Gombesugu, Mag3 kasema katika hao wanopiga simu kuhusu Lawi basi ajitokeze mmoja. Na kisha kasema mbona haya yameandikwa siku nyingi hakuna aliyeshtuka.
Najaribu kufikiri kuwa hivi mtu akiniita mimi kafir (kama ninavyoitwa na akina al-khiy) au mpagani au imani nyingine, hilo linaweza vipi kufikia mahali pa kunikosesha usingizi au kunituma nikamate simu eti kwa ghadhabu!!!
Endapo hilo linasababisha usumbufu kama inavyodaiwa, basi nakuhakikishia kuwa Wazanzibar watabeba mawe na wala si simu.
Mtu babu yake atolewe roho, mwingine aachwe mjane, wengine mayatima halafu umwambie kuwa mpendwa wao alikuwa msaliti tena unasema msaliti wa dini ili huko aliko adhabu ya mola imshukie vilivyo, huyo kweli akuache bila kukupopoa mawe!
Pili, umesema mimi na Mag3 tunajifanya tunajua kila kitu, pamoja na kauli yako ya kejeli ukweli unatabia ya kujitenga na uongo na wala mwanga na giza havikai pamoja.
Tatu, nashukuru sana kusikia wewe na Mohamed Said(tumeishi na tunaishi) na historia!
basi tudadavulieni haya kwasababu yapo within your reach!
Muheshimiwa Nguruvi3,
Nashukuru tena kwa bayana yako hii dhaifu na nyonge mno...poleni saana!
Unajua yakuwa
Mag3,kwa kitambo sasa analeta
informations/statistics za urongo na upuuzi,khasa tangia yalipoanza malumbano ya
khabar za Zanzibar.
Binafsi nilikua nikimdodosa kiustaarabu....lakini kama kawaida yenu,kwakuwa mmeshaaminishwa yakuwa
Watu wa Madrassa woote hawajui kitu/hawajasoma,kuna baadhi ya Viwavi wenzenu hapa wakafikiri ati mimi naulizia vile kwasababu sijui hizo khabar au sources zake!?ahaha!!
Sasa
Shariff Ritz,ameamua kumfungulia shughuli kwa hiyo acha kumtetea huyo
Mag3 wako!? Jaribu kufikiria for a second kama hizo informations za urongo angeleta
Sheikh Mohammed ingelikua vipi wewe na wafuasi wako!?
Punguza au ukiweza tafadhali
acha kabisa spinning,hivi nani aliewahi kukwita wewe ni
Kafir hapa jamvini ndugu yangu
Nguruvi3!? Wewe mwenyewe binafsi mara ngapi unaandika posts khalafu unaweka
Cc;...kwa Makafir woote!? Hivi unakua na maana gani!?
Mimi binafsi hapahapa
jamvini,nilishawahi kumwambia
mtu fulani yakuwa asitumie kabisa hilo neno...na kwakuwa huyo mtu alijisema yeye ni
Muislamu,basi pia nikamnyambulia kiduchu baadhi ya vitu/mifano kutoka kwenye
Uislamu.
Jaribuni kuwa waungwana na kukumbuka shukran/fadhila japo kiduchu ndugu zetu,au mnataka kuwa kama
Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa"!?
Unadai yakuwa
Sheikh Mohammed;ati atapigwa mawe na
WaZanzibary!?ahaha!!
Nakufahamisha yakuwa
Wazanzibary;huwajui/hamuwajui na hamtawajua maisha yenu yoote! Ningekwambia mengi lakini leo huu mji niliopo ni ugenini, na jua limetoka uzuri mno...nahitaji kwenda kula Ice Cream kiduchu.
Lakini kwa kifupi,
Sheikh Mohammed,Unguja/Zanzibar yoote ni kwao saana tena saana. Hayo mawe utapigwa/mtapigwa nyinyi
"machogo" kama ulivyowahi kujiita wewe mwenyewe hapa
jamvini!
Mwambie
Mag3;atake radhi
Wanajamvi na aache kutoa excuse za kitoto...ati ooh "nikipata nafasi" nitajibu hoja zao!...
excuse me!?ahaha!!
Nawewe ndugu yangu
Nguruvi3;nakuheshimu mno...lakini nakusihi kuanzia sasa unapofanza mawasiliano nami au kujibu posts zangu nafikiri ni bora uiniwekee post yoote/nzima,sababu nakhis
Wanajamvi wasije kuwa
misled na "majibu" utoayo kwangu.
Nimefurahika mno kukusikia tena.
Nakuombeni jibuni maswali yoote mliyoyakalia kwa kitambo sasa;kumbuka huu mnakasha ni kuhusu
Uchochezi,Ugaidi na Uhaini!?
Ahsanta sana.
Cc;Ritz