Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hii ndio shida ya kuwapa mtandao ambao hawajatoka ktk kupeana taarifa kwa midomo ktk vibaraza vya gahawa.NImekuambia ."Km viwango ni vya madrassa lazima umuone ni GOAT" pia kama anaendekeza midevu km mbuzi si mbaya akaitwa hivyo.Sasa wewe unaleta habari za eneo ktk picture.

The small minded will take our words wrongly & the evil minded will go out of their way to misinterpret them. It happens to revelation too.
 
Ni bahati mbaya iliyoje,

Wanajamvi wengi hapa hawajavisoma vitabu husika vinavyojadiliwa hapa, wewe ukiwemo!

umesma kweli...siwezi intentionaly kiinua hicho kitabu..km nisivyoweza inua vijarida vilivyokuwa vinauzw apale shule ya uhuru miaka hiyo sijui hadi leo vipo+magazeti ya Shingongo ndivyo nisivyoweza soma vitabu vya hovyo vya islamic scholars.Thanks GOD Jf imekuwa paltform nzuri sana ya kuweka mijadala na kupata references at athe same time..HUyu jamaa alicho quote kimetosha mmaliza mwenyewe.

Vitabu vya hawa waandishi havina muto kabisa.Sasa hivi wapo busy kuandika kuhusu free masons...ni tishio kubwa sana kt ya waislam, na hawa makanjanja ndio wanapopiga bao kuwauzia DVDs na vijarida vyenye issu hizo.Nimeona sehemu watu wanaangalia msimulizi aliyepo ndnai anawatolea akina Beyonce, na wengine km freemasons, ...masikini weeee wanazidi wapotezea muda watu wao ambao elimu ndio tuijuayo.Wanapotosha hata fikra kidogo walizobaki nazo baada ya kuharibiwa madrasa.

Shame on these guys inc.....MS
 
GombeSugu,

Mimi ni Mtanzania, naweza kuishi popote katika Jamhuri hii labda katika mpya iweke ukomo wa Mtanganyika kuishi kwa hiyari!

Sio Makambako tu, naweza kuishi Usokami,Maduma,Kibengu,Ushirombo,Shirati,Magu,Katavi,Mbutu,Makorola,Mchambawima,Mugumu,Tarime,Butiama,Ikizu,Kihodombi,Kilimanyege,nk

Sasa wewe uliyeughaibuni nivigumu kwako hata kujua tz inakwendaje,

Unategemea sisi tuweke taarifa za hali ya nchi hapa jf ndio ujue!

Mmeikimbia nchi halafu mnapinga tunaoijenga nchi tukitaka mabadiliko!

Karibu Butiama tutakuandalia ugali wa mtama na kichuri!
 
Wewe kichwa maji kabisa..unzidi jiabisha..Wamasai na makabila mengine akina mama wanaishi maziwa yapo ,wahindi matumbo na migongo nje, ila watu waoa hawana shida.Hata mjini watu wanaoga ktk public pools/beach wakiwa na hizo bikin na hakuna mtu anawaita wapo uchi...hapoa si suala la uchi ila ni suala la kutokea sehemu isiyo sahihi.Na hivyo watu,hupata mtazamo tofauti ktk sehemu walizotegemea kitu tofauti.

Mbona wapo akina dada kibao tuu wamefunika hadi uso "....uchi mwingine wenye macho..",ila wamechomekemea hema ktk chupi,au wengine wameshikilia hema huku wamebana makalio ?Hao ndio wanaonyesha utupu wao kwa kutumia nguo.
Hili ndiyo tatizo la kuja JF umelewa pombe angalia unavyojidhalilisha, halafu cha kushangaza wewe ni kiongozi wa Chadema, ha haa haaa.
 
Ya kus Mkuu wa chuo, A.K.A kasumuk narabuk,

Hata siku moja Tanzania haiwezi kuongozwa na Padri.
Shariff Al akhiy Al habiby alwatan Ahali yangu Abu Jahl sweet Ritz je umepima upepo au unafurahisha jamvi tu? Amini nakwambia hakuna mtu mwenye hati miliki ya kuongoza Tanzania...
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio shida ya kuwapa mtandao ambao hawajatoka ktk kupeana taarifa kwa midomo ktk vibaraza vya gahawa.NImekuambia ."Km viwango ni vya madrassa lazima umuone ni GOAT" pia kama anaendekeza midevu km mbuzi si mbaya akaitwa hivyo.Sasa wewe unaleta habari za eneo ktk picture.
Ha ha haa... picha imekukera eehh kuna watu humu jamvini maandishi hawayaelewi,hivi mbuzi akigoma kwenda unambembeleza wimbo wake unaujua ni kiboko tuu:deadhorse: kuna watu huku wanakula viboko vya picha tuu hiyo ndio dawa yao.
 
Ha ha haa .... eti waislamu ni wachawi na wanamajini msome huyu mgalatia au kamanda mwenzako mwenye imaani ya ki rastafari nyuma ya pazia la ukristo anavyo sema Yericko Nyerere

90% ya Wazungu ni Majini

Kwakutumia historia ya binadamu kibiblia, ukichambua kila uzao na sampuli zake unabainisha wazi hilo nilisemalo, japo laweza kuwa zito kwa wengine.
Kwa wale muaminio biblia mnaweza kukubaliana na mimi kuwa sababu kuu ya Mungu kuiangamiza dunia enzi za Nuhu, ni kutokana na wanadamu kumuasi mungu, maasi yalikuwa yakufuru hasa yakihusisha mwingiliano wa majini na binadamu, wanyama na binadamu nk na baada ya angamizo hilo, manusura walikuwa ni Nuhu, wanawe, mke wake, na kila kiume kibaya na chema aliviokoa mke na mme. Mwanzo 7:1-11
Hapa tunaona kuwa na majini yaliokolewa na Nuhu, Sasa tukirejea katika masimulizi yetu tunaona sasa baada ya Nuhu kuokolewa na safina, wanae watatu wakiume ambao tayari walikuwa wameoa (enzi za gharika) mmoja wao Yafethi alikuwa kaoa jini, wakati wawili Shemu na Hamu wao biblia inasema walioa mahali ambapo si chukizo mbele za Mungu. Mwanzo 10:1-7
Uzao wa wana wa Nuhu ndio unatupatia ukweli wa nikisemacho, kwanza tunaona kuwa wana wa Yafethi alieoa jini ni, Gomeri (Ujerumani), Magogu (Cambridge UK ), Madai (Hispania), Yavana (Italia), Tubali au Yunani (Ugiriki), Mesheki (Lebano) na Tirasi (Ufaransa), Mpaka hapotumeona uzao wenye ushirika na majini waYafethi
Sasa tuangalie uzao Hamu unaotajwa kuwa Mungu aliupenda na kuupa baraka tele, uzao huo ni Kushi (Ethiopia), Misri (Misri), Kanaani (Israel) na Putu (Libya)
Mwanzo 10:21-23 Tunasoma yakuwa wana wa Shemu ambe ni sehemu ya kipenzi cha Mungu, ni Elamu (Saudi Arabia), Ashuru (Syria), Arfaksadi (Kuweit), Ludi (Jordan), na Aramu (Qatar)
Mpaka hapo tumepata mwangaza kuwa uzao wa Yafethi wenye tokezo la majini/uovu ndio uzao wa mataifa karibu yote ya Ulaya. nauzao wa Hamu na Shamu ndio uzao uliopewa neema na muumba hii ni kwamujibu wa maandiko ya kiroho.
Kwamaandiko hayo tunaamini kabisa kuwa Mashariki ya kati, na Afrika ndio maeneo muhimu ambayo mungu aliwabarikia watu wake.
Hata ukitumia Kuruani takatifu hayo yote yanabainisha wazi kabisa.
Kwamsaada zaidi rejea Mwanzo 4:16-24, Ufunuo 16:13-15, Ufunuo 20:7-8, Ezekieli 27:12-14, Ezekiel 38:1-9
Kwakupanua wigo wa mjadala nje ya biblia hasa wale wenzangu waaminio Freemasonry ijapokuwa watetezi wake hupinga kuwa si ushetani/ujini, watambue kuwa uzao wa asili wa freemasonry ni Magogu (Cambridge UK) japo katika historia inasema ni Scotland UK
Haya ndugu zangu nawakaribisha katika tafakuri njema. Posted by ynyerere on September 23, 2012

Baada ya kusoma chunguza kizazi kipi ni cha kijini na kizazi kipi mungu alikipenda na kizazi cha shem ndicho kizazi cha waarabu ambacho wewe unakichukia na mwenzako aliyeleta huu uzi lakini biblia inasema kizazi hicho ni kipenzi cha mungu,kizazi cha Yafethi ndio kizazi cha majini na ndio nchi zote za ulaya kama alivyo nukuu mkuu Yericko kutoka kwenye biblia.
[
Boko haram, haya yananihusu nini mie? kweli sasa naamini wewe ni mgonjwa wazimu! bora Ritz au mzee wenu mchimvi akupeleke matibabu kabla hujaanza kuvua nguo hadharani!
 
umesma kweli...siwezi intentionaly kiinua hicho kitabu..km nisivyoweza inua vijarida vilivyokuwa vinauzw apale shule ya uhuru miaka hiyo sijui hadi leo vipo+magazeti ya Shingongo ndivyo nisivyoweza soma vitabu vya hovyo vya islamic scholars.Thanks GOD Jf imekuwa paltform nzuri sana ya kuweka mijadala na kupata references at athe same time..HUyu jamaa alicho quote kimetosha mmaliza mwenyewe.

Vitabu vya hawa waandishi havina muto kabisa.Sasa hivi wapo busy kuandika kuhusu free masons...ni tishio kubwa sana kt ya waislam, na hawa makanjanja ndio wanapopiga bao kuwauzia DVDs na vijarida vyenye issu hizo.Nimeona sehemu watu wanaangalia msimulizi aliyepo ndnai anawatolea akina Beyonce, na wengine km freemasons, ...masikini weeee wanazidi wapotezea muda watu wao ambao elimu ndio tuijuayo.Wanapotosha hata fikra kidogo walizobaki nazo baada ya kuharibiwa madrasa.

Shame on these guys inc.....MS
fas-brain.jpg


brain_work.jpg
 
Hili ndiyo tatizo la kuja JF umelewa pombe angalia unavyojidhalilisha, halafu cha kushangaza wewe ni kiongozi wa Chadema, ha haa haaa.
Si bora ingekuwa ni pombe tuu inaonekana anatumia na hii kitu
A%20S-smoking.gif
 
Boko haram, haya yananihusu nini mie? kweli sasa naamini wewe ni mgonjwa wazimu! bora Ritz au mzee wenu mchimvi akupeleke matibabu kabla hujaanza kuvua nguo hadharani!
Ha haa siku shangai ikishafika weekend lazima upate mauchokozi kiti kirefu at work
 
Mwalimu nyerere mwenyewe amesikika akisema kwamba katika kugombania uhuru wa tanganyika, wakiristo walikuwa wawili tu, yeye Nyerere na Paul Rupia kama sikosei

Pili padri Munishi anasema serikali ya tanzania inauwa waislamu, nasema huyo ni padri anayesema hivo sio sheikh

tazama video hiyo

TANZANIA SERIKALI INAUA WAISLAMU - YouTube

Al Habiby Bin Faza,

Nakuona huwe na moyo wa subra kuna watu watakuja kukushambilia wala usihofu chochote na ndugu zetu tu wana mikwala mbuzi tu.
 
Last edited by a moderator:
GombeSugu,

Mimi ni Mtanzania, naweza kuishi popote katika Jamhuri hii labda katika mpya iweke ukomo wa Mtanganyika kuishi kwa hiyari!

Sio Makambako tu, naweza kuishi Usokami,Maduma,Kibengu,Ushirombo,Shirati,Magu,Katavi,Mbutu,Makorola,Mchambawima,Mugumu,Tarime,Butiama,Ikizu,Kihodombi,Kilimanyege,nk

Sasa wewe uliyeughaibuni nivigumu kwako hata kujua tz inakwendaje,

Unategemea sisi tuweke taarifa za hali ya nchi hapa jf ndio ujue!

Mmeikimbia nchi halafu mnapinga tunaoijenga nchi tukitaka mabadiliko!

Karibu Butiama tutakuandalia ugali wa mtama na kichuri!


Yericko,

Mimi mwenzio mbona sijakimbia nilikuwepo hapo only the February just gonne!...huwa nakuja nyumbani mara tatu kwa mwaka bila ya kukosa.

Pia najishughulisha na kilimo kikubwa hapo hapo nyumbani...

Kwa kifupi sijakimbia kujenga Taifa!ahaha!! Hii khabar pia mjulishe na Mag3 nae, maana kuna wakti alitucheka mimi na Al Akhiy Barubaru ati yakuwa tumo hapa Jf sababu ya Home sick!?ahaha!!...probably he meant Sea sick!?ahaha!!

Butiama natamani kuja au kufuatana na wewe,lakini je watoto wa Mama Maria watakubali kukupokea/kutupokea!?

Si nasikia yule Andrew Nyerere ati alikuja kukuadhiri na kukukataa hapa mbele ya umati wa watu!?....au labda ni maneno ya fitna za hapa jamvini na hii khabari si kweli!?

Tafadhali Yericko,ni kweli inabidi ujirekebishe khasa pia kauli/language utumiayo baadhi ya nyakati. Wewe bado ni kijana,jaribu kutumia muda wako kiungalifu na kujijengea hishma nzuri na mapenzi kwa wengine hata kama una mitazamo nao tafauti.

Achana na hawa mashabiki wako wa hapa jamvini,wengi wao hawakutakii mema. Wao wanakushangilia tu kila ufanzalo bila ya kujali ni jema au baya.

Huwezi jua labda, Padri Daktari Slaa/Chadema siku wakiweza kuingia madarakani,wewe waweza kuwa mmojawapo ya mawaziri wa wizara nyeti au hata Waziri Mkuu...sasa ni muhimu kipindi hiki ambacho wewe ni Celebrity mkubwa hapa Jf,inalazim uchunge na kuitunza image na credibility yako ndugu yangu.

Niwie radhi kama nimekukera kwa hayo nilonena.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 

Yericko,

Mimi mwenzio mbona sijakimbia nilikuwepo hapo only the February just gonne!...huwa nakuja nyumbani mara tatu kwa mwaka bila ya kukosa.

Pia najishughulisha na kilimo kikubwa hapo hapo nyumbani...

Kwa kifupi sijakimbia kujenga Taifa!ahaha!! Hii khabar pia mjulishe na Mag3 nae, maana kuna wakti alitucheka mimi na Al Akhiy Barubaru ati yakuwa tumo hapa Jf sababu ya Home sick!?ahaha!!...probably he meant Sea sick!?ahaha!!

Butiama natamani kuja au kufuatana na wewe,lakini je watoto wa Mama Maria watakubali kukupokea/kutupokea!?

Si nasikia yule Andrew Nyerere ati alikuja kukuadhiri na kukukataa hapa mbele ya umati wa watu!?....au labda ni maneno ya fitna za hapa jamvini na hii khabari si kweli!?

Tafadhali Yericko,ni kweli inabidi ujirekebishe khasa pia kauli/language utumiayo baadhi ya nyakati. Wewe bado ni kijana,jaribu kutumia muda wako kiungalifu na kujijengea hishma nzuri na mapenzi kwa wengine hata kama una mitazamo nao tafauti.

Achana na hawa mashabiki wako wa hapa jamvini,wengi wao hawakutakii mema. Wao wanakushangilia tu kila ufanzalo bila ya kujali ni jema au baya.

Huwezi jua labda, Padri Daktari Slaa/Chadema siku wakiweza kuingia madarakani,wewe waweza kuwa mmojawapo ya mawaziri wa wizara nyeti au hata Waziri Mkuu...sasa ni muhimu kipindi hiki ambacho wewe ni Celebrity mkubwa hapa Jf,inalazim uchunge na kuitunza image na credibility yako ndugu yangu.

Niwie radhi kama nimekukera kwa hayo nilonena.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz

Al Habiby gombesugu,

"If your heart is always content, then you are the same as or even better than he who has everything in this world."
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Huenda hii hapa chini ikakumbusha jambo.

Hii mada nimeitoa Zentrum Moderner Orient (ZMO) Berlin, 2011 kwa mwaliko makhsus.
Nakunyambulia mukadima ''opening'' yangu.
....................................
Muslims. Seemingly derogatory words like "pandikizi" (singular) and "mapandikizi" (plural) meaning "turncoats;" or the new coined word "Mfumo Kristo" roughly meaning "Christian dominance" are now part of the Muslim and Swahili vocabulary. These analogies are used freely in the Muslim media and among Muslims in every day conversation.

Naona unajisifu kuwa ulialikwa German...hapa kuna mengi ya kuongea ambayo sijui km utaweza thibitisha.

Tukirudi hapa
"Mfumo Kristo" roughly meaning "Christian dominance" .Nadhani utakuwa umeona ulivyoweka tfsiri wrong..sijui ni kutojua huko au ni kuwa confuse...kutumia ".Christian dominance" Dominance si "..negative aspect...by default ".Tafsiri yake ni kuwa Christian wanashikilia hatamu..na kwa Tanzania Wakristu wameshikilia nyanya nyingi muhimu.Na hakuna ushahidi kuwa walinyang`anya.Wenzetu wanaojua udhaifu wa waislam..wanaweza peleke mawazo ktk namna ya kuwawezesha ila si hayo usemayo kuwa walidhulumiwa.

Ila wewe si msislam wa kwanza kwenda magharibi na version nyingine ya fikra zao, wakipata sifa kidogo basi wakirudi nyumbani ,huja na version ingine ya hizo praise.Hata CUF WENYEWE NI WALIBERALI WAKIWA NJE YA NCHI...WAKIRUDI ZENJI NI WAPINGA ULIBERALI,NI WAZALENDO.WANA VERSION AYO YA KUPELEKA WEST, WANA YA BONGO HADHARANI,WAN AYA BONGO MISIKITINI NA WANA YA KUMPELEKEA SULTANI.

But what usually thrills Muslims and utterly significant showing that times have changed is when in the rallies and in normal discussion Muslims refer to Nyerere hitherto known respectfully as "Baba wa Taifa" as "Baba wa Kanisa," meaning "Church Elder."[1] The move by the Catholic Church to make him a saint has not helped matters. More so it proves all the allegations levelled against Nyerere that he never was a nationalist but a Catholic zealot.

Huu ujinga utawa cost sana....
-Nyerere aligombea chaguzi kadhaa kabla ya uhuru na mkampa kura kibao.kama alikuw ana makosa basi msingempa kura.Mispende tumia tofauti zake na mabepari kupitisha agenda mbaya.Mlifanikiw akutumia "Ubaguzi/apartheid" na sera za Tanzania kuingiza Tanzania ktk "movement za kiislam Africa na mashariki ya kati".

West wanatofatiana na Nyerere ktk ujamaa na ubinafsishaji ambao uliwafaa sana waislam kuliko Wakristu..watu waliokuwa hawajui uwekeza na kufanya bila usimamizi wakapewa vitengo.Ila uaminifu ,misimamo ,kuchukia kwake ubaguzi wa aiana yoyote na uzuri wa kichwa yake.Waingereza na wamarekani walijua anatofautiana nao kiuchumi na sera na hakuwa na woga,ila walijua hata wao watakuwa salama ktk mikono ya Nyerere km wao ndio wanadai haki.
[/QUOTE]
Respect and love which Muslims once had for Nyerere has been completely wiped out. The new generation of Muslims no longer believe in the official history of TANU and the propaganda that it was Nyerere who single handed defeated the British. Muslims instead are honouring the forgotten heroes of independence movement and in so doing invoking emotions particularly in the new generation to stand up against oppression as their forefathers had done against Germans and the British.

Historia inaonyesha waislam si wazuri sana kuishi ktk uhuru na kuwa huru....hao unaowaita forgotten heroes are forgotten villains.

Quotes zako zimethibitisha hivyo,Nyerere alifanya zaidi ya inavyoelezwa...yeye ndie alijua njia za kupata uhuru, akawapa hao wazee mpango mzima.Wazee wakampa go ahead na kumpatia idadi ya watu kwa kujiunga ili TANU ipate sura ya kitaifa.Na ndio kosa alilofanya hadi leo tuna Junks km nyie,angeunda chama kingine kitaifa na si kuunda TANU ya pwani na kuipeleka mikoani.Huko mikoani kuna watu wengi sana walitoa hela na kuieneza TANU kwa hela na juhudi zao .Wengine waliacha njia za kwao ili kujiunga na TANU.Leo mnahesabu hao wacheza bao, wasaliti kuwa ni mashujaa?Rushwa na ubinafsi na kutumika kwa waislam wa Tanzania,dhidi ya wenzao ilikuwepo tangu enzi ya AA.Mwingereza na mwarabu alitumia sana.Leo mnamwona sykes kuwa alikuwa tajiri.



Muslim heroes of the Maji Maji War like Suleiman Mamba, Ali Songea Mbano,[2] and Muslim nationalists like Abdulwahid [3] and Ally Sykes,[4] Dossa Aziz, Sheikh Hassan bin Amir,[5] Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Yusuf Badi, Bibi Titi Mohamed,[6] Bibi Tatu bint Mzee, Bilali Rehani Waikela,[7] Ali Migeyo[8] and others are now part of nationalist history which was suppressed for many years.[9]
Muslims are demanding the restoration of their history and honour as true liberators of Tanganyika. This is unprecedented. One can only speculate and wonder where this would lead to.

Can we identify this phenomenon as corrective and revision of history or is it a lesson of anarchy in recording history?[10] The result of all this is that the Church has been made to stand naked. That the Church did not play any role during Maji Maji[11] or during the struggle against the British or that it has worked hand in hand with the government to sabotage Islam and Muslims is now common knowledge.


[1]The late Prof. Haroub Othman after reading Sheikh Ali Muhsin's book Conflict and Harmony in Zanzibar and the writer's book The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press, London 1998 and having come across hitherto unknown information on Nyerere was devastated because he was a great admirer of Nyerere as a patriot and a nationalist. The two books had painted him differently. Prof. Haroub confronted Nyerere and told him that the allegations in those two works have tarnished his image and he advised him to respond to them. Nyerere never did. Christian lecturers at Dar es Salaam University are discouraging students from making references to those two books. Dr. Harith Ghassany's book Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, has also come up with more information on Nyerere hitherto unknown in the Zanzibar Revolution and the bloodbath which followed.
[2]In all historical references to Maji Maji War hero and Chief of Wangoni Ali Songea Mbano, his Muslim name "Ali" would be omitted and he would be referred to as Songea Mbano.
[3] Mohamed Said, The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 –1968), The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika Minerva Publishers, London, 1998.
[4]Mohamed Said, Broken Dreams, The Life of Ally Kleist Sykes, Phoenix Publishers, Nairobi 2011 (Forthcoming).
[5]Issa Ziddy, Sheikh Hassan bin Ameir (1880-1979). Also See Mohamed Said, "Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968)" (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004.
[6]Bibi Titi was recruited into TANU by Schneider Abdillah Plantan and began to mobilize people particularly women to join the party even before he came to know Nyerere.
[7]Bilali Rehani Waikela one of the TANU founder members in Western Province in 1955 and Regional Secretary of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) was detained by Nyerere in 1964 for "mixing religion and politics." His personal papers were of great help in understanding the EAMWS crisis of 1968 and the reasons why Nyerere detained prominent sheikhs banned and the society in 1968. A documentary of his political life has been made and although not officially recognized as a patriot Muslims now consider him as one of the heroes of the independence movement. For more information see Mohamed Said, "In Praise of Ancestors," Africa Events (London) March/April 1977.
[8] G. Mutahaba, Portrait of a Nationalist: The Life of Ali Migeyo, East African Publishing House, 1969.
[9] Maji Maji Museum in Songea which has been greatly desecrated removing all signs of Muslim symbols during the Maji Maji War with Germans. The Maji Maji Museum at Peramiho under the Catholic Church has closed its doors to young Muslims for fear of criticism for distorting history. All Muslim symbols in Maji Maji War against Germans have been obliterated in the Maji Maji Museum.
[10] A children's book authored by the current writer, Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2007 has been blacklisted and cannot be included as a reader in schools because it contravenes the official history.
[11]Yusuf Halimoja, Historia ya Masasi, East African Literature Bureau, Nairobi, 1977 pp 163 175 gives a narration how Christians fought alongside Gerrmans during Maji Maji. Also see P. Gerold Rupper, OSB, Pugu Hadi Peramiho: Miaka 100 wa Wamishionari Wabenediktini Katika Tanzania, Benedictine Publications, Ndanda Peramiho, 1980, pp 31- 42.

Ninachokupendea ni pale unapoleta ushahidi unaotosha kumaliza mwenyewe..Historia ya nchi hii imeficha sana majina ya kiislam ktk wanaoitwa mashujaa kwa jambo moja tuu...kuwashika watu wengi kuwa hao jamaa walikuwa waafrica haswa, waliofight kwa uhuru wa mwafrica...mimi kama kawa huwa nikisoma historia kuna vitu huwa vinaniamsha hisia, na hivyo kuchimba zaidi.

Majimaji ilikuwa ni vita ya kiislam na waislam ktk upande wa Watumikishaji(wafanya biashara ya utumwa), biashara ya Wayao ambao walichukua watumwa hadi malawi,kwa ukatili mkubwa kwa vile walikuwa wakristu na wapagani..HADI LEO CHUKI YA WAMALAWI IPO JUU YA WATANGANYIKA,NA HATA MGOGORO WA ZIWA UNASURA HIYO.Wamalawi wanajua kuwa watanganyika ni waislam wauza watumwa.

Na hapa ndipo uliposhindwa tumia kili au kufany makusudi ili umtumie mungu wenu wa utumikishaji na mauaji.Wabenektini walikuwa upande wa wajerumani kwa vile ndio njia pekee ya kuondosha utumwa na kuwa salama ktk "mfumo islam " uliokuwa ukiendeshwa na waarabu kwa ushirika wa makabila ya kishenzi enzi hizo "wayao", "manyema".Historia ya Pugu inaonyesha jinsi walivyopata shida na uislam.Wakakimbilie kule mlimani ili kuwa salama...na baadaye wakaja komboa nchi..kwa kutoa wanafunzi ambao walikuwaja kuwa fahari ya taifa.Waislam hado leo hawajajtambua kuwa wanatumika.
 
Utizamwe kwa tahadhari kwasababu ya kauli zako, uchochezi na kuahidi usuluhishi utakaotokana na vita ya kidini na matamshi mabaya sana katika jamii (sijui kama nitaombwa ushahidi)

Nashukuru umekubali kuwa upo kujifunza na si kusomesha kama ulivyokuwa unasema hapo awali
Kazi ya mikono haikosi makosa kahiyo huna sababu za kutisha watu kwa reviews za ulaya, umeshasema ni ya mikono.

Matundu:
-Historia yako haikufuata kanuni za uandishi wa historia. Imeandikwa halafu matukio, nyakati,wahusika vikachomekwa.
-Masimuizi yako hayakufanyika kisayansi na kwa utafiti uliozingatia taratibu za utafiti bali utafiti wa ''infusion'' ya kaka yako mwenye PhD. Hakuna elimu ya infusion kuna elimu ya kusoma na katika utafiti hilo halipo.

-''Historia'' yako ililenga baadhi ya watu, matukio ya kuchagua na nyakati kama ilivyotokea
a)Kumshusha hadhi na kumdhalilisha Nyerere
b)Kuleta uchonganishi na imani zingine na hata kuwatenga wasioamini na wapagan
c)Kuwagawa watu kwa misingi ya imani na ukabila
d)Kujenga majina kwa gharama za watu wengine

-Kutokuwa na vithibitisho
a)Kuwahoji watu uliodhani wameonewa na kukosa sehemu ya pili ya waliodhulumu
c)Kutumia hisia ''inasemekana'' inasemwa, inadhaniwa, yawezekana kama vithibitisho vya tuhuma
d)Kuwatuhumu wakristo bila kuwa na ushahidi bali masimulizi ya siri baina yako na wazee wako waliojaa chuki kama wewe

- Kuficha ukweli
a)Ujio wa Mbuwane Sykes ulikusudia kuua wazalendo na msiba wake ulitokea akienda kuua Watanganyika
b)AA haikuwa mali ya K.Sykes na wala hakutoa wazo, yeye alikuwa mshiriki. Rais alikuwa Matola aliyejua anafanya nini
c)Nyerere alianza siasa kabla ya A.Sykes na alijulikana makao makuu kinyume na madai yako
d)Familia ya Sykes ilishiriki dhulma za mali ya chama kama nyumba iliyotolewa na gavana
e)Mchango wa Nyerere katika kuandika katiba ambayo haikuwahi kuandikwa tangu Mbuwane Sykes hadi Abdul Sykes
f)Nyerere alimshinda A.Sykes katika sanduku la kura mara zaidi ya moja kwa weledi
g)Michango kama ya Maryknol haikuonyeshwa kwasababu ya chuki za kiimani

h)Kifo cha AMNUT ni matokeo ya mifarakano, na ndio walioua EAMWS chini ya Sheikh Amir
i)Sheikh Amir aliendesha siasa majitaka nje ya chama,unafiki
ii)Aliwasaliti waislam kwa kukataa fursa ya kuwatumikia katika serikali
iii)Alihujumu pesa za makao makuu EAMWS na kupelekea chuki mikoani na kujitenga

Kuwagawa na kuwadharau Watanganyika
a)Kudharau jitihada za kwingineko kuhusu mapambano dhidi ya ukoloni
b)Kuifanya Tanganyika kama Narung'ombe na Kipata
c)Kuwafanya Wamanyema, Wazulu na Wanaubi kama wakombozi wa nchii hii(WWW)
d)Kuwapiga vita waislam kwa misingi ya AMNUT, ubara na (WWW)

Historia kuongoza ushawishi uliofikiriwa kabla ya historia
a)Madai yasiyo na ushahidi ya Namba za mitihani na Malima. Imehdihirika ni uzushi
b)Hotuba ya Nyerere ya kuaga, umeshindwa kutoa vielelezo vya chanzo cha matamshi uliyoyanukuu mwenyewe
c)Madai kuhusu ugaidi. Paper ya Ibadan iliandikwa kwa kunukuu bila kuangalia nukuu. Utafiti wa infusion. Uongo
d)Nyumba ya AA na TAA ilijengwa Jumapili, si kweli ilitapeliwa na kukarabatiwa jumapili na familia ya Mbuwane Sykes
e)Wamakonde wa Kipumbwi, umeshindwa kutoa ushahidi wa hilo kwa kuzingatia wakati tulio nao.

Kuwatenga Wazalendo wengine kwasababu ya Imani zao
a)Hukuwahi kumhoji Vedastus Kyaruzi hadi alipofariki hivi karibuni. Kyaruzi alikuwa kiongozi kabla ya Sykes katika siasa
b)Hakuna mahojiano na Kawawa hadi alipofarii hivi karibuni
c)Hukuwahi kufanya jaribio la kumhoji Nyerere bali ulisikia kupitia prof Othman
d)Mchango wa familia kama za Bomani haukuandikwa kama wa Mshume Kiyate na bi Farijala
e)Hukuwahi kumwelezea John Rupia zaidi ya Mshume au Idd Mwafongo kama si bi Mluguru

Kuiteka historia
a)Kuifanya historia kama ya waislam hata kama waislam wanaikataa kwa maneno
i)Abdul alisema(Mohamed)......ni kwa ajili ya ukombozi wa Mwafrika
ii)AMNUT walikataliwa na waislam wa Tanganyika
iii) Kutumia maneno sisi kuipa historia hisia zako na si za washiriki na matukio.

Kuchomeka ndoto zako kama historia
a)A.Sykes kuanzisha chama kwa fikra, katiba na mageuzi mengine yafanywe na Nyerere
b)A.Sykes hakushindwa uchaguzi mkali bai alimwachia Nyerere. Alishindwa na Nyerere katika uongozi wa TAA na TANU
c)Kumfanya A.Sykes Rais wa TANU. Hakuwahi kuwa Rais wa TANU hata sekunde moja
d)ASykes alikuwa Rais wa Tanganyika kuanzia Burma, hakuwahi kuwa hata mkuu wa Wilaya
e)Nyerere alichukiwa, Nyerere alipendwa kuliko kiongozi mwingine wa nyakati hizi na zilizopita
d)AMNUT watarudi kutawala, si kweli na wanapigwa vita na kila Mtanzania mwenye akili timamu.

Hii ni 1/100 ya sehemu ya matundu yasiyozibika kwa patex au super glue. Serious intellectual abuse,
Ningeendelea ngoja kwanza nifute machozi kutokana na hisia za uwezekano wa kizazi kijacho 'kunajisiwa'
Dah inatia uchungu sana!



-


Wanajamvi,

Kuna haya nayo ingekuwa vyema nayo akayasemea:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Conspiracy Theory[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] At the moment there are two books in existence written by non-Muslims which proves that Christians have used their positions in the government to subvert Islam and Muslims. Jan P van Bergen in his book, Development and Religion in Tanzania, (1981) [1] divulges very incriminating information on former President Nyerere.

The book gives details of how during his rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to discuss the future of Tanzania.

In those meetings Nyerere is reported to have assured Bishops of his continued support to Christianity.

The work reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed his promise by appointing them to important positions in his government and party.

This book was on sale at the Catholic Bookshop, Dar es Salaam, and was hurriedly withdrawn from sale after it was realised that it was revealing highly confidential and sensitive information on Islam.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [2] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects.

First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam.

The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa.

The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.
[3] There are also two works by Muslim writers focusing on post-independence relations between the government and Muslims.

The first is an undergraduate dissertation by Dr K. Mayanja Kiwanuka, ‘The Politics of Islam in Bukoba District' (1973);
[4] and the second is a research paper ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989)[5]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] by the current author. It was after reading Kiwanuka's work in which he deduced that President Nyerere was justified in using his high office to prevent a parallel Muslim force from developing in the Tanzanian body politic to ‘preserve national unity', that I as a Muslim first, and a patriot second, felt obligated to respond with a research paper to give the Muslim version of the crisis which for two decades remained unheard.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] There is also the ‘Kwikima Report' (1968)[6] which gives a detailed account of the Muslim crisis, its source and the role of the post-independence government in subverting Muslim unity.

This report is valid today as it was then. It reveals how the Party, government and few Muslim bureaucrats used their political offices to put brakes on Islam in the belief that that particular decision was desirable as a matter of national interest. The above five references are important to students of Tanzanian politics and history; and to anyone who wants to understand the source of religious sentiments engulfing the country.

All the above referred books, papers and reports, in their multiplicity of authorship and diversity in approach to the subject, prove the fact that there has been for almost a century a continuous conspiracy, first by colonising powers in Tanganyika, and then by African Christians, to relegate Islam and Muslims in free Tanzania.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1]Jan P van Bergen, Religion and Development in Tanzania, (Madras, 1981). passim.

[2] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[3]Ibid. p 37.
[4] K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis, University
of Dar es Salaam.

[5] Mohamed Said, ‘Islam and Politics in Tanzania' (1989) and Tewa's unpublished manuscript
‘A Probe In the History of Islam in Tanzania',and Waikela's papers and newspaper cuttings on
the crisis were of great help. This paper was later published by Al Haq International (Karachi)
Vol. 1 No. 3 August- December 1993, under the same heading.

[6]'Kwikima Report' is in The Standard, 12 December, 1968, and also in The Nationalist, 15 th
December, 1968. See Bergen, p. 238.
 
Hili ndiyo tatizo la kuja JF umelewa pombe angalia unavyojidhalilisha, halafu cha kushangaza wewe ni kiongozi wa Chadema, ha haa haaa.

Uongozi wa CDM umenipa wewe?Mbona mbea wewe?Nikupe Full name yangu ukaulizie CDM?Naona unachelkelea kutania Ubongo kwa vile unadhani hauna kazi...km wewe huna na upo ktk mtandao kwanini usifikiri hivyo.Wenzio pia nao hufikiri hivyo ndio maana hawataki soma na kufanya kazi kwa bidii kwa vile wanaoan hakuna haja km kazi mnapewa kwa udini na mkikosa mnalia kwa udini.
 
Back
Top Bottom