Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,

Mimi nakupa challenge kiduchu...

Huyohuyo Gwalihenzi unaejaribu kumwandikia na kuonyesha udhaifu wa wengine...tuonyeshe/nionyeshe hapa jamvini ni lini ametoa/amejibu hoja au mada ili wengine wachangie!? Huna haja ya kwenda mbali saana,anzia tangia tarehe ambayo mimi binafsi nilijiunga hapa Jf mpaka hivi leo!?

Anachokifanya yeye ni kushambulia yeyote mtoa mada/hoja almurad tu mtu huyo awe anakubaliana na Sheikh Mohammed Said!?

Sasa kama kweli wewe ni bingwa wa kushangaa,yatakiwa uanze kumshangaa huyo mwenzio...sio kupeana sifa asizostahili.
Punguzeni kudanganyana jamaa zetu!!

Ahsanta.

Cc;Ritz
gombesugu, wacha hasira ya ban! ulishatahadharishwa mapema kuhusu majibu yako ya hovyo na kujifanya umebobea kwenye kila jambo! tangu ulipoingia hapa jamvini umekuwa ni mtu wa kujikweza na kujifanya mjuvi wa mambo mengi lakini michango yako yote imekuwa ya hovyo kupita kipimo! huna maarifa yoyote uliyoyaweka hapa zaidi ya kulia lia tu ukimsujudu huyo mzee wako mwenye fitina mpaka makalioni. Funga domo lako, acha ma "Great Thinkers" wakupe elimu na sio uchonganishi wa huyo mzee wako mzandiki. Huwezi kuona michango ya watu wengine kwa sababu kichwa lako limejaa dharau na uzandiki dhidi ya watu wengine. Kwako wewe, mtu asiye amini uislam wako, unaamini hana akili, na ulivyo mtupu kichwani unadhani wanaombeza mzee wako Mohamed Said kwa makosa ya kiuandishi wana mkosea na wanauadui na uislam! Huyo mzee wako ameoneshawa kinaga ubaga upuuzi na uchochezi wake mpaka leo hoja hizo hajibu zaidi ya kuimba wimbo wake chakavu wa "na nyie andikeni historia za wazee wenu... mimi ndie pekee niliyesimuliwa na wazee wangu... narung'ombe, kariakoo nakipata.... mimi sio wa hivyo... sijawahi kumkuta mmanyema mkristo..." Mzee wenu hana hoja na nyie mnabebwa kwa imani ya dini yenu hamna hoja. gombesugu kaa pembeni achana na mimi "Once and for all".
 
gombesugu nashukuru nimejifunza kitu!

Muheshimiwa Professor,

Haina neno ndugu yangu,sisi soote tupo hapa kubadilishana Ilm na kufunzana baina yetu.

Hakuna ajuae zaidi ya mwingine. Na kila mwana-Adam ana udhaifu na mapungufu yake.

Nakutakia siku njema.

Ahsanta sana.
 
gombesugu, wacha hasira ya ban! ulishatahadharishwa mapema kuhusu majibu yako ya hovyo na kujifanya umebobea kwenye kila jambo! tangu ulipoingia hapa jamvini umekuwa ni mtu wa kujikweza na kujifanya mjuvi wa mambo mengi lakini michango yako yote imekuwa ya hovyo kupita kipimo! huna maarifa yoyote uliyoyaweka hapa zaidi ya kulia lia tu ukimsujudu huyo mzee wako mwenye fitina mpaka makalioni. Funga domo lako, acha ma "Great Thinkers" wakupe elimu na sio uchonganishi wa huyo mzee wako mzandiki. Huwezi kuona michango ya watu wengine kwa sababu kichwa lako limejaa dharau na uzandiki dhidi ya watu wengine. Kwako wewe, mtu asiye amini uislam wako, unaamini hana akili, na ulivyo mtupu kichwani unadhani wanaombeza mzee wako Mohamed Said kwa makosa ya kiuandishi wana mkosea na wanauadui na uislam! Huyo mzee wako ameoneshawa kinaga ubaga upuuzi na uchochezi wake mpaka leo hoja hizo hajibu zaidi ya kuimba wimbo wake chakavu wa "na nyie andikeni historia za wazee wenu... mimi ndie pekee niliyesimuliwa na wazee wangu... narung'ombe, kariakoo nakipata.... mimi sio wa hivyo... sijawahi kumkuta mmanyema mkristo..." Mzee wenu hana hoja na nyie mnabebwa kwa imani ya dini yenu hamna hoja. gombesugu kaa pembeni achana na mimi "Once and for all".

Gwalihenzi,

I know you are no more than a keyboard Gangster...actually I mean you are time waster!

Bye!

Cc;Boko Haram
 
Ukiwa dhaifu, kila anaekutizama utahisi anania mbaya na wewe. na kila saa utatafuta mtu wa kumsingizia kama chanzo cha udhaifu wako. Elimu duni kwa waislamu nani alaumiwe?

1. Baadhi ya Vingozi wa dini ya Kiislamu: ambao wameeneza itikadi ya chuki na si upendo, kuvumiliana na kusameheana kwa maneno wanayoyajua wenyewe. Na hapa ndipo hutumia Mwanya kutimiza malengo yao ya kisiasa kwa niaba ya watu wenye nia zao wanazojua wenyewe.

2. Historia: Wakoloni waazungu na udhalimu wao walileta Elimu na Afya kupitia Wamishionary ambao ndio walikuwa Wapelelezi wakuu. Waarabu ambao ndio waliotuletea hapo awali dini ya Kiislamu kimsingi hawakuzingatia sana emilu Dunia wala huduma za Afya kwa watu wetu. Jambo hili baya limearithiri sana maendeleo ya maeneo kuliko na Waislamu wengi ambako Waarabu waliiueneza.

3. Mfumo wa Maendeleo wa taasisi a Kiislamu: Mpaka Miaka ya hivi karibuni, taasisi za Kiislamu zilijengwa katika misingi ya kidini zaidi kwa kuhamasisha watoto na vijana kiusoma Juzuu na Msaafu bila kuzingatia kuwa vijana hawa hawaishi katika ulimwengu wao peke yao, taasisi hizi tofauti na za wenzetu wakristu hazikuweka Elimu Dunia katika shule za Awali za Madrasa na hivyo kupelekea watoto kukariri na wala si kuelewa Aya mbalimbali, na hivyo katika sifa ya misingi hiyo, wanakuwa wazuri kwenye imani wabovu kwenye maisha, hawawezi kupata kazi wala kupewa nafasi katika taasisi mablimbali. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mwamko (ingawa bado madrasa zinabaki kuwa chanzo cha kuzorotesha Elimu ya watoto maana haziingizi elimu Dunia) wa Kielimu na taasisi mbalimbali tayari ziko katika mpangilio mzuri. Bado kunahcngamoto mfano shule zinazofanya vibaya sana ni za Waislamu Seminari (Ukitizama makundo hayo mawili ya zilizofaulu zaidi na zile zilizofeli zaidi). Cha muhimu hapa ni kujifunza, na kufikiri vema zaidi kukabili changamoto.

4. Uislamu wa Kisasa: Hili kila mtu analifahamu oukizingatia kuibuka kwa Mujahidina na sera yao ya adhabu zao kali kwa yeyote yule anaemkosea Mungu, badala ya kutumia ushawishi kuenga hoja zao wanatumia Nguvu kwa jina la Mwenyezi Mungu. Sina Uhakika kama Mwenyezi Mungu anashindwa kuwaadhibu wanaomuudhi, tena kwa sekunde. Rehema zake hazina kipimo na upendo wake na uvumilivu akiamnini tutarudi katika ibada na kuendelea kumcha Mungu. Je katika dini ya Uislamu hakuna kusamehewa dhambi na Mwenyezi Mungu? Je hakuna kusameheana mpaka tunaadhibiana Waislamu kwa waislamu, tukaeneza chuki na chuki dhidi hasahasa ya wale wasio Waislamu? Na hata kutumia nguu kupita kiasi katika siasa na mambo mengine na kuleta madhara kwa wengi tu wasio na hatia.

Mwisho, nasema hivi, hakuna mpango wala haujawahi kuwepo wa kuwakandamiza Waislamu, kutafuta mchawi wakati umejiloga mwenyewe. Muda huu unawza kutumika vema kupanga na kufanya maajabu kwa watoto na vizazi vijavyo na watu wakaufurahia Uislamu na kutaka kujiunga zaidi na zaidi. Kama ni Memorandum of Understanding kwanini Tasisisi husika zisiongee na Serikali kukawa na ya Waislamu? Sina uhakika kama kuna taasisi yenye nayo. Kama ni shule kwanini tusiongeze na kuziimarishana hasa ubora wa walimu? Sasa usitie neno, maana kama ni utajiri wako Waislamu matajiri sana. Kama ni akili wako Waislamu wenye akili sana. Wakati wa Mabadiliko ndani ya taasisi za kiislamu ni sasa kuanzia Madrasa mpaka misikiti Mikuu.

Whats your name??
Profesa or Pro"pesa"??

Well,

Ulikuwa wapi??mbona mengi sana yamekupita??umejaribu kuperuzi peruzi kidogo huko page za nyuma??

Waislam hatupo hapa kutuia huruma,wala hatupo hapa kulalamika lalamika kama mlivyozoea kutuambia,

By the way thank you,matatizo yetu tunayajua,changamoto zetu tunazijua.,na kilichotufikisha hapo tumekijua,

Huwez kutusikia tukilalamika tena,tumeshajiratibu kwa miongo kadhaa sasa,na hizo madrasa ulizoziweka katika group la udhaifu ni kweli iko ivo,lakini kilichosababisha kuwa vile pia tumekifaham,

Na hizi unazojadiliana hapa ndani kwa sasa Mohamed Said,BARU baru Ritz gombesugu Boko haram zomba Spike Lee,na wanywa ghahawa wote ni products za madrasa...

Well tumekuskia,tumekuskia Prof...
 
Last edited by a moderator:
Whats your name??
Profesa or Pro"pesa"??

Well,

Ulikuwa wapi??mbona mengi sana yamekupita??umejaribu kuperuzi peruzi kidogo huko page za nyuma??

Waislam hatupo hapa kutuia huruma,wala hatupo hapa kulalamika lalamika kama mlivyozoea kutuambia,

By the way thank you,matatizo yetu tunayajua,changamoto zetu tunazijua.,na kilichotufikisha hapo tumekijua,

Huwez kutusikia tukilalamika tena,tumeshajiratibu kwa miongo kadhaa sasa,na hizo madrasa ulizoziweka katika group la udhaifu ni kweli iko ivo,lakini kilichosababisha kuwa vile pia tumekifaham,

Na hizi unazojadiliana hapa ndani kwa sasa Mohamed Said,@Baru baru Ritz gombesugu Boko haram zomba Spike Lee,na wanywa ghahawa wote ni products za madrasa...

Well tumekuskia,tumekuskia Prof...

Mkuu THE BIG SHOW nimeweka mambo sawa kwenye original post yangu. Hizi zilizokuwa quorted harakaharaka zina kasoro ambazo nimeshauriwa vema na waungana wa Jukwaa nami nimewasikia. Ni kweli naafikiana na wengi siasa zinamchango wake maana hata chama kiwe kizuri vipi kama chama ila watu wakiwa wabovu basi hata siasa zake ni hivyohivyo na madhara yake yanaweza kuchangia kundi fulani kutokupata nafasi sawa.
 
Gwalihenzi,

I know you are no more than a keyboard Gangster...actually I mean you are time waster!

Bye!

Cc;Boko Haram

Achana nae huyo,sisi tulishamwambia hapa hakuna wa kumfaaa,lakini yeye hataki bado anazid kutaradadi na nia yake..

Abujahali ni Abujahali tuh,

Mweke kwenye list kama tulivyofanya sisi,mpuuzi hupuuzwa...
gombesugu Salam saana ndugu yangu,nakusalim sana....
 
Last edited by a moderator:
Nakushukuru bwana Yericko Nyerere niwieni radhi woote niliowaudhi kwa njia moja au nyingine!

Usijali mkuu, msamaha kwangu umepokelewa na ninaamini wanajamvi wote waliokwazika kwa namna moja ama nyingine wamekusamehe!

Tusonge mbele
 
gombesugu, wacha hasira ya ban! ulishatahadharishwa mapema kuhusu majibu yako ya hovyo na kujifanya umebobea kwenye kila jambo! tangu ulipoingia hapa jamvini umekuwa ni mtu wa kujikweza na kujifanya mjuvi wa mambo mengi lakini michango yako yote imekuwa ya hovyo kupita kipimo! huna maarifa yoyote uliyoyaweka hapa zaidi ya kulia lia tu ukimsujudu huyo mzee wako mwenye fitina mpaka makalioni. Funga domo lako, acha ma "Great Thinkers" wakupe elimu na sio uchonganishi wa huyo mzee wako mzandiki. Huwezi kuona michango ya watu wengine kwa sababu kichwa lako limejaa dharau na uzandiki dhidi ya watu wengine. Kwako wewe, mtu asiye amini uislam wako, unaamini hana akili, na ulivyo mtupu kichwani unadhani wanaombeza mzee wako Mohamed Said kwa makosa ya kiuandishi wana mkosea na wanauadui na uislam! Huyo mzee wako ameoneshawa kinaga ubaga upuuzi na uchochezi wake mpaka leo hoja hizo hajibu zaidi ya kuimba wimbo wake chakavu wa "na nyie andikeni historia za wazee wenu... mimi ndie pekee niliyesimuliwa na wazee wangu... narung'ombe, kariakoo nakipata.... mimi sio wa hivyo... sijawahi kumkuta mmanyema mkristo..." Mzee wenu hana hoja na nyie mnabebwa kwa imani ya dini yenu hamna hoja. gombesugu kaa pembeni achana na mimi "Once and for all".

Mkuu punguza ukali wa maneno kaka,

Hawa ndugu zetu sio wakutumia nguvu nyingi! Hoja za wastani tu!

Taratibu shehe wangu
 
Mwanakijiji&Co,

Tafadhalini saana,sisi ndo tupo hapa takriban nusu ya mwaka kukutakeni mtuthibitishie tuhuma zenu nyingi za kitoto na za uchochezi kama hizi, kwa chuki mlizonazo dhidi ya Scholar/Historian Sheikh Mohammed Said.

Mwanakijiji,
nakuhakikishia/tunakuhakikishia yakuwa tuhuma hizi nzito dhidi ya ndugu yetu;kama utashindwa/umeshindwa kuzithibitisha inakulazim urejee tena hapa Jf/Jamvini kumtaka radhi kimaandishi Sheikh Mohammed.

Najua/tunajua una "matatizo fulani" huko uliko,lakini taratibu na uwezo wa kukufikishia summons upo na tunao;ili wewe sasa tukurejeshe kinguvu hapo D'Salaam ili uje kujibu tuhuma za uchochezi!!...

Natumai unatufahamu/unanifahamu kwa makini nina maanisha nini!?...usitulazimishe "tufunguke"/tumwage vitu vyako vingine hapa jamvini!...natumai unanisikia na kunifahamu kwa makini!?

Cc;Ritz,The Big Show,Sheikh Mohammed Said

Hizi habari Mwanakijiji..akimkumbuka Gametheory....hana raha. It is now confirmed kama jama kumbe huko aliko ''ameoza'' paper kwishney....kifupi status yake ya ukaazi ni mhamiaji....ha..r..a...m....u. Wewe Maramba na unyamwezini wapi kwa wapi? si bora angejilimia machungwa tu.
 
Achana nae huyo,sisi tulishamwambia hapa hakuna wa kumfaaa,lakini yeye hataki bado anazid kutaradadi na nia yake..

Abujahali ni Abujahali tuh,

Mweke kwenye list kama tulivyofanya sisi,mpuuzi hupuuzwa...
gombesugu Salam saana ndugu yangu,nakusalim sana....

Al Khalifa The Big Show,

Salaam Al Akhiy. Nimekufahamu kwa utuvu kwayo ulonena.

Mie bado nipo safari kiduchu...na vijishughuli vimenibana.

Huyo Mag3,nilitaka kumjibu kwa kirefu saana lakini nimekosa fursa/wakti.

Yeye anamstaajabu Shariff Ritz,yakuwa ati ana copy & paste. Kwa kuanzia kitu ambacho si kibaya asilan, kwani ni technology ipo na ndo tunaitumia. Hii sio ile 1960's Mag3 iliyokua "enzi nzako" ndugu yangu!

Mag3;pia copy & paste inasaidia kutuonyesha sources na wahusika wa hizo informations tunazopewa. Halafu sisi ndo tutanyambua,kukubali au kupinga tena kwa kutoa hoja!

Tafauti na yeye huyo Mag3;analeta ati "khutba" ya Karume kwa English yenye grammar nzuri. Labda yeye hajui yakuwa huyo Okello wala Karume walikua kwanza hawazungumzi na wala hawakuwa na level ya english hiyo anayolazimisha huyo Mag3.

Nilishawahi kumuuliza Mag3 hapo awali,je mbona hatoi sources yoyote ya informations/statistics zake!? Najua alihamaki mno.

Karume wakti akiwa Rais wa nchi alikua bado akifundishwa English both Oral and written na mtoto wa kiume wa Sheikh Abdallah Saleh Farsy.

Ile khutba ati ya Karume kumshukuru Okello aloleta Mag3,ni umaluuni mwingine wa kitaalauma/Academic dishonest...atoe source ya ile khutba yake,na je hapo huyo Karume hicho kizungu alikua akimwambia huyo Okello asojua kizungu mwenzie wakiwa wapi!?...je ni kwenye tafrija/sherehe!?...kama ndio je hao audience wao walikua ni nani!?

Na kama hiyo khutba imetafsiriwa kutoka Kiswahili kwenda English,atueleze source/kitabu au mwandishi khalafu sisi tutanyambua wenyewe. Wakumbushe hapa wanaongea na watu tunaojua tunachouliza....

Kwa kumalizia;tunamwomba Shariff Ritz aweke ile Clip iliyoko Youtube,inamwonyesha Karume na Okello wote wakiweweseka huku Abdilrahman Babu akicharaza umombo kwa madaha na yule Reporter nafikiri wa BBC wakti ule,huku akiwapa tafsiri nyororo wale mamluki wa Nyerere a.k.a Karume na Okello.

Al Akhiy nache niondoke kiduchu nikamalizie baadhwi ya majambo. Nitapitia mengi yaliyomo humu nikipata wasaa...halafu tajaribu kuwajibu hawa jamaa zetu,na mengine nafikiri ni ya kupuuzwa tu!

Maana tukiwaendekeza sana,watatuumiza vichwa....Sheikh Mohammed maskini,anawapa Ilm ya bure,lakini kwa kutahayuri na kukosa fadhila,ati hujifanya kama vile nao wanaijua au kujitia kupinga kila jambo ili wasionekane wamo kwenye Darsa!ahaha!!

Tushawasamehe kitambo.

Ahsanta.

Cc;Ritz

gombesugu, wacha hasira ya ban! ulishatahadharishwa mapema kuhusu majibu yako ya hovyo na kujifanya umebobea kwenye kila jambo! tangu ulipoingia hapa jamvini umekuwa ni mtu wa kujikweza na kujifanya mjuvi wa mambo mengi lakini michango yako yote imekuwa ya hovyo kupita kipimo! huna maarifa yoyote uliyoyaweka hapa zaidi ya kulia lia tu ukimsujudu huyo mzee wako mwenye fitina mpaka makalioni. Funga domo lako, acha ma "Great Thinkers" wakupe elimu na sio uchonganishi wa huyo mzee wako mzandiki. Huwezi kuona michango ya watu wengine kwa sababu kichwa lako limejaa dharau na uzandiki dhidi ya watu wengine. Kwako wewe, mtu asiye amini uislam wako, unaamini hana akili, na ulivyo mtupu kichwani unadhani wanaombeza mzee wako Mohamed Said kwa makosa ya kiuandishi wana mkosea na wanauadui na uislam! Huyo mzee wako ameoneshawa kinaga ubaga upuuzi na uchochezi wake mpaka leo hoja hizo hajibu zaidi ya kuimba wimbo wake chakavu wa "na nyie andikeni historia za wazee wenu... mimi ndie pekee niliyesimuliwa na wazee wangu... narung'ombe, kariakoo nakipata.... mimi sio wa hivyo... sijawahi kumkuta mmanyema mkristo..." Mzee wenu hana hoja na nyie mnabebwa kwa imani ya dini yenu hamna hoja. gombesugu kaa pembeni achana na mimi "Once and for all".

mi huyu mzee mohd said nimeacha kufuatilia mnakasha huu pale aliposema shehe ilunga ni mtu wa heshima na ilmu, na yale ayesemayo ni kwamba WAISLAMU wamemtuma
 
Hizi habari Mwanakijiji..akimkumbuka Gametheory....hana raha. It is now confirmed kama jama kumbe huko aliko ''ameoza'' paper kwishney....kifupi status yake ya ukaazi ni mhamiaji....ha..r..a...m....u. Wewe Maramba na unyamwezini wapi kwa wapi? si bora angejilimia machungwa tu.

Kwemwale,

Huyo Mwanakijiji,hata huko Tanga/Maramba hatokei kule.

Walipelekwa/walihamia tu kule na Family yake kwa shughuli za Kanisa.

Tumwache aje athibitishe "khabari"/shutuma zake alotoa dhidi ya Sheikh Mohammed Said...akishindwa nitaanza kuweka namba ya simu ya yule Padri na Paroko alobatiza mtoto wake/wao pale Amerika,ili ajue yakuwa watu tuko serious mno na hizi allegations zake; lazim aje kuthibitisha kama tunavyojitahidi kumsihi kiustaarabu!

Ahsanta.

Cc;The Big Show
 
Al Habiby gombesugu,

Karibu sana ndugu yangu nimefurahi kukuona tena ukumbini, niwe radhi kiduchu nimechelewa kukaribisha nilikuwa nimetingwa na vijikazi kidogo.

Habara za safarini Urusi najua Ijumaa utakuwa St Petersburg Mosque karibia na river neva tuombee dua ndugu zako wa Madrassa.

Ndugu yangu gombesugu, hutakiwi kuwa mtu tu, eti ili upiganie haki yako, unachotakiwa kufanya ni kuwa mtu mwerevu, mjanja, kama tulivyofundishwa madrassa.
 
Last edited by a moderator:
gombesugu said:
Mfano mimi binafsi,
gombesugu said:
JokaKuu na Kadogoo,tulishawahi kuzungumzia hayo masuala/matatizo ya Ilm kwa Waislamu...post yangu ya mwisho haikuwahi kujibiwa na ndugu yangu JokaKuu,na tuliishia hapo kwa imani yakuwa tulishafahamiana!?

gombesugu,

..mara nyingine huwa sijibu kwasababu naona mnakasha unaelekea kuharibika.

..zaidi, kwa mtu kama Kadogoo hoja zake mara nyingine nimeona ni bora kumuacha kama alivyo.

..mimi nadhani tatizo la ndugu zetu ni kushindwa kutofautisha kati ya Waislamu na Uislamu.

..mtu unapoambiwa Waislamu wana tatizo hili na lile, unafikiri ni Uislamu ndiyo unaotolewa kasoro.

..binafsi naamini Profesa amejenga hoja za msingi kabisa. sasa badala ya wewe kujadili hoja zake anaanza kushambulia binafsi huku ukihoji imani yake.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3

Crusade war haitakusaidia,na chuki zako dhidi ya uislam hata kama unajaribu kuzificha na kuzionesha tambua ya kwamba pia na hiyo haitakusaidia,
Unapokuja na kuubeza uislam kwa kutoa kauli zako za kuzunguka mbuyu sisi tunakuona umefili hata kabla hiyo mission yako hujaianza,
Na hakuna aliekuambia hapa kwamba Kuondolewa kwa sultan zanzibar basi ni kuanguka kwa uislam,
Labda nikuulize,unauliza hilo kwa dhati ya kutaka kujua au kwa mantiq ya kuuvaa na kuukejeli uislam??
Kipindi sultani anatawala zanzibar kulikuwa kunaendeshwa kama dola ya kiiislam??
Kama ni kweli weka uthibitisho,kama si kweli jipime mwenyewe na uone chuki yako ni ya kiwango gani dhidi ya uislam na waislam??

Inawezekana kabisa ya kwamba walikuwapo waislam ambao walikuwa wanaish zanzibar kipindi hicho cha usultani na walikuwa hawaufurahii uongozi wa kisultani kwa namna moja ama nyingine,unalizungumzaje hilo?

Je unafaham uislam uliingia lin zanzibar??kabla au baada ya usultani???

Tunachokuambia hapa ni kwamba mumeshindwa kuuonesha uchochez wa Moh Said,na mnachokifanya ni kuangaza huku na kule kutafuta kitu ambacho mtaegemea kutafuta uthibitisho lakini bahati mbaya sana mmekosa,
Moh Said hayupo hapa kuweka ligi na mtu au kuweka ubishani,yeye yupo hapa kuweka uhalisia wa historia,
Kama umeshindwa kuiamini na kuikubali ni juu yako,wapo wanayoiamin na ni wengi wenye weledi wao,kama wewe umeshindwa kuafiki kwa kuona Juhudi za ukristo na wakristo hazipewa nafasi kama unavyojaribu kuongelea ni sawa pia,
Lakini uhalisia uko hivyo,na utabakia kuwa hivyo....
Nadhani kama yupo anayesimama mimi ni mmojawapo. Nimeshawahi kusema hapa kuwa Uislam ni dini ya mwenyezi mungu.

Mimi ninapozuia watu wasiunasibishe uislam na hadithi au chuki zao ni jambo jema kuliko wale wanaoshangilia uislam kutumika kama ngazi ya watu kuzua uongo, kueneza chuki na fitna na kuudhalilisha.

Mohamed amesema mara nyingi nia ya Mapinduzi ni kuua Uislam kule Zanzibar.
Kwa wale waliosoma vitabu na kufuatilia hoja zake hapa hawana shaka na hili.
Hivi karibuni ikafika mahali pa kusema wale waislam wa Tanga walioshirikiana na Nyerere ni ''punda'' akiwataja kama Punda wao. (ushahidi upo)

Ghassany na Mohamed katika kitabu chao wanasema Zanzibar ilikuwa shwari hadi pale Nyerere alipoleta fitna yake.
Juzi akiwa Kibanda Maiti Seif alisema Zanzibar ni nchi ya Kiislam. Madai hayo yameshadidiwa na suala la OIC hata kama tunafahamu kuwa si kweli kuwa ni nchi ya kiislam bali nchi yenye waislam wengi. Kuna tofauti.

Mohamed ameanisha watu kuwa wamakonde wa Kipumbwi ndio walipelekwa ZNZ kufanya mapinduzi kwa maelekezo ya Nyerere na misaada mingine. Lengo la Mohamed nikuonyesha kuwa Nyerere alikuwa na chuki na wazanzibar si kwasababu nyingine ni kwasababu ya Uislam. Ni chuki hiyo hiyo ya Nyerere ndiyo ilimuondoa Sheikh Amir.

Kabla 200K haijaondokewa na shaka juu ya Mohamed tumemuuliza
Je, Wamakonde wa Kipumbwi walipelekwa kwa ombi la nani, TANU au ASP au ilikuwa unilateral decision ya Nyerere kuua Uislam kama anavyodai na wala si mimi ninayesema hayo.

Pili, Mapinduzi ni halali au ni haram?
Tatu, wznz wanaposherehekea mapinduzi ya Nyerere yalilyolenga kuua uislam wanafanya jambo jema au ni wasaliti

Tatu,akina Thabiti Kombo, Jumbe na Wanamapinduzi wengine waliofanya kazi na Nyerere ni wanamapinduzi au wasalaiti?

Haya ni maswali muhimu sana hasa ukiangalia suala la Kipumbwi, Nyerere na madai ya Uislam yatolewayo na Mohamed.

Mnaponishambulia mimi ninayeuliza ili kuweka hoja sawa badala ya kumtaka mtoa madai athibitishe ninawashangaa sana.

Mimi nitasimama na ukweli, najua inawakera sana kuona mzee ameshindwa kuwaambia 200K juu ya madai yake.
Mzee anazidi kutia hofu 200K kwasababu kila mara amekuwa anatoa madai asiyoweza hata kujaribu kuyatetea.

Najua inawauma kuona mzee kasimama mbele ya kadamnasi mambo yakiwa kombo sasa mnatafuta mahali pa kumuokoa.
Mumejitahidi na nukuu na picha haikuwezekana, kama kawaida yenu mna chomeka mambo ya dini mkijua kuwa hoja itakufa kwavile sisi wengine tunaheshimu sana imani za watu na hata wale wasio na imani au wasio amini. T
unaheshimu kila mtu.

This time around mnapaswa msimame na kumwambia Mohamed ima aombe radhi kwa 200K kwa kutoa madai asiyoweza kuyatetea au asimame na atetee kile anachojua.

200K haiwezi kudanganywa kila mara na kuacha mambo yapite. 200K ina kiwewe cha mambo lukuki ikiwemo Ibadan, sasa mnaachia na huu msumari wa moto juu ya donda! ndugu zangu tuwaonee watu huruma. 200k ni idadi kubwa sana kudanganywa kirahisi.

Lakini pia mwambieni mzee kuwa anaposema wznz ni ndugu zake basi awaambie ukweli kuwa mapinduzi ni haramu, la sivyo awaambie ni halali.

Kusema ukweli ni sifa ya mwislam.

Ni wakati sasa msimame na kumwambia Mohamed asinasibishe maneno yake na iman.

Pamoja na yote niliyosema hapo juu 200K wanasubiri majibu.

Mohamed Said Waambie 200K jambo kuhusu uliyoulizwa.

NB: Tafuteni mstari au fanyeni spinning ili kumuokoa mzee. Msitumbukize imani kwasababu hiyo mnaifanya silaha yenu.
Nime stick mzee awaambie wasomaji wapatao 200K ukweli, hamtaweza kuniondoa katika mada kwa spinning au kuchomeka mambo ya dini.

Naambiwa na wenyeji wa JF haijapata kutokea, watu 200K! Sasa awaambie ukweli.
 
Al Habiby gombesugu,

Karibu sana ndugu yangu nimefurahi kukuona tena ukumbini, niwe radhi kiduchu nimechelewa kukaribisha nilikuwa nimetingwa na vijikazi kidogo.

Habara za safarini Urusi najua Ijumaa utakuwa St Petersburg Mosque karibia na river neva tuombee dua ndugu zako wa Madrassa.

Ndugu yangu gombesugu, hutakiwi kuwa mtu tu, eti ili upiganie haki yako, unachotakiwa kufanya ni kuwa mtu mwerevu, mjanja, kama tulivyofundishwa madrassa.

Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy. Sitie shaka,niliwakuta Al Khalifa The Big Show na Al Habiby Barubaru tayari walishanikaribisha kwa utuvu mwingi.

Shariff nakufahamu,kwani ni wajibu kendelea na kufanza shghuli zako/zetu nyingine,tusijekua miongoni mwa wale waliohamishia maisha yao hapa Jamvini.

Bado nipo huku,hali ya hewa ni njema na burdan.

Nitarejea nyumbani siku ya Jumatatu ijayo.

Vishughuli kiduchu vimenibana...lakini nikipata fursa nitakua nachungulia japo kiduchu.

Tayari nishakuandikia bayana zako hapa jamvini asubuhi hii,kitulia zisome upate cheka!ahaha!!

Insha Allah,Al Jumaa nitafika pale Al Masjid mapema,maana nina appointment ya kumwamkua yule Director wa ile Centre/Masjid. Ni mtu mwenye Ilm kubwa mno,na nitafikisha salaamu zenu nyoote.

Tutazungumza kwa utuvu hivi karibuni.

Ahsanta.
 
Ukiwa dhaifu, kila anaekutizama utahisi anania mbaya na wewe. na kila saa utatafuta mtu wa kumsingizia kama chanzo cha udhaifu wako. Elimu duni kwa waislamu nani alaumiwe?

1. Baadhi ya Vingozi wa dini ya Kiislamu: ambao wameeneza itikadi ya chuki na si upendo, kuvumiliana na kusameheana kwa maneno wanayoyajua wenyewe. Na hapa ndipo hutumia Mwanya kutimiza malengo yao ya kisiasa kwa niaba ya watu wenye nia zao wanazojua wenyewe.

2. Historia: Wakoloni waazungu na udhalimu wao walileta Elimu na Afya kupitia Wamishionary ambao ndio walikuwa Wapelelezi wakuu. Waarabu ambao ndio waliotuletea hapo awali dini ya Kiislamu kimsingi hawakuzingatia sana emilu Dunia wala huduma za Afya kwa watu wetu. Jambo hili baya limearithiri sana maendeleo ya maeneo kuliko na Waislamu wengi ambako Waarabu waliiueneza.

3. Mfumo wa Maendeleo wa taasisi a Kiislamu: Mpaka Miaka ya hivi karibuni, taasisi za Kiislamu zilijengwa katika misingi ya kidini zaidi kwa kuhamasisha watoto na vijana kiusoma Juzuu na Msaafu bila kuzingatia kuwa vijana hawa hawaishi katika ulimwengu wao peke yao, taasisi hizi tofauti na za wenzetu wakristu hazikuweka Elimu Dunia katika shule za Awali za Madrasa na hivyo kupelekea watoto kukariri na wala si kuelewa Aya mbalimbali, na hivyo katika sifa ya misingi hiyo, wanakuwa wazuri kwenye imani wabovu kwenye maisha, hawawezi kupata kazi wala kupewa nafasi katika taasisi mablimbali. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mwamko (ingawa bado madrasa zinabaki kuwa chanzo cha kuzorotesha Elimu ya watoto maana haziingizi elimu Dunia) wa Kielimu na taasisi mbalimbali tayari ziko katika mpangilio mzuri. Bado kunahcngamoto mfano shule zinazofanya vibaya sana ni za Waislamu Seminari (Ukitizama makundo hayo mawili ya zilizofaulu zaidi na zile zilizofeli zaidi). Cha muhimu hapa ni kujifunza, na kufikiri vema zaidi kukabili changamoto.

4. Uislamu wa Kisasa: Hili kila mtu analifahamu oukizingatia kuibuka kwa Mujahidina na sera yao ya adhabu zao kali kwa yeyote yule anaemkosea Mungu, badala ya kutumia ushawishi kuenga hoja zao wanatumia Nguvu kwa jina la Mwenyezi Mungu. Sina Uhakika kama Mwenyezi Mungu anashindwa kuwaadhibu wanaomuudhi, tena kwa sekunde. Rehema zake hazina kipimo na upendo wake na uvumilivu akiamnini tutarudi katika ibada na kuendelea kumcha Mungu. Je katika dini ya Uislamu hakuna kusamehewa dhambi na Mwenyezi Mungu? Je hakuna kusameheana mpaka tunaadhibiana Waislamu kwa waislamu, tukaeneza chuki na chuki dhidi hasahasa ya wale wasio Waislamu? Na hata kutumia nguu kupita kiasi katika siasa na mambo mengine na kuleta madhara kwa wengi tu wasio na hatia.

Mwisho, nasema hivi, hakuna mpango wala haujawahi kuwepo wa kuwakandamiza Waislamu, kutafuta mchawi wakati umejiloga mwenyewe. Muda huu unawza kutumika vema kupanga na kufanya maajabu kwa watoto na vizazi vijavyo na watu wakaufurahia Uislamu na kutaka kujiunga zaidi na zaidi. Kama ni Memorandum of Understanding kwanini Tasisisi husika zisiongee na Serikali kukawa na ya Waislamu? Sina uhakika kama kuna taasisi yenye nayo. Kama ni shule kwanini tusiongeze na kuziimarishana hasa ubora wa walimu? Sasa usitie neno, maana kama ni utajiri wako Waislamu matajiri sana. Kama ni akili wako Waislamu wenye akili sana. Wakati wa Mabadiliko ndani ya taasisi za kiislamu ni sasa kuanzia Madrasa mpaka misikiti Mikuu.

Profesa,

Moja ya tabia za Uislam ni kuamsha kipaji chako cha kufikiri na kuelewa. Uislam ni dini ya hoja umaridadi na usafi wa Uislam lazima ukuachie athari.
 
Last edited by a moderator:
gombesugu, wacha hasira ya ban! ulishatahadharishwa mapema kuhusu majibu yako ya hovyo na kujifanya umebobea kwenye kila jambo! tangu ulipoingia hapa jamvini umekuwa ni mtu wa kujikweza na kujifanya mjuvi wa mambo mengi lakini michango yako yote imekuwa ya hovyo kupita kipimo! huna maarifa yoyote uliyoyaweka hapa zaidi ya kulia lia tu ukimsujudu huyo mzee wako mwenye fitina mpaka makalioni. Funga domo lako, acha ma "Great Thinkers" wakupe elimu na sio uchonganishi wa huyo mzee wako mzandiki. Huwezi kuona michango ya watu wengine kwa sababu kichwa lako limejaa dharau na uzandiki dhidi ya watu wengine. Kwako wewe, mtu asiye amini uislam wako, unaamini hana akili, na ulivyo mtupu kichwani unadhani wanaombeza mzee wako Mohamed Said kwa makosa ya kiuandishi wana mkosea na wanauadui na uislam! Huyo mzee wako ameoneshawa kinaga ubaga upuuzi na uchochezi wake mpaka leo hoja hizo hajibu zaidi ya kuimba wimbo wake chakavu wa "na nyie andikeni historia za wazee wenu... mimi ndie pekee niliyesimuliwa na wazee wangu... narung'ombe, kariakoo nakipata.... mimi sio wa hivyo... sijawahi kumkuta mmanyema mkristo..." Mzee wenu hana hoja na nyie mnabebwa kwa imani ya dini yenu hamna hoja. gombesugu kaa pembeni achana na mimi "Once and for all".

ha haa haa JF hakuna medali ya matusi, tatizo lako hauna matusi mapya kila siku yale yale labda unayo ngoja tusubiri ukitukana tusi jipya tawaomba ndugu zangu wa Madrassa gombesugu, THE BIG SHOW, Boko haram, Ritz, tukugongee LIKE ha haa ha fungukaaa.
 
Last edited by a moderator:
Gwalihenzi,

I know you are no more than a keyboard Gangster...actually I mean you are time waster!

Bye!

Cc;Boko Haram
Surely i know you are a religious fanatic who never think by head but your stomach! To hell with your uncouth pompous behaviour. You deserve nothing but a high degree of contempt!
 
[/B][/B][/B]@gombesugu,

..mara nyingine huwa sijibu kwasababu naona mnakasha unaelekea kuharibika.

..zaidi, kwa mtu kama Kadogoo hoja zake mara nyingine nimeona ni bora kumuacha kama alivyo.

..mimi nadhani tatizo la ndugu zetu ni kushindwa kutofautisha kati ya Waislamu na Uislamu.

..mtu unapoambiwa Waislamu wana tatizo hili na lile, unafikiri ni Uislamu ndiyo unaotolewa kasoro.

..binafsi naamini Profesa amejenga hoja za msingi kabisa. sasa badala ya wewe kujadili hoja zake anaanza kushambulia binafsi huku ukihoji imani yake.

JokaKuu,

Soma upya post yangu upya kwanza, halafu ndio rejea tena hapa tuzungumze kiustaarabu ndugu yangu.

Hii dhana/myth yenu yakuwa Waislamu hawataki kuambiwa,wakaidi,hawakubali ushauri,na utumbo mwingineo mwingi kupita kiasi nafikiri nyinyi ndio mnaojaribu kuujenga kwa kiasi kikubwa hapa jamvini.

JokaKuu,hayo mambo ya kizamani yameshapitwa na wakati. Tulizanani vichwa vyenu hapa jamvini,tupo pamoja kama Wasomi, I mean at the same level,kama nyinyi mnaamini hivyo!?...lakini naona wenzetu mnatumia agressive tactics fulani ili mjionyeshe mko ati kwenye level fulani!?...mfano mduchu ni hiyo post yangu,na jinsi ulivyonijibu au kuielewa!?

Huyo Professor mwenyewe,...tayari alishanielewa. Kwa sababu nilikua pia namshauri kujaribu ku-avoid vitu kama hivi unavyojaribu kuniletea mimi sasa hivi!?...kumbuka ni mimi niliemwambia yakuwa points zake zingekua na nguvu zaidi kama asingetaja yakuwa yeye ni Muislamu!?...

Nafikiri tactics kama hizo zimeshapitwa na wakti...kwa mfano hii ndo kila siku inamkwamisha mu-Amerika na North Korea au Iran kwenye yale "mazungumzo" yao yasokwisha.

JokaKuu,nyinyi nyoote hapa hamna kabisa hoja za maana,lakini kila anaekubaliana na hoja za Sheikh Mohammed,l akijaribu kusema neno,mtajaribu kumvamia kwa kumwita mdini,mtu anaekubaliana na hoja zenu,mnawaita "Great Thinkers"!?ahhaha!!....wot a joke!

Kwenye lile suala la Elimu na matatizo ya Waislamu,uliponitaka ushauri/kuchangia,mbona nilikunyambulia kiundani japo kiufupi bila ya utata/matatizo yoyote!? Mbona wewe ndo ulikaa kimya,kumbuka mpaka kesho bado nina vipengele/materials nyingi tayari nilikua nakusubiri kwa hamu kubwa saana!?

Udhaifu wenu ni kuwa mnapenda saana mtu yeyote aje hapa na especially akishasema yakuwa yeye ati ni Muislamu,na huku anashambulia Waislamu au Masheikh na kujaribu kunukuu vipengele vya Qur'aan,najua hapo nyinyi ndo inakua kama vile furaha yenu imetimia...na mnakhisi huyo Muislamu/Mwanajamvi ndo kapata Licence nzuri ya kutushambulia hata kama hana hoja zozote.

I'm afraid JokaKuu,I'm no gonna tolerate that at any cost my dear friend...hata kama huyo mtu atadai yeye ni Imam wa Msikiti wa Makkah!!

Nishajieleza pita kiasi hapa jamvini, yakuwa uhusiano wangu na watu wa dini nyingine uko vipi. Now I think I don't owe anybody explaination.... yeyote mwenye dini,Mkristo,Muislamu aje na hishma au hoja zenye maana.

Ahsanta sana.
 
Back
Top Bottom