Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wanajmvi,
Nakumbuka mwaka jana tulikuwa na mjadala huu wa mapinduzi na ushiriki wa Nyerere. Katika mjadala huo swali langu lilikuwa lile lile '' kwanini wznz wanasherehekea na kutukuza mapinduzi'' yaliyokuwa na dhima ya kuua Uislam?

Swali la pili likiwa ''kwanini kuna wznz wanasema mapinduzi daima, na wengine wanasema mapinduzi haram''?
Baada ya kukosa majibu, Ahmed Rajab kwa kutumia gazeti la Raia mwema alitoa majibu.
Ingawa hakusema ni kujibu JF mnakasha, dhahiri ilikuwa na lengo hilo kwa mwenye akili.

Ahmed alisema, inategemea wakati wa mapinduzi nani alikuwa upande gani. Akasema wapo walioona mapinduzi yalikuwa na mnaufaa na wapo waliosema hayana manufaa kwa kuzingatia masilahi ya kila mmoja kwa wakati ule.
Hakuweza kusema ni halali au siyo zaidi ya habari nyingine.

Leo nimemsoma Mohamed Said kurasa chache zilizopita. Yeye anatamba kutaja majina ya waliohusika na punda waliohusika nadhani akimaanisha waislam walioshiriki kama ndivyo.

Ukisoma maelezo ya Ahmed na Mohamed yanatofautiana sana na ni wazi kuwa kwa hili kila mmoja anavutia upande wake ingawa wana common interest ambayo ni mashambulizi dhidi ya Nyerere. Kwa Ahmed si makali kama Mohamed.

Mohamed anasema yeye ni mtafiti na amefanya utafiti. Kitu cha kushangaza ni kuwa utafiti siku zote hueleza pale ambapo utafiti zaidi unahitaji au kama hakuna basi conclusion ya ule uliopo.

Sasa utafiti wa Mohamed ni pamoja na kupata majina ya waliohusika hata kufahamu nani alilala kwa bibi au babu yake.
Yote hayo ni kheri. Kinachosumbua sana katika utafiti wake ni pale ambapo utafiti unashindwa kujibu hoja muhimu sana.

Anadai Nyerere alipeleka wamakonde wa Kipumbwi kwenda kupindua serikali ya Sultan kwa lengo la kuua uislam.
Kwa maneno mengine mapinduzi ni haramu kwasababu hayakutokana na wznz bali Nyerere na ukatoliki wake.

Sasa tunapomuuliza conclusion ya maneno yake hana jibu anakimbia huku na huko akitaja majina ya watu.
Mohamed, Je, unawaambia nini wznz, kwamba mapinduzi ni haramu na waache kuyatukuza?

Haiwezekani iwe haramu kufanya mapinduzi kulikotokana na Nyerere halafu ikawa halali kwa waislam wa znz kutukuza mapinduzi haramu!!!

Wapi haram ilikuwa halali kisa imeshikwa na mwislam?

Contradictions kama hizi zinafanya watu wahoji, nini maana ya utafiti kama hauna answer to the question.
Is it not fabrication?

Bottom line, Je, mzanzibar ana uhalali wa kushangilia na kutukuza mapinduzi? Kama ni ndiyo,je, Nyerere apongezwe au alaumiwe? kama ni hapana mapinduzi ni haram? Jibu likiwa ndiyo, halali ya waislam 99 wa znz kuyashangalia inatoka wapi?

Wanajamvi,
Kuna kijembe "Karume kalala kwa bibi yangu" kimerudiwa mara kadhaa.

Nilisema siku ile ya mapinduzi Karume alikuwa kalala nyumbani kwa mmoja
wa wazee wangu.

Mtu yoyote mwenye utambuzi wa kawaida angejua kuwa hiyo mipango ya
kupindua serikali ilimjumuisha huyu mzee wangu.

Nitafunguka bila kumtaja jina.
Huyu mzee wangu alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU.

Lakini ilipokujamdhihirikia yale mauaji yalotokea Unguja yeye alijuta na hadi
leo amekataa kabisa kueleza mchango wake katika mapinduzi yale.

Ila kitu nilichoweza kukipata kutoka kwake ni kuwa hadi yanatokea yale mauaji
hakuwa anajua kuhusu kambi ya Kipumbwi na jeshi la Wamakonde.

Haya mauaji bado yanamchoma moyo hadi leo.

Swali la kutukuza mapinduzi jibu lake jepesi.
Unahitaji kuwasikiliza wenyewe Waunguja leo wanasema nini.
 
Wanajamvi,
Abdu Sykes hakupata kuipa mgongo TANU kwa mapenzi wala ufadhili.

Katika Tatizo la AMNUT yeye alikuwa upande wa Nyerere kama wenzake
wote alioundanao TANU toka enzi za TAA 1950s hadi rasmi walipoiunda
1954.

Kuhusu EAMWS hili alikuwa upande wa Waislam na nimeeleza katika kitabu
mazungumzo yake na Nyerere Ikulu kuhusu kuandamwa Waislam siku chache
kabla hajafa.

Abdu hakuwa mtu aliyechangia kuasisi TANU kwa kukamata nafasi za uongozi.
Abdu yeye sifa yake kubwa ni kile kipaji chake cha kusuka mipango dhidi ya
Waingereza na kufadhili harakat.

Haya yote nimeyaeleza katika kitabu toka alipokuwa Burma hadi alipohusika
na mgomo wa makuli 1947, kuleta mageuzi ya uongozi TAA 1950 na mwisho
kuasisi TANU 1954 kadi yake ikiwa na 3, mdogo wake Ally Sykes kadi na 2 na
Nyerere kadi na 1.

Said Chamwenyewe hakupata kuwa mwanachama wa AMNUT yeye alikuwa Congress
na Zuberi Mtemvu.

Juu ya maelezo haya mtu bado yuko huru kuamini historia aionayo imemkalia vizuri.

Mohamed Said,

Nashukuru sana kwa kwa mipini yako ya historia ya Tanganyika kwa kweli tunafyonza Ilm.

Abdulwahid Sykes kadi namba 3 ya TANU mdogo wake kadi namba 2 ya TANU halafu kuna watu wanatuambia hawa jamaa hawakuasisi TANU inaingia akilini kweli kama siyo husda.

Tupe darsa hivi rangi za TANU zilikuwa zipi? bendera na kadi. Na nani alikuwa anasimamia hizo kadi kama kuna uwezekano tutajie namba za kadi za wazee wetu wengine.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi,
Kuna kijembe "Karume kalala kwa bibi yangu" kimerudiwa mara kadhaa.

Nilisema siku ile ya mapinduzi Karume alikuwa kalala nyumbani kwa mmoja
wa wazee wangu.

Mtu yoyote mwenye utambuzi wa kawaida angejua kuwa hiyo mipango ya
kupindua serikali ilimjumuisha huyu mzee wangu.

Nitafunguka bila kumtaja jina.
Huyu mzee wangu alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU.

Lakini ilipokujamdhihirikia yale mauaji yalotokea Unguja yeye alijuta na hadi
leo amekataa kabisa kueleza mchango wake katika mapinduzi yale.

Ila kitu nilichoweza kukipata kutoka kwake ni kuwa hadi yanatokea yale mauaji
hakuwa anajua kuhusu kambi ya Kipumbwi na jeshi la Wamakonde.

Haya mauaji bado yanamchoma moyo hadi leo.

Swali la kutukuza mapinduzi jibu lake jepesi.
Unahitaji kuwasikiliza wenyewe Waunguja leo wanasema nini.

Mkuu,

Bado hujajibu swali lamsingi kuwa kwanini Wazanzibar wanayaadhimisha mapinduzi yale ambayo kwamjibu wako ni kharamu?

Lakini jibu lako la "waulizwe waunguja" lina picha kuwa Unguja hawayaadhimishi mapinduzi haya,

Inamaana wao wanayakataa, ni kharamu kwao!
 
Swali hilo si jepesi kwasababu sidhani kama una jibu lake. Hata hivyo wazanzibar(siyo waunguja) wanayaenzi mapinduzi kila mwaka kwa shamra sharam, nderemo na vifijo. Nadhani unafahamu kuwa tarehe 12 ni siku ya mapinduzi.

Rais wa znz bado ni mwenyekiti wa baraza la mapinduzi. Hata kama waasisi hawapo, bado baraza hilo linabeba dhamana ile iliyokusudiwa lilipoanzishwa.

Kwa kuangalia hali ya kisiasa ya Zanzibar, wapo wanaosema mapinduzi daima na yatalindwa kwa nguvu zote.
Hivi karibuni waziri mmoja alijitokeza na kusema wanaopinga mapinduzi wanataka kurudisha Usultan. Kwa kauli hii kutoka kwa kiongozi ni wazi hali ya kisiasa si kama unavyotaka jamvi liamini.

Lipo kundi dogo likiongozwa na watu wenye asili au unasaba na waarabu. Hawa ndio wanaosema mapinduzi ilikuwa kazi ya Nyerere. Katika kulitilia ubani suala hilo wao wamekwenda mbali na kudai kuwa mapinduzi yalikuwa na lengo la kuua Uislam.

Kundi hili ndilo lenye UAMSHO ambalo linaongozwa na wale waliokuwa karibu sana na tawala ya Sultan.
Ndio maana katika mikutano yao hoja ya kwanza ni kutaja Nyerere Lanatullah ili kujenga mazingira ya chuki

Kundi hili dogo linataka kuvunja muungano ili liweze kuendelea na ajenda yao ya siri pengine kumrudisha Sultan ambaye kwao ni kiongozi wa kisiasa na kiimani. Ukilitazama viongozi wake wana ukaribu na Oman kule kule alikotoka Sultan.

Ni kundi dogo kwasababu wengi wa wzn wameonyesha nia ya kuendelea na muungano ukiwa ni ushahidi kuwa wanaelewa mapinduzi ni yao na muungano ni kitu kilichotokana na mapinduzi chenye mafao kwao. Hofu yao ni kuwa nje ya muungano kundi dogo lenye unasaba na sultan litawageuzia kibao.

Sasa ukisema jibu ni jepesi kwenda kuwauliza waunguja ili hali tafiti umefanya wewe inashangaza sana!
 
Wanaukumbi,

Kama ni kuchegemea ukuta wa CIA Reports hebu msikize hapa chini nini Hamza Aziz
kamwambia Dk. Harith Ghassany:

[FONT=&]''The late Mzee Hamza Aziz who was Inspector General of Police in Tanganyika during the revolution assured me that the CIA report has plausable explanation on Tanganyika’s involvement in the Zanzibar revolution. At that time even if I had that report it would not have helped me much without local research and that would not have assisted me without being lead by signs and symbols from national archives in Britain and United States. [FONT=&][/FONT] Helen-Louise Hunter, researcher and and expert in economics was an employee of the CIA for more than twenty years and is the author of the CIA report which I was told about by the late Mzee Hamza Aziz.[/FONT] ''

Wanaukumbi,
Huyo hapo juu anaezungumza ni Dr. Ghassany akisema kuwa hizo ripoti za CIA si lolote bila ya utafiti wa ndani. Ndipo mie ninaposema ''Historia za Wazungu'' haziaminiki.

[FONT=&][/FONT] Hamza Aziz na ripoti ya CIA

Here is a CLASSICAL CONTRADICTION;
1. Mzee MS anasema HISTORIA za wazungu sio CHOCHOTE. Mwenzie anasema ilibidi pia apate msaada wa ARCHIVES ZA BRITAIN AND UNITED STATES. Kati ya nchi hizo hamna ya WAAFRIKA. Implication? Frantic efforts za kulaghai wanajamvi.

2. Hapa Dr. Ghassany hajakataa KUJA kuiona Report ya CIA, alichosema ni kuwa WAKATI ULE ALIPENDA KUANZA UTAFITI KWA KUTUMIA HIZO ARCHIVES. Lakini Kwenye Kitabu cha Dr. Ghassany, hiyo report ya CIA ni reference yake na ipo PAGE 426 Kaindika kama: Central Intelligence Agency (CIA). 1966. “Zanzibar: The Hundred Days’ Revolution.” Written by Helen-Louise Hunter;

Implication; somebody is purposely and knowingly misleading others!!!!!

3. Awali ni huyu MS alishamjemngea Kamanda Hamza Azizi taswira ya uadilifu na Uaminifu. Sasa kama Hamza Aziz anamwambia Dr. Ghssany kuwa hiyo report ya CIA ina PLAUSIBLE INFORMATION, NA HUKU ALISHAMWAMBIA KUWA TULIAPA KULINDA HII SIRI, na hapa KWELI Dr. Ghassany KAITUMIA HIYO REPORT KAMA MAREJEO, who on EARTH ARE YOU MOHAMMED SAID SAID KUDANGANYA NA KUPOTOSHA WATU KWA KUWAAMBIA HISTORIA ZA WAZUNGU SI CHOCHOTE? Kwani hapa sio wewe unaeeleza juu ya hiki kitabu? Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru - YouTube do you mean wakati unatoa hii lecture hukujua Harith alitumia na hii CIA report?

4. Wanajamvi: PDF link ya kitabu hich ni hii hapa ili kila mtu ashuhudie huyu uukinyonga wa kauli hapa za pa juu.

http://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf

5. Siku za nyuma ulishawahi kunionyesha some papers ulizosema ulitoa kwenye libraries za London (ilikuwa Political Intelligence) na mada ilikuwa jinsi Waingereza walivyokuwa wanamfatilia Abdul Sykes. Kumbe London wanakaa waafrika au Wazungu?

ALWAYS GIVE THE DEVIL HIS DUE
 
Swali hilo si jepesi kwasababu sidhani kama una jibu lake. Hata hivyo wazanzibar(siyo waunguja) wanayaenzi mapinduzi kila mwaka kwa shamra sharam, nderemo na vifijo. Nadhani unafahamu kuwa tarehe 12 ni siku ya mapinduzi.

Rais wa znz bado ni mwenyekiti wa baraza la mapinduzi. Hata kama waasisi hawapo, bado baraza hilo linabeba dhamana ile iliyokusudiwa lilipoanzishwa.

Kwa kuangalia hali ya kisiasa ya Zanzibar, wapo wanaosema mapinduzi daima na yatalindwa kwa nguvu zote.
Hivi karibuni waziri mmoja alijitokeza na kusema wanaopinga mapinduzi wanataka kurudisha Usultan. Kwa kauli hii kutoka kwa kiongozi ni wazi hali ya kisiasa si kama unavyotaka jamvi liamini.

Lipo kundi dogo likiongozwa na watu wenye asili au unasaba na waarabu. Hawa ndio wanaosema mapinduzi ilikuwa kazi ya Nyerere. Katika kulitilia ubani suala hilo wao wamekwenda mbali na kudai kuwa mapinduzi yalikuwa na lengo la kuua Uislam.

Kundi hili ndilo lenye UAMSHO ambalo linaongozwa na wale waliokuwa karibu sana na tawala ya Sultan.
Ndio maana katika mikutano yao hoja ya kwanza ni kutaja Nyerere Lanatullah ili kujenga mazingira ya chuki

Kundi hili dogo linataka kuvunja muungano ili liweze kuendelea na ajenda yao ya siri pengine kumrudisha Sultan ambaye kwao ni kiongozi wa kisiasa na kiimani. Ukilitazama viongozi wake wana ukaribu na Oman kule kule alikotoka Sultan.

Ni kundi dogo kwasababu wengi wa wzn wameonyesha nia ya kuendelea na muungano ukiwa ni ushahidi kuwa wanaelewa mapinduzi ni yao na muungano ni kitu kilichotokana na mapinduzi chenye mafao kwao. Hofu yao ni kuwa nje ya muungano kundi dogo lenye unasaba na sultan litawageuzia kibao.

Sasa ukisema jibu ni jepesi kwenda kuwauliza waunguja ili hali tafiti umefanya wewe inashangaza sana!

Nguruvi3,

Kwa hiyo unawafahamisha wanaukumbi kuwa wanaopinga mapinduzi ni kikundi kidogo cha UAMSHO tu?

Kwa faida ya wanakumbia tupe darsa UAMSHO imeanzishwa lini.

Mtazamo wako ndiyo mtazamo wa wazibar wengi?
 
Kuna kipindi unatakiwa kucheka tu hasa ukiwasoma hawa akina Mohamed Said, Dr Ghassany, Ahamed Rajab na wengine wakufanana nao!

Nilisoma kwaumakini hiyo ripoti mjarabu ya CIA ulipoileta mara ya kwanza mkuu,

Nimekuja kucheka sana hasa walipokuja ibuka akina Mohamed nakutudhihaki kuwa kwanini tutumie rejea za Wazungu wakati "wazee wao" wapo?

Masikini bila kujua kuwa Mohamed Said alishiriki katika andiko la Ghassany kwakutumie rejea hizohizo za wazungu tena ni ripoti hii hii!
 
Moja yamapungufu yako makubwa katika uzi huu ndugu yangu Ritz ni kuuliza maswali yasiyo na mantiki,

Yaani ukijisikia tu kuuliza swali hata kama halina mantiki kimjadalaz!

Sasa ukijua tarehe iliyosajiliwa UAMSHO inamantiki gani?

Wasomi na werevu hupenda kujua shabaha halisi yakusajiliwa kwa chombo hicho, na zaidi hukiangazia mwenendo na mapito yake!

Sio kujua tarehe ya usajili,

Kwamantiki ya kujua tarehe za usajili wa uamsho, tunarejea kulekule kwenye ngano za Mohamed Said aziitazo ni historia ya Uhuru ilihali anataja mitaa ya kariakoo na majina ya wazee wa vibarani tu!
 
Last edited by a moderator:
Swali hilo si jepesi kwasababu sidhani kama una jibu lake. Hata hivyo wazanzibar(siyo waunguja) wanayaenzi mapinduzi kila mwaka kwa shamra sharam, nderemo na vifijo. Nadhani unafahamu kuwa tarehe 12 ni siku ya mapinduzi.

Rais wa znz bado ni mwenyekiti wa baraza la mapinduzi. Hata kama waasisi hawapo, bado baraza hilo linabeba dhamana ile iliyokusudiwa lilipoanzishwa.

Kwa kuangalia hali ya kisiasa ya Zanzibar, wapo wanaosema mapinduzi daima na yatalindwa kwa nguvu zote.
Hivi karibuni waziri mmoja alijitokeza na kusema wanaopinga mapinduzi wanataka kurudisha Usultan. Kwa kauli hii kutoka kwa kiongozi ni wazi hali ya kisiasa si kama unavyotaka jamvi liamini.

Lipo kundi dogo likiongozwa na watu wenye asili au unasaba na waarabu. Hawa ndio wanaosema mapinduzi ilikuwa kazi ya Nyerere. Katika kulitilia ubani suala hilo wao wamekwenda mbali na kudai kuwa mapinduzi yalikuwa na lengo la kuua Uislam.

Kundi hili ndilo lenye UAMSHO ambalo linaongozwa na wale waliokuwa karibu sana na tawala ya Sultan.
Ndio maana katika mikutano yao hoja ya kwanza ni kutaja Nyerere Lanatullah ili kujenga mazingira ya chuki

Kundi hili dogo linataka kuvunja muungano ili liweze kuendelea na ajenda yao ya siri pengine kumrudisha Sultan ambaye kwao ni kiongozi wa kisiasa na kiimani. Ukilitazama viongozi wake wana ukaribu na Oman kule kule alikotoka Sultan.

Ni kundi dogo kwasababu wengi wa wzn wameonyesha nia ya kuendelea na muungano ukiwa ni ushahidi kuwa wanaelewa mapinduzi ni yao na muungano ni kitu kilichotokana na mapinduzi chenye mafao kwao. Hofu yao ni kuwa nje ya muungano kundi dogo lenye unasaba na sultan litawageuzia kibao.

Sasa ukisema jibu ni jepesi kwenda kuwauliza waunguja ili hali tafiti umefanya wewe inashangaza sana!

Awali ya yote ahali yangu ACHA WOGA. Si ni wewe kila siku uanayesema Let Znz Go. sasa wakitaka wajitoe unakasirika nini?

Kuna mengi sana umeandika lakin ukweli unasimama kuwa Muungano huo ni Mvungano tu kwani nia yake toka awali haikuwa njema na ndio maana wengi wanaulalamikia ikiwemo wewe mwenyewe. Suluhisho ni kuuvunja na baadae kuangalia upya kama mtakubaliana kuungana ni maeneo gani muungane au mubaki kama majirani wema tu.

lakin siku zote hakuna mabavu yanayodumu hapa Duniani. walikuwa wangapi kuanzia Nyerere na leo yupo wapi? Basi na hata huo Muungano ipo siku tu haki itatawala na kuachiwa wananchi wote waamue nini wanataka ndanimwe.

waarabu tuna usemi " SHOKA HALIWEZI KUITWA SHOKA BILA KUWEKWA KIPANDE CHA MTI (MPINI). nA SHOKA HILO HILO LINAKATA MITI BAADA YA KUWEKWA KIPANDE CHA MTI (MPINI). Sasa jiulize kama miti yote itakataa kukatwa na kuwa mpini wa shoka , Je miti itaweza angamizwa na shoka hilo? ssa hao viongozi kwa lugha nyepesi tunawaitwa ni kipande cha mti kilichosaliti miti mingine ili kutumika kuangamiza wengine.

Mwisho nakusisistiza kudai haki ni wajibu na sio ihsani.

Pole sana

Mkuu,

Bado hujajibu swali lamsingi kuwa kwanini Wazanzibar wanayaadhimisha mapinduzi yale ambayo kwamjibu wako ni kharamu?

Lakini jibu lako la "waulizwe waunguja" lina picha kuwa Unguja hawayaadhimishi mapinduzi haya,

Inamaana wao wanayakataa, ni kharamu kwao!

Hapa nilitaka kukupa jibu.
Kwa wengi Unguja na wala pemba hawaadhimishi sherehe hizi na kama utabahatika kuwepo uko wakti wa sherehe hizo utaona watu wengi na kanzu nyeupe wakifanya khitma kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki zao.

Sherehe hizi zina adhimishwa na viongozi wa Serikali na wafanyakazi wa Serikali tu wakiungwa mkono na JMTz. Kwa lugha nyepesi ni sawa na sherehe kama ya kuzaliwa kwa CCM taarih 5/2 ambayo inaadhimishwa na wana CCM tu na si watu wote. japo mapumziko ni kwa wote.

Habari ndio hiyo.

Hahaa mkuu, wanajamvi wanakusoma wazi!

Kumbuka maelezo yako ya mwanzo ulisema hutaki kabisa kuzungumzia mapinduzi yale chini ya Okello ukisema wazi yalipoteza watu wengi sana wakiwemo ndugu zako wa damu,

Lakini baada yakumsoma mpotoshaji mwingine Ahamed Rajab umegeuka na kuwa upande wake,

Unanishangaza kwa hilo mkuu, kumbuka wewe uliyashuhudia mapinduzi yale

Labda nikwambie Tu Ahmed Rajab namfahamu vizuri sana kwa kuufahamisha hilo ndio maana nikakutajia rafiki yake kipenzi wakti huo 1964 akiitwa Salem Saleh na kama yake. Ambopo Huyu Salem Saleh aliingizwa jeshi na kufikia cheo cha Major Salem Saleh. Kwa wanamjua baadae alikuwa Admin manager wa Air Tanzania.

Na nikakubainishi wazi kuwa huyu hakusimuliwa bali alishuhudia mwenyewe pale Mjini Unguja na anachokieleza ni sawa sawa na mimi nilichokiona na sio kusimuliwa kama wewe.waandishi ambao wanaweza kukwambia kweli kuhusu mapinduzi walikuwa Ahamed rajab, Salim Saleh na marhum Ali Nabwa kwani hawa waliyashuhudia na sio kusimuliwa.

Sasa Tujiulize aliyeona na aliyesimuliwa mara nyingi nani anakuwa sahihi?

Nakumbuka JKT Ruvu enzi za CO Col Meena. kulikuwa na somo moja likiitwa information ambalo walitufundisha makamanda wetu alina capt Othman, Nyoni , basekana, Nyundo, Sahani, Chenga, Mazani, mwambingu, nyundo n.k kuhusu kupeleka habari na athari zake.

Pole sana

Moja yamapungufu yako makubwa katika uzi huu ndugu yangu Ritz ni kuuliza maswali yasiyo na mantiki,

Yaani ukijisikia tu kuuliza swali hata kama halina mantiki kimjadalaz!

Sasa ukijua tarehe iliyosajiliwa UAMSHO inamantiki gani?

Wasomi na werevu hupenda kujua shabaha halisi yakusajiliwa kwa chombo hicho, na zaidi hukiangazia mwenendo na mapito yake!

Sio kujua tarehe ya usajili,

Kwamantiki ya kujua tarehe za usajili wa uamsho, tunarejea kulekule kwenye ngano za Mohamed Said aziitazo ni historia ya Uhuru ilihali anataja mitaa ya kariakoo na majina ya wazee wa vibarani tu!

Yericko,
Una udole wa kunikashif mimi na vitabu na paper nilizoandika na kuwasilisha
katika vyuo vikuu.

Vitabu vilochapwa na wachapaji wenye majina.
Ama akutukanae hakuchagulii tusi.

Ahsante sana.
 
Hapa nilitaka kukupa jibu.
Kwa wengi Unguja na wala pemba hawaadhimishi sherehe hizi na kama utabahatika kuwepo uko wakti wa sherehe hizo utaona watu wengi na kanzu nyeupe wakifanya khitma kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki zao.

Sherehe hizi zina adhimishwa na viongozi wa Serikali na wafanyakazi wa Serikali tu wakiungwa mkono na JMTz. Kwa lugha nyepesi ni sawa na sherehe kama ya kuzaliwa kwa CCM taarih 5/2 ambayo inaadhimishwa na wana CCM tu na si watu wote. japo mapumziko ni kwa wote.

Habari ndio hiyo.

Mkuu labda kiswahili ni kigumu kwetu,

Unaposema

"japo mapumziko ni kwa wote"

Unaelewa maana yake halisi?

Sasa nakufahamisha kuwa huko ndio "kuadhimisha", sio lazima ufike uwanjani nakuvaa kapele na tisheti!
 
Kuna kipindi unatakiwa kucheka tu hasa ukiwasoma hawa akina Mohamed Said, Dr Ghassany, Ahamed Rajab na wengine wakufanana nao!

Nilisoma kwaumakini hiyo ripoti mjarabu ya CIA ulipoileta mara ya kwanza mkuu,

Nimekuja kucheka sana hasa walipokuja ibuka akina Mohamed nakutudhihaki kuwa kwanini tutumie rejea za Wazungu wakati "wazee wao" wapo?

Masikini bila kujua kuwa Mohamed Said alishiriki katika andiko la Ghassany kwakutumie rejea hizohizo za wazungu tena ni ripoti hii hii!

Yericko,
Ndio uzuri wa jamvi hili.

Yericko yuko pamoja na Dk. Ghassany.
 
Yericko,
Una udole wa kunikashif mimi na vitabu na paper nilizoandika na kuwasilisha
katika vyuo vikuu.

Vitabu vilochapwa na wachapaji wenye majina.
Ama akutukanae hakuchagulii tusi.

Ahsante sana.

Niwie radhi maalim,

Dhamira haikuwa kuudhi moyo wako maalim bali kumwelewesha ndugu yangu Ritz juu ya aina ya ujengaji hoja katika minakasha moto kama hii!
 
Mohamed Said,

Nashukuru sana kwa kwa mipini yako ya historia ya Tanganyika kwa kweli tunafyonza Ilm.

Abdulwahid Sykes kadi namba 3 ya TANU mdogo wake kadi namba 2 ya TANU halafu kuna watu wanatuambia hawa jamaa hawakuasisi TANU inaingia akilini kweli kama siyo husda.

Tupe darsa hivi rangi za TANU zilikuwa zipi? bendera na kadi. Na nani alikuwa anasimamia hizo kadi kama kuna uwezekano tutajie namba za kadi za wazee wetu wengine.

Ritz,
Katika miaka ya 1960 Abdu Sykes alimpangisha nyumba yake
Issa Nassor Ismaily aliyekuja kuandika kitabu "Kinyang'anyiro
cha Zanzibar."

Siku moja Sheikh Issa alimuuliza Abdu Sykes ilikuwaje hata
yakatokea yalotokea?

Abdu alimsihi Sheikh Issa kuwa wasizungumze habari za Zanzibar
kwani zinaweza kuvunja udugu wao.

Toka siku ile Abdu na Sheikh Issa hawakupata tena kurejea habari
zile hadi Abdu alipokufa na Sheikh Issa si muda mrefu akahamia
Oman.

Ndipo ninaposema kuwa ndugu zetu wanasoma historia sisi tumeishi
ndani ya historia.

Kwa miaka mingi nimefahamiana na Sheikh Issa na nimemtembelea
kwake Mascut.
 
Yericko,
Ndio uzuri wa jamvi hili.

Yericko yuko pamoja na Dk. Ghassany.

Hapana mkuu,

Mimi nikimsoma Dr Ghassany kimantiki hana tofauti na wewe,

Kimsingi nyinyi wawili mnatofautiana kidogo sana na Ahamed Rajab katika mtazamo wa Zanzibar na Tanganyika,

Lakini nyote mnakuwa chungu kimoja mnapolifikia jina la Julius Nyerere na John Okello,

Mnawachukia sana, mnalaani hata kufikia mioyoni mwenu kusema kwanini walizaliwa watu hawa hapa duniani??

Kimsingi mnapingana na Muumba, ndio mnapingana, kwani yeye ndie kwa mkono wake kawajaza ujasiri na wakathubutu na kufanikiwa kutukomboa Watanganyika na Wazanzibar!
 
Moja yamapungufu yako makubwa katika uzi huu ndugu yangu Ritz ni kuuliza maswali yasiyo na mantiki,

Yaani ukijisikia tu kuuliza swali hata kama halina mantiki kimjadalaz!

Sasa ukijua tarehe iliyosajiliwa UAMSHO inamantiki gani?

Wasomi na werevu hupenda kujua shabaha halisi yakusajiliwa kwa chombo hicho, na zaidi hukiangazia mwenendo na mapito yake!

Sio kujua tarehe ya usajili,

Kwamantiki ya kujua tarehe za usajili wa uamsho, tunarejea kulekule kwenye ngano za Mohamed Said aziitazo ni historia ya Uhuru ilihali anataja mitaa ya kariakoo na majina ya wazee wa vibarani tu!

Yericko,

Huna cha kunielewesha mie matusi na kejeli ndiyo unachonizidi humu ukumbini. Huwezi kuniambia wanaopinga mapinduzi ni kikundi kidogo cha UAMSHO kisha mimi nikubali.

Lazima nihoji na niulize maswali ambayo yanaitaji majibu najua mipini yangu ni migumu kujibu ndiyo maana unalia lia.

Watu Zanzibar wanayapinga mapinduzi toka 1964 leo utaniambiaje wanaopinga mapinduzi na UAMSHO tu ambayo hawana hata miaka mitano toka ianzishwe.

Wewe kila unasema unataka mjadala wa adabu wakati unawakosea heshima wazee wetu wa kariakoo, angalia hapa unawaita wazee wa vibarani tu, jana umetufananisha na wanawake wa bar.

Lakini sikushangai step kids wengi ndiyo tabia zao hawana adabu.
 
Mkuu labda kiswahili ni kigumu kwetu,

Unaposema

"japo mapumziko ni kwa wote"

Unaelewa maana yake halisi?

Sasa nakufahamisha kuwa huko ndio "kuadhimisha", sio lazima ufike uwanjani nakuvaa kapele na tisheti!

Yericko,
Mwaka 2011 nilishiriki kipindi "Meza ya Duara" cha
Sauti ya Ujerumani.

Pamoja na mie alikuwa Ahmed Rajab akizungumza
kutoka London, Dk Ghassany kutoka Washington,
Salehe Feruzi wa CCM kutoka Zanzibar na mie
nikizungumza kutoka Ngamiani Tanga mwenyekiti
wa mazungumzo alikuwa Othman Miraj.

Ufupi wa maneno ni kuwa nilipopambana na Feruzi
kuhusu askari mamluki na taarifa nyingine alikuwa hana la
kusema.

Kuhusu mauaji baada ya mapinduzi, hana mchango, kuhusu
wananchi kuipenda serikali yao akajibu wanaipenda,

Nikamuuliza kama ni hivyo kwanini CCM Zanzibar wanaogopa
uchaguzi...

Wanaiba kura...

Hakuniweza nikawa nimemshinda.

Kipindi kilipokwenda hewani wengi walipiga simu Sauti ya
Ujerumani kutaka kunifahamu zaidi.

Matokeo yake nikaalikwa Zentrum Moderner Orient (ZMO)
Berlin kwa kuhadhir na kuandika paper niwaachie maktaba yao.
 
Back
Top Bottom