Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii recipe yako ntaijaribu, ila nikuulize tafadhali; kwa nini samli na siagi?
MashAllah, Sura tu yanavuta sikwambii ukiyala. Mmmhhu mi skuizi nimekua mvivu mambo ya kukandakanda sipendi.
jamani sweety mbona leo ntavimbiwa kule biriani huku maandazi.
Farkhina unakandia maji ya moto au ya baridi??
Hapo juu pia siagi nimeweka pamoja na samlimaandazi mazuri sana yanavutia mm nakua nakandia siag pia yanakua mazuri
Asante kwa recipe.. Mie nado yananichekecha akili, wikend hii nitajaribu tena.
komaa tu utaweza..:tonguez:
Asante kwa recipe.. Mie nado yananichekecha akili, wikend hii nitajaribu tena.
Usijali my dear...
Hamjambo wote huko T-Dot?
Binafsi nimeshafeli kwa kuwa nilidhani samli na siagi ni kitu kimoja,sasa sijui hiyo samli nitaipata wapi huku toba ya illahi! Lazima iwepo kwenye upishi huu?
Nalog off
Samli zipo every where sijui tu huko uliko wanaitaje ila mzungu anaitwa ghee lol....
Kama huna samli tumia mafuta