Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

Ndio matokeo ya haki sawa.
Na bado, si mliyataka wenyewe, wacha muisome namba.
Nashangaa walitaka wenyewe haki saw kwamba anachofanya mwanaume hata mwanamke anaweza leo anaona ajab mwanaume kuacha kuhonga nakuhudumia wakati mmeamua wenyew kubaba majukumu ya kiume na bado.
 
"wanawake mnaweza mkiwezeshwa" hizo kauli zitawawasha hayo makalio mpaka muwe chuma chakavu,eti girls talk kumbe mnajazana ushenzi tu🙌
 
Sis: " Mdogowangu, zamani sisi tukiwa kwenye uchumba, kuanzjq miaka ya 80 mwisho waliishia mwaka 2010.

Wanaume walikuwa wana upendo sana, walikuwa wanahudumia wachumba zao wakike au girlfriend zao sana

Tulikuwa tunapewa hela jaman, saluni, wengine mapaka magari, na nyumba unaonyeshwa hapa ndio tutakuwa tunaishi, security nje nje, mpaka unatamani uolewe kesho kesho.

Ila sasa hivi? Mpaka kilio, ni kama shetani ameingia kwenye chumba za watu,

Yani wasichana wanarushwa vichurachura wewe, havieleweki, binti mpaka pete ya uchumba anajinunulia, gari, nyumba, na wengine wanalipa wanaume wawaoe, hao watoto wanaozaliwa ndio hasira inazidi, hatuelewi itakuwaje kizazi cha miaka 10 baadae

Kizazi hiki wasipoangalia hawatakaa wajue Upendo wa mwanaume unafananaje,

Na watoto wao wakizaliwa hawatakaa wajue Upendo wa Baba unakuwaje"

Haya ndio mazungumzo ya dada mkubwa kwenye kikao cha familia jana jumapili

Unadhan dada mkubwa amekosea?

Toa maoni yako,

Wanaume wa zamani mlienda wapi? Uchumba wa zamani utarudi lini?
Swali pia, wanawake wa zamani mlienda wapi?
Wakisasa
1.Hawapendi mtu wapo kimaslahi
2.Wanachepuka sana
3.Wanafanywa mtandao 071
4.Hawana heshima
5.Wanajali muonekano wao kuliko tabia zao.....Nk.
 
Nashangaa walitaka wenyewe haki saw kwamba anachofanya mwanaume hata mwanamke anaweza leo anaona ajab mwanaume kuacha kuhonga nakuhudumia wakati mmeamua wenyew kubaba majukumu ya kiume na bado.
wapi tulitaka haki sawa>?
 
"wanawake mnaweza mkiwezeshwa" hizo kauli zitawawasha hayo makalio mpaka muwe chuma chakavu,eti girls talk kumbe mnajazana ushenzi tu🙌
unaona wivu au hasira?
anzisheni ya kiume kauli basi
 
Swali pia, wanawake wa zamani mlienda wapi?
Wakisasa
1.Hawapendi mtu wapo kimaslahi
2.Wanachepuka sana
3.Wanafanywa mtandao 071
4.Hawana heshima
5.Wanajali muonekano wao kuliko tabia zao.....Nk.
wamejaa ni kwamba mkiwapata mnaanza kuwa na wasiwasi nao
 
Nimesema hivo kwasababu,Watu wapo sahivi wakubwa wanasema wazazi wao walikuwa single parents mfano manake taarifa zilikuwa hazisambai kama sasa hivi....Pia utandawazi umeonekana kuongeza mambo maovu katika mahusiano ila Watu wema wapo
wachache sana
 
Back
Top Bottom