Ni bahati mbaya iliyoje,
Wanajamvi wengi hapa hawajavisoma vitabu husika vinavyojadiliwa hapa, wewe ukiwemo!
Yericko,
Nisingependa asilan kukurubisha malumbano nawe. Kila siku ikipita hapa
jamvini nagundua vingi mno kuhusu wewe binafsi!
Masuali mengi mno kuhusu hiyo
"Historia yako" mpaka sasa
hutaki/umegoma kuyajibu!?
Takriban
nusu mwaka uko hapa
jamvini unatoa
mahubiri kama vile
Kasisi, lakini unapoulizwa
sources/vigezo vyako...pia hamna kitu!?...na wanatokea
viwavi fulani ati kukutetea na kukukingia kifua!ahaha!!
Kitabu chako cha
khadithi za ugaidi, kwa kifupi ni uozo na utumbo mwingine wa kutia aibu hili Taifa letu! Si unadai wa-
Amerika ndo wafadhili na walistaajabishwa na ule utumbo wako na khasa pale walipokuona...kwenye ule "mkutano wenu wa Mbutu",sasa ulishawahi kujiuliza au kuwauliza hao wa-Amerika kwanini walipatwa na staajaba kubwa mno!?ahaha!!
Hapa umeshakuja
jamvini,kututangazia yakuwa una party ya
ku-smoke weed ati wewe dini yako ni
Rastafari...unajidanganya kila kukicha sisi soote tunajua yakuwa wewe na group yako mpo hapa kwa ile
Crusade yenu takatifu.
Leo asubuhi unadai hata wale "wavumbuzi wenu" wazungu yakuwa woote ati ni
Majini na wamelaanika...huku ukinukuu kitabu kitakatifu cha
Bible!?
Umeshawahi kuleta story ya
Tanu na yule
Mzee wako wa bandia wa kizaramo na wakti huo huo ukimgeuza
mvuvi huku akiwa na miaka
takribani 90!...akafa khalafu ukamfufua tena na kuonekana kwenye
mikutano ya Tanu!?
Kwa kifupi wewe
mtoto wa Kihehe ni janga kubwa la Taifa na
Chadema.
Nataka nikipata fursa nimwandikie rasmi
Padri Daktari Slaa,akufukuze kabisa kwenye chama chake.
Na kule
Mbutu unakoishi tutaongea na yule
Diwani pale Mzee ali Simba ili ufukuzwe na kile kibanda kinachokustiri tutamwomba
Mzee Sabodo Mfadhili wa Chadema na kada wa
CCM,aje akinunue na wewe upate senti kiduchu za kwenda kuanzia maisha na kufungua genge pale kwenu
Makambako!!!
Maisha ya mjini yameshakushinda,na sisi
wanamji/wana Mzizima tumeshakuchoka. Kama kuna watakaokuonea huruma basi wakuchukue wao huko mikoani kwao. Lakini tafadhali usijaribu wala kuthubutu asilan kugusa
Tanga, Pare au Arusha!
Jana umefanza khitimisho kubwa mno...yaani umeleta
mambo ya ndani na
Wifey wako na kuja nayo kumuumbua hapa
jamvini...nafikiri maskini ikamlazim mpaka
The Big Show aingilie kati na kukunasihi!?
Yericko,wakti najiunga hapa
jamvini/Jf nilkua nakustahi mno ndugu yangu lakini umeniangusha mno. Kama hutojali nakusihi jirekebishe japo kiduchu.
Narudia tena
Yericko wewe ni
janga kwa Taifa!
Ahsanta.
Cc;Ritz,The Big Show