Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,
Andrew hana jipya. Amemkana Yericko mara kadhaa humu, thread hiihii! Mara hii alipokuja nilidhani ana jipya la kuchangia kwenye thread hii tukufu. Namfahamu kidogo Andrew. Tumwache tu.
Wild Card, naipongeza busara yako.
 
Andrew Nyerere, hapa tunajadili uongo, uzandiki, fitina na uchochezi wa Mohamed Saidi! wewe kama mtu mzima ulitakiwa uje na hoja za kisomi za kukubali au kukataa uchochezi wa Mohamed Said! cha ajabu wewe unatupotezea muda wetu kumjadili Yericko Nyerere kama mtu binafsi! kama hulidhiki kuwa Yericko ni mtoto wa marehem Julias Nyerere mbona ni jambo dogo sana, wapelekee swala hilo wataalam wafanye uchunguzi wa DNA, sasa wewe unahangaika na akina Butiku! wapi na wapi! Wewe mwenyewe unajuaje kama ni "biological child" wa Nyerere? Nakushauri jadiri hoja zilizopo na sio nani ni mtoto wa nani!
Ha ha haa... povu linakutoka eehh wacha tupate ukweli kama umekasirika njoo tuvute moshi wa mabomu huku Arusha kamanda eti anakupotezea muda kunawenzako wamepoteza muda kuanzia asubuhi mpaka jioni huku Arusha wameambulia kuvuta moshi wa mabumu.
 
Hivyo ndivyo mnavyowadanganya wale wanyonge kati yenu!
Ndicho ufikiricho... nimekupa mfano rahisi ili nisirudi na nukuu ambazo wenzio wanakasirika...nikakupa kitu A->B, A->C then A->C.
...ninaweza kunukuu Hadith baada ya Hadith kukuonyesha kuwa Makafir watakuwepo mpaka siku ya mwisho sasa nitajie ni Muislamu gani anayetaka kuwasilimisha makafir wote katika uso wa Dunia?
Quran haiishi mambo awkward kwa hiyo haishangazi......off course bila makafir dunia itafilisika ..wao ndio buffer segment....Waislam hawajawahi kuwa rationala kihivyo....mpaka leo waislam wanadhani tofauti zao kati ya washia na wasunni kuwa zian mkono wa marekani, wayahudi etc..Nadhani wewe hata mkewe akikuudhi utasema kuna mkono wa wayahudi....siku hizi watu wakitaka quick money...wanatafuta conspiracy ya kuwauzia waislam. -Mbona mohamed kakiri kuwa "............ingawa yeye ni mtume hajui hukumu yake itakuwa vipi.............",hakuna muislam aliwahi jiuliza km dereva hana hakika na ya kuika mwisho wa safari,yaani mafundisho yake mwenyewe hayaampi hakika itakuweje kwa muumini wa kawaida..Waislam wanajua mohamad aliomba toba kwa dhambi alizofanya na atakazofanya baadaye...yet wanasema ndio mfano bora wa binadamu.Mtu anayeomba msamaha halafu akafanye kosa nimkosefu sana.Na kama alifanya dhambi, na Koran yenyewe inasema Yesu hakuwa na dhambi..itakuweje huyo mtume mweye dhambi awe mfano bora?Yote hayo waislam hawajawahi jiuliza hayo....
Karibu kila mtu anafahamu kuwa alikuwa akimaanisha Mayahudi (kidini) kama unavyojua kuwa kuna Mayahudi wa kidini na Wayahudi wa kabila, mitume katika Uislamu karibu wote walikuwa ni Wayahudi wa kabila. Hawa Mayahudi wa dini ndio wanaomtukana Jesus na mama yake Maria nikinukuu: Sanhedrin 106a . Says Jesus' mother was a -----: "She who was the descendant of princes and governors played the harlot with carpenters." Also in footnote #2 to Shabbath 104b of the Soncino edition, it is stated that in the "uncensored" text of the Talmud it is written that Jesus mother, "Miriam the hairdresser," had sex with many men. Je, utaacha kumuita Dr.Zakir kuwa ni muongo?
Nimejaribu kuambia hii si sehemu ya kujadili Talmud.....ila kwa vile waislam mkishameza vitu bhuwa mnapapara sana za kutaka bishana.Mkibanwa mnaanza vitishi au km hamna cha kufanya mnajidai wanyonge. Hembu acha wehu..kwanini unadhani.....kuwa alimaanisha wayahudi wa kidini...ktk dini zote..mila/desturi mapokeo ni matunda ya mila za kabila au binadamu....Na ndicho Yesu alimaanisha..ktk kuitimiliza torati aliwaambia kuwa kila mtu aoe mwanamke mmoja na asitoe talaka..........akawaambi ahaikuwa hivyo mwanzo..ila mapokeo tuu ya wazee wao.Kuwa honest bana..Yesu alimaanisha dini pale alipowaambia....vitu kwa kunukuu maandiko..aliwaambia".... imeandikwa..."Na wengi walinyamaza.Kwa vile hawakuwa tena na cha kumhukumu.
Je, utaacha kumuita Dr.Zakir kuwa ni muongo?
unadhani kwanini niache?kwani keshaacha uongo?
 

Kwemwale,

Salaam ndugu yangu. Niwie radhi naingilia hili suali lako kiduchu kwa huyu nduguyo Yericko Kambarage.

Kwa kifupi,huyu mtoto Yericko lazim atakua ana nia mbaya fulani moyoni mwake.

Ni yeye binafsi Yericko ndie anaesababisha na kuendeleza hizi kashfa kwake mwenyewe na pia kwa Wanafamilia wa Nyerere.

Kamba anayotumia Yericko na kuwarubuni wengi hapa jamvini na walioko nje/pembeni,ni ya kwamba yeye ndo "anamtetea" Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa", dhidi ya "chuki" za Waislamu kwa Nyerere na Ukristo!?...pure rubbish!!

Kwa kutumia mitego au maneno kama hayo ya kichochezi mara nyingi utaweza kuwapata na kuwavuta wengi duniani kwa hisia zao!

Kwanini yeye asijibu tu hili suali kiduchu ambalo ni closed question...je wewe Yericko ni mtoto wa kuzaliwa na Julius Kambarage Nyerere aliewahi kuwa Rais wa TANU na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!?...

Hata kama Mama yako sio Mama Maria,sisi hatutojali...maana hayo itakua ni malumbano yenu ya "kifamilia".

Hao viwavi wanaojifanza ati kumstaajabu Andrew Nyerere na kuanza kumkebehi,kwa kifupi wao ndo watu wa ajabu mno!

Nafikiri wanashindwa kufahamu yakuwa Andrew Nyerere anakwenda/anafikiri beyond this silly thread/"mnakasha".

Kwasababu kama Yericko ameweza kuja hapa Jf na kufanza fraudulently verification na kujifanza yeye ni "mtoto" wa Marehemu Julius Kambarage Nyerere,which by itself can amount to criminality...

Je kama labda itatokea siku nyingine huyo Yericko akianza kudai wale ngo'mbe watatu pale Butiama ambao Mama Maria maskini alopewa na JWTZ!?

Hapa Andrew Nyerere,hana chuki yoyote na huyo Yericko wao. Atamchukia vipi mtu asomjua asilan na wala hawajapata hata kukutana/kuwasiliana!? Lakini imemlazim awe responsible na kutoa ufafanuzi.

Kwa kifupi mimi binafsi nampongeza na kumshukuru mno Bwana Andrew Nyerere,kwa kutumia busara na hikma zake na kutufafanulia kwa hili.

Nashukuru kwa kunisikiza japo kiduchu ndugu yangu.

Ahsanta.

Cc;The Big Show, Ritz
gombesugu, mbona unabadirisha jina la JF member kwani nia mbaya? Yeye anaitwa Yericko Nyerere na ni verfied user, sasa hilo la Yericko Kambarage umelitoa wapi?
 

Yericko,

Wewe unaleta historia ya shule ya msingi.

Mimi nakuwekea niliyosimuliwa na bibi yangu mkuu historia niliyoishinayo.
Soma hii hapa chini:

''Hayo yalikuwa ya shule. Nikirudi nyumbani kisa nilichokuwa nikikipenda sana kilikuwa kile cha bibi wa baba yangu, Bibi Safi Mukumbo Masiya. Bibi Safi aliletwa Tanganyika kutoka Congo kama mtumwa akiwa na umri mdogo sana. Wakati mimi nikisoma shule ya msingi yeye alikuwa yungali hai. Mimi nilikuwa ndiyo kilembwe chake kipenzi. Kamwe hakupata kuniita kwa jina langu alipata kunieleza hivyo kwa kuniheshimu. Mara kwa mara alikuwa akiniita ‘papa’ akimaanisha ‘baba’ nami nilizoeya kumwita ‘mama.’ Aliniambia mimi na yeyote aliyetaka kusikia kwamba mimi nilifanana sana na baba yake ambaye alimwacha Congo. Aliwahi kunisimulia namna watekaji wa watumwa wa Kiarabu walivyomkamata siku moja asubuhi njema katika kijiji chao kilichoitwa Lwama Kabambale.''

Nina mengi sana.
Historia sisi tumeishinayo ndani ya nyumba zetu.
Kwa hiyo elimu ikiwa ya msingi ni shida..?Nina mashaka sana na madrassa zenu..sasa km hamsaidii kujenga isingi imara ipo shinda.
 
Ha ha haa... povu linakutoka eehh wacha tupate ukweli kama umekasirika njoo tuvute moshi wa mabomu huku Arusha kamanda eti anakupotezea muda kunawenzako wamepoteza muda kuanzia asubuhi mpaka jioni huku Arusha wameambulia kuvuta moshi wa mabumu.
Fisi angekuwa na common sense kama ya kwako angekuwa amekwisha kufa njaa...
 
........Wagalatia ni mabingwa wa uzushi !..........mnathubutu hata kuzusha kuwa mungu alimtoa mwanawe wa pekee ili afe kifo cha mateso msalabani eti ili nyie muokoke !

'Je !, nikwambieni ni nani wanawashukia Mashetani ?
Wanawashukia kila mzushi mkubwa, na mwingi wa dhambi.
Q: Ash: 221-222.

Pengine kawaulize maimum ambao uchawi ndio umewashikia ktk nafasi....watakuambia baada ya kuingia mkataba na mashetani....nini ndio njia ya kutoka huko?Halafu umuulize kwanini Yeye....ndipo utajua kuwa lazima ununuliwe tena upya kwa bei ya shetani......ndio maana Wenzio Zenj walinunuliwa kwa mwarabu ili wawe huru..Damu ya Yesu kwa shetani ina dhamani kiasi shetan hawezi kataa hilo dau..km kijana wa kiislam akisikia kuna binti wa askofu anajiachia wanapagawa sana.
 
Ilikuwaje Nicholas kaingia kwenye hii thread..? Ndo basi tena ishapoteza muelekeo ..
 
Ilikuwaje Nicholas kaingia kwenye hii thread..? Ndo basi tena ishapoteza muelekeo ..

Kwani ilikuwa inaelekea wapi ........pangekuwa JF ni studio....ingebidi mpangwe halafu mfunguliwe kwa pamoja kila mmoja arapa kwa fujo aondoke ili akajifurahishe kuwa na yeye ni msanii.Mnaingia wengi sana halafu mnakuwa junks tupu.....

Narudia mnajidanganya sana kupeana vyeti na maitihani kihuni..mwisho wasiku mnabasi kuwa club ya mapumbavu..shid aiktokea kil anayekuja anataka solve kwa njiaile aliyonshindwa mwingine.
 
Ha ha haa... povu linakutoka eehh wacha tupate ukweli kama umekasirika njoo tuvute moshi wa mabomu huku Arusha kamanda eti anakupotezea muda kunawenzako wamepoteza muda kuanzia asubuhi mpaka jioni huku Arusha wameambulia kuvuta moshi wa mabumu.
Huna la zaidi, akili yako duni inajadili watu badala ya mawazo(ideas). Pole sana mgonjwa wa akili. Hayo ndio madhara ya bangi za utotoni. Shukuru kwakuwa baba yako ni sheikh, ama sivyo ungekuwa jela mjinga wewe.
 
Huna la zaidi, akili yako duni inajadili watu badala ya mawazo(ideas). Pole sana mgonjwa wa akili. Hayo ndio madhara ya bangi za utotoni. Shukuru kwakuwa baba yako ni sheikh, ama sivyo ungekuwa jela mjinga wewe.
Gwalihenzi ndugu yangu umenifurahisha sana baba yangu ni sheikh wala hujakosea kwa hilo am proudly mtoto wa madrasa mbona wewe unamjadili mzee Ms badala ya hoja au ni huu ugonjwa unaomsumbua Nicholas na wewe unao kwasababu kipindi cha maembe vichaa wanazidi masokoni!
 
Gwalihenzi ndugu yangu umenifurahisha sana baba yangu ni sheikh wala hujakosea kwa hilo am proudly mtoto wa madrasa mbona wewe unamjadili mzee Ms badala ya hoja au ni huu ugonjwa unaomsumbua Nicholas na wewe unao kwasababu kipindi cha maembe vichaa wanazidi masokoni!
Unapomtaja MS usisahau sifa zake kuu za uzushi, fitina, chuki, visasi,uzandiki, kupenda sifa asizokuwa nazo wala kustahili, kuwaabudu wazungu, udini usio namanufaa katika jamii yake na taifa hili...
 
Oooohoo hehee pole sana!

Mimi ni sehemu ya Watanzania wachache walizalisha ajira na kuajiri Watanzania wenzao hapa nchini,

Mimi nisehemu ya walipakodi wa kati naelekea kuwa mlipakodi mkubwa wa TRA nchini Tanzania,

Nimeishi na kusoma Ulaya na Mashariki ya Mbali lakini sikupiga box huko, niliamua kurudi Tanzania kuwasaidia Watanzania wenzangu na kukuza uchumi wa nchi yangu takatifu!

Huenda sio kosa lako/lenu lakini nikusihi ingia gugu tu umtafute Yericko Nyerere na utaona WASIFU wangu ndugu!

Ukibahatika kuniona kwa macho yako ya nyama utanidharau mara mbili ya hapa, lakini katika himaya yangu ninawafanyakazi wazee kama wewe na wananiheshimu nami nawaheshimu!

Yericko,

Mambo ya kulipa kodi TRA yametoka wapi tena yana uhusiano gani na "Uchochezi wa Mohamed Said"
 
Katika tafakuri yangu kuu nimesema wazi kuwa ni kweli "Historia ya Uhuru wa Tanganyika inamapungu" na inahitaji Mahuisho, lakini hiki alichofanya Mohamed Said sio Mahuisho bali ni Uchochezi, Ufitini, Uzandiki na Uhaini kwa Taifa letu"

Hapa ninamaana kuwa hata kitabu cha TANU cha Kivukoni kinamapungu, lakini cha Mohamed kimeongeza mapungufu zaidi, badala ya kurekebisha historia sasa Mohamed Said amebomoa zaidi, na kibaya zaidi amepandikiza chuki ya kidini ambayo ndiyo turufu ya kitabu chake!

Katika nchi zetu za kiafrika ukitaka kumuondolea binadamu ufahamu wake basi katika chochote umpacho tia neno la kiroho tu utampata kama ngamia wa kisomo!


Huenda lengo la Mohamed Said halikuwa kuudhi jamii, lakini hulka yake ya kiimani imemtia matatani, na mpaka dakika hii haoni kama ni mkosaji!

Mimi rastafarian nisiyeamini ukristu wala uislamu ninaona kosa lililo kwenye maandiko yake, na bahati nzuri hata Wakristu na Waislamu werevu wameona kosa hilo kwenye maandiko ya Mohamed Said, na wanapaza sauti zao kukemea uchochezi huo!


Yericko.

Nafikiri wasomi inabidi tukupe darsa tosha kabisa kwani kwa mtu yoyote anayekusoma atagundua wazi umejawa na USHABIKI mkubwa kiasi cha kukutoa ufahamu wako.

Kumbuka kuwa kitabu chochote cha kitaaluma kila kinaposomwa huwa kinafanyiwa REVIEW na kurekebisha makosa na mapungufu yote ili kiweze kukidhi haja za kitaluma. Na ndio mana nikakuuliza kitabu cha Kivukoni kinatumiwa kama rejea na University gani nyingine Duniani zaidi ya UDSM?

Lakin kosa hilo unalompa Mohamed said naona limekukaa sana kiasi cha KUONA RAHA KITABU CHOTE CHA UHURU WA TANGANYIKA KINAPOMTAJA NYERERE MWANZO MPAKA MWISHO KAMA NI SHUJAA PEKEE NA MAWAZO YOTE ALITOA YEYE? Kiasi cha kutaka kumpa sifa za uungu? je hilo sio kosa pia?

je ni kosa gani alilofanya Mohamed Said zaidi ya kuwataja wazee wake na harakati za uhuru wa Tanganyika ambao kwa namna moja au nyingine kitabu cha Kivukoni kimewaacha kwa makusudi kabisa?


Kifupi mapungufu ya Kitabu cha kivukoni ndio yanayopelekea University nyingi Duniyani kukikataa kukitumia na hicho cha MS ndio kimefumbua mengi.

Kama utaepuka USHABIKI wa kiimani na hata Unyerereism utagundua na kujifunza mengi kutoka kwa MS.

Punguza jazba na ondoa Ushabiki na soma kitabu chake kwa NIA ya kuelewa na Inshallah utajifunza mengi ambayo ulikuwa hujapata sikia popote na kukuongezea marifa katika ilmu ya historia ya nchi yako.

Pole sana
 
Nicholas said:
na Koran yenyewe inasema Yesu hakuwa na dhambi..itakuweje huyo mtume mweye dhambi awe mfano bora?
Mitume wote ni Maasuum! hakuna Mtume anayefanya dhambi...ama kuhusu kukosea katika masuala yasiyo ya kiWahyi hilo ni suala jingine.

Mfano ukiangalia Surah Abasa utaona pale Mtume salalahu alayhi wasallam alikuwa amezama katika kuwapa daawah makafiri wakuu wa Kiquraish, katikati ya hii daawah Abdullah ibn Makhtoum (swahaba huyu) akajitokeza na kuanza kumuuliza Mtume swali kuhusu masuala ya dini, Mtume akaamua kuendelea na daawah kwa makafiri kwanza ili baadaye aje kumjibu Abdullah ibn Makhtoum ambaye tayari alikuwa ni Muislamu lakini hakujua kuwa alichotaka Allah ni kupewa kipaumbele huyu Muislamu kwanza kabla ya makafiri.. hii ndiyo sababu ya kushushwa Surah Abbasa na tunaona wazi kabisa kuwa hii si dhambi.

Daud (David) alitoa hukumu kwa kuusikiliza upande mmoja tu bila ya kuusikiliza upande wa pili ndipo akagundua kuwa aliusikiliza upande mmoja tu na kutoa hukmu...tunaona tena hii si dhambi,labda uliite kosa la kiuhakimu wakati wa kutoa hukumu.
Quran 36:22-24. Walipo muingilia Daudi, naye akawaogopa. Wakasema: Usiogope! Sisi ni wagombanao wawili, mmoja wetu amemdhulumu mwenziwe. Basi tuhukumu kwa haki, wala usipendelee. Na utuongoe kwenye njia iliyo sawa.

Hakika huyu ndugu yangu ana kondoo wa kike tisiini na tisa; na mimi ninaye kondoo mke mmoja. Akasema: Nipe huyo nikufugie! Na amenishinda kwa maneno.

Akasema: Kweli amekudhulumu kwa kumtaka kondoo wako mmoja kuongezea kwenye kondoo wake. Na hakika washirika wengi hudhulumiana wao kwa wao, isipo kuwa walio amini na wakatenda mema. Na hao ni wachache. Na Daudi akajua kuwa tumemfanyia mtihani. Basi akamwomba msamaha Mola wake Mlezi, na akaanguka kusujudu na kutubia"

Ninaweza kuendelea na Mitume wengine ukitaka lakini hutakuta wakifanya dhambi zozote kama vile uzinifu,wizi,ujambazi na maasia mengine.
Nicholas said:
akawaambi ahaikuwa hivyo mwanzo..ila mapokeo tuu ya wazee wao.Kuwa honest bana..Yesu alimaanisha dini pale alipowaambia....vitu kwa kunukuu maandiko..aliwaambia".... imeandikwa..."Na wengi walinyamaza.Kwa vile hawakuwa tena na cha kumhukumu.
Unachosema wewe ni kigeni! kwa sababu karibu kila mtu ndani ya duru za kidini anajua kuwa Mayahudi walimhukumu Jesus (Yesu) kwa ushirikina, uchawi, uzinzi na usaliti. Jisomee mwenyewe wanavyofundishana katika Talmud:
"The Talmud (Babylonian edition) records other sins of 'Jesus the Nazarene':
1) He and his disciples practiced sorcery and black magic, led Jews astray into idolatry, and were sponsored by foreign, gentile powers for the purpose of subverting Jewish worship (Sanhedrin 43a).

2) He was sexually immoral, worshipped statues of stone (a brick is mentioned), was cut off from the Jewish people for his wickedness, and refused to repent (Sanhedrin 107b; Sotah 47a).

3) He learned witchcraft in Egypt and, to perform miracles, used procedures that involved cutting his flesh, which is also explicitly banned in the Bible (Shabbos 104b).
 
Back
Top Bottom