Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

SHEIKH FARID, Nguruvi3,

..nimetembelea website ya Joint Finance Commission ya Tanzania.nimekutana na taarifa kwamba kwa mwaka 2010/11 makusanyo ya kodi ya mapato Tanzania nzima yalikuwa 1522.1 billion. Mchango wa Znz ktk makusanyo hayo ni 24.1 billion, wakati mchango wa Tanganyika ni 1498.0 billion.

..taarifa kama hizo ndizo zinazotufanya wengine tuamini kwamba Znz inainyonya Tanganyika. binafsi sijui uhalali wa Znz kuwa na 50% ya wajumbe ktk tume ya katiba , au kuwa na wabunge wengi kiasi kile ktk bunge la muungano, unatoka wapi. cc: gombesugu, Barubaru, Wickama
JokaKuu hicho ndicho Barubaru alichokuwa anakwepa. Sasa ukiangalia kwa undani utagundua kuwa hawa wenzetu wa znz ni wazuri sana wa kupiga mdomo.

Gharama za hao wabunge zaidi ya 50 ambao hawana kazi yoyote zinalipiwa na Mtanganyika.
Hiyo tume kuwa na 50% ni upuuzi wa viongozi wa Tanganyika kutaka kuonekana wazuri.
Hizo Bilioni 24 na kidogo kuliko, narudia kuliko mchango wa makusanyo ya wilaya ya Ilala. Eti wanapewa 50%

Mchango katika muungano ni 24 bilioni halafu wanapewa bilioni 510 kufidia bajeti.
Hapo hujaweka gharama za ulinzi na usalama ambazo znz haiwezi kuendesha wizara ya ulinzi hata kwa siku 15.

Halafu wenzetu wanwekwa chini ya mwembe na kuhubiriwa kuwa Tanganyika inanyonya Zanzibar.
Huyo anayeshauri kuinyonya znz ni mwendawazimu kwasababu angeelekeza nguvu zake soko la Kariakoo angefaidika zaidi. Sasa ukweli umetamalaki siku hizi hatusikii tena fyongo au kelele. Wnasubiri hukumu kutoka kwa Mtanganyika.

Joka, Hujaweka elimu ya juu ambayo 95% ya viongozi wa wzn wamesoma bila mkopo kwa pesa za Mtanganyika.

Nasikia wanadai urasi wa kupokezana. Hivi wenzetu shule zao zinafundisha hesabau kweli.
Makusanyo ya billion 24 ni zaidi ya mara 70, halafu wanataka kuwa na rais! Huyo rasi aongoze nini kwasababu hana mchango. Je, tunahitaji rais kutoka znz kwasababu ya jina au!

Mkuu Jokakuu, hiyo rasimu ikitoka watu wataangalia. Kama kuna kuibeba znz mahali popote itatunguliwa tu.
Nampa ujumbe Jaji Warioba kuwa muda wa kulea wazanzibar wakicheza ngoma na matusi mgongoni sasa basi.

Pitia vizuri hiyo joint commission, Barubaru ameona haya anafanya reference kwa siri.

Sheikh Farid na Barubaru, znz ni kaeneo na kanchi kadogo sana kwa kila kitu mbele ya Tanganyika.
Ustawi wa ZNZ unategemea sana Tanganyika, huo ni ukweli! Tukiziba milango kwisha!
Wakati wowote waondoke tu maana hakuna atakayeshtuka kuwa znz haipo.

Ndugu yangu anasema wznz wakisoma watashangaa! lazima washangae maana mwenzako anaweka 97 wewe unaweka 3 halafu unasema tumechanga! please
 
Wanajamvi,
Innalilah Wainnailaihy Rajuun.

Kwa Allah tumetoka na kwake ni marejeo yetu.

Bwana Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi.

Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Inna Lillahi Wa Inna Illahi Raj'un.

Allah'umma Ghifir'llahuu,Warahma'huu Waskana'huu F'illana. Allahu'humma Inkana Muhsin Fazidihuu Ihsan.

Ama kwa hakika msiba huu ni mzito kwetu soote,khasa kwako binafsi. Insha Allah Mola tawapa Sabra wanandugu walobaki na muhimu zaidi kumpa kauli thabit Al Marhum na kumstiri na pepo yake tukufu.

Nina mengi mema niyajuayo kuhusu Bwana Ali Sykes na kumbukumbu njema nitakazobaki nazo daima. Alikua ni mmojawapo wa family friends wetu wakubwa na khasa Mzee wangu.

Sheikh Mohammed; you are doing a great job by exposing the source of falsehoods,myths,lies, and deceptions of relentless socio-economic hurdles, that peace loving people of Tanzania in particular Muslims confront everyday without understanding how they function,or all the different faces/mask they wear.

Insha Allah may Allah increase reward upon all your undertakings.

Shukran.

Cc;Ritz,Barubaru,JokaKuu,The Big Show,Kadogoo,Boko Haram
 
Kuna habari za kusikitisha ukumbini nadhani Mohamed Said, atatuelezea Inshaalah.

Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Ama kwa hakika huu ni msiba mzito mno kwetu soote. La muhimu ni kumuombea kauli thabit na pepo tukufu, mwenzetu na Mzee wetu alotutangulia.

Natanguliza pole zangu nyingi mno kwenu wenzangu na ndugu zangu mliopo hapo nyumbani.

Nimeona na kupitia kiduchu ile Thread uloweka hapa JF kuhusu hii khabari ya msiba. Na michango yenu khasa wewe binafsi na Al Akhiy Kadogoo nimeishuhudia. Insha Allah Mola tawarejeshea barka na kuwajaza kheir nyingi mno.

Shukran.

Cc;Kadogoo,JokaKuu,Sheikh Mohammed Said,The Big Show
 
Skia wewe na wenzako,msinipangie lakuongea pale ninapojiskia kufanya hivyo,huyo niliemjibu hivyo meseji kaipata pia,

Kejeli hizi unaziona kwangu tuh??hao wanaomkejeli moh said mnajitia hamuwaoni??

Mind your god damned bussiness..!
Ahlaan, mkubwa! wanachosema Prishaz na Maulaga ni kuwa hoja inajibiwa kwa hoja si kejeli, kashfa au matusi.
Kwamba, kama haijibiki basi ni vema kukaa kimya.

Kufyonza ilm kunahitaji utulivu wa fikra.Endapo kuna mghafala katika mnakasha basi hikma itamalaki maana kauli za kuhalif zinawatia tafran wenzako wakifyonza ilm.

Meseji yako nimeipata nikaiangalia kwa jicho mujarabu na kupata tamaa ya kugonga kidubwana cha ''like'' maana inahitaji muda na ushupavu kutoka mbele ya hadhra kama ulivyotenda. Mimi nipo radhia maridhiyatan nawe

hapa jamvini Shariff Ritz na Ma-Akhyi wanamsemo wao maarufu ya kuwa ukiona unapata wahka, jwazba na munkari basi yajuzu ukae kitako, pata funda tatu za maji, laukana kuna tashtiti na subra haipo karibu, glasi ya maji ya ndimu iliyokolezwa asali yaweza kulete afueni inshallah.

Nijaaliye
 
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Inna Lillahi Wa Inna Illahi Raj'un.

Allah'umma Ghifir'llahuu,Warahma'huu Waskana'huu F'illana. Allahu'humma Inkana Muhsin Fazidihuu Ihsan.

Ama kwa hakika msiba huu ni mzito kwetu soote,khasa kwako binafsi. Insha Allah Mola tawapa Sabra wanandugu walobaki na muhimu zaidi kumpa kauli thabit Al Marhum na kumstiri na pepo yake tukufu.

Nina mengi mema niyajuayo kuhusu Bwana Ali Sykes na kumbukumbu njema nitakazobaki nazo daima. Alikua ni mmojawapo wa family friends wetu wakubwa na khasa Mzee wangu.

Sheikh Mohammed; you are doing a great job by exposing the source of falsehoods,myths,lies, and deceptions of relentless socio-economic hurdles, that peace loving people of Tanzania in particular Muslims confront everyday without understanding how they function,or all the different faces/mask they wear.

Insha Allah may Allah increase reward upon all your undertakings.

Shukran.

Cc;Ritz,Barubaru,JokaKuu,The Big Show,Kadogoo,Boko Haram

Gombesugu,

Amin ndugu yangu.

Mimi Bwana Ally ni mtu ambaye nilikuwa karibunae na alinijulisha
kwa watu wengi mashuhuri kama Peter Colmore na Jim Bailey.

Kanifunza na nimechota mengi kutoka kwake.
 
Gombesugu,

Amin ndugu yangu.

Mimi Bwana Ally ni mtu ambaye nilikuwa karibu na yeye sana na alinijulisha
kwa watu wengi mashuhuri.

Kanifunza na nimechota mengi kutoka kwake.
Poleni ndugu jamaa na marafiki. Ni wakti wa kuwa na subra.
Mazishi yatafanyika wapi, Dar au Nairobi? yaweza kuwa lini.
 
Tume; Shukrani. sasa ndugu yangu issue ilikuwa wazee wa Lindi wamempikia mgeni wao Julius PILAU na kisha kutia dua ya kiislamu. Mzee anadai mchango huu wa wao kumwondoa Mwingereza Kanisa katoliki lilikuwa wapi? Zingatia kuwa 1. Hawa wazee ni waislamu, wanaendesha mambo yao kiislamu 2. Mzee MS hajaonyesha kuwa Kanisa lilialikwa kuleta chakula na kuja kumwombea Julius LIKAGOMA 3. Wazee kama Mareale au John Rupia au Paul Bomani, Bryson, Phombe, Munanka kama walishamkaribisha Julius chakula ni lazima walitia dua ya chakula au kumwombea mgeni wao safari njema Kikiristo au kwa dini zao bila lawama kuwa waislamu wako wapi!!!!

Sasa naridhika tuu na majibu ya Mzee huyu kuwa hayana mahusiano na ardhi tuliyokanyaga. Yanaongozwa na chuki aliyohifadhi kirefu na kanisa katoliki. Sioni uhusiano wa pilau ya wazee hawa wa Lindi na Parokia ya Kikatoliki Masasi as though wao walimnyima Julius Lunch. Sioni LINK.

Vinginevyo zipo hata timu za mpira nchi zimeshasoma Ahlil Badri kwa masula ya kandanda, na wala sijaona lalamiko kuwa Kanisa katoliki liko wapi mbona hatuoni mchango wake!!!

Wickama,
Nilikuahidi kuwa nitakuwekea kitu kuhusu fitna za Kanisa kuhusu harakati za
TANU kudai uhuru Jimbo la Kusini ambako ndiko kulikokuwa na ngome ya
Ukatoliki:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The first TANU Annual Conference of 1955 followed.

The Lindi branch had already established contact with TANU headquarters in Dar es Salaam, and looked forward to attending the conference and meeting Julius Nyerere and the entire leadership at the headquarters.

The truck driver Mpunga, a TANU founder member, and Ali Ibrahim Mnjale were nominated to attend the conference as delegates from the Southern Province.

The TANU Executive Committee in Lindi directed the two delegates to put a formal request to the headquarters to send Julius Nyerere first to meet the people and campaign for TANU, and secondly to counter propaganda against the party spearheaded by Yustino Mponda. [1]

Using his influence in the colonial government and his position as member of the Legislative Council from Newala and his long association with the Church, which was a government within a government in the south, Mponda had embarked on an anti-TANU campaign, which was affecting the membership drive in the south. Mponda was one of the delegates who was sent by Governor Twining to the United Nations by the colonial government to oppose Nyerere.

The TANU leadership in Lindi wanted Nyerere to come and challenge Mponda in his own home ground, in the bastion of Christianity.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The first TANU Annual Conference took place at the Hindu Mandal Hall in Dar es Salaam. TANU invited Governor Edward Twining to a sundowner at the Arnatouglo Hall the day preceding the conference but he politely declined and sent the Chief Secretary Bruce Hutt to represent him.

After the conference, while other delegates were leaving for their home provinces, Mpunga and Mnjawale remained behind and met the TANU headquarters leadership of Julius Nyerere, Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia, Ali Mwinyi Tambwe, Said Chamwenyewe, Oscar Kambona and others. The two Lindi delegates briefed the leadership at the headquarters of the precarious political situation in the Southern Province.

Apart
Governor Twining from Mponda's anti-TANU campaigns, in his recent visit to Lindi had cautioned the Africans of Tanganyika not to associate themselves with ‘troublemakers who wanted to create instability'.

Twining was giving this warning in an apparent reference to TANU which had been formed the previous year.

This speech by the governor frightened people from joining the Party.

Mpunga and Mnjawale pointed out that Nyerere's presence in Lindi was urgently required to counter both the governor's speech and the anti-TANU campaigns being waged by Liwali Yustino Mponda.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] At that time Abeid Amani Karume, who had attended the TANU conference as an observer, invited Nyerere to Zanzibar.

Strangely, Nyerere favoured the trip to Zanzibar more than travelling south to consolidate the party.

Mpunga impressed on Nyerere the importance of his travelling to Lindi which could become the spring board for Newala, Songea, Tunduru and Masasi where there was great opposition to TANU.

The Church was preventing people from joining TANU.

Sheikh Suleiman Takadir, Said Chamwenyewe, John Rupia, Ali Mwinyi Tambwe all backed the Lindi delegation on this issue.

After reaching an agreement, a letter confirming the Lindi trip by Nyerere was given to Mpunga and Mnjawale.

Nyerere's tour was to begin within a short period of time since it was the end of the dry season.

The roads in the southern part of Tanganyika were impassable during the rainy season, cutting the south completely off from the rest of the country.

Ali Mwinyi Tambwe and Rajab Diwani accompanied Nyerere to the Southern Province to diffuse the tension and fear created by Governor Twining and Yustino Mponda.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] Yustino Mponda was educated at St. Joseph's College Chidya and St. Andrew's College
Minaki up to standard twelve. He was trained at Universities Mission to Central Africa (UMCA)
as a teacher. He was elected Liwali for Newala in 1950 and in 1952 was invited by the colonial
government to attend the coronation of Queen Elizabeth in London. Mponda's biography appears
in Baragumu, 19 th April, 1956.
 
Naamini kubeza kwa msomi huendana na hoja na sio makelele! sote tunapenda kunyonya elimu inayotolewa na Mohamed, lakini Mohamed si mtume, anapokosea na watu wakamkosoa basi tusiwaone hao wanaomkosoa ni wabaya kiasi cha wewe kuwashambulia wao binafsi badala ya hoja zao!

Maulaga,

Hapa kiduchu naomba na mimi nikusahihishe japo kiduchu,kama vile "ulivyonisahihisha" mimi siku chache zilizopita.

Kwanini wewe unahisi yakuwa The Big Show pekee ndo hatumii hoja kujibu bali personal attack!? Ulishapitia mambo yalopita siku za nyuma hapa jamvini!?

Umeshaona kashfa,matusi,kebehi,tashtit,zilzala,nakma na dhuluma afanyiwazo Sheikh Mohammed Said hapa jamvini!? Wewe binafsi umechukua hatua ipi,ulishawahi kukemea japo kiduchu kwa yayo!? Au yanakupendeza!?

Nakukumbusha,juzi "uliponisahihisha" ama kwa hakika wala halikua kosa kubwa ati la mimi kukutaka radhi/msamaha.

Ni baada ya mimi kulalama masuala ya kashfa na matusi hapa jamvini,ndipo wewe ukaleta ile hoja yako.

Lakini nilikupa hishma kubwa mno kutokana na ile kauli ya kistaarabu ulotumia. Namimi kama umeshabaini nakua si mtu wa kuendeleza malumbano yaso maana.

Lakini pia nilikustahi pita kiasi,pale ulopotoa mfano wako wa kulinganisha ati darja ya Nyerere,Mtume Muhammad(SAW) na Allah. Sijui labda nawe pia ni miongoni mwa wale wamuonao Nyerere yakuwa ni "Nabii"!?
Lakini nilihisi ulifanza vile kwa kutokujua tu ndugu yangu!?

Kwa kifupi;kama unataka kuwa msahihishaji watu hapa jamvini mimi binafsi nakuunga mkono kwa kiasi kikubwa. Lakini jitahidi usiwe na upendeleo kwa watu/kikundi fulani. Hii nahisi itakuvunjia hishma yako kubwa ulonayo hapa jamvini.

Ahsanta na natumai tanifahamu japo kiduchu.

Nakutakia siku njema ndugu yangu.

Cc;The Big Show,Ritz
 
Mkuu Nguruvi3

Nafurahi sana kuona suala la Zanzibar limefumuliwa kabisa sasa ukweli umeanikwa kuwa Zanzibar ni mzigo kwa Tanganyika!

Kelele zao naamini kama wanaakili timamu zitapotea na watakuwa na nidhamu mbele yetu!
 
gombesugu,

..naomba ufafanuzi kidogo.

..umesema ktk shughuli zako za kila siku unamtetea sana Mwalimu Nyerere.

..sasa kwanini hapa JF unapojumuika na wa-Tanzania wenzako unatumia msamiati "Nyerere wenu" au "Nyerere wako"??

JokaKuu,

Salaam sana ndugu yangu. Niwie radhi nimekawilia kiduchu kukujibu haya masuala yako.

La awali nipa fursa nikurekebishe kiduchu...sijawahi kunena yakuwa ati namtetea Nyerere katika shughuli zangu za kila siku. Hapa kibaruani pangu hatushughuliki na masuala ya kumtetea Nyerere hasha! Kama kuna shirika lolote duniani linafanza shughuli hizo basi mimi binafsi nitakua mmojawapo wa vinara wa kulipiga vita shirikisho hilo mpaka litoweke!

Nahisi labda lugha tunapishana kiduchu kwenye lahaja na Istilahi,lakini haina neno. Nafikiri nilitumia neno "kila kukicha"/"kutwa kucha".

Kama utapitia baadhi ya posts na bayana zangu za awali hapa jamvini kama nilivyokusihi juzi,basi utakuta hili suala la utetezi wangu kwa Nyerere uko wapi na kivipi.

Kwa kifupi hilo, neno Nyerere "wako/wenu" tayari mbona nilishampa jibu Maulaga nafikiri kwenye bayana ambayo hata nawe binafsi ulitia LIKE!?

Nilianza kutumia hilo neno baada ya kuona nyinyi "vipenzi vya Mwalimu",mara nyingi khasa hapa jamvini mnajiona kama vile Nyerere mna "hati miliki" nae. Yaani yeyote atakae mjadili Nyerere kiundani au kufanya positive argument/critisicm ya regime yake/"enzi ya Mwalimu",basi matokeo yake mtu huyo anaonekana ati ana chuki dhidi ya Ukristo khasa Ukatoliki au chuki binafsi dhidi ya Nyerere!?

Hili jambo mimi binafsi niliwahi kumuandikia aidha Mag3,Jasusi au Nguruvi3 sina hakika uzuri. Na niliwaeleza yakuwa wanafanya makosa kwani Nyerere alikuwa ni Rais/Kiongozi wa woote bila ya kujali tafauti ya misimamo yetu.

Pia niliwakumbusha yakuwa madhila,dhulma,mateso na mfadhaiko aloacha Nyerere umetuathiri soote kama WaTanzania,sasa iweje leo aje kiwavi fulani ati kukataza tusimjadili mtu alokua kiongozi wa nchi yetu!?

Huu utakuwa ni "umaluuni wa kitaaluma". Lakini cha muhimu ni kuzingatia yakuwa kashfa na matusi yaso maana si vyema kutumika. Maana itakua kinyume na tamaduni na maadili yetu tulolelewa nayo!?

Kwanini namtetea Nyerere nikiwa na watubaki!? Hili pia nilishawahi kunena katika bayana zangu za awali hapa jamvini. Hapa "naanza kupata mashaka" nawe ndugu yangu JokaKuu,kama kweli huu mnakasha unaufuatilia kwa utuvu!?

Katika kukutana na watu wa aina mbalimbali,wengine hutaka tu kumsema Nyerere kwa kutaka kutia nakshi ya mazungumzo bila ya kuwa na facts/maelezo ya kina au yenye kuridhisha.

Sasa hapa ndipo mimi huingia kati kurekebisha kwa kupinga kwa yale niyajuayo au yale machache nilokua nakubaliana na Nyerere alotufanzia kama Wananchi wake.

Mara nyingi watu wa Mataifa ya magharibi ninaokutana nao mimi,wanakua na facts nyingi mno za ukweli wanapomchambua Nyerere. Mara nyingine inanilazim kutumia my last option("race card") ili kuwanyamazisha! Only kidding!ahaha!!

WaAfrika,wengi hujaribu kuwatuliza kwa facts nizijuazo nao hunielewa kwa ustaarabu as "Brothers". Lakini naepukana saana kuchangia khasa zinapokuja mada za masuala ya Mozambique,Uganda,Nigeria/Biafra na mengineyo mengi nilokua sikubaliani na Nyerere.

Lakini ninapokuwa na ndugu zangu wa karibu kama nyinyi/WaTanzania wenzangu,inanilazim kubadilika kiduchu...kwa kutumia msemo wako JokaKuu,yaani inalazim "nifunguke". Maana Waswahili tunanena yakuwa; "Kilio huanza Mfiwa ndipo na wa mbali wakangia"!

Na hili sifanyi ati kwa kutaka kumkashifu Nyerere,la abadan! Lakini tunapokuwa pamoja khasa baina yetu WaTanzania inalazim kunyambua,kuchambua,kusasambura na kubainisha kwa kina yoote yalotukuta kama ni mabaya au mema. Pia kujua kiundani nini chanzo chake,nani alofanza au kusababisha,kwanini alifanza hivyo,maelezo alotoa je yanalingana/yalilingana na vigezo alivyotakiwa kufuata,nini kanuni na sharia za nchi zilinena,na je zilifuatwa,na kama zilifuatwa je ushahidi upo wa kutosha kubainisha yayo!?

Je kama Taifa/WaTanzania tumejifunza nini kutokana na yayo,na je tunakubaliana kwa pamoja!? Halafu baada ya hapo nini kifanyike ili tufanikiwe kwa yale tuyatakayo/tutarajiayo huko twendako!?

Ama kwa hakika list na majambo ni mengi mno.

Kwa kifupi mimi binafsi,utawala wa Nyerere na maamuzi yake yoote nilikua na mpaka kesho bado sikubaliani nae kwa asilia 80%...vitu nilokua nakubaliana nae au kuona yakuwa Nyerere alifanza au kufanikisha kama Kiongozi wa nchi yetu ni vichache mno! Na nafikiri hapa si wakti wake muafaka kuanza kuvijadili kiundani,maana itakuwa tunamvunjia hishma ya Darsa Maalim Sheikh Mohammed Said,nasisi wenyewe kujipunja kwa mengi alonayo.

JokaKuu;I hope this help a bit,cause I know I'm not very good at articulating my thoughts...

Kwa kumalizia,baadhi ya vitu ambavyo nilikua sikubaliani na Nyerere ambavyo kama utakubali basi italazim tuweke kwenye ile Thread yetu kama tukijaaliwa kuifungua; Nyerere's Social Experiment,involvement in Ugandan Wars/internal affairs and Biafra Conflict na Muungano Wa Tanganyika na Zanzibar.

Hizi topics ni ndefu mno,ndo maana sikutaka kuongezea vitimbi vingine vya Nyerere binafsi nilokua sikubaliani nae. Kwa mfano,"Uhujumu wa Uchumi" na kile "Kipindi cha Mikingamo"!ahaha!!

Pole saana kwa uchovu wa kulisoma hili "gubu" langu.

Ahsanta.

Cc;Al Maaruf Shariff Ritz,The Big Show
 
Ukisikia kuweweseka ndiyo huku, Mag3 kaleta jedwali lenye data ulizotuhumu kuwa si za kweli. Sasa wewe ilibidi uje na jedwali lako lenye data za kweli kupinga hoja kwa hoja. Badala yake umekurupukia name calling na accusations zisizo na mashiko. Let me tell u something openly inaonekana unasumbuliwa na kaugonjwa ambako ni mix ya ulimbukeni na inferiority complex. I could be wrong but that is the way I see it. Ndiyo maanna badala ya kujibu hoja kwa hoja lazima ulete ngoonjera ndefu ya historia ya maisha yako, familia yako which is just a b.l shyt. Lakini nadhani hiyo ndiyo namna unafikiri itafanya hoja zako ziaminike and there goes my point. You are the very person who claim to be ridiculed kwa sababu ya dini yako kwamba oooh wanywa kahawa, madrassa, na upuuzimwingine. Cha kushangaza wewe mwenyewe ni bingwa wa kuridicule others almost in every post unayotuma. Jibu hoja kwa hoja usilete vioja.

Halafu jingine naona mbonyezo like huwa unakuwewesesha mno, anyway utazoea taratibu. Demokrasia ya JF inaruhusu mtu yeyote ku-like post yeyote and they are entitled to their own reasoning.

Cool Runnings,

This is the second time you try to seek attention. It seems that you are reading me too much.

Well,I responded to you only once and this is the last.

I like offering candy as reward to a small child like you,for acting big and kind of like you know everything.

You really do write the biggest pile of random sh1t on here. Your words means nothing.

The reality is;it's what you feel on inside that you manifest on the outside...the end result for you is a lost person/an Idiot and a sad spectacle.

Your attitude is garbage. There will always be a$$holes,pompous nutters but I can out number all of you and over power your Clan through decency and kindness....HATE away!!

Ciao.

Cc;Ritz,
 
Wickama,
Nilikuahidi kuwa nitakuwekea kitu kuhusu fitna za Kanisa kuhusu harakati za
TANU kudai uhuru Jimbo la Kusini ambako ndiko kulikokuwa na ngome ya
Ukatoliki:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] [FONT=&]The first TANU Annual Conference of 1955 followed.

The Lindi branch had already established contact with TANU headquarters in Dar es Salaam, and looked forward to attending the conference and meeting Julius Nyerere and the entire leadership at the headquarters.

The truck driver Mpunga, a TANU founder member, and Ali Ibrahim Mnjale were nominated to attend the conference as delegates from the Southern Province.

The TANU Executive Committee in Lindi directed the two delegates to put a formal request to the headquarters to send Julius Nyerere first to meet the people and campaign for TANU, and secondly to counter propaganda against the party spearheaded by Yustino Mponda. [FONT=&][1][/FONT]

Using his influence in the colonial government and his position as member of the Legislative Council from Newala and his long association with the Church, which was a government within a government in the south, Mponda had embarked on an anti-TANU campaign, which was affecting the membership drive in the south. Mponda was one of the delegates who was sent by Governor Twining to the United Nations by the colonial government to oppose Nyerere.

The TANU leadership in Lindi wanted Nyerere to come and challenge Mponda in his own home ground, in the bastion of Christianity. [/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [FONT=&]The first TANU Annual Conference took place at the Hindu Mandal Hall in Dar es Salaam. TANU invited Governor Edward Twining to a sundowner at the Arnatouglo Hall the day preceding the conference but he politely declined and sent the Chief Secretary Bruce Hutt to represent him.

After the conference, while other delegates were leaving for their home provinces, Mpunga and Mnjawale remained behind and met the TANU headquarters leadership of Julius Nyerere, Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia, Ali Mwinyi Tambwe, Said Chamwenyewe, Oscar Kambona and others. The two Lindi delegates briefed the leadership at the headquarters of the precarious political situation in the Southern Province.

Apart [/FONT][FONT=&]Governor Twining [/FONT][FONT=&]from Mponda's anti-TANU campaigns, in his recent visit to Lindi had cautioned the Africans of Tanganyika not to associate themselves with ‘troublemakers who wanted to create instability'.

Twining was giving this warning in an apparent reference to TANU which had been formed the previous year.

This speech by the governor frightened people from joining the Party.

Mpunga and Mnjawale pointed out that Nyerere's presence in Lindi was urgently required to counter both the governor's speech and the anti-TANU campaigns being waged by Liwali Yustino Mponda.[/FONT][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [FONT=&]At that time Abeid Amani Karume, who had attended the TANU conference as an observer, invited Nyerere to Zanzibar.

Strangely, Nyerere favoured the trip to Zanzibar more than travelling south to consolidate the party.

Mpunga impressed on Nyerere the importance of his travelling to Lindi which could become the spring board for Newala, Songea, Tunduru and Masasi where there was great opposition to TANU.

The Church was preventing people from joining TANU.

Sheikh Suleiman Takadir, Said Chamwenyewe, John Rupia, Ali Mwinyi Tambwe all backed the Lindi delegation on this issue.

After reaching an agreement, a letter confirming the Lindi trip by Nyerere was given to Mpunga and Mnjawale.

Nyerere's tour was to begin within a short period of time since it was the end of the dry season.

The roads in the southern part of Tanganyika were impassable during the rainy season, cutting the south completely off from the rest of the country.

Ali Mwinyi Tambwe and Rajab Diwani accompanied Nyerere to the Southern Province to diffuse the tension and fear created by Governor Twining and Yustino Mponda. [/FONT]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[FONT=&][FONT=&][1][/FONT][/FONT][FONT=&] Yustino Mponda was educated at St. Joseph's College Chidya and St. Andrew's College
Minaki up to standard twelve. He was trained at Universities Mission to Central Africa (UMCA)
as a teacher. He was elected Liwali for Newala in 1950 and in 1952 was invited by the colonial
government to attend the coronation of Queen Elizabeth in London. Mponda's biography appears
in Baragumu, 19 th April, 1956.[/FONT]

Mzee MS; Very well said. Sasa using the same surgical blade, i ask you to describe how "ISLAM and Mosques" opposed Nyerere through Zuberi Mtemvu and his team. At the end of that description please also add a footnote of where these Muslim opposers were educated. Go ahead.
 
SHEIKH FARID, Nguruvi3,

..nimetembelea website ya Joint Finance Commission ya Tanzania.nimekutana na taarifa kwamba kwa mwaka 2010/11 makusanyo ya kodi ya mapato Tanzania nzima yalikuwa 1522.1 billion. Mchango wa Znz ktk makusanyo hayo ni 24.1 billion, wakati mchango wa Tanganyika ni 1498.0 billion.

..taarifa kama hizo ndizo zinazotufanya wengine tuamini kwamba Znz inainyonya Tanganyika. binafsi sijui uhalali wa Znz kuwa na 50% ya wajumbe ktk tume ya katiba , au kuwa na wabunge wengi kiasi kile ktk bunge la muungano, unatoka wapi.

cc: gombesugu, Barubaru, Wickama

Joka Kuu; Well done. Ndipo tunaposema kuwa tunataka hoja au tuhuma zinaendana na ushahidi. Yeyoye anayejua kuhesabu sasa hahitaji hata CALCULATOR kujua nani ngombe wa MAZIWA hapa. Hizi hela za ziada yabidi tumdai JOHN OKELLO!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wickama,
In Sha Allah nipe muda nitakuwekea hapa harakati
za Suleiman Masoud Mnonji, Yusuf Chembera, Bi.
Shariffa biti Mzee, Ali Mnjale, Mohamed Awadh na
wengineo chini ya TANU walivyopambana na fitna
za Kanisa kuwavunja nguvu wananchi wasijiunge na
juhudi za kudai uhuru.

Haya yote yalitokea Jimbo la Kusini mpinzani mkubwa
akiwa Yustino Mponda Liwali wa Newala na kibaraka wa
Waingereza.

Hii imekaa vizuri; Baada ya hapo onyesha pia TANU ilivyopambana na fitna toka misikitini na Ma-ustadh (Refer Kwaheri Uhuru..... masimulizi ya Mzee Mkwawa - your hero, Tafadhali)
 
Cool Runnings,

This is the second time you try to seek attention. It seems that you are reading me too much.

Well,I responded to you only once and this is the last.

I like offering candy as reward to a small child like you,for acting big and kind of like you know everything.

You really do write the biggest pile of random sh1t on here. Your words means nothing.

The reality is;it's what you feel on inside that you manifest on the outside...the end result for you is a lost person/an Idiot and a sad spectacle.

Your attitude is garbage. There will always be a$$holes,pompous nutters but I can out number all of you and over power your Clan through decency and kindness....HATE away!!

Ciao.

Cc;Ritz,

Naam,

Sure as the sky is blue...
 
SHEIKH FARID, Nguruvi3,

..nimetembelea website ya Joint Finance Commission ya Tanzania.nimekutana na taarifa kwamba kwa mwaka 2010/11 makusanyo ya kodi ya mapato Tanzania nzima yalikuwa 1522.1 billion. Mchango wa Znz ktk makusanyo hayo ni 24.1 billion, wakati mchango wa Tanganyika ni 1498.0 billion.

..taarifa kama hizo ndizo zinazotufanya wengine tuamini kwamba Znz inainyonya Tanganyika. binafsi sijui uhalali wa Znz kuwa na 50% ya wajumbe ktk tume ya katiba , au kuwa na wabunge wengi kiasi kile ktk bunge la muungano, unatoka wapi.

cc: gombesugu, Barubaru, Wickama

JokaKuu,

Hivi hakuna uwezekano wowote kuweka hizo LINKs/sites ulizopitia hadhwarani hapa Jamvini ili zisaidie/kuwarahisishia pia Wanajamvi wengine.

Nashukuru ndugu yangu.
 
By the way; this is more reason why i said earlier that propaganda and disinformation propagated in the internet is better dealt with in that same battleground. Imagine how long it would have taken you to write a BOOK to counter these accusations. It is less than a week now and the maths are in the open for all to see who has the correct number columns. Bravo again Joka.
 
Last edited by a moderator:
Maulaga,

Hapa kiduchu naomba na mimi nikusahihishe japo kiduchu,kama vile "ulivyonisahihisha" mimi siku chache zilizopita.

Kwanini wewe unahisi yakuwa The Big Show pekee ndo hatumii hoja kujibu bali personal attack!? Ulishapitia mambo yalopita siku za nyuma hapa jamvini!?
Umeshaona kashfa,matusi,kebehi,tashtit,zilzala,nakma na dhuluma afanyiwazo Sheikh Mohammed Said hapa jamvini!? Wewe binafsi umechukua hatua ipi,ulishawahi kukemea japo kiduchu kwa yayo!? Au yanakupendeza!?

Nakukumbusha,juzi "uliponisahihisha" ama kwa hakika wala halikua kosa kubwa ati la mimi kukutaka radhi/msamaha.

Ni baada ya mimi kulalama masuala ya kashfa na matusi hapa jamvini,ndipo wewe ukaleta ile hoja yako.

Lakini nilikupa hishma kubwa mno kutokana na ile kauli ya kistaarabu ulotumia. Namimi kama umeshabaini nakua si mtu wa kuendeleza malumbano yaso maana.

Lakini pia nilikustahi pita kiasi,pale ulopotoa mfano wako wa kulinganisha ati darja ya Nyerere,Mtume Muhammad(SAW) na Allah. Sijui labda nawe pia ni miongoni mwa wale wamuonao Nyerere yakuwa ni "Nabii"!?Lakini nilihisi ulifanza vile kwa kutokujua tu ndugu yangu!?

Kwa kifupi;kama unataka kuwa msahihishaji watu hapa jamvini mimi binafsi nakuunga mkono kwa kiasi kikubwa. Lakini jitahidi usiwe na upendeleo kwa watu/kikundi fulani. Hii nahisi itakuvunjia hishma yako kubwa ulonayo hapa jamvini.

Ahsanta na natumai tanifahamu japo kiduchu.

Nakutakia siku njema ndugu yangu.

Cc;The Big Show,Ritz
Ndugu yangu gombesugu, macho ya binadamu hayana uwezo wa kuona mgongoni kwa mwenyenayo! ukiona hitilafu basi isahihishe bila kujali kama mwaka jana kulitokea nini. Lakini tukubaliane kitu kimoja kwamba hoja hujibiwa kwa hoja. Kama mtu akiiona hoja basi huo ndio utamu wa mnakasha. Lakini kuja jamvini kuwakarahisha watu wengine kwa kisingizio cha kumtetea mtu fulani hata bila hoja huo sio moyo wa kisomi. Kuhusu daraja la Nyerere, Mtume na Allah, nisamehe sana ndugu yangu, mimi sio mtaalam katika nyanja hiyo, na kuendelea kulijadiri hilo naogopa sana nisije nikakufuru au nikawaumiza watu wengine bila sababu. Katika mnakasha kuna kukwazika na mawazo ya watu wengine, busara ni kuyaheshimu mawazo hayo japo hata kama hukubaliani nayo. Lakini kusimama na kuyakejeli au kutukana siamini kama ni kuyanyamazisha.
Nakushukuru sana kwa kunivumilia.
 
Mkuu Nguruvi3

Nafurahi sana kuona suala la Zanzibar limefumuliwa kabisa sasa ukweli umeanikwa kuwa Zanzibar ni mzigo kwa Tanganyika!

Kelele zao naamini kama wanaakili timamu zitapotea na watakuwa na nidhamu mbele yetu!

Mkuu,

Me maono yangu ni kwamba bado wanajidanganya mara ngapi wazanzibar wamedai kujitoa lakini vitisho na kuwauwa na kuwaweka chini ya ulinzi wengine ama vifungo vya ndani kwa kutaka kuuvunja muungano kama ni mzigo wazanzibar wameonesha ishara za dhati kutaka kujitenga lakini sijasikia na kushuhudia hata mara moja watanganyika(watanzania) wanaandamana ama wanapinga kuhusu muungano sijawahi kuona hadi hii leo.

Halafu mwengine anakuja anasema TANGANYIKA inachangia kiasi fulani iko wapi hiyo tanganyika yenyewe ifufueni kwanza, halafu sisi tunajuaje kama tanganyika inachukua mara mbili (Tanganyika + Tanzania) ndo maana tunasema yamuungano yawe ya muungano ya tanganyika ilokufa yawe ya tanganyika

Pia kama mlijua nchi ni ndogo na bado munajua kama ni ndogo kama sehemu ya ilala kwanini bado mupo nao pamoja ingieni barabarani mupinge na nyinyi TUMECHOKA KUONA ZANZIBAR YETU BILA YA MAENDELEO.
 
Back
Top Bottom