Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,
Ungekuwa unachukua muda wa kufanya utafiti hata kiduchu kabla ya kuandika.
Wanajamvi chambueni wenyewe.

Huyu mtoto anachekesha sana ni Launcelot Gobbo wa JF.

Yericko
,
Hebu nisome kwanza hapa chini:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] My family was acquainted with one Dome Budohi, a Kenyan nationalist who was in Dar es Salaam during the struggle. Budohi helped in the founding of TANU and his membership card was no.6 issued to him in July, 1954. He was arrested in 1955 by the colonial government on charges of being a member of Mau Mau, a peasant uprising in Kenya against the British.

I have many recollections of visiting Budohi in his cell at the Central Police Station building which now houses the headquarters of the Tanzania Railway Corporation (TRC). I was at that time a child of not more than four years old. My first recollection of Budohi was that whenever we went to visit him we always found him reading a newspaper. Budohi was later deported to Kenya and detained on Lamu Island. On being released from detention just before Kenya’s independence in 1963, Budohi went to Uganda and worked with The Uganda Argus. I now understand why I always found him immersed in newspapers whenever we went to visit him in his cell during his period in remand in Dar es Salaam.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] I was able, through the assistance of one Maxwell, probably a Luo and an old friend of his who remained in Tanganyika, to trace Budohi in Nairobi in 1972. I visited him in Nairobi. At that time he was staying at Ruiru a few miles from the city. Budohi had a portrait of Nat King Cole hanging in his sitting room. In 1974 I visited him again this time at his Ngei Estate house. Budohi became my primary source of information on the early history of Tanganyika’s struggle against the British. At that time, however, I had no intention of writing a book.
Yericko,
Soma tena na hapa chini:

There were also patriots from nearby Kenya such as Dome Okochi Budohi and Patrick Aoko who had been exposed to the problems of colonial settler politics of grabbing land from the people. From them, Abdulwahid received very attentive ears and admiration for his ideas of transforming TAA into a more robust political organisation. Soon after the formation of TANU the two Kenyan nationalists were arrested by the government. For six months they were interrogated and kept in remand at the Central Police Station chained in their cells.

Yericko,
Hapa napenda kukufahamisha kuwa Dome Budohi akifahamiana vyema na baba yako Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Soma hapa chini wapi walikutana:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In June, TAA headquarters announced its executive committee with J.K. Nyerere, President; Abdulwahid Sykes, Vice-President; J.P. Kasella Bantu, General Secretary; Alexander M. Tobias and Waziri Dossa Aziz, Joint Minuting Secretary; John Rupia, Treasurer and Ally K. Sykes as Assistant Treasurer. Committee members were Dr Michael Lugazia, Hamisi Diwani, Tewa Said, Denis Phombeah, Z. James, Dome Okochi, C. Ongalo and Patrick Aoko.[1]

The composition of the TAA leadership showed East African solidarity that existed during the struggle for independence. Kenyan patriots were elected as office bearers side by side with Tanganyikans. It is said that it was about that time, in the last months of 1953, that Abdulwahid talked to Nyerere seriously about forming an open political party to replace TAA.

Yericko,
Bado una hoja bado mie ni muongo?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] Tanganyika Standard, 19 th June 1953.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Siku zote nimekuwa sikubaliana na vielelezo vyako kwakuwa unajinukuu mwenyewe kutoka kwenye maandishi yako,

Kulingana na ukweli wa mashirikiano ya TANU na KANU nikuwa usharika wao kamili ulishika mkondo mwaka 1958 baada ya mageuzi na ujenzi wa TANU kushika mlengo sahihi wa kuelekea kushika dola!

Tunaweza kuwasema wahamiaji katika zama za mapambano na mkoloni wa kiingereza na kijerumani wakikuwapo wengi sana!

Tatizo ni pale tunapowajaza sifa zaidi ya walizokuwa nazo! Baadhi yao leo wewe unawaongezea sifa wasizostahiki!
 
Naona umefyonza ilm sasa umerudi umetulia hakuna tena habari za uongo, ha haa ha.
 
Naona umefyonza ilm sasa umerudi umetulia hakuna tena habari za uongo, ha haa ha.

Shariff Ritz,

Huyu mtoto anataka kucheza na mimi.

Mimi nimeishi na hawa wazee.
Wengine wakija mpaka nyumbani kwetu wakinibeba nilipokuwa mdogo.

Iko siku nimepita Kipata Street (sasa Kleist Sykes).
Nikamuiona mtu naikumbuka sura.

Nilipojitambulisha akanambia, ''Mohamed ninapata habari zako za uandishi.
Mama yako alikuwa shoga mkubwa wa mama yangu...''

Huyu alikuwa Mbaraka mtoto wa Mama Kilindi. Baba yake alikuwa na ubao
soko la Kariakoo lileeeee la Abdu Sykes na kabila yake ilikuwa Mnubi.

Hivi ndivyo nilivyoweza kukusanya historia ya wazee wangu kwa uhakika.
 
Siku zote nimekuwa sikubaliana na vielelezo vyako kwakuwa unajinukuu mwenyewe kutoka kwenye maandishi yako, Kulingana na ukweli wa mashirikiano ya TANU na KANU nikuwa usharika wao kamili ulishika mkondo mwaka 1958 baada ya mageuzi na ujenzi wa TANU kushika mlengo sahihi wa kuelekea kushika dola! Tunaweza kuwasema wahamiaji katika zama za mapambano na mkoloni wa kiingereza na kijerumani wakikuwapo wengi sana! Tatizo ni pale tunapowajaza sifa zaidi ya walizokuwa nazo! Baadhi yao leo wewe unawaongezea sifa wasizostahiki!
Mkuu Yericko(kidogo navutiwa yumia Jericko), kuna sehemu nimemchomea kuwa "wakampa kadi ya TANU?"..MS hajanotice kitu..baala yake karekebisha kitu kingine...ila nilikuwa nikiuliza sense ya uzalendo na utaifa kwa hawa jamaa....na vigezo vilivyotumika au makubaliano ya wana mapinduzi na hawa wageni. Pia MS anajenga fikra kama vile uhuru ulitafutwa km Zenj,au Angola.....ndio maana anajikuta akikuza watu na kuwapa role iliyozidi.."ushahidi km mtu kusoma magazeti sana na kujiuliza kwake baadaye kuhusu huo usomaji" kweli inaweza kuwa ushahidi....?kwanza hata kujenga fikra kwa MS ni shinda, ana observations ktk mambo ya hovyo, anavyopaga premise kimakosa, na mwisho anajikuta akifikia wrong conclusion. "Sasa kumuona mtu akisoma magazeti sana, halafu akapata misukosuko na kuwa deported, kisha kujiuliza baadaye kukamfikisha gundua kwanini alikuwa anapenda magazeti"....angalau angekuwa na clue kuwa ktk hayo magazeti nini alikuwa kaikisoma sana....kwani hata wasio wana mapinduzi wanasoma magazeti....na wengine wanasoma tenders,wengine wanasoma katuni fulani, wengine wanaangalia matangazo ya waaoomba uraia km lake lipo..... Sijui watu km yeye wapo wangapi misikitini, na wanasikika kiasi gani ila kweli inatia huruma sana. Tutakuwa na vizazi vingi vya lost muslims.
 
Siku zote nimekuwa sikubaliana na vielelezo vyako kwakuwa unajinukuu mwenyewe kutoka kwenye maandishi yako,

Kulingana na ukweli wa mashirikiano ya TANU na KANU nikuwa usharika wao kamili ulishika mkondo mwaka 1958 baada ya mageuzi na ujenzi wa TANU kushika mlengo sahihi wa kuelekea kushika dola!

Tunaweza kuwasema wahamiaji katika zama za mapambano na mkoloni wa kiingereza na kijerumani wakikuwapo wengi sana!

Tatizo ni pale tunapowajaza sifa zaidi ya walizokuwa nazo! Baadhi yao leo wewe unawaongezea sifa wasizostahiki!

Yericko,

Hilo la kujinukuu tulishalimaliza huko nyuma.
Nilisema mimi naeleza yale nijuayo sijinukuu.

Yawezekana kabisa ikawa mimi kwa kuwa nawaeleza wazee wangu
nikawapa sifa zaidi ya kawaida.

Mwalimu wangu alipatanambia kuwa ''values'' yaani tunu ni tabu
kuziepuka kwa kuwa kila binadamu ana kitu anacholithamini na hivi
ukivitafuta utaviona katika maandishi yake.

Lakini hii haifuti ukweli wa hayo yote niliyoandika katika kitabu changu.
 
Mkuu Yericko(kidogo navutiwa yumia Jericko), kuna sehemu nimemchomea kuwa "wakampa kadi ya TANU?"..MS hajanotice kitu..baala yake karekebisha kitu kingine...ila nilikuwa nikiuliza sense ya uzalendo na utaifa kwa hawa jamaa....na vigezo vilivyotumika au makubaliano ya wana mapinduzi na hawa wageni. Pia MS anajenga fikra kama vile uhuru ulitafutwa km Zenj,au Angola.....ndio maana anajikuta akikuza watu na kuwapa role iliyozidi.."ushahidi km mtu kusoma magazeti sana na kujiuliza kwake baadaye kuhusu huo usomaji" kweli inaweza kuwa ushahidi....?kwanza hata kujenga fikra kwa MS ni shinda, ana observations ktk mambo ya hovyo, anavyopaga premise kimakosa, na mwisho anajikuta akifikia wrong conclusion. "Sasa kumuona mtu akisoma magazeti sana, halafu akapata misukosuko na kuwa deported, kisha kujiuliza baadaye kukamfikisha gundua kwanini alikuwa anapenda magazeti"....angalau angekuwa na clue kuwa ktk hayo magazeti nini alikuwa kaikisoma sana....kwani hata wasio wana mapinduzi wanasoma magazeti....na wengine wanasoma tenders,wengine wanasoma katuni fulani, wengine wanaangalia matangazo ya waaoomba uraia km lake lipo..... Sijui watu km yeye wapo wangapi misikitini, na wanasikika kiasi gani ila kweli inatia huruma sana. Tutakuwa na vizazi vingi vya lost muslims.

Wanajamvi,
''Ovyo'' siyo ''hovyo.''
 
Naona umefyonza ilm sasa umerudi umetulia hakuna tena habari za uongo, ha haa ha.
Psychopaths huwa wana tabia kama hizi...inapofikia mahali wengine wakadhani jamaa wameelewa..Ndipo kituko kinatokea....ngoma inarudi zero.Huwa hawana consistency wala composure.
 
Huu mbini wa Budohi hatari unanikumbusha world cup Mexico 1986 Maradona alikuwa anachukuwa kijiji kuanzia katikati ya uwanja kisha anafunga goli kwa style anayotaka anawaacha mabeki wanatizama hakuna wa kumlaumu mwenzake wote masikini walikuwa hawana uwezo wa kumkaba Maradona, ha ha haa ha.

Shariff Ritz,

Ile ya kufunga tela alikuwa keshafanya toka kwao.

Sasa mwenyewe anasema ile ya kuwafunga tela Waingereza
kisha na kumpiga chenga nyanda ilikuwa wazo la mdogo wake.

Aliwahi kufunga tela kisha kubaki na goli akapiga kufunga.
Mdogo wake akamwambia kama angempiga chenga na nyanda
goli lingekuwa super.

Hapo na Waingereza ndipo akakumbuka ule ushauri wa mdogo wake.
Yaliyobaki ni hii historia tunaihadithia.
 
Wickama kwa mujibu wa hadithi ya Mohamed, aliyeanzisha AA ni K.Sykes na kisha ikaenda enda kwa namna namna mara Abdul Kaibukia TAA, na hapo ndipo mambo yalipoanza kupamba moto ikiwa ni pamoja na kumuingiza katika siasa Nyerere kwa maraya kwanza walipoonana. Narudia ni kuwa mujibu wa maandiko na majidiliano ya Mohamed Said.

Kuna wanajamvi werevu wamesema hapa AA ilianzishwa na akina Matola kama Rais wake, Ramadhani Ali(kama sikosei) makamu na K.Sykes kama katibu. Ilikuwa ni kundi na si mtu. Wakaendelea kuhabarisha kuhusu D.Cameron alivyokuwa " anaunga'' mkono jitihada za kisiasa na hadi kutoa Jengo.

Jengo hilo likafanyiwa maarifa na wazee na vijana wa mjini nakugeuzwa kuwa mali ya familia.
Ingekuwa zama hizi tungesema ufisadi lakini nyakati hizo neno hilo lilikuwa halija wekwa katika mafaili au maandishi na tuseme ilikuwa sehemu ya matendo ya kisiasa.

Hapo kati kati wakawepo akina Mtamilwa na kuna nyakati V.Kyaruzi alikuwa rais wa TAA lakini haisemwi.
Huyu hakuwa sehemu ya wazee na ushiriki wake una walalkini. Anyway, tuendelee na Abdul, huyu kakiongoza chama hadi alipomuachia Nyerere kwa uchaguzi mkali sana ambao ulipangwa matokeo kabla.
Tafadhali usiniulize mkali halafu kupangwa maana yake ni nini.

Kuanzia AA hadi TAA ya Abdul chama kilikuwa cha kisiasa kwa matendo hadi Nyerere alipoandika katiba na kuanza kukidhoofisha. Nyerere ndiye alipendekeza chama kibadili mwelekeo lakini tayari chama kilikuwa na brain child kutoka Burma ambaye alishafikiria siku nyingi sana uhusu hilo kwa matendo na si nyaraka au faili.

Sijui kama nimekidhi haja na matarajio, naoba uniwie radhi kama kuna sehemu yenye mapungufu! huenda nilifyonza vibaya

You could be right hata Nicholas. Kwa sababu nadhani nilisoma kwenye paper moja ya Sir Edward Twining juu ya kitu kama hicho. Siku zote imekuwa inanipa aina Fulani ya kigugumizi kuona kuwa hizo Association zmeundwa na Sykes family. It was Until Nicholas alipoleta mtengano kati ya founders na office bearers ndipo nikaanza kupata mwangaza wa nini kipo mezani. Kama Governor Cameron andiye aliyetoa jengo, nadhani hatuna ajenda hapa. Nyumba ndiyo hizi hata leo mzazi akizikwa tuu watu wanaamkia mahakamani kudai umiliki!!!! Sembuse aliyoi-offer Cameron? I can now understand why kwenye mikutano ya TAA hata colonial welfare officers walikuwa wana-force kuhudhuria. Nadhani analysis ya Nicholas ni accurate kuwa walitoa platform ya waafrika kujadili welfare zao lakini na wao ikawa a point ya kuwa fuatilia nyendo zao vizuri. Ok. Shukran.
 
Yericko, Hilo la kujinukuu tulishalimaliza huko nyuma. Nilisema mimi naeleza yale nijuayo sijinukuu. Yawezekana kabisa ikawa mimi kwa kuwa nawaeleza wazee wangu nikawapa sifa zaidi ya kawaida. Mwalimu wangu alipatanambia kuwa ''values'' yaani tunu ni tabu kuziepuka kwa kuwa kila binadamu ana kitu anacholithamini na hivi ukivitafuta utaviona katika maandishi yake. Lakini hii haifuti ukweli wa hayo yote niliyoandika katika kitabu changu.
Hapo hapo kwenye values ,ndio nipo interested...Ni wazi values zilizo nadni yako ndizo zimekufanya ufaye mambo ambayo ni incompartible with universala values.Nitakueleza jinsi mambo yanakwenda.
 
Shariff Ritz,

Ile ya kufunga tela alikuwa keshafanya toka kwao.

Sasa mwenyewe anasema ile ya kuwafunga tela Waingereza
kisha na kumpiga chenga nyanda ilikuwa wazo la mdogo wake.

Aliwahi kufunga tela kisha kubaki na goli akapiga kufunga.
Mdogo wake akamwambia kama angempiga chenga na nyanda
goli lingekuwa super.

Hapo na Waingereza ndipo akakumbuka ule ushauri wa mdogo wake.
Yaliyobaki ni hii historia tunaihadithia.

Ha haa haa, unazidi kunikumbusha mbali mapambano ya Mohamed Ali wajina lako alivyokuwa anawangusha kina Leon Spinks, Sonny Liston, George Foreman, kwa punch za hatari.

Nakumbuka maneno yake anasema ni ngumu kuwa mpole ukiwa na nguvu na ushujaa kama mimi.

Wewe Mohamed Said, kuanzia leo nakuita GOAT kama wajina lako alivyokuwa akiitwa na meneja wake, Greatest of all Times..ha ha ha.

CC: gombesugu, Barubaru,
 
Last edited by a moderator:
Shariff Ritz, Ile ya kufunga tela alikuwa keshafanya toka kwao. Sasa mwenyewe anasema ile ya kuwafunga tela Waingereza kisha na kumpiga chenga nyanda ilikuwa wazo la mdogo wake. Aliwahi kufunga tela kisha kubaki na goli akapiga kufunga. Mdogo wake akamwambia kama angempiga chenga na nyanda goli lingekuwa super. Hapo na Waingereza ndipo akakumbuka ule ushauri wa mdogo wake. Yaliyobaki ni hii historia tunaihadithia.
Ila hapa huwezi piga chenga.....utaongea junks zako, mtapeana salam,mtaombana offer za gahawa mkimaliza mnarudishwa ktk kibarua ulipoachia.
 
Shariff Ritz,

Huyu mtoto anataka kucheza na mimi.

Mimi nimeishi na hawa wazee.
Wengine wakija mpaka nyumbani kwetu wakinibeba nilipokuwa mdogo.

Iko siku nimepita Kipata Street (sasa Kleist Sykes).
Nikamuiona mtu naikumbuka sura.

Nilipojitambulisha akanambia, ''Mohamed ninapata habari zako za uandishi.
Mama yako alikuwa shoga mkubwa wa mama yangu...''

Huyu alikuwa Mbaraka mtoto wa Mama Kilindi. Baba yake alikuwa na ubao
soko la Kariakoo lileeeee la Abdu Sykes na kabila yake ilikuwa Mnubi.

Hivi ndivyo nilivyoweza kukusanya historia ya wazee wangu kwa uhakika.

Mohamed Said,

Ulikuwa na sababu nyingine kuu ya kuyaamini waliyokusimlia zaidi ya "Wazee wako", "Kusimuliwa" na "Kuwafahamu"???

Ikiwa kuna sababu za kuamini nje ya hayo hebu lieleze jamvi!

Nimeuliza hayo kwakuwa katika maelezo yako hakuna ushahidi wa kuaminisha ulichokiandika,

Zaidi tunaambiwa "nimesimuliwa na wazee wangu", "kulikuwa na taarifa", "inasemekana" nk!

Liambie jamvi ewe scholar
 
Shariff Ritz, Huyu mtoto anataka kucheza na mimi. Mimi nimeishi na hawa wazee. Wengine wakija mpaka nyumbani kwetu wakinibeba nilipokuwa mdogo. Iko siku nimepita Kipata Street (sasa Kleist Sykes). Nikamuiona mtu naikumbuka sura. Nilipojitambulisha akanambia, ''Mohamed ninapata habari zako za uandishi. Mama yako alikuwa shoga mkubwa wa mama yangu...'' Huyu alikuwa Mbaraka mtoto wa Mama Kilindi. Baba yake alikuwa na ubao soko la Kariakoo lileeeee la Abdu Sykes na kabila yake ilikuwa Mnubi. Hivi ndivyo nilivyoweza kukusanya historia ya wazee wangu kwa uhakika.
Wewe huwezi kaa uwe mkweli wala mwaminifu...sasa km hapa tuu tayari unachomwambia Yericko ni tofauti na unachomwambia mwingine ktk same public domain...itakuweje ukiwa huko ktk vijiwe vya kudanganyana? Kwanza bado hukuwasoma wazee wako vyema ktk historia..wazee uwasemao walimheshimu sana Nyerere pamoja na umri wake kuwa mdogo..ila jinsi una behave ni wazi huna staha....Na inawezekana kabisa wewe ni mpenda fujo, na matusi ya hovyo hovyo km wengine wa pwani.Kuna mengi huwezi fanana na watu hapa ndani. Story ulizoweka hapa zote ni useless.....kinichekeshacho umeweka sana style ya hadith mifnao mingi,misemo mingi na sababu hazikuwa zikiendana na maswali husika, wala hajirekebishi sana makosa ya swali la mwanzo. Oral traditions huwa zipo twisted sana,unless una mechanism nzuri ya kufanya discrimination ya data kuna uwezekano ukabeba uchafu mwingi sana kuliko hata facts.Hasa linaokuja suala la mtu kueleze kitu huku akitaka jenga hisia kuwa aongeacho ni kweli na alishuhudia.Hata msimulizi anapodhani kuwa akisema kwa style fulani au kutwist kitu fulani basi atakuwa kaepusha kundi fulani kupata sifa mbaya. So hizi ngano zako tunaomba uziache hapa..
 
You could be right hata Nicholas. Kwa sababu nadhani nilisoma kwenye paper moja ya Sir Edward Twining juu ya kitu kama hicho. Siku zote imekuwa inanipa aina Fulani ya kigugumizi kuona kuwa hizo Association zmeundwa na Sykes family. It was Until Nicholas alipoleta mtengano kati ya founders na office bearers ndipo nikaanza kupata mwangaza wa nini kipo mezani. Kama Governor Cameron andiye aliyetoa jengo, nadhani hatuna ajenda hapa. Nyumba ndiyo hizi hata leo mzazi akizikwa tuu watu wanaamkia mahakamani kudai umiliki!!!! Sembuse aliyoi-offer Cameron? I can now understand why kwenye mikutano ya TAA hata colonial welfare officers walikuwa wana-force kuhudhuria. Nadhani analysis ya Nicholas ni accurate kuwa walitoa platform ya waafrika kujadili welfare zao lakini na wao ikawa a point ya kuwa fuatilia nyendo zao vizuri. Ok. Shukran.

Unachekesha sana bahati mbaya au nzuri huwajui kina Sykes, fanya tafiti kidogo ili uwajue, siyo watu wa kuuza nyumba kariakoo na kukimbilia mahakamani hayo unayoongea labda umeamua kujifariji na kujiliwaza.

Mzee Ally Sykes amefariki kaacha nyumba nyingi hapa Dar, Kariakoo, Masaki, Upanga, Mbezi beach alipokuwa anaishi, Mikocheni, moja ya jengo lake ni lile ghorofa pale Aggrey na Sikukuu, chini kuna bank, jengo la ushirika pale ule uwanja ulikuwa wa mama yao, bado ujaenda Kipata kwao, hawa siyo wa kuuza nyumba kisha kukimbilia mahakamani, mwaka 1960 Ally Sykes anaendesha benz, muulize Jasusi, anawajua wewe ulikuwa bado upo Tarime.

Kaa na wenzako mkubaliane Yericko anasema AA, imeundwa na Matola, huyu jamaa yako anasema AA. TAA zianzishwa na Waingereza, wewe unasema waliounda ni Waingereza mnajichanganya wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Wewe huwezi kaa uwe mkweli wala mwaminifu...sasa km hapa tuu tayari unachomwambia Yericko ni tofauti na unachomwambia mwingine ktk same public domain...itakuweje ukiwa huko ktk vijiwe vya kudanganyana? Kwanza bado hukuwasoma wazee wako vyema ktk historia..wazee uwasemao walimheshimu sana Nyerere pamoja na umri wake kuwa mdogo..ila jinsi una behave ni wazi huna staha....Na inawezekana kabisa wewe ni mpenda fujo, na matusi ya hovyo hovyo km wengine wa pwani.Kuna mengi huwezi fanana na watu hapa ndani. Story ulizoweka hapa zote ni useless.....kinichekeshacho umeweka sana style ya hadith mifnao mingi,misemo mingi na sababu hazikuwa zikiendana na maswali husika, wala hajirekebishi sana makosa ya swali la mwanzo. Oral traditions huwa zipo twisted sana,unless una mechanism nzuri ya kufanya discrimination ya data kuna uwezekano ukabeba uchafu mwingi sana kuliko hata facts.Hasa linaokuja suala la mtu kueleze kitu huku akitaka jenga hisia kuwa aongeacho ni kweli na alishuhudia.Hata msimulizi anapodhani kuwa akisema kwa style fulani au kutwist kitu fulani basi atakuwa kaepusha kundi fulani kupata sifa mbaya. So hizi ngano zako tunaomba uziache hapa..

Wewe una matatizo kwenye ubongo (Biochemically) pamoja na (Biophysically) ndiyo maana haueleweki unaandika nini.
 
You could be right hata Nicholas. Kwa sababu nadhani nilisoma kwenye paper moja ya Sir Edward Twining juu ya kitu kama hicho. Siku zote imekuwa inanipa aina Fulani ya kigugumizi kuona kuwa hizo Association zmeundwa na Sykes family. It was Until Nicholas alipoleta mtengano kati ya founders na office bearers ndipo nikaanza kupata mwangaza wa nini kipo mezani. Kama Governor Cameron andiye aliyetoa jengo, nadhani hatuna ajenda hapa. Nyumba ndiyo hizi hata leo mzazi akizikwa tuu watu wanaamkia mahakamani kudai umiliki!!!! Sembuse aliyoi-offer Cameron? I can now understand why kwenye mikutano ya TAA hata colonial welfare officers walikuwa wana-force kuhudhuria. Nadhani analysis ya Nicholas ni accurate kuwa walitoa platform ya waafrika kujadili welfare zao lakini na wao ikawa a point ya kuwa fuatilia nyendo zao vizuri. Ok. Shukran.
Hawa jamaa huwa hawawezi sana pima vitu wakati wanasoma......ila utashangaa wakilalama kuna mkono wa CCM Bakwata, ktk mambo ya waislam , kuna mikono ya serikali ktk vyama vya wafanya kazi, kuna mikono ya serikali ktk mahakama....ila mkoloni aliyeanzisha hizo mbinu hakuwa na mikono kwa corrupt TAA na AA....
 
Unachekesha sana bahati mbaya au nzuri huwajui kina Sykes, fanya tafiti kidogo ili uwajue, siyo watu wa kuuza nyumba kariakoo na kukimbilia mahakamani hayo unayoongea labda umeamua kujifariji na kujiliwaza. Mzee Ally Sykes amefariki kaacha nyumba nyingi hapa Dar, Kariakoo, Masaki, Upanga, Mbezi beach alipokuwa anaishi, Mikocheni, moja ya jengo lake ni lile ghorofa pale Aggrey na Sikukuu, chini kuna bank, jengo la ushirika pale ule uwanja ulikuwa wa mama yao, bado ujaenda Kipata kwao, hawa siyo wa kuuza nyumba kisha kukimbilia mahakamani, mwaka 1960 Ally Sykes anaendesha benz, muulize Jasusi, anawajua wewe ulikuwa bado upo Tarime. Kaa na wenzako mkubaliane Yericko anasema AA, imeundwa na Matola, huyu jamaa yako anasema AA. TAA zianzishwa na Waingereza, wewe unasema waliounda ni Waingereza mnajichanganya wenyewe.
Afadhani umelet akitu ambacho nilikuwa najaribu chelewa kuambia......AA na baadaye TAA zilikuwa na misuse kubwa sana ya Funds ....So nilikuwa nataka introduce hiyo kitu ila nikaona wewe na MS mngeanza kurupuka na kupata escape door.. Kwa ujumla Hawa jamaa walikuwa wezi sana, na walitumi akila nafsi kujipa vipaumbele zaidi ya waafrica wengine.Ndio maana unaona anavyo vitu vyote hivyo, wakati wenzie wacheza bao walipata maeneo ambayo kupanuka kwa mji ndiko kuliwaleta mjini. Kwa ulewa wako mdogo unaona sifa kusifia mali anazozimiliki km zake....poor you.Life has been made to be very unfair to muslims by fellow muslims.Sykes hakupenda uhuru wala hakuwa na haja nao,kwani alikuwa ana kamrija kake, ila ktk uongo wake na unafiki akajikuta hawezi pingana na Nyerere hadharani,kwani angeumbuka, na hivyo kuangalia show ya Nyerere tuu na wazee wasiokuwa na kitu.Waliokuwa chini yake walikuwa hata habari kuwa uhuru ulikuwa wazi km watajipanga na kujitambua..watajitambua vipi wakati familia ilishajijengea (FAT fulani -Enzi ya Rage na Ndolanga), si Alhajis wale? Kweli kwa miaka mingi ijayo waislam ni wa kutumia tuu.Wanaweza kufa wakimlinda adui wakidhani wanapigana nae, wanaweza piga wrong friend wakamkumbatia adui bila jijua. Believe me, muda si mrefu km serikali za design ya JK hazitokuwepo kwa 5 yrs kubail out hizi familia...zaidi ya nusu ya hizo mali zitakuwa zinamilikiwa na wajasiriamali wa nchi hii.Zitasalia zilizokodiwa na makampuni au taasisi kubwakubwa..ila baada ya kuzaana na kurishana kwa asilimia kadhaa..nazo zitafikia point ,hawawezi fanya huo mgao tena na kuweza ishi bila vurugu za wataka kula kikubwa na hivyo nazo kumalizikia.Akizaliwa mmoja mwenye bidii ya kutafuta traces za jina sykes kwa darubini ,ndio ataingi tena misikitini kulia upya kuwa matuna ya uhuru hawajapata. You are alaways like that dunini kote...mna demands ambazo hazitekelezeki, n akuplay victims kila mahali ili kupata mrija na si kazi.
 
Last edited by a moderator:
Mag3
lawi pilila sijaona.jpg

Huyo dada,anaitwa pilila lawi sijaona,
Anakuuliza wapi ulitoa taarifa ya kwamba marehem baba yake mzazi was A MUSLIM??

Tunasubiri majibu kutoka kwako...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom