Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
SawaHakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHakuna
Kwaiyo mkuu ata tatizo la elimu kwa watu wa Zanzibar litatatuliwa na Wazanzibari kukubali kuoana na watanganyika ? Maana wazanzibari kwa kijana wakiume wazazi wake hawaruhusu kuoa mwanamke waki Tanganyika, Mwanamke kidogo wanaolewa na WatanganyikaTukubaliane tu kuna makabila bila kuyataja hayastarabika, watu wanapoowana kwa kuchanganya makabila inampa faida mmoja wapo kuadapt ustaarabu na kizazi chake kitastaarabika pia.
Wajinga Wawili wakiowana ni tatizo, na hili ndio tatizo linawakabiri Waarabu, wako wenyewe wana makabila yao kuna mabedui hawezi kuolewa na Kabila lingine, Sasa ikitokea uko Fulani ni wajinga basi ni kizazi chote.
Nioneshe Mwarabu gani uliyesoma naye alikuwa Kipanga darasani?
Sasa Maisha ya sasa yamefanya jamii tofauti kuingilia kwaajili ya uchumi, mfano Kija wakisukuma kuzaliwa Moshi kasoma uko mpaka kupata kazi akapangiwa Dar sasa kijana kama huyu kupata mke kabila lake ni changamoto kwasababu kakulia na anaishi na jamii tofauti na ya kwao na ata akipata mchumba ni ngumu kumpata wa kabila lake.Mkuu nakumbuka enzi zangu niliwahi kuwa na ukaribu na mtoto wa watu tena walikuwa wa ile iman ya kaptula ndefu ila nilikuja jinasua huko na nikapata somo la oa dini yako oa labila lako kupunguza mizozo ndani ya familia. Baada ya hapo nimekuwa nikishaur sana vijana kuhusu haya mambo
nagongelea hapahapa ndoa nyingi zinashikana kwa sababu ya kuokotana na kuacha utamaduni uliokuwepo enzi na
Yote sikatai mkuu. Gumu leo jepesi kesho. Jepesi leo gumu keshoSasa Maisha ya sasa yamefanya jamii tofauti kuingilia kwaajili ya uchumi, mfano Kija wakisukuma kuzaliwa Moshi kasoma uko mpaka kupata kazi akapangiwa Dar sasa kijana kama huyu kupata mke kabila lake ni changamoto kwasababu kakulia na anaishi na jamii tofauti na ya kwao na ata akipata mchumba ni ngumu kumpata wa kabila lake.
Zanzibar ni nchi kamili, wana mila zao na desturi zao na wana makabila yao.Kwaiyo mkuu ata tatizo la elimu kwa watu wa Zanzibar litatatuliwa na Wazanzibari kukubali kuoana na watanganyika ? Maana wazanzibari kwa kijana wakiume wazazi wake hawaruhusu kuoa mwanamke waki Tanganyika, Mwanamke kidogo wanaolewa na Watanganyika