped launch President Nyerere on his political carrier...'
Wanajamvi hata kama ni uongo, ni heri uongo wenyewe uwe na nyama na si mifupa mitupu kama aliyoweka hapa Al Akhiy Mohamed Said. Mwaka 1945, Mwalimu Nyerere akiwa tayari ni kiongozi wa AA Tabora, nani alimjua Abdulwahid Sykes zaidi ya kuwa mtoto wa baba, Kleist Sykes. Abdulwahid Sykes alikuwa nani ndani ya AA mwaka 1946? Abdulwahid Sykes alikuwa nani ndani ya AA mwaka 1947? Ni mwaka 1948 ndio Abdulwahid anakuja kusikika akiwa miongoni mwa walioshiriki katika mapinduzi ya kuung'oa uongozi wa TAA kwa kutumia masumbwi! Huu mwamko sana sana uliletwa na wasomi wanaharakati kutoka Makerere!

It is said that this recognition of Abdulwahid as one of the founding fathers of the nation became a focus of attack from certain members of the TANU leadership. They were overheard grumbling in the corridors of the TANU headquarters in Dar es Salaam that Ally and Abbas Sykes were trying to glorify their elder brother.
Mohamed Said najua ungependa sana umdhalilishe Mwalimu Nyerere lakini uongo mwingine hata haufai. Hao certain members of the TANU leadership unaodai walisikika wakilalama ndio akina nani? Na hao waliowasikia na baadaye kukueleza ndio kina nani? Mbona simulizi zako zingine zinakuwa mno kama za mtaani halafi unadai ni matokeo ya utafiti wa miaka 15! Jaribu kuona aibu japo kidogo Al Akhiy Mohamed Said, unawaangusha vijana wako wanaoingia humu kufyonza ilmu kama Spike Lee. Naomba uwaeleze wanajamvi jitihada za Abdulwahid Sykes toka chama cha kwanza cha siasa kinaasisiwa mwaka 1954 hadi tunapata uhuru mwaka 1961.
 
Si sahihi misahama hiyo kudhibitiwa na BAKWATA.Hilo ni jukumu la serikali husika. Ninachoelewa ni kuwa misaada hiyo lazima ipitie taasisi zinazojulikana na zilizosajiliwa na kama BAKWATA ndiyo inayojulikana, hilo si tatizo la serikali ni tatizo la waislam kwasababu wale BAKWATA ni waislam unless usimame hapa na kusema siyo.

Misamaha ya kodi inatumiwa vibaya na watu wa dini, narudia dini zote isipokuwa wapagani na wasioamini.
Nakaumbuka kama si Rais JK ni Mkapa aliwahi kuonyesha misaada hiyo inavyokuwa misused na taasisi.
Kwamba magari yanaingia kama ya taasisi za dini kumbe ni ya watu binafsi.

Siku zote huwa nasema misamaha ya kodi lazima iwe na udhibiti wa hali ya juu sana ili kuzuia kufujwa na baadhi ya watu. Nimekonyesha kuwa misamaha inayotolewa lets say kwa BAKWATA hutumika kwa waislam kwahiyo hakuna sababu ya kusema hilo ni jambo la uonevu.
Ndivyo ilivyo kwa imani zingine na ndio sababu nasema misamaha ni ukwepaji kodi isipokuwa ile inayodhibitiwa kikamilifu.

Umeongelea kwanini kuwe na udhibiti. Kuna jambo unalosahau hapa. Kauli na matendo ya watu vinatosha sana kuwa na shuku juu ya misaada. Nimekuuliza hivi ukisikia Maliki ametoa dollar milioni 1 kwa ajili ya maendeleo kupitia wanafunzi wake utakuwa na imani kweli. Wanafunzi hao ndio wanasema ''tafuta mtu fulani ua kwa siri'', ndio hao wanakuwa wazushi kila alfajiri hadi isha wakienda hadi China si kuitafuta elimu bali kueneza chuki na uongo.

Si kweli kuwa kuna udhibiti kwa waislam. Hivi karibuni kuna taasisi imejenga misikiti 700, visima na maji mbona hawakudhibitiwa? Kuna akina African Muslim agency na World muslim league mbona hawakuwahi kudhibitiwa.
Nenda ndani ya baadhi ya taasisi hizo uone uchafu unaofanyika halafu urudi na kuniambia hiyo ni sehemu ya Uislam.

Na mwisho huko nyuma uliongelea TAMPRO. Nadhani hii taasisi inapoteza maana yake kwa namna fulani.
Wao kama professionals wanapaswa waongoze waislam katika mambo mengi badala ya kukaa pembeni na kuwaachia wahuni wachache.

Haiwezekani siku ya Ijumaa igeuzwe siku ya fujo na maandamo bila sababu za maana wala za msingi.
Ni hawa ninaoita wahuni ndio wameshika usukani wa kupotosha watu.

TAMPRO inapaswa itumike kama msaada mzima wa kuchukua ajenda na kuziangalia, kuzitathmini na kuzifanyia kazi kiweledi bila tafrani.
Sijui hebu nieleweshe viongozi wa TAMPRO ni akina nani ili niweze kuielewa vema

Anyway ni maoni tu.

Ukisema BAKWATA ni tatizo nitakuuliza WML ilifanya nini na iliondokaje, maana mzee mzima hakujibu!
Sitetei BAKWATA ninachosema hapa ni kuwa tatizo linaonekana kama BAKWATA lakini ni zaidi ya hapo na ni kubwa sana


Nguruvi3,

Ahali yangu naona sasa umeanza kujichanganya mwenyewe kutokana na maneno yako au labda umevvimbiwa ngogwe na maembe ya bonde.

Kuna taasisi nyingi sana huko Tanzania hususan Bara ambazo zina usajili sawa kabisa na Bakwata. mimi sizijui nyingi lakin zile chache ninazozijua ni kama TAMPRO (Tz Muslim Professionals), Ayat ulmamau, Baraza kuu na hata taasisi ya Sheikh Ponda na nyingine nyingi tu.

Suala la kustahajabisha hapa ukileta msaada kwa taasisi zozote hizo lazima upate utambulisho kutoka Bakwata. kitu ambacho si sawa kwani wote wana usajili sawa. Nilikupa mfano mdogo tu niliwahi kuushauri msikiti kule Tabora wafungue account ya kiislam katika KCB , moja ya sharti walitakiwa walete barua ya utambulisho wa msikiti huo toka Bakwata . Suala langu hapo JE BAKWATA WANA HISA GANI NA SERIKALI YA JMTz.

Mimi nakubaliana na wewe kabisa kuwa TATIZO SI BAKWATA bali ni SERIKALI ya JMTz kuwalazimisha waislam wote wa Tz Bara wa ingie chini ya BAKWATA na kuongozwa na BAKWATA kitu ambacho wenzao wa upande wa Pili hawafanyiwi hivyo.

Nafikiri hilo ndio tatizo kama waislam watachwa kama walivyoachwa wakristo wajipangie mambo yao bila kuingiliwa na Serikali mengi sana yatafunguka kama ilivyo kwa Zanzibar. Je unafahamu kuwa Znz nchi yenye idadi ya watu wasiozidi milioni moja na nusa wana University ngapi? na kwa mwaka wana graduate wangapi?
jiulize je kwa bara kinashindikana nini.

Tukumbuke kuwa nchi hiyo ni ya wote na uzuri wa maendeleo ni lazima wote muendelee na sio baadhwi ya watu wawe na fursa ya kuendelea na wengine wasiwe nayo. Hilo ndio bomu mnalolitengeneza nchini mwenu kwa sasa.

Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema “ UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA” akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.
 
Mzee Mwanakijiji, nilijua kimya chako kina mshindo lakini naona umeamua kufanya la maana kabisa...iko siku Mohamed Said alijaribu kupotosha ukweli katika maandishi ya John Iliffe ambayo tayari yako in black and white, ndipo nilipom"right off" kabisaa na toka siku hiyo kwangu ni mtu wa umbea na uchochezi tu, period. Hamna cha utafiti wala historia...tatizo lililomo humu ni kuwa kuna watu hawahangaiki kutafuta hivyo vitabu na kuvisoma!

Mtu unaambiwa kitabu cha Kivukoni hakijamtaja Abdulwahid Sykes na wewe kama vuvuzela vile unakurupuka na kuufanya wimbo! Kumbe kama ungefanya jitihada kidogo tu ukitafute kitabu ujisomee mwenyewe, hungekubali kudanganyika kirahisi hivyo...lakini wako watu humu, mmh! Yaani hata katika kunukuu yaliyoandikwa tayari mtu anaamua kuchakachua kwa malengo ya ajabu kabisa lakini the gullible gobble it all too hyperdeliciously without question!

Sasa wewe unalia lia nini si weka hicho kitabu cha Kivukoni wanajamvi wakisome tatizo lipo wapi.
 
Mohamed Said said:
Abdulwahid Sykes was one of the architects of the independence movement and one of the men who helped launch President Nyerere on his political carrier...
Pamoja na hilo neno (in red) kutokueleweka, Al Akhiy Mohamed Said, ikiwa ni kweli Abdulwahid Sykes ndiye aliyemwingiza Mwalimu Nyerere kwenye siasa, unaweza sasa kutoa majibu yanayoeleweka kuhusu haya uliyoyakwepa hapo nyuma?

  1. Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
  2. Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
  3. Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio unadai kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
  4. Kumbuka kuwa tangu mwaka 1945 tayari Mwalimu alikuwa ni kiongozi wa AA Tabora, je kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano mkuu kama huo wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
 
Suala la BAKWATA mimi naungana na wanaotaka mageuzi juu ya chombo hiki,

Nilazima kutazama kama kinamanufaa kwa waislamu ama kinamanufaa kwa serikali na chama tawala,

Misingi inayoleta viongozi wa chombo hii ni lazima itazamwe upya!

Manung'uniko kwa waislamu juu ya chombo hiki ni lazima yasikilizwe ama sivyo huku ni kuhatarisha ustawi wa uislamu Tanzania!
 
Back
Top Bottom