Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Wengine hatujui kimeanzia wapi. Weka habari nzima hapa.
 
..Mama Abduli ndiyo mwenye laana.

..kiongozi mwanamke hatakiwi kuunga mkono magenge yanayoteka, kutesa, na kuuwa, wapinzani wake.

..Ni aibu.
 
Kwa ushahidi upi ulionao ndugu yangu mropokaji na mkurupukaji?
Ushahidi wala sio tatizo, bali tatizo ni wapi pa kuupeleka maana wanaopaswa kupelekewa ushahidi ndio wahusika wa utekaji.
 
SIUNGI MKONO KUCHOMA NGUO HIYO NI LAANA WANAITAFUTA KWA NGUVU.

KUNA WANAWAKE HAWANA NGUO WANATEMBEA UCHI NI MASIKINI NI KWANINI WASINGEWAPA HAO???

HILO SIUNGI MKONO .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…