Uchomaji wa Maandazi

Uchomaji wa Maandazi

Hii recipe yako ntaijaribu, ila nikuulize tafadhali; kwa nini samli na siagi?
 
Hii recipe yako ntaijaribu, ila nikuulize tafadhali; kwa nini samli na siagi?

Samli ina act kama mafuta yaani inalainisha
Siagi inaleta taste fulani...
 
MashAllah, Sura tu yanavuta sikwambii ukiyala. Mmmhhu mi skuizi nimekua mvivu mambo ya kukandakanda sipendi.

Ahhahahaha mie basi sipendi kukanda kwa zile mashine....nakanda kwa mikono tu
 
farkhina mie kuna siku huwa natamani nitoe maamli ila kila nkipika maandazi yana nyama ndani ni mazuriiiii sana tatizo siku nkitamani maamri hayatokei embu niwekee darsa la maamri
 
Last edited by a moderator:
maandazi mazuri sana yanavutia mm nakua nakandia siag pia yanakua mazuri
 
Binafsi nimeshafeli kwa kuwa nilidhani samli na siagi ni kitu kimoja,sasa sijui hiyo samli nitaipata wapi huku toba ya illahi! Lazima iwepo kwenye upishi huu?
Nalog off
 
Binafsi nimeshafeli kwa kuwa nilidhani samli na siagi ni kitu kimoja,sasa sijui hiyo samli nitaipata wapi huku toba ya illahi! Lazima iwepo kwenye upishi huu?
Nalog off

Samli zipo every where sijui tu huko uliko wanaitaje ila mzungu anaitwa ghee lol....

Kama huna samli tumia mafuta
 
Back
Top Bottom