Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nilipo RED.i

Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kuhusu Nyie watu wa Bara kuwa ni nani na mnahusikaje katika uchuguzi au mambo ya nchi ya Zanzibar mpaka muweze toa fatwa hiyo.

Naomba ufafanuzi wangu ahali yangu

Barubaru,

..mbona fatwa ilishapitishwa zamani wakati Mwalimu alipohutubia UN??

..hukusikia kwamba mwenge wa uhuru wa Tanganyika utamulika hata nje ya mipaka yetu na kuleta heshima pale palipo na dharau??

..fatwa hiyo ndiyo iliyowapelekea Watanganyika, na baadaye wa-Tanzania, kusaidia ukombozi wa Msumbiji,Zimbabwe, Angola, Namibia, etc etc ili kuondosha dhuluma ktk mataifa hayo na kurudisha heshima ya mtu mweusi.

..mambo ya uchaguzi wa Zanzibar yanatuhusu kwasababu vyama vilivyoshindwa uchaguzi viliamua kuunda coalition na kukizuia chama cha Waafrika kuunda serikali.

..vyama hivyo vilifanya hivyo kwa kuelekezwa na sera zao za DHARAU na UBAGUZI dhidi ya WAAFRIKA wenyeji wa ZANZIBAR.

..sheria za uchaguzi za Zanzibar zilipaswa kuzuia vyama vilivyoshindwa uchaguzi, kuungana dhidi ya chama kilichoshinda, na kuunda serikali. Sheria ilipaswa kuelekeza kwamba mwenye viti vingi aungane na chama kingine na kuunda serikali.

..AFRO SHIRAZ PARTY walishinda popular vote, zaidi pia walipata viti vingi, sasa mlipowatenga ktk kuunda serikali mlitegemea nini kama siyo mapinduzi???
 
Last edited by a moderator:
Mitaa mingine humu JF inaumiza mbavu!!!!!!

Wickama,
Kejeli, kebehi mbali....

Robert Royall aliwasilisha paper Bungeni sasa kama ilikuwa kuhutubia au kaongea pembeni

lilikuwa kwa uungwana kusema, ''Maalim balozi hakuhutubia ila alikuwa na mazungumzo."
Waungwana wasomi makini wangefanya hivyo.

Ndugu zangu hilo kwao imekuwa mwao.
Niliyosema kwao hayakuwa na maana yoyote ingawa Waamerika kwa hakika waliumizwa sana
na majibu yangu kwao.

Nini yalikuwa matokeo ya hiyo paper?
Taarifa zilirushwa Tanzania na haikupita muda nikakamatwa.

Wakanambia wananihoji kwa kuwa wana taarifa mimi ni muuzaji wa madawa ya kulevya.
Athar waloniachia ni kuwa pasi yangu ya kusafiria imewekewa alama kokote duniani nitakapotia
mguu naangaliwa kwa makini zaidi.

Nimeyashuhudia haya mpaka wa Namanga, Uwanja wa Ndege Amsterdam (Schipol), Detroit nimepata
mikasa New York nk. nk.

Juu ya vurugu hiz zote Waamerka wakanialika kwao na wakanipa fursa kuzungumza katika vyuo
vikuu vyao viwili - Ohio na Northwestern, Chicago.

Hiyo hapo chini ndiyo ilikuwa ''opening'' yangu katika ile mada ''Terrorism in East Africa the Tanzanian
Experience:''
''In order to understand the Tanzanian political environment and to appreciate and comprehend the impact of ‘terrorism' as defined by the United States, first we need to point out that this phenomenon was and still is a problem which involves the government of the United States and to a limited extent its allies.

The shock of 9/11 forced the United States to not only to include its allies in its war against terrorism but also other governments not forming part of the United States geo-political sphere like Tanzania. It is in this way that Tanzania and other African countries were included in the war against terrorism.

Secondly, we have to look into the perception of associating Islam as an ideology which nourishes terrorism, the notion which seems to be gaining ground. Thirdly, we have to qualify the notion of ‘terror.'

What kind of violence qualifies to be considered as an act of ‘terrorism' and therefore deserving condemnation? At the moment it seems it is only when civilians are targeted for attack that the act assumes the connotations of ‘terror.'

This is in contrast where modern weaponry is used by nation states in annihilation of a people. Examples of the latter are abound.

The sight of a suicide bomber in television screens is just as familiar as the sight of the Apache helicopters supported by heavy fortified tanks bombing, killing and maiming innocent civilians, be it in Afghanistan, Gaza or Iraq.

Now where do we draw the line between these two scenarios?''

Wickama na Wanajamvi,

Hivi hakuna cha kuchangia katika paper ile ila hilo la Robert Royall kuzungumza ndani ya ukumbi wa Bunge
au upenuni?

Basi kinachoonekana muhimu ni kuzomea, kuzomea, kuzomea tena jambo ambalo kwa hakika halina maana
hata kidogo.
 
Samahani mzee mohamed, naomba kufahamishwa kuhusu waraka wa kigoma marima kuhusu elimu ya tanzania
 
Yericko,

Mshauri Mag3 awe anatoa reference za majedwali yake na sio kutubandikia tu. Kwani jedwali lisilo na source halina tofauti na kelele za wazee wa vijiweni au vibaraza vya siasa.
 
Wickama,
Kejeli, kebehi mbali....

Robert Royall aliwasilisha paper Bungeni sasa kama ilikuwa kuhutubia au kaongea pembeni

lilikuwa kwa uungwana kusema, ''Maalim balozi hakuhutubia ila alikuwa na mazungumzo.
Waungwana wasomi makini wangefanya hivyo.

Ndugu zangu hilo kwao imekuwa mwao.
Niliyosema kwao hayakuwa na maana yoyote ingawa Waamerika kwa hakika waliumizwa sana
na majibu yangu kwao.

Nini yalikuwa matokeo ya hiyo paper?
Taarifa zilirushwa Tanzania na haikupita muda nikakamatwa.

Wakanambia wananihoji kwa kuwa wana taarifa mimi ni muuzaji wa madawa ya kulevya.
Athar waloniachia ni kuwa pasi yangu ya kusafikria imewekewa alama kokote duniani nitakapotia
mguu naangaliwa kwa makini zaidi.

Nimeyashuhudia haya mpaka wa Namanga, Uwanja wa Ndege Amsterdam (Schipol), Detroit nimepata
mikasa New York nk. nk.

Juu ya vurugu hiz zote Waamerka wakanialika kwao na wakanipa fursa kuzungumza katika vyuo
vikuu vyao viwili - Ohio na Northwestern, Chicago.

Hiyo hapo chini ndiyo ilikuwa ''opening'' yangu katika ile mada ''Terrorism in East Africa the Tanzanian
Experience:''
[FONT=&]''In order to understand the Tanzanian political environment and to appreciate and comprehend the impact of ‘terrorism' as defined by the United States, first we need to point out that this phenomenon was and still is a problem which involves the government of the United States and to a limited extent its allies.

The shock of 9/11 forced the United States to not only to include its allies in its war against terrorism but also other governments not forming part of the United States geo-political sphere like Tanzania. It is in this way that Tanzania and other African countries were included in the war against terrorism.

Secondly, we have to look into the perception of associating Islam as an ideology which nourishes terrorism, the notion which seems to be gaining ground. Thirdly, we have to qualify the notion of ‘terror.'

What kind of violence qualifies to be considered as an act of ‘terrorism' and therefore deserving condemnation? At the moment it seems it is only when civilians are targeted for attack that the act assumes the connotations of ‘terror.'

This is in contrast where modern weaponry is used by nation states in annihilation of a people. Examples of the latter are abound.

The sight of a suicide bomber in television screens is just as familiar as the sight of the Apache helicopters supported by heavy fortified tanks bombing, killing and maiming innocent civilians, be it in Afghanistan, Gaza or Iraq.

Now where do we draw the line between these two scenarios?'' [/FONT]

Wickama na Wanajamvi,

Hivi hakuna cha kuchangia katika paper ile ila hilo la Robert Royall kuzungumza ndani ya ukumbi wa Bunge
au upenuni?

Basi kinachoonekana muhimu ni kuzomea, kuzomea, kuzomea tena jambo ambalo kwa hakika halina maana
hata kidogo.

Hapana Mzee MS; Unanielewa daima napenda kuisema ile kweli siwi kinganganizi cha upande kwa sababu za kishabiki na sipendi kutanguliza motives fulani kunyima au kutoa haki hiyo YOU included. This was a very good paper and ideas zake hata Wamarekani wenyewe wameshazitolea mada sana kwa vile wao pia ni MAJERUHI. Desturi ya Ku-single out moslems kwenye facilities zao za kama viwanja vya ndege na kuwa kagua kwa ziada ni kitu ambacho ni mwehu tuu atakana. Ni ukweli. Ni sasa tuu zimeanza kupungua. Hii yote ni madhara ya ya ku-stereotype community Fulani kwa vile wana dini tofauti na yako. Yaani kama huu wehu hapa unaojengeka wa kila kitu against UKATOLIKI. Juzi nilikuwa naangalia mada Fulani ambayo Jeshi la Marekani lenyewe ghafla linapitia mitaala yake upya baada ya kugundua kuna masomo ambayo sumu mbaya dhidi ya uislamu na waislamu imepandikizwa (Hii walitonywa na CAIR kwa ushirikiano na Aljazeera- na wakapelekewa course contents ya hizo baadhi ya courses). Leo sina muda sana nitajakutumia link. Harakati za kuusafisha Uislamu na kutafuta vyanzo vya sumu dhidi yao kule kwao wanahanagaikia wengi pamoja na taasisi inaitwa CAIR (please search) na wameanza kupata mafanikio makubwa sana. Ulaya na sehemu za Marekani Communities za Kiislamu huwa zina mpaka "open-days" za kila anayependa kutembelea misikiti kwa wasio kuwa waislamu na kutoa copies za free Quran wamejikuta watu wengi wameanza kuwapa support.

Mzee MS terror ina lengo la kujenga kitu kimoja tuu. HOFU. Huku Kwetu ni tangu wajerumani walipokuwa wananyonga watu hadharani, hiyo ni terror. La msingi hapa ni kuwa kwa sisi Waislamu ni vizuri kutotumia terror kwa vile inaubomoa zaidi uislamu kuliko kuujenga. Hii ni kando ya mapigano kama ya wapalestine/Zimbabwe/Namibia/ etc wanaotaka angalau nchi yao. Yule kijana Mnigeria aliyeshikwa nusra alipuwe ndege inaenda Marekani na yeye ni abiria ni mfano hapa. Kama ulikuwa New York unamsubiri mwanao ambaye ni abiria kwenye same plane anatoka masomoni utajua ungejihisi nini. Ni tendo moja kama la yule bwana basi kila dhalimu anakuwa amepata sababu ya kuwahujumu waislamu.

Kiasli, hawa watu wa nchi za magharibi lazima pia tujuwe wengi hawaujui Uislamu zaidi ya Campaigns za kuupinga zinazoonyeshwa na TV zao. Lakini sio kwamba ni wabaya na madhalimu kiujumla. Ndio maana watu kama CAIR nawasifu kuwa wametumia a very intelligent approach ku-engage suala hili.

Kwa hiyo kukujibu swali lako ni kuwa hii paper ilikuwa nzuri ya kweli na ningependa hata kupata a full version kama kuna mahali ipo online ili nijifunze maongezi na mifano yake. Na pia nigependa kupata hata za wachangiaji wengine. Just tell me the site.

Hii ni kinyume mzee MS, na baadhi yetu walivyopata ajira ya kum-single out binadamu mmoja tuu kama Nyerere na kumshushia kila aina ya lawama na lalamiko hata yale ambayo ni ya waislamu wenyewe kwa sababu kufanya hivyo kunaleta madhara katika dini hii na jamii yake. Na sio hiyo tu, hatuwezi kumrudisha Nyerere atueleze chochote kati ya haya yanayotufanya tuchafuane humu JF. Mara zote tukiulizana humu haya jamani tufanye nini HAKUNA JIBU.

Nakushukuru kunipa stahi ya swali la maana kama hili. Rest assured kama kuna sehemu upo kwenye haki you will have my 100% support, unless SIJUI. Bahati mbaya muda haunitoshi ningekupa mifano mingi ya kukuunga mkono. Mwenyezi Mungu atakulipa kwa nia yako. Shukrani.
 
Kwa Al Akhiy gombesugu; naona unaanza kwa kumpa like Al Akhiy shariff Ritz kwa "copy and paste" aliyoiweka hapa, mbona hataji "source" yake? Pili, mara nyingi tumeombwa tusishabikie source kutoka kwa Wazungu, hapa imekuwaje tena? Hayo tuyaache turudi kwenye maandishi yako Al Akhiy gombesugu; nianze kwa nukuu hii hapa;
gombesugu, naomba nikupe darasa kidogo kuhusu kinachoitwa uchaguzi na kwa nini uchaguzi wa mwaka 1961 haukuwa halali. Wapiga kura waliojiandikisha walikuwa 93,918 na waliopiga kura walikuwa 90,595 sawasawa na asilimia 96.5%; huo mwitikio wa wananchi ni excellent ukilinganisha na asilimia chini ya 40% waliojitokeza kwenye uchaguzi mkuu Tanzania mwaka 2010. Je, matokeo yalikuwaje? Chungulia mwenyewe;

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]
Chama​
[/TD]
[TD]
Kura​
[/TD]
[TD]
Asilimia​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afro-Shirazi Party (ASP)
[/TD]
[TD]45,172
[/TD]
[TD]50.6%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar Nationalist Party (ZNP)
[/TD]
[TD]31,681
[/TD]
[TD="width: 78"]35.3%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"]Zanzibar & Pemba Peoples Pary (ZPPP)
[/TD]
[TD="width: 74"]12,411
[/TD]
[TD="width: 78"]13.9%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"]Kura zilizoharibika
[/TD]
[TD="width: 74"]1,331
[/TD]
[TD="width: 78"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 323"]Jumla ya kura zilizopigwa
[/TD]
[TD="width: 74"]90,595
[/TD]
[TD="width: 78"]100%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Al akhiy gombesugu, hata ukizijumlisha kura za ZNP na ZPPP hazifikii kura walizopata ASP; sasa Al akhiy, huo ushindi wa halali uliozidi kuwaweka wazalendo utumwani kwenye visiwa vya Unguja mikononi mwa mkoloni mwarabu ni upi? Je kama wazalendo kwa msaada wa Field Marshal John Okello hawakukubali kuendelea kuwa chini ya Sultani Sayyid Jamshid bin Abdullah Al Said na wakaamua kumtimua, kosa lao nini? Of course naelewa uchungu mlio nao masalia ya Usultani lakini hapa mmenoa, katu mwarabu harudi!

copy; Al akhiy wote, joka Kuu, Nguruvi3, Yericko Nyerere, Mzee Mwanakijiji, Ngongo, Wickama, Jasusi, WildCard na wazalendo wote mnaoitakia mema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Muheshimiwa Mag3,

Salaam. Sijakusikia kitambo ndugu yangu,nakumbuka mara ya mwisho ulikuwapo hapa jamvini ukisifia enzi zako miaka ya 1960's ulipokua ukilewa pita kiasi bila ya kujihurumia huo mwili wako. Au ulifikiri usingefikia huo uzee ulokukuta sasa!?

Nastaajabu,kama kweli enzi hizo ulikua mfanyakazi mwadilifu na mjenga Taifa letu kwa utuvu kama unavyodai hivi sasa!? Kumbuka Chadema yenu kama itaingia madarakani kama mtakavyo,na wewe ukifanikiwa kupata Cabinet Post kama ulivyoahidiwa;basi mimi binafsi nitakuwekea upya matambara yako yoote haya ya pombe na vibinti vya watu wakti huo kama ulivyotukhadith hapa jamvini!ahaha!!

Kurejea kwenye mada;mimi nafikiri ulitakiwa ujibu kwa kina ama ukanushe ile post aloweka Al Akhiy Shariff Ritz,sio kuulizia source yake.
Halafu mbona na wewe unakua kama huyo Mwanakijiji!? Naona pia japo unamlaumu Ritz,lakini nawewe umeleta statistics/informations ambazo hatujui source yake!? Au ni walewale CIA wenu!?

Kukuonyesha yakuwa ile Serikali ya Zanzibar ya before 1964 kuwa ilikua ni ya halali hata United Nations wallitambua bila ya kipingamizi chochote,na Waziri Mkuu Sheikh Mohammed Shamte alialikwa kuhutubia pale General Assembly New York.

Nakufahamisha;yakuwa hapa sisi hatuko kwa ajili ya kuutetea Uarabu wala Waarabu. Japo tunajua nyinyi Uarabu/Waarabu wanakupeni taabu mno ndani ya nafsi zenu kwasababu ya chuki zenu kwa Uislamu na Waislamu.

Kama utapitia posts zangu za awali,niliwahi kuzungumzia ule mwaliko na fadhila nilopewa ya kukutana na Al Khalifa Sultan Jamshid pale Portsmouth. Katika mazungumzo yale alinibainishia yakuwa hana nia wala madhumuni tena ya kurejea hapo Zanzibar. Nafikiri alizingatia kwa kina hali iliyopo hivi sasa na mabadiliko makubwa ya mambo mengi Duniani na pia hali halisi ya kisiasa hapo Tanzania kwa ujumla.

Kwa hiyo wape khabari na hao jamaa zako woote hapo walokupa hizo LIKE kwa statistics zisizo na source.

Jaribuni kujitahidi msome kiundani na kwa kina History ya Uislam ili mpate maarifa japo kiduchu ya kutofautisha kati ya Uislam na Uarabu au Cultures nyingine ndugu zanguni.

Nimefurahi kukusikiza.

Shukran na tuendelee na mnakasha ndugu yangu.
 
Barubaru,

..mbona fatwa ilishapitishwa zamani wakati Mwalimu alipohutubia UN??

..hukusikia kwamba mwenge wa uhuru wa Tanganyika utamulika hata nje ya mipaka yetu na kuleta heshima pale palipo na dharau??

..fatwa hiyo ndiyo iliyowapelekea Watanganyika, na baadaye wa-Tanzania, kusaidia ukombozi wa Msumbiji,Zimbabwe, Angola, Namibia, etc etc ili kuondosha dhuluma ktk mataifa hayo na kurudisha heshima ya mtu mweusi.

..mambo ya uchaguzi wa Zanzibar yanatuhusu kwasababu vyama vilivyoshindwa uchaguzi viliamua kuunda coalition na kukizuia chama cha Waafrika kuunda serikali.

..vyama hivyo vilifanya hivyo kwa kuelekezwa na sera zao za DHARAU na UBAGUZI dhidi ya WAAFRIKA wenyeji wa ZANZIBAR.

..sheria za uchaguzi za Zanzibar zilipaswa kuzuia vyama vilivyoshindwa uchaguzi, kuungana dhidi ya chama kilichoshinda, na kuunda serikali. Sheria ilipaswa kuelekeza kwamba mwenye viti vingi aungane na chama kingine na kuunda serikali.

..AFRO SHIRAZ PARTY walishinda popular vote, zaidi pia walipata viti vingi, sasa mlipowatenga ktk kuunda serikali mlitegemea nini kama siyo mapinduzi???

JokaKuu,

Naona inanilazim ku-clarify hicho kipande nilicho-bold hapo juu.

Wewe khabari na History ya Zanzibar itakupa taabu mno kama hao wenzio wengi tu.

Kila Nchi ina taratibu na kanuni zake za Uchaguzi kama ilivyokua Serikali ya Zanzibar kabla ya 1964 wakti huo.

Sharia za uchaguzi za Coalition Government au Serikali ya mseto, hutofautiana na kila nchi. Kumbuka yakuwa si lazima ati iku-bind yakuwa nani wa kushirikiana nae kutokana na idadi yake ya kura alopata! Angalia mifano ya hivi karibuni ya Coalition Governments za Uk,Italy,Germany na hata huko Pakistan na kwingineko kwingi tu.

Au nyinyi hamkupenda, kwa sababu utaratibu ule ulikua ukifanywa na kufuatwa na Waislam!?

Ndo maana hata hao ASP ati mnaowaita Wabantu/WaAfrika kwa kutokujua kwenu,nao pia walikubali kushiriki uchaguzi ule huku wakitambua uhalali wake. Walifanza kampeni na kuhamasisha watu kila pembe na kona ya visiwa vile, kama dasturi na taratibu za wakti huo zilivyokubalisha.

Lakini kama mlivyofanya Chadema hapo Tanzania; mara ASP waliposhindwa ndo ati wakaanza kulalama yakuwa uchaguzi haukuwa halali!? Je kama wangeshinda wao ASP,ati wangesema uchaguzi ndo halali!? Hizi ni akili za kitoto mno,japokuwa sisi ni watu wa Madrassa lakini kwa hili haiingii akilini asilan!

Kwa kifupi hao ASP hawakufikisha idadi ya kura-% ilotakiwa ili wao peke yao waweze kuunda Serikali kama kanuni za Uchaguzi zilivyokua zinataka.

ZN&ZPPP,waliweza kufanya majadiliano ya kina na kuunda Serikali ya Mseto. Kulikuwa hakuna kipengele cha uchaguzi kilichowakata au kuwazuia kisharia kuunda Serikali ya pamoja ati tu kwa kuzingatia idadi ya kura walizopata.

Shukran.

Cc;Ritz
 
Ritz,

..tunajuana huku mpaka na utani baina yetu.

. gombesugu kasema yeye kabila lake "mswahili."

JokaKuu,

Salaam ndugu yangu.

Najua hilo kabila langu la Mswahili lazim litakusumbua kiduchu kichwani mwako.

Maana najua hilo neno Mswahili,kwenu nyinyi ni derogatory term na pia kwa sababu linahusiana na Uislam basi ndo matata yanazidi.

Nafikiri kuna wakti khasa "enzi ya Mwalimu";ililazim hata baadhi ya Waswahili pia waogope na kujisikia vibaya ati kuitwa Waswahili. Maana ilikua ni kama vile kumwita "Black person"...Niger au Mulato khasa huku nchi za Ulaya magharibi na Amerika.

Nilishawahi kunena awali hapa jamvini;yakuwa sisi Waswahili wengi wetu tuna michanganyiko makhusus,na ni aghalabu ati kukuta sisi tunafanza ubaguzi wa aina yeyote ule.

Takupa mfano wa Waswahili wengine unaowafahamu hapa jamvini;Kadogoo,Boko Haram,The Big Show,Sheikh Mohammed Said,Al Habiby Shariff Ritz na wengineo wengi pita kiasi.

Kama utapenda tafadhali pitia hiki kitabu kiduchu ili "ufunguke":

"Swahili Origins"
by James De Vere Allen,East Africa Education Publisher 1993.

"Hali ya kutatanisha ya Kiswahili hivi leo Afrika Mashariki" by Prof. TSY Sengo. www.qucosa.de/data

Shukran.

NB: Colour is the beauty and mystery of Afrikan people. Our skin colour is
blessed with different shades and shapes. Our hair also differ with texture and smoothness.

These inexplicabe variations remain mysterious to many great Scholars and Anthropologists for centuries.

Cc;Ritz
 
Kwa kupenda ukuu tu hamjambo! ati mkuu wa chuo! Mkuu wa chuo au Mkuu wa Choo?

atakuwa wa vile vyuo vyetu vya buguruni,tandika,ilala na kiwalani. Vyenye kujaza ujinga watoto eti ukikojolea maandishi unakuwa mjusi au chizi
 
Yericko,
Ukiwa una taarifa za Okello kupanga mapinduzi hebu mwaga
hapa jamvini tufyonze ilm sote.

Mie nimeweka hapa ya Kipumbwi nyote mmestarehe.
Nimeweka na majina matatu ya wapishi wakuu -
Bwana Mkubwa, Hanga na Kambona.

Sikuishia hapo nikaweka na wasaidizi - Jumanne Abdallah,
Ali Mwinyi Tambwe na nakuongezea lingine huyu mission
yake ilikuwa Unguja - Issa Mtambo.

Skuishia hayo nikaweka na punda wao wa kuwabebea mizigo
mizito - Mohamed Omar Mkwawa, Jimmy Ringo na Victor Mkello.

Kisha nikamalizia na majembe yao ya kazi - jeshi mamluki la
Wamakonde.

Weka taarifa za Okello siyo kutupa majina tu - name throwing si pake
penye ngoma nzito kama hii.

Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Niwie radhi maana kitambo sijakuamkua Al Habiby. Nilitingwa kiduchu na vijishughuli hapa kibaruani.

Hapo juu umemtaja Alhaj Issa Mtambo. Namkumbuka uzuri mno. Alikua ni Sahib mkubwa wa Mzee wangu. Nakumbuka zamani wakija saana nyumbani na Sahib yake Rais Ali Mwinyi,wakti huo alikua ni Waziri wa mambo ya ndani nafikiri.

Alipopatwa na maradhi Rais Mwinyi alishughulika uzuri kumuuguza mwenzie. Nami niliwahi kwenda kumwamkua mara kadhaa pale kwake.
Alipofariki nilikuwapo hapo D'salaam na nilikwenda pale kwake msibani.

Nafikiri alizikiwa kwao Korogwe. Alikua ni mtu mtaratibu mno na akinipenda saana maskini.

Nafikiri mtoto wake Salim Mtambo,mpaka leo ana mahusiano mazuri mno na Rais Mwinyi na family yake.

Najua kuwa alikua karibu mno na Oscar Kambona. Na ni kati pia ya watu Nyerere alowatumia baadae kumwangamiza huyo Kambona.

Nakumbuka Babu Shariff Abdallah Al Attas,ndo alokuwa Best Man wake alipokwenda kuoa kule Mwanza kwa jamaa zao kina Marehemu Balozi Idd Mtingwa.

Najua pia alikua Zanzibar "kusoma dini" kwa Sheikh Abdallah Saleh Farsy. Najua pia uhusiano wake ulokua "wa karibu mno" kikazi na Mzee KK.

Najua pia ndie yeye alomsaidia mno Sheikh Nurdin Hussein,alipopata matatizo na Nyerere. Na ndie yeye alomsaidia Sheikh Nurdin Hussein pia kupata ile ardhi kubwa kule Mgombezi na kufungua ile Al Qadiria kubwa.

Pia alikuwa na mahusiano makubwa mno na family ya kina Sheikh Mohammed Ayoub wa Tanga,khasa yule ndugu yao alokuwa sana D'Salaam-Ahmad Ayoub.

Kwa kifupi,kuna vitu nami pia vyanitatiza kiduchu. Lakini Insha Allah,naviweka moyoni mpaka tukikutana tuzungumze kwa undani na nikunong'oneze niyajuayo. Maana hawa woote ni Wazee wetu,na ni wajibu wetu kuwastiri.

Ahsanta.

Cc;Ritz

Al Akhiy

Najua nawe pia unamjua Mzee Mtingwa uzuri.
 
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) katika Qur-aan 49:13: Enyi watu, hakika Tumewaumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke na Tumewajalieni Mataifa na Makabila ili mpate kujuana, hakika mbora wenu mbele ya Allaah ni yule mchaji Mungu zaidi
Tatizo lako wewe ni mnafiki sana si wewe hapo ndiyo umejisifia kwa uafrika wako wakati mnamshambulia Shariff gombesugu, saizi tena unajifanya ku-quote Aya za Qur'an tukufu...ni mimi nakushushia Aya kutoka Sulat Al-Mumtah'inah.
60_1.gif

1. Enyi mlio amini! Msiwafanye adui zangu na adui zenu kuwa marafiki mkiwapa mapenzi, na hali wao wamekwisha ikataa haki iliyo kujieni, wakamfukuza Mtume na nyinyi kwa sababu mnamuamini Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu. Mnapotoka kwa ajili ya Jihadi katika Njia yangu na kutafuta radhi yangu, mnafanya urafiki nao kwa siri, na Mimi nayajua mnayo yaficha na mnayo dhihirisha. Na mwenye kufanya hayo kati yenu basi ameipotea njia ya sawa.
Aya inaendelea hapa chini
60_9.gif

9. Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kufanya urafiki na wale walio kupigeni vita, na wakakutoeni makwenu, na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu. Na wanao wafanya hao marafiki basi hao ndio madhaalimu.
Swali: Kumbe nyie siyo waafrika na wala hamkuwa mnataka kujinasibu na uafrika huku Afrika mlikuwa mnasubiri nini? Mli-renew licence kweli??
Mbinu za kudanganya watu kwa mgongo wa dini: Hili walianza tangu zamanai kama ilivyo kwenye Kwaheri Uhuru (Mzee Mkwawa&#8230😉. Bado wanalo, na viji "aya ambavyo si mahali pake"…
Hangalia hapa ulivyokuwa mnafiki kuna wakati unajifanya kutoa pole ati kwa wale walipata matatizo kwenye mapinduzi, hapa Aya za Allah unaziita viji aya...ha haa haaa, walahaih nasikia raha kukusoma.

gombesugu, THE BIG SHOW, Kadogoo,
 
JokaKuu,

Salaam ndugu yangu.

Najua hilo kabila langu la Mswahili lazim litakusumbua kiduchu kichwani mwako.

Maana najua hilo neno Mswahili,kwenu nyinyi ni derogatory term na pia kwa sababu linahusiana na Uislam basi ndo matata yanazidi.

Nafikiri kuna wakti khasa "enzi ya Mwalimu";ililazim hata baadhi ya Waswahili pia waogope na kujisikia vibaya ati kuitwa Waswahili. Maana ilikua ni kama vile kumwita "Black person"...Niger au Mulato khasa huku nchi za Ulaya magharibi na Amerika.

Nilishawahi kunena awali hapa jamvini;yakuwa sisi Waswahili wengi wetu tuna michanganyiko makhusus,na ni aghalabu ati kukuta sisi tunafanza ubaguzi wa aina yeyote ule.

Takupa mfano wa Waswahili wengine unaowafahamu hapa jamvini;Kadogoo,Boko Haram,The Big Show,Sheikh Mohammed Said,Al Habiby Shariff Ritz na wengineo wengi pita kiasi.

Kama utapenda tafadhali pitia hiki kitabu kiduchu ili "ufunguke":

"Swahili Origins"
by James De Vere Allen,East Africa Education Publisher 1993.

"Hali ya kutatanisha ya Kiswahili hivi leo Afrika Mashariki" by Prof. TSY Sengo. www.qucosa.de/data

Shukran.

NB: Colour is the beauty and mystery of Afrikan people. Our skin colour is
blessed with different shades and shapes. Our hair also differ with texture and smoothness.

These inexplicabe variations remain mysterious to many great Scholars and Anthropologists for centuries.

Cc;Ritz

GOMBESUGU,
Asanta kwa uchambuzi wako kuhusu Uswahili, Kiswahili na Waswahili! umenikumbusha kisa Cha Mwalimu Nyerere na wageni wake Waswahili wa Moshi Mjini! mwanae Mwalimu alioa Mswahili na ndipo Mwalimu akawaalika wakweze Makongoro nyumbani kwake Butiama ili kufahamiana.
Wazee wa Kiswahili waliitikia mwaliko wa Baba wa Makongoro na kutua Kijijini kwa Mwalimu wakati wa jioni na kupumzika. Siku ya pili mnamo alfajiri sana Mwalimu aliamka huku kavaa kaptura na kubeba jembe kuelekea shambani kwake huku akiawaacha wageni wake wamelala!

Mwalimu alirudi nyumbani mnamo kwenye saa 4 asubuhi na kuwakuta wageni wake wanakunywa chai na kuanza kuwatania huku akicheka....haa haa haa Waswahili bwana haa haa yaani ndio mnaamka saa hizi! wale wazee ilibidi nao wacheke lakini kuna Mzee mmoja aliondoka na dukuduku moyoni na kujiuliza lengo la Mwalimu lilikuwa ni kuwaalika au kuwakebehi?
 
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Niwie radhi maana kitambo sijakuamkua Al Habiby. Nilitingwa kiduchu na vijishughuli hapa kibaruani.

Hapo juu umemtaja Alhaj Issa Mtambo. Namkumbuka uzuri mno. Alikua ni Sahib mkubwa wa Mzee wangu. Nakumbuka zamani wakija saana nyumbani na Sahib yake Rais Ali Mwinyi,wakti huo alikua ni Waziri wa mambo ya ndani nafikiri.

Alipopatwa na maradhi Rais Mwinyi alishughulika uzuri kumuuguza mwenzie. Nami niliwahi kwenda kumwamkua mara kadhaa pale kwake.
Alipofariki nilikuwapo hapo D'salaam na nilikwenda pale kwake msibani.

Nafikiri alizikiwa kwao Korogwe. Alikua ni mtu mtaratibu mno na akinipenda saana maskini.

Nafikiri mtoto wake Salim Mtambo,mpaka leo ana mahusiano mazuri mno na Rais Mwinyi na family yake.

Najua kuwa alikua karibu mno na Oscar Kambona. Na ni kati pia ya watu Nyerere alowatumia baadae kumwangamiza huyo Kambona.

Nakumbuka Babu Shariff Abdallah Al Attas,ndo alokuwa Best Man wake alipokwenda kuoa kule Mwanza kwa jamaa zao kina Marehemu Balozi Idd Mtingwa.

Najua pia alikua Zanzibar "kusoma dini" kwa Sheikh Abdallah Saleh Farsy. Najua pia uhusiano wake ulokua "wa karibu mno" kikazi na Mzee KK.

Najua pia ndie yeye alomsaidia mno Sheikh Nurdin Hussein,alipopata matatizo na Nyerere. Na ndie yeye alomsaidia Sheikh Nurdin Hussein pia kupata ile ardhi kubwa kule Mgombezi na kufungua ile Al Qadiria kubwa.

Pia alikuwa na mahusiano makubwa mno na family ya kina Sheikh Mohammed Ayoub wa Tanga,khasa yule ndugu yao alokuwa sana D'Salaam-Ahmad Ayoub.

Kwa kifupi,kuna vitu nami pia vyanitatiza kiduchu. Lakini Insha Allah,naviweka moyoni mpaka tukikutana tuzungumze kwa undani na nikunong'oneze niyajuayo. Maana hawa woote ni Wazee wetu,na ni wajibu wetu kuwastiri.

Ahsanta.

Cc;Ritz

Al Akhiy

Najua nawe pia unamjua Mzee Mtingwa uzuri.
Shariff gombesugu,

Walaahai nasoma bayana zako unanikumbusha mbali hawa Wazee wetu unavyowataja, Mzee Mtingwa mke wake alikuwa mtoto wa Marehemu Sheikh Amin Abadalah ambaye Nyerere alimuweka kizuizini sasa hivi wote ni marehamu Mzee Mtingwa, Mke wake pamoja na Nyerere.

Mzee Mtingwa alikuwa balozi wa Tanzania nchini Marekani walikuwa wakifanya kazi na mzee wangu.

Shariff gombesugu, sisi waswahili wauza kahawa wenye akili za Madrassa tukikumbusha habari hizi walaaha nasikia raha...ha ha haa..
 
Last edited by a moderator:
GOMBESUGU,
Asanta kwa uchambuzi wako kuhusu Uswahili, Kiswahili na Waswahili! umenikumbusha kisa Cha Mwalimu Nyerere na wageni wake Waswahili wa Moshi Mjini! mwanae Mwalimu alioa Mswahili na ndipo Mwalimu akawaalika wakweze Makongoro nyumbani kwake Butiama ili kufahamiana.
Wazee wa Kiswahili waliitikia mwaliko wa Baba wa Makongoro na kutua Kijijini kwa Mwalimu wakati wa jioni na kupumzika. Siku ya pili mnamo alfajiri sana Mwalimu aliamka huku kavaa kaptura na kubeba jembe kuelekea shambani kwake huku akiawaacha wageni wake wamelala!

Mwalimu alirudi nyumbani mnamo kwenye saa 4 asubuhi na kuwakuta wageni wake wanakunywa chai na kuanza kuwatania huku akicheka....haa haa haa Waswahili bwana haa haa yaani ndio mnaamka saa hizi! wale wazee ilibidi nao wacheke lakini kuna Mzee mmoja aliondoka na dukuduku moyoni na kujiuliza lengo la Mwalimu lilikuwa ni kuwaalika au kuwakebehi?

Kadogoo,

Salaam Al Akhiy. Wallahi,nakusikia kwa utuvu.

Japo nalicheka hapa kiduchu kupitia baadhi ya posts zako;ati unamrekebisha yule jamaa lile jina lake!ahaha!!

Ile mishikaki ya yule Mzee Nasib,nami nilikua nikiipenda mno. Na pia nilikua nikipenda Mama mmoja wa Kiswahili akileta sambusa zake murua pale kwenye ile Restaurant kwenye lile jengo lilokua CCM Mkoa pale karibu na ile round about nafikiri!?

Nilikua nikenda saana zamani hapo Moshi hasa Marangu. Maana nilipata mchumba,lakini ghafla nikatafutiwa masuala ya kuletwa huku na Mzee wangu...sasa sijui labda nilifanyiwa kusudi!?ahaha!!

Nina khabari nyingi na ndefu za Arusha na Moshi... Tukikutana nitakuchekesha mno Al Akhiy! Na mpaka sasa tuna family/jamaa zetu pale Arusha miaka mingi mno wapo pale.

Nakumbuka zamani nikitoroka JKT Mgambo Kabuku,basi nakimbilia Arusha kwa Aunt yangu. Huku Mzee na Mother yangu wakijua ati nipo Jeshini nateseka!ahaha!!

Unajua Mzee wangu alikataa kabisa mimi kukwepa JKT;ati ndo uzuri nikapate ukakamavu na kuzidi kulipenda Taifa!?ahaha!! Nafikiri pia ni labda kujisifu kwa wenzie huko makazini au mbele ya Nyerere. Si Unajua "enzi ya Mwalimu" lazim uonyeshe yakuwa nyoote wewe na family yako mnaiabudu nchi na fikra za Mwalimu!ahaha!!

Nakumbuka kuna wakati Salim Ahmed,wakati akiwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi. Ati wanasifia na Mzee wangu jinsi gani,tangia nimerejea toka JKT nimebadilika na nimezidi ustaarabu!ahaha!! Hao Wazee yaani Nyerere aliwadanganya saana pita kiasi. Yaani wangejua vile vituko vya huko JKT nafikiri wasingethubutu kusema lolote,lakini mimi nilikua nawasikiliza tu!ahaah!! Mimi Mswahili,ustaarabu nilizaliwa nao!ahaha!!

Nilipokuja na Wifey mara ya mwisho tulikua pale Tengeru...pana Lodge moja nzuri na tulivu mno. Tulikaa siku kiduchu maana mambo na safari zilikua nyingi mno. Nikija safari hii kama utakuwa hapo Afrika, basi italazim Shariff Ritz anilete popote ulipo ili tucheke japo kiduchu vituko vya Waheshimiwa Nguruvi3 na Mag3!ahaha!!

Insha Allah Al Akhiy,tutazungumza siku nyingine japo kiduchu. Je bado upo Cairo au usharejea...karibu saana hapa Al Habiby.

Shukran.
 
Shariff gombesugu,

Walaahai nasoma bayana zako unanikumbusha mbali hawa Wazee wetu unavyowataja, Mzee Mtingwa mke wake alikuwa mtoto wa Marehemu Sheikh Amin Abadalah ambaye Nyerere alimuweka kizuizini sasa hivi wote ni marehamu Mzee Mtingwa, Mke wake pamoja na Nyerere.

Mzee Mtingwa alikuwa ofisa wa ubalozi Tanzania nchini Marekani walikuwa wakifanya kazi na mzee wangu.

Shariff gombesugu, sisi waswahili wauza kahawa wenye akili za Madrassa tukikumbusha habari hizi walaaha nasikia raha...ha ha haa.

Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Nakusoma kwa utuvu uso mashaka. Naona mipini yako jamaa wanaiogopa;maana Mipini na bayana zako ni flexible,ghafla unakua unahama toka kwenye Historia, na kuivunja kwa Mipini ya nguvu hiyo Chadema yao. Halafu warejea tena kwa ulaini kwenye jukwaa hili na kumshindilia Mpini mwingine wa kichwa tena bila ya kumhurumia ndugu yangu Mag3!ahaha!! Jaribu kuwa na huruma japo kiduchu Al Akhiy.

Wallahi,Al Akhiy kwa hivi sasa nataka umfanzie japo huruma kiduchu huyo Mag3. Nataka unishindilie Mipini yako adimu yule Bwana wa Kicheba,maana lile "pakacha letu" mpaka leo hajamaliza!ahaha!!

Unajua nipo kibaruani,na sijafanya kazi yoyote tangia asubuhi nina kazi ya kucheka tu hivi vituko vya hapa jamvini. Sasa hawa jamaa hapa wanastaajabu,mbona nacheka na screen peke yangu....nami nawajibu ni comedy zetu za ki-Afrika tu!ahaha!!

Shukran Al Akhiy.
 
Kadogoo,

Salaam Al Akhiy. Wallahi,nakusikia kwa utuvu.

Japo nalicheka hapa kiduchu kupitia baadhi ya posts zako;ati unamrekebisha yule jamaa lile jina lake!ahaha!!

Ile mishikaki ya yule Mzee Nasib,nami nilikua nikiipenda mno. Na pia nilikua nikipenda Mama mmoja wa Kiswahili akileta sambusa zake murua pale kwenye ile Restaurant kwenye lile jengo lilokua CCM Mkoa pale karibu na ile round about nafikiri!?

Nilikua nikenda saana zamani hapo Moshi hasa Marangu. Maana nilipata mchumba,lakini ghafla nikatafutiwa masuala ya kuletwa huku na Mzee wangu...sasa sijui labda nilifanyiwa kusudi!?ahaha!!

Nina khabari nyingi na ndefu za Arusha na Moshi... Tukikutana nitakuchekesha mno Al Akhiy! Na mpaka sasa tuna family/jamaa zetu pale Arusha miaka mingi mno wapo pale.

Nakumbuka zamani nikitoroka JKT Mgambo Kabuku,basi nakimbilia Arusha kwa Aunt yangu. Huku Mzee na Mother yangu wakijua ati nipo Jeshini nateseka!ahaha!!

Unajua Mzee wangu alikataa kabisa mimi kukwepa JKT;ati ndo uzuri nikapate ukakamavu na kuzidi kulipenda Taifa!?ahaha!! Nafikiri pia ni labda kujisifu kwa wenzie huko makazini au mbele ya Nyerere. Si Unajua "enzi ya Mwalimu" lazim uonyeshe yakuwa nyoote wewe na family yako mnaiabudu nchi na fikra za Mwalimu!ahaha!!

Nakumbuka kuna wakati Salim Ahmed,wakati akiwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi. Ati wanasifia na Mzee wangu jinsi gani,tangia nimerejea toka JKT nimebadilika na nimezidi ustaarabu!ahaha!! Hao Wazee yaani Nyerere aliwadanganya saana pita kiasi. Yaani wangejua vile vituko vya huko JKT nafikiri wasingethubutu kusema lolote,lakini mimi nilikua nawasikiliza tu!ahaah!! Mimi Mswahili,ustaarabu nilizaliwa nao!ahaha!!

Nilipokuja na Wifey mara ya mwisho tulikua pale Tengeru...pana Lodge moja nzuri na tulivu mno. Tulikaa siku kiduchu maana mambo na safari zilikua nyingi mno. Nikija safari hii kama utakuwa hapo Afrika, basi italazim Shariff Ritz anilete popote ulipo ili tucheke japo kiduchu vituko vya Waheshimiwa Nguruvi3 na Mag3!ahaha!!

Insha Allah Al Akhiy,tutazungumza siku nyingine japo kiduchu. Je bado upo Cairo au usharejea...karibu saana hapa Al Habiby.

Shukran.

GOMBESUGU,
nimefurahi umenikumbusha Home na vitumbua vya Waswahili! bado niko Madrasa za cairo najifunza nahau na historia ya ulimwengu wa Kiislamu na utamaduni wake!
Nikirudi home nitakujulisha inshaallah!
 
Tatizo lako wewe ni mnafiki sana si wewe hapo ndiyo umejisifia kwa uafrika wako wakati mnamshambulia Shariff gombesugu, saizi tena unajifanya ku-quote Aya za Qur'an tukufu...ni mimi nakushushia Aya kutoka Sulat Al-Mumtah'inah.
60_1.gif

1. Enyi mlio amini! Msiwafanye adui zangu na adui zenu kuwa marafiki mkiwapa mapenzi, na hali wao wamekwisha ikataa haki iliyo kujieni, wakamfukuza Mtume na nyinyi kwa sababu mnamuamini Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu. Mnapotoka kwa ajili ya Jihadi katika Njia yangu na kutafuta radhi yangu, mnafanya urafiki nao kwa siri, na Mimi nayajua mnayo yaficha na mnayo dhihirisha. Na mwenye kufanya hayo kati yenu basi ameipotea njia ya sawa.

60_9.gif

9. Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kufanya urafiki na wale walio kupigeni vita, na wakakutoeni makwenu, na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu. Na wanao wafanya hao marafiki basi hao ndio madhaalimu.

Hangalia hapa ulivyokuwa mnafiki kuna wakati unajifanya kutoa pole ati kwa wale walipata matatizo kwenye mapinduzi, hapa Aya za Allah unaziita viji aya...ha haa haaa, walahaih nasikia raha kukusoma.

gombesugu, THE BIG SHOW, Kadogoo,

Shariff Ritz,

Insha Allah Mola takulipa kwa hili na mengineyo mengi mno ufanzayo.

Ama kwa hakika,mimi sitaongeza chochote wala kupunguza katika huu Mpini wako adimu na adhimu.

Kwa kifupi,nakwenda kupumzika sasa. Maana nilitaka kuandika vitu fulani vya maana japo kiduchu,lakini umenikamilishia siku yangu kwa furaha iliyoje! Unajua lile neno "viji-Ayat",nilifikiri nililiona mimi tu peke yangu!?

Mimi binafsi,nilimshajua tangia awali vile vitendo na dasturi zake yakuwa wala si Muislamu asilan! Na kama kweli alikua "Muislam",basi yamlazim arejee tena kwa yule Sheikh Shekue wake alokua heshi kututajia hapa jamvini, amtie maji upya maana ameshatanasar!

Itakua huzuni kubwa maana hawana tena "Muislamu" kwenye huo upande wao...labda yule "Muislamu Sweye1" naye hajatokea kitambo tangia siku ile nilipomsemesha Kihaya.

Au walete yule "Muislamu Ashura" aloletwa hapa Jamvini na Mag3,ati kwa kumwandikia barua Sheikh Ponda ya kumkashifu na "kumwambia ukweli"!?

Shukran Al Akhiy,kwa kumbainisha tena Abu Jahal.

Cc;Kadogoo,The Big Show,Boko Haram
 
Back
Top Bottom