Uchumba wetu ulikufa sababu ya dini ni tofauti

Uchumba wetu ulikufa sababu ya dini ni tofauti

Tukubaliane tu kuna makabila bila kuyataja hayastarabika, watu wanapoowana kwa kuchanganya makabila inampa faida mmoja wapo kuadapt ustaarabu na kizazi chake kitastaarabika pia.

Wajinga Wawili wakiowana ni tatizo, na hili ndio tatizo linawakabiri Waarabu, wako wenyewe wana makabila yao kuna mabedui hawezi kuolewa na Kabila lingine, Sasa ikitokea uko Fulani ni wajinga basi ni kizazi chote.

Nioneshe Mwarabu gani uliyesoma naye alikuwa Kipanga darasani?
Nimesoma na Waarabu vipanga mno darasani Allah awabariki.
 
Sasa katika familia yenye Dini (wamesimama sawa sawa) mtoto si atakuwa wa Mama. Hatakuwa na kitu. Mwanaume mzinifu hana kitu.
Matunzo yasingepokelewa?

Mwanamke akikupenda hata huko kwao anatoroka anakufata
 
Tukubaliane tu kuna makabila bila kuyataja hayastarabika, watu wanapoowana kwa kuchanganya makabila inampa faida mmoja wapo kuadapt ustaarabu na kizazi chake kitastaarabika pia.

Wajinga Wawili wakiowana ni tatizo, na hili ndio tatizo linawakabiri Waarabu, wako wenyewe wana makabila yao kuna mabedui hawezi kuolewa na Kabila lingine, Sasa ikitokea uko Fulani ni wajinga basi ni kizazi chote.

Nioneshe Mwarabu gani uliyesoma naye alikuwa Kipanga darasani?
 
Ushauri wangu kwa vijana
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olew na mtu wa kabila lako.
Daima utajanishukuru
Narudia
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako.
Utakuja nishukuru
Kwa dunia ya sasa..huo ni upuuzi..nadhani wewe bado upo enzi za ujima.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe ulikuwa haupendwi na vile mlevi hauna swagga ,wengi kama walevi mnakuwaga na sura za kizee wakati bado watoto wadogo.
Kawaida mke ndo anamfuata mume basi angekufuata Kwa namna yeyote ile.

bahati mbaya mimba ilitoka ila ningekuwa na mtoto anaingia form 1
 
Ushauri wangu kwa vijana
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olew na mtu wa kabila lako.
Daima utajanishukuru
Narudia
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako.
Utakuja nishukuru
Basi Kama ndiyo hivyo Bora Mabinamu tu ndiyo waowane, maana hao ndiyo Watu wa karibu kuliko hata hilo kabila!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu dini naunga mkono watu waowane wa imani moja, lakini kuhusu Kabila hapana, kuna faida nyingi za kuchanganya Kabila kuliko hasara.

Hata ukisema uowe Kabila moja bado kuna koo huwezi kwenda kuowa zina matatizo.
Pia kuna faida nyingi sana mkichanganya Dini mbili za Uisilamu na Ukristo pamoja! Kuna rahaa yake! Angalizo! Mradi tu msiwe wafia Dini!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu narudia tena
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako
Utakuja nishukuru. Leo sina muda wa kuandika sana ila kama unapata mtu wa kabila lako oa au olewa itakuepusha na ugomvi wa vyakula. Ugomvi wa tamaduni za kabila jingine. We mzaramo unaolewa na mmasai. Hapo kuna kana kamgogoro ka tamaduni pia misosi na mambo mengine. Si lazmishi mtu aoe au aolewe na kabila lake ila itakusaidia mbeleni amin
Hakuna
 
Ushauri wangu kwa vijana
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olew na mtu wa kabila lako.
Daima utajanishukuru
Narudia
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako.
Utakuja nishukuru
nagongelea hapahapa ndoa nyingi zinashikana kwa sababu ya kuokotana na kuacha utamaduni uliokuwepo enzi na enzi
 
Back
Top Bottom