Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Embu jifunze kwanza kuandika vizuri.Maneno ya kwenye kanga hayo, mbona mkuu wa chama flan alichoma vifaranga na bad hakuna aana yyt iliotpkea kweny chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu jifunze kwanza kuandika vizuri.Maneno ya kwenye kanga hayo, mbona mkuu wa chama flan alichoma vifaranga na bad hakuna aana yyt iliotpkea kweny chama
Naomba niulize tu kwa nia nzuri. Wewe ni mwanaume kweli.Ndugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
🤣🤣🤣🤣 , unachekesha wakata bi mkubwa analalamila watu kodi zinapigwa, alafu we kichwa maji unaongea nani???CCM tunaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
CCM ni laana tupu na hatariUmenena vyema kaka
Ushahidi wala sio tatizo, bali tatizo ni wapi pa kuupeleka maana wanaopaswa kupelekewa ushahidi ndio wahusika wa utekaji.Kwa ushahidi upi ulionao ndugu yangu mropokaji na mkurupukaji?
Nipe huo ushahidi hapa.Ushahidi wala sio tatizo, bali tatizo ni wapi pa kuupeleka maana wanaopaswa kupelekewa ushahidi ndio wahusika wa utekaji.
Wewe ulishalaaniwa tangia Muda mrefu sana...Mama Abduli ndiyo mwenye laana.
..kiongozi mwanamke hatakiwi kuunga mkono magenge yanayoteka, kutesa, na kuuwa, wapinzani wake.
..Ni aibu.
CCM ndio baba na mama yako.CCM ni laana tupu na hatari
Siwezi kuzaliwa na mwizi wa mali za umma na kikundi ambacho kimelaani duniani na mbinguniCCM ndio baba na mama yako.
Bila CCM usingepata hata ujanja wa kuingia hapa jukwaani kuonyesha ujinga wako uliokujaa kichwani mwako.Siwezi kuzaliwa na mwizi wa mali za umma na kikundi ambacho kimelaani duniani na mbinguni
Wewe CCM imekusaidia imekufundisha kuiba mali za umma.Bila CCM usingepata hata ujanja wa kuingia hapa jukwaani kuonyesha ujinga wako uliokujaa kichwani mwako.
Mimi ni mtu safi.Wewe CCM imekusaidia imekufundisha kuiba mali za umma.
Msafi huku ni mjingaMimi ni mtu safi.
Nikupe ushahidi we ni mke wangu?Nipe huo ushahidi hapa.
Umesamehewa makosa yako yote.we nae utakuja kupigwa mbupu