Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,201
Reaction score
17,563
Sis: " Mdogowangu, zamani sisi tukiwa kwenye uchumba, kuanzjq miaka ya 80 mwisho waliishia mwaka 2010.

Wanaume walikuwa wana upendo sana, walikuwa wanahudumia wachumba zao wakike au girlfriend zao sana

Tulikuwa tunapewa hela jaman, saluni, wengine mapaka magari, na nyumba unaonyeshwa hapa ndio tutakuwa tunaishi, security nje nje, mpaka unatamani uolewe kesho kesho.

Ila sasa hivi? Mpaka kilio, ni kama shetani ameingia kwenye chumba za watu,

Yani wasichana wanarushwa vichurachura wewe, havieleweki, binti mpaka pete ya uchumba anajinunulia, gari, nyumba, na wengine wanalipa wanaume wawaoe, hao watoto wanaozaliwa ndio hasira inazidi, hatuelewi itakuwaje kizazi cha miaka 10 baadae

Kizazi hiki wasipoangalia hawatakaa wajue Upendo wa mwanaume unafananaje,

Na watoto wao wakizaliwa hawatakaa wajue Upendo wa Baba unakuwaje"

Haya ndio mazungumzo ya dada mkubwa kwenye kikao cha familia jana jumapili

Unadhan dada mkubwa amekosea?

Toa maoni yako,

Wanaume wa zamani mlienda wapi? Uchumba wa zamani utarudi lini?
 
Enzi hiyo sisi ndo tulikuwa manyoka, mabro wanatupa vikaratasi vya kuwaita mademu zao wakawale. Ukikataa unakula makwenzi
 
Sijui kama tutarudi, jamii imepotoka sana. Enzi hizo vijiji vilikuwa na wanawake wa kuoa na wanaume waoaji kweli kweli. Wanaume waoaji wapo, ila tatizo ni movement
 
Enzi hiyo sisi ndo tulikuwa manyoka, mabro wanatupa vikaratasi vya kuwaita mademu zao wakawale. Ukikataa unakula makwenzi
Zawani wanaume walikuwa wanawatafuna wanawake kabla hawajawaoa?
Acha kutuzubaisha wewe
 
Sema mabro wa zamani walikula mema ya Dunia Sana unatafuna kitu natural, unahudumia na Mali ni yako siku hizi miyeyusho tupu
Miyeyusho mmeleta wenyewe lkn hamjui mnataka nini ushamba umewajaa
 
Wapi wewe wakati tulikuwa tunachuma kahawa tukirusha juu ya bati lenu mnatoka tunaenda kupiga cha harakaharaka kwenye banda la ng'ombe 🤣🤣
 
Nlipata Raha sana zaman demu humuoni mpaka ukutane na wazeee ila awa wa sas ni urojoo tupu hamna kitu zaid ya maziwa kushuka chiniiiii
 
Back
Top Bottom