Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Shariff gombesugu,

Hawa ndugu zetu kutoka mkoa wa Mara JokaKuu, Jasusi, WildCard, Wickama, kwao wanatambuana kwa makabila.

Ni mkoa ambao unaongoza kwa ukabila Tanzania na hili tatizo limewafanya wakose maendeleo bahati nzuri napajua vizuri unawaona hapa wapo pamoja lakini wakifika Musoma kila mtu na lake.

Mkurya hawezi kushirikiana na Mkwaya, Mjaruo wa Shirati hawapatani na Wajita, Waruri hawapatani na Wakabwa, Wangoreme hawapatani na Wazanaki, Wasambiti hawapatani na Waikoma, Waisenye hawapatani na Waikoma.

Wanadhani kila mkoa wapo kama kwao kila siku kukatana mapanga.
 
Last edited by a moderator:
we jamaa huwa nakushangaa sana mtu akitoka Mara hupendi mtu akitoka Kilimanjaro, Arusha pia na penyewe hupendi acha ubaguzi...

Halafu kuna jamaa anakusifia eti una mipini mikali kupambana na chadema eti huwa unapambana kwa mipini mikali kwasababu eti amejiridhisha baada ya kupitia nyuzi mbalimbali, akajaribu na kupanga cabinet

ndugu yangu ngojea nikwambie ukweli mchungu ni hivi jamaa anakuvika kilemba cha ukoka yaani hauna mipini yoyote kuhusiana na chadema

Ulivyo mateka wa Chadema pamoja na Kanisa unadhani wote tu ivyo weka hayo maneno yangu unayosema na chuki.

Mimi nimekuja JF peke yangu sijaletwa na Chadema kama wewe ulivyoletwa na Dr Slaa, utajiumiza bure kama unakeleka na michango yangu bora ukae kimya na unafiki wako.

Wewe kazi yako humu nini kama siyo kutetea Chadema na Kanisa, kama unataka mnakasha wa haina yeyote na mimi nipo tayari karibu sana ukumbini.

Ushauri wangu kwako kama una cha kuandika andika lakini kama umejitolea kupambana na Ritz, karibu mipini ipo.
 
Wewe kauzu kweli wewe una ulivyokuwa mateka wa Chadema pamoja na Kanisa unadhani wote wapo ivyo.

Mimi nimekuja JF peke yangu sijaletwa na Chadema kama wewe utajiumiza bure kama unakeleka na michango yangu bora ukae kimya na unafiki wako.

Wewe kazi yako humu nini kama siyo kutetea Chadema na Kanisa, kama unataka mnakasha wa haina yeyote na mimi nipo tayari karibu sana.

ali akhiy kashata.. Acha kuhusisha cdm na kanisa huko ni kututusi wakristo
 
Kwa Al Akhiy gombesugu; naona unaanza kwa kumpa like Al Akhiy shariff Ritz kwa "copy and paste" aliyoiweka hapa, mbona hataji "source" yake? Pili, mara nyingi tumeombwa tusishabikie source kutoka kwa Wazungu, hapa imekuwaje tena? Hayo tuyaache turudi kwenye maandishi yako Al Akhiy gombesugu; nianze kwa nukuu hii hapa;
gombesugu, naomba nikupe darasa kidogo kuhusu kinachoitwa uchaguzi na kwa nini uchaguzi wa mwaka 1961 haukuwa halali. Wapiga kura waliojiandikisha walikuwa 93,918 na waliopiga kura walikuwa 90,595 sawasawa na asilimia 96.5%; huo mwitikio wa wananchi ni excellent ukilinganisha na asilimia chini ya 40% waliojitokeza kwenye uchaguzi mkuu Tanzania mwaka 2010. Je, matokeo yalikuwaje? Chungulia mwenyewe;

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]
Chama​
[/TD]
[TD]
Kura​
[/TD]
[TD]
Asilimia​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Afro-Shirazi Party (ASP)
[/TD]
[TD] 45,172
[/TD]
[TD] 50.6%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Zanzibar Nationalist Party (ZNP)
[/TD]
[TD="width: 74"] 31,681
[/TD]
[TD="width: 78"] 35.3%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Zanzibar & Pemba Peoples Pary (ZPPP)
[/TD]
[TD="width: 74"] 12,411
[/TD]
[TD="width: 78"] 13.9%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Kura zilizoharibika
[/TD]
[TD="width: 74"] 1,331
[/TD]
[TD="width: 78"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Jumla ya kura zilizopigwa
[/TD]
[TD="width: 74"] 90,595
[/TD]
[TD="width: 78"] 100%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Al akhiy gombesugu, hata ukizijumlisha kura za ZNP na ZPPP hazifikii kura walizopata ASP; sasa Al akhiy, huo ushindi wa halali uliozidi kuwaweka wazalendo utumwani kwenye visiwa vya Unguja mikononi mwa mkoloni mwarabu ni upi? Je kama wazalendo kwa msaada wa Field Marshal John Okello hawakukubali kuendelea kuwa chini ya Sultani Sayyid Jamshid bin Abdullah Al Said na wakaamua kumtimua, kosa lao nini? Of course naelewa uchungu mlio nao masalia ya Usultani lakini hapa mmenoa, katu mwarabu harudi!

copy; Al akhiy wote, joka Kuu, Nguruvi3, Yericko Nyerere, Mzee Mwanakijiji, Ngongo, Wickama, Jasusi, WildCard na wazalendo wote mnaoitakia mema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa nawewe source ha hizo takwimu zako ni wapi??
hakuna anaeshabikia uarabu hapa,labda wewe unatuambie ushabiki uko wapi,copy n paste afanye ritz akifanya yericko zinageuka kuwa utafiti??

ni kweli mwarabu hapa hatoweza kurudi kama mvosema,ajabu kwenu hawa wote walikuwa ni maslave masters,twawashangaa wenzetu hadi mmeamua kuwafungulia na ubalozi hapa moja kwa moja na kumweka mzungu mweusi pengo kama mwakilishi wenu..!,kati yetu sie na nyie nani anamkumbatia slave master??
 
ali akhiy kashata.. Acha kuhusisha cdm na kanisa huko ni kututusi wakristo

REMOTE,

Kauli yako imenishtua! kwani Chadema kuhusishwa na Kanisa ni tusi? huoni fahari Chama kunasibishwa na mahala patakatifu? au Chadema kina walakini na kauchafu fulani vile au mfano wa Kiongozi wake kutembea na mke wa mtu ndio maana unaona ni tusi kwa Wakristo CDM kuhusishwa nao? naomba ufafanuzi mkuu!
 
Wewe kauzu kweli wewe ulivyokuwa mateka wa Chadema pamoja na Kanisa unadhani wote tu ivyo weka hayo maneno yangu unayosema na chuki.

Mimi nimekuja JF peke yangu sijaletwa na Chadema kama wewe ulivyoletwa na Dr Slaa, utajiumiza bure kama unakeleka na michango yangu bora ukae kimya na unafiki wako.

Wewe kazi yako humu nini kama siyo kutetea Chadema na Kanisa, kama unataka mnakasha wa haina yeyote na mimi nipo tayari karibu sana ukumbini.

Ushauri wangu kwako kama una cha kuandika andika lakini kama umejitolea kupambana na Ritz, karibu mipini ipo.
mkuu bado tu hujakua aiseee.
 
Yericko,
Hujui kitu.

Hujawa na makamo ya kuandika ukasomwa.
Hapo chini ni mimi namzungumza Ali Nabwa:

''But strange never at any one time did he mention to me that he had just been released from prison. I only came to know about that many years later when I met Jim Bailey and he handed me a manuscript ‘Tanzania the Story of Julius Nyerere.’ I met Jim Bailey in early 1990s.

Jim Bailey was the proprietor and executive editor of ‘Drum’ a photo-journalistic magazine published in South Africa and distributed in almost all English speaking African colonies. Drum was a very popular magazine. Its popularity only waned after most of African countries gained their independence and the new leadership in Africa seemed to be enjoying founding fault with the publication.

Drum was banned in many African countries for various reasons, from publishing nude pictures (scanty dressed girls) to not observing the right etiquettes when reporting ‘sensitive’ government matters. I was introduced to Jim Bailey by Ally Sykes.

Jim Bailey had a manuscript and wanted someone to go through it and give recommendations on the work. It was a book of collection of old photograph with captions and articles in between from Bailey’s African Photo Archives in Johannesburg . Bailey travelled from Johannesburg to Dar es Salaam to see Ally Sykes and show him the manuscript.

Ally Sykes recommended me to Jim Bailey and it was in this way that I met him and he gave me the manuscript to read. It was through this manuscript that I came for the first time face to face with Nabwa’s pen through his Prison Letters.

The letters introduced Nabwa’s mind to me in a way that I can not find words to describe. In those letters Nabwa’s pen was not writing but weeping and whipping. The words from Nabwa’s pen were taking me to a different world which even in my wildest imagination I never thought existed. The first letter written in 1973 from Central Police Station Dar es Salaam shocked me. In that letter Nabwa described intimidation and torture by the police in the style replica of the Ton Ton Macouts of Papa Doc’s Haiti .

That was not all among those arrested with him was Badru Said. This was a person I knew, an uncle of a friend of mine. In Nabwa’s sense of humour in the letter he says it needs a Dickens to describe the squalor of the cell he was in. The letters which followed were all from Condemned Section Ukonga Prison with the exception of one from Muhimbili Hospital where he was hospitalised.

I remember reading those letters I some times found myself laughing not because the paragraph was in any way amusing but for the mockery and absurdity of it all. But that alone would not have made me laugh. It was that cynicism banking on satire which made me laugh at the tragic events unfolding instead of shading tears. Nabwa’s pen ‘entertained’ me in a way that I had not experienced before.

In his analysis of the personalities which people were made to believe were symbols of justice and principles Nabwa’s pen removed the charade and the camouflage to reveal their true colours and identity. Nabwa’s letters were a potpourri of short biographies, dossiers, profiles, hit list of ‘enemies’ and method of their execution. In the Prison Letters Nabwa’s pen exposed the atrocities which took place in Zanzibar after the revolution and analysed the arrogance, mediocrity and sheer myopia of the leadership.

Bailey had this to write on the letters:

''When I came by the letters of Ali Mohamed Ali – a Comorian islander, formerly manager of the Dar es Salaam branch of the East African Publishing House – written from Ukonga Gaol in Dar es Salaam , describing gaol conditions, they turned my stomach. I checked them against the story of a totally independent former prisoner in Ukonga. They tallied. I checked them against the record of a former Ugandan prisoner. They tallied. I discussed them with a former senior member of Tanu in Dar es Salaam . He confirmed that those were the conditions. I did not publish them since it would have put paid to any chance of publishing again in Tanzania.''

After finishing reading the manuscript I wanted to meet Nabwa and give him his letters as I knew he would not have copies and he would love to have them back. At that time he was Personal Assistant to the Vice President Dr Omar Ali Juma. I was able to get Nabwa’s telephone number through an acquaintance at Masomo Bookshop in Zanzibar and I called him. If Dar es Salaam has Saigon Club, Zanzibar can boast of Masomo Bookshop at Mkunazini. One can fix anything from there.

I travelled to Zanzibar and I met Nabwa. About ten years had passed since we saw each other. Nabwa was happy to see me and was beside himself when I presented the envelope full of photocopies of his prison letters. He wanted to know how I came by them. Typical of him Nabwa began asking me if I could recognise the personalities behind he initials and innuendos he had used in the letters instead of real names. I told him some I could. Nabwa revealed to me the true identities of the characters. Some of them were people personally known to me.

Now looking back I am happy that I was among those privileged to read Nabwa’s revelations of injustices in Zanzibar before he became a celebrity of sorts and his writings major topic of discussion in the corridors of power. The atrocities which no one had the courage to speak about them publicly for almost forty years were laid bare for all to read through Dira the paper which Nabwa founded in 2004.

Dira was the first free newspaper in Zanzibar since the revolution. The ripples from Nabwa’s pen were electrifying. Dira became a paper eagerly awaited by the public including Zanzibar leadership each week. Its circulation rose each passing week. Nabwa’s pen was lifting the lid in broad daylight. The stories of treachery, rape, murder, homosexuality, forced marriages by members of the Revolutionary Council and their cronies in Zanzibar were all there with names, places and accomplices for all to read and pass judgement.

Those who had demonised the Sultan had no tongue to defend their own ‘upright’ track record. The young generation began to ask questions and in the answers they saw the leadership in power and the revolution in a different light all together.

Nabwa’s pen helped the young generation to understand why those in power abhorred democracy and were constantly haunted by the ballot box. They now knew why the leadership in the government shivered at the prospect of losing power. The young generation now realised why the leadership would go to any length to cling to power even to the extent of committing more atrocities just to remain in power through massive vote rigging.

What more the young generation realised why those in power were trying to build a dynasty. The government did not have the courage or the strength of character to contradict Nabwa’s pen. The only way out for the ruling clique was to harass Nabwa, revoke his citizenship and muzzle him by banning Dira. But government’s revenge upon Nabwa had come too late as to some extent Nabwa’s pen had completed its mission.

The last time I saw Nabwa was at his Dira office at Vuga. I had gone there to congratulate him for the work he was doing through the paper. I called him when Dira was banned and his citizenship revoked. I had a pressing matter which I wanted to discuss with him. I asked him if we could meet in Dar es Salaam . He told me that if he leaves the isles, Zanzibar Government will not let him in again. That was Nabwa. Much as he was haunted through intrigues Nabwa was not a person to be cowed. He challenged those in power to take him one on one. The authorities did not have the stomach for that.''

Mohamed Said,

Umenikumbusha mbali sana almarhum Sheikh Ali Nabwa alikuwa ni mmoja katika watu waliokuwa wanazindua wengi kwenye historia ya Tanzania. Gazeti la Dira limepata jina kutokana na makala zake alizokuwa akiandika ambazo zilikuwa mwiba kwa Serikali zote mbili.
 
Kwa Al Akhiy gombesugu; naona unaanza kwa kumpa like Al Akhiy shariff Ritz kwa "copy and paste" aliyoiweka hapa, mbona hataji "source" yake? Pili, mara nyingi tumeombwa tusishabikie source kutoka kwa Wazungu, hapa imekuwaje tena? Hayo tuyaache turudi kwenye maandishi yako Al Akhiy gombesugu; nianze kwa nukuu hii hapa;
gombesugu, naomba nikupe darasa kidogo kuhusu kinachoitwa uchaguzi na kwa nini uchaguzi wa mwaka 1961 haukuwa halali. Wapiga kura waliojiandikisha walikuwa 93,918 na waliopiga kura walikuwa 90,595 sawasawa na asilimia 96.5%; huo mwitikio wa wananchi ni excellent ukilinganisha na asilimia chini ya 40% waliojitokeza kwenye uchaguzi mkuu Tanzania mwaka 2010. Je, matokeo yalikuwaje? Chungulia mwenyewe;

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]
Chama​
[/TD]
[TD]
Kura​
[/TD]
[TD]
Asilimia​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Afro-Shirazi Party (ASP)[/TD]
[TD] 45,172[/TD]
[TD="width: 78"] 50.6%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Zanzibar Nationalist Party (ZNP)[/TD]
[TD="width: 74"] 31,681[/TD]
[TD="width: 78"] 35.3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Zanzibar & Pemba Peoples Pary (ZPPP)[/TD]
[TD="width: 74"] 12,411[/TD]
[TD="width: 78"] 13.9%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Kura zilizoharibika[/TD]
[TD="width: 74"] 1,331[/TD]
[TD="width: 78"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"] Jumla ya kura zilizopigwa[/TD]
[TD="width: 74"] 90,595[/TD]
[TD="width: 78"] 100%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Al akhiy gombesugu, hata ukizijumlisha kura za ZNP na ZPPP hazifikii kura walizopata ASP; sasa Al akhiy, huo ushindi wa halali uliozidi kuwaweka wazalendo utumwani kwenye visiwa vya Unguja mikononi mwa mkoloni mwarabu ni upi? Je kama wazalendo kwa msaada wa Field Marshal John Okello hawakukubali kuendelea kuwa chini ya Sultani Sayyid Jamshid bin Abdullah Al Said na wakaamua kumtimua, kosa lao nini? Of course naelewa uchungu mlio nao masalia ya Usultani lakini hapa mmenoa, katu mwarabu harudi!

copy; Al akhiy wote, joka Kuu, Nguruvi3, Yericko Nyerere, Mzee Mwanakijiji, Ngongo, Wickama, Jasusi, WildCard na wazalendo wote mnaoitakia mema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu,

Umeitendea haki hiyo hoja ya hao wahafidhina bandia!

Ukiwasoma kwa ndani nikuwa wao wanaamini utawala wa Sultan uliotokana na uchaguzi huo ndio utawala wa haki na ukombozi kamili wa Zanzibar!

Lakini ukiwakumbusha madhila yaliyokuwa yakiwakumba mababu zetu (wazalendo halisi) wanakosa hoja na hapo ndipo hoja yao inakufa!

Haya tukija kwenye tafsiri ya mapinduzi yenyewe chini ya Okello wao wanayaita ni kharamu kwa maana ya Nyerere alimtumia Okello na Wamakonde kuudhibi uislamu,

Lakini ukiwauliza kwa nini wazanzibar ambao kwa asilimia 99 ni waumini wa uislamu wanayaadhimisha mpaka hii leo?

Hapo wanakosa jibu la msingi na hoja yao inafia hapo!

Lakini hawa hawa kuna wenzao wanapingana ama kwa lengo la kukwepesha ukweli ama kwa kutojua!

Hawa nao wakiongozwa na Mohamed Said wanaibuka na madai kuwa Okello hakuhusika na mapinduzi yale, bali kiongozi ni Kasim Hanga, Omar Mkwawa na wengine,

Sasa hawa wanafunika yale mauaji aliyoendesha Okello ndani ya miezi 6 ya utawala wake pale Zanzibar,

Kundi lingine ni lile linaloongozwa na Ahamed Rajabu,

Lenyewe linayaona mapinduzi yale ni ya ASP na sio Okello,

Hilo nalo linamuona Okello kama mgojwa wa akili aliyekuwa mponda matofali tu,

Lina pinga wazi kuwa hakukuwa na mauaji Zanzibar bali mapigano ya dakika kadhaa tu!

Sasa ukiyaangalia makundi hayo yote, ndio yale yale yenye taswira moja linapokuja suala la Historia ya Tanganyika na Zanzibar,

Waoa adui yao ni Nyerere na Ukristu tu!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kauzu kweli wewe ulivyokuwa mateka wa Chadema pamoja na Kanisa unadhani wote tu ivyo weka hayo maneno yangu unayosema na chuki.

Mimi nimekuja JF peke yangu sijaletwa na Chadema kama wewe ulivyoletwa na Dr Slaa, utajiumiza bure kama unakeleka na michango yangu bora ukae kimya na unafiki wako.

Wewe kazi yako humu nini kama siyo kutetea Chadema na Kanisa, kama unataka mnakasha wa haina yeyote na mimi nipo tayari karibu sana ukumbini.

Ushauri wangu kwako kama una cha kuandika andika lakini kama umejitolea kupambana na Ritz, karibu mipini ipo.

Naona Al akhiy umehamaki sana, wewe nani kakwambia mimi nimeletwa na Dr Slaa jf au nani kakwambia we umeletwa kila mmoja amekuja kivyake jf hakuna alieletwa

sema tunatofautiana, halafu mambo ya kanisa yameingiaje we unadhani kila mtu ni mfia dini kama wewe kila jambo unaliona kwa mambo ya dini dini tu

narudia kukwambia ukweli mchungu ila inabidi uumeze tu ni kwamba yaani huna mipini yoyote ya maana

kama ni mipini ya dhihaka, kejeli, dharau pamoja na matusi hiyo kweli unayo, kwa hiyo nakusifu kweli una mipini

Ahali yangu usijenge chuki, hapa tunajadiliana tu... Sote ni Watanzania lakini tunatofautiana katika mitazamo tu.
 
REMOTE,

Kauli yako imenishtua! kwani Chadema kuhusishwa na Kanisa ni tusi? huoni fahari Chama kunasibishwa na mahala patakatifu? au Chadema kina walakini na kauchafu fulani vile au mfano wa Kiongozi wake kutembea na mke wa mtu ndio maana unaona ni tusi kwa Wakristo CDM kuhusishwa nao? naomba ufafanuzi mkuu!

Wewe kweli ni Kadogoo aliyekupa hilo jina wala hakukosea...
 
Naona Al akhiy umehamaki sana, wewe nani kakwambia mimi nimeletwa na Dr Slaa jf au nani kakwambia we umeletwa kila mmoja amekuja kivyake jf hakuna alieletwa

sema tunatofautiana, halafu mambo ya kanisa yameingiaje we unadhani kila mtu ni mfia dini kama wewe kila jambo unaliona kwa mambo ya dini dini tu

narudia kukwambia ukweli mchungu ila inabidi uumeze tu ni kwamba yaani huna mipini yoyote ya maana

kama ni mipini ya dhihaka, kejeli, dharau pamoja na matusi hiyo kweli unayo, kwa hiyo nakusifu kweli una mipini

Ahali yangu usijenge chuki, hapa tunajadiliana tu... Sote ni Watanzania lakini tunatofautiana katika mitazamo tu.

Nadhani ujumbe umefika.
 
Shariff gombesugu,

Hawa ndugu zetu kutoka mkoa wa Mara JokaKuu, Jasusi, WildCard, Wickama, kwao wanatambuana kwa makabila.

Ni mkoa ambao unaongoza kwa ukabila Tanzania na hili tatizo limewafanya wakose maendeleo bahati nzuri napajua vizuri unawaona hapa wapo pamoja lakini wakifika Musoma kila mtu na lake.

Mkurya hawezi kushirikiana na Mkwaya, Mjaruo wa Shirati hawapatani na Wajita, Waruri hawapatani na Wakabwa, Wangoreme hawapatani na Wazanaki, Wasambiti hawapatani na Waikoma, Waisenye hawapatani na Waikoma.

Wanadhani kila mkoa wapo kama kwao kila siku kukatana mapanga.

Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) katika Qur-aan 49:13: Enyi watu, hakika Tumewaumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke na Tumewajalieni Mataifa na Makabila ili mpate kujuana, hakika mbora wenu mbele ya Allaah ni yule mchaji Mungu zaidi
 
Last edited by a moderator:
Barubaru,

Waalyka Salaam Al Akhiy.

Wallahi,mchana huu ndo napitia hizi posts hapa,nakuta yale madhila alokufanzia huyo Yericko katika yale majibizano yenu.

Unajua hawa jamaa mila,taratibu na dasturi zao ni tafauti saana na sisi. Ndo maana mimi binafsi hii Topic naiepuka mno. Na pia nalijaribu kumpa wasia kiduchu huyo Yericko kuwa haya majambo kwetu sisi wengine ni sensitive mno,nilidhani angefanya hishma japo kiduchu lakini naona wameshindwa.

Kama umepitia zile posts za jana,nilijibizana nae kiduchu mno tena kwa makhnatha tu maana nilihisi alitaka kunianzia mimi vile vituko vyake. Ati yeye nae anataka kujaribu kunikhadith khabari za yale maafa ya 1964!?ahaha!!

Embu fikiri,hawa jamaa mpaka kesho ati wanaamini yakuwa huyo "Field Marshal" "alipindua" Zanzibar kwa ngumi kavu kavu na masumbwi mazito mno!? Na kumbuka yakuwa wana ushahidi kutoka papers za CIA!?ahaha!!

Lakini lazim niseme;huyo Yericko alinichekesha kiduchu pale aliposema ati mojawapo ya sifa kubwa za huyo "Field Marshal",ilikua kitoweo chake ni mapaka!ahaha!! Nasikia na hii pia CIA wamethibitisha!ahah!!

Pana mengi mno Al Akhiy,lakini Insha Allah tutafika nao taratibu...Falyafrahu Qalilan Wa Yahku Kathiran!

Naona jana umetaja kiduchu khabari za Shangani na Mwera...nilihisi tunafahamiana tangia nilipoingia hapa na kuona hiyo picha yako. Lakini tusijuane sana hapa jamvini maana italazim tuwe wazito kiduchu kunena tutakayo baina yetu!ahaha!!

Nakupa hints kiduchu; pale Shangani Al Marhum Ali Amrani na nduguye Said Amran na Mama yao Hobo alifariki kitambo maskini. Hapo Kianga ndipo khaswa umefika, pale ndani kiduchu Mwangarani unapakumbuka,Al Marhum Bwana Salum wa Mkunazini ndo alokua akishughulika kule mwishoni!? Pale Mwera Legeza Mwendo na Maili Sita vipi!? Kwenye ule Msikiti wa Kianga kabla ya kuvuka kidaraja pia paliuliwa jamaa wengi hiyo siku ya maafa.

Unajua huyo Bwana Mohammed Salim nduguye Salim Ahmed,ameoa mmojawapo ya Aunt zangu. Na kwa sasa nafikiri wanapaendeleza uzuri pale Kianga. Insha Allah tutazungumza uzuri siku nyingine.
Nafurahi Al Akhiy Ritz kawawekea ule mpini mubashar kutoka kwa Ahmed Rajab. Nimecheka maana namjua Bwana Ahmed Rajab,hana stahamala akianza kutiririka na kalamu. Kamchambua japo kiduchu,lakini imesaidia kuwaonyesha jamaa hapa yakuwa huyo "Field Marshal" wao alikua ni mgonjwa wa akili na maarifa!ahaha!! "Rais wa Nchi" ati akishinda Rahaleo pale Radio kutwa kucha kutangaza makhanatha ya kutisha ndugu na jamaa zetu,bila ya maarifa yoyote!...Khabith mkubwa yule!

Nimesikitika kiduchu,maana naona huyo Mag3 ati kaleta taarifa yakuwa family ya huyo "Field Marshal" imekumbwa na njaa na madhila yaso kifani huko kwao Uganda. Sasa sijui ndo twatakiwa tuwachangie senti au vipi...kwa hili binafsi tasubiri amri toka kwa Al Akhiy Shariff Ritz ili atoe maelekezo na Fatwa yake!

Ahsanta.

Cc;Ritz

Gombesugu; Haki ya Mungu....... umejaliwa lugha safi sana ya kumliwaza mtu. NImejikuta natoa LIKE. Ngoja niondoke haraka kumfatilia yule Marshall aliyezipiga kavukavu!!!!! kabla hayanipata madhara hapa
 
Back
Top Bottom